Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
Duh! ajabu na kweli! mimi nilidhani huwa unaelimika na post za mzee mchochezi Mohamed Said peke yake! nampa hongera sana Wickama naona anaweza kukuongoa kwenye makucha ya muovu!
.
Salaam Sheikh Islam wa pale Maweni Street Upanga....
Boko haram, ni lini ulimtangaza Wickama kama mpinzani wako?ninachokijua mie nikwamba ulitangaza kwamba unajifunza mambo kutoka kwa mchochezi Mohamed Said tu! sasa leo unabadili msimamo?Tatizo lako wewe mambo unayachukulia kishabiki sio kila analoongea mpinzani wako unalipinga hatakama linaukweli wewe uko huku kwaajili ya kupinga tuu hata kama umeona ukweli wickama sio wa kihivyo kuna mambo mangapi anayaongelea mzee MS na Wickama anayakubali mbona wewe hukumshangaa Wickama wewe kapambane na ZALI LA MENTALI niache nipumue mkubwa
Jasusi,
Punguza munkari jitulize kunywa fundo tatu za maji kisha pumzika kidogo.
Huu ni mnakasha watu wote wapo huru kujenga hoja zao ili zijibiwe kwa hoja, unamuita Zali la Mentali, jitu hapo umeteleza.
Hebu jifunze kutoka kwa mwalimu wetu Mohamed Said, wenzako wanavyomshambulia kwa matusi, kejeli, dhihaka, lakini katulizana hana wasiwasi anafundisha tu.
Sasa nyie mtu akiwaeleza habari za Nyerere tofauti na mnazozijua nyie mnakuwa wakali.
Boko haram, ni lini ulimtangaza Wickama kama mpinzani wako?ninachokijua mie nikwamba ulitangaza kwamba unajifunza mambo kutoka kwa mchochezi Mohamed Said tu! sasa leo unabadili msimamo?
Mimi napata tabu kukuelewa wewe. Mohamed ameshatuambia kuwa Nyerere amekutana na Sykes mara ya kwanza mwaka 1953. Lakini Nyerere alikuwa mwanachama wa TAA kabla ya hapo. Sasa kabla ya kukutana uso kwa uso wangefahamiana vipi? Kupitia mitandao na e mails na skype? Au mabango ya Abdulwahid Sykes yalikuwa yamesambazwa nchini kote kama mlivyofanya na Kikwete katika uchaguzi wa 2010?Wanajamvi huyu ndugu yetu Zali la Mentali, "Mchimba chumvi" kwa kweli katumfumbua macho.
Nyerere anasema alikuwa mjumbe wa TAA na alihudhuria mkutano wa Tabora.
Cha kushangaza alikuwa hamjui kiongozi wake Katibu Mkuu wa TAA Abdul Sykes.
Kaja kufahamishwa na Kasanga Tumbo, alivyokuja Dar es Salaam, hapa napata tabu kidogo kumuelewa Nyerere.
Ni sawa sawa Mabere Marando, kajiunga Chadema lakini hamfahamu Katibu Mkuu wake wa Chadema, Dr Slaa.
Mimi nakiita ni kituko Nyerere kajiunga kwenye chama bila kuwafahamu viongozi wake.
Nguruvi3 ni boss wa nani? naamini Nguruvi3 ni "independent thinker" na wala hahitaji kuwa boss wa mtu yeyote labda kazini kwake na wala sio hapa JF, hiyo ndio tabia ya "intellectuals". Wewe Boko haram kwa sababu ya uelewa wako mdogo ndie uliyeanza kuumba maboss hapa, na bila aibu wala kutumia akili ukaamua kumfanya mchochezi Mohamed Said kuwa boss wako na wajinga wenzako ambao hamtaki kutumia akili zenu!Gwalihenzi, unajua maana ya upinzani? kunapost moja Wickama aliituma akaulizwa na kama sijakosea Jokakuu kwamba mbona unawapa nguvu hawa jamaa mimi hapo nilishindwa kuelewa hata boss wako Nguruvi3 ali comment hiyo issue wickama kwanini aseme hivyo kwa maana hiyo hata Nguruvi akikosea asiambiwe?
