Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ritz, Mkutano wa Berlin uliitishwa na Wajerumani ili kukubaliana namna ya kugawana Makoloni kwa amani bila Wakoloni kupigana wao kwa wao. Matokeo ndio Tanganyika, Rwanda na Burundi wakapewa Wajerumani.
Vita ya WW2 Mjerumani aliposhindwa, Tanganyika ikakabidhiwa kwa Waingereza, Rwanda na Burundi zikamegwa kutoka Deutshe Ost Africa (Tanganyika) wakapewa Wabelgiji. Waingereza waliombwa na UNO kuitawala Tanganyika na kuiandaa kwa Uhuru, ndio maana uhuru wa Tanganyika ulidaiwa UNO!
Ritz, wewe unakubali darsa la mtu mmoja tu humu ndani-Mzee Said, wengine hatujui kitu!

[FONT=Arial, sans-serif]Custodial history:
Immediate source of acquisition: Deposited with the archive of the Conference of British Missionary Societies in 1977.
CONTENT AND STRUCTURE
Scope and content/abstract: Joint archive, largely dating from 1910-1945, of the International Missionary Council and Conference of British Missionary Societies, relating to co-operative missionary endeavours in Africa (chiefly British Africa, but also including areas under Belgian, Portuguese and French control).
General files on Africa include records on missionary work and related issues including land rights, colonial administration, diet, co-operative organizations, customs including polygamy, initiation, and witchcraft, medical work, and alcohol traffic; the IMC and its relation to African mission councils; International Institute of African Languages and Cultures; population and health in Africa; Africa Education Group, relating to educational policy, provision and finance, including women's education, training of educational missionaries, African marriage customs and their relation to Christian practice, adult education, and missionary work in rural areas; High Leigh (Hoddesdon, Hertfordshire) Conference (1924) on educational missionary work in Africa; Le Zoute Conference (1926) on missionary work in Africa; educational policy; Advisory Committee on Education in the Colonies, relating to Colonial Office policy (including British colonies outside Africa), the topics including women's education, use of the vernacular and bilingualism, teacher training, language teaching, social and economic development, finance, indigenous art, biology, superannuation, English examinations, and higher education teaching materials, with sections relating to particular African colonies.
Files on East Africa include general records on British colonial policy and administration, agriculture, and Swahili; and education in East Africa. Files on Kenya include records on the Kenya Missionary Council and Christian Council of Kenya; the political situation and land question; indigenous labour and slavery; Indian population; and educational policy, practice, finance, the conscience clause in religious education, women's education, and educational advisor; and correspondence on missionary work and related issues. Files on Tanganyika include records on the Tanganyika Missionary Council, relations between different missionary societies, indigenous life, colonial administration, German and other missions; Tanganyika Mission Property Trust; and education in Tanganyika. Files on Uganda include records on land tenure, education, including women's education, and Swahili; and missionary societies in Ruanda-Urundi. Files on Abyssinia comprise records on missionary work and religious freedom, including the Italian occupation.
Files on West Africa include general records on education, including the Phelps Stokes Commission. Files on the Gold Coast include records on education, colonial administration, the Basel Mission, the Bremen Mission and other missionary societies, the Christian Council of the Gold Coast, medical and educational missionary work. Files on Sierra Leone include records on education. Files on Nigeria include records on the Christian Council of Nigeria and other Christian and missionary organisations and on education. Files on the Cameroons include records on various missionary societies. Files on French Africa include records on education.
Files on French West & Equatorial Africa include records on missionary activity and education. Files on the Congo include records on the Congo Protestant Council, missionary activity and conferences, religious freedom and interdenominational relations including Roman Catholicism; Belgian government policy regarding missions and the Brussels Bureau representing Belgian missions; education; and missionary work of various nations.
Files on Portuguese Africa include records on missionary work, including medical work, and interdenominational relations; religious liberty, Portuguese government policy, and the Lisbon Centre for liaison. Files on Portuguese West Africa include records on the Angola Evangelical Alliance, Portuguese colonial administration, and various missionary societies. Files on Portuguese East Africa include records on the Portuguese East Africa Evangelical Missionary Association, work of various missionary societies, religious liberty and Portuguese government policy.
Files on Central Africa and Nyasaland include records on colonial administration, work of missionary societies, land tenure, indigenous labour and slavery, and on colonial educational policy in Nyasaland. Files on Northern Rhodesia include records on the General Missionary Conference of Northern Rhodesia, colonial administration, mining, and education; and on the United Missions in the Copperbelt, including its foundation, policy, annual reports, finance, miners' unrest, property, education policy, women's work, social welfare, literature and literacy, British Committee, correspondence with other societies, reorganisation, Team/Field Committee, and personnel. Files on Southern Rhodesia include records on the South Rhodesia Missionary Conference, indigenous affairs including land tenure, education, indigenous preachers, and colonial administration. Files on South Africa include records on the General Missionary Conference of South Africa and the Christian Council of South Africa, missionary work, indigenous affairs including land tenure, interethnic relations, and education. Files on South and South West Africa includes records on German missions and indigenous affairs. Files on the protectorates of Swaziland, Basutoland and Bechuanaland include records on education and the transfer of the protectorates to South Africa.
[/FONT]
 
Last edited by a moderator:
Ritz,

..binafsi siamini madai kwamba kuna hujuma ili maeneo fulani/dini fulani/kabila fulani wakose elimu au huduma nyingine za kijamii toka kwa serikali yao.

..huko ambako unaona hakuna mwamko wa elimu, serikali, ngo, etc zilipaswa kwanza kuangalia tatizo la ubora wa elimu inayotolewa. wananchi wanapaswa kujionea wenyewe kwamba elimu "inalipa." baada ya hapo waangalie mila na desturi za eneo husika kama zinawa-discourage wanafunzi kuendelea na masomo. halafu wachunguze kipato cha wananchi wa eneo hilo.

..kwa mfano kama maeneo ya Pwani ambako kuna utoro, serikali ingeangalia uwezekano wa kuanzisha shule za bweni, na ziwe adequately funded and equipped. utaratibu huo unafanyika kwa jamii za wafugaji wanaohamahama. naona hapa kwa mara ya kwanza tunakubaliana na Kadogoo!!

..binafsi nampongeza Mama Salma Kikwete kwa kuanzisha shule ya bweni kijijini Nyamisati. Sasa mumewe[JK] angepunguza safari zake, halafu kukawa na waziri anayekereketwa na wananchi wa pwani kukosa elimu, tungeweza kujenga shule nyingi kutokana na fedha ambazo tunge-save.

NB:

..waziri Prof.Malima badala ya kuleta yale majungu yake ya namba za mtihani, bora angepigania kuanzishwa kwa shule za bweni ili kudhibiti utoro.

cc: Nguruvi3, @Wickman, Mag3, Ami, gombesugu
 
Last edited by a moderator:
Hata waziri/naibu wa elimu/wakurugenzi wote baraza la mitihani/necta/watungaji/wasahihishaji mitihani wote wangekuwa ni waislam, bado waislam mngeendelea kulalama kuna mfumo kristo. Mkristo hana sababu ya kulalamikia NECTA ukizingatia mitihani ipo pale karibu mwaka mzima baada ya kusahihishwa...kama umeonewa ni suala la kuappeal tu...

Huyu Mohamed said lazima nipange siku ya kula naye kitimoto hapa chang'ombe......akipata finyango saba tu atakuwa na akili za kumtosha kabisa na ataachana na upuuzi anaoleta nchini.....nina wasiwasi sio raia pia
 
Mkuu Ritz,
Sasa kama masuala ya Waislamu wenyewe wewe huyajui vipi sisi tutayajuaje?!

Haya matatizo mnayosema mnayo mbona mlikuwa mnamlalamikia Nyerere alivyoingia Mwinyi ni ya Serikali...alivyoingia Mkapa ni ya Mkapa...sasa yupo Kikwete vipi yamegeuka tena ni ya Serikali?! na kuna ndugu yetu mmoja anasema Kikwete anaandikiwa Hotuba na Watu wa Mfumo kukandamiza Waislam na Uislam vipi kipindi yupo Makamba Jr pale Magogoni alikuwa mtu wa Mfumo?

Mbona Mzee Mwanakijiji anatafsiri mpaka na Quran tukufu nayeye kaijuaje huku yeye ni Mkatoliki?
 
