Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nanren,

Tuingie katika darsa na hapa chini nitakuwekea vitu nilivyoandika katika kitabu changu vikuongoze katika kulijua somo hili vyema Insha Allah:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"] In 1985, President Nyerere, while conferring an honorary degree on Basil Davidson, challenged the University of Dar es Salaamto write a correct history of Tanzania. In 1988, while commemorating thirty years of the Tabora Declaration, Nyerere in reference to early TANU members and as a tribute to them Nyerere asked the Party to take stock of those who joined TANU between 1954 and 1958. Nyerere said: That was the most trying period in the history of our Party and few people were courageous enough to join and work for the Party. [1] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"] In supporting Nyerere for his recent call and taking up the challenge to record a correct history which he had for the first advanced in 1974 and again in 1985 the present author published an article in African Events [2] in which Abdulwahid and other forgotten TANU pioneers received prominence. In that article the author did what no other scholar had done before. He mentioned the fact that Muslims were in the forefront during the struggle for independence. It was at that time taboo to associate Islam or Muslims with the independence movement. The author received sharp rebuke from a Party historian, Dr Mayanja Kiwanuka, a leading member of the panel which wrote the Party book Historia ya Chama Cha TANU 1954-1977, the official history of the Party. The Party historian had this to say: [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"] (the)... article...argues that although Muslims in Tanzania played a crucial role in the struggle for independence, there is a deliberate effort to downplay their contribution. Consequently, the entire article contains half-baked fairy tales to sustain his argument, more so by mentioning names of several TANU stalwarts who happened to be Muslims...The greatness of TANU, indeed that of its founder-leader, Mwalimu Nyerere, is that, in so short a time since its inception, it managed to weave together into a formidable, relatively homogenous nationalist movement, a people so ethnically, culturally and religiously diverse... Saids major goal is to sow seeds of discord, and at any price, truth to him is a matter to be ignored. [3] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"] This was the reaction from Kiwanuka, who supervised the research on the official history of the party, reducing a research article to what he called a fairy tale. The author was also accused of lying. Kiwanuka, not deviating from the Party stand, emphasised the greatness of the party and its founder-leader. Kiwanuka was at that time the Assistant Secretary in the Department of Political Propaganda and Mass Mobilisation of the Chama Cha Mapinduzi. Kiwanuka had as an undergraduate student at University of Dar es Salaam, written on post-independence Muslim-Christian relations. [4] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] Daily News, 6 th October, 1988.
[2] See M. Said, In Praise of Ancestors Africa Events, London, March/April 1988,pp. 37-41.
[3] See Africa Events,May, 1988, letter by Dr K. Mayanja Kiwanuka.
[4] K. Mayanja Kiwanuka, ThePolitics of Islam in Bukoba District (1973), B.A. Thesis, University of Dares Salaam.



Nanren,

Tusonge mbele na darsa letu:

Mtafute Abubakar Olutu hapa chini ambae aliandika kitabu chakeHistoria ya TANU Kilimanjaro Publiations 1980:
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"] The first serious attempt to record the history of TANU was done by none other than Abdulwahid himself. When TANU captured state power from the British in 1961 and was in the first phase of consolidating itself as a mass party, it is said that Abdulwahid was asked by Julius Nyerere, then Prime Minister of the country, to record the history of the struggle of the Africans of Tanganyika against the British. This, in essence, was to be the history of TANU. To assist him in the research was the late Dr Wilbert Kleruu, recently returned from studies in the United States. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"] Abdulwahid occupied his former office at the TANU headquarters; the one which he had occupied in the 1950s when he was TAA President. Abdulwahids personal files, dairies and his late fathers papers dating back to the days of the formation of African Association in 1929 were made available to researchers for the first time as primary sources of information. Abdulwahids version, analysis, presentation of facts and interpretation of forces at play which led to the rise of nationalism were, however, not acceptable to the TANU leadership. We shall see in the following pages reasons why Abdulwahids version of history could not be allowed to flourish. Abdulwahid abandoned the assignment after being convinced that the new leadership in TANU was not really interested in documenting an authenticated history of Tanganyika but was interested in merely creating a personality cult for President Nyerere. Dr Kleruu went ahead with the research and completed the work. This manuscript remains unpublished, at least in its original form. The manuscript disappeared from Party archives and was published for the first time in 1971 under a different name after changes had been done by the author on the original manuscript to prevent detection by the Party. After the book was published, the Party silently tried to stop the second edition of the book from being published but failed. The work has now been published several times. The approach, style and analysis of the subject is not very much different from the book on TANU published in 1981 by the Party ideological college. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"] However there is an anomaly in the book which the author overlooked. The author, so to speak, writing in the first person, states that he wrote the book in 1964. In that particular passage the author provides information from which by reading between the lines the reader gets an impression that the author is familiar and intimate with the Party members mentioned. But the author, in providing the date of his work, forgot that in 1964 he was a young boy in his teens and could not have known those people in 1950s nor have the intellect to undertake such an academic pursuit. The question is now, who is the real author of that passage? With the information now known, this could not even be the pen of Dr Kleruu writing that passage because he, like the author, was never part of that period. Only one person could have such information and mastery of issues of those times. This could only be Abdulwahid writing in 1964. The author had carelessly copied a passage from Abdulwahids notes preserved in the TANU archives. And this was not done in 1964 either, but much later after his death. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"] From that time Abdulwahid avoided involving himself in any discussion about the subject, although before his death he accepted an invitation and talked to the Historical Association of Tanzania (HAT). It has not been possible to get information on the topic presented for discussion, but it is said that one of the questions from the audience to him was whether it was not true that, Julius Nyerere had turned round the Party beginning in 1954. To this Abdulwahid gave an analogy of the astronaut John Glenn, the first American to go into outer space. Abdulwahid threw the question back to his audience and asked, Where should the credit go, to the American scientists who designed and built the rocket, or to John Glenn who piloted it?

Ikiwa hukuelewa darsa hii nifahamishe nikujuvye zaidi.
Ama kuhusu NRA, Prof. Malima, Waislam, CUF fungua uzi Insha Allah nitakuja kutoa darsa.

Publishers wanagombana na mie wanasema watakuwa hawauzi vitabu vyangu
vijavyo kwa kuwa natoa habari bure.

Jibu nimewaaambia hii ni hidaya kanipa Allah na ni amana kwa hiyo wenye
amana yao wakija kuitaka lawajibika kuwapa.

Allah ndiye mpaji wasahau hizo fedha kea muda.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Nanren,
Amekuwekea maneno mdomoni kuhusu Ababakary Oluto.

Nafyonza Ilm kisha naenda zangu tarudi tena.
 
Last edited by a moderator:
Nanren,
Amekuwekea maneno mdomoni kuhusu Ababakary Oluto.

Nafyonza Ilm kisha naenda zangu tarudi tena.

Spike Lee,
Hawana moja wanalojua.

Uko wapi wewe mtu.

Nilifika Harlem 125 Street hapo ndipo Malcolm alipokuwa anatamba wakati wake.
Nikasimama na kujirudisha ilikuwaje pale katika 1960s wakati wa Black Muslim..

Nilikuwa nishaiona movie ulotengeneza ya Malcolm X na nilipofikia New York ndiyo
buku jipya la Malcolm X linatoka naklilinunua Barnes and Blane bookshop kubwa
kabisa hukosi kitabu hapo na kama una wazimu wa kununua vitabu bora usiingie
humo utajifilisi!

Hawa jamaa hawana moja ni ubishi tu unawahangaisha.
 
Nanren,
Amekuwekea maneno mdomoni kuhusu Ababakary Oluto.

Nafyonza Ilm kisha naenda zangu tarudi tena.

Spike Lee,
Hawana moja wanalojua.

Uko wapi wewe mtu.

Nilifika Harlem 125 Street hapo ndipo Malcolm alipokuwa anatamba wakati wake.
Nikasimama na kujirudisha ilikuwaje pale katika 1960s wakati wa Black Muslim..

Nilikuwa nishaiona movie ulotengeneza ya Malcolm X na nilipofikia New York ndiyo
buku jipya la Malcolm X linatoka nakalilinunua Barnes and Blane bookshop kubwa
kabisa hukosi kitabu hapo na kama una wazimu wa kununua vitabu bora usiingie
humo utajifilisi!

Nikafika Apollo Theatre...

