Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hivi mnapata wapi ujasiri wa kusema Nyerere alichukia wizi, rushwa, uporaji wa rasilmali za nchi, udini na ukabila? Utawala wake vitu hivyo vyote vilishamiri na kuota mizizi.

Kuhusu wizi yeye ndiye aliyeasisi wizi hapa Tanzania. Alinyang'anya mali za watu kwa kisingizio cha ujamaa. Huu ulikuwa wizi wa mchana kweupe. Mali alizozinyang'anya akawapatia makada wa chama chake ili waziendeshe. Makada hawa wakaanza kuiba mali ya umma na kufilisi mali karibu zote zilizotaifishwa. Huu ni wizi wa pili aliouasisi ambao sasa hivi tunauita ufisadi.

Kuhusu rushwa kipindi chake ilikuwa ni ya hatari sana. Ulikuwa huwezi kupata huduma hata za msingi kama unga, sabuni, mchele bila kulanguliwa. Ilikuwa ukitaka kununua tuseme gunia la unga lazima upate kibali ambacho huwezi kupata kama huna connection ya kada.

Kuhusu uporaji wa rasilimali za nchi yeye amepora sana rasilimali za Tanzania na kuzisambaza maeneo mengine barani Africa kwa ajili ya crusade yake. Ni vigumu kuweza kukuta kuna vita ilipiganwa wakati ule barani Africa bila yeye kuwa na mkono wake kwa njia moja au nyingine. Vita za Zanzibar, Uganda, Burundi, Rwanda, Nigeria n.k kote huko ana mchango wake na alikuwa anatumia kasma ya kodi za Watanzania kufadhili vita hizo matokeo yake taifa la Tanzania likabaki taifa maskini la kutupwa wakati lilikuwa na kila rasilimali za kuliwezesha kuwa taifa lenye neema. Watanzania wengi wamekufa katika vita hizi zisizokuwa na kichwa wala miguu na matokeo yake mataifa hayohayo yaliyotumia rasilimali zetu kufikia malengo yao leo yanatudharau na yenyewe yamepiga hatua kubwa ya maendeleo ukilinganisha na sisi.

Kuhusu udini hilo nimeshalieleza sana na mpaka sasa hakuna mtu aliyejibu hoja zangu hivyo sina haja ya kurudia kwamba Nyerere alikuwa zaidi ya mdini. Alikuw mmadhehebu kwa kuupendelea Ukatoliki dhidi ya dini zingine na madhehebu mengine ya Kikristo na alifanikisha hali hiyo kwa kutumia kodi za wananchi kuwawezesha Wakatoliki ili wawe na nafasi ya kuwa juu zaidi ya wengine. Kitendo cha yeye kumpigia debe Mkapa Mkatoliki mwenzake na kuwawekea kiwingu Wakristo wengine wakati ule wa Uchaguzi ambapo Mkapa alipita ni dhahiri kwamba huyu jamaa hana hata soni kwenye kuupendelea Ukatoliki waziwazi. Maana kama angekuwa na soni basi angesema angalau awache kipindi kile atawale Mkristo mwingine ambaye siyo Mkatoliki kwani walikuwepo wengi tu wenye uwezo wa kutawala na hasa ukichukulia kwamba yeye kama Mkatoliki amekaa pale Ikulu zaidi ya miongo miwili.

Kuhusu ukabilia huyu jamaa alikubuhu kwa hilo. Neno Erro hapa Tanzania linatumika kuwatambulisha Wanajeshi na polisi kwani alikuwa amewajaza Wakurya kule kila kona. Huu ulikuwa ni ukabila wa waziwazi. Ukabila mngine wa hatari aliouasisi na mpaka leo bado unaisumbua CCM ni ule wa kuyatenga makabila makubwa kama Wahaya, Wachaga, Wasukuma, Wanyakyusa katika nafasi nyeti za uongozi kwenye nchi hii, hasa kwenye ulingo wa siasa kwa sababu ya inferiority complex yake ya kutotaka kukaa na watu waliomzidi ujuzi na maarifa karibu nao ili yeye ndio aonekane kama mjuzi wa kila kitu na wengine wote ni watu wa kujifunza kutoka kwake.

Kusema kwamba mwalimu aliongozwa na sheria za nchi huu ndio mzaha wa mchana kweupe. Yeye alikuwa dicteta wa kuburuta kila kitu. Alikuwa yeye ndiye sheria na sheria ni yeye. Hata kwenye hotuba zake aliwahi kuthibitisha hili pale aliposema kwamba alimtia ndani jamaa mmoja aliyetamba kwamba aliiweka mfukoni serikali yake na alimtia ndani bila kufuata sheria za haki za binaadamu. Kilichomuokoa yule jamaa ni Kanisa Katoliki lilipomuombea kwa Nyerere ili amuachie. Na huu ni uthibitisho mwingine kwamba Kanisa Katoliki lilikuwa linaendesha nchi hii kwa remote control kupitia Nyerere. Mifano ipo mingi hapa ya yeye kutoheshimu utawala wa sheria. Alipiga marufuku mashindano katika ngazi ya Urais na ikawa ama unamchagua yeye au kivuli wakati katiba ya nchi ilikuwa inatoa haki kwa wote kuweza kuchagua au kuchaguliwa. Hii ni dhambi kubwa aliyotutendea Watanzania. Alikua anatishia watu kijinga mno. Kwa mfano aliwahi kusema kwamba mmeniita majina mengi lakini hilo la haambiliki litaondoka na mtu. Kwa maana hiyo alikuwa tayari kuua mtu kwa ajili tu ya kuambiwa haambiliki, jina ambalo alilistahili kwa kila hali. Bado kuna mifano mingi ya Watanzania waliouawa, kuwekwa kizuizini bila kufuata kanuni za sheria n.k
Ikiwa huu ndio uwezo wako wa kuchambua, kupambanua mambo basi. Nikushukuru tu.
 
