Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Gombesugu taratibu utaanza kuvaa viatu vya mzee Saidi, huyu Apson Mwalongo ndiye yupi tena?
 

Muheshimiwa Nguruvi3,

Kama siku zote anavyokuambieni Sheikh Mohammed yakuwa mambo mengi mno yatakupeni tabu maana nyinyi ni wageni na Wazazi wenu pia ni wageni. Hapa hakuna chaos asilan,ni akili zako tu chechefu zinashindwa ku-comprehend.

Wallahi inastaajabisha,,nyinyi hapa jamvini hamna chochote wala lolote mfanyalo zaidi ya kuwa ma-armchair/keyboard critics. Kitabu chenu hamtaki kuandika au kutunga,harakati za Wazee wenu walivyopigania uhuru wa nchi hii hamtaki kutuletea au kutuonyesha,hadithi za vinyozi wenu pia hamna. Mbona mnatia simanzi nyie wana wa Nyerere!?

Mimi nimekupeni kiduchu tu na kwa mukhtasari "habari fulani",naona mmebaki midomo wazi kama vile mnaangalia movies za James Bond.

Nguruvi3
,kwa kifupi inakulazim umkubalie Sheikh Mohammed,yakuwa wakati hivi vitu vinafanyika wewe ulikuwa bado uko kwenu Magila na Kicheba unacheza Mdumange.

Kuhusu hayo matusi na kashfa ulonena dhidi yetu/Waislam,hiyo wala si siri tena hapa jamvini. Awali nilipojiunga nilistaajabu mno. Ilinilazim kumuuliza Mwanakijiji(maana yeye ndo kati ya wale Vinara wajifanyao ati wanaheshimu na kuwapenda mno Waislam),hivi mbona mnashindwa japo hata kukemea kiduchu hii hali hapa jamvini!? Mwanakijiji akajibu ati hilo tatizo kweli lipo,lakini yeye hana nguvu ya kuzuia au kukemea,maana hata yeye pia hutukanwa. Kwa kifupi nilishindwa kufahamu mantiki alotumia;kufananisha kutukanwa yeye binafsi na kutukanwa Allah,Mtume Wetu na Dini isiyopungua watu takriban 1.5bilion worldwide!?
Nyinyi watu mnachekesha,halafu mnadai ati mpo hapa kuondoa "uchochezi na uhaini" wa Sheikh Mohammed ili kuepusha janga kwa Taifa,na ati nyinyi ndo wapenda amani!? Hapa mnashangilia na kuweka "LIKE" kila kukicha hao viroboto wenu a.k.a Abu jahal wanapomtukana Al Marhum Mufti Sheikh Hassan Bin Ameir kwa kumwita "ndumila kuwili".
Halafu nyinyi ndo mnadai ati mnatafuta amani ya nchi na Sheikh Mohammed hana uadilifu na ni muhaini!?

Naona wenzio wanahangaika mno wanauliza, ati wapi watapata reference ili "wakachunguze" hiyo "movie" niliyowapa. Kwa kukusaidieni,maelekezo yenu tayari nilishamtumia Wildcard jana.

Mmeletewa hoja kadhaa hapa na Zali la Mentali,naona nyoote mmetokomea. Badala yake mmekaa w'end yoote ati kumzungumzia Gombesugu...acheni utoto nyinyi watu wazima hasidi.

Ukipata fursa, mwambie Jasusi akufahamishe kwa kina unyama na ubadhilifu uso mipaka ulofanywa pale Wizara ya Mawasilianao na Uchukuzi na yule Augustine Mwingira "enzi ya Mwalimu". Halafu muulize Nyerere alifanza nini kwa huyo Mwingira na baada ya hapo alimpeleka wapi ili kumstiri!? Na hukohuko alikopelekwa na Nyerere alifanya nini tena kwa kumtumia muhindi yule yule "Lord" Rajpar!?

Najua hivi vitu kwenu ni miujiza iso kiasi. Lakini kwa kuwa baadhi yenu mnaamini yakuwa Nyerere ni Nabii,sasa kwanini msikubali yakuwa hii miujiza aliifanya kwa huo unabii mlompa!?

Poleni saana kwa maradhi mlonayo na udhaifu wa nyoyo.

Kuhusu habari za Mzee KK,inalazim mkamuulize Malecela pale Seaview. Maana Mzee KK ndo alokua Godfather wa mmoja kati ya wanae wa kiume(amefariki). Na huyo huyo Mzee KK,ndo alompa huyo Malecela u-Prime Minister baada ya kumwondoa Sinde Warioba.