Ritz nashukuru kwa ujumbe wako; Masula ya Mkapa niliyoongelea ni yale nayoyajua mimi (1) alitoa kibali majengo ya TANESCO institute Morogoro kutumiwa kama Muslim University (2) alifanya jitihada za kujenga (kumshawishi Marehemu Gaddafi) kujenga ule msikiti wa pale Dodoma. Nikasema kwa mawili haya ilikuwa uungwana kusema shukran. Ukifuatilia threads zangu sijawahi kumkingia Mkapa kifua dhidi ya tuhuma utakazozikuta katika majadiliano mengine yanayoendelea humu. Huwa sichangii kitu kama sina data za kunitosha. I hope nimekujibu.
Mimi napata tabu kukuelewa wewe. Mohamed ameshatuambia kuwa Nyerere amekutana na Sykes mara ya kwanza mwaka 1953. Lakini Nyerere alikuwa mwanachama wa TAA kabla ya hapo. Sasa kabla ya kukutana uso kwa uso wangefahamiana vipi? Kupitia mitandao na e mails na skype? Au mabango ya Abdulwahid Sykes yalikuwa yamesambazwa nchini kote kama mlivyofanya na Kikwete katika uchaguzi wa 2010?
Nguruvi3 ni boss wa nani? naamini Nguruvi3 ni "independent thinker" na wala hahitaji kuwa boss wa mtu yeyote labda kazini kwake na wala sio hapa JF, hiyo ndio tabia ya "intellectuals". Wewe Boko haram kwa sababu ya uelewa wako mdogo ndie uliyeanza kuumba maboss hapa, na bila aibu wala kutumia akili ukaamua kumfanya mchochezi Mohamed Said kuwa boss wako na wajinga wenzako ambao hamtaki kutumia akili zenu!
Swala la kutoa majengo Morogoro wala Waislam hawaitaji kushukuru hata Wakirsto pia aliwapa majengo kule Mbeya.
Kuhusu Msikiti wa Dodoma unataka Waislam wamshukuru Mkapa badala ya Gaddafi?
Waislam wanaojitambua wataendelea kumuona kam Mkapa ni kiongozi aliofanyia dhulma kubwa Waislam wa Tanzania.
Tunachokikumbuka kutoka kwa Mkapa ni shinikizo la paroko Lwambano na serikali ya Mkapa iliwakamata Masheikh, Wazee wa Kiislam, Maimamu na Wahadhiri na kuwaweka ndani.
Polisi walivamia Msikiti wa Mwembechai wakavurumisha mabomu ya machozi wanawake waliumizwa vibaya kisha kudhalilishwa.
Rais Mkapa chanzo cha mauwaji ya Mwembechai taingia aondoke madarakani hatujashuhudia tena askari akiamriwa "piga yule" " na yule" bado (hajafa) mwongeze na kweli polisi anafyatua risasi kuwalenga shabaha na kuuwa Waislam.
Kwenye Waislam siku zote wanafiki hawakosi.