Kongokonferenz1.jpg

Cc.. Wimana,
 
Last edited by a moderator:
quote_icon.png
By sweke 34
Hata waziri/naibu wa elimu/wakurugenzi wote baraza la mitihani/necta/watungaji/wasahihishaji mitihani wote wangekuwa ni waislam, bado waislam mngeendelea kulalama kuna mfumo kristo. Mkristo hana sababu ya kulalamikia NECTA ukizingatia mitihani ipo pale karibu mwaka mzima baada ya kusahihishwa...kama umeonewa ni suala la kuappeal tu...
by Ritz, Hizo kauli zenu tumeisha wazoea kwa hiyo wewe ulitaka Waislam tukae kimya kwa dhulma tunazofanyiwa
 
Huyu Mohamed said lazima nipange siku ya kula naye kitimoto hapa chang'ombe......akipata finyango saba tu atakuwa na akili za kumtosha kabisa na ataachana na upuuzi anaoleta nchini.....nina wasiwasi sio raia pia
hizo ndio akili zao kina Nguruvi3,Mag3,Jokakuu na Mzee Mfia dini.. Sisi tunawapuuza tuh..
 
Katika madai ya baadhi ya waislam ni kuonewa.
Uonevu huo ulikuwa pamoja na kufukuzwa kwa masheikh, kuweka ndani na kunyanyaswa kutokana na imani yao.
Jingine ni kuvunjwa kwa taasisi za kwaendeleza kama EAMWS, ikiwa ni pamoja na kuzuiwa kujiunga na mashirika ya kimataifa.

Wakati hayo yakiendelea wenzao wakristo wameendelea kuwa na fursa.

Hawa World Muslim League (WML) nia yao ilikuwa ni kutoa misaada kwa waislam katika mambo kadha wa kadha ikiwa ni pamoja na elimu na afya.

Kwa muda waliokuwa hapa nchini,ilikuwa taasisi ya watu wachache wakuchumia tumbo na mmojawapo ni huyu Rukara.
Mohamed anajua hilo ndio maana anakwepa kuliongea.

Hakuna hata VETA iliyoachwa na WML sasa leo tunaambiwa EAMWS ilitaka kujenga chuo kikuu wakadhaulumiwa!!
Madai kuwa wamasheikh wananyanyaswa si kweli kwasababu sheikh Rukara akiwa mrundi na raia wa kigeni alikuwa anafanya harakati za kisiasa ndani ya misikiti.

Sheikh huyo huyo alikuwa na passport ya kusafiria ya Tanzania.
Sasa leo tunaposikia eti kuna mfumokristo, ni jambo la ajabu sana.
Mfumo upi huo uliomuacha Rukara akaendesha siasa akiwa kiongozi wa dini tena nje ya nchi yake?
Hivi rais mwenye akili timamu atasita kumweka Rumande mtu kama huyu!

Mtu huyo anamiliki nyumba na viwanja kama Mtanzania mwingine kwa kutumia hati chafu ya utanzania aliyopewa na watu walioko madarakani ambao wengi ni wa mfumokristo! Angalieni confusion hapa!
Hivi hili dudu mfumokristo lipo kweli au ni njozi tu za ''nabii'' wa zama zetu.

Funzo moja ambalo waislam lazima walielewe na hili tunaeleza bila kusita, haya mashirika mnayoambiwa yamezuiwa hilo halipo. Kuna mashirika ya kimataifa ya taasisi za kiislam yanafanya kazi nchi.

Msizingatie aina hii ya ghilba na upuuzi.Msidanganywe kuwa mashirika hayo yapo kwa ajili yenu, WML wamekuja hadi wameondoka kuna waislam hajui hata uwepo wa shirika hilo. Ni ulaji tu.

Baada ya ulaji huo atatokea mtu na kusema eti kuna chuo cha ufundi kilikuwa kijengwe Kibaha serikali ikakataa.
Sasa waislam wenye mapenzi mema na maono wajiulize, kama walikuwa hawajui WML uwepo wake, pesa zilivyofadhili vita na kufungwa kwa shirika kutokana na ''uhalifu wa ndani '' nani akubali kuwa uhalifu huo ulikoma na WML na wala si wa ujenzi wa chuo Kibaha.

