Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee Saidi hoja yangu hapo kama utakumbuka umeshawahi kuambiwa mara nyingi kuhusu ujuzi wa masuala ya hapo kwetu kuwa tunayafahamu zaidi kuliko wageni wa nchi hiyo. Hilo wewe ulikuwa hulikubali sasa naona sasa hivi umekiri mwenyewe!!!!!

Nyambala,

Sidhani kama mimi nimepata kukaidi kuwa kuna wangine
wanaojua nisiyoyajua.

Mie ambalo nina ithbatinalo ni wazee wangu na TANU yao.
 
Kwanza tuwekane sawa.
Chadema tawi la Marekani lina viongozi wake. Na mimi si mmoja wao. Pili, Mohamed ametuarifu kuwa Nyerere alifahamiana na Sykes mwaka 1953. Wewe unambishia?

Usimuwekee maneno mdomoni Mohamed Said hajawahi kusema ivyo nabisha.

Leo unaikana Chadema ha ha haa. Nikuwekee picha yako wewe na wenzako mnafanya uchaguzi Maryland?

Mimi bado nipo kwenye maneno ya Nyerere hapo juu kwe red bold.
 
Reactions: Ami

MS;
Mimi kinachonishangaza mpaka sasa nashindwa kuelewa ni kwanini wenzetu Wakristo wanaipenda na kuitetea Bakwata? hivi kuna siri gani hapa kati yao? mfano; mwaka 1993 aliyekuwa naibu Waziri Mkuu na Waziri wa mambo ya ndani alimtishia aliyekuwa Mufti wa bakwata Sheikh Hemed Bin jumaa bin Hemed kuwa nilazima aitishe mkutano mkuu wa bakwata ili kufanya mabadiliko waliyotaka Serikali na Mufti kujibu hana fedha za gharama za mkutano, ndipo Lyatonga Mrema kumjibu gharama wangelipia Kanisa na mkutano ukafanyika kwa kupitisha katiba mpya yenye baraka za Serikali na Kanisa!
 
Reactions: Ami

Wild Card,
Waislam wanalo BARAZA KUU na ndilo linaloendesha
mambo ya Waislam takriban miaka 20 sasa.

Tatizo ni kuwa linapigwa vita na serikali.
Sasa usije na swali mbona rais Muislam.

Uwanja wa Markaz ni wakfu wa Waislam.
Ponda hakuvamia.

Mtu havamii kilichochake.

Juu ya kubezwa Ponda lakini mbele ya
Waislam ni mfano wa kuigwa.

Sikwambii darja yake kwa Allah.
 

Mohamed Said,

Hivi kwa nini Wakirsto wote wapo Bakwata.
 
Last edited by a moderator:

Mzee MS; Haya bwana ngoja niondoe suspicion yangu kwa vile umenihakikishia kuwa wewe ni authority kwenye masuala haya (hahahahahaha). Bwana, tupo tunaoihitaji Bakwata, kwa hiyo punguza kampeni MS. Mimi, given the opportunity, i will opt to support Bakwata and not you guys (with due respect) kwa sababu, Bakwata is most probably your return point. Time will tell. Usiku mwema.
 

YA VIPI TENA? hazina msaada?. Mimi situnzi kumbukumbu ya makanisa ya makanisa yaliyochomwa moto, kuvamiwa, au kufungwa. Taarifa zitafute Vituo vya haki za kibinadamu au Polisi au CCT. Idadi ya mapadri waliofungwa au kukamatwa na polisi takwimu zake zinakaa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi na Magereza.

Kama mimi ni Mkiristo na wewe ni mwislamu Poa. Ritz; Hujaumba hata paka wewe. Aliyetuumba SISI tusiosafi kama wewe ndiye atajua atatupeleka wapi. Hapa ni hoja na ushahidi na majibu. Hakuna vuvuzela.
 

Vipi tena kuhusu nini? Kama utunzi takwimu za polisi kwa nini sasa unatetea polisi kwenye mauaji ya Mwembechai, nimecheka sana sasa wewe una hoja gani zaidi ya kuwa mateka wa Nyerere.

Hapa kuna makundi mawili nyie na sisi bahati mbaya sisi tunajuana wenye akili za Madrassa wauza kahawa na washinda vijiweni.

Sijui wewe unataka hoja gani tumsifie Nyerere?
 

Kwa muktadha huu NAKUTANGAZA RASMI KUWA UMENISHINDA. HONGERA SANA
 
Jasusi,
Abdu Sykes alikutana na Nyerere 1952.

Mohamed,
Asante. Sasa Ritz alitaka Nyerere amfahamu Sykes kabla ya hapo. Kuna uwezekano hata pale alipojiunga na TAA hakufahamu kwa yakini viongozi wa ngazi za juu wa taasisi hiyo. Kumbuka aliarifiwa juu ya kuwepo kwa TAA pale walipokuwa wanajiandaa kuanzisha chama chao pale Makerere. Sasa sijui Ritz anashangaa kitu gani. Ndiyo maana nikamfahamisha kuwa enzi hizo hakukuwepo mtandao wa internet ambapo unaweza kupata instant information. Halafu ananitega mimi na Chadema. Hata ukiniuliza waanzilishi wake nje ya Mzee Mtei wengine siwakumbuki.
 
Jasusi, yaani mimi nacheka tu...wakati mwingine natamani hata kukaa kimya. Nimeuliza Abdulwahid Sykes alikuwa nani ndani ya TAA ilipoanzishwa mwaka 1948 baada ya Zanzibar kujitoa AA? Abdulwahid Sykes alikuwa nani ndani ya AA/TAA wakati Mwalimu tayari ni kiongozi wa AA Tabora mwaka 1945? Nimeuliza Abdulwahid Sykes alikuwa nani ndani ya TAA mwaka 1953 alipogombea uongozi wa juu wa TAA kwa kupambana na Mwalimu Nyerere?

Kwa hili swali la mwisho, waongo watadai Abdulwahid ndiye alikuwa Raisi! Hapana, Abdulwahid Sykes hakuwahi kuchaguliwa kuwa Raisi wa TAA toka iundwe mwaka 1948 hadi TANU inaasisiwa mwaka 1954...yeye alikuwa ni katibu tu, period. Ndiyo maana mimi nasema TAA ilizorota sana kwa kukosa uongozi baada ya uhamisho wa Raisi wake Dr. Vedasto Kyaruzi hadi inampata kiongozi mpya, Mwalimu Nyerere mwaka 1953.
 
Kama ulivyo wewe mdini wa kudumu na jina lako la kikaragosi. Toa hoja achana na personal attack :focus:
Lane (1999: 16) writing in The New Republic stated that the "former
Tanzanian dictator, Julius Nyerere, was single-handedly responsible for the
economic destruction of his potentially wealthy nation"
 
This was because the nationalized sisal
industry did not have the capacity to dispose effectively and efficiently of
"the means of production and its social product". Structural changes like
over-bureaucratization and centralization effected by nationalization created
opportunities for increased corruption, inefficiency and resource dissipation
(Bolton, 1985: 156). Indeed by 1975, it was already clear to policy
makers that a development policy that was primarily centered on nationalization
could neither solve the problems of underdevelopment nor offer
expedient paths to economic self-reliance. In fact, as some scholars have
postulated, what the policy of nationalization so effectively achieved was to
give rise to "state bureaucratic capitalism" - the use of state capital by a
managerial elite in a manner which entirely conforms to the ethos, values
and dynamics of private capital (Shivji, 1974: 85-90).
 
Mohamed Said,

Hivi kwa nini Wakirsto wote wapo Bakwata.

Kadogoo,
BAKWATA imeundwa na Nyerere na Kanisa Katoliki kwa
nia ya kuvunja nguvu za Waislam.

Katika kitabu changu sehemu ya tatu inaitwa "Njama Dhidi
ya Uislam."

Hapo nimeeleza mkasa mzima wa ugomvi baina ya Nyerere,
Sheikh Hassan bin Amir, EAMWS nk. nk.

Hofu kuu ilikuwa Waislam wanataka kujenga Chuo Kikuu hapo
Markaz na Kanisa likapata uoga kuwa Waislam wakielimika Ukristo
utakuwa matatani.

Kanisa liliona nguvu na umoja wa Waislam katika kupigania uhuru na
historia hii iliwatisha.

Ndiyo hivi tuko hapa JF huu mwezi wa nne historia ya TANU ya akina
Abdu Sykes na Sheikh Hassan bin Amir inakataliwa wanadai ati haina
uhusiano na TANU ya Nyerere.
 

Wickama,
Ikiwa umeridhia na BAKWATA hilo hakuna wa kukuzuia.

Binadamu lazima tughitilafiane hatuwezi kukubaliana kwa
kila jambo.

Ila ngoja nikupe kitu huenda hukijui.

Wale wote walioleta fitna ya kuvunja umoja wa Waislam
wote wamekufa dhalili chini ya unyayo.

Kuna waliotubia hadharani.

Kuna waliosafiri hadi Zanzibar kumshika miguu Sheikh
Hassan bin Amir na kutaka radhi.

Wapo wengine miili yao ilitahayar muda tu baada ya
kukata roho.

Wapo waliosalitiwa na hao waliowasaidia kuivunja EAMWS.

Lakini kubwa kuna aliyeomba dua Allah amuweke hai ashuhudie
wote waliotia fitna wakidhalilika na Allah alimkubalia dua yake.

Katika kundi lile la fitna alipokufa wa mwisho haukupita muda na
yeye akafa.

Huyu ni Shariff Adnan mmoja wa wanafunzi wa Sheikh Hassan bin
Amir.
 
Mohamed jibu hoja hii
 
Mohamed, kifo ni ahadi ya mwanadamu na Mola wake.
Hakuna anayejua kifo kitamkuta wapi na mazingira gani.
Mwenye uwezo wa kupanga hatima ya mwanadamu duniani na akhera ni mwenyezi mungu peke yake.
Mola ndiye anayejua atamchukua mja wake kwa namna ipi, lini na wakati gani.

Mohamed, acha kufur! wewe ni mwanadamu. Hao waliotangulia mbele ya haki wamekwenda kwa mola wao.
Hukumu ya mema na mabay yao yapo kwa mwenyezi mungu. Wewe hupaswi kusema hayo usemayo.

Mohamed, wewe ni mwanadam narudia! siku mola akipenda hujui utakuwa katika hali gani ya kicheko au kutahayari.

Hii ndio saikoloji unayotumia kuwatisha watu huko mitaani na vijijini. Kwamba atakayekataa maandiko yako ambayo umefikia mahali pa kuyapa hadhi ya dini, huyo atakufa katika dhalili au akitahayari.
Mohamed, Uislam ni dini wala si siasa au liwalo.

Dini inasimama yenyewe kwa miongozo yake, haihitaji uongo au uzushi na wala afanyaye hayo hana thawabu.

Ndio maana nasema matisho kama haya yanawatisha waislam wenye weledi na elimu kusimama na kuongoza matokeo yake ndio kama hivi.


Inasikitisha sana.
 

hawezi kukuelewa ukizingatia mashehe anti bakwata wote anawasapoti mf ponda, ilunga n:k walishiriki ktk duwaa ya ITKAFU ili waislamu wenzao jk, mufti, kova na mwema wazurike au wafe kama kikwete alivyopatwa kunena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…