Kwa kifupi hiyo hoja mnayojaribu kuidadavua wala si kweli. Kama alivyokufahamisheni Zali la Mentali kwa kina;Nyerere alitawala kwa mabavu na kibri kingi wakati wake. Na muda wake "ulipokwisha",aliingilia na kuvuruga mno tawala za waliomfuatia.
Mzee KK,ilimlazim ainigilie kati ili tu kumnusuru nduguye Rais Ali Mwinyi,dhidi ya kundi la manyagumi waliobobea kwa fikra za udini na unabii wa Nyerere wakiongozwa na Sinde Warioba ,Daud Ngelatuwa Mwakawago na Getrude Mongela.

Kwa kifupi Mwinyi alipata msaada wa dharura toka kwa nduguye...mutoto ya mujini,kitu ya fitna mingi,kitu ya Madrassa,mutu ya Kariakoo.

Mzee KK,ana sifa nyingi saana na ni mtoto wa mjini anaejua fitna na system yoote kwa mapana. Nafikiri mliona ghafla kilichowakumba wakereketwa wenzenu wa Nyerere na jinsi gani Mzee KK alivyowasambaratisha na wako taabani mpaka kesho.

Wakati Nyerere anakuja mjini,Mzee KK alikua tayari ni askari mwenye cheo kizuri kwenye serikali ya wakoloni. Wazee woote wa mjini yeye pia ni Wazee wake,informations zoote za ile suirvellance ya wakoloni dhidi ya Tanu, Julius Nyerere na Abdilwahid Sykes,ilikua ni Mzee KK ambae anazileta kwa Wazee wake na hasa Mzee Mangara Tabu na Shariff Abdallah Al Attas.

Nyerere analilijua hilo fika. Lakini Nyerere hakumsaidia asilan Mzee KK alipopatwa na kesi ya kuchomekewa ya "corruption", kama alivyowasaidia kwa udi na uvumba nduguze kina Nyakyoma na Mwingira. Katika "kesi/shutuma" hizo Mzee KK,alishinda kwa kishindo kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania.

Kwa kifupi Nyerere baada ya muda fulani alihisi/alijua kuwa Mwinyi hampatilizi tena kwa kila alokua analazimisha.
Ndipo pale Nyerere,akaanza kucharukwa na kupanda majukwaani huku akizidi kujivunjia heshima. Huku mara kadhaa akitoa shutuma na matamshi machafu kwa Serikali kwenye vyombo vya habari na ati kuuliza huko Ikulu kuna biashara gani!?
Nyerere vipi yakhe mbona huwachi kujisahau!? Umeacha nchi imeoza baada ya miaka takriban 30 ya madaraka yako dhaifu,halafu unaanza kutaka kumlaumu Mwinyi alokuja juzi tu;na kuwapa watu neema,fadhila na kuwatoa tongotongo za macho na ukakasi wa vinywa!?

Kwa hiyo wafahamishe jamaa zako,wasipoteze w'end yoote badala ya kujibu hoja za maana wanaleta mambo ya kitoto. Ati ooh! tushapata point ya kuwabana inabidi tuwaulize,je Mzee KK nae ni mkatoliki? Hivi hamuoni aibu kwa hao wenzenu mnaojihisi ati ndo mpo hapa kwa maslahi yao?

Mfumo aliouasisi na kuucha Nyerere bado upo mpaka kesho na tulishuhudia kwa mengi jinsi gani alivyoulinda kwa mabavu yoote mpaka mwisho...

Siku nyingine nitakuwekea,kwa kina jinsi gani Nyerere alivyowatumia watoto wa Madrassa na wanywa kahwa vibarazani Alhaj Issa Mtambo Gonera na Alhaj Kitwana Suleiman Kondo ili kumsambaratisha mpinzani wake Oscar Kambona.

Shukran.

Cc; Ami
Hii ni bashraf tu,maana kuna vitu vingine deep zaidi siwezi kuweka hapa jamvini alivyosababisha Nyerere baina ya Waislamu tangia enzi hiyo na mpaka leo vinaleta farka baina yetu Waislamu. Na utaona jinsi gani haohao "Waislamu wa Mwalimu", Nyerere alivyowatupa baada ya shida/dhiki zake kwisha. Lakini nawastiri majina maana kama Sheikh Mohammed Said asemavyo yakuwa;hao woote ni ndugu zetu na ni Wazee wetu wa karibu mno.
 
Gombesugu taratibu utaanza kuvaa viatