Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
Duh! ajabu na kweli! mimi nilidhani huwa unaelimika na post za mzee mchochezi Mohamed Said peke yake! nampa hongera sana Wickama naona anaweza kukuongoa kwenye makucha ya muovu!
Tatizo lako wewe mambo unayachukulia kishabiki sio kila analoongea mpinzani wako unalipinga hatakama linaukweli wewe uko huku kwaajili ya kupinga tuu hata kama umeona ukweli wickama sio wa kihivyo kuna mambo mangapi anayaongelea mzee MS na Wickama anayakubali mbona wewe hukumshangaa Wickama wewe kapambane na ZALI LA MENTALI niache nipumue mkubwa