Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kwa faida ya wanajamvi hebu tuwekee huo ushahidi wa Selasini.

Hicho ndicho aidha Mh Nkamia, Spika ama Lukuvi walipaswa kudai mara baada ya Mh Selasini kutoa zile tuhuma. Badala yake Mh Nkamia akatapika yaliyoujaza moyo wake na kwa kuwa moyo wako pia umejaa udini unaendeleza ujinga huo huo wa Nkamia.

Unachonishangaza zaidi tena ni ati wataka nikupe ushahidi! Nikupe ushahidi gani? Mimi ndie niliyeleta hizo tuhuma za udini UDom? Au umenisikia nikikubaliana na tuhuma alizotoa Selasini Bungeni?

Kinyume chake nimehuzunishwa na GT kama wewe kubeba infirioties za Nkamia na kuanzisha 'vita' ya dhidi ya Ukristo.
 

Sideeq: Ahsanteni kwa mawazo yako and of course I understand them. Mtume ni Mtume. Alitabiri tunayoyaona including watu kushindana kujenga majengo marefu. Of course unajua sana source yake ya kauli. Mkewe Mtume Bi Aisha (ra) alibainisha kuwa maisha yake yalikuwa ni kurani. Kurani inakataza kutafuta wengine makosa, kusengenya na hata definition ya hivyo vyote mtume alivieleza. maishani mwake Hakuna mahali Mtume (saw) anadekeza waislamu walalamike badala ya kuongeza tija katika maisha yao.

Kwa bahati mbaya sasa zipo species za waislamu ambazo life kwao ni kujenga chuki na malalamiko katika nafsi za jumuiya kiislamu tuu. Ukiwaambia haya tufanye nini. HAMNA JIBU. Mimi bado I STAND BY MY STATEMENT kuwa “kama awali hukujijenga kiimani usitarajie eti kitabu hiki ndicho kiwe mtaji wa taqwa yako”.

Sideeq tusonge mbele kidogo; mwenye kitabu hiki ndio achangie kujibu hili swali. Kama kitabu hiki kimekuongezea taqwa (uchaji Mungu) yako tutajie specific page na kisa ambacho hivyo vimekuzidishia ucha Mungu wako kiasi kwamba sasa, mahudhurio yako msikitini ni bora, zaka unatoa, unasaidia yatima na wenye shida kuliko siku za nyuma katika maisha yako. Hapa itajwe pg# na kisa husika sio nani “murtad” au “kunguni” au “mission educated”. By the way hakuna aliyewahi kukataa kuwa wazee wa kiislamu walikuwa bega kwa bega na Julius, Lakini huwezi kuitumia hiyo ili upate uhalali wa kuwatukana baadhi ya watu kwa majina kama "mission educated" wakati unapotaja ya waislamu wenzio hutaji "madrassa educated" huu ni ubaguzi na unafiki.

Sideeq; Review ya Prof. Glassman (wa Northwestern University) kuhusu kitabu hiki ilishabandikwa hapa. Aliyoyaongea hopefully, uliyasoma. Please, kama hujaisoma don’t attempt kujibu bila kuitafuta katika hizi threads. Kwa muktadha wa hiyo review, sasa wanajamvi walete page # (mmoja kwa mmoja) na kisa husika ili tujiridhishe kuwa yaliyomo hayapatikani kwingine kokote ILA kwenye kitabu hiki peke yake.

Nakushukuru kwa kutaja hijra ya Ethiopia/Eritria kama ushahidi kuwa waislamu walishafadhiliwa na wakiristo katika madhila yao. Umefanya vyema kwa sababu baadhi ya waislamu wanakaribia kuaminishwa na some campaigns kuwa wakiristo shughuli yao kubwa maishani ni kudhulumu waislamu tuu. Hizi kampeni hazijui kuwa majumbani mwetu wakiristo ni shangazi au mjomba au hata wazazi. Nakuomba angalua pata ujasiri wa kusema NO to this satanic hatred.
 
Nafikiri unajichezea mwenyewe. Rudia tena post yangu. Soma kwa makini kuhusu issue ya majina.

Nanren, linapokuja suala la udini Ritz hujipofusha kabisa, angalau kwenye siasa huwa anajitahidi kufanya reasoning kama alivyo The Big Show, utawajua rangi zao linapokuja suala la dini, reasoning zao zote huzikanyaga miguuni.
 
Wimana,
Usemalo linawezekana sana.

Halikadhalika unaweza ukampata Mngazija Mkristo.

Sasa Sheikh, kwa heshima yako nakusihi ufute ile kauli yako kuhusu Mmanyema Mkristo, nimekuinyesha mama zangu, wajomba zangu na bibi zangu Wamanyema Wakristo.
 

Wickama,
Mwenye kitabu ni mie.

Sijapata popote kusema kuwa kitabu hiki ni mashaf.
Wala haijawa kusema "mission educated" ni tusi.

Laiti kungekuwa na tusi humo mhariri asingeliacha.
Ama nia ya kitabu changu ni kuiweka historia mahali pake.

Hilo nini Waislam wanafanya baada ya dhulma hilo wala
halihitaji kuulizwa kwani liko peupe.

Ikiwa kitabu kimekuchoma hili nililitegemea na halinishangazi.
 
Sasa Sheikh, kwa heshima yako nakusihi ufute ile kauli yako kuhusu Mmanyema Mkristo, nimekuinyesha mama zangu, wajomba zangu na bibi zangu Wamanyema Wakristo.

Winama,
Inawezekana pia wapo Wanyagatwa Wakristo.

Sasa nifute kwa ajili gani ingawa sijamuona Mnyagatwa
Mkristo.
 
Wimana,
Usemalo linawezekana sana.

Halikadhalika unaweza ukampata Mngazija Mkristo.

 

Kwahiyo Mmasai akisema "AlhamduNgai" I have never seen a Muslim "Maasai", ni statement inayoashiria udini?
 
Winama,
Inawezekana pia wapo Wanyagatwa Wakristo.

Sasa nifute kwa ajili gani ingawa sijamuona Mnyagatwa
Mkristo.

Sheikh Said, nimejifunza kuwa mtu mzima huwa halali usiingizi, bali ukimuona amesinzia usiseme mzee kalala ila sema Mzee anatafakari!

Ulisema hakika hakuna Mmanyema Mkristo, nimekuthibitishia wapo na ukajibaraguza kuwa huenda wapo hata Wangazija wapo Wakristo!

Ajabu umekuja na jipya kuhusu kutowahi kuwaona Wanyagatwa Wakristo, mimi siwajui Wanyagatwa ila watakuja wenyewe kama mimi chotara Mmanyema nilivyokuja.

Ila nionavyo, wakija Wanyagatwa Wakristo humu, utadai hujaona Watongwe Wakristo!
Bila shaka wafuasi wako watafunguka macho.
 
Kumbe Nyerere alikuwa Dar mwaka 1945 na akakutana hapo na kina Dossa pia; hii ni kabla ile safari akiwa mwakilishi wa TAA kutokea Tabora 1946. Watu wa Dar walikuwa wameshaisikia habari zake.
 

Wildcard;

Hivi ni nani muasisi wa chama cha DP kinachoongozwa na Mchungaji Mtikila? na muasisi wa UDP kinachoongozwa na Mzee Mapesa Cheyo ni nani? naomba kujua pia Muasisi wa Chadema ni nani?
 
Nanren,
Sina chuki na Nyerere wala na Ukristo.

Yote niliyoeleza hapa JF ni kweli kadri
ya ufahamu wangu.

Ikiwa unadhani nasukumwa na chuki hiyo
ni bahati mbaya sana.

Kwa mara ya kwanza umesema kitu cha kweli kimantiki; kwa ufahamu wako unayoyasema ni ya 'kweli'. Siyo kwamba ni kweli kwa vile ndivyo ilivyokuwa bali ni kweli kwa kuwa wewe unaamini hivyo. Kwa vile hujawahi kuona Mmanyema Mkristu basi unaamini hakuna Wamanyema Wakristu. Na hivyo unaweza kusimama na kusema "hakuna Wamanyema Wakristu"! Si kwa sababu hakuna bali kwa sababu wewe hujawaona.

Your whole narrative is based on this kind flawed reasoning; what you don't know you assume it is not there. Na unawafundisha wengine kuwa hakipo kwa vile wewe hukuiamini au hukijui kuwa kipo. Siku hizi mbili tatu napitia vitabu vya Iliffe na kulinganisha na madai yako na nashangazwa ujasiri ulio nao wa kupotosha maandishi ya Iliffe kwa kuingiza 'sihasa' zako. Kuna vitu viko wazi sana hadi inakera kwanini upande huu mwingine umeving'ang'ania kuwa ni kweli.
 
gombesugu,

Poleni sana Allah ataafu Inshaa'Allah.

Maradhwi na mitihani ni yetu sote tumeumbiwa sisi binadamu.

Karibu sana mie napata chai ya maziwa ya ngamia na mkate wa chila na vipopoo!

RITZ;
we kila mara unapogusia msosi nami ndio huwa nala! hapa nanywa maziwa mgando (Nyati) na nyama choma (bata mzinga) hii kwa leo Alhamdulillahi inatosha! unajua tena zaidi ya hapo ni kuongeza uzito!
 
WildCard,

Genocides za Rwanda, Burundi, Zaire, Angola, Liberia, Sierra Leone, New Guinea, Uganda, Haiti, Zimbabwe.

Haya mauaji walisabisha Waislam?

Sijataja mauaji ya zamani ya vita vya kwanza na vya pili.

RITZ;
Mkumbushe na vita vya Wakatoliki na Waanglikana huko Northern Ireland, Magaidi wa Kikristo Eta Spain, na bila kumsahau gaidi wa Kikristo aliyeuwa mamia ya Watu huko Norwey mwaka 2011 na yule Mchungaji aliyewamiminia petroli na kuwatia kibiriti waumini wake ndani ya Kanisa huko Uganda!

Waislamu hawatasahau machungu ya Vita vya Msalaba vya Bush Junior dhidi ya Iraq na afganistan ambazo mpaka leo hawana amani na vita mbaya kabisa vya msalaba Crusades - Wikipedia, the free encyclopedia vilisimamiwa na tawala za kikristo toka Ulaya dhidi ya Waislamu!

Chokochoko zao bado zinaendelea!
 
Mohamed ''mission educated'' ni tusi lakini si la moja kwa moja. Ni kama vile marhum Ditopile aliposema watu wanafundishwa kula chapati.
Kama si tusi basi umesadia vijana wako ambao wanaamini neno ''waswahili'' lina maana ya tusi na dharau.

Ama mhariri kuliacha hilo halitoshi kuwa ni usahihi. Mbona Mhariri aliacha mambo kadha wa kadha ambayo leo tunajua si kweli. Msome Mwanakijiji anasema Nyerere alishafika Dar mwaka 1945. Mhariri hakuliona la sivyo kataa kuwa si kweli.
 
Mnakasha unasaidia sana,mimi nimesoma nikashangazwa na maneno ya Mohamed, he is not Mohamed of yesterday. Mohamed has come to terms with majority that he is entitled to his own opinion not the facts.

Kuna mahali amewakumbusha vijana wake jambo muhimu sana.
Mohamed anasema kitabu chake si Mashafu kwahiyo kisisomwe kama kitabu kingine cha dini.
I am delighted kwasababu kuna kijana wake amekinasibisha na mambo ya dini

Lakini amesaidia sana hasa kuwakumbusha wale vijana walioweka akili zao reheni kwa kuamini kuwa makosa ya kukusudia ya Mohamed katika jithada zake za kutengeneza hii tamthlia ni typo error. Kwamba yupo ''half baked'' thinker anayetuaminisha kuwa Madai ya Mohamed kuhusu Nyerere kama vile kuja Dar 1950 ni typo error siyo misleading info.

Tone and rhetoric za mohamed zinabadilika kutoka arrogance,boisterous na sasa anakuwa cautious kabla ya kuweka mistari.
 
Mzee Mwanakijiji. Kwa vile hujawahi kuona Mmanyema Mkristu basi unaamini hakuna Wamanyema Wakristu. Na hivyo unaweza kusimama na kusema "hakuna Wamanyema Wakristu"! Si kwa sababu hakuna bali kwa sababu wewe hujawaona.....[/QUOTE said:
Mwanakijiji, nimeshamthibitishia kuwa Wamanyema Wakristu nami nimetokana na hao. Ingawa "amekubali" ila ameongeza kabila lingine ambalo silijui na nikamwambia watakuja wenyewe wenye hilo kabila.
 

Mwanakijiji, nimeshamthibitishia Sheikh Said juu ya uwepo wa Wamanyema Wakristo na "amekubali" ila ameongezea kabila jingine "Wanyagatwa" ambalo siwajui. Nimemjibu watakuja "Wanyagatwa" wenyewe kujibu.

Kitu ambacho ni dhahiri ni kuwa Mzee Said mara nyingine anabandika hisia zake badala ya facts ili kujaribu kujitetea pale alipobanwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…