Nilipokuwa kijana nikipiga guitar nikimuiga Bobby Womack na Steve Cropper watu
wa soul music hao guitarist wakali... hapo Apollo ndiyo ulikuwa uwanja wao na James
Brown, Wilson Pickett, Aretha Franklin, Ottis Redding..

Aha kaka wakati umekwenda wapi.
1960s niko Dar nikikuwaza tu Marekani nikashukuru tu...

Hawa jamaa hawana moja ni ubishi tu unawahangaisha.
 
Nami naungana nawe al akhiy MS kuuliza tupeni harakati za Nyerere huko makerere kama alivyobainisha hapo juu?

Barubaru,
Inashangaza jinsi hii historia ya awali ya TANU hawa jamaa wanavyoing'ang'ania.

Nyerere alikuja kujulikana na uwezo wake kutabulikana baada ya kurudi kutoka
UNO 1955.

Wasilazimishe kutaka kubadili historia watajitaabisha bure na kujinyima raha na
usingizi.

Yapo makubwa alofanya Nyerere waulize niwape darsa.

Wanajua nini kilitendeka Mnyanjani Tanga hadi TANU ikaingia katika uchaguzi wa
1958 ingawa wengi wa wanachama walikuwa hawataki?

Hapo ndipo watakapouona ujanja na umakini wa Nyerere katika kuyaendea mambo.
Waulize niwape darsa hizi.

Vipi alikwenda na Abdu Sykes hadi ukingoni na akatumia ujanja na ''resources'' za
Abdu, Dossa, Rupia na akina Mshume 'to the full?"

Na zote katika hizo fedha hazikwenda kwake binafsi bali katika chama na harakati?

Waulize uadilifu wa Nyerere katika mambo ya fedha jinsi alivyokuwa analinda hazina
ya chama...

Baada ya uhuru kupatikana aliweza vipi kuikata kamba hii kwa ufanisi mkubwa?
 
Nguruvi3,

Acha kufurukuta na kulikimbia swali alokuuliza Sheikh Mohammed Said. Tafadhali mtendee haki Maalim wetu na sisi wanajamvi wenzio.
Mara nyingi humu naona kuna jamaa wengi ni mahodari wa aidha kukwepa maswali na kukaa kimya kabisa au kujibu hoja kiujanjaujanja na kutia mkanganyiko na mbwembwe nyingi. Au ndo wamerithi ule "ustaarabu na hikma za Mwalimu"!? Lakini nina hakika wewe si miongoni mwao.

Narejea tena; Sheikh Mohammed Said alikutafadhalisha ulieleze jamvi ni zipi harakati za Nyerere alipokua Makerere kiasi zinawezwa kuandikwa historia kuwa zilikua na taathira kwa wakoloni!?
Nafikiri mwanzoni ulidai pia kuwa Nyeyere alikua akifanyia mikutano yake ya siasa huko Pugu! Sasa kipi kilichomsababisha imlazim kuja huku mjini Mzizima,tena miles nyingi saana na dhiki ya miguu,na mpaka Wazee wetu wakamhurumia na kumjaalia baiskeli!?
Tunaambiwa Nyerere ndie aliekua msomi,mwenye maarifa na mahiri kushinda wale Wazee wetu woote. Na tunajua kwa yakini kuwa baadhi ya Wazee wetu walikua na uwezo mzuri wa senti kujikidhi kwa wakati huo,na baadhi yao walihodhi motokari.
Sasa kwanini isiwe wepesi wao kumfuata Nyerere huko kwenye hiyo "mikutano ya Pugu" kuliko yeye Nyerere kutaabika, tena kwa miguu kuja mpaka Mzizima kuwafuata "wauza samaki na vinyozi"!? Hii inaashiria kuwa huko Pugu hakukuwa na mikutano ya siasa. Mikutano yoote ya siasa Nyerere aliikuta ikifanyika Mzizima kwa Wazee wetu,nae kwa kubaini umuhimu wa wale Wazee wetu na nafasi,jitihada na umahiri wao katika harakati zile ndipo nae akajiunga nao ndugu zake na wazalendo wenzie nao wakampokea bila ya kinyongo na ustaarabu mkubwa pasi mfanowe!
Ahsanta kwa kunisikiza huo uchechefu wangu.

Gombesugu,
Ingewatosha tu wao kujiuliza iweje nyaraka za African Association
na TANU ziwe mikononi mwa Abdu Sykes na leo zitolewe hadharani?

Kisha miaka mingi baada ya Abdu kufariki?
 
Gombesugu;

Wenzetu ndivyo wanavyofikiri tuwahurumie! Rais Kikwete aliposhinda uchaguzi mwaka 2010 walimshambulia ile mbaya kwa kudai hakushinda kihalali na alimpora kura mgombea wao!

Mwaka 2007 pia hawakumwacha Kibaki kwa madai kama hayo ya uporaji wa kura! leo ni hawa wanashangilia Kibaki kupewa Jina ktk barabara zetu! Kibaki kupewa barabara ni sawa lakini mtaje Abdu Syke nae apewe barabara utasikia huo ni udini! lakini majina ya Nyerere road, Sokoine road, Msuya road, Mkapa road watafurahia!!!!!

Kadogoo,

Salaam. Nakufahamu ndugu yangu na Insha Allah Mola taajalia kila mmoja wetu miongoni mwetu anusurike na chuki na shari walonayo baadhi ya jamaa humu dhidi yetu. Mimi nilikua siyajui haya yoote na nimeshtuka mno!!
Kuna baadhi yao humu hayo malumbano ya kidini,fedheha na tashtit ndo jadi na asili zao na wanayaabudu mno. Haweshi kujihifadhi nyuma ya pazia la uzalendo na kujidai ati hawana dini/udini,wao ni ma-Atheists au ma-Animists. Lakini haina neno tutakwenda nao hivi hivi kiduchu kiduchu.

Sheikh Mohammed Said amekua kama vile "punching bag" lao,kila mwenye fedhuli na tashtit basi humtupia yeye. Ati hana facts,hatumii mantiki,methodology na wala hana ushahidi wa kisayansi na mengineyo kadhaa. Ama kwa hakika inadhihiri wao ndo dhalili wa hoja na wasokua na ustaarabu wala uungwana wa majadiliano ya kitaaluma au ki-Wanazuoni.

Infact,these are the same people quite often when asked question/s or clarification,would deploy every tactics at their disposal to avoid or even worse,their answer would create more intriguing questions. And still,they never tired of displaying much pretentiousness.

Naona kuna jamaa humu very open and very energetically,amefikia kibri cha ku-challenge na kutoa offer ya mshahara in US$ nyingi! Ati kuthibitisha kuwa waIslam hapo Tanzania hawajasoma ni watu duni na hatuna viwango vizuri vya elimu, ati tumtafutie au kumuonyesha muIslam yeyote hapo Tanzania ambae ni Zoologist (Mtaalamu wa kuchungulia tupu za wanyama!). Na kama tunae "huyo jamaa" ati aliahidi kumtafutia ajira/kibarua kwa haraka saana!?

Lakini nastaajabu alikua too selective kwenye kuonyesha huo "udhaifu wa elimu kwa waIslam". Mbona hakuuliza kama wapo waIslam hapo Tanzania ambao ni ma-Nuclear Scientists au taaluma nyingine anazohisi yeye kuwa mahiri zaidi!?
Lakini jamaa wa aina hizi ndo mahodari wa kujinasibisha na usomi,wanataaluma na ati wanajadili hoja kwa matinki na ustaarabu.

I know for fact that, that kind of narrow minded bigotry views aren't representation of many among my respectiful Christians,Atheists,Scientologists,Animists friends I know.

Ahsanta.

CC: Ritz
This is for you Al Akhiy, I know they couldn't match and handle anymore your outstanding knowledge,quality and quick way of thinking but above all your undisputed debating skills. Believe me,you are too hot for them!!

Sheikh Mohammed Said, tafadhali kipata wasaa tujuze japo kiduchu. Hivi Al Marhum Bw. AbdilWahid Sykes kifo chake kilisababishwa na nini!? Je aliugua au ilikua ghafla tu!? Je alikua na any known medical condition!? Alipofariki aliwahi kufanyiwa post-mortem!? Pia kipata fursa tudokeze ile habari ya "surveillance"!
 
Swadakta Al akhiy Mohamed Said.
maneno yako ni mujarab kabisa kwani wao wamekuwa ni wenye kutaka kuuficha ukweli ambao sasa umedhwihiri dhwahiri shahir.

