Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kuna tofauti kubwa sana kati yako na WildCard, wewe umezoea ubishani wa kwenye Mihadhala ya kina Mazinge kwamba Yesu alikuwa Muislamu, wakati mwenzako anakufundisha namna ya kureson.Thread za nini mimi nataka utufahamisha Nyerere ndiyo ameleta amani Tanzania ambayo haikuwepo?
Nimetoa hoja za kuthibitisha kwamba ama Nyerere ni MNAFIKI au ni CHIZI. Sasa wewe chagua moja kati ya sifa anayostahili ama MNAFIKI au CHIZI. Kama una hoja ya kumnusuru kutoka kwenye sifa mojawapo kati ya hizo alizojijengea mwenyewe kutokana na hotuba yake kama ilivyowewekwa na muanzisha thread hii, basi mnusuru kwa hoja.
Najua mkiishiwa hoja mankimbilia kutukana matusi. Mimi sina alergy ya kutukanwa. Ndio maana naitwa Zali la Mentali.
mliokaibadili na kuificha historia ni nyinyi...! mohamed said,anairudisha ajabu eti anaonekana mchochezi..
Sasa huko ulikokimbilia kwenda kuliweka jina la mtakatifu julius mwanakijiji wa ludewa,au mbozi n.k atafika lini na kujionea hayo??
Andikeni vitabu vyenye historia ya kweli ili vizazi vyenu waje kuufaham ukweli,who gives a damn about nyerere in uk-london?
The son of a slave?mzungu gani atamtukuza yeye,endelea kujifariji...
The Big Show,
Waingereza ni watu wenye asili ya kibri na tashtit. Na kama hujaishi nao kiundani na kujua Local Politics zao, kila siku watakuumiza kichwa.
Ile picha yenye ile Julius Nyerere Close,nafikiri mletaji hajui kuwa ile ni kashfa fulani kwa aliekua kiongozi wetu. Hapa nazungumza bila ya kuhusisha mambo mengi ambayo niliyokua sikubaliani na Nyerere. Kwa ufupi Waingereza wametutukania Rais wetu wa kwanza wa JMT.
Muhimu pia mtu afahamu nini tafauti baina ya Road,Avenue,Street,Drive,Boulevard na Close(Cul-de- Sac),Court,Circle,lane na mengineyo mengi.
Lakina haina neno tuendelee na mnakasha.
Wakati wa Nyerere wale ambao si vibaraka waliuawa na mataifa ya Magharibi kama kina Kwame Nkrumah, Patrice Lumumba n.k. Hawa vibaraka walilindwa na Mataifa hayo hayo ya Magharibi walipotaka kuondolewa madarakani na wananchi ambao waliona kabisa kwamba uhuru wao umepokonywa kupitia hawa viongozi vibaraka. Mapinduzi ya mwaka 1964 na jinsi ambavyo Waingereza walileta kikosi maalum cha makomandoo kulinda utawala wake dhalimu ni ushahidi tosha. Mapinduzi ya Zanzibar yalivyoweza kufanyika kwa kutumia vibaraka kutoka nchi za Kenya Uganda, Mozambique, etc ni ushahidi tosha kwamba kulikuwa na mkono mpana wa Kanisa kuwakusanya wapiganaji hawa kutoka sehemu mbalimbali za Africa ili kuja kufanikisha crusade yao Zanzibar. Ukweli kwamba Waingereza ndio walikuwa Protector wa Zanzibar wakati ule na hawakufanya lolote kuinusuru Zanzibar kwenye mapinduzi yale ya kikatili ni muendelezo wa ushahidi kwamba ulikuwa na baraka ya mataifa ya magharibi.
The Big Show,
Waingereza ni watu wenye asili ya kibri na tashtit. Na kama hujaishi nao kiundani na kujua Local Politics zao, kila siku watakuumiza kichwa.
Ile picha yenye ile Julius Nyerere Close,nafikiri mletaji hajui kuwa ile ni kashfa fulani kwa aliekua kiongozi wetu. Hapa nazungumza bila ya kuhusisha mambo mengi ambayo niliyokua sikubaliani na Nyerere. Kwa ufupi Waingereza wametutukania Rais wetu wa kwanza wa JMT.
Muhimu pia mtu afahamu nini tafauti baina ya Road,Avenue,Street,Drive,Boulevard na Close(Cul-de- Sac),Court,Circle,lane na mengineyo mengi.
Lakina haina neno tuendelee na mnakasha.
Nakusoma gombesugu..
Kila kitu unaweka hadhwarani ikhuan,nakufatilia sana..
Kunradhi kwa kukita Gombe badala ya Gombesugu.
Pili, usijisikie mnyonge ndio mnakasha! mbona mimi najisikia bukheri kuwa katika ''list ya shit'' tena nipo top nikinywa juisi ya baridi sasa naambiwa ya ndimu.
Ukishaamini unachosimamia halafu ukafanya matumizi kidogo ya medulla hutapata unyonge aslani ustadh.
Nimetoa hoja za kuthibitisha kwamba ama Nyerere ni MNAFIKI au ni CHIZI. Sasa wewe chagua moja kati ya sifa anayostahili ama MNAFIKI au CHIZI. Kama una hoja ya kumnusuru kutoka kwenye sifa mojawapo kati ya hizo alizojijengea mwenyewe kutokana na hotuba yake kama ilivyowewekwa na muanzisha thread hii, basi mnusuru kwa hoja.
Wild Card
Tujaalie ilikuwa semina ya wabunge na Balozi Robert Royall hakuhutubia Bunge.
Tatizo liko wapi?
Taarifa nilizokuwa nazo zinasema na hapa nanukuu ''Addressing Members of
Parliament in Dodoma on the subject of ''Blood Money and Financing
Terrorism...''
Sheikh wangu Maalim Haruna akiniasa kuwa siku zote nitakapokuwa katika
mnakasha basi azma yangu iwe kutoa ilm kwa yule mpinzani wangu na mimi
kuteka ilm kwake.
Maalim Haruna alikuwa akisema mjadala wa ubishi na kutaka kuoneshana nani
mjuzi zaidi hauna baraka bora usifanye.
Mie kama ingelikuwa ni semina ningelisema alihutubia semina ya Wabunge lakini
nyaraka nilizopitia wakati naandika ile paper zimesema kama nilivoonyesha hapo
juu katika bold.
Zipo thread za Mwalimu humu nyingi tu. Hili limejadiliwa sana huko. Ushahidi ni wazi. Ameondoka madarakani tukaanza chokochoko. Sasa hivi tunachinjana kabisa. Siri ilikuwa moja tu. Mwalimu aliapa kuilinda na kuitetea KATIBA ya JMT. Alifanya hivo kweli.
Mwalimu alichukia wizi, rushwa, uporaji wa rasilmali za nchi, udini, ukabila. Mwalimu aliongozwa na sheria za nchi. Pale alipopotoka alikiri hadharani, akarekebisha, akasonga mbele
Tutajie ambao si vibaraka.... tuwajue
Nimetoa hoja za kuthibitisha kwamba ama Nyerere ni MNAFIKI au ni CHIZI. Sasa wewe chagua moja kati ya sifa anayostahili ama MNAFIKI au CHIZI. Kama una hoja ya kumnusuru kutoka kwenye sifa mojawapo kati ya hizo alizojijengea mwenyewe kutokana na hotuba yake kama ilivyowewekwa na muanzisha thread hii, basi mnusuru kwa hoja.
Tukiwaita wajinga na akili zenu hazina akili sijui kwanini huwa mnakasirika na kutoa mapovu ati mmetukanwa. Sasa hebu soma huu ujinga wako hapa uone kama husitahili kuitwa mpumbavu!
Sasa hapo wewe hujatukana? au wewe ndio mwenye haki miliki ya kutoa lugha za kifedhuri na wengine wakikanusha mitusi yako hiyo waonekane wabaya? Na ulivyokosa akili ati unaamini hiyo mitusi yako dhidi ya Nyerere ni hoja ! shame on you and your embicile old man!
ila Nyerere si mmoja wapo????Mundungus Fletcher,
Pokea hawa wachache hapa;
Eduardo Mondlane,Robert Sobukwe,Augustine Neto,Gamal AbdilNasser,Steve Biko na wengineo wengi pita kiasi lakini sio Nelson Mandela asilani.
