KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 187
Wakati mwingine nacheza na akili nyepesi kama zenu nazipa mitego.
Nimetaja Pol Pot nikajua ndio litakuwa kimbilio lako la hoja nzima huu mtengo uwa mnaingia wengi sana.
Mbona hutaki kujadili mauaji ya hao wengine ambao ni Wakiristo...ha haa ha. Pol Pot alikuwa ATHEIST kama ndugu yetu mmoja humu jamvini.
Vipi Adolf na wenzake?
""Kumbuka Mjerumani
amekaa zaidi ya karne tatu
akitumia mfumo kristu
kutawala, Muingereza nae
akalowea karne kadhaa
akitawala kwa mfumo huohuo, Lakini ndani ya
miongo miwili tu ya utawala
wa Mwalimu Nyerere huku
nchi ikitoka kwenye dimbwi la
ukoloni aliweza kubadili sura
na mfumo huo wa kikoloni na kuwa wawatanzania wote
bila kujali dini, kabila rangi au
kanda.""""
Naomba uombe radhi kwa kudanganya umma
Mjerumani alikaa tanganyika tangu mwaka 1884-1917(miaka 33),mwingereza akakaa kuanzia 1919-1961(miaka 42)
Yericko Nyerere
KDM; you are right. Hesabu hazi-balance. Au did he mean "miongo"? it is not right as it stands and surely you deserve credit for seeing it.
Hili binafsi nimejaribu sana kuwaelimisha hawa jamaa lakini imekuwa kama kazi bure...kama wazee wetu walivyojiunga na kusimama imara dhidi ya mkoloni bila kujali tofauti zao za Kidini wala Kikabila, ndivyo hivyo hivyo wengine wetu tumesimama imara kumpinga huyu mkoloni mweusi mchochezi bila kujali tofauti zetu. Bahati mbaya ni kwamba watetezi wa haya mahubiri ya chuki yanayoendeshwa na Mohamed Said, wanawagawa Waislaam wenzao katika makundi mawili;After writing all this trash, what will you do after it is revealed that Wickama is actually a muslim?
Hili binafsi nimejaribu sana kuwaelimisha hawa jamaa lakini imekuwa kama kazi bure...kama wazee wetu walivyojiunga na kusimama imara dhidi ya mkoloni bila kujali tofauti zao za Kidini wala Kikabila, ndivyo hivyo hivyo wengine wetu tumesimama imara kumpinga huyu mkoloni mweusi mchochezi bila kujali tofauti zetu. Bahati mbaya ni kwamba watetezi wa haya mahubiri ya chuki yanayoendeshwa na Mohamed Said, wanawagawa Waislaam wenzao katika makundi mawili;
Katika kundi la kwanza wapo viongozi wote wakuu wa sasa wa serikali, viongozi na wanachama wa Bakwata na wote wale ambao wanamkosoa mchochezi Mohamed Said na ngano zake humu jukwaani JF bila kujali ni Muislaam mwenzao. Kundi la pili linawajumuisha mashabiki wa siasa za chuki ambao lengo lao kuu ni kuona Tanzania inaingia kwenye machafuko ya kidini, kwa hawa Mohamed Said ni shujaa, Sheikh Ilunga ni shujaa, Sheikh Ponda ni shujaa na UAMSHO ni mashujaa.
- Wanaoshirikiana na makafiri kama Watanzania wenzao, hawa wamedaiwa kuusaliti Uislaam
- Wanaomuunga mkono Muislaam mwenzake hata akitenda maovu gani, hawa ndio wenye thawabu.
Naomba nichukue nafasi hii kuwapongeza Waislaam wote humu JF wenye ujasiri wa kumwona huyu mchochezi kwa umbo lake halisi na kumkoma bila kumtazama uso. Nawapongeza Waislaam wote walioamua kutanguliza Utanzania wao mbele na wako tayari kushirikiana na Watanzania wenzao kupinga vitendo vyote vya kichochezi kwa kutumia mgongo wa dini. Nawapongeza na Watanzania wengine wenye dini na wasio na dini kwa kusimama imara kulinda misingi ya upendo, umoja na ushirikiano iliyoasisiwa na wazee wetu tangu tupate uhuru na tuzikatalie kata kata hila na mbinu za kutugawa kwa misingi yoyote ile, Mungu ilinde Tanzania.