Enzi za kuogopa au kufichwa na Bakwata zimepitwa na wakti, watu wapo huru kujadili na kusema bayana na hata Bakwata Challli hawawezi tena kuwasemea waislam japo ndio sikio kuu la Serikali kuhusu waislam.

Hongera kwa kusema Kweli na Allah atakulipa Kwalo. Kwani amekataza kuificha haki kwa batwil kwa thamani ndogo ya kidunia.

Barubaru
Amin Amin Amin.
 
Spike Lee,
Hawana moja wanalojua.

Uko wapi wewe mtu.

Nilifika Harlem 125 Street hapo ndipo Malcolm alipokuwa anatamba wakati wake.
Nikasimama na kujirudisha ilikuwaje pale katika 1960s wakati wa Black Muslim..

Nilikuwa nishaiona movie ulotengeneza ya Malcolm X na nilipofikia New York ndiyo
buku jipya la Malcolm X linatoka nakalilinunua Barnes and Blane bookshop kubwa
kabisa hukosi kitabu hapo na kama una wazimu wa kununua vitabu bora usiingie
humo utajifilisi!

Nikafika Apollo Theatre...

Nilipokuwa kijana nikipiga guitar nikimuiga Bobby Womack na Steve Cropper watu
wa soul music hao guitarist wakali... hapo Apollo ndiyo ulikuwa uwanja waoa na James
Brown.

Aha kaka wakati umekwenda wapi.
1960s niko Dar nikikuwaza tu Marekani nikashukuru tu...

Hawa jamaa hawana moja ni ubishi tu unawahangaisha.

Nipo mkubwa wangu umemtaja shaiba wangu wa Harlem El-Hajj Malik Shabazz.

Kitabu cha Alex Hailey kina uzushi mwingi kuhusu Malcom X.

Sasa hivi kuna Reinveting Malcom X.
 
Nipo mkubwa wangu umemtaja shaiba wangu wa Harlem El-Hajj Malik Shabazz.

Kitabu cha Alex Hailey kina uzushi mwingi kuhusu Malcom X.

Sasa hivi kuna Reinveting Malcom X.

Spike,
Tena mwandishi wa buku hilo kafa wiki kabla hajakizindua kitabu.
 
Barubaru ndugu yangu,
Kitabu hakitakiwi kisomwe kikiwa na prejudice au preconceived notion. Ni kwa msingi huo utalubaliana nami kuwa UDSM wanahaki ya kutofanyia review kitabu cha Mohamed. Tena Mo akaongopa kuwa hata reference hairuhusiwi.

Kama una kijana anayetakiwa kupata maarifa basi usimruhusu asome kitabu hiki ili kutompunguzia intellectual capacity ya analysis. Kitabu kina conclusion kabla ya maelezo!

Kwa msomaji anayepinga au anayeunga mkono kwasababu ya dini ni mjinga.
Mjanja ni yule anayesoma macho yakiwa maangavu na akili ikifanya kazi.

Haya ni maandishi ya mwanadamu aliyejifungia chumbani.
Narudia hayana uhusiano na Uislam kwa namna yoyote!

Msiwatishe watu, hakuna chembe ya Uislam katika maandishi haya. Uislam ni dini ya mwenyezi mungu iliyo na taratibu na misingi yake.Mbinu hizi mumezitumia sana kupata watu huko mitaani na kuwageuza misukule na matunge! Hii ni shiriki kubwa enyi mlioamini!!

Mkikubali kuwa hapa kuna Uislam, basi mtakuwa mnadhalilisha dini ya mwenyezi mungu. Mkikubali haya ni maneno ya waislam basi mnaudhalilisha umma wa waislam wa Tanzania. Tafadhali sana msilete shiriki !

Hivi kweli uwe mkristo au Mwislam unakubali kwa dhati (na wewe Baru baru ukiwemo) kuwa Tanzania ni mwanchama wa common wealth kwasababu ya mfumokristo! Kabisa unakubali hilo

Eti tuandike kitabu kupinga hilo! Phweeee! Real. Acheni msidhalilishe waislam bwana, wewe Baru baru ni role model sasa hivi mnatia wasi wasi jamani!
 