Ahsanta.
Naona hapa ulijisahau kuwa kama una upande...ha ha haa ha ha!! kweli JF kiboko.
Ritz
Mimi naamini sina upande. Inawezekana ninao lakini sijajua bado..
Nikweli nimesema sioni dhulma, lakini haimanishi siamini kuwa kunauwezekanao ipo ila mimi sijaiona bado
Hata Kenyatta alivyokabidhiwa uongozi na Jaramogi alikuta hakuna msuguano na vita vya kikabila Kenya. Lakini baada ya utawala wake wa kikabila tulishuhudia matunda yake 2007.Jasusi,
Jibu swali Nyerere wakati anatoka Musoma kuja Dar es Salaam alikuta kuna vita au huko alikutoka ndiyo watu walikuwa wakatana mapanga.
Kuna tofauti kubwa sana kati yako na WildCard, wewe umezoea ubishani wa kwenye Mihadhala ya kina Mazinge kwamba Yesu alikuwa Muislamu, wakati mwenzako anakufundisha namna ya kureson.
Wacha wewe Mwanakijiji kujigaragaza kwenye tope!.Naanza kuwa na mashaka na uwezo wako wa kuelewa ndugu yangu; hatujazungumzia suala la substance ya kile kilichozungumzwa. Au na wewe Kiingereza kinakutupa mkono? Is "address to the Parliament" the same as "addressing members of Parliament"? When one says "address to the Parliament doesn't the propose the idea that the Parliament was in session and this 'somebody' appeared before it and was given an opportunity "to address" the honorable members? Kumbukumbu zangu zinanikumbusha kuwa kiongozi wa nje wa mwisho kuhutubia Bunge (to address the Parliament) alikuwa ni Rais wa Komoro alipoenda kutoa shukrani baada ya Tanzania kusaidia kumuondoa Bakar na kurudisha nchi nzima chini ya Anjouan.
Kuna ubaya sana kusahihisha lugha ili kuelezea kitu kwa usahihi?
Kuna tofauti kubwa sana kati yako na WildCard, wewe umezoea ubishani wa kwenye Mihadhala ya kina Mazinge kwamba Yesu alikuwa Muislamu, wakati mwenzako anakufundisha namna ya kureson.
Barubaru,Jasusi.
Mimi nilibainisha toka awali kuwa Huo ni urithi kutokana na utawala wa kikoloni. Unajua wakoloni hususan waingereza walitumia Devide and Rule ambako Kenya na Uganda alitumia UKABILA kwa sababu nchi hizo zina makabila machache sana. Kwa Upand e wa Tanganyika walishindwa kutumia ukabila sababu nchi ilikuwa na makabila mengi sana zaidi ya 75. sasa hapa walitumia UDINI. Sasa mas'ala haya ni ya kihistoria zaidi. Kwa kenya na Uganda waliyaweza kwa sababu waliyakubali kuyaongea hadhwarani. Lakin kwa Tanganyika mkafanya Siri ambayo sasa imedhihiri.
Sasa usimuhukumu Kenyata kuwa kawaachia Ukabila. Kwani unaweza sema hata Nyerere amewaachia UMASIKINI< UFUKARA NA ULANGUZI ambao sasa umekomaa na kuwa UFISADI mambo ambyo hayajawahi tokea tokea kuasisiwa kwa taifa la Tanganyika. yeye ndio aliasisi hayo.
Pole sana
Nimetoa hoja za kuthibitisha kwamba ama Nyerere ni MNAFIKI au ni CHIZI. Sasa wewe chagua moja kati ya sifa anayostahili ama MNAFIKI au CHIZI. Kama una hoja ya kumnusuru kutoka kwenye sifa mojawapo kati ya hizo alizojijengea mwenyewe kutokana na hotuba yake kama ilivyowewekwa na muanzisha thread hii, basi mnusuru kwa hoja.
