Kwani Ahmed Salman Rushdie kapata tuzo ngapi nzito kabisa kwa ile "fiction" yake ya "Satanic Verses"?Kijana unatisha!
Fikra za mtu kama wewe unadhani zitaingia kwenye kitabu ambacho ni authority kama cha mzee wetu?
Mtu unayesema kuwa threads ni sawa sawa na kitabu?
Mtu ambaye hujui the significance of a work of academia being published?
Mtu ambaye hutambui the weight of Cambridge, Oxford na Harvard kukipitisha?
Kama utajaaliwa kufanya research na utabeza research yako from threads za JF, mdogo wangu utafeli vibaya na utachekwa
Huyo Mzee Mohamed Said, kitu muhimu kwake ni kuwa kitabu chake kimekubaliwa na kusomwa USA na UK tu! Lakini ajabu analalamika kuwa UDsm Wahadhiri hawakubali kufanyiwa marejo, na kwa kuwa Wahadhiri hao wamekataa kitabu chake; basi ni Wakristo.
Ajabu ni kuwa hao wa UK na US ambako kinatumika kwenye vyuo vyao, hawataji kwa dini zao!
Kauli zako nyingine zinafanana na matusi lakini usipate shida. Mishale umerushiwa mingi mno humu JF ingawa mingi unaikwepa. Nakusifu jinsi unavyoweza kujisimamia mwenyewe.Nakuomba radhi.
Angalia unavyojiharibia muruwa wako.
Ilitosha kunambia kuwa siyo mimi.
Mimi nikakutaka radhi.
Hapakuwa na haja ya kuongeza hayo mengine.
Huo ni ujuvi.
Na ujuvi si sifa ya mtoto aliyefunzwa adabu na mama yake.
Usiwatukanishe wazee wako kuwa hawakukufunza adabu.
Adabu, tabia njema ni silaha utapendwa popote.
Kwani Ahmed Salman Rushdie kapata tuzo ngapi nzito kabisa kwa ile "fiction" yake ya "Satanic Verses"?
Nadhani wewe ndio kijana zaidi. Nimetoa mfano tu.unaruka mada sasa. Tunazungumzia kitabu cha mzee wetu wewe unarukia Rushdie. Nusu karne and you cannot keep your eye on the ball!
Hebu twende kidogo kidogo,Kuna haja gani ya vitisho.
Weka ushahidi hapana tabu.
... Hivi mwenzetu hauna aibu? Tuonyeshe basi hiyo dhulma wanayofanyiwa waislam ...
Hebu twende kidogo kidogo,
Mohamed, Ndani ya kitabu chako kuna maandishi yasemayo '' wahadhiri wa kikristo katika chuo kikuu cha UDSM wamepiga marufuku kitabu chako kistumike..
Una jina la mhadhiri mmoja tu aliyetoa kauli hiyo? Na kama yupo, je, ni kauli yake, kanisa au chuo kikuu.
Je, si kweli kuwa umetunga hili jambo na kwamba hukufanya research? Sina haja unipe jina la ''source'' ninachotaka utueleze kama yupomhadhiri kwa jina ABCD na ametoa tamko hilo kama yeye, kanisa au chuo kikuuBwana Nguruvi,
Ikiwa nitakupa majina na hao walonipa taarifa hizi nishawaponza.
Bwana Nguruvi,
Ikiwa nitakupa majina na hao walonipa taarifa hizi nishawaponza.
Hivi nguruvi3 na bigirita, wanenu wakipata admissions za kusomea african studies UDSM na Harvard au Oxbridge, mtawapeleka wapi? kwa mitazamo yenu
Naomba majibu
Rather uncalled for.
Anyway, nitawapeleka huko kuliko na mfumo Kristo original.
Wewe utawapeleka wapi?
Bw Kichwa ngumu,Hivi nguruvi3 na bigirita, wanenu wakipata admissions za kusomea african studies UDSM na Harvard au Oxbridge, mtawapeleka wapi? kwa mitazamo yenu
Naomba majibu
Mzee Said, swali hilo hapo vipi?Je, si kweli kuwa umetunga hili jambo na kwamba hukufanya research? Sina haja unipe jina la ''source'' ninachotaka utueleze kama yupomhadhiri kwa jina ABCD na ametoa tamko hilo kama yeye, kanisa au chuo kikuu
Bw Kichwa ngumu,
Mimi nadhani unataka kuvuruga mwenendo wa hoja. Nakushauri uungane na MS kujibu hoja.
Haya mambo ya watoto watasoma wapi hayahusiani na swali
Mzee Said, swali hilo hapo vipi?
Asante sana kwakutambua mchango wetu katika kuiangaza historia ya nchi yetuKwa hakika ninajifunza mambo mengi sana kupitia mtanange huu wa historia ya wazee wa Gerezani kariakoo.
Shukurani za pekee ziwafikie Nguruvi3, Mzee mwanakijiji, Yericko Nyerere na WildCard.
Maana mtu au watu wowote wanaofatilia mtanange huu hapa bila ushabiki ni lazima atakuwa ameamka kifikra
na kuachana na propaganda za mzee wetu MS kwa huu mchango wenu uliosheheni hoja za maana.