Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jenga heshima basi kwenye maandiko yako dhidi ya Mohamed Said hebu jisome ulivyojiandika kisha muombe radhi Mohamed Said. Hata kama mnapingana mitazamo siyo kigezo cha kumvunjia heshima kijana.

Unajua kwamba mbali ya kupingana mitazamo Mohamed Said ana great sense of humour!!!!!! Wewe kalagabhao some things are just above your medulla oblongata
 
Last edited by a moderator:



Mohamed Said,

Kumekucha hii "mipini" ya maana kwa nini unaitoa kiduchu kiduchu kweli Ilm bahari.

Cc.. to The Great Thinker gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
Mkuu SoA,
Hivi huo mchango wa John Rupia Mwl aliukumbuka kweli kwenye kitabu?
Huyu alikuwa mfadhili big time,na wala humsikii popote-huyu ufadhili wake sio kibaba cha mchele bali ni megabucks-wewe ushangai nimekuja na hiyo 33% na MS aja doubt
 
Huu mnakasha kama ni pini!mzee mohamed said na nguruvi ndo wakali wenye wimbo halafu ritz mtoa kibwagizo!yericko nyerere ndo aliyetoa jina la wimbo ila kufika studio kachachawa hana mistari kashindwa kuingiza sauti kawaachia wakali kina mzee Mohamed na Nguruvi!halafu mzee mwanakijiji yeye msanii wa zamani ambaye hana jipya washabiki wamechoka na mashairi yake yasiyokuwa na ujumbe anachofanya ni jina tu ndo linamlinda!
 
Mzee M,
Kupigwa marufuku kitabu cha Profesa Hamza Njozi na utawala wa Mkapa kama sio kujibu kiujeuri na kuonyesha mabavu ni nini?
 
Unajua kwamba mbali ya kupingana mitazamo Mohamed Said ana great sense of humour!!!!!! Wewe kalagabhao some things are just above your medulla oblongata

Kauzu son,

Leave well alone you wont improve matters by going on tinkering...
 
Last edited by a moderator:
Huyu alikuwa mfadhili big time,na wala humsikii popote-huyu ufadhili wake sio kibaba cha mchele bali ni megabucks-wewe ushangai nimekuja na hiyo 33% na MS aja doubt

Son...
Hebu ingia katika faharasha (index) ya kitabu changu angalia Rupia.

Utaona katajwa mara ngapi.
Mara 42.
 

Mundungus Fletcher;
Mimi kusema Yesu si Mungu ni kwa mujibu wa Kitabu changu kitukufu! kusoma na kutangaza hayo ni haki yangu ya kidini na kikatiba! kama kusema Yesu si Mungu kutawahusisha Wakristo sio hayo tu mbona kuna mengi yaliyoko ktk Quran yanawahusisha Wakristo? sasa unataka nisusie kusoma kitabu changu kwa kuwa kitamhusisha Mkristo kwa namna moja au nyingine?

Wakristo hawawezi kudai Mtume Muhammad sio Mtume wa mwisho kwasababu hakuna ushahidi ndani ya Biblia kuthibitisha hilo bali Biblia inathibitisha kuja kwa Mtume Muhammad! lakini ktk Quran Allah anakanusha Uungu wa Yesu?

Masihi Issa bin Maryam ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na ni tamko lake (Quran:4:171) Kumbukeni waliposema Malaika: Ewe Maryam! Mwenyezi Mungu anakupa habari njema za neno litokalo kwake (la kukwambia 'zaa' utazaa). Jina lake ni masihi, Issa, mwana wa Maryam, mwenye heshima katika dunia na akhera, na ni miongoni mwa waliopelekwa mbele na Mwenyezi Mungu. (3:45)

Na (mtaje yule mwanamke) aliyejilinda, (aliyejihifadhi) nafsi yake, na tukampulizia Roho yetu na tukamfanya yeye na mwanaye kuwa miujiza kwa walimwengu (21:91). Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utu uzima wake na atakuwa katika watu wema (kabisa) (3:46). Issa (Yesu) alifanya miujiza kadhaa. Muujiza mwingine atakaofanya ni kuwa atarudi tena duniani katika siku za mwisho na atazungumza na watu.

Kisha tukawafuatisha nyuma Mitume wetu na tukamfuatisha Issa bin Maryam na tukampa Injili (57:27). Bila shaka wamekufuru wale waliosema, Mwenyezi Mungu ni Masihi (Issa) bin Maryam (5:72). Na makafiri (Mayahudi) walifanya (hila dhidi yake ili kumuua) na Mwenyezi Mungu akazipindua hila zao na Mwenyezi Mungu ndiye mbora wa kupindua hila (3:54).
 
Huyu alikuwa mfadhili big time,na wala humsikii popote-huyu ufadhili wake sio kibaba cha mchele bali ni megabucks-wewe ushangai nimekuja na hiyo 33% na MS aja doubt

Bora ukae kimya Mohamed Said kukujibu wewe ni kujidhalilisha sana.

Ungekuwa umesoma kitabu cha Mohamed Said wala usingeandika hizo pumba zako.

John Rupia katajwa kwingi kwenye kitabu cha Mohamed Said mmoja wa wafadhili wa TANU kutoka kariakoo misheni kota.
 

halafu we ndio muuza sura wa kwenye mnakasha...
 
Last edited by a moderator:
Muheshimiwa Mwanakijiji,
Salaam na nashukuru kwa yale majibu. Pia nakushukuru kwa kuthibitisha maneno yangu kuwa wewe ni "kizazi cha Mchungaji wa Kanisa" na ulikuwa muhudhuriaji mkubwa na kinara katika vile vikao vya malumbano ya kidini na kina Mwaipopo pale viwanja vya Jangwani!
Your words sound great and they read well, but I can see that still there's distinct differences between us on some issues and technicalities. We are treading on a very fine balance here, and I'm concerned for that intellectual excitement to be curtailed though!?

Inanikumbusha Maulana Ayatollah Al Khomein na S. Rushdie,na hapa naona wewe upo upande wa kina Ayatollah!?

Hayo majibu na maelekezo yenu mlonipa ndo yamenizidisha nianze kujiuliza masuala mengine kadha wa kadhaa! Lakini haina neno.

Yale majibu yako ulonipa kuhusu waTanga wenzio nimekufahamu. Lakini nina hakika kama Waalimu wako Sheikh Pera Bin Ridhwan wa Gombe na Sheikh Khamis Akida Bin Said wangelikua hai basi wangalipata simanzi kidogo. Ama kweli; "mwana wa mwenzio mlee kalala,akaamka amlilia *****"!ahaha!!

Nashukuru pia kina Nguruvi3 na Mag3 kwa majibu yenu, japo nahisi mnacharukwa pita kiasi akitajwa Nyerere hata kwa nia njema tu!? It's about time now, we grow up and stop that kind of North Korea'sKim Il Sung cult worship mentality.

Nyerere alikuwa ni Rais wetu soote, na kumbukeni mema na machafu alofanza kama Stateman/public figure yalitusibu na labda yanaendelea kutusibu soote. Kwa hiyo kutajwa,kulinganishwa na kuendelea kujadiliwa bila ya kashfa wala si jambo baya asilani, na ndo ustaarabu wa kidunia. Tuacheni kuwa too sensitive about Nyerere's legacy,la sivyo siku zoote tutakhitilafiana na kushindwa kutatua majambo yeetu kwa ustaarabu na maelewano ya kikweli.
Si tunaona mifano kadhaa ya wengine kama kina Marshall Tito, Augustino Neto,Samora Machel,Castro,Ho Chi Minh,JFK,Che Guevara,Obama jinsi wanavyojadiliwa kiundani na kwa kina tangia wako hai na mpaka hawapo duniani!?
Hata Nyerere mwenyewe kwa ustaarabu wake alishawahi ku-admit mara kadhaa baadhi ya makosa alohisi yeye binafsi ni "madogo madogo".

Kuna vitu kama 70's Social Experiments,supporting of Milton Obote and his gangs,handling of Zanzibary's affairs and/or Muungano,Nyerere involvement in Nigeria's Biafra Conflict,freedom of expression and speech,Civil Liberty,handling of our economy na mengineyo kadhaa ambayo nahisi Nyerere alifanya/alishauriwa kimakosa!?
However,I equally admire him for his courage,stance and statemanship when it came to International affairs or platforms. Hasa misimamo yake mahiri ilotuwekea sifa kadhaa nje ya nchi kama vile masuala ya Polisario,Palestina,Ukombozi wa nchi za kusini ya Afrika,Non Allignment Movement na mengineyo.

Kwahiyo isionekane kama kila anapotajwa Nyerere ati ni ubaya,Udini au khitilafu fulani na wengine kujiona kama vile huyo Nyerere ni wenu peke yenu! Kwa ufupi tujitahidi kubaki kwenye hii mada ilotuleta hapa,na hayo mengine mengi penye majaaliwa tutafungua thread nyingine ili tuendelee kujuzana kwa taratibu,ustaarabu na amani kama tulivyorithi toka kwa mababu zetu!

Ahsanta.


CC: JokaKuu,Jasusi,Ami,Ritz,Kadogoo,Boko Haramu,The Big Show,Barubaru,Nyambala,Nguruvi3,Mag3,Sheikh Mohammed Said


Ps; Sheikh Mohammed Said
Nisamehe usinione nimeingilia darsa yako kwa kishindo nilikua najaribu kuwarekebisha baadhi ya Jamaa hapa kiduchu na kwa uchechefu nilojaaliwa,na sasa hutonisikia tena maana nahitaji fursa ya kukusikiliza tena kwa utuvu.

Mag3: Lile nilomhusisha Bwana Mwanakijiji na ile mihadhara yake ya malumbano ya kidini na kina Mwaipopo pale Jangwani ulidai ati ulikuwa hulijui hilo,sasa mwenyewe Mwanakijiji amenijibu na amekiri japo kama dasturi yake kiujanja ujanja! Sasa wewe kwenye hilo unawaambia nini hapa Wanajamvi wenzetu,maana mwanzo ulidai huna jibu kamili japo ulijaribu mno kudadavua kwa niaba yake!?

Ndie wewe ulosema unakula muhogo kwa ndezi!? Nakukumbusha si kibanda meno ni kiganda meno! ahahaha!!! Vipi umeutolea Kirare nini!?ahahaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…