Son of Alaska,
Ubishani wetu haukupata kuwa heshima ya Nyerere duniani.
Hili halina ugomvi kabisa.
Wala maandishi yangu hayajapatapo kuwa na ubishi katika hilo.
Tatizo letu ni katika historia ya uhuru wa Tanganyika na uasisi
wa TANU.
Hapa ndipo palipotuweka hapa JF sasa mwezi wa tatu na watazamaji
wanakimbilia 200,000.
Je inawezekana kuandika historia ya TANU bila kueleza mchango wa
Abdu Sykes?
Je inawezekana kuandika historia ya TANU bila kutaja mchango wa
Waislam?
Na hayo niliyosema ndiyo yaliyomo katika kitabu changu.
Hapa hatubishani heshima ya Nyerere katika uwanja wa siasa hapa
nyumbani na ulimwenguni kote.
Kwa hakika sifa zake Nyerere ni kubwa mno.
Hivi mnapata wapi ujasiri wa kusema Nyerere alichukia wizi, rushwa, uporaji wa rasilmali za nchi, udini na ukabila? Utawala wake vitu hivyo vyote vilishamiri na kuota mizizi.
Kuhusu wizi yeye ndiye aliyeasisi wizi hapa Tanzania. Alinyang'anya mali za watu kwa kisingizio cha ujamaa. Huu ulikuwa wizi wa mchana kweupe. Mali alizozinyang'anya akawapatia makada wa chama chake ili waziendeshe. Makada hawa wakaanza kuiba mali ya umma na kufilisi mali karibu zote zilizotaifishwa. Huu ni wizi wa pili aliouasisi ambao sasa hivi tunauita ufisadi.
Kuhusu rushwa kipindi chake ilikuwa ni ya hatari sana. Ulikuwa huwezi kupata huduma hata za msingi kama unga, sabuni, mchele bila kulanguliwa. Ilikuwa ukitaka kununua tuseme gunia la unga lazima upate kibali ambacho huwezi kupata kama huna connection ya kada.
Kuhusu uporaji wa rasilimali za nchi yeye amepora sana rasilimali za Tanzania na kuzisambaza maeneo mengine barani Africa kwa ajili ya crusade yake. Ni vigumu kuweza kukuta kuna vita ilipiganwa wakati ule barani Africa bila yeye kuwa na mkono wake kwa njia moja au nyingine. Vita za Zanzibar, Uganda, Burundi, Rwanda, Nigeria n.k kote huko ana mchango wake na alikuwa anatumia kasma ya kodi za Watanzania kufadhili vita hizo matokeo yake taifa la Tanzania likabaki taifa maskini la kutupwa wakati lilikuwa na kila rasilimali za kuliwezesha kuwa taifa lenye neema. Watanzania wengi wamekufa katika vita hizi zisizokuwa na kichwa wala miguu na matokeo yake mataifa hayohayo yaliyotumia rasilimali zetu kufikia malengo yao leo yanatudharau na yenyewe yamepiga hatua kubwa ya maendeleo ukilinganisha na sisi.
Kuhusu udini hilo nimeshalieleza sana na mpaka sasa hakuna mtu aliyejibu hoja zangu hivyo sina haja ya kurudia kwamba Nyerere alikuwa zaidi ya mdini. Alikuw mmadhehebu kwa kuupendelea Ukatoliki dhidi ya dini zingine na madhehebu mengine ya Kikristo na alifanikisha hali hiyo kwa kutumia kodi za wananchi kuwawezesha Wakatoliki ili wawe na nafasi ya kuwa juu zaidi ya wengine. Kitendo cha yeye kumpigia debe Mkapa Mkatoliki mwenzake na kuwawekea kiwingu Wakristo wengine wakati ule wa Uchaguzi ambapo Mkapa alipita ni dhahiri kwamba huyu jamaa hana hata soni kwenye kuupendelea Ukatoliki waziwazi. Maana kama angekuwa na soni basi angesema angalau awache kipindi kile atawale Mkristo mwingine ambaye siyo Mkatoliki kwani walikuwepo wengi tu wenye uwezo wa kutawala na hasa ukichukulia kwamba yeye kama Mkatoliki amekaa pale Ikulu zaidi ya miongo miwili.