Kitabu cha Abdul Sykes kinamsaidia Muislamu kujua ilmu inayoitwa Fiqhul Waaqiy (Fiqhi ya kujua kinachoendelea duniani au sehemu ambayo Muislamu yupo).So what!!!! Wewe kama ulikuwa hufuatilii dini yako, there is no way kitabu cha Abdul Sykes kitakufanya utoe zaka, au uswali. No way. Na wala sio malengo ya kitabu chenyewe.
Angalau sio UKRISTO uliosababisha mauaji haya. Mengi ni ukabila. 9/11 ni Uislam, Boston Marathon wale watoto ni Waislam wa Chechnya!, Hapa Dar na Nairobi( 1998) ni Uislam unatajwa, Mauaji ya Padre kule Zanzibar, makanisa kuchomwa nako watu wanautaja Uislam umewatuma, Sheikh Ponda kuvamia kiwanja anaokoa mali za Waislam,...., lipo tatizo Ritz.
Asante sana Wickama, nakushukuru sana kwa kujitokeza waziwazi na bila woga kulitetea taifa lako, nakupongeza na kukushukuru kwa kuonesha uzalendo usio kifani, Mungu akupe baraka. Hauko peke yako, wapo Waislaam wengi tu ambao wanakerwa kikweli kweli na mahubiri ya kichochezi ya Mohamed Said na kusema kweli madai yake hayana tofauti na ya Sheikh Ilunga ila tofauti ni kwamba Ilunga hafichi unafiki wake kama huyu. Mohamed Said ndiye muasisi wa hizi chokochoko kutokana na mafunzo aliyopata kutoka kwa Mpakistani Prof. Malik ambaye kusema kweli hakuwa na sababu ya kuitakia mema taifa letu.Mag3 na Nanren; Inabidi niwape shukran za dhati sana. Tena sana. Hamna matusi yanayoshinda ukweli. Huyu anayenitukana na kujifanya ni muislamu mwema namkaribisha Zahrau Islamic Academy Tanga (hawa wana matawi nchi nzima sasa) aongee na Mudir. Namruhusu ataje jina langu Wickama kwa Mudir na kuniulizia. Ataambiwa kama mimi ni Zombie au Brain dead. Namkaribisha Lushoto aulizie kwa aliyekuwa Imamu wa msikiti wa mjini na Dochi Mzee Shekilindi (aambiwe kama Lushoto na mimi ni Zombie au brain dead). Aje kwa Alhaji Mzee Shekue br 12 (huyu na wenzake tunaunda taasisi ya masuala ya elimu mkoani petu), waulizie kama Wickama ni zombie au brain dead). Not Least aulizie msikitini kwangu Donge hapa Tanga. Wala sihitaji kusema hapa donge tunafanya nini.
Mag3. Mimi ni mkuria wa Tarime. As you can see siongelei Tarime hapa. Harakati zote hizi tupo na watanga na wachagga, wapogoro and many other people. This is our home. Hatuna muda wa irrelevancies. Hatuna muda na mtu au kikundi chenye kupanda chuki dhidi ya watu wa dini zingine kama wakiristo. Muda huo hatuna. Sikitiko ni kuwa wengi wa wafuasi hawa hata hawajui Mtume (saw) aliagiza nini katika kuishi na wakiristo. Badala yake wanadhani kumtoa kafara mkiristo hata kwa uzembe wako mwenyewe ndio fashion. Wengi hawajui wanaondolewa kwenye dini yao kwa mambo kama haya. Hapa chini ni sites zenye kuonyesha Mkataba aliyoandikiana Mtume (saw) kwa Wakiristo wakiwakilishwa na Makasisi wa St. Catherine Monastery ya Sinai. Vizuri sana kuusoma kwa kila mtu (mwislamu na asiye mwislamu). It is pathetic mtu kudhani eti kuwatukana wengine ni wehu au hawana jando ndio kutakupandisha uwe mwislamu mzuri. Wamasai na hata Wakurya wamefanya jando kwa makarne. So what!!!! Wewe kama ulikuwa hufuatilii dini yako, there is no way kitabu cha Abdul Sykes kitakufanya utoe zaka, au uswali. No way. Na wala sio malengo ya kitabu chenyewe.