Hatimaye umefunua rangi yako kamili, kumbe Mapinduzi ya Zanzibar yalikuathiri sana. Pole sana Mkuu.
Aliyefanya Mapinduzi Zanzibar naambiwa sio Karume baba, bali John Okello Mganda. Huyo Nyerere unayemwingiza hapa hakuunga mkono Mapinduzi ya Zanzibar tu bali aliwaunga mkono hata Wapalestina na Nchi zote za Kusini mwa Afirka.

Kwanini unakerwa na Nyerere kujihusisha na Mapinduzi ya Zanzibar pekee?

Wimana,

Naona sasa umeingia rasmi kwenye anga mapinduzi ngoja tumuulize Zali la Mentali, ni kweli Nyerere hauhusiki na mapinduzi ya Zanzibar tunasubiri majibu.
 
Last edited by a moderator:
"Akizungumza na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano juu ya mada ya 'Fedha za Damu na Kufadhili Ughaidi', Balozi wa Marekani Tanzania Robert Royall alisema..."

Hii ni tofauti na kusema

"Akihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano juu ya mada ya 'Fedha za Damu na Kufadhili Ughaidi', Balozi wa Marekani Tanzania Robert Royall alisema..."

"Kuzungumza na Wabunge" kunaweza kufanyika katika setting mbalimbali. Inaweza kuwa katika semina (kama hili) au katika nyumba ya mtu huko Dodoma n.k Lakini pia haitoi uzito wa "Bunge' kwa sababu kuzungumza na wabunge tu kunaweza kuwahusisha wabunge wawili, kumi, ishirini au hata Bunge zima.

Lakini "kulihutubia Bunge" ni zaidi ya kuzungumza na Wabunge. Ni kuzungumza na taasisi ya Bunge ambayo ni mojawapo ya Mihimili ya Serikali yetu. Ni sawasawa na kusema Balozi huyo aende Ikulu na kumpa Kikwete somo kuhusu hilo somo hapo juu na mtu aandike "Balozi wa Marekani Amweleza Rais juu ya..."

Uzito ambao M. Said amejaribu kuuweka kwa kudai kuwa Balozi wa Marekani amezungumza na Bunge - kitu ambacho hakikufanyika - ni mojawapo ya majaribio yake ya kupindisha na kupika historia ili kutimiza malengo yake ya kidini, yaani uchonganishi.

Kama lugha hapa bado inakupiga chenga naweza kukusaidia tena zaidi mkuu wangu.

Mwanakijiji,

Katika mojawapo ya bayana zangu za awali kwako niliwahi kukuhoji baadhi ya majambo. Ulitumia ujanjaujanja lakini ukakiri baadhi ya mambo. Inanilazim pia nikushukuru kwa jitihada zako kunielewesha baadhi ya vitu hapa jamvini.

Ulikiri kuwa wewe ni kizazi cha Mchungaji wa Kanisa. Pia ulikiri kuwa wewe ulikua ni mmojawapo wa Vinara wa yale malumbano ya kidini pale viwanja vya Jangwani dhidi ya kina A. Mwaipopo na Waislamu wengine. Japo ulidadavua kidogo na kudai ati ulikua unakwenda pale na kufanya vile kama ni "hobby" tu.

Nilipokuuliza yale maswali ndugu yetu Mag3,kama dasturi yake akajaribu kukutetea kwa jasho jingi mno,japo alionyesha kutahayari kiduchu na kudai ati yeye nae pia amestaajabu,kwani maisha yoote alijua kuwa wewe huna dini na pia alikua hajui yale masuala yako ya kuvinjari kidini kwenye viwanja vya Jangwani.

Jinsi huu mnakasha unavyokwenda Mwanakijiji;japo unajitahidi saana kujificha nyuma ya pazia la Uzalendo na kujifanya Atheist hata kwa baadhi ya wenzio,lakini kwa wenye maarifa wanaanza kuunganisha dots na kutia shaka na motives yako.

Jinsi unavyoonyesha kupenda malumbano maduchu maduchu saana na kuwaumiza wenzio vichwa bila sababu na huku kujinadi usomi,mantiki na mbwembwe nyingi zisokwisha;inalazim utufahamishe wanajamvi wenzio. Je ni kweli uko hapa kwa mambo ya maana,au ni katika kuendeleza tu ile "hobby yako" ya malumbano ya kidini!?


Kila mara umekua hodari au kutilia shaka mantiki na uchambuzi wa wenzio(mbali na Sheikh Mohammed Said).

Nahisi wewe ndo mwenye hizo khitilafu za kufahamu mambo na uchambuzi kwa kina. Punguza ghadhabu zako kwa Sheikh Mohammed Said ili hishma na taadhima zako za kitaaluma zirejee na mnakasha uendelee vyema.

Kwa kumalizia naomba kukunukuu wewe mwenyewe binafsi Mwanakijiji:

"Kuna vitu sielewi. Nimejaribu kuvielewa lakini vimenishinda,na vipo vingine ambavyo japo kwa wengine vinaeleweka kirahisi,kwangu vimekuwa vigumu kwelikweli. Inawezekana nina lile tatizo maarufu la kutoelewa. Pamoja na jitihada zangu zoote za kujaribu kuelewa nimejikuta nikitoka kapa".


Wanajamvi hayo ni maneno ya Mwanakijiji mwenyewe. Hatuna chuki nae binafsi maana ni mwenzetu ndugu yetu,lakini inalazim tumsamehe kwa sababu nilizoziakinisha hapo juu.

Ami au Ritz;tafadhalini, kama Mwanakijiji akijaribu kufurukuta na kukanusha hayo maneno yake(najua hawezi kufanya hivyo kwa ustaarabu alonao) basi italazim mumletee hadharani hapa jamvini.

Tupendane waTanzania soote.

Ahsanta.

Cc:Ritz,Nyambala,The Big Show,Nguruvi3,Mag3,JokaKuu,Ami,Barubaru,Kadogoo,Boko Haram,Spike Lee,Jasusi,Sheikh Mohammed Said
 
The Big Show,

Waingereza ni watu wenye asili ya kibri na tashtit. Na kama hujaishi nao kiundani na kujua Local Politics zao, kila siku watakuumiza kichwa.