Ikifika hapa huwa nawaasa watu waangalie kiini cha tatizo kwanza.
Hizi tambo za mfumokristo ni kutaka kuwapoteza na kuwapumbaza watu.
Tatizo lipo ndani ya society kwa kuanzia.
Zinatafutwa sababu za kutuhumu mfumo bila sababu ili kujaza watu jazba. WML ni ya waislam na imehujumiwa na waislam wenyewe. Hili halisemwi ndio maana Mohamed anakimbia sana hii hoja. Kuna uchafu mwingi sana anaujua ukiwekwa wazi hoja zake zitabomoka zenyewe

Tunapata majibu kuwa kuna mfumo nje ya ule mfumokristo uliowezesha waaasi wa Burundi kupata passport, kuishi na kufanya kazi ndani ya misikiti na kuhujumu hata shirika la dini.

Kama tutakubali kuwa kuna mfumo mwingine basi tukubali kwanza hakuna mfumo wowote na hivyo hili dudu mfumokristo ni sehemu ya kuficha uchafu unaofanywa na waislam wenyewe.

Mohamed hawezi kulezea kuhusu WML kwa kutambua ule ulikuwa mradi na ulifisadiwa na waislam wenye na hakukuwa na kikwazo cha WML kufanya kazi.

Nadhani hata wale wabishi tu watakubaliana nami kuwa kina Mohamed ni tatizo kabla ya mfumokristo.
Leo anaficha madhambi na udhalim wa WML huku akinyooshea kidole watu wasiohusika.
Huyu ndiye akueleze kitu kuhusu EAMWS au Chuo cha Kibaha ukiingize akilini, atakuwa amekudharau sana!

cc. Ritz, Wickama, Big show, Gombesugu, JokaKuu, Mag3, Jasusi, Mwnakijiji, Platoozom

Hii nchi ndio maana haina maendeleo na wananchi waliowengi wanaishi kwa kipato cha chini ya dola 1 kwa siku!! yaani Waafrika wenzetu wenye uwezo wanaotaka kuwekeza ktk ujenzi wa Majumba ili pande mbili zinufaike, hakuna sheria inayomlinda au kumrahisishia uwekezaji!

Nenda Kenya hasa Nairobi na Mombasa kaangalie Waafrika toka nchi za Rwanda, Somalia, UAE, Ulaya nk walivyowekeza ktk majengo na kuzalisha ajira! njoo huku Egypt hali ni kama hiyo, Wageni wanapewa sheria na kuruhusiwa kununua au kujenga majumba na Wananchi wengi pamoja na Wawekezaji wananufaika na miradi hiyo, achilia mbali Serikali kunufaika na kodi!

Tanzania akijitokeza mtu kama huyo Rukara kwa kuwekeza wenzetu watampiga vita sababu ni Muislamu! ndio maana tunasema Mfumo Kristo unatandika kila nyanja! iwe Elimu, Uchumi nk! mbona Wazungu wanamiliki ardhi nyingi tu Tz? nenda huko Kibosho, Marangu na Old Moshi utakuta Wajerumani wamemilikishwa Ardhi kiduchu kwa kuwekeza kilimo cha Kahawa ktk mashamba yaliyoko karibu na Hoteli ya Kilimankyaro! Wao ni watakatifu! lakini sikiza kelele za Loliondo, WML, African Muslim Agency, na mashirika mengi ya Kiislamu yaliyokuja kuwekeza ktk Elimu vita wanayopigana nayo na Mfumo Kristo unatisha? wengi wamefunga virago baada ya kunasibishwa na Ugaidi!

Haya mashirika yakiondoka utasikia kesho Kiongozi wa Serikali au baadhi ya WanaJF wakiwasuta Waislamu hawana mwamko wa elimu na inabidi wapunguze kukaa vibarazani na kuacha kunywa kahawa na kashata!
 
gombesugu hizi porojo sasa unaturusha stimu-unaonaje ukifungua thread mbadala-sisi tukaendelea kupata ilm ya Mohamed Said kuwekwa kati.

