Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

""Kumbuka Mjerumani
amekaa zaidi ya karne tatu
akitumia mfumo kristu
kutawala, Muingereza nae
akalowea karne kadhaa
akitawala kwa mfumo huohuo, Lakini ndani ya
miongo miwili tu ya utawala
wa Mwalimu Nyerere huku
nchi ikitoka kwenye dimbwi la
ukoloni aliweza kubadili sura
na mfumo huo wa kikoloni na kuwa wawatanzania wote
bila kujali dini, kabila rangi au
kanda.""""

Naomba uombe radhi kwa kudanganya umma
Mjerumani alikaa tanganyika tangu mwaka 1884-1917(miaka 33),mwingereza akakaa kuanzia 1919-1961(miaka 42)
Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine nacheza na akili nyepesi kama zenu nazipa mitego.

Nimetaja Pol Pot nikajua ndio litakuwa kimbilio lako la hoja nzima huu mtengo uwa mnaingia wengi sana.

Mbona hutaki kujadili mauaji ya hao wengine ambao ni Wakiristo...ha haa ha. Pol Pot alikuwa ATHEIST kama ndugu yetu mmoja humu jamvini.

Vipi Adolf na wenzake?

Ritz, hii umeidesign-kinamna. Sina mbavu hapa nilipo. Does it matter kama mwizi wa gari ni Mwislamu? Nilidhani kuwa ni just a criminal?
 
""Kumbuka Mjerumani
amekaa zaidi ya karne tatu
akitumia mfumo kristu
kutawala, Muingereza nae
akalowea karne kadhaa
akitawala kwa mfumo huohuo, Lakini ndani ya
miongo miwili tu ya utawala
wa Mwalimu Nyerere huku
nchi ikitoka kwenye dimbwi la
ukoloni aliweza kubadili sura
na mfumo huo wa kikoloni na kuwa wawatanzania wote
bila kujali dini, kabila rangi au
kanda.""""

Naomba uombe radhi kwa kudanganya umma
Mjerumani alikaa tanganyika tangu mwaka 1884-1917(miaka 33),mwingereza akakaa kuanzia 1919-1961(miaka 42)
Yericko Nyerere

KDM; you are right. Hesabu hazi-balance. Au did he mean "miongo"? it is not right as it stands and surely you deserve credit for seeing it.
 
Last edited by a moderator:
KDM; you are right. Hesabu hazi-balance. Au did he mean "miongo"? it is not right as it stands and surely you deserve credit for seeing it.

Miongo ni sahihi kabisa mkuu
Wickama

pili,ninashukuru kwa kuadmit makosa ya kiufundi...pamoja sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
After writing all this trash, what will you do after it is revealed that Wickama is actually a muslim?
Hili binafsi nimejaribu sana kuwaelimisha hawa jamaa lakini imekuwa kama kazi bure...kama wazee wetu walivyojiunga na kusimama imara dhidi ya mkoloni bila kujali tofauti zao za Kidini wala Kikabila, ndivyo hivyo hivyo wengine wetu tumesimama imara kumpinga huyu mkoloni mweusi mchochezi bila kujali tofauti zetu. Bahati mbaya ni kwamba watetezi wa haya mahubiri ya chuki yanayoendeshwa na Mohamed Said, wanawagawa Waislaam wenzao katika makundi mawili;

  1. Wanaoshirikiana na makafiri kama Watanzania wenzao, hawa wamedaiwa kuusaliti Uislaam
  2. Wanaomuunga mkono Muislaam mwenzake hata akitenda maovu gani, hawa ndio wenye thawabu.
Katika kundi la kwanza wapo viongozi wote wakuu wa sasa wa serikali, viongozi na wanachama wa Bakwata na wote wale ambao wanamkosoa mchochezi Mohamed Said na ngano zake humu jukwaani JF bila kujali ni Muislaam mwenzao. Kundi la pili linawajumuisha mashabiki wa siasa za chuki ambao lengo lao kuu ni kuona Tanzania inaingia kwenye machafuko ya kidini, kwa hawa Mohamed Said ni shujaa, Sheikh Ilunga ni shujaa, Sheikh Ponda ni shujaa na UAMSHO ni mashujaa.

Naomba nichukue nafasi hii kuwapongeza Waislaam wote humu JF wenye ujasiri wa kumwona huyu mchochezi kwa umbo lake halisi na kumkoma bila kumtazama uso. Nawapongeza Waislaam wote walioamua kutanguliza Utanzania wao mbele na wako tayari kushirikiana na Watanzania wenzao kupinga vitendo vyote vya kichochezi kwa kutumia mgongo wa dini. Nawapongeza na Watanzania wengine wenye dini na wasio na dini kwa kusimama imara kulinda misingi ya upendo, umoja na ushirikiano iliyoasisiwa na wazee wetu tangu tupate uhuru na tuzikatalie kata kata hila na mbinu za kutugawa kwa misingi yoyote ile, Mungu ilinde Tanzania.
 
Mag3,

you canot know the bugs of bed that you have not lain on...

Cc... gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
KDM; you are right. Hesabu hazi-balance. Au did he mean "miongo"? it is not right as it stands and surely you deserve credit for seeing it.

Wickama,vyema kuwa hili limeonekana...ndahani alimaanisha miongo mitatu
 
Last edited by a moderator:
Hili binafsi nimejaribu sana kuwaelimisha hawa jamaa lakini imekuwa kama kazi bure...kama wazee wetu walivyojiunga na kusimama imara dhidi ya mkoloni bila kujali tofauti zao za Kidini wala Kikabila, ndivyo hivyo hivyo wengine wetu tumesimama imara kumpinga huyu mkoloni mweusi mchochezi bila kujali tofauti zetu. Bahati mbaya ni kwamba watetezi wa haya mahubiri ya chuki yanayoendeshwa na Mohamed Said, wanawagawa Waislaam wenzao katika makundi mawili;

  1. Wanaoshirikiana na makafiri kama Watanzania wenzao, hawa wamedaiwa kuusaliti Uislaam
  2. Wanaomuunga mkono Muislaam mwenzake hata akitenda maovu gani, hawa ndio wenye thawabu.
Katika kundi la kwanza wapo viongozi wote wakuu wa sasa wa serikali, viongozi na wanachama wa Bakwata na wote wale ambao wanamkosoa mchochezi Mohamed Said na ngano zake humu jukwaani JF bila kujali ni Muislaam mwenzao. Kundi la pili linawajumuisha mashabiki wa siasa za chuki ambao lengo lao kuu ni kuona Tanzania inaingia kwenye machafuko ya kidini, kwa hawa Mohamed Said ni shujaa, Sheikh Ilunga ni shujaa, Sheikh Ponda ni shujaa na UAMSHO ni mashujaa.

Naomba nichukue nafasi hii kuwapongeza Waislaam wote humu JF wenye ujasiri wa kumwona huyu mchochezi kwa umbo lake halisi na kumkoma bila kumtazama uso. Nawapongeza Waislaam wote walioamua kutanguliza Utanzania wao mbele na wako tayari kushirikiana na Watanzania wenzao kupinga vitendo vyote vya kichochezi kwa kutumia mgongo wa dini. Nawapongeza na Watanzania wengine wenye dini na wasio na dini kwa kusimama imara kulinda misingi ya upendo, umoja na ushirikiano iliyoasisiwa na wazee wetu tangu tupate uhuru na tuzikatalie kata kata hila na mbinu za kutugawa kwa misingi yoyote ile, Mungu ilinde Tanzania.

Mag3 na Nanren; Inabidi niwape shukran za dhati sana. Tena sana. Hamna matusi yanayoshinda ukweli. Huyu anayenitukana na kujifanya ni muislamu mwema namkaribisha Zahrau Islamic Academy Tanga (hawa wana matawi nchi nzima sasa) aongee na Mudir. Namruhusu ataje jina langu Wickama kwa Mudir na kuniulizia. Ataambiwa kama mimi ni Zombie au Brain dead. Namkaribisha Lushoto aulizie kwa aliyekuwa Imamu wa msikiti wa mjini na Dochi Mzee Shekilindi (aambiwe kama Lushoto na mimi ni Zombie au brain dead). Aje kwa Alhaji Mzee Shekue br 12 (huyu na wenzake tunaunda taasisi ya masuala ya elimu mkoani petu), waulizie kama Wickama ni zombie au brain dead). Not Least aulizie msikitini kwangu Donge hapa Tanga. Wala sihitaji kusema hapa donge tunafanya nini.