Ile picha yenye ile Julius Nyerere Close,nafikiri mletaji hajui kuwa ile ni kashfa fulani kwa aliekua kiongozi wetu. Hapa nazungumza bila ya kuhusisha mambo mengi ambayo niliyokua sikubaliani na Nyerere. Kwa ufupi Waingereza wametutukania Rais wetu wa kwanza wa JMT.

Muhimu pia mtu afahamu nini tafauti baina ya Road,Avenue,Street,Drive,Boulevard na Close(Cul-de- Sac),Court,Circle,lane na mengineyo mengi.

Lakina haina neno tuendelee na mnakasha.

You must be living in mars,kwa hiyo Livingstone Close,Kennedy Close etc etc ni dharau-sometimes its wiser to read on then washing thee dirty kaniki in public
 
WildCard,

Huyo ndiyo Zali la Mentali.
Dah! Ngoja nitamtafuta yule kijana, Profesa J, anieleze maana ya maneno haya "Zali la Mentali". Niliyasikia akiyatumia kwenye wimbo wake zamani kidogo. Sio bure maneno haya.
 
Mimi najazia kiduchu tulikuwa tunavaa makatambunga na tunafuruhia magwanji.

Mie naendelea kukusoma, Zali la Mentali, huku nimevaa miwani ya 3D.

Cc.., Kadogoo, gombesugu,

Ritz,

"Asosikia la Mkuu hupata makuu". Jana nilimtahadharisha ndugu yangu Nguruvi3,yakuwa masuala ya kushangilia mapema hayafai maana shughuli ni pevu mno,lakini Yarabi ya Manani; yule Bwana hakutaka nisikiza asilani.

Hapa kuna baadhi ya jamaa wanaleta maskhara,hizo habari nyingi mno anazoleta huyo mgeni mwenzangu-Zali la Mentali,ni za kweli kabisa. Hasa jana alipotaja lile Tanuri walipochomwa ndugu zetu na yule Mnyasa pale Unguja 1964,panaitwa "Kinu Moshi" nafikiri. Mama yangu alipoteza Uncle yake mle na baadhi ya ndugu zake kadhaa waliuliwa ama kuwekwa kizuizini. Inna Lillahi Wa Inna Illahi Rajiun.

Haina neno tuendelee na mnakasha.

Ahsanta.
 
Nimeshakueleza kama huoni hoja nilizoweka KAA KIMYA. Kama ni kusema uongo si uelezee kivipi nimesema uongo? Unashindwa nini kuthibitisha uongo wangu. Haya ya Mzee Mohamed Said kwani si mnayaona kuwa ni uongo. Mbona mnayajadili? Sasa mtu wa aina yako unaweza kunifundisha mimi maisha? Kama ni chuki nyinyi ndio wenye chuki iliyopitiliza. Nilishaeleza jinsi Nyerere alivyotumiwa na Kanisa kuwaua Wazanzibar kwa maelfu. Utawezaje kuuwa binadamu wenzako kiasi hicho bila ya kuwa na chuki nao?
Sasa unaleta habari za kupenda maisha hapa. Una akili timamu wewe? Mtu akikulazimisha kukutwanga TIGO kwa kukuwekea bastola utampa ili uendelee kufaidi maisha kwa sababu wewe ni kijana?
Huna unalolijua mpumbavu wewe zaidi ya majungu na fitna moyoni mwako! ebu tuthibitishie lini Nyerere aliwauwa wazanzibar kwa maelfu! Acha chuki zako binafsi dhidi ya watu wengine. Kaa pembeni wachie wenye "fact" waendelee na mnakasha huu. Wewe hapa umepotea njia, kwako wewe ni kwenye mihadhara ya uamsho. Hapa ni nyumbani kwa Great Thinkers sio kwa wanauamsho na hamasa za kidini.Wala hapa hatujadili misemo ya wahuni wenzako wa mitaani wanaowaza ushoga kama wewe!
 
Mimi najazia kiduchu tulikuwa tunavaa makatambunga na tunafuruhia magwanji.

Mie naendelea kukusoma, Zali la Mentali, huku nimevaa miwani ya 3D.

Cc.., Kadogoo, gombesugu,

Ritz,

Nastaajabu kwanini mpaka leo hatumo kwenye Guinness book of Records. Nafikiri WaTanzania ndo watu pekee duniani kuvumbua kuwa viatu vya motokari pia vinaweza kuvaliwa na mwanadamu!?

Haina neno tuendelee na mnakasha.
 
Asante sana gombesugu kwa somo...kumbe ni heri kuwa muongo kuliko kuwa mlevi! Kumbe ndiyo maana Al Akhiy Mohamed Said anapewa "pass!" Ningekuomba usipate taabu kuniweka kwenye "shit list", hapa ni JF, koleo linaitwa kwa jina lake na tendo hilo sidhani kama litanipunguzia chochote humu. On a serious note, kweli hata wewe unanyamazia uongo kama huo unapohubiriwa hadi nchi za watu kama Nigeria! Come on gombesugu, jipe angalau ujasiri japo wa kutoa ushauri kama wa kukemea umeshindikana...I thought you were better than that!

FYI, uongo umewahi kusababisha mitafaruku isiyo kifani kati ya mtu na mtu, jamii na jamii na nchi na nchi...bahati nzuri bado tunao watu wasiowafumbia macho waongo, wasengenyaji, wachonganishi na wachochezi, hizi ni tabia za hatari kweli kweli!
The truth may hurt for a little while but a lie hurts for ever!

Mag3,

Nashukuru sana kwa kuelekezana na nimekuelewa kwa dhati. Italazim sasa nijifunze "kukemea".

Kuhusu hiyo habari ya mitafaruku,ni kweli ulivyonena na nimekusikia ndugu yangu. Kama unakumbuka mimi niliwahi kuzungumza na ndugu yetu Nyambala hapa jamvini kwa ustaarabu na tukapeana mpaka mifano ya yalowakuta/yanayowakuta ndugu zetu wa Sudan.


Nikipata fursa labda kesho nitajaribu kukufafanulia baadhi ya vitu kiduchu.

Ahsanta.
 