http://peace-forum.blogspot.nl/2011/02/prophet-muhammads-everlasting-promise.html
http://www.islamicsupremecouncil.com/theeternalpromise.htm http://www.sinaimonastery.com/en/index.php?lid=68
Mag3 na Nanren; Inabidi niwape shukran za dhati sana. Tena sana. Hamna matusi yanayoshinda ukweli. Huyu anayenitukana na kujifanya ni muislamu mwema namkaribisha Zahrau Islamic Academy Tanga (hawa wana matawi nchi nzima sasa) aongee na Mudir. Namruhusu ataje jina langu Wickama kwa Mudir na kuniulizia. Ataambiwa kama mimi ni Zombie au Brain dead. Namkaribisha Lushoto aulizie kwa aliyekuwa Imamu wa msikiti wa mjini na Dochi Mzee Shekilindi (aambiwe kama Lushoto na mimi ni Zombie au brain dead). Aje kwa Alhaji Mzee Shekue br 12 (huyu na wenzake tunaunda taasisi ya masuala ya elimu mkoani petu), waulizie kama Wickama ni zombie au brain dead). Not Least aulizie msikitini kwangu Donge hapa Tanga. Wala sihitaji kusema hapa donge tunafanya nini.
Mag3. Mimi ni mkuria wa Tarime. As you can see siongelei Tarime hapa. Harakati zote hizi tupo na watanga na wachagga, wapogoro and many other people. This is our home. Hatuna muda wa irrelevancies. Hatuna muda na mtu au kikundi chenye kupanda chuki dhidi ya watu wa dini zingine kama wakiristo. Muda huo hatuna. Sikitiko ni kuwa wengi wa wafuasi hawa hata hawajui Mtume (saw) aliagiza nini katika kuishi na wakiristo. Badala yake wanadhani kumtoa kafara mkiristo hata kwa uzembe wako mwenyewe ndio fashion. Wengi hawajui wanaondolewa kwenye dini yao kwa mambo kama haya. Hapa chini ni sites zenye kuonyesha Mkataba aliyoandikiana Mtume (saw) kwa Wakiristo wakiwakilishwa na Makasisi wa St. Catherine Monastery ya Sinai. Vizuri sana kuusoma kwa kila mtu (mwislamu na asiye mwislamu). It is pathetic mtu kudhani eti kuwatukana wengine ni wehu au hawana jando ndio kutakupandisha uwe mwislamu mzuri. Wamasai na hata Wakurya wamefanya jando kwa makarne. So what!!!! Wewe kama ulikuwa hufuatilii dini yako, there is no way kitabu cha Abdul Sykes kitakufanya utoe zaka, au uswali. No way. Na wala sio malengo ya kitabu chenyewe.
http://peace-forum.blogspot.nl/2011/02/prophet-muhammads-everlasting-promise.html
http://www.islamicsupremecouncil.com/theeternalpromise.htm http://www.sinaimonastery.com/en/index.php?lid=68
Kitabu cha Abdul Sykes kinamsaidia Muislamu kujua ilmu inayoitwa Fiqhul Waaqiy (Fiqhi ya kujua kinachoendelea duniani au sehemu ambayo Muislamu yupo).
Ukitaka asli katika Sunnah basi Mtume salalahu alayhi wasallam aliwaelekeza sahaba zake waende Ethiopia na sio Yemen, Syria,Rome au popote pale bali aliwaelekeza waende Ethiopia kwa kuwa kulikuwa na Mfalme muadilifu, hii inakuonyesha kuwa Mtume salalahu alayhi wasallam alikuwa akijua Fiqh waaqiy! alikuwa akijua kitu gani kinachoendelea Bara Arabu na Duniani kiujumla.
Ndiyo maana karibu Ma-Sheikh wote wa kueleweka aidha watakuwa wanafuatilia habari zinazoendelea ulimwenguni au watakuwa na vijana wao wanaofuatilia na kuwapasha habari kila siku.
Hata kiakili tu sijui ni Aalimu gani huyo atakayejifungia kwake na vitabu vya dini tu bila ya kujua yanayoendelea duniani! aalimu wa namna hii atatoa vipi fatwa wakati hajui kinachoendelea mjini mwake?