Mag3. Mimi ni mkuria wa Tarime. As you can see siongelei Tarime hapa. Harakati zote hizi tupo na watanga na wachagga, wapogoro and many other people. This is our home. Hatuna muda wa irrelevancies. Hatuna muda na mtu au kikundi chenye kupanda chuki dhidi ya watu wa dini zingine kama wakiristo. Muda huo hatuna. Sikitiko ni kuwa wengi wa wafuasi hawa hata hawajui Mtume (saw) aliagiza nini katika kuishi na wakiristo. Badala yake wanadhani kumtoa kafara mkiristo hata kwa uzembe wako mwenyewe ndio fashion. Wengi hawajui wanaondolewa kwenye dini yao kwa mambo kama haya. Hapa chini ni sites zenye kuonyesha Mkataba aliyoandikiana Mtume (saw) kwa Wakiristo wakiwakilishwa na Makasisi wa St. Catherine Monastery ya Sinai. Vizuri sana kuusoma kwa kila mtu (mwislamu na asiye mwislamu). It is pathetic mtu kudhani eti kuwatukana wengine ni wehu au hawana jando ndio kutakupandisha uwe mwislamu mzuri. Wamasai na hata Wakurya wamefanya jando kwa makarne. So what!!!! Wewe kama ulikuwa hufuatilii dini yako, there is no way kitabu cha Abdul Sykes kitakufanya utoe zaka, au uswali. No way. Na wala sio malengo ya kitabu chenyewe.

http://peace-forum.blogspot.nl/2011/02/prophet-muhammads-everlasting-promise.html
http://www.islamicsupremecouncil.com/theeternalpromise.htm http://www.sinaimonastery.com/en/index.php?lid=68
 
Wickama,

Huyu Alhaji Mzee Shekue wa barabara ya 12 nakumbuka mwaka jana walikuwa taasisi moja na mzee wangu mmoja kwenye safari ya hijja.

Nimefurahi kusikia ni mmoja wa wadau wa Zahrau, muda mrefu sijafika Tanga vipi Shamsi maarifa nao wanaendeleaje na harakati za kujenga shule.
 
Last edited by a moderator:
So what!!!! Wewe kama ulikuwa hufuatilii dini yako, there is no way kitabu cha Abdul Sykes kitakufanya utoe zaka, au uswali. No way. Na wala sio malengo ya kitabu chenyewe.
Kitabu cha Abdul Sykes kinamsaidia Muislamu kujua ilmu inayoitwa Fiqhul Waaqiy (Fiqhi ya kujua kinachoendelea duniani au sehemu ambayo Muislamu yupo).

Ukitaka asli katika Sunnah basi Mtume salalahu alayhi wasallam aliwaelekeza sahaba zake waende Ethiopia na sio Yemen, Syria,Rome au popote pale bali aliwaelekeza waende Ethiopia kwa kuwa kulikuwa na Mfalme muadilifu, hii inakuonyesha kuwa Mtume salalahu alayhi wasallam alikuwa akijua Fiqh waaqiy! alikuwa akijua kitu gani kinachoendelea Bara Arabu na Duniani kiujumla.

Ndiyo maana karibu Ma-Sheikh wote wa kueleweka aidha watakuwa wanafuatilia habari zinazoendelea ulimwenguni au watakuwa na vijana wao wanaofuatilia na kuwapasha habari kila siku.

Hata kiakili tu sijui ni Aalimu gani huyo atakayejifungia kwake na vitabu vya dini tu bila ya kujua yanayoendelea duniani! aalimu wa namna hii atatoa vipi fatwa wakati hajui kinachoendelea mjini mwake?

Usishangae ukija kugundua kuwa wanawazuoni maarufu wa Kiislamu wameshakipitia hiki kitabu cha Abdu Sykes au kama bado basi ujue wakati wowote mwanazuoni atakayetaka kujua fiqh waaqiy ya Tanzania ataelekezwa kitabu hiki.
 
Angalau sio UKRISTO uliosababisha mauaji haya. Mengi ni ukabila. 9/11 ni Uislam, Boston Marathon wale watoto ni Waislam wa Chechnya!, Hapa Dar na Nairobi( 1998) ni Uislam unatajwa, Mauaji ya Padre kule Zanzibar, makanisa kuchomwa nako watu wanautaja Uislam umewatuma, Sheikh Ponda kuvamia kiwanja anaokoa mali za Waislam,...., lipo tatizo Ritz.

Mkuu

Naona hujafanya research ya kutosha hakuna ambaye anaweza kuthibitisha kwamba 9/11 inahusiana na waislamu na 7/7 Dar na Nairobi kama kuna ushahidi ningependa uulete sio street talks na kama ushahidi ungekuepo Guantanamo isingekuwepo kuwaweka waislamu zaidi ya 10 yrs bila ya kuwashtaki,, ukivisoma vitabu QUESTIONING WAR ON TERROR NA WAR IS A LIE utaujua ukweli mkuu watu wanafanya hayo to satisfie matakwa yao

Na kuhusu ulipuaji wa makanisa hamna ushahidi hadi saivi ama kama ushatoka basi ningependa ulete tuujadili na kuuwawa kwa Padri hamna ushahidi pia tutajuaje kama ni biashara ya unga wanayofanya wamezulumiana.

Na sheikh Ponda kutetea mali ya waislamu ni haki yake na ya muislamu yyte yule kama mtu wetu kipenzi alivyosema usidhulumu wala usidhulumiwe sasa ni haki yake na yetu sote.

Na kutupiwa lawama kwa uislamu hilo lishapangwa tayari kwenye mikakati yao kuuharibu na kuuchafua uislamu na kila wakiusema vibaya uislamu unazidi kukuwa itizame dini inayokuwa zaidi kuliko zote west. kama Allah subhanahu wataala alivyosema katika Quraan They want to extinguish the light of Allah with their mouths, but Allah will perfect His light, although the disbelievers dislike it. (Wanajaribu kuizima nuru ya Allah kwa midomo yao,lakini allah ataikamilisha nuru yake hata kama makafiri hawatopenda)

Mag3 na Nanren; Inabidi niwape shukran za dhati sana. Tena sana. Hamna matusi yanayoshinda ukweli. Huyu anayenitukana na kujifanya ni muislamu mwema namkaribisha Zahrau Islamic Academy Tanga (hawa wana matawi nchi nzima sasa) aongee na Mudir. Namruhusu ataje jina langu Wickama kwa Mudir na kuniulizia. Ataambiwa kama mimi ni Zombie au Brain dead. Namkaribisha Lushoto aulizie kwa aliyekuwa Imamu wa msikiti wa mjini na Dochi Mzee Shekilindi (aambiwe kama Lushoto na mimi ni Zombie au brain dead). Aje kwa Alhaji Mzee Shekue br 12 (huyu na wenzake tunaunda taasisi ya masuala ya elimu mkoani petu), waulizie kama Wickama ni zombie au brain dead). Not Least aulizie msikitini kwangu Donge hapa Tanga. Wala sihitaji kusema hapa donge tunafanya nini.

Mag3. Mimi ni mkuria wa Tarime. As you can see siongelei Tarime hapa. Harakati zote hizi tupo na watanga na wachagga, wapogoro and many other people. This is our home. Hatuna muda wa irrelevancies. Hatuna muda na mtu au kikundi chenye kupanda chuki dhidi ya watu wa dini zingine kama wakiristo. Muda huo hatuna. Sikitiko ni kuwa wengi wa wafuasi hawa hata hawajui Mtume (saw) aliagiza nini katika kuishi na wakiristo. Badala yake wanadhani kumtoa kafara mkiristo hata kwa uzembe wako mwenyewe ndio fashion. Wengi hawajui wanaondolewa kwenye dini yao kwa mambo kama haya. Hapa chini ni sites zenye kuonyesha Mkataba aliyoandikiana Mtume (saw) kwa Wakiristo wakiwakilishwa na Makasisi wa St. Catherine Monastery ya Sinai. Vizuri sana kuusoma kwa kila mtu (mwislamu na asiye mwislamu). It is pathetic mtu kudhani eti kuwatukana wengine ni wehu au hawana jando ndio kutakupandisha uwe mwislamu mzuri. Wamasai na hata Wakurya wamefanya jando kwa makarne. So what!!!! Wewe kama ulikuwa hufuatilii dini yako, there is no way kitabu cha Abdul Sykes kitakufanya utoe zaka, au uswali. No way. Na wala sio malengo ya kitabu chenyewe.

http://peace-forum.blogspot.nl/2011/02/prophet-muhammads-everlasting-promise.html
http://www.islamicsupremecouncil.com/theeternalpromise.htm http://www.sinaimonastery.com/en/index.php?lid=68
Asante sana Wickama, nakushukuru sana kwa kujitokeza waziwazi na bila woga kulitetea taifa lako, nakupongeza na kukushukuru kwa kuonesha uzalendo usio kifani, Mungu akupe baraka. Hauko peke yako, wapo Waislaam wengi tu ambao wanakerwa kikweli kweli na mahubiri ya kichochezi ya Mohamed Said na kusema kweli madai yake hayana tofauti na ya Sheikh Ilunga ila tofauti ni kwamba Ilunga hafichi unafiki wake kama huyu. Mohamed Said ndiye muasisi wa hizi chokochoko kutokana na mafunzo aliyopata kutoka kwa Mpakistani Prof. Malik ambaye kusema kweli hakuwa na sababu ya kuitakia mema taifa letu.

Mafanikio ambayo ameweza kuyapata Mohamed Said ni kutokana na baadhi ya Waislaam kukaa kimya na kuruhusu dini yao kutumiwa na watu wenye malengo maovu. Sasa nawaomba wote wenye nia njema na taifa hili kusimama imara na kwa sauti kubwa kuwakemea hawa wachochezi na kuwaambia kuwa mahubiri yao ya chuki hayakubaliki, si kwa jamii hii ya Watanzania wa leo. Ni kweli wapo ambao haya madai ya uongo yamewaathiri kwa kiwango kikubwa kama inavyoshuhudiwa hapa lakini kunyamaza bila kukemea si suluhisho muafaka. Asante sana Wickama, bila shaka wengine wengi watajitokeza kama ulivyofanya.
 
Mag3 na Nanren; Inabidi niwape shukran za dhati sana. Tena sana. Hamna matusi yanayoshinda ukweli. Huyu anayenitukana na kujifanya ni muislamu mwema namkaribisha Zahrau Islamic Academy Tanga (hawa wana matawi nchi nzima sasa) aongee na Mudir. Namruhusu ataje jina langu Wickama kwa Mudir na kuniulizia. Ataambiwa kama mimi ni Zombie au Brain dead. Namkaribisha Lushoto aulizie kwa aliyekuwa Imamu wa msikiti wa mjini na Dochi Mzee Shekilindi (aambiwe kama Lushoto na mimi ni Zombie au brain dead). Aje kwa Alhaji Mzee Shekue br 12 (huyu na wenzake tunaunda taasisi ya masuala ya elimu mkoani petu), waulizie kama Wickama ni zombie au brain dead). Not Least aulizie msikitini kwangu Donge hapa Tanga. Wala sihitaji kusema hapa donge tunafanya nini.

Mag3. Mimi ni mkuria wa Tarime. As you can see siongelei Tarime hapa. Harakati zote hizi tupo na watanga na wachagga, wapogoro and many other people. This is our home. Hatuna muda wa irrelevancies. Hatuna muda na mtu au kikundi chenye kupanda chuki dhidi ya watu wa dini zingine kama wakiristo. Muda huo hatuna. Sikitiko ni kuwa wengi wa wafuasi hawa hata hawajui Mtume (saw) aliagiza nini katika kuishi na wakiristo. Badala yake wanadhani kumtoa kafara mkiristo hata kwa uzembe wako mwenyewe ndio fashion. Wengi hawajui wanaondolewa kwenye dini yao kwa mambo kama haya. Hapa chini ni sites zenye kuonyesha Mkataba aliyoandikiana Mtume (saw) kwa Wakiristo wakiwakilishwa na Makasisi wa St. Catherine Monastery ya Sinai. Vizuri sana kuusoma kwa kila mtu (mwislamu na asiye mwislamu). It is pathetic mtu kudhani eti kuwatukana wengine ni wehu au hawana jando ndio kutakupandisha uwe mwislamu mzuri. Wamasai na hata Wakurya wamefanya jando kwa makarne. So what!!!! Wewe kama ulikuwa hufuatilii dini yako, there is no way kitabu cha Abdul Sykes kitakufanya utoe zaka, au uswali. No way. Na wala sio malengo ya kitabu chenyewe.

http://peace-forum.blogspot.nl/2011/02/prophet-muhammads-everlasting-promise.html
http://www.islamicsupremecouncil.com/theeternalpromise.htm http://www.sinaimonastery.com/en/index.php?lid=68

Wickama
I happen to have a priveledge of knowing you. You have used your really name and you are the only Wickama I have ever interacted with. I know you can't know me because I have used an alias. Just to give you a hint that I know you I give you two words: ARI and Mkanyageni. Thus why I cautioned one fella in this thread that you are his fellow muslim after he wrote some abusive words which he thought he was directing to a non-muslim.
It is so sad that some people here have developed unfounded hatred against Nyerere and christians in general to the extent that they concoct stories just to demean Nyerere and other non-muslims. They falsfy data and stick to their unproven version of events as if their only interest is to create and mantain animosity between Christians and muslims. It is again so sad that some muslim brothers are not courageous enough to tell people like Moh Said that they are wrong just because they are afraid of being seen as siding with infidels and therefore they could be considered as non-muslims just like Gombesugu thought of you...
 
Last edited by a moderator:
Kitabu cha Abdul Sykes kinamsaidia Muislamu kujua ilmu inayoitwa Fiqhul Waaqiy (Fiqhi ya kujua kinachoendelea duniani au sehemu ambayo Muislamu yupo).

Ukitaka asli katika Sunnah basi Mtume salalahu alayhi wasallam aliwaelekeza sahaba zake waende Ethiopia na sio Yemen, Syria,Rome au popote pale bali aliwaelekeza waende Ethiopia kwa kuwa kulikuwa na Mfalme muadilifu, hii inakuonyesha kuwa Mtume salalahu alayhi wasallam alikuwa akijua Fiqh waaqiy! alikuwa akijua kitu gani kinachoendelea Bara Arabu na Duniani kiujumla.

Ndiyo maana karibu Ma-Sheikh wote wa kueleweka aidha watakuwa wanafuatilia habari zinazoendelea ulimwenguni au watakuwa na vijana wao wanaofuatilia na kuwapasha habari kila siku.

Hata kiakili tu sijui ni Aalimu gani huyo atakayejifungia kwake na vitabu vya dini tu bila ya kujua yanayoendelea duniani! aalimu wa namna hii atatoa vipi fatwa wakati hajui kinachoendelea mjini mwake?

Usishangae ukija kugundua kuwa wanawazuoni maarufu wa Kiislamu wameshakipitia hiki kitabu cha Abdu Sykes au kama bado basi ujue wakati wowote mwanazuoni atakayetaka kujua fiqh waaqiy ya Tanzania ataelekezwa kitabu hiki.

Maneno mazito haya Allah akuzidishie Muislam yeyote lazima ajitambue.
 
Wickama
I happen to have a priveledge of knowing you. You have used your really name and you are the only Wickama I have ever interacted with. I know you can't know me because I have used an alias. Just to give you a hint that I know you I give you two words: ARI and Mkanyageni. Thus why I cautioned one fella in this thread that you are his fellow muslim after he wrote some abusive words which he thought he was directing to a non-muslim.
It is so sad that some people here have developed unfounded hatred against Nyerere and christians in general to the extent that they concoct stories just to demean Nyerere and other non-muslims. They falsfy data and stick to their unproven version of events as if their only interest is to create and mantain animosity between Christians and muslims. It is again so sad that some muslim brothers are not courageous enough to tell people like Moh Said that they are wrong just because they are afraid of being seen as siding with infidels and therefore they could be considered as non-muslims just like Gombesugu thought of you...

Nanren,
Sina chuki na Nyerere wala na Ukristo.

Yote niliyoeleza hapa JF ni kweli kadri
ya ufahamu wangu.

Ikiwa unadhani nasukumwa na chuki hiyo
ni bahati mbaya sana.
 
Nanren,
Sina chuki na Nyerere wala na Ukristo.

Yote niliyoeleza hapa JF ni kweli kadri
ya ufahamu wangu.

Ikiwa unadhani nasukumwa na chuki hiyo
ni bahati mbaya sana.

Mohamed Said
Nakusoma, mzee wetu. Inawezekana kabisa huna chuki na wala hukuwa na nia ya kupandikiza chuki. Lakini ukweli uliopo ni kuwa wafuasi wako wanatumia mafundisho yako na ku-develop hatred. Kila kitu sasa hivi ni kuangalia majina tu. Hassan vs Peter!
 
Last edited by a moderator:
Tujihadhar jaman na hizi thread kwani hazijengi zaidi ya kubomoa,

Ila hapo kwenye NECTA ninaweza nikaamini maana nakumbuka uzembe uliopitiliza wa NECTA uliofanywa mwaka jana ktk mitihani ya Islamic knowledge, Hapo sina ubishi kwa kile alichokieleza mzee Mohamed Said na wadau wengine.
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Said, najisikia vibaya sana kusema unadanganya, tena unaitumia vibaya JF.

Mimi ni Mkristo, kwetu Kigoma ingawa sio Mmanyema kwa upande wa baba, mama yangu ni Mmanyema na ni Mkristo kwa kuzaliwa. Bibi mzaa mama ni Mkristo Mmanyema! Watoto wake wote ni Wakristo, baadhi ya wajomba wa bibi yangu Mkristo Mmanyema nao ni Wakristo Wamanyema!
Sheikh Said, najua wewe ni Mmanyema Muislamu, bila shaka unafahamu jina hili -Kasulwa. Ni kabila gani hawa?

Wimana,
Usemalo linawezekana sana.

Halikadhalika unaweza ukampata Mngazija Mkristo.
 
Salaam ndugu yangu Wickama na wengine mnaoshiriki mnakasha huu.Nimekuwanikifuatilia muendelezo wa mnakasha toka ulipo anza mpaka hii leo lengo langu kuu likiwa ni kufyonza ilm tu.

Hakika nimejifunza mengi kwa ukimya wangu lakini kwa hili ulilofafanua ndugu yangu Wickama nimesukumwa name nitoe yangu machache.

Wickama sikumbuki ni lini waislamu wa Tanzania waliachiwa fursa ya kujenga taasisi zao zenye nguvu na mipango thabiti kwa ajili ya kusimamia miradi yao ya maendeleo.kumekuwa na hofu kubwa miongoni mwa watawala kuwaachia huru waislam kupanga na kusimamia mikakati yao ya maendeleo.

Hivi anapokuja mtu na kusema waislamu hawapendi shule anasahau kwamba ni haohao waislamu waliokuwa na wazo la kwanza la kujenga chuo kikuu na shule kila wilaya kupitia EAMWS.Kuna mtu anaikumbuka taasisi ya African Muslim Relief Agency wakati wa Awamu ya tatu walipokuja na mikakati mikubwa ya kujenga mashule yanayoeleweka pamoja na kuajiri walimu waliobobea kutoka sehemu mbalimbali kwa ajili ya kufundisha shule zao,nini kiliwakuta.

Serikali ya Raisi Mkapa ilizuia source of funds zote kwa taasisi hiyo na kumtimua mlezi wake wa IRINGA kwamba ni gaidi.Wakati African Muslim wanapigwa vita upande mwingine mama Rwakatare alipewa all support. Naomba ndugu zangu wa imani nyingine tuelewe kwamba waislam hawaitaji msaada wala kuonewa huruma bali wanachotaka ni kupewa fursa sawa ili waendeshe mambo yao kama ndugu zetu wakristo mlivyo huru. Ahsante na mchana mwema
Ndg Uthman, salaam. Nadhani hutajali kama nikichangia bandiko lako ambalo kiukweli ulimkusudia Wickama.

Kwanza, napenda kukufahamisha kuwa kila atoae hoja basi huchangiwa kwa hoja. Asitokee mtu akakuambia kuwa kwavile wewe umejitambulisha basi utashambuliwa. Hapa hashambuliwi mtu zinashambuliwa hoja kwa mantiki.
Hivyo jisikie huru na wala usighafilike au kutishika na maneno ya wale wanaoamini katika utengano zaidi ya undugu.

Pili, niweke sawa suala la EAMWS. Tumeshaeleza kuwa taasisi hii chimbuko lake ni Pakistan na hapa EA ilianzia Mombasa.
Kwa bahati mbaya taasisi hii ilitumika na masalia ya AMNUT yaliyotoka kuitumia kisiasa zaidi ya kidini.
Ndiyo maana baada ya kufungwa mlezi wake Agakhan amerudi na sasa anajenga vyuo vikuu.

Kitu kimoja unachopaswa kujiuliza ni kuwa kwanini taasisi hii iliazimia kujenga chuo kikuu ili hali kulikuwa hakuna shule za awali, msingi na sekondari kama ilivyo sasa? Kwahiyo hii inatumika kujenga hoja za waislam kutopewa fursa katika mambo yao wakati si kweli.

Si kweli kwasababu taasisi ya Africam relief agency ilikuwepo kabla ya awamu ya Mkapa.
Ilikuwepo wakati wa Mwinyi.Unless unataka kuifungamanisha na Mkapa ukweli unabaki kuwa ilikuwepo kabla yake.
Nadhani unajua kazi zake na jinsi ilivyokuwa ina operate. Nikupe changamoto utueleze nani alikuwa mkuu wa taasisi hii na ilipoondoka iliondolewa kwa sababu zipi.

World Muslim League ya Rukara ilikuwepo. Nadhani umeona jitihada za makusudi za kuua hoja ya WML. Hakuna anayetaka kuizungumzia kwasababu ya madudu yake. Ilifunga virago yenyewe kwasababu za ndani na wala si serikali.

Ikaja taasisi nyingine iliyotaka kujenga chuo cha ufundi kibaha. Nayo ilikumbwa na madhila yale yale ya taasisi zilizotangulia na kuamua kujenga Mbale Uganda. Hata hivyo kuna shule ya WHIPAS pale kibaha ambayo inaendesha shughuli zake bila kikwazo.

Hivi karibuni kuna taasisi imekuja na kujenga misikiti 700 kote nchini. Jambo zuri sana kwani sehemu za ibada ni muhimu kwa waumini. Taasisi hiyo pamoja na misikiti imejenga pia visima na mambo mengine bila kikwazo chochote kile.
Imesimamia miradi yake yenyewe bila kuingiliwa hadi ilipokamilika.

Umeongelea suala la Lwakatare kupewa misaada na kujenga shule. Nadhani pia ungeangalia upande wa pili kuwa pamoja na kujenga misikiti 700 ambalo ni jambo jema, je taasisi hiyo ilizuiwa kujenga shule, hospitali au chuo? Jibu ni hapana.

Ningelikuwa mshauri wa taasisi hii ningewaambiwa kuwa kila msikiti waliojenga pengine ungekuwa na shule jirani au nursery school. Huenda misikiti 700 isingetimia pengine kungekuwa na misikiti 200 na shule 80. Hadi hapo shule hizo zingekuwa nyingi kuliko za Lwakatare tena zikiwa na vumba vya ibada pembeni. Kwa maneno mengine kungekuwa na huduma za jamii pamoja na za kidihi all together.

Hapa ni suala la priority, quality na quantity na inategemea wewe au mimi tunaangaliaje jambo hili kwa kila mmoja kuwa na maoni yake.

Kitu kimoja ninachotaka kukuhakikishia ni kuwa hakuna hujuma katika taasisi hizo bali kuna hujuma ndani ya taasisi. Nimetoa mfano wa WML ambao kwa muda waliokaa nchini hakuna alama ''mark'' unayoweza kusema taasisi ya kimataifa imeacha kwa uhakika.

Uthaman, lazima pia twende mbele na nyuma. Maandeleo ya watu yanatokana na watu wenyewe. Sidhani fikra za kusubiri taasisi za kigeni ni jambo jema. Hivi kwanini waislam ambao wengi wana uwezo katika biashara wawekeze zaidi katika michezo lakini suala la elimu na afya lisubiri taasisi kama African relief agency? Nadhani unafahamu hili vema.

Hapo Tanga ukienda Pangani kuna pori la maekari ambalo ni mali ya waislam. Je, kuna jitihada gani za kuendeleza kwa waislam wenyewe bila kusubiri taasisi ambazo nyingi zinaweza kuwa na masuala mengine?
Nadhani umesema vizuri kuwa waislam hawahitaji msaada bali uwezo wa kujiamulia mambo yao.

Uwezo huo upo sasa wanahitaji uamuzi wa kujitafutia maendeleo. Pale ubungo, kuna shule ni nani amefunga shule hiyo? hakuna! Sasa kwanini watu wasifikiri kuchukua maeneo na kuyaendeleza eti ni mpaka kuje taasisi kutoka nje!

Kuna suala lingine umeligusia la walimu na tuhuma za ugaidi. Ningependa kukukumbusha kuwa Prof Maliki likuja nchi kama mhadhiri wa hesabu. Wakati anatimuliwa alisema serikali ilishachelewa kwasababu amemaliza kazi ya kupanda mbegu.

Mbegu zake ni hizi za akina Mohamed wanaoamini katika chuki hata kama uislam hausemi hivyo.
Wanaoamini katika kutafuta sababu za kufarakanisha umma hata kama ni kinyume cha mafunzo ya uislam.
Kwahiyo si suala la kusema kila atakaye aje tu kufanya anachotaka. Tutakuwa katika wakati mgumu.

Miaka ya nyuma kuna watu kutoka nje walianzisha kanisa la watchtower. Hili lilizuia watu wake kwenda hospitali au shule. Serikali ikalipiga marufuku mara moja. Na hadi sasa tuna watu wanashikiliwa walioingia nchini kama makasisi na mapadre huku wakiwa wauza dawa.

Suala la usalama wetu ni muhimu sana. Hakuna ibada itakayofanyika wala dini itakyoweza kuwa katika utulivu nchi ikiwa matatani. Nadhani uliona Rwanda, sijui nani alikuwa na muda wa kusali wakati risasi zinarindima mgongoni.
Ndivyo ilivyokuwa Bosnia na ndivyo ilivyo Nigeria.

Na mwsiho, naomba sana wakati ukidhani kuwa EAMWS ingekuwa mkombozi, jiulize zile nafasi za IDB kwa waislam peke yao zinatolewa kwa utaratibu gani na je utaratibu huo umelenga kumwendeleza mwislam au baadhi ya waislam.

Sijui kama unajua kuwa zile nafasi zimekuwa na malalmiko sana. Ndivyo zilivyokuwa kazi za ARMA na WML.
Unaweza usione hilo au kuliona kama ni uzushi, muhimu fanya tafiti kidogo utaweza kunielewa.

Na jiulize kwanini Shia, Bohora, Ismailia wanaendelea na shughuli zao kwa ufanisi lakini nje yao kuna matatizo?

Nikushukuru tena kwa kueleza maoni yako na kila mmoja anaheshimu maoni ya mwenzake.

cc. Gombesugu, Mag3, JokaKuu, Jasusi, Mwanakijiji, Ritz, Wickama, Wimana.
 
Back
Top Bottom