Sina la kusema hadi uwasiliane na watu wa Ibadan, uwambie uliwadanganya kuwa Balozi wa Marekani nchini alilihutubia Bunge la Tanzania. Mtafiti mzuri kama wewe hakurupuki kuandika asichokuwa na uhakika nacho!

Huo uungwana akiufikia nitamshanngaa sana.

Nachelea kusema hata akipata nafasi nyingine kama hiyo atasema ngano hizo hizo na pengine ataongeza chumvi zaidi.
 
Ndugu yangu Uthman;
Namshukuru Nguruvi kakujulisha kikamilifu yaliyojitokeza kwenye swali uliloniuliza. Binafsi sikupata muda mzuri wa kulishughulikia. Sijui haya nilibahatika kupata kama yatakuridhisha wewe na pengine hata wanajamvi. Ukizungumzia kufa kwa taasisi za Kiislamu huenda inayogusa hisia za wengi katika kuanguka kwake huwa ni the East African Muslim Welfare Society (EAMWS). Kwa hiyo nadhani bora nijibu niliyofanikiwa kupata juu ya hili. Nimebahatika kupata paper moja kaandika Dr. Issa Ziddy. Paper hii utaikuta kwa jina la “ SHAYKH ˘ASAN B. ‘AMAYR AL-SHIRAZˆ (1880-1979), ISSA ZIDDY,;Journal; Sudanic Africa, 16, 2005, 1-26. Kwa Google Scholar utaipata kuiwepesi. Madhila ya EAMWS yako pamoja na madhila Sheikh huyu maarufu. Nashauri ipate paper yote. Hapa chini nimechukua vipande vichache ili angalau watu wajue baadhi ya yaliyojiri. Nimevipa vipande hivi namba ili tuweze kuvirejea kwenye maoni yangu kama Wickama ambayo utayakuta mwisho;

1. “………he was the mufti of Tanganyika (from 1961 to 1968). Among these Muslim associations, the EAMWS was the most important. However, Shaykh ˘asan b. fiAmayr was not only active with respect to the development of Muslim organizations in Tanganyika, but also worked for the establishment of an Islamic university in Tanganyika. In 1964, he was, thus, among the Muslim scholars of the EAMWS who visited Islamic countries such as Egypt, Iraq, Lebanon and Syria, in order to ask for support in educational matters. On 20 May 1964, they returned home with the good news that the Egyptian government would donate 55 million Egyptian pounds to build an Islamic university in Dar es-Salaam. But the political situation had changed, and because of that, ‘Shaykh ˘asan was convinced by his friend and closest student, Shaykh Mzee b. fiAlı, a Comorian living in Kariakoo in Dar es-Salaam, to change the content and method of delivering his khu†bas [sermons] and darsas by not touching political issues any more”

2. “…..Now, many sources, even Muslim texts, magazines, newspapers, audio and videocassettes as well as books written by missionaries claim that Shaykh ˘asan b. fiAmayr was a politician. Also his name and pictures appeared more than once in the documents of the Tanganyika archives on the activities and struggles lead by the first political party of Tanganyika, the Tanganyika African Association (TAA) as well as the Tanganyika African National Union (TANU) as Mohamed Said was able to show.”

3. “……..They rather claim that he was not a politician and that his aim was the struggle for Muslim education, Muslim rights and unity. He is said to have always refused to become a minister or even a local sheha (chief): Shaykh ˘asan did not involve himself in politics, but some of his students were politicians. They invited him sometimes to say the Fatiah at the end of their political meetings.”

4. “……..Thus, a well known student of Shaykh ˘asan b. fiAmayr, Shaykh fiAbdallah Chaurembo, who used to teach Shaykh ˘asan b. fiAmayr’s students during his visits to his other centres, started a conflict with Shaykh ˘asan b. fiAmayr on account of political questions. Due to these internal conflicts among Tanganyika’s Muslims,the plans to start an Islamic university came to nothing and the EAMWS came to an end as well, although Shaykh ˘asan b. fiAmayr tried to support this umbrella organization of Tanzania’s Muslims.”

5. “……..he was also an active member of al-Jamifia al- Islamiyya and al-Dafiwa al-Islamiyya as well as the East African Muslims Welfare Society (EAMWS).”

6. “…………However, after the Arusha Declaration in 1967, the EAMWS started to split. Some Muslims such as Shaykh Adam Nasibu of the Bukoba district office of the EAMWS even said that socialism as proclaimed in the Arusha Declaration was equivalent to the teachings of the Quran. The nationalist newspaper, Uhuru, as well as the government controlled Radio Tanzania/Dar es Salam praised this group of Muslims for their progressive minds”.

7. “……In 1968, the Muslims in Dar es-Salaam became even more divided. Thus, instead of having one centre for mawlid celebrations (for the birthday of the Prophet Muhammad), as in the colonial times, they now held mawlid celebrations in two different places, namely Mnazi Mmoja and Ilala. This dispute gave their enemies the chance to exploit their divisions. In the course of 1968, the EAMWS disintegrated even further, when the leaders of the Bukoba district of the EAMWS left the organization to be followed by the Tanga and Iringa regions. The EAMWS headquarters tried to fight this escalation, but the promises the government made to the opponents of the EAMWS made these efforts with respect to the unity of the EAMWS futile.”

8. “………The EAMWS dissidents who left the organization with government support, thus said that if the EAMWS was to be re-structured it should be done under their own conditions. These conditions were not only difficult to meet but also quite controversial as they violated against basic principles of Islam as well as against Shaykh ˘asan b. fiAmayr’s ideas. Some of these conditions were:

1. The EAMWS was to be reserved for Tanzanians only and should exclude other East Africans.
2. The Aga Khan was to be regarded as a foreigner, and thus not acceptable as a patron of the EAMWS.
3. The Secretary General of EAMWS should be a black African and not an Indian (as this position was held, at that time, by an Ismailfiılı Indian, fiAbd al-fiAzız Khaki).
4. The sources of funds and expenditure of the EAMWS should be clearly shown.
5. The leaders of the EAMWS should be supporters of TANU’s political objectives and ideologies.