Shukran Ritz; Katika utawala huu wameuwawa waislamu arusha kwenye maandamo ya Chadema. Morogoro aliuwawa mwislamu pia katika mazingira yanayofanana. Mhesabu pia. Kwa hiyo statement yako ya mwisho siyo kweli na wala haizingatii uadilifu wa kiislamu. Unless kwako waislamu ni wale waliouwawa wakati rais ni mkiristo. Katika utawala huu amri ya piga yule iliondoa maisha ya pia mwandishi wa habari kule iringa. Kuficha na kuukana ukweli pia ni unafiki. Rules za engament za polisi ni sawa popote pale duniani. Kwanza Maspika; wananchi rudini ondekeni. Ikizidi, ni risasi za kuonya (hewani); Maji ya kuwasha/ rubber bullets; mwisho kama askari wanaona wao pia wako hatarini mnaachiwa risasi za moto. Uliza askari yeyote atakwambia. Haijalishi demonstration kaandaa pagani au saint. Ndio yaliyotokea hata ule mgodi wa Afrika Kusini. Ulizia utaambiwa vilevile wakati wakataji miwa wa kilombero waliuwawa na FFU, raisi alikuwa ni nani. Mwisho jeuri yako ya kusema bora umshukuru Gaddafi na sio Mkapa kwa msikiti wakati Gaddafi hakuwa anapajua Dodoma inaonesha dhulma na UDINI uliokujaa. Refer definition ya Mdini ambayo nimeitoa kila mara. Katika hilo la msikiti, nani alimfungia safari mwenzie. Epuka ukweli. Haina maana utageuka kuwa ni urongo. Zanzibar ilishaingia OIC, ni rais yupi aliyeitoa? taja dini yake. Msifiche madhaifu yenu juu ya kuwahofia wengine. Mbona Mkapa hakutaka mjadala juu ya kuitoa TANESCO kuwa university (alithubutu).
Ritz; Elewa siafiki watu kuuliwa. Lakini marais hawafiki kufyatulia waandamanaji marisasi uwanjani. Sasa kama unawawajibisha kwa yale yaliyotokea kwa mfano pemba, sharti pia uweke mizani na umlaumu na rais wa zenj na polisi kamanda wa zenj, haya yanakupa taabu kwa vile ni waislamu. Kama unao ushahidi kote huko kuwa waandamanaji walishatii amri ya polisi wakaondoka, kisha polisi wakawafata na kuwauwa majumbani mwao ulete. Bila hivyo nahisi tutakesha kwa vile naisoma dhamira yako barabara.
Mimi napata tabu kukuelewa wewe. Mohamed ameshatuambia kuwa Nyerere amekutana na Sykes mara ya kwanza mwaka 1953. Lakini Nyerere alikuwa mwanachama wa TAA kabla ya hapo. Sasa kabla ya kukutana uso kwa uso wangefahamiana vipi? Kupitia mitandao na e mails na skype? Au mabango ya Abdulwahid Sykes yalikuwa yamesambazwa nchini kote kama mlivyofanya na Kikwete katika uchaguzi wa 2010?
Kwanza tuwekane sawa.Jasusi,
Mtu umekuwa Katibu wa TAA Tawi Makerere, Katibu wa TAA Tabora.
Halafu hujui jina la Katibu wa TAA Taifa.
Hii kali labda nikuulize wewe ni Katibu wa Chadema tawi la Marekani humjui jina Katibu wa Chadema taifa.
Nimekupa mtengo wa maswali yangu nashukuru umeingia dhumuni langu ilikuwa watu wakusome fikra zako dhidi ya Uislam na Waislam.
Ninakuacha na Suratul Anfal: Aya ya 55-59 ukipa wasaa jaribu kuipitia Inshaa'Allah.
Mimi napata tabu kukuelewa wewe. Mohamed ameshatuambia kuwa Nyerere amekutana na Sykes mara ya kwanza mwaka 1953. Lakini Nyerere alikuwa mwanachama wa TAA kabla ya hapo. Sasa kabla ya kukutana uso kwa uso wangefahamiana vipi? Kupitia mitandao na e mails na skype? Au mabango ya Abdulwahid Sykes yalikuwa yamesambazwa nchini kote kama mlivyofanya na Kikwete katika uchaguzi wa 2010?
Heshima kwako Mzee MS; Mi naona wao ni tuli kwa vile nyie "mbadala" mmeshakuwa wengi kiasi haina tija kwao kwamba wamjibu nani. Pia wana the largest grassroot support ambayo "mbadala" hawana. Kutokana na hili ndio maana ukifuatilia baadhi ya kauli za karibuni za misikiti na vyombo vya habari vya dhehebu moja machachari (at least waliingia wakiwa hivyo), zipo dalili njema kuwa wanaanza kuiona kweli kuwa wanawahitaji Bakwata kama partners. Sasa Masheikh wanaongea japo kwa "measured tones" kuwa "waislamu ni vizuri tukashirikiana tukawa wamoja hata kama ni kufanya kazi kwa karibu na wenzetu wa Bakwata, ni katika sunna alizoacha Mtume (saw) wetu". Kwa hiari sitalitaja. Lakini nyie tena, magwiji wa network na sensors kila mahali lazima mmeshawajua. Haya bwana, better late than never. Wanaanza kuikumbuka shuka karibu na alfajiri. Haijalishi. Time does not stop, LAKINI people age, degrade and step out for others.
