Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mbona unajidanganya hivyo.Unadhani waliosoma walikuelewa.Natoa changamoto huyo aliyekuelewa aje anifahamishe na mie.
Mimi najua mtambo wa socratic method uliosema utautumia kutoa historia za dini ipi imeitangulia mwenzake kati ya uislamu na ukristo haukufanya kazia kabisa.
Wakati mtambo wako unaiona dunia kama imeanza miaka 2013 iliyopita. Wahyi kwenye Qur'an ina historia kabla hata binadamu yoyote hajaumbwa.Binadamu wa mwanzo ni Adam (A.S) ambaye ni baba yetu sote pamoja na Yesu (A.S).Yeye alikuwa ni muislamu sasa utawezaje kukanusha kwa kutumia historia yako ya kimishionari?.Kama unaweza usikumbushe kwamba wasomaji walikuelewa bali rudia maelezo kama mimi hapa nilivyofafanua suali langu kwako?.

AMI,
Hawa ndio wale waliojazwa Hisohistoria ya asili ya binaadamu ni NYANI!!!!
 
Hili tope la sensa serikali yenyewe ya mfumokristo imeamua kuwavimbia tu kila mtu aliyejadili bila kutaka kulitafutia ufumbuzi.Mara Ponda.....mara Radio Imaan................aibu tupu kwa utawala wa kidemokrasia.
Hivyo Nyambala na Nguruvi hawawezi kubadili kitu.Wenye uwezo wa kujibu wakipenda ni serikali baada ya sensa.
Jedwali inaonesha 44.2% mwaka 1957 ya watanganyika walikuwa ni mapagani lakini baina ya (65-90)% ya makabila ya wamakonde,wazigua,wazaramo,warangi na makabila mengine ya pwani walikuwa ni waislamu.Lakini wakristo wakatoliki walipatikana zaidi kwa wachaga na waprotestant kwa wabena.Yametajwa makabila hayo tu.
Hapa tunazungumzia uwezekano tu hivyo kila mmoja wetu ana haki ya kuchambua huo uwezekano.Wewe umeona uwezekano uliopandisha idadi ya wakristo mpaka pengine serikali na makanisa wajiamini kutangaza kwenye magazeti na televisheni ni kwamba wapagani 44.2% walibadilika kuwa wakristo.Hili haliwezekani kutokea kwa 100%.
Lakini tukirudi leo kwenye makabila hayo hayo yaliyokuwa na (65-90) % mwaka huo bado tunaona wengi wao ni waislamu.Tukichukulia ukweli wa ndoa na kuzaana kwa familia za kiislamu uwezekano ni kuwa asilimia hizo zimeongezeka sana kushinda uwezekano wa mapagani kuingia ukristo.
Kwa ujumla ni kuwa idadi ya waislamu bado iko juu na kukataa serikali kuingiza kipengele cha dini kwenye sensa kwa shinikizo la makanisa ni kukwepa ukweli wa idadi ya waislamu Tanzania.
Bila sensa nyengine ya kuangalia dini za watanganyika hoja na jedwali ya sensa ya 1957/1967 si chochote si lolote kutetea uchache wa waislamu kwenye nafasi za masomo ya sekondari na vyuo kama ilivyomshinda Nguruvi.
Wewe ni unajua zile 3Ks za CCM. Kusoma, kuandika na kuhesabu.
Hamna zaidi.
Unfortunately, unafikiri kuwa una uwezo wa ku- analyze issues. Na unafikiri unajua...
Inasikitisha.

Sasa ngoja nikuulize swali unaloweza kujibu wewe kama mwarabu,
Rejea tena Post ya Joka kuu aliyomuuliza Moh Said kuhusu Arab activist aliyeshiriki kwenye harakati za uhuru hapa nchini, Je unamfahamu Mwarab yeyote aliyeshiriki?,
 
Mbona unajidanganya hivyo.Unadhani waliosoma walikuelewa.Natoa changamoto huyo aliyekuelewa aje anifahamishe na mie.
Mimi najua mtambo wa socratic method uliosema utautumia kutoa historia za dini ipi imeitangulia mwenzake kati ya uislamu na ukristo haukufanya kazia kabisa.
Wakati mtambo wako unaiona dunia kama imeanza miaka 2013 iliyopita. Wahyi kwenye Qur'an ina historia kabla hata binadamu yoyote hajaumbwa.Binadamu wa mwanzo ni Adam (A.S) ambaye ni baba yetu sote pamoja na Yesu (A.S).Yeye alikuwa ni muislamu sasa utawezaje kukanusha kwa kutumia historia yako ya kimishionari?.Kama unaweza usikumbushe kwamba wasomaji walikuelewa bali rudia maelezo kama mimi hapa nilivyofafanua suali langu kwako?.
Ami, hakuna anayeweza kukuelimisha wewe kwa kuwa akili yako yote umemkabidhi Mohamedi Saidi. Akili yako haina uwezo wa kupokea kitu chochote nje ya mawazo ya kidharimu ya Mohamed Said! ukilala una muota Mohamed, ukisoma unamsoma Mohamed, ukipumzika unamuwaza Mohamed Said " To you, Mohamed Said is everything".
 