9. “……..These conditions were sent to the EAMWS headquarters by Shaykh Adam Nasibu, Muhammad Zharia and Khamıs Kayamba and an emergency meeting of the EAMWS was held on 14 November 1968 to discuss the situation, whilst at that time three Tanganyika regions had already left the organization.”

11. “………the efforts of two prominent Muslims, namely Bibi Titi and Tewa Said Tewa, who were members of the TANU, to save the society, came to naught.

12. “ …….in early December 1968, a special committee under the chairmanship of a well known student of Shaykh ˘asan b. fiAmayr, Shaykh fiAbdallah Chaurembo, was formed, with Shaykh Adam Nasibu as the secretary general, in order to obstruct the work of the EAMWS. By 3 December 1968, it was obvious that the union of the Muslims in East Africa was defunct. The group that had separated from EAMWS was ready to take over the high Islamic leadership of Tanganyika by any means. The only thing that prevented them from doing so was the presence of Shaykh ˘asan b. fiAmayr in Dar es-Salaam as the Muslims in the whole of East Africa respected Shaykh ˘asan b. fiAmayr as their spiritual leader. Thus, the time had come for the Tanzanian government to use its power to complete the task of destroying the EAMWS, by forcefully deporting Shaykh ˘asan b. fiAmayr to Zanzibar.”

MAONI YANGU KAMA WICKAMA
Ni dhahiri EAMWS iliachiwa kufa kijinga kwa sababu baadhi ya waislamu wa wakati huo waliigeuza kuwa kama chama pinzani dhidi ya TANU. Zingatia kuwa wakati Sheikh anaambiwa ajihadhari na khutba kalikali kuwa zinaukwaza utawala ilikuwa hata Azimio la Arusha, bado. Kwa hiyo surely sio Ujamaa (excerpt… 1) lazima ni jambo tofauti. Lipi hilo?????? Dr Ziddy hajalitaja. Na wala sio mapinduzi ya Zanzibar kwa vile kunako kurejeshwa huko (hiyo December 1968) unaweza kuhisi kingempata nini. The fact kuwa hawakumgusa ina maana activities zake hazikuwa hatarishi kwao.

Jambo hili yaelekea lilikuwa linawagombanisha sana waislamu wakati huo na kila mtu alichukua upande wake kiasi hata mwanafunzi wa Sheikh sasa wanagombana openly (excerpt ……4). Mwandishi ametoboa kuwa ni siasa ilimfanya mwanafunzi huyu kum-confront Sheikh wake (yaani kam-boa kishenzi). Lakini angalia excerpt hiyo hiyo, Dr. Ziddy hajaficha kuwa hii migogoro ndio iliua ndoto ya kupata University ya Waislamu. Kwa maana kuwa ilienea sana. Inaelekea kulikuwapo wanaoipinga TANU na walikuwapo wanaoiunga mkono (kama picha ya CCM vs Chadema leo). Mind you, uhuru tayari, ujamaa bado, vijiji vya ujamaa bado, Kuhutba kali kali ni za nini? Binafsi nahisi political sentiments zikiilenga KEKI YA TAIFA hapa. Watu wamekuwa wakali (excerpt 1). Sisi ndio tumemuondoa Mwingereza bwanaaaa. Hatumwogopi mtu. Waislamu twataka chetu. Same sentiments as AMNUT, perhaps from same guys actually but camouflaged in a different institution.

Sasa rejea excerpt 8. Hapo ni kuwa Bukoba, Tanga na Iringa wameshajitoa EAMWS. Nobody dares to honestly say why. There should be a sound reason. Always majiby mkato kama kama kuna watu walikuwa wanatembea na makabrasha ya fedha kuwahonga. Lakini ajabu wahusika hawapewi the benefit of the doubt kujieleza. Hebu sasa soma madai yao. Yanaashiria vuta nikuvute ndani ya EAMWS (hiyo ni kawaida kwa taasisi yoyote). Yanashiria kuchoka ku-serve kama branch (Hqts zilikuwa Mombasa), hawa wanataka EAMWS ya KiBongo (labda conception ya Bakwata? uzalendo), wanataka washike real hatamu kwenye EAMWS (wamewachoka wahindi, japo hapa infact kuna pia usunni na ushia, halisemwi hadharani). Madai yao yanaashiria kutoridhika na matumizi ya pesa kutojulikana yanaendaje. Na maradhi haya ya fedha za taasisi za kiislamu kutoonyeshwa zimetumiwa vipi hayaishi na leo. Lakini angalia dai lao MOJA kwa karibu sana. Wanataka viongozi EAMWS lazima wawe supporters wa TANU. Hapo ndipo palikokuwa na fitna Uthman. Maana ya dai hilo ni kuwa wapo viongozi wa EAMWS waliokuwa wapinzani wa TANU huku wamejichimbia EAMWS na kutumia kivuli cha Uislamu kuipiga vita!!!!!

Tuwe fair, tumpe Sheikh benefit of the doubt, angalia excerpt 2 and 3. It is a good thing unatetea haki na elimu ya waislamu. Lakini kwa maoni yangu kama kweli Sheikh alikataa fursa ya a cabinet post (through which angesaidia waislamu kiurahisi, tena with more resources), nadiriki kusema he threw away an important opportunity. Ukiyaunga na excerpt 1, no wonder serikalini walianza kuhisi kero. Mwisho ni kama unavyoona. “Bwana wee, tumekupa offa angalau uwe waziri ufanyie kazi malamiko yako hutaki. Kazi mikutano ya ......., sasa wataka nini? Mwisho kabisa ni ileeeeeee ya mgeni siku ya 10....una kwenu Sheikh. Halooooo, Abeid hebu mpokee huyu. So bad, so sad, inauma sana sana lakini that’s how it ended. More sad, with his departure, the EAMWS also got a headstone with an RIP without a name.

Binafsi naamini kuwa hii taasisi ambayo ilikuwa kwa maslahi ya waislamu wa AFRIKA MASHARIKI haikutakiwa kujihusisha na dirty and local politics za individual countries. Kazi hiyo unawaachia wakina AMNUT, ndio field yao. Lakini ujihadhari wasikimbie toka waliko kukufanya maficho yao. Huwa ni muhimu kuwa hivyo kwa sababu unao wanachama wenye tofauti za kisiasa. Sanasana unatakiwa kuvaa joho la upatanishi kwa wanachama wako wanapotoana makovu kama hayo ya kisiasa. Ukiruhusu taasisi yako kuwa kichaka cha watu kulipa vendetta huku wakisingizia mengine ni kwamba unahatarisha taasisi.

Mimi navyoona, kwa ushahidi wa Paper ya huyu bwana, watu walikosa subira katika kuitaka TANU kubadilisha hali yao. Dissention ilianza mapema sana. Definetly aliyetoka TANU, AMNUT, TUP etc. akapeleka siasa zake EAMWS ambazo mwenyewe alishindwa kuzihami kwenye uwanja wa siasa in the open ndiye mwanzilishi wa kifo cha hii taasisi. Hapa waislamu lazima kuu-face ukweli. TANU ndiyo kwanza wamepewa nchi na Waingereza, isingerushiwa mawe na madongo bila wao kujibu. That is a very sad reality. Mengine ni matokeo. Mtu akiamua kufanya a serious and objective research kwenye hili, atapata jina au majina ya causative persons. It is so sad how a mistake of a few can cost a whole generation a terrible price.
 
Hatimaye umefunua rangi yako kamili, kumbe Mapinduzi ya Zanzibar yalikuathiri sana. Pole sana Mkuu.
Aliyefanya Mapinduzi Zanzibar naambiwa sio Karume baba, bali John Okello Mganda. Huyo Nyerere unayemwingiza hapa hakuunga mkono Mapinduzi ya Zanzibar tu bali aliwaunga mkono hata Wapalestina na Nchi zote za Kusini mwa Afirka.

Kwanini unakerwa na Nyerere kujihusisha na Mapinduzi ya Zanzibar pekee?

Lazima uwe katili wa kupitiliza ili usiathirike na watu wasiopungua 20,000 waliotolewa roho zao kinyama, watu wasiopungua 200 waliochomwa moto kwenye tanuri wakiwa hai. Huyu Nyerere hakuwa na tofauti na Hittler. Na madicteta wa kiwango hiki Mungu huwa anaanza kuwapa adhabu hapa hapa duniani. Kifo chake cha kufa pole pole uku akipumulia kwenye mashine kilichosabishwa na ugonjwa wa Ukosefu wa Kinga Mwilini ni adhabu tosha aliyoipata kabla hajarudi kwa mola wake ili akapate adhabu zingine.

John Okello alitumiwa na Nyerere kufanya mapinduzi yale. Nyerere nae alitumiwa na Kanisa Katoliki ili kuuwa Uislamu ambao mpaka leo wameshindwa kuumaliza kule Zanzibar.

Sifadhaishwi na Zanzibar pekee. Sehemu zote Tanzania tulizopigana tukatumia raslimali zetu kijinga, tukaua watu wetu na ndugu zetu ndani ya Bara la Africa, kote huko sifurahishwi nako kwa sababu hakuna dhambi kubwa duniani kama kuuwa mtu asiye na hatia yoyote. Vita hizi za kijinga ndio zimesababisha nchi yetu kuwa maskini kiasi hiki. Lakini kikubwa zaidi ni kwamba katuachia chuki na ndugu zetu ndani ya Bara la Africa ambayo siku moja itakuja kuturudia sisi wakati yeye yuko Jehanam.
 
Wickama,
Uislam hakika umeeleza ubaya wa kusengenya na umetoa maana ya kusengenya.
Ukitaka habari kamili ya somo hilo rejea Riadh Salihin mlango wa kusengenya.

Hapo utapata maana yake kamili.
Kwa mukhtasari kusengenya ni kusema neno mwenyewe hayupo na akilisikia atakasirika.

Mimi nimeeleza historia na nimelileta hilo baada ya kubanwa kuhusu historia ya Abdu
Sykes.

Ama kuchuja...
Mengi sana sikuona lazima ya kuyaeleza si hapa wala katika kitabu.

Heshima yako mzee MS; Usijali ndugu yangu. Jitahidi na wewe ubane mtu. Nikuachie muda utafute. Nikizidisha hapa sote wawili twaweza kuwa "zombies au brain dead" Jioni njema
 
Zali la Mentali wameshamweka upande wetu kama kawaida yao,twende kazi zali la mentali...

Nimechukua vipande hivi kutoka kwenye write-up ya Khatib M. Rajab kuhusiana na issues za Mapinduzi ya Zanzibar, EAMS, etc. Ni vizuri kuwa na mitizamo tofauti kwenye mjadala. Naviweka vipande hivi hapa:

The objective of the Zanzibar revolution was a Crusade against Islam as Okello stated in his book entitled Revolution in Zanzibar that God appointed him to make revolution for the sake of Christianity.

Okello also said that his "Freedom Fighters" came from Tanganyika, Kenya, Uganda, Rhodesia (Zimbabwe), Nyasaland (Malawi) and Mozambique. They killed 13,635 Muslims and 21,462 were detained. On January 11, 1964 Okello commanded the Crusaders that all Arabs (Muslims) between the age of 18 and 55 must be killed.

The mainland Africans' support to overthrow the Zanzibar Government was due to the fact that the Crusaders had a large number of modern arms from Kenya and or Tanganyika from where 600 Crusaders invaded Zanzibar Keith Kyle, a British correspondent for East Africa in his articles in the Spectator of entitled "Gideon's (Okello) Voices" (February 7, 1964) and "How it Happened" (February 14, 1964) said that "certain (Christian) members of the Tanganyika Government were involved in Revolution" (Crusade) of Zanzibar.

It is known that the holocaust was so horrendous that 100 Muslims were baked to death in tanuri (the copra-kiln) at Bambi.

Following the Muslims holocaust, Abeid Karume (1905-1972), born in Nyasaland (now Malawi) became the President of the People's Republic of Zanzibar. Karume secretly collaborated with the former Tanganyikan President Nyerere, an Islamophobic for the merger of Zanzibar and Tanganyika.