"Nimefurahika na ile safari yako. Napajua uzuri pale Blantyre Lanarkshire. Nastaajabu kuwa Serikali hapo Tanzania ati mpaka leo bado inamuenzi "mvumbuzi" "Dr" Livingstone na kumwachia aendelee kujinasibu na moja ya mitaa yetu maarufu hapo Mzizima!?
Kuna "tambara" chafu mno limemfumka (new evidences has emerged/ been extracted) pale Royal Geographical Society kuhusu unyama ,udhalim,umaluuni,uzandiki na vitimbi vingi mno alofanza huyo swahib yako "Dr" Livingstone!ahaha!!"
 
Last edited by a moderator:
Ritz,

..actually hatuna haja ya kwenda mbali kote huko.

..hapahapa Tanzania, kwanini Muislamu wa Machame anazingatia elimu wakati wa Mkuranga hathamini elimu?

CC: Kadogoo, Nguruvi3

JOKAKUU:
Hakuna Muislamu asiezingatia elimu! huna tafiti yoyote uliyoifanya ila ni hisia zako tu! kama dai lako la Waislamu wa Machame wanazingatia elimu kuliko wenzao wa pwani toa ushahidi hapa kuonesha ni wangapi wenye nyadhifa Serikalini au wamepata ajira ktk idara mbalimbali za Serikali, Mashirika ya umma nk!

Mimi Mama angu ni Mmachame na Machame naijua vema! Waislamu wa Machame kiboko cha Mfumo kristo hakikuwaacha nyuma! baadhi yao wameokolewa kwa kurithi vihamba na mashamba yenye Migomba ya ndizi, matunda na kahawa! na hulka waliyonayo ya biashara pia imesaidia kuinua kidogo hali yao ya maisha kwa baadhi yao tu wala sio wote!
Sasa ukija na taarifa kama hiyo isiyofanyiwa utafiti utakuwa bado hujasaidia jamii yetu kuepuka madhara ya mfumo kristo!
 
hizo ndio akili zao kina Nguruvi3,Mag3,Jokakuu na Mzee Mfia dini.. Sisi tunawapuuza tuh..

kitimoto inafanya akili e charge overtime,unafikiri hizo akili za MS,kuweza kuwachota zimetoka wapi??-lazima huko mission schools kapitia sana hii kitu
 
Ritz,

..binafsi siamini madai kwamba kuna hujuma ili maeneo fulani/dini fulani/kabila fulani wakose elimu au huduma nyingine za kijamii toka kwa serikali yao.

..huko ambako unaona hakuna mwamko wa elimu, serikali, ngo, etc zilipaswa kwanza kuangalia tatizo la ubora wa elimu inayotolewa. wananchi wanapaswa kujionea wenyewe kwamba elimu "inalipa." baada ya hapo waangalie mila na desturi za eneo husika kama zinawa-discourage wanafunzi kuendelea na masomo. halafu wachunguze kipato cha wananchi wa eneo hilo.

..kwa mfano kama maeneo ya Pwani ambako kuna utoro, serikali ingeangalia uwezekano wa kuanzisha shule za bweni, na ziwe adequately funded and equipped. utaratibu huo unafanyika kwa jamii za wafugaji wanaohamahama. naona hapa kwa mara ya kwanza tunakubaliana na Kadogoo!!

..binafsi nampongeza Mama Salma Kikwete kwa kuanzisha shule ya bweni kijijini Nyamisati. Sasa mumewe[JK] angepunguza safari zake, halafu kukawa na waziri anayekereketwa na wananchi wa pwani kukosa elimu, tungeweza kujenga shule nyingi kutokana na fedha ambazo tunge-save.

NB:

..waziri Prof.Malima badala ya kuleta yale majungu yake ya namba za mtihani, bora angepigania kuanzishwa kwa shule za bweni ili kudhibiti utoro.

cc: Nguruvi3, @Wickman, Mag3, Ami, gombesugu

Jokakuu, Shukran sana kwa mawazo mazuri. Ni hivi, kuna approach mbili katika kujiokoa na shida zako. Approach moja ni kukaa na kuyaona matatizo yako unasababishiwa na watu wengine tuuuuuuuuu (excessive externalization). Uwezekano ni kuwa utaichukia jamii na unaweza hata kudhuru wanajamii wenzio ukidhani unalipa kisasi. Ya pili ni pale ukajidhani wewe ndiye kiini cha kila tatizoooooo na failures (matokeo yake-- depression au ukajidhuru wewe). Nafuu iko somewhere katikati. Angalau utajipima na kujua ulijikwaa wapi na waliokukwaza ni kwanini. Ni muhimu sana hata nyumbani tukaishi hivyo. Lakini endless baragumu za lawama na kuwatafuta wengine uchawi/makosa kwa madhila yako (excessive ridiculing)kwanza ni madhambi kwa vile kuna mahali utazidisha kuwahisi watu (hata wasio hatia)vibaya na lawama nyingi hazimwendelezi mtoaji. Pia humpunguzia kuona wema, fursa na hata ubora wa waliomzunguka; Soma kipande hiki cha Kurani tukufu;