Nakushukuru kwa kunitambua kama mtanzania mwenzako na sio kama kafir! au mgalatia.

Gwalihenzi;

Hapana, sisi sote ni Wa TZ! ila siwezi kubadilisha kauli ya Mwenye enzi Mungu kuwa, Sema: Enyi makafiri! mimi siabudu mnachokiabudu, Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu, Wala sitaabudu mnacho abudu, Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu, Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. (Qur:113)

Tanzania katuumbia Bwana Mungu tuishi humu humu hata kama tunaimani tofauti! la muhimu ni kila mtu aheshimu dini ya mwenzake na muhimu zaidi ni kuvumiliana! mfano: Wewe unaamini kuwa Yesu ni Mungu na ukiimba na kutangaza kila mahali hivyo sina budi nivumilie lakini na wewe pia huna budi kuvumilia pale mimi ninapotangaza kuwa Yesu si Mungu! hayo ndio mafundisho ya dini yangu! Gwalihenzi unakubaliana na mimi?
 
Kadogoo, jaribu kuwa mkweli katika nafsi yako na taifa lako la Tanzania, tuambie watanzania wenzako ni shule gani ya serikali kuanzia msingi na kuendelea iliyowahi kumkataa mwanafunzi kwa sababu ya dini yake ya kiislam?

Gwalihenzi,
Unaturudisha nyuma tena! hutaki tukiri kosa na kusahihisha yaishe tusonge mbele?
 
Boko, mbona unateseka sana kutaka kunisilimisha? nakwambia hivi, mungu wako hana maana yeyote kwangu! unaweza ukanifananisha na chochote unachotaka lakini ukweli unabakia palepale kwamba wewe na zee lako Mohamed Said mnaitumia vibaya dini yenu kwa manufaa yenu binafsi bila kujali maafa ambayo mmeanza kuyasababisha katika nchi yetu. Uislam wako wewe na Mohamed Said sio wa mungu wawaislam wa kweli ila wa mitumbo yenu yenye tamaa!

Gwalihenzi,

Usiseme hivyo ndugu yetu, hiyo kauli yako haina ishara nzuri! wewe ni msomi mahiri kwanini unapenda kutumia kauli alizopenda kutumia Farao? alikuwa akimkanusha Mungu na mwisho, wakati maji yamefika shingoni alimkubali Mungu na kusema sasa anamwamini Mungu wa Musa na Haruni! unataka kuwa kama yeye? hapana usifanye hivyo!
 
Gwalihenzi;

Tanzania katuumbia Bwana Mungu tuishi humu humu hata kama tunaimani tofauti! la muhimu ni kila mtu aheshimu dini ya mwenzake na muhimu zaidi ni kuvumiliana! mfano: Wewe unaamini kuwa Yesu ni Mungu na ukiimba na kutangaza kila mahali hivyo sina budi nivumilie lakini na wewe pia huna budi kuvumilia pale mimi ninapotangaza kuwa Yesu si Mungu! hayo ndio mafundisho ya dini yangu! Gwalihenzi unakubaliana na mimi?
Duh! Kadogoo, hayo umeyatoa wapi? mimi siamini kama kuna mungu, na kama yupo basi hawezi akawa kama huyo aliyeandikwa kwenye vitabu vyenu. Nimesoma historia ya Mohamed na Yesu kama mitume! lakini ninajali ualimu wao na sio utume wao. Siidharau imani yako wala ya mtu mwingine, lakini ninawadharau sana tena sana watu wanaotumia imani zao kwa manufaa yao binafsi na hasa wanapotaka kufarakanisha jamii inayoishi kwa mshikamano kama tulivyo watanzania. Ubaya/uovu uitwe uovu na uchukiwe na upigwe vita hata kama umefanywa na mkristo, muislam, asie amini...
 
Na kwanini uwe "credible" wakati kwenye mihadhara watu hawajali unasema kweli au unadanganya! wewe ukiangusha "takidri" wao watajibu kwa hamasa " Allah ..." Naona Jasusi anataka kukuchosha tu hana mpya! achana naye!