One day after the Crusade in Zanzibar, the Kenyan African National Union (KANU) Youth Wingers held an emergency meeting in Nairobi. In this meeting, "a unanimous resolution was passed hailing the overthrew of the Zanzibar regime." This was followed by the two-days Kenyan Cabinet Ministers, summoned to the Prime Minister's Office. It was attended by the Tanganyikan Minister for External Affairs, Oscar Kambona, a member of the World Council of Churches, and the Ugandan Minister of State, Magezi, while the Kenyan Minister of State and Foreign Affairs, Joseph Marumbi was in touch with Zanzibar by telephone. He collaborated with Edington Kisasi, a Catholic from Moshi in Tanganyika who was the Zanzibar Superintendent of Police installed by the British and he became the first Police Commissioner after the Crusade in Zanzibar. Also attended the Cabinet meeting to discuss the aftermath of Crusade were the British High Commission in Kenya, the British Forces in Kenya, and the Inspector-General of Police, R.C. Cating.

Within the first hundred days after the Catholic Crusade in Zanzibar, Nyerere collaborated with eminent Christian leaders in East Africa and imperialistic powers for the union between Tanganyika and Zanzibar. This Christian conspiracy was so important that the US government under President Lyndon B. Johnson (1963-1969) accorded Zanzibar a top priority in the US foreign policy, next to Vietnam and Cuba. William Attwood, the then US ambassador in Kenya said that "the Western powers prepared a contingency plan in case the Union would fail...and (after the union), the laws of Tanganyika would become supreme to round up (Muslim) radicals in Zanzibar." Also the US Secretary of State, Dean Rusk appealed that "it is essential for Nyerere to be given the maximum support from the West." Therefore, when Nyerere went to Zanzibar on April 22, 1964 to pressure Karume for the union with Tanganyika, he had already dispatched his soldiers to Zanzibar on January 13, 1964 with ammunition allegedly for security reasons, after consultation with Okello. Martin Bailey quoted Nyerere when he addressed the mass rally at Dar es Salaam on November 15, 1964:

We sent our police to Zanzibar. After overcoming various problems we united. We ourselves voluntarily agreed on union. Karume and I met. Only the two of us met. When I mentioned the question of the union Karume did not even give it a second thought. He instantly asked me to call a meeting of the press to announce our intention. I advised him to wait a bit as it was too early for the press to be informed. (p. 31).

This is a clear testimony that the union of Zanzibar and Tanganyika was the creation of Karume, a racist dictator nominal Muslim from Nyasaland (Malawi) and Nyerere, an autocratic devout Christian from Tanganyika. And consequently, Zanzibar has lost her strong Islamicity and sovereignty to Tanganyika since April 26, 1964 when the dictator Karume, signed the Articles of the Union, drafted by British expatriates, Attorney General Roland Brown and Chief Parliamentary Draftsman, P.R.N. Fifoot, to form Tanzania under the clique of the Christian Church Movement (CCM) of Tanganyika. The Constitution drafted by the British colonialists was unilaterally used by the Tanganyikan Government as the Interim Constitution of Tanzania, did not contain freedom of religion as independent clause to the detriment of the Islamic State of Zanzibar.

A similar situation of ethnic cleansing and the holocaust that went with it, was attempted to turn Bosnian Muslims into the Christians, and bring Bosnia-Herzegovina into the "Greater Serbia" under the Greek Orthodox Serbs or "Greater Croatia" under the Roman Catholic Croats since 1941. The same experiment was successfully conducted by the Catholics to the Mindanao Muslims. They were forcibly merged with the Philippines in 1946 by the American government "to civilize and Christianize the Muslims" as said by William McKinley, the assassinated US President (1891-1901) who had invaded the Philippines and the Mindanao islands. After the merger, the Muslims were considered outcasts in their own land and establishment of the Catholic Churches was encouraged but the Muslim world seemed to have lost its sense of history and treat the problems of Mindanao as if it were purely internal affairs of the Philippines and as if the Muslims were always ruled by a Catholic establishment.

In the Euro-Christian parlance, Nyerere was a serious bulwark against what was believed as Communism in Zanzibar. This was concorted and by the American Government. because the book, US Foreign Policy and Revolution: the Creation of Tanzania by Amrit Wilson revealed some official US documents, including from the CIA that regarded Nyerere as the only "responsible" African leader to suppress (Islam in) Zanzibar which was erroneously equated with communism during the Cold war. Before the creation of Tanzania in 1964, Nyerere was frequently heard and so quoted that he wished he could tow out Zanzibar into the Indian Ocean, if he can. Tanzania received more Western aid per capita than any other African country. But to many Islamists in Zanzibar, Nyerere is a devout Catholic and Crusader against Islam in Zanzibar though it was only recently that the book "The Course of Islam in Africa" by Mervyln Hiskett indicated that the Union was imposed by Nyerere for Crusade against Islam in Zanzibar:

Union was imposed on the Muslims of Zanzibar by Nyerere, a militant Christian and his henchmen Okello against the will of the Zanzibari people, and that has been followed by a deliberate campaign to extinguish the Islamic character of Zanzibar under a secular constitution." (p. 170).

Nyerere ruled for twenty eight years (1961-1989) as the President and the Chairman of the ruling party in Tanzania. During his chauvinistic and autocratic leadership, the Rev. Frank Schildknecht, a White Father who monitored all the Muslim activities throughout the African continent for the Roman Catholic Church sent a report in July 1963 to the Pope at the Vatican City that the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) is becoming stronger and constitute a threat to the future of Christianity for spreading Islam. The EAMWS built several mosques, dispensaries and twenty three schools throughout the East African countries. It also The proposed to build the first Muslim University in Zanzibar, similar to the Beirut University to produce local Muslim professionals. On February 25, 1965, Nyerere banned the Muslim Education Union which was founded to train Muslims who were not allowed into the government primary schools. He also banned the EAMWS in 1968 with following short statement:

The Minister of Home Affair has by command of the President (Julius Nyerere) declared the Tanzania Branch of the East African Muslims Welfare Society (EAMWS) and Tanzania Council of the East African Muslim Welfare Society to be unlawful societies under the provisions of section 6(1) of the Societies Ordinance. (The Standard, December 20, 1968).

The advisor of the EAMWS Sheikh Hassan bin Ameir al-Shirazy was arrested and deported to Zanzibar. The Jamiyãt al-Islãmiyyah fi Tanganyika, which focused on the pressing educational needs of Muslims in Tanganyika was also banned in 1970 in the gist of secularism of education, before the government expressed its hostility in 1973 that only adults could perform Hajj (pilgrimage) to Saudi Arabia and only once in their life time. Some Christians are hostile to Hajj because it is used for the enhancement of the global Muslim Brotherhood and enrichment of the Islamic education among the pilgrims.

THE CATHOLIC CHURCH MOVEMENT
Jan P. van Bergen's book quoted Nyerere by saying that the interest of his (Roman) Church came first, and would never go against his Church so as to liberate it from the matope (mud), which it has accumulated by being identified with world situation in Europe. This is clear testimony indicated that Nyerere ruled his country for the betterment of clandestine Catholic Church Movement (CCM), in Tanzania and Muslims in this country were the first in the world who contributed money to the Catholic secessionist state of Biafra in Nigeria to fight against their fellow Muslims in Nigeria, the most populous Muslim nation in Africa. The Catholic Church Movement in Biafra demanded to secede to rid themselves in what they called "a calamitous slavery in an ocean of Muslims." In contrary, a number of Muslim troops from Zanzibar were disproportionately killed during the Nyerere's invasion of Uganda in 1979 which toppled a Muslim ruler, Iddi Amin and re-installed Nyerere's old friend, Milton Obote, a Christian who supported Nyerere for the creation of Tanzania in collaboration with the Central Inteligence Agency (CIA) whose director was George Bush, later the former US President.

EDUCATION UNDER CHRISTIAN LEADERSHIP
To many uninformed people, Nyerere is a public defender of secularism in the ruling Party and the government. But his secret meetings with Church leadership is quite the opposite. In his confidential conversation on August 2, 1970, with Rev. Robert Rweyemaum, the then Secretary General of Tanzania Episcopal Conference (TEC), the largest Christian denomination of Catholic Church, Nyerere is quoted in a book Development and Religion in Tanzania by J. P. van Bergen as saying that he has established in TANU a department of political education and that he deliberately appointed a Christian minister to head it not because he was a strong politician but because of his Catholic Faith. This book published by the Catholic Church stated that this reason the Rev. Mushendwa with his strong solid Christian faith, was put in charge of TANU's Development of Political Education. Nyerere continued what was left by the British educational discparity against the Muslims.

The Muslims in Tanganyika who pioneered and led the grassroot struggle against the Anglo-Ducth colonial rule to end oppression have not reaped the fruits of their labor since the 1961 independence. Many questions are now being asked by the contemporary Muslims about this bag puzzle. Educational disparity between Muslims and Christians goes on abated. In Tanganyika, Muslims claimed that they have been marginalised in their own country before and after independence. Their past experience with Nyerere convinced them that it is unfair to expect Christian, however sincere or honest he might appear to the public, to safeguard the interest of Muslims. He vowed not to improve the level of Muslim education in Tanganyika and Zanzibar.

Recent study conducted by G.A. Malekela, a Christian Professor in the Faculty of Education at the University of Dar es Salaam, stated that in the government Secondary schools in Tanganyika in 1983, Christians were 78% and all non-Christians were only 22%. Christians are clearly over represented despite the fact that Muslims are 65% in the population of Tanganyika. The latest research done by the Dar es Salaam University Muslims Trusteeship (DUMT) and published in 1992 by Al-Haqq International showed that the number of Muslim students has been falling in the country's university Dar es Salaam and colleges. At the University of Dar es Salaam alone, the research reported that the total enrollment for the 1986-1990 was 4,191. Out of this number, Muslim students were only 586, or 13%, whereas Christians were 3,609 or 87%. It is was not therefore a sheer coincidence throughout his uninterrupted 24 years as the President of Tanzania (1961-1985), Nyerere, being a Catholic had always appointed a Christian to head the Ministry in Education. Muslims stated that because of this ever-increasing under-representation of Muslims in relation to Christians in Secondary and Higher Education, all key posts in the Tanzanian administration and public institutions came to be dominated by Christians, while Muslims largely relegated to menial positions such as drivers and messengers. The Muslims in Tanganyika are demanding their a fair share of the national cake because after independence, Tanganyikan Muslim student intake, is below 10%; the Muslim Cabinet ministers are negligible while Muslim principal secretaries and heads of parastatal organization are non-existent.

But like Tanganyika, the Muslims in Zanzibar have been discriminated against education in foreign countries after the forceful union of Tanganyika and Zanzibar to form Tanzania. Mohammed Mwinyi Mzale, the then Minister for Education in Zanzibar stated that of the 12 members of the Joint Selection Committee (JOSECO) which selects students for higher education in university and institutions at home and abroad, none is from Zanzibar. He lamented that when students on Zanzibar's scholarship turn up at Tanzania missions abroad, they are kept a stiff arm's length away on the pretext that they are not on a United Republic's scholarship, even though in fact Zanzibar pays its share in the Union's higher education budget. He contended that the executive bodies of higher education are Union only in word but in deeds and in their structure, there are mainland creatures and are there to do its biding. The Union parliament formulate policies for the interest of Tanganyika and believed that somehow the Tanganyika and Union governments are Siamese twins.
Ironically, the Churches in Tanganyika rejected TANU, twice in 1958 at Sumbawanga and in 1965 at Mbulu. They were scheming hand in glove with the British colonial government which groomed Nyerere to be the first president in Tanganyika after British. After independence under Nyerere, Tanzanian Christians are reaping what they did not plant but are enjoying the benefits of every sector cemented by Christian Church Movement (CCM) supported by the Western nations.

Kwa habari zaidi soma hapa Mwalimu Nyerere - Articles, Transcripts and Legacies | Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika
 
Back
Top Bottom