Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kweli ukweli hauwi uongo!.... koh koh koh.... ukweli haubadiliki kuwa uongo kwa sababu huupendi. Ndugu yangu na wewe hujui tofauti ya "kuhutubia Bunge" na kuzungumza na Wabunge na implication ya yote mawili?
Nyerere hawezi kuwa muasisi wa TANU ilhali waasisi wanajulikana.Ukweli mwengine ni kuwa alionesha dharau kwa waasisi wa harakati za kudai uhuru.
Mimi yawezekana sijui tofauti hiyo lakini nionavyo tofauti haibadili ukweli kuwa Balozi Royal ndiye aliyeathiri wabunge mpaka wakapitisha sheria inayoendelea kulifarakanisha taifa.