Usishangae ukija kugundua kuwa wanawazuoni maarufu wa Kiislamu wameshakipitia hiki kitabu cha Abdu Sykes au kama bado basi ujue wakati wowote mwanazuoni atakayetaka kujua fiqh waaqiy ya Tanzania ataelekezwa kitabu hiki.
Wickama
I happen to have a priveledge of knowing you. You have used your really name and you are the only Wickama I have ever interacted with. I know you can't know me because I have used an alias. Just to give you a hint that I know you I give you two words: ARI and Mkanyageni. Thus why I cautioned one fella in this thread that you are his fellow muslim after he wrote some abusive words which he thought he was directing to a non-muslim.
It is so sad that some people here have developed unfounded hatred against Nyerere and christians in general to the extent that they concoct stories just to demean Nyerere and other non-muslims. They falsfy data and stick to their unproven version of events as if their only interest is to create and mantain animosity between Christians and muslims. It is again so sad that some muslim brothers are not courageous enough to tell people like Moh Said that they are wrong just because they are afraid of being seen as siding with infidels and therefore they could be considered as non-muslims just like Gombesugu thought of you...
Nanren,
Sina chuki na Nyerere wala na Ukristo.
Yote niliyoeleza hapa JF ni kweli kadri
ya ufahamu wangu.
Ikiwa unadhani nasukumwa na chuki hiyo
ni bahati mbaya sana.
Maneno mazito haya Allah akuzidishie Muislam yeyote lazima ajitambue.
Sheikh Said, najisikia vibaya sana kusema unadanganya, tena unaitumia vibaya JF.
Mimi ni Mkristo, kwetu Kigoma ingawa sio Mmanyema kwa upande wa baba, mama yangu ni Mmanyema na ni Mkristo kwa kuzaliwa. Bibi mzaa mama ni Mkristo Mmanyema! Watoto wake wote ni Wakristo, baadhi ya wajomba wa bibi yangu Mkristo Mmanyema nao ni Wakristo Wamanyema!
Sheikh Said, najua wewe ni Mmanyema Muislamu, bila shaka unafahamu jina hili -Kasulwa. Ni kabila gani hawa?
Ndg Uthman, salaam. Nadhani hutajali kama nikichangia bandiko lako ambalo kiukweli ulimkusudia Wickama.Salaam ndugu yangu Wickama na wengine mnaoshiriki mnakasha huu.Nimekuwanikifuatilia muendelezo wa mnakasha toka ulipo anza mpaka hii leo lengo langu kuu likiwa ni kufyonza ilm tu.
Hakika nimejifunza mengi kwa ukimya wangu lakini kwa hili ulilofafanua ndugu yangu Wickama nimesukumwa name nitoe yangu machache.
Wickama sikumbuki ni lini waislamu wa Tanzania waliachiwa fursa ya kujenga taasisi zao zenye nguvu na mipango thabiti kwa ajili ya kusimamia miradi yao ya maendeleo.kumekuwa na hofu kubwa miongoni mwa watawala kuwaachia huru waislam kupanga na kusimamia mikakati yao ya maendeleo.
Hivi anapokuja mtu na kusema waislamu hawapendi shule anasahau kwamba ni haohao waislamu waliokuwa na wazo la kwanza la kujenga chuo kikuu na shule kila wilaya kupitia EAMWS.Kuna mtu anaikumbuka taasisi ya African Muslim Relief Agency wakati wa Awamu ya tatu walipokuja na mikakati mikubwa ya kujenga mashule yanayoeleweka pamoja na kuajiri walimu waliobobea kutoka sehemu mbalimbali kwa ajili ya kufundisha shule zao,nini kiliwakuta.
Serikali ya Raisi Mkapa ilizuia source of funds zote kwa taasisi hiyo na kumtimua mlezi wake wa IRINGA kwamba ni gaidi.Wakati African Muslim wanapigwa vita upande mwingine mama Rwakatare alipewa all support. Naomba ndugu zangu wa imani nyingine tuelewe kwamba waislam hawaitaji msaada wala kuonewa huruma bali wanachotaka ni kupewa fursa sawa ili waendeshe mambo yao kama ndugu zetu wakristo mlivyo huru. Ahsante na mchana mwema