Unanikumbusha kinara wa kitabu chako, Abdu Kleist, alivyokaa kimya baada ya kuangushwa na Mwalimu kwenye uchaguzi wa Rais wa KWANZA wa TANU hadi alipokwenda kaburini 1968. Wewe ndio umekuja kumsemea na kumtilia UDINI mwingi akilini mwake miaka 30 baada ya kifo chake. Ukasimama upande wake, ukataka na Mwalimu asimame upande wa pili ili mzipige kavukavu.Insha Allah,Kuna mtu alimsema vibaya Malima.Mimi nikamwambia marehemu atajibukutoka kaburini.Niliweka kitu.Jamvi zima likawa kimyaaaaaa!Jambo niloweka lilikuwa zito nanilitegemea maswali.Kimya hadi leo.
Big show kulikoni
Mkubwa?
Dawa ni kujua kampuni inayochapa, vikitolewa kiwandani tu, vinunue vyote na viunguze.
Ingawa huenda ukamtajirisha Mwandidhi zaidi, si atachapisha vingine!
Kwanza kabisa niseme najibu kama Nguruvi kwasababu sijui bwana JF ni nani. JF inawachama zaidi 50,000.Nimejaribu kupitia hoja za bwana JF, pamoja na kuangalia maelezo ya bwana Mohammed Said,pia nimekisoma kitabu cha bwana Mohamed Said,(MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHID SYKES 1924-1968) nilichokiona mimi,nimeona hoja za msingi ambazo bwana Mohamed Said amesimamia na katika hiki kitabu chake utangundua mambo mengi juu ya udhaifu wa hoistoria ya Tanganyika.Pamoja na hayo yote bwana JF anaonekana ni mtu asieweza kutoa hoja kwani kila jambo yeye analifananisha na waislam wa Somalia,nataka nimsaidie kitu kwamba kuna tofauti ya muislam na uislam, kama vile tunavyoona baadhi ya makanisa Marekani yakiruhusu ushoga na kufungisha ndoa mashoga,mimi naamini hili ni matakwa yao wala halifungamani na mafundisho ya kikristo, na hatuwezi kwamba hapa napo wanaruhusu ufedhuli kama huo,kwa maana hiyo kama bwana JF hajui chanzo cha migogoro ya watu wa Somalia ni vizuri atafute ukweli wa chanzo cha machafuko ya Somalia,then ndio aweze kutoa mifano hai inayolandana....
WildCard,Nguruvi3,Mzee Mohamed Said asingeingiza UISLAM kwenye kitabu kile, angepata taabu sana kukiuza. Angemuuzia nani? UUngwaji mkono alionao sasa humu JF na kwingineko ni kwa sababu ya UISLAM alioubambika mle. Angemwelezea Abdu peke yake angebaki nacho kitabu kile yeye mwenyewe. Abdu hakuwa na umaarufu mkubwa zaidi ya mdogo wake ambaye amepata kuwa balozi wetu huko Ulaya. Mzee Mohamed ni msanii wa kweli.
Assalam Aleykum.
Attitude can take away your beauty no matter how good looking you are or it could enhance your beauty, making you adorable.
Waleykhum Salaaam,
Cc.. gombesugu,
WildCard,
Ndugu yangu habari za masiku, naona wanajamvi wengi wamejipinda kweli kweli kuandika vitabu Yericko kaja na kitabu cha ugaidi kipo ubalozi wa Marekani.
Mwanakijiji yeye kaja na hiki kitabu umeishapata nakala yako.
Rits,
Mimi nimekipata hicho kitabu,kwa kweli huyo Mzee akili zake zitakuwa zina hitilafu kidogo,
Hata jeuri ya kuvaa viatu vya shigongo hana,atawezea vipi kumwingia Moh Said?
Ati anasema maheruhi wa mapenzi,,anahubiri mapenzi?
Katika nchi maskini?inashika nafasi za mikiani duniani,then jitu lije kuhubiri mapenz kweli?
Ukiona mtu mzima kama huyo kaamua kuyanadi mapenzi wazi wazi na kuacha mambo ya msingi ya nchi hii,inabid ujiulize mara mbili mbili sana,.
Amekosa haya huyo mzee..
That Sheikh Mohammed Said, "mchochezi,analeta dhihaka kwa Historia ya Kivukoni na ni hatari kwa amani na usalama wa nchi",mumbo jambo is for the birds. So far we have not see anything to suggest that ridiculous claim.
We've witness The Escape Route,meticulously delivered by The Big Show a.k.a The King Of kings tracing some core issues facing Muslims in this country today. Popular knowledge of this has been prevented by Politicians and the Government lies for too long. The situation and reality on the ground is a mess,a mere pack of cards on wobbly ground,teetering over an abyss of "artificial created peace and harmony" at the expense of many among Muslim population. The Government and Politicians from all political spectrum know this situation is unsustainable.
Surely,it is very convinient for the Politicians,the Government and others in here to be selective of historical facts and memories.
Colonists constructed barriers on social and economic development,education and many other stuff against and mainly on Muslims or Muslim populated/dominated areas for their own nasty selfish white supremacy reasons. And now everyone must bear the consequence.
The Government in this country have been against others but mainly Muslim population for years,and in many ways still is,if you know any better.
Again, how is Sheikh Mohammed Said is putting hate on hate!? Muslims/Sheikh Mohammed Said didn't create the conditions of hate in Tanzania,he is just the product of them and just reacting to them responsibly.
Majority of Muslims were put through a process of allienation and marginalized from social and economic mainstream for decades.The process has never been reversed effectively.
Although,some people like to think that was a long time ago,lets sweep it under the rug and move on. It is not that simple. In most Muslim dominated/populated areas; almost zero social and economic mobility, systematic depravation of quality education ,blockage of strategic position in many key Government Institutes and many other issues as discussed here,it doesn't solve anything.
It is an insidious,yet very sophisticated method of control that conditions majority of Muslim population in this country to accept others dominance over their lives by misleading them to believe that they are now themselves their own worst enemies.
This is similar kind of method Colonists used against Wazee wetu. To the detriment of many Muslims in Tanzania,this method has been an extremely effective.
It would be a catastrophe of Biblical proportion and distortion of historical facts if one is to try and write any "other history" with regard to Tanganyika independence struggle without recognise and acknowledge the importance of Mzizizma and that vital role its people/Wazee wetu played and sacrificed during that vicious colonial struggle(ofcourse majority of them were "Waswahili").
Naona kuna baadhi ya jamaa hapa wanajaribu kwa hali na mali na ujasiri uso mfano,kuonyesha kuwa madai ya wananchi wenzao/ Wailsam aidha ni dhaifu,hayana ufumbuzi au ni yao "wenyewe kwa wenyewe" na ati suluhu iwe baina yao. Kuna wengine nao ndo kabisa hawakubali kuwa hata kuwa kuna tatizo lolote au karaha hapo nchini dhidi ya Waislam,na kuwa Wailsam/wananchi wenzao inalazim japo wasikilizwe na wana haki hiyo. Nafikiri hawa ndio wapo kinyume hata na Rais wao Bw. W. Mkapa na Serikali yake. Ambaye alikubali japo kwa shingo upande kuwa kuna tatizo/dhiki hapo nchini dhidi ya Waislam. Infact, their hidden agenda and motives outweigh sense of objectivity and naturally diminish their entire credibility.
Katika moja ya bayana zangu hapo awali naliwahi uliza; "wawajuaje kunguni wa kitanda sichokilala"!?
I know for fact,some of us don't need to rely entirely on corrupt minded patronising Politicians to educate us about our history.
Naona hapa quotations nyingi saana na "researches" takriban zoote zimetokea kwa "wataalam" wa kizungu!? Inasikitisha mpaka leo karne ya 21 bado tuna tegemezi kubwa pita kiasi kwa hawa jamaa,na yaelekea bado tunaamini mno kila wasemalo. Wallahi staajabu inakuja pale wanapojaribu kutufunda na kutujuza "wenzetu" tunawadhararu na kuwakatisha tamaa pasi kiasi! Hawa wazungu si ndo haohao walokuja na Bible mikononi na kutuambia tufumbe macho tusali kwa pamoja;kutahamaki wakasafisha Afrika yoote mpaka na watu!?
As for Sheikh Mohammed Said and others keep mentioning of Mzizima,Kariakoo na Wazee wetu,on and on and on. I can imagine it must be pretty tiring and boring! I'm sorry, but it's an undeniable historical fact that Mzizima/Kariakoo,for many historical factors happened to be a vital political hub during that era. It's an unescapable predicament. And would be social and political illiterate for anyone to deny or acknowledge fully this historical link/connection between Mzizizima,Wazee wetu,Kariakoo with the either formation of TA,TAA,TANU or either colonial struggle.
Why most of them appeared to be Muslims!?I f it were me I wouldn't loose sleep over it. As it never cross my mind before,unless if you are mdini/mfia dini!
Lakini hii haimaanishi ati huko mikoani/vijijini hakukuwa na Wazee wetu wengine walojishughulisha na kujitoa muhanga mkubwa na hizo harakati za madhalimu wa kikoloni;tena wake kwa waume toka tamaduni,rangi,matabaka na dini mbalimbali. Naona hata Sheikh Mohammed Said kajitahidi saana kuwataja kitabuni mwake.
Ahsantani.
Ps: I'm only responsible for what I say/write. I'm not responsible for what you understand.
Na sasa anamsingizia Malima. Mohamed wapi bandiko lako ambalo jamvi halikujibu?Nguruvi3,Mzee Mohamed Said asingeingiza UISLAM kwenye kitabu kile, angepata taabu sana kukiuza. Angemuuzia nani? UUngwaji mkono alionao sasa humu JF na kwingineko ni kwa sababu ya UISLAM alioubambika mle. Angemwelezea Abdu peke yake angebaki nacho kitabu kile yeye mwenyewe. Abdu hakuwa na umaarufu mkubwa zaidi ya mdogo wake ambaye amepata kuwa balozi wetu huko Ulaya. Mzee Mohamed ni msanii wa kweli.
Hapana sikumbuki, nikumbushe tafadhaliNguruvi,
Unaikumbuka ile list yangu?
gombesugu, jaribu kupoa kidogo usije ukachemka. Baada ya hii post yako, sasa naweza kukiri kwa mbali kwamba naanza kukuelewa. Hata hivyo nina ombi kwako, tulia uipitie hii post yako na ikiwezekana uifanyie "editing" pale itakapobidi, hii post inakuangusha...ama na wewe umeamua kuoga dimbwini na watoto? Ombi la pili, kama hutaudhika, jaribu kutumia kiswahili, hizi lugha za watu mtu akizidandia bila tahadhari, anaweza akapoteza kabisa maana ya ujumbe aliotaka kuufikisha. Mwisho natoa tu ushauri kuwa kabla ya ku"post reply" jaribu kubonyeza "preview post" usome uliyoyaandika na ukisharidhika kwamba hayana makosa yanayotokana na ama kwa kutokujua au kwa kukusudia, bonyeza "submit". Ukifanya hivyo nitajitahidi nijibu mada kama ulivyoitoa hapo juu, asante...tuendelee.That Sheikh Mohammed Said, "mchochezi,analeta dhihaka kwa Historia ya Kivukoni na ni hatari kwa amani na usalama wa nchi",mumbo jambo is for the birds. So far we have not see anything to suggest that ridiculous claim.
We've witness The Escape Route,meticulously delivered by The Big Show a.k.a The King Of kings tracing some core issues facing Muslims in this country today. Popular knowledge of this has been prevented by Politicians and the Government lies for too long. The situation and reality on the ground is a mess,a mere pack of cards on wobbly ground,teetering over an abyss of "artificial created peace and harmony"at the expense of many among Muslim population. The Government and Politicians from all political spectrum know this situation is unsustainable.
Surely,it is very convinient for the Politicians,the Government and others in here to be selective of historical facts and memories.
Colonists constructed barriers on social and economic development,education and many other stuff against and mainly on Muslims or Muslim populated/dominated areas for their own nasty selfish white supremacy reasons. And now everyone must bear the consequence.
The Government in this country have been against others but mainly Muslim population for years,and in many ways still is,if you know any better.
Again, how is Sheikh Mohammed Said is putting hate on hate!? Muslims/Sheikh Mohammed Said didn't create the conditions of hate in Tanzania,he is just the product of them and just reacting to them responsibly.
Majority of Muslims were put through a process of allienation and marginalized from social and economic mainstream for decades.The process has never been reversed effectively.
Although,some people like to think that was a long time ago,lets sweep it under the rug and move on. It is not that simple. In most Muslim dominated/populated areas; almost zero social and economic mobility, systematic depravation of quality education ,blockage of strategic position in many key Government Institutes and many other issues as discussed here,it doesn't solve anything.
It is an insidious,yet very sophisticated method of control that conditions majority of Muslim population in this country to accept others dominance over their lives by misleading them to believe that they are now themselves their own worst enemies.
This is similar kind of method Colonists used against Wazee wetu. To the detriment of many Muslims in Tanzania,this method has been an extremely effective.
It would be a catastrophe of Biblical proportion and distortion of historical facts if one is to try and write any "other history" with regard to Tanganyika independence struggle without recognise and acknowledge the importance of Mzizizma and that vital role its people/Wazee wetu played and sacrificed during that vicious colonial struggle(ofcourse majority of them were "Waswahili").
Naona kuna baadhi ya jamaa hapa wanajaribu kwa hali na mali na ujasiri uso mfano,kuonyesha kuwa madai ya wananchi wenzao/ Wailsam aidha ni dhaifu,hayana ufumbuzi au ni yao "wenyewe kwa wenyewe" na ati suluhu iwe baina yao. Kuna wengine nao ndo kabisa hawakubali kuwa hata kuwa kuna tatizo lolote au karaha hapo nchini dhidi ya Waislam,na kuwa Wailsam/wananchi wenzao inalazim japo wasikilizwe na wana haki hiyo. Nafikiri hawa ndio wapo kinyume hata na Rais wao Bw. W. Mkapa na Serikali yake. Ambaye alikubali japo kwa shingo upande kuwa kuna tatizo/dhiki hapo nchini dhidi ya Waislam. Infact, their hidden agenda and motives outweigh sense of objectivity and naturally diminish their entire credibility.
Katika moja ya bayana zangu hapo awali naliwahi uliza; "wawajuaje kunguni wa kitanda sichokilala"!?
I know for fact,some of us don't need to rely entirely on corrupt minded patronising Politicians to educate us about our history.
Naona hapa quotations nyingi saana na "researches" takriban zoote zimetokea kwa "wataalam" wa kizungu!? Inasikitisha mpaka leo karne ya 21 bado tuna tegemezi kubwa pita kiasi kwa hawa jamaa,na yaelekea bado tunaamini mno kila wasemalo. Wallahi staajabu inakuja pale wanapojaribu kutufunda na kutujuza "wenzetu" tunawadhararu na kuwakatisha tamaa pasi kiasi! Hawa wazungu si ndo haohao walokuja na Bible mikononi na kutuambia tufumbe macho tusali kwa pamoja;kutahamaki wakasafisha Afrika yoote mpaka na watu!?
As for Sheikh Mohammed Said and others keep mentioning of Mzizima,Kariakoo na Wazee wetu,on and on and on. I can imagine it must be pretty tiring and boring! I'm sorry, but it's an undeniable historical fact that Mzizima/Kariakoo,for many historical factors happened to be a vital political hub during that era. It's an unescapable predicament. And would be social and political illiterate for anyone to deny or acknowledge fully this historical link/connection between Mzizizima,Wazee wetu,Kariakoo with the either formation of TA,TAA,TANU or either colonial struggle.
Why most of them appeared to be Muslims!?I f it were me I wouldn't loose sleep over it. As it never cross my mind before,unless if you are mdini/mfia dini!
Lakini hii haimaanishi ati huko mikoani/vijijini hakukuwa na Wazee wetu wengine walojishughulisha na kujitoa muhanga mkubwa na hizo harakati za madhalimu wa kikoloni;tena wake kwa waume toka tamaduni,rangi,matabaka na dini mbalimbali. Naona hata Sheikh Mohammed Said kajitahidi saana kuwataja kitabuni mwake.
Ahsantani.
Ps: I'm only responsible for what I say/write. I'm not responsible for what you understand.
gombesugu, jaribu kupoa kidogo usije ukachemka. Baada ya hii post yako, sasa naweza kukiri kwa mbali kwamba naanza kukuelewa. Hata hivyo nina ombi kwako, tulia uipitie hii post yako na ikiwezekana uifanyie "editing" pale itakapobidi, hii post inakuangusha...ama na wewe umeamua kuoga dimbwini na watoto? Ombi la pili, kama hutaudhika, jaribu kutumia kiswahili, hizi lugha za watu mtu akizidandia bila tahadhari, anaweza akapoteza kabisa maana ya ujumbe aliotaka kuufikisha. Mwisho natoa tu ushauri kuwa kabla ya ku"post reply" jaribu kubonyeza "preview post" usome uliyoyaandika na ukisharidhika kwamba hayana makosa yanayotokana na ama kwa kutokujua au kwa kukusudia, bonyeza "submit". Ukifanya hivyo nitajitahidi nijibu mada kama ulivyoitoa hapo juu, asante...tuendelee.
WildCard,
Ndugu yangu habari za masiku, naona wanajamvi wengi wamejipinda kweli kweli kuandika vitabu Yericko kaja na kitabu cha ugaidi kipo ubalozi wa Marekani.
Mwanakijiji yeye kaja na hiki kitabu umeishapata nakala yako.
Gombesugu, you are a good writer/narrator. It seems to me you have not travelled widely in this country and hence your complains about muslims dominated areas being behind in infrastructure and social services compared to (i suppose?) christian dominated areas. Bagamoyo is a muslim dominated area. Will you say with due honesty that it is behind Rorya in terms of infrastructure? Gombesugu, while the bulk of Tanga was serviced with good and passable roads, ask their fellows from Sumbawanga, Tunduru who had to walk for miles to a road. The first time i saw a house with makuti roof but with electricity was in Tanga and i was shocked because in most upcountry areas, you just cant get similar favour, your house had to have an iron roof before you talked of power. It also seems you have not followed the spirit of the conversation all along. What we are saying is simple. This is life, MOVE on. We have also shown examples of muslim communities who have moved along and are making it. We have also shown a number of muslim schools which with serious management are already among the best performers in the country.
Lets face it. The spirit of your essay is that you actually have in mind the coastal areas like Tanga, Coast, i doubt if you seriously consider Mtwara and Lindi at par. I challenge you to name any other UPCOUNTRY location for which your essay is directed. Certainly not Kamachumu, Kyella, Mpwapwa, Machame or Kibuyi (if at all you know it). Your essay sounded like you had only wanted to deliver what they call a "sucker-punch" to some side in this discussion and then you go home a "hero"and a good friend of some people. You have miscalculated.
Now lets face the central issue here, if the reward of WAZEE WAKO assisting in the struggle for independence is that YOU Gombesugu and company should be made commissioners of police with adequate literacy for that position the answer is NO. If you think buying a bicycle for Nyerere in the 1950s is already a price for you to become an attorney general withoul any legal school we say NO. If it was a battery, it has long expired!!!. What we say is that educate your chldren to enable become more competetive in the job market. And that must be done fast because somewhere, we shall open doors for all East African people to come. You will then watch as kenyans and rwandese take positions and land parcels while you still live in the past. If you think all muslims must enjoin hands with you in dissuading families in this country from working hard and educating their children with hard work instead they should all climb the podium and and become lamenters and ridiculers we also say NO. Do it alone. Other people have different priorities with their time.
In the final analysis you Gombesugu based on your WASWAHILI analysis and a bunch of many concealed others are just a discriminatory lot. Because, experience worldwide has shown that if the opportunities you are currently craving for are FAVOURED to you (which itself is unconstitutional), you will turn onto discriminating fellow muslims (shia, wahabi, ahamadiya etc) and believe me much as Kadogoo has inputted so much good stuff here, he will be among the first muslims to suffer at your hands by not COMING from a purely SWAHILI bloodline.
Not least, am totally differing to your prophecy of doom based on your shallow analysis. I see no catastrophy here Gombesugu. We only see a gradual reduction of your likes in the blood stream of this country as you age and your current followers realize they had been stupified. And like anyother disease which exists slowly from a body you shall find us full of patience while we witness your exit and live us enjoying life with our muslims friends whom we happily escort to maulids and non muslim neighbors and schools. Time is of essence here.
RITZ;
Umepata nafasi ya kukisoma kitabu cha MM? kama bado, namwomba MM atujuze angalau kimuhtasari kitabu chake kinawagusa nani? kinahusu nini? hapo naona picha ya Kijana na Binti wakikumbatiana! sasa picha hii inatufundisha nini? au inahusu vita dhidi ya ukimwi!
Kadogoo,
Ndiyo nilimchangia jamaa yetu nikapata nakala yangu. Kajikita zaidi kwenye masuala ya ngono laini.