[Hujurat 49:11] O People who Believe! Men must not ridicule other men for it could be that the ridiculed are better than the mockers, nor must the women ridicule other women for the ridiculed women may be better than the mockers; and do not insult one another, nor assign evil nicknames; how base it is to be called a sinner after being a Muslim! And whoever does not repent - then it is they who are unjust.

[Hujurat 49:12] O People who Believe! Avoid excessive assumptions; indeed assumption sometimes becomes a sin, and do not seek faults, and do not slander one another; would any one among you like to eat the flesh of his dead brother? So you will hate that! And fear Allah; indeed Allah is Most Acceptor of Repentance, Most Merciful.

Kwa hiyo mwenzangu ukimwona ustadh kabobea lawama na kutaja makosa au aibu tuuuuu za wengine bila kipimo tia shaka na dhamira yake.
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum! Tafadhali nijaalia fursa kukuletea bayana yangu hii nyepesi. Niwie radhi maana awali nalisema ningepumzika lakini kuona yale malumbano ya yule "Bibi wa baibui", mambo ya chapati na lile kabati la senti Wallahi nimeshindwa kustahamili!ahaha!! Waswahili hunena; "kisebusebu na kiroho papo".

Naona kila ukiwaambia Jamaa hapo huijui hiyo habari ya huyo "Bibi wa baibui",unalazimishwa na kufanziwa inadi ya kuwa shurti utoe jibu. Ashakum si matusi; mathalan ukinena kuwa yule "Bibi wa baibui" alipata fadhila ile sababu alikuwa ni kimada wa Bwana Nyerere!? Si ndo yatakua yaleyale kwamba una chuki na Mwalimu,unamkashifu na kumfanyia tashtit. "Funika kombe mwanaharamu apite"! Mola takujaalia usije ukangia mtego wao kwa kujibu usolijua au uso hakika nalo.

Nimefurahika na ile safari yako. Napajua uzuri pale Blantyre Lanarkshire. Nastaajabu kuwa Serikali hapo Tanzania ati mpaka leo bado inamuenzi "mvumbuzi" "Dr" Livingstone na kumwachia aendelee kujinasibu na moja ya mitaa yetu maarufu hapo Mzizima!?
Kuna "tambara" chafu mno limemfumka (new evidences has emerged/ been extracted) pale Royal Geographical Society kuhusu unyama ,udhalim,umaluuni,uzandiki na vitimbi vingi mno alofanza huyo swahib yako "Dr" Livingstone!ahaha!!

Nimesikitika mno kuyasikia hayo japo sikushangaa. Aliwatendea mengi machafu wa -Afrika katika hizo safari zake za "uvumbuzi". Nina mawasilano pale na "jamaa" na tunafuatilia hili kwa makini,"mpaka kieleweke"!ahaha!! (niwie radhi maana humu JF nimejifunza mengi na hasa lugha mpya!)ahaha!!
Nalipatwa na "Duaa Al Mustaajaba" niliposikia at hata Mwai Kibaki nae kapewa jina la mtaa/barabara maarufu hapo Mzizima!? Hivi hiyo nchi ina wenyewe kweli!? Ama kwa hakika kuna mengi ndipo, Wazee wetu walinena; "kuwa uyaone"!

Nimefurahi habari za yule "jamaa wa Lumumba Street" mwenye picha kadhaa,Insha Allah nikijaaliwa kufika italazim "tukamwamkue". Nina group photograph ya BBC Swahili enzi zile ikinguruma kikweli,nina hakika itakuwa wengi wao unawafahamu. Mfano Zena Bakhressa na nafikiri Mzee Bin Dallas!?
Nakumbuka mno enzi za Madrasa maarufu kama:Kwa maalim Sakina, Shariff AbdilQadir Juneid,Al baadawy na Al madrasat Al Hassanain!