Ukisema hamna watu Bakwata you could right or wrong. Inategemea aina ya ANALYSIS. Ni pale utakapo- sherehesha maana yako ya WATU ndipo tutaliweka mezani hilo. Mzee MS; mimi NAKUHISI wewe ni hostile dhidi ya Taasisi ya Bakwata (I will be glad to be wrong). Ila sijui uhasimu wako ni kwa TAASISI kama Taasisi, au ni kwa wale waliyomo ndani yake. On record ulishasema taasisi hii (Bakwata) ina ofisi kama vyoo vya serikali (tusi, au pengine utasema; Wickama, inategemea umekulia wapi) na ni kibaraka (tusi tena). Kwa hiyo mimi nakuhisi wewe na pengine sio peke yako, unaichukia sana taasisi hii. Ila sioni kama hiyo ndiyo TIBA. Wala sioni kama dawa ni kuunda taasisi mbadala kila siku. Kama kuna pa kuanzia ni kwenye attitudes za waislamu towards each other and towards taasisi kama hizi. Bila hilo, daftari la registrar litajaa hizi taasisi ambazo zitabakia dar, Tanga na Morogoro. jioni njema.
Mzee Mohamed,
Mwogope Mungu wetu. Yaani Mufti, Alhad Mussa Salum,..., sio watu? Hili la kutoikubali wewe BAKWATA limekuwa neema na baraka kwa nchi yetu. Hata CCM, CHADEMA, TEC, CCT, sio sote tunazikubali taasisi na asasi hizi.
Ritz; Mbona unachomoa. Issue hapa ilikuwa kwamba baada ya Mkapa (huyu anafanya dhulma, ameuwa waislamu) ameingia rais hayo ya waislamu kufa hayapo tena. The momemnt ushahidi unaanza kuwekwa hadharani wewe unaniambia soma surah fulani ya Quran. Kwa kifup Ritz ni kuwa hizo aya nne ulizokimbilia zinaongelea jambo tofauti ndugu yangu (somo lake kuu ni kuwa: Sanctity of treaties has been enjoined and the Muslims commanded to observe them as long as the other party does not break them. Anfal 55 - 59) isome hii kwenye; Quran - Surah Al-Anfal - Maududi's Translation, Commentary and Summary. Ili tusidanganye watu hapa. Hakuna aliyevunja mkataba hapa. Wala usiseme nimekutega. Hamna samaki JF. Wewe hukujiandaa na ukweli kuwa wamekufa watu tena waislamu ndani ya huu utawala wa JK. Sasa soma hiyo report nyingine uone kama unaweza kuhimili kuilinda ile kau;li yako ya awali. Pia hukujua Kilombero walishauwawa wakata miwa wakati wa Mwinyi. Nakuongezea mwaka jana waliuwawa watu 26 Tarime. http://www.state.gov/documents/organization/186460.pdf
Ama kuhusu masuala ya taasisi tofauti za kidini kuomba na kupewa na mkuu wa nchi ni taratibu za nchi za nchi. Lakini kiongozi hawezi kuwapa au kuwanyima watu kwa sababu wakina fulani hawajaomba au mpaka waombe. Kama unalingine lete. Ukiweza omba msaada.
Nimekupa mtengo wa maswali yangu nashukuru umeingia dhumuni langu ilikuwa watu wakusome fikra zako dhidi ya Uislam na Waislam.
Ninakuacha na Suratul Anfal: Aya ya 55-59 ukipa wasaa jaribu kuipitia Inshaa'Allah.