Baba vipi hapo kwenye red ni lugha gani ni ki phillipino au kichina umevamia usivyovijua
 
Gwalihenzi,

Usiseme hivyo ndugu yetu, hiyo kauli yako haina ishara nzuri! wewe ni msomi mahiri kwanini unapenda kutumia kauli alizopenda kutumia Farao? alikuwa akimkanusha Mungu na mwisho, wakati maji yamefika shingoni alimkubali Mungu na kusema sasa anamwamini Mungu wa Musa na Haruni! unataka kuwa kama yeye? hapana usifanye hivyo!
Kadogoo, kwanini unanitisha na unaniogofya kwa kutumia imani yako? si uniache niangamie ili baadae niwe mfano wa kujifunzia kama vile Farao anavyotumika kuwafundishia waumini wenzako? ama hupendi mtu mweusi awemo kwenye misahafu yenu kama mtu mbaya?
 
Bwana mdogo umekurupuka, inaonyesha kuwa masuala ya hisabati na hasa takwimu ni tatizo. Haya twende hatua kwa hatua.

Hili tope la sensa serikali yenyewe ya mfumokristo imeamua kuwavimbia tu kila mtu aliyejadili bila kutaka kulitafutia ufumbuzi.Mara Ponda.....mara Radio Imaan................aibu tupu kwa utawala wa kidemokrasia.
Hivyo Nyambala na Nguruvi hawawezi kubadili kitu.Wenye uwezo wa kujibu wakipenda ni serikali baada ya sensa.

Hiyo hapo juu sitajibu kwa kuwa haikuwa sehemu ya nilicho-present.

Jedwali inaonesha 44.2% mwaka 1957 ya watanganyika walikuwa ni mapagani lakini baina ya (65-90)% ya makabila ya wamakonde,wazigua,wazaramo,warangi na makabila mengine ya pwani walikuwa ni waislamu.Lakini wakristo wakatoliki walipatikana zaidi kwa wachaga na waprotestant kwa wabena.Yametajwa makabila hayo tu.

Hapa ndiyo umethibitisha ukurupukaji wako, hayo maandishi yanaendelea kilichotolewa hapo ni extraction tu. Hivi hujiulizi kwa nini mwalimu wako hajatokea kujibu hii post? Anyways hilo la wapagani, si ni mzee saidi amenukuliwa na si mara moja kwamba hao wanaoojiiita wapagani ni geresha tu wote ni wakristo? Kula darsa kwa jedwali lingine hapa chini huu ni mchanganuo wa population kimajimbo (Muulize mwalimu wako jimbo la Eastern lilikuwa ni mikoa ipi na ipi)
mjr2nm.jpg

Hapa tunazungumzia uwezekano tu hivyo kila mmoja wetu ana haki ya kuchambua huo uwezekano.Wewe umeona uwezekano uliopandisha idadi ya wakristo mpaka pengine serikali na makanisa wajiamini kutangaza kwenye magazeti na televisheni ni kwamba wapagani 44.2% walibadilika kuwa wakristo.Hili haliwezekani kutokea kwa 100%.
Hapo juu hiyo ni pumba pasee.

Lakini tukirudi leo kwenye makabila hayo hayo yaliyokuwa na (65-90) % mwaka huo bado tunaona wengi wao ni waislamu.Tukichukulia ukweli wa ndoa na kuzaana kwa familia za kiislamu uwezekano ni kuwa asilimia hizo zimeongezeka sana kushinda uwezekano wa mapagani kuingia ukristo.
Jibu lake nadhani umeliona kwenye hilo jedwali jipya.

Kwa ujumla ni kuwa idadi ya waislamu bado iko juu na kukataa serikali kuingiza kipengele cha dini kwenye sensa kwa shinikizo la makanisa ni kukwepa ukweli wa idadi ya waislamu Tanzania.
Hakuna aneyekuzuia kuamini unachoamini, cha msingi lete facts.

Bila sensa nyengine ya kuangalia dini za watanganyika hoja na jedwali ya sensa ya 1957/1967 si chochote si lolote kutetea uchache wa waislamu kwenye nafasi za masomo ya sekondari na vyuo kama ilivyomshinda Nguruvi.
Mimi siko huko, eti kwenye "kutetea uchache wa waislamu kwenye vyuo na shule za sekondari" mjadala ni je sensa ya 1967 ilipikwa ili kuonyesha wakristo ni wengi? Je ni vipi serikali ile ile iliyochapisha matokeo ya sensa ya 1957 yaliyotoka 1963 yaaminiwe halafu yale ya 1967 yaonekane kupikwa?