Ahsanta na nakutakia kila la heri kwa shughuli nzito ulonayo.

CC: Ritz,Ami,Boko Haramu,Mfumo,Kadogoo,Barubaru,The Big Show,Wickama,JokaKuu,Jasusi,Nguruvi3,Mag3

Gombesugu,
Insha Allah tutakutana.

Kila nikusomapo nafarajika sana.
 
Jokakuu, Shukran sana kwa mawazo mazuri. Ni hivi, kuna approach mbili katika kujiokoa na shida zako. Approach moja ni kukaa na kuyaona matatizo yako unasababishiwa na watu wengine tuuuuuuuuu (excessive externalization). Uwezekano ni kuwa utaichukia jamii na unaweza hata kudhuru wanajamii wenzio ukidhani unalipa kisasi. Ya pili ni pale ukajidhani wewe ndiye kiini cha kila tatizoooooo na failures (matokeo yake-- depression au ukajidhuru wewe). Nafuu iko somewhere katikati. Angalau utajipima na kujua ulijikwaa wapi na waliokukwaza ni kwanini. Ni muhimu sana hata nyumbani tukaishi hivyo. Lakini endless baragumu za lawama na kuwatafuta wengine uchawi/makosa kwa madhila yako (excessive ridiculing)kwanza ni madhambi kwa vile kuna mahali utazidisha kuwahisi watu (hata wasio hatia)vibaya na lawama nyingi hazimwendelezi mtoaji. Pia humpunguzia kuona wema, fursa na hata ubora wa waliomzunguka; Soma kipande hiki cha Kurani tukufu;

[Hujurat 49:11] O People who Believe! Men must not ridicule other men for it could be that the ridiculed are better than the mockers, nor must the women ridicule other women for the ridiculed women may be better than the mockers; and do not insult one another, nor assign evil nicknames; how base it is to be called a sinner after being a Muslim! And whoever does not repent - then it is they who are unjust.

[Hujurat 49:12] O People who Believe! Avoid excessive assumptions; indeed assumption sometimes becomes a sin, and do not seek faults, and do not slander one another; would any one among you like to eat the flesh of his dead brother? So you will hate that! And fear Allah; indeed Allah is Most Acceptor of Repentance, Most Merciful.

Kwa hiyo mwenzangu ukimwona ustadh kabobea lawama na kutaja makosa au aibu tuuuuu za wengine bila kipimo tia shaka na dhamira yake.

Wickama,
Hakika Allah amesema kweli.
 
Hapana siyo kweli kuwa nakubali darsa la Mohamed Said peke yake, kama utakumbuka majibu ya Mkapa dhidi ya Waislam alisema matatizo ya Waislam yametokana na Ukoloni ni magumu kutatulika.

Historia ya Berlin conference and scramble and partion of Africa (1884-86) na Tanganyika chini ua Wajerumani na Waingereza ndio hiyo nimeshakupa. Kama hukubali soma vitabu kuhusu Tanganyika chini ya hao Wakoloni wawili.
 