Gombesugu, Baru baru na Mohamed naona mnataka kufanya spinning za maneno. Hilo halina shida, i am fully prepraed.
Hebu rudini katika thread yangu ambayo Mohamed ameijibu halafu muuangalie nilieleza nini kwa undani kuhusu harakati za mwalimu. Kwanini mnaondoa baadhi ya maneno?

Na nawaomba wote kwa pamoja munieleweshe nadhani kuna mahali iselewi.
Tunapozungumzia harakati tuna maana gani.

Pengine mtazamo wangu na wenu kuhusu hilo neno ndio unaoleta taabu.
Mnaposema harakati manazungumzia nini au kipi.

Hili litatusaidia pia kujaua ''harakati'' za Rukara na WML akiwa na Mohamed Said kwasababu tutakuwa na uelewa wa neno.
 
Siyo kweli kuwa kitabu cha kivukoni kimeandikwa na Abubakar Olutu. Jaribu kuangalia vizuri rekodi zako.

Well, kwanini uliuliza kama unajua jibu?
Mimi nimekujibu kwa mujibu wa maelezo ya Mohamed Said.
Kama yeye alikosea basi ndiye aliyeniingiza chaka. Haya tuambie wewe basi, nani aliandika/hariri kitabu cha kivukoni?
 
Last edited by a moderator:
Well, kwanini uliuliza kama unajua jibu?
Mimi nimekujibu kwa mujibu wa maelezo ya Mohamed Said.
Kama yeye alikosea basi ndiye aliyeniingiza chaka. Haya tuambie wewe basi, nani aliandika/hariri kitabu cha kivukoni?

Nanren,
Kitabu cha Kivukoni kimeandikwa na jopo la waandishi.

Nimeweka bandiko kuhusu hilo hapa.
 
Nanren,
Kitabu cha Kivukoni kimeandikwa na jopo la waandishi.

Nimeweka bandiko kuhusu hilo hapa.

Asante, Mohamed Said
Utu uzima dawa!

Nimetembelea tena postz za February, ambazo tuliongelea suala la Abubakari Ulotu na NRA, kwenye thread hii, nakiri, kuwa sikuwa nimekuelewa sawa sawa.

Thanks.
 
Last edited by a moderator:
Well, kwanini uliuliza kama unajua jibu?
Mimi nimekujibu kwa mujibu wa maelezo ya Mohamed Said.
Kama yeye alikosea basi ndiye aliyeniingiza chaka. Haya tuambie wewe basi, nani aliandika/hariri kitabu cha kivukoni?

Kitabu cha Abubakary Olutu ninakifahamu siyo kitabu cha Kivukoni. Mimi nilichouliza hili kufahamu ni kina nani walikuwa waandishi wa kitabu cha Kivukoni.
 
Last edited by a moderator:
Na nyumba liyotoa Cameron nayo si ilisemwa imejengwa na Sykes!

Nguruvi,
Hapana haja ya kebehi.

Tufanye mnakasha kwa adabu na tuchunge kauli zetu.

Mimi nimeandika kuwa nyumba ya African Association ilijengwa kwa kujitolea
kwa sababu hiyo ndiyo kauli ya Abdu Sykes.

Nimeweka hapa rejea ambayo maneno hayo yapo moja ni Iliffe (Ed)'' Modern
Tanzanians'' (1973) kama alivyoandika Daisy Sykes na nyingine ni seminar paper ya
mwaka 1968 ya huyo huyo Daisy ''The Life of Kleist Sykes'' aloandika akiwa
mwanafunzi wa Iliffe Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

Seminar paper hii ipo East Africana Maktaba ya Chuo Kikuu na kitabu pia.

Sasa ikiwa wewe una taarifa tofauti na hizi eleza hiyo nyumba ilikuwa ya nani
Cameron kainunua lini nk. nk. kwa kuwa hiyo nyumba ilikuwa Karikaoo na ni
mjengo ule wa Kiswahili kabisa.

Ikiwa unataka kusema Abdu Sykes na baba yake wote ni waongo hiyo nyumba
haikujengwa kwa kujitolea sema tu hapana neno.

Amam kuhusu Kleist kudhulumu hiyo nyumba vilevile unaweza ukaeleza hapana
shida.

Sipendi unifikishe mahali nikakupuuza.

