Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Umesahau na hizi Malaysia, Turkey, Brunei, Dubai, Iran, Qatar, Brunei, Oman, Kuweit, Abu Dhabi.
Hizi nazo ni "dormant volcanoes". Wakati wowote zitalipuka tu kama ambavyo tumeanza kuona cheche hapa Tanzania. Lipo tatizo kwenye DINI hii kama ulivyokuwa UKRISTO zamani. Hamtaki kuliona. Hamtaki lisemwe. Mnajitahidi kulihamishia tatizo hili kwingine! Wanaosaidia kulipua kwa jina la Mungu mnawaita mashujaa.
 
Wickama,

I've just read your waste. You sound like you blundered into someone else nightmare. People like you and Mag3 can never truly make any compelling arguments at this "mnakasha". Most of your comments/posts make me cringe.

Brain dead Wickama,all you can see is just around the corner from your little street/village and pretend you know Muslims that well. So this is what people meant by the Zombie apocalypse,some become Zombies. After all Zombies don't have brain tissue that have electric neurons to make it function.

Damn Dummy! Who gave you the authority to speak on behalf of Muslims or Kadogoo? Wake up and get some sense in your head. There is no love or respect for Muslims in you,and I know it.

Muslims need an aggressive and intelligent response to the reality and issues they are facing right there in their own country.

Try to explain your anger,don't express it and you will immediately open the door to positive engagement and gradually we find solution/s together; instead of personal attack on me,being sarcastic to Muslims or create silly arguments.

Take care.

After writing all this trash, what will you do after it is revealed that Wickama is actually a muslim?
 
Nanren,

Ndugu yangu kwanza mie sijapinga kila kitu cha Nyerere kuna mambo mengi tu nayakubali ambayo kayafanya Nyerere kama kulinda rasilimali za taifa dhidi ya waporaji. Nyerere alikuwa na sifa ya kiongozi kutokana na maisha yake ambayo aliyokuwa akiishi. Pia alikuwa msomi mzuri mwenye huwezo mkubwa wa kujenga hoja.

Ndiyo maana hata Wazee walimuamini kwa muda mfupi tu waliokuwa wamekaa naye. Kambona pia nilikuwa namkubali sana kama kiongozi.

Nyerere kama kiongozi alikuwa na mapungufu yake kama binadamu tatizo tukiyajadili hayo matatizo yake ndiyo tunaitwa wadini.

Fikra zako kwangu kuhusu mimi kuwa mdini siwezi kuzizuia.

Kuna viongozi wengi tu Waislam siwakubali.
 
Last edited by a moderator:
Ritz, kuna pointi ndogo huioni au kwa sababu ya udini ulionao unamuhukumu Mh Selasini. Yeye ametoa uthibitisho (ushahidi) kuwa UDom kuna udini, tena Wahadhiri ndio wanaoueneza kwa kuwataka Wanafunzi wa Kiislamu kuwatenga wasio wa dini yao. Kwa upeo wa Mh Nkamia, nasikitika wewe nawe ni hivyo, anadai ati ni kwa sababu Wakuu wa UDom ni Waislamu ndio maana Mh Selasini anakuja na hayo madai! Hizo ni akili za Punda! Kama Mh Nkamia na wewe mngefikiri nje ya box, Mh Nkamia angeomba mwongozo na kumtaka Mh Selasini athibitishe madai yake. Lkn bahati mbaya sana, ametanguliza dini yake kiasi cha kutoruhusu akili yake kushindwa kufikiri vema; dini yake imemfanya awe mjinga badala ya kumpa maarifa, na mbaya zaidi wewe na wengine wengi humu mmekubaliana na hoja yake duni.

Nashukuru kuwa kuniambia kuwa na akili za Punda haya matusi yenu tumeishayazoea.

Kwa hiyo wewe unaefikiri ndani ya box unakubali kuwa UDOM kuna udini.

Hebu tupe ushahidi wa udini wa UDOM ambao unaoutetea mpaka povu linakutoka.
 
Ritz,
Nini maoni yako kuhusu anayoyafanya Sheikh Ponda? Huyu bwana ni shujaa wako kama alivyo kwa Sheikh Mohamed Said ?
 
Last edited by a moderator:
Hizi nazo ni "dormant volcanoes". Wakati wowote zitalipuka tu kama ambavyo tumeanza kuona cheche hapa Tanzania. Lipo tatizo kwenye DINI hii kama ulivyokuwa UKRISTO zamani. Hamtaki kuliona. Hamtaki lisemwe. Mnajitahidi kulihamishia tatizo hili kwingine! Wanaosaidia kulipua kwa jina la Mungu mnawaita mashujaa.

WildCard,

Genocides za Rwanda, Burundi, Zaire, Angola, Liberia, Sierra Leone, New Guinea, Uganda, Haiti, Zimbabwe.

Haya mauaji walisabisha Waislam?

Sijataja mauaji ya zamani ya vita vya kwanza na vya pili.
 
Last edited by a moderator:
Wickama,

I've just read your waste. You sound like you blundered into someone else nightmare. People like you and Mag3 can never truly make any compelling arguments at this "mnakasha". Most of your comments/posts make me cringe.

Brain dead Wickama,all you can see is just around the corner from your little street/village and pretend you know Muslims that well. So this is what people meant by the Zombie apocalypse,some become Zombies. After all Zombies don't have brain tissue that have electric neurons to make it function.

Damn Dummy! Who gave you the authority to speak on behalf of Muslims or Kadogoo? Wake up and get some sense in your head. There is no love or respect for Muslims in you,and I know it.

Muslims need an aggressive and intelligent response to the reality and issues they are facing right there in their own country.

Try to explain your anger,don't express it and you will immediately open the door to positive engagement and gradually we find solution/s together; instead of personal attack on me,being sarcastic to Muslims or create silly arguments.

Take care.

Hello Gombesugu, Its good you now have had your revenge. Ok lets move on. Write something. We all shall read. With warm regards. Karibu.
 
WildCard,

Genocides za Rwanda, Burundi, Zaire, Angola, Liberia, Sierra Leone, New Guinea, Uganda, Haiti, Zimbabwe.

Haya mauaji walisabisha Waislam?

Sijataja mauaji ya zamani ya vita vya kwanza na vya pili.
Angalau sio UKRISTO uliosababisha mauaji haya. Mengi ni ukabila. 9/11 ni Uislam, Boston Marathon wale watoto ni Waislam wa Chechnya!, Hapa Dar na Nairobi( 1998) ni Uislam unatajwa, Mauaji ya Padre kule Zanzibar, makanisa kuchomwa nako watu wanautaja Uislam umewatuma, Sheikh Ponda kuvamia kiwanja anaokoa mali za Waislam,...., lipo tatizo Ritz.
 
Ha ha haaa...mbavu zangu! Mbona unajidhalilisha? Mhasibu Mkuu na mweka hazina wapi na wapi! Kama kawaida unapewa "like" na wale walee! Kweli mgema akisifiwa tembo hulitia maji, napita tu...
Mweka hazina anaweza pia kuwa Mhasibu kwa wakati huohuo.

Ulichotakiwa kufanya ni kumuuliza MS kama Idd Faiz alikuwa ni Mweka hazina wa TANU na wakati huohuo ni Mhasibu wake?

Au wakati Idd Faiz alipokuwa ni Mweka hazina TANU ilikuwa na nafasi ya Mhasibu peke yake?

Haya ndiyo maswali uliyotakiwa kumuuliza badala ya kuja na kejeli,dharau na kibri ambavyo mwisho wa siku vinakuumbua jinsi ulivyomtupu katka kupambanua masuala.
 
Angalau sio UKRISTO uliosababisha mauaji haya. Mengi ni ukabila. 9/11 ni Uislam, Boston Marathon wale watoto ni Waislam wa Chechnya!, Hapa Dar na Nairobi( 1998) ni Uislam unatajwa, Mauaji ya Padre kule Zanzibar, makanisa kuchomwa nako watu wanautaja Uislam umewatuma, Sheikh Ponda kuvamia kiwanja anaokoa mali za Waislam,...., lipo tatizo Ritz.

Angalau wewe unapinga lakini Kanisa limeomba radhi kwa mauaji kule Rawanda unajitoa ufahamu wale watu waliokuwa wanakusanywa ndani ya Kanisa kisha kuchinjwa jibu lako ni ukabila mbona hakuna watu waliochinjwa Misikitini huko Rwanda.

Umeishawahi kujiuliza kwa nini viongozi Wakiristo duniani ndiyo wanaogoza kufanya mauaji ya kutisha.

Adolf Hitler alikuwa Mkiristo safi katoa roho za binadamu wenzake zaidi ya milioni 12.

Leopold II alikuwa Mkristo safi katoa roho za binadamu wenzake tena Waafrika wenzetu milioni 8.

Pol Pot alikuwa Mkiristo safi katoa roho za binadamu wenzake milioni 2.

Ngoja tuishie hapa orodha ni ndefu kaka. fuatilia kesi ya Ponda mwenye kiwanja aliouziwa amesema hajaibiwa mali yoyote na Ponda.
 
Nashukuru kuwa kuniambia kuwa na akili za Punda haya matusi yenu tumeishayazoea.

Kwa hiyo wewe unaefikiri ndani ya box unakubali kuwa UDOM kuna udini.

Hebu tupe ushahidi wa udini wa UDOM ambao unaoutetea mpaka povu linakutoka.

Ritz, kwanza naomba unisamehe kwa kukukwaza.
Nashangaa sana jinsi mnavyowafanya Watanzania mazuzu kwa kutumia hoja dhaifu zisizo na mantiki kama jinsi unavyoshadadia hoja dhaifu ya Mh. Nkamia dhidi ya madai ya Mh Selasini.

Kwa swali lako, ninajibu kuwa nakubaliana kwa mashaka madai ya Mh Selasini kuhusu udini UDom. Hii ni kwa sababu anadai kuwa anao ushahidi kwenye DVD.

Hata hivyo sikubaliani kwa asili mia hoja ya Mh Nkamia ati madai ya Mbunge mwenzake ni 'chuki' dhidi ya Uislamu wa Wakuu wa Chuo cha UDom ambayo wewe GT unaishabikia na kumwaga sumu yenu ya udini.

Madai ya Selasini na hoja ya Nkamia yanaonyesha udhaifu wa kiuongozi wa hali ya juu wa Spika wa Bunge, Waziri Mkuu, Lukuvi, Wasira (kwa vyeo vyao) na Wabunge wa CCM. Inaonyesha jinsi kambi ya CCM wamejipanga kuwapasha tu Wabunge wa upinzani hata kushindwa kuteka fursa adhimu zinazojitokeza ili kujiimarisha kisiasa.

Najiliza ikiwa wewe Ritz uliyeelimika, unaweza kukubaliana na hoja dhaifu, chafu na hatari kama za Nkamia, itakuwaje kwa Watanzania wenzetu waliopo kule Murusagamba, Nyanchabakene, Msanga ngongele, na Mahurunga?
 
WildCard,

Genocides za Rwanda, Burundi, Zaire, Angola, Liberia, Sierra Leone, New Guinea, Uganda, Haiti, Zimbabwe.

Haya mauaji walisabisha Waislam?

Sijataja mauaji ya zamani ya vita vya kwanza na vya pili.

Ritz umesahau na hapa kwetu Arumeru mpaka MH Mrema akaenda kuamua bila kusahau dayosisi ya same nayo sijui ni waislamu tena nakumbuka Arumeru mpaka migomba na ng'ombe vyote vilionja joto ya jiwe ha ha haa....
 
Ritz, kwanza naomba unisamehe kwa kukukwaza.
Nashangaa sana jinsi mnavyowafanya Watanzania mazuzu kwa kutumia hoja dhaifu zisizo na mantiki kama jinsi unavyoshadadia hoja dhaifu ya Mh. Nkamia dhidi ya madai ya Mh Selasini.

Kwa swali lako, ninajibu kuwa nakubaliana kwa mashaka madai ya Mh Selasini kuhusu udini UDom. Hii ni kwa sababu anadai kuwa anao ushahidi kwenye DVD.

Hata hivyo sikubaliani kwa asili mia hoja ya Mh Nkamia ati madai ya Mbunge mwenzake ni 'chuki' dhidi ya Uislamu wa Wakuu wa Chuo cha UDom ambayo wewe GT unaishabikia na kumwaga sumu yenu ya udini.

Madai ya Selasini na hoja ya Nkamia yanaonyesha udhaifu wa kiuongozi wa hali ya juu wa Spika wa Bunge, Waziri Mkuu, Lukuvi, Wasira (kwa vyeo vyao) na Wabunge wa CCM. Inaonyesha jinsi kambi ya CCM wamejipanga kuwapasha tu Wabunge wa upinzani hata kushindwa kuteka fursa adhimu zinazojitokeza ili kujiimarisha kisiasa.

Najiliza ikiwa wewe Ritz uliyeelimika, unaweza kukubaliana na hoja dhaifu, chafu na hatari kama za Nkamia, itakuwaje kwa Watanzania wenzetu waliopo kule Murusagamba, Nyanchabakene, Msanga ngongele, na Mahurunga?

Kwa faida ya wanajamvi hebu tuwekee huo ushahidi wa Selasini.
 
Ritz,
Nini maoni yako kuhusu anayoyafanya Sheikh Ponda? Huyu bwana ni shujaa wako kama alivyo kwa Sheikh Mohamed Said ?
WildCard.
Sheikh Ponda ni binadamu sio malaika anapata na kukosea lakini kwa taarifa yako kwanza nikujulishe na nukuu maneno ya mzee BILALI WAIKELA alipoenda kutoa ushahidi pale mahakamani aliseama kile kiwanja kilikuwa mali ya EAMWS kabla ya Nyerere kumdangaya mzee Karume kwamba EAMWS inampango wa kuwarudisha waarabu watawale Zanzibar na mzee Karume akaingia mkenge ikavunjwa ikaanzishwa BAKWATA, sasa nakuja kwenye point kile kiwanja ni mali ya wakfu na mali ya wakfu haibadilishwi na kitu chochote pili hivi wewe WILDCARD kama akili yako iko salama unaweza kubadilishana heka 4 za Chang'ombe ukapewe heka 40 kisarawe kweli inaingia akilini hiyo :nono::nono::nono: wakati heka 4 umeshindwa kujenga SHEIKH PONDA ANAHAKI YA KUDAI ILE MALI YA WAISLAMU HUO NDIO MTAZAMO WANGU MIMI KAMA MIMI.
 
Vitabu vyote nilivyoagiza vimefika; ninacho vya John Iliffe (vyote vitatu); ninavyo na vingine. Ninapitia si kwa sababu sikuwa najua lakini nilitaka nisome kama alivyosoma Mohammed Said na kuona kama nafikia hitimisho lile lile. NInachokiona alichofanya Mohammed Said ni kupotosha historia ya harakati za Uhuru wa Tanganyika. Ameipotosha mno kiasi kwamba kweli inawezekana inabidi mtu aandike kusahihisha upotofu huo.

Muheshimiwa Mwanakijiji,

Nashukuru kwa kutujuza marejeo ya ile likizo yako fupi,na matokeo ya ufuatiliaji wa vile vitabu. Nikubalie fursa ya kukuuliza maswali kiduchu japo kwa uchechefu wangu.

Naona sasa unajaribu kukubaliana nami,kuwa pana umuhimu wa kutunga kitabu na kumjibu au kumkosoa kimaandishi Sheikh Mohammed Said.

Hapa jamvini tumeonyeshwa nakala ya mojawapo ya vitabu vyako. Nimeipenda ile picha ilomo kwenye jarida.

Muheshimiwa Mwanakijiji,nafikiri unakumbuka awali niliwahi kukuuliza kuhusu zile harakati zako za kuandika kitabu kuhusu Bwana Rostam Aziz.
Jibu lako lilikua fupi mno hasa ukizingatia maswali/swali nilokuuliza. Ulinijibu kwa mtindo wa kuniuliza swali mie muulizaji.

"Je huyo Rostam Aziz bado yumo madarakani? Na unafikiri hizo nyadhifa aliziacha kwa ridhaa yake mwenyewe?"
Kama sijakosea ulijibu/uliuliza hivyo ili kuashiria kuwa uwezo wako fulani wa uandishi /kimaandishi ulisaidia kumuondoa Muheshimiwa yule kwenye nyadhifa alokua nazo.

Ama kwa hakika,kwa yeyote mwenye fikra na maarifa ya ufuatiliaji wa mambo,basi atajua yakuwa tuhuma na shutuma zilizokuwa zinamkabili Rostam Aziz na zilizopo sasa dhidi ya Sheikh Mohammed Said juwezi linganisha hata chembe.
Nina maana tuhuma mnazompa Sheikh Mohammed Said kama ni kubwa pita kiasi (kama ni za kweli).

Hasa ukizingatia kuwa wewe binafsi umedai kuwa Sheikh Mohammed Said ni member wa Muslim Brotherhood,mchochezi,ana mipango ya kuleta Shariah Law hapo Tanzania,anahatarisha amani na usalama wa nchi na wananchi wake kwa kuchochea vurugu za kidini na mengineyo kadhaa.
Ama kwa hakika hizi ni tuhuma nzito pita kiasi.

Muheshimiwa Mwanakijiji,niliwahi kukuuliza kama haya mambo/tuhuma dhidi ya Sheikh Mohammed Said ni ya kweli; mbona Serikali na vyombo vyoote vya usalama katika awamu za marais tafauti hapo nchini zimekua kimya hawakuliona hilo?

Pia nilihoji na kumtupia lawama Bwana Nyerere kwa ukimya wake mpaka anafariki kwa kutofafanua ukweli wa suala hilo. Sababu shutuma hizi nzito mfano wake wa karibu ni kama kutaka kufanza uhaini hapo nchini. Ndo maana pia niliwahi kusema yakuwa Nyerere hakuwa kiongozi mwadilifu na mwenye mapenzi kwa nchi yake kama tunavyoambiwa na kukumbushwa kila kukicha. Na kama angekuwa basi kuna maswali kadhaa ambayo niliuliza kwako awali. Japo ulistaajabu kwanini nikulaumu wewe binafsi na Nyerere.

Nahisi utakubaliana na mimi kuwa kama ni kweli hizo shutuma ulotoa dhidi ya Sheikh Mohammed Said,kama wewe binafsi uliweza kuzifuatilia,kuziona na kuzijua kwa miaka mingi saana huko nyuma,basi lazim tukubali kuwa Nyerere nae pia alizijua tena labda kwa kina zaidi yako.

Narejea tena kwanini Nyerere hakumjibu Sheikh Mohammed Said au kumdharau tu, lakini angetoa ufafanuzi japo kiduchu kwa wananchi wake au labda "kumshughulikia" kama walivyoshughulikiwa watuhumiwa wengi tu hapo nchini tangia "enzi za Mwalimu" mpaka sasa? Mimi binafsi bado naamini kama Nyerere angelifanza hivyo basi kwa kiasi fulani ingetuepusha mno hapa tulipo leo na hili "janga" la Sheikh Mohammed Said, na pia angekua ameinusuru kwa kiasi kikubwa nchi yake na wanachi wake vipenzi.

Najua hapo awali kuna "manyangumi wa hoja",walipazwa saana na kustaajabu pasi kiasi ati kwanini Nyerere amjibu Sheikh Mohammed Said ambae ni "mtu mdogo mno" kwa kulimnganisha na Nyerere? "Hao jamaa" walitakiwa wafahamu yawezekana Sheikh Mohammed Said ni mtu dhalili mbele ya Bwana Nyerere,lakini kina cha lile swali langu ilikua tafauti na muangalio/mtazamo wao,na hasha sikuwa katika kulinganisha baina ya Nyerere na Sheikh Mohammed Said kwenye maana walohisi wao.

Bila ya kurejea mengi nilowahi kukuuliza kwenye bayana yangu ya awali.

Muheshimiwa Mwanakijiji,umedai mara kadhaa kuwa ulishaiona hii hatari ya kina Sheikh Mohammed Said,Prof. Njozi,Dr. Dau na WARSHA miaka mingi saana ilopita.

Sasa inakuwaje hukuweza/hukutaka kutumia umahiri wa kalamu yako,ambayo kwa hakika ni kali mno kama ulivyotujuza jinsi ilivyomnyofoa Bwana Rostam Aziz nyadhifa zake, na ungewashughulikia Sheikh Mohammed Said na wenzie? Hasa ukitilia maanani kama ulivyodai yakuwa,ulikua unawajua hatari na madhara yao kwa nchi na ulikua unawafuatilia kwa miaka mingi?

Nafikiri huyu Rostam Aziz allibuka miaka sio mingi sana kwenye ulingo wa siasa. Au alianza "vitimbi vyake" kabla ya Sheikh Mohammed Said,WARSHA na wenzie?
Muheshimiwa Mwanakijiji,hivi kweli leo hii ndo wewe unaanza kuuona huo umuhimu wa kumjibu kimaandishi Sheikh Mohammed Said ili kuepusha hilo "janga" kwa nchi yetu? Wakati ulidai kuwa ulikua unawafuatilia hawa watu/kikundi na kujua hatari zao takriban miaka thelathini ilopita ndugu yangu?

Huo muda woote ulotumia kwa ufanisi dhidi ya Rostam Aziz(kitu ambacho inanilazim nikupe pongezi za dhati) na kuandika hizo riwaya za mahaba,huoni kuwa uliupoteza badala ya kushughulika na lile "hatari/janga" dhidi ya nchi toka kwa Sheikh Mohammed Said na wenzie? Kama uliweza kushughulika na habari za Rostam Aziz ambae amekuja baadae na issue yake haiwezi kabisa kulinganisha na uzito wa "janga/shutuma" za kina Sheikh Mohammed Said,na pia umekua na muda pia na muda wa kutosha kuandika vitabu vyako binafsi vya riwaya. Sasa huoni kuwa hapa yawezekana ulitoa kipaumbele kushughulika na mambo mepesi kuliko yale yenye hatari dhidi ya nchi yako?

Kama uliweza ku-priortise habari za Rostam Aziz,ambazo nina hakika nazo zilihitaji ufuatiliaji wako wa kina na pia ulipata muda wa kutunga hadithi za mahaba,na kuliwacha suala la kina Sheikh Mohammed Said/WARSHA,sasa huoni hapa sisi wengine tunapata tafsiri tafauti,ya kuwa hiyo hatari na janga unaloona linasababishwa na Sheikh Mohammed Said ni hadithi tu za kufikirika toka kwako na kikundi chako kwa sababu mzijuazo nyinyi wenyewe? Au utakubaliana na mimi yakuwa, Sheikh Mohammed Said ni kinyume na ujumbe wa mada hii unavyomtuhumu,na labda pana khitilafu za kisomi/kiuandishi baina yenu na zaweza kumalizwa kitaaluma tu, kama ambavyo unavyohisi sasa hivi kuwa ipo haja ya Sheikh Mohammed Said kujibiwa kimaandishi?

Zile lawama zangu dhidi yako binafsi, kwenye ile bayana yangu ya awali naziacha palepale. Muheshimiwa Mwanakijiji nafikiri wewe ndie mtu pekee hapa ulodai kuwajua,kuwafuatilia kwa karibu na kugundua hatari yao kubwa dhidi ya Taifa hili takriban miaka thelathini ilopita(hawa kina Dr. Dau.Prof. Njozi,Sheikh Mohammed Said na WARSHA).

Muheshimiwa Mwanakijiji,hivi ndugu yangu wewe binafsi kwa mtazamo wako unakubaliana na mawazo ya baadhi ya wanajamvi hapa,watanzania kadhaa pamoja na Serikali hapo kuwa Waislam wana matatizo na dhiki kadhaa za kihistoria na inalazim Serikali iwatengee sikio japo la upande mmoja kujua kinachowasibu?

Sijui kama unakubaliana na ile kauli ya Bwana W. Mkapa ya kuthibitisha na kuwa wengi kati ya Waislam wana matatizo na dhiki zilizosababishwa na kurithiwa toka kwa wakoloni?

Unakubaliana na mimi kuwa Sheikh Mohammed Said alipoandika Historia ya Tanu/Tanganyika, hakuwa na madhumuni potofu au kukusudia uchochezi kama mnavyodai bali labda ni khitilafu kiduchu na dhahama tu za kitaaluma na kiuandishi na pia hakukusudia nia dhalili dhidi ya nchi yake na wananchi wenzie.

Nashukuru, na niwie radhi kama kuna masuala nimekuuliza tena. Najaribu kuangalia kama mpaka hapa mnakasha ulipofikia labda kuna majambo umeyaona na umepata kubadili fikra zako japo kiduchu.

Ahsanta.
 
Mr Uthman, Binafsi nimeguswa sana na uwakilishi wa mawazo yako. Hapa Tanga mjini nakumbuka pia kuna mwakilishi wa shirika kama ulilotaja alipewa notice ya kuondoka. Nimeulizia sana (mtaani,sio kwa watu wa usalama wa Taifa) what happened lakini ni utata mtupu. wapo wanaodai ilikuwa njama ya taasisi moja kiislamu (sio bakwata) kumchoma aondolewe kwa vile hawakuwa wanaiva. Nachojua ni kwamba haya yalitokea kipindi kile dunia nzima inahaha na 9/11 ya New York. Hata uwanja wa ndege wa dar kulipigwa marufuku kupanda kule juu ya paa kuziangalia ndege zikitua au kupaa. Nchi zetu hizi Uthman zikiamriwa na nchi kama Marekani huwa nadra kukataa kwa sababu ni tegemezi. Angalia hata waliokamatwa wamepelekwa huko Marekani kushtakiwa. Believe me hata mimi linaniuma kama linavyowaudhi waingereza na wajerumani wa kawaida.
 
Angalau wewe unapinga lakini Kanisa limeomba radhi kwa mauaji kule Rawanda unajitoa ufahamu wale watu waliokuwa wanakusanywa ndani ya Kanisa kisha kuchinjwa jibu lako ni ukabila mbona hakuna watu waliochinjwa Misikitini huko Rwanda.

Umeishawahi kujiuliza kwa nini viongozi Wakiristo duniani ndiyo wanaogoza kufanya mauaji ya kutisha.

Adolf Hitler alikuwa Mkiristo safi katoa roho za binadamu wenzake zaidi ya milioni 12.

Leopold II alikuwa Mkristo safi katoa roho za binadamu wenzake tena Waafrika wenzetu milioni 8.

Pol Pot alikuwa Mkiristo safi katoa roho za binadamu wenzake milioni 2.

Ngoja tuishie hapa orodha ni ndefu kaka. fuatilia kesi ya Ponda mwenye kiwanja aliouziwa amesema hajaibiwa mali yoyote na Ponda.

Ritz
Nafikiri umeingia chaka.
Una uhakika Pol Pot alikuwa mkristo???? Au kwa vile jina si la kiislam basi lazima litakuwa la kikristo?
Ni bahati mbaya sana kwamba wengi wenu kwa vile mnaweza kusoma biblia za kiswahili basi mnafikiri mnauelewa ukristo.
Amri kuu mbili ambazo wakristo waliachiwa na Yesu Kristo ni
1. Mpende bwana MUNGU Wako kwa nafsi yako yote
2. Mpende jirani yako kama unavyojipenda.
Kumuua jirani (jirani ni binadamu yoyote, hata kama yupo Riyadh au Caracas) sio ukristo hata kama muuaji anaitwa James Benedicto Petro!

Wewe Ritz umeingia chaka la kuhusisha majina na dini. Ndio maana mnakuja na data ambazo sio credible. Yaani wewe umuone Tariq Aziz useme ni muislam kwa sababu ya jina???

Unanikumbusha marehemu rafiki yangu ambaye alikuwa anaitwa Albert akiwa ni mpagani, na alikuja batizwa baada ya kumaliza form six. Huyu wewe ungemhesabu kuwa ni mkristo kwa sababu ya jina tu.

Hivi kutembea kwako hapa Tanzania hujawahi kuwaona akina Aziza, Fatuma, Shaban, Juma, Bakari ambao sio waislam?
Hebu mtafute mhariri mmoja wa mwananchi anaitwa Bakari halafu muulize ni dini gani ndipo utashangaa na roho yako!
 
Wakati mwingine nacheza na akili nyepesi kama zenu nazipa mitego.

Nimetaja Pol Pot nikajua ndio litakuwa kimbilio lako la hoja nzima huu mtengo uwa mnaingia wengi sana.

Mbona hutaki kujadili mauaji ya hao wengine ambao ni Wakiristo...ha haa ha. Pol Pot alikuwa ATHEIST kama ndugu yetu mmoja humu jamvini.

Vipi Adolf na wenzake?
 
Nafikiri unajichezea mwenyewe. Rudia tena post yangu. Soma kwa makini kuhusu issue ya majina.
 
Back
Top Bottom