Bwana mdogo hii sensa ina kurasa 109, na uzuri wake imeanza kwa kuelezea mapungufu, mojawapo ni kuwa hii ilikuwa ni sensa ya watanganyika weusi tu, ilikuwa na limitations ya umri, kuna mahali haikufika, Lakini pia imeonyesha ni makabila yapi yalikuwa na watu wengi wakati huo, vipi unahitaji jedwali lake? Je hao waliokuwa wengi kikabila nao si wanatakiwa wajitokeze kudai haki yao kama inavyodaiwa kidini? Mwalimu wako ameshaitumia sana hii sensa kujengea hoja za kizushi, yes za uzushi. Sasa this tyme tunataka na hili nalo tuweke records straight. Ntanguliza Samahani sitakuwa na muda wa kujibu zisizokuwa hoja kulingana na mjadala huu.

Duh! Kadogoo, hayo umeyatoa wapi? mimi siamini kama kuna mungu, na kama yupo basi hawezi akawa kama huyo aliyeandikwa kwenye vitabu vyenu. Nimesoma historia ya Mohamed na Yesu kama mitume! lakini ninajali ualimu wao na sio utume wao. Siidharau imani yako wala ya mtu mwingine, lakini ninawadharau sana tena sana watu wanaotumia imani zao kwa manufaa yao binafsi na hasa wanapotaka kufarakanisha jamii inayoishi kwa mshikamano kama tulivyo watanzania. Ubaya/uovu uitwe uovu na uchukiwe na upigwe vita hata kama umefanywa na mkristo, muislam, asie amini...

Baba mbona hujiamini mara huamini mungu, mara kama yupo si kama huyo wa vitabu venu baba naona mirembe inakuhusu msomi kama wewe hujielewi DAH MODS NIMEWAOMBA MUWEKE NA FIMBO HUKU SIO LIKES TU NAWAOMBA TENA WEKENI NA FIMBO HUKU KUNAWATU BILA BAKORA HAWAENDI
 
Kadogoo,

"Takidir" ndiyo nini kuna ndugu yetu katoa darsa na hilo neno.
Ritz, mnapo hamasishana kwenye mihadhara yenu huwa mnatumia maneno gani vile? NA wale wazee wa kiswahili wa kariakoo uliosema tukamuulize mama Nyerere ndio wapi hao?
 
Baba mbona hujiamini mara huamini mungu, mara kama yupo si kama huyo wa vitabu venu baba naona mirembe inakuhusu msomi kama wewe hujielewi DAH MODS NIMEWAOMBA MUWEKE NA FIMBO HUKU SIO LIKES TU NAWAOMBA TENA WEKENI NA FIMBO HUKU KUNAWATU BILA BAKORA HAWAENDI
Boko, akili yako ni ndogo kama ya kuku, pole sana!
 
Wewe ni unajua zile 3Ks za CCM. Kusoma, kuandika na kuhesabu.
Hamna zaidi.
Unfortunately, unafikiri kuwa una uwezo wa ku- analyze issues. Na unafikiri unajua...
Inasikitisha.

Sasa ngoja nikuulize swali unaloweza kujibu wewe kama mwarabu,
Rejea tena Post ya Joka kuu aliyomuuliza Moh Said kuhusu Arab activist aliyeshiriki kwenye harakati za uhuru hapa nchini, Je unamfahamu Mwarab yeyote aliyeshiriki?,
Hapa inaonekana habari za utumwa zimewashinda.
Kuhusu mwarabu aliyeshiriki harakati za uhuru mimi namjua Ahmed Salim baba yake Salim Ahmed na wako wengi wengine.
Tusimame hapo nikuulize kwani mwarabu kushiriki harakati za kudai uhuru kuna ulazima au umuhimu gani?.
 
Baba mbona hujiamini mara huamini mungu, mara kama yupo si kama huyo wa vitabu venu baba naona mirembe inakuhusu msomi kama wewe hujielewi DAH MODS NIMEWAOMBA MUWEKE NA FIMBO HUKU SIO LIKES TU NAWAOMBA TENA WEKENI NA FIMBO HUKU KUNAWATU BILA BAKORA HAWAENDI

Boko Haram.

Jamaa kajiumba mwenyewe, kuna jamaa moja pale upanga alikuwa naye kama huyu akapata maradhi ya moyo ukimkuta kitandani analia tu ovyo kama mtoto mungu nisaidie, mungu nisaidie.
 
Hakuna cha masihara hapa pamezungumzwa utumwa na mpaka leo upo ila ni kwa staili tofauti! angalia hapa:Torture of American soldiers on Muslims.......Shocking images - YouTube !!! kama huu si zaidi ya utumwa ninini? Bla bla za Kudai oo Muislamu ndio waziri, oo Rais ndio Muislamu haisafishi utumwa ulioko ndani na nje ya nchi!
Kadogoo,

..hayo ni masuala ya Wamarekani.

..I dont pay too much attention to that, as long as hakuna Mtanzania anayeteseka huko.

..Stick na masuala ya Tanganyika, au ukipenda Tanzania bara.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom