Kweli ukweli hauwi uongo!.... koh koh koh.... ukweli haubadiliki kuwa uongo kwa sababu huupendi. Ndugu yangu na wewe hujui tofauti ya "kuhutubia Bunge" na kuzungumza na Wabunge na implication ya yote mawili?
Anachokanusha ni kipi?.Hebu angalia hii sentensi:Nafikiri kiswahili tu hapo kina mapungufu lakin kuzungumza na wabunge katika semina ina nguvu sana kuliko kulihutubia Bunge. Kwani katika semina unapewa nafasi ya kuuliza masuala na hata kujadiliana kitu ambacho katika kuhutubia upati nafasi hiyo ya kuulizana maswali na mtoa mada.
All in all alisema na wawakilishi wa wananchi katika kufanya lobbing ili muswada wake wa Ugaidi upite kilainiiii.
Poleni sana.
Kwani kushika nyadhifa ndio hoja unamjua mtu anayeitwa ABDU JUMBE chunguza mambo yaliyo mkuta ndio utajua baba yako wa taifa alichokifanya kasome kitabu kinachoitwa THE PARTNERSHIP.
Kuna tofauti kubwa kiprotokali. Kuhutubia bunge ni heshima ya kipekee. Kukutana na wabunge ni kitu cha kawaida sana. Anaweza kuja Kikwete hapa Marekani atakutana na wabunge kadhaa. Lakini anaweza kutunukiwa heshima ya kipekee kwa kukaribishwa kuhutubia bunge. Kwenye protocal hizo ni tofauti kubwa sana. Na kwa nchi nyingi itakuwa kiroja kwa balozi wa nchi moja kuhutubia bunge la nchi nyingine.Nafikiri kiswahili tu hapo kina mapungufu lakin kuzungumza na wabunge katika semina ina nguvu sana kuliko kulihutubia Bunge. Kwani katika semina unapewa nafasi ya kuuliza masuala na hata kujadiliana kitu ambacho katika kuhutubia upati nafasi hiyo ya kuulizana maswali na mtoa mada.
All in all alisema na wawakilishi wa wananchi katika kufanya lobbing ili muswada wake wa Ugaidi upite kilainiiii.
Poleni sana.
Thanks Mzee Mwanakijiji: Ni kweli MS ni mchonganishi. Sipati picha hapo Ibadan walivyotuona Watanzania baada ya
kuambiwa Balozi amepewa nafasi ya kuhutubia Bunge letu. MS hajali, anachonganisha Waislam na Wakristo, ameandika uongo mwingi na mifano iko chungu nzima, anawagawa hata Waislam wenyewe kwa madaraja (Manyema, Zulu fist class),
anawasimanga hata Marehemu na zaidi hata ile heshima kidogo ya Nchi iliyobaki anai-damage huko nje ili tu a-achive his
mission. Sijui hili baadaye atasema "typo error".
Hata huo Uislam anaodai kuutetea inaweza kuwa geresha. Ni chuki tu.
Hapa chini Wickama amemwelezea kwenye "angle' nyingine.
Anachokanusha ni kipi?.Hebu angalia hii sentensi:
Addressing Members of Parliament in Dodoma on the subject of «Blood Money and Financing Terrorism», the US ambassador to Tanzania, Robert Royall said: «We are proud to be your partners in this effort and I am deeply grateful that you have given me this opportunity to advance some of my thoughts on the topic of financial crimes, and especially in the matter of money-laundering».
Ikisemwa addressing members of parliment wapi inaonesha kuwa kitendo hicho kilifanyika kwenye ukumbi anapokuwepo spika?.Hata wakiwa kwenye kamati bado ni membwes of parliment.Sasa ni wapi alipokosea Mohammed?.
Kivi cha akina Mwanakijiji hakijaweza kuwaficha na aibu iliyowakumba.
Kwaiyo kama Issa Simba kakubali kuwa kibaraka kwa njaa zake basi unataka kuwaaminisha waislam wamfuate kwa kuwa tuh yeye anaongoza BAKWATA chombo chenu??
Hoja hapo sio Mufti wenu Simba,Hoja hapa ni hiyo BAKWATA yenu..
Anachokanusha ni kipi?.Hebu angalia hii sentensi:
Addressing Members of Parliament in Dodoma on the subject of «Blood Money and Financing Terrorism», the US ambassador to Tanzania, Robert Royall said: «We are proud to be your partners in this effort and I am deeply grateful that you have given me this opportunity to advance some of my thoughts on the topic of financial crimes, and especially in the matter of money-laundering».
Ikisemwa addressing members of parliment wapi inaonesha kuwa kitendo hicho kilifanyika kwenye ukumbi anapokuwepo spika?.Hata wakiwa kwenye kamati bado ni membwes of parliment.Sasa ni wapi alipokosea Mohammed?.
Kivi cha akina Mwanakijiji hakijaweza kuwaficha na aibu iliyowakumba.
THE BIG SHOW, mbona unamdanganya mwenzio? hivi unaheshima gani hapa jamvini? wewe ni mjinga na mpuuzi uliyekubuhu, bahati mbaya sana hujijui kabisa kwamba wewe ni jinga la kutupwa unayefugwa kwenye gunia la wajinga wa Mohamed Said! shame on you embicile boy!Let me give you a piece of an advice,,
Boko,mpumbavu mpuuze tuh,mjadala huu unaheshima sana..
Tuilinde heshima yetu Boko..
Kuna tofauti kubwa kiprotokali. Kuhutubia bunge ni heshima ya kipekee. Kukutana na wabunge ni kitu cha kawaida sana. Anaweza kuja Kikwete hapa Marekani atakutana na wabunge kadhaa. Lakini anaweza kutunukiwa heshima ya kipekee kwa kukaribishwa kuhutubia bunge. Kwenye protocal hizo ni tofauti kubwa sana. Na kwa nchi nyingi itakuwa kiroja kwa balozi wa nchi moja kuhutubia bunge la nchi nyingine.
Nafikiri kiswahili tu hapo kina mapungufu lakin kuzungumza na wabunge katika semina ina nguvu sana kuliko kulihutubia Bunge. Kwani katika semina unapewa nafasi ya kuuliza masuala na hata kujadiliana kitu ambacho katika kuhutubia upati nafasi hiyo ya kuulizana maswali na mtoa mada.
All in all alisema na wawakilishi wa wananchi katika kufanya lobbing ili muswada wake wa Ugaidi upite kilainiiii.
Poleni sana.
Kuna jamaa wawili wafuasi wa Nyerere na ni mtume wao wanasema hiyo tarehe kulikuwa hakuna kikao chochote cha bunge.
Tena wanasema ni uongo hawa jamaa uwa wanakubaliana kila kitu hata kama ni pumba.
Nilicheka walikubaliana kuwa Nyerere alikuwa anafanya mikutano ya TANU nyumbani kwake Pugu.
Ukimsoma Nyerere mwenyewe anasema kila jumamosi alikuwa anakuja mji kufanya mkutano mpaka wazee wa gahawa na kashata wakamnunulia baiskeli...
Halafu anatokea kauzu mmoja anasema TANU imeundwa Pugu.
Naanza kuwa na mashaka na uwezo wako wa kuelewa ndugu yangu; hatujazungumzia suala la substance ya kile kilichozungumzwa. Au na wewe Kiingereza kinakutupa mkono? Is "address to the Parliament" the same as "addressing members of Parliament"? When one says "address to the Parliament doesn't the propose the idea that the Parliament was in session and this 'somebody' appeared before it and was given an opportunity "to address" the honorable members? Kumbukumbu zangu zinanikumbusha kuwa kiongozi wa nje wa mwisho kuhutubia Bunge (to address the Parliament) alikuwa ni Rais wa Komoro alipoenda kutoa shukrani baada ya Tanzania kusaidia kumuondoa Bakar na kurudisha nchi nzima chini ya Anjouan.
Kuna ubaya sana kusahihisha lugha ili kuelezea kitu kwa usahihi?
Kuna tofauti kubwa kiprotokali. Kuhutubia bunge ni heshima ya kipekee. Kukutana na wabunge ni kitu cha kawaida sana. Anaweza kuja Kikwete hapa Marekani atakutana na wabunge kadhaa. Lakini anaweza kutunukiwa heshima ya kipekee kwa kukaribishwa kuhutubia bunge. Kwenye protocal hizo ni tofauti kubwa sana. Na kwa nchi nyingi itakuwa kiroja kwa balozi wa nchi moja kuhutubia bunge la nchi nyingine.
Ritz.
Hii ni kutaka tu kumpa swifa ambazo hazikuwa zake kama hizi za kuwa Nyerere kaleta amani Tanganyika na hata Tanzania.
tuzidi tu wapa darsa ipo siku watatambua ukweli.
Asante sana gombesugu kwa somo...kumbe ni heri kuwa muongo kuliko kuwa mlevi! Kumbe ndiyo maana Al Akhiy Mohamed Said anapewa "pass!" Ningekuomba usipate taabu kuniweka kwenye "shit list", hapa ni JF, koleo linaitwa kwa jina lake na tendo hilo sidhani kama litanipunguzia chochote humu. On a serious note, kweli hata wewe unanyamazia uongo kama huo unapohubiriwa hadi nchi za watu kama Nigeria! Come on gombesugu, jipe angalau ujasiri japo wa kutoa ushauri kama wa kukemea umeshindikana...I thought you were better than that!Mag3,
Wallahi,sisi soote tumepata simanzi kuona umetuhusisha na laana za kilevi. Makwetu hayo ni mambo ya kijaaluta yaso mipaka. Tafadhali itakulazim ututake radhi ndugu yangu,hasa kwa Sheikh Mohammed Said. Sisi pia tunampa hishma kubwa mno kuliko ile wewe umpayo Nyerere.
Ni kama vile jamaa zako walivyompa challenge Sheikh Mohammed Said kuhusu "Mmanyema Mkristo",na mimi binafsi nakupa challenge ndugu yangu Mag3;yakuwa sijapata kuona Muislam mlevi ijapokuwa sijawahi kufika Tarime kuona vitimbi vya huko.
Mbona zile LIKE zako na jamaa zako Mwanakijiji na Nguruvi3 hazikushughulishi? Huoni nawe pia unatumia ukabila na udini. Ama kwa hakika umenihuzunisha ndugu yangu. Hata zile nguvu za kukuombea utolewe kwenye ile "Shit List" ya Sheikh Mohammed Said zimenisha.
Lakini haina neno bado nakupenda na kukuheshimu sana ndugu yangu.
Cc;Ritz,Barubaru,Kadogoo,Boko Haram,The Big Show,Ami
Wakati nakunywa juisi ya muwa bariidi kama nilivyo aswa nikasikia sauti ya ngurumo hii hapaNikahisi nahitaji vijiko vitatu vya asali (ushauri wa Ritz) kwasababu mtafiti hakufanya utafiti lakini anabaki kuwa mtafiti kama anavyothibitisha hapaNikimalizia kijiko cha tatu ndipo nikasikia kishindo hiki
Sikumbuki kama ni ile ngurumo au kishindo vilivyonichanganya, ninakumbuka kusikia kwa mbali kama sauti za umati zikigutia liar! liar! liar!Mo stop this, please! case dismissed.
Mie niliamini unajiita gombesugu na sio Gombesugu!Tafadhali itakulazim unitake radhi kwa kunikatisha jina langu,unajua fika yakuwa mimi ni Gombesugu wala si Gombe.
Mimi kwetu ni vibaya mno mtu kunikatishia jina. Nafikiri wewe pia ulidai hapa jamvini kuwa Sheikh Mohammed Said akutake radhi kwa kukwambia; "hilo neno usirudie tena". Ukadai ya kuwa kwenu Makorora ni matusi makubwa mtu kukwambia vile!?
Ahsanta.
Kunradhi kwa kukita Gombe badala ya Gombesugu.gombesugu;6210104]Nguruvi3;6208697]
Nguruvi3,Nimejisikia unyonge sana kusoma hayo majambo yako hapo juu,lakini haina neno shughuli na iendelee.
Tafadhali itakulazim unitake radhi kwa kunikatisha jina langu,unajua fika yakuwa mimi ni Gombesugu wala si Gombe.
Mimi kwetu ni vibaya mno mtu kunikatishia jina. Nafikiri wewe pia ulidai hapa jamvini kuwa Sheikh Mohammed Said akutake radhi kwa kukwambia; "hilo neno usirudie tena". Ukadai ya kuwa kwenu Makorora ni matusi makubwa mtu kukwambia vile!?Ahsanta.
Jasusi.
Je unaweza tafsiri maneno paragraph hii ili unipe taswira halisi mwandishi alikusudia kutupa ujumbe gani?