Waamerka wana kitu wanaita (siwezi kuliandika hilo neno) ''something list.''
Mtu akikutia katika hiyo ''list'' basi huna maana kwake.

Mimi ninayo hiyo ''list'' na kuna watu nimewaweka katika orodha hiyo.
Siwajibu lolote na nikijisikia kuwajibu napitia kwa mtu.

Si hiyo tu nimeuharamisha hata ulimi wangu kutaja majina yao.

Wewe ni rafiki yangu tumetoka mbali katika mjadala huu tukielimishana.

Kuna watu watapunjika ikiwa sitakuwa najibu post zako zinazohangaisha
ubongo wangu.

Jamvi litapooza.

''All is well that ends well.''
Shakespeare huyo.
 
hamna taabu,ongeza ya nne,vipi@Ritz kakutana na cruise missile ya mods

son
nakuongeza ya nne,kwa kuwa umeonesha adabu kidogo,habari ya Ritz Kuwa Banned wewe isikunyime sana usingizi..

FOURTH ESCAPE ROUTE..

Inasema,,inasema..

The fourth escape route is to blame Muslims,Muslims they hate secular educationn..!!,yes they do..!,,they prefer madrasa rather than secular education..!!
T
he imbalances persits because,Muslims,especially along the coast,dislike schooling,Muslim Dwellers around the coast such as LINDI,MTWARA,PWANI,TANGA ETC.,They dislike schooling..
Those who follow this line of thinking convict themselves of inconsistency.It is the Muslims who are demanding proportional representation in education.They can not be accused of disliking education.At any rate,that does not tell us why,a century ago,the Germans built schools along the coast and the vast majority of their eager students were MUSLIMS.
WHY SHOULD OUR INDEPENDENT GOVERMENTS FAIL WHERE THE COLONIAL ADMINSTRATION SUCCEEDED???
Ah sisi ni wapenda kahawa na kashata tuuh..
 
Last edited by a moderator:
Gombesugu, Baru baru na Mohamed naona mnataka kufanya spinning za maneno. Hilo halina shida, i am fully prepraed.
Hebu rudini katika thread yangu ambayo Mohamed ameijibu halafu muuangalie nilieleza nini kwa undani kuhusu harakati za mwalimu. Kwanini mnaondoa baadhi ya maneno?

Na nawaomba wote kwa pamoja munieleweshe nadhani kuna mahali iselewi.
Tunapozungumzia harakati tuna maana gani.

Pengine mtazamo wangu na wenu kuhusu hilo neno ndio unaoleta taabu.
Mnaposema harakati manazungumzia nini au kipi.

Hili litatusaidia pia kujaua ''harakati'' za Rukara na WML akiwa na Mohamed Said kwasababu tutakuwa na uelewa wa neno.

Wewe ni mwanahistoria mzuri katika kuboresha historia yetu na kwa faida ya wanajamvi tupashe habari za harakati za kisiasa za Mwl Nyerere, pale Chuo Kikuu cha Makelele.
 
Asante, Mohamed Said
Utu uzima dawa!

Nimetembelea tena postz za February, ambazo tuliongelea suala la Abubakari Ulotu na NRA, kwenye thread hii, nakiri, kuwa sikuwa nimekuelewa sawa sawa.

Thanks.

Nanren,
Sasa njoo na uzi mpya nitoe darsa la vipi Waislam wanahamu ya kuwa na chama
kama TANU.

Yote nitadarsisha kuanzia Malima, Abubakar Ulotu, NEMA, NRA, CUF, UPDP na vipi
tulikwamishwa na kwa nini hamu hii haijatutoka hadi leo.

Kisha Insha Allah nitatoa darsa makhsusi la ''prediction'' nini kitatukabili huko mbele
ya safari.

Publishers wanagomba wanasema mimi mwandishi wa ajabu kitabu kizima kiko hadhir
hapana haja ya kuchapa watapata hasara.

Jibu langu: Ilm ni ya Allah na Utukufu ni Wake Yeye.

Aliyetunukiwa ujuzi wowote hiyo ni hidaya kutoka kwa Allah na ana wajib wa kuitoa
kwa waja wake ili jamii inufaike.

Hapa tunafunzana huenda haya yakaepusha nchi yetu na janga linatotunyemelea.
 
Back
Top Bottom