[FONT=Arial, sans-serif]Custodial history:
Immediate source of acquisition: Deposited with the archive of the Conference of British Missionary Societies in 1977.
CONTENT AND STRUCTURE
Scope and content/abstract: Joint archive, largely dating from 1910-1945, of the International Missionary Council and Conference of British Missionary Societies, relating to co-operative missionary endeavours in Africa (chiefly British Africa, but also including areas under Belgian, Portuguese and French control).
General files on Africa include records on missionary work and related issues including land rights, colonial administration, diet, co-operative organizations, customs including polygamy, initiation, and witchcraft, medical work, and alcohol traffic; the IMC and its relation to African mission councils; International Institute of African Languages and Cultures; population and health in Africa; Africa Education Group, relating to educational policy, provision and finance, including women's education, training of educational missionaries, African marriage customs and their relation to Christian practice, adult education, and missionary work in rural areas; High Leigh (Hoddesdon, Hertfordshire) Conference (1924) on educational missionary work in Africa; Le Zoute Conference (1926) on missionary work in Africa; educational policy; Advisory Committee on Education in the Colonies, relating to Colonial Office policy (including British colonies outside Africa), the topics including women's education, use of the vernacular and bilingualism, teacher training, language teaching, social and economic development, finance, indigenous art, biology, superannuation, English examinations, and higher education teaching materials, with sections relating to particular African colonies.
Files on East Africa include general records on British colonial policy and administration, agriculture, and Swahili; and education in East Africa. Files on Kenya include records on the Kenya Missionary Council and Christian Council of Kenya; the political situation and land question; indigenous labour and slavery; Indian population; and educational policy, practice, finance, the conscience clause in religious education, women's education, and educational advisor; and correspondence on missionary work and related issues. Files on Tanganyika include records on the Tanganyika Missionary Council, relations between different missionary societies, indigenous life, colonial administration, German and other missions; Tanganyika Mission Property Trust; and education in Tanganyika. Files on Uganda include records on land tenure, education, including women's education, and Swahili; and missionary societies in Ruanda-Urundi. Files on Abyssinia comprise records on missionary work and religious freedom, including the Italian occupation.
Files on West Africa include general records on education, including the Phelps Stokes Commission. Files on the Gold Coast include records on education, colonial administration, the Basel Mission, the Bremen Mission and other missionary societies, the Christian Council of the Gold Coast, medical and educational missionary work. Files on Sierra Leone include records on education. Files on Nigeria include records on the Christian Council of Nigeria and other Christian and missionary organisations and on education. Files on the Cameroons include records on various missionary societies. Files on French Africa include records on education.
Files on French West & Equatorial Africa include records on missionary activity and education. Files on the Congo include records on the Congo Protestant Council, missionary activity and conferences, religious freedom and interdenominational relations including Roman Catholicism; Belgian government policy regarding missions and the Brussels Bureau representing Belgian missions; education; and missionary work of various nations.
Files on Portuguese Africa include records on missionary work, including medical work, and interdenominational relations; religious liberty, Portuguese government policy, and the Lisbon Centre for liaison. Files on Portuguese West Africa include records on the Angola Evangelical Alliance, Portuguese colonial administration, and various missionary societies. Files on Portuguese East Africa include records on the Portuguese East Africa Evangelical Missionary Association, work of various missionary societies, religious liberty and Portuguese government policy.
Files on Central Africa and Nyasaland include records on colonial administration, work of missionary societies, land tenure, indigenous labour and slavery, and on colonial educational policy in Nyasaland. Files on Northern Rhodesia include records on the General Missionary Conference of Northern Rhodesia, colonial administration, mining, and education; and on the United Missions in the Copperbelt, including its foundation, policy, annual reports, finance, miners' unrest, property, education policy, women's work, social welfare, literature and literacy, British Committee, correspondence with other societies, reorganisation, Team/Field Committee, and personnel. Files on Southern Rhodesia include records on the South Rhodesia Missionary Conference, indigenous affairs including land tenure, education, indigenous preachers, and colonial administration. Files on South Africa include records on the General Missionary Conference of South Africa and the Christian Council of South Africa, missionary work, indigenous affairs including land tenure, interethnic relations, and education. Files on South and South West Africa includes records on German missions and indigenous affairs. Files on the protectorates of Swaziland, Basutoland and Bechuanaland include records on education and the transfer of the protectorates to South Africa.
[/FONT]

Duh,mkuu, sijaelewa kabisa connection ya quote yako na suala la Berlin Conference and the WW2 and the aftermath of Tanganyika before independence
 
Historia ya Berlin conference and scramble and partion of Africa (1884-86) na Tanganyika chini ua Wajerumani na Waingereza ndio hiyo nimeshakupa. Kama hukubali soma vitabu kuhusu Tanganyika chini ya hao Wakoloni wawili.

Umenipa historia ipi mkuu kuhusu mkutano wa Berlin hakuna nisichokijua au unataka nishushe mipini nimekuwekea picha hujue kwamba naifahamu vizuri.
 
Issue sii picha Ritz, tumetofautiana kwenye historia ya Berlin na mgawanyo wa Makoloni na Tanganyika chini ya wakoloni wa Kijerumani na Kiingereza; lini Wajerumani walitawala Tanganyika, na lini Waingereza walitawala Tanganyika.
 
Back
Top Bottom