Kuhusu ukabilia huyu jamaa alikubuhu kwa hilo. Neno Erro hapa Tanzania linatumika kuwatambulisha Wanajeshi na polisi kwani alikuwa amewajaza Wakurya kule kila kona. Huu ulikuwa ni ukabila wa waziwazi. Ukabila mngine wa hatari aliouasisi na mpaka leo bado unaisumbua CCM ni ule wa kuyatenga makabila makubwa kama Wahaya, Wachaga, Wasukuma, Wanyakyusa katika nafasi nyeti za uongozi kwenye nchi hii, hasa kwenye ulingo wa siasa kwa sababu ya inferiority complex yake ya kutotaka kukaa na watu waliomzidi ujuzi na maarifa karibu nao ili yeye ndio aonekane kama mjuzi wa kila kitu na wengine wote ni watu wa kujifunza kutoka kwake.
Kusema kwamba mwalimu aliongozwa na sheria za nchi huu ndio mzaha wa mchana kweupe. Yeye alikuwa dicteta wa kuburuta kila kitu. Alikuwa yeye ndiye sheria na sheria ni yeye. Hata kwenye hotuba zake aliwahi kuthibitisha hili pale aliposema kwamba alimtia ndani jamaa mmoja aliyetamba kwamba aliiweka mfukoni serikali yake na alimtia ndani bila kufuata sheria za haki za binaadamu. Kilichomuokoa yule jamaa ni Kanisa Katoliki lilipomuombea kwa Nyerere ili amuachie. Na huu ni uthibitisho mwingine kwamba Kanisa Katoliki lilikuwa linaendesha nchi hii kwa remote control kupitia Nyerere. Mifano ipo mingi hapa ya yeye kutoheshimu utawala wa sheria. Alipiga marufuku mashindano katika ngazi ya Urais na ikawa ama unamchagua yeye au kivuli wakati katiba ya nchi ilikuwa inatoa haki kwa wote kuweza kuchagua au kuchaguliwa. Hii ni dhambi kubwa aliyotutendea Watanzania. Alikua anatishia watu kijinga mno. Kwa mfano aliwahi kusema kwamba mmeniita majina mengi lakini hilo la haambiliki litaondoka na mtu. Kwa maana hiyo alikuwa tayari kuua mtu kwa ajili tu ya kuambiwa haambiliki, jina ambalo alilistahili kwa kila hali. Bado kuna mifano mingi ya Watanzania waliouawa, kuwekwa kizuizini bila kufuata kanuni za sheria n.k
Nimetoa hoja za kuthibitisha kwamba ama Nyerere ni MNAFIKI au ni CHIZI. Sasa wewe chagua moja kati ya sifa anayostahili ama MNAFIKI au CHIZI. Kama una hoja ya kumnusuru kutoka kwenye sifa mojawapo kati ya hizo alizojijengea mwenyewe kutokana na hotuba yake kama ilivyowewekwa na muanzisha thread hii, basi mnusuru kwa hoja.
Si jambo la ajabu Uingereza kumtukuza Nyerere kwani walikuwa wanamtumia kufanya crusade katika Africa. Mapinduzi ya Zanzibar yana mkono wao, Nyerere kuendelea kuwa Rais wa nchi hii kwa mabavu kuna mkono wao. Udicteta wa Nyerere kwa kiasi kikubwa sana umerutubishwa na mataifa ya magharibi na hasa Kanisa Katoliki.
Kati ya vibaraka wakubwa wa mataifa ya Magharibi waliotumika kuuwa maendeleo ya Wa Africa baada ya kupata Uhuru Nyerere ndie baba lao. Nchi hii itaendelea kusuasua kimaendeleo mpaka masalia ya utawala na mfumo aliouacha Nyerere utokomee kabisa.