Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Ni jinsi gani mfumo Kristu unatengeneza wasomi mahiri Waislamu, wafanyakazi na watumishi mbalimbali ambao ni Waislamu na hata kutengeneza Rais, Mawaziri, Majaji n.k ambao ni Waislamu? Ni kwa namna gani mfumo wa kibaguzi unatengeneza nafasi bora na za juu kabisa za wale wanaobaguliwa?
Unless, mfumo huo umeshindwa kazi yake ni hauna nguvu unayodhaniwa kuwepo. Fikiria: Kama kweli kungekuwepo Mfumo Kristu na ungekuwa na nguvu unayodaiwa kuwa nayo, Kikwete aliweza vipi kuwa Rais mara mbili mfululizo?
Mzee Mwanakijiji,
Waislam wanaitaji majibu kutoka serikalini kuhusu madai yao siyo kwenu nyie, ndiyo maana hata wewe ulipomwambia Kadinal Pengo atoe tamko ili serikali watoe majibu ingawa sisi tungeweza kukujibu lakini ulichokuwa unataka usikie sauti ya serikali. Ndivyo ivyo Waislam wanaitaji majibu ya serikali yao siyo majibu yenu Wakirsto.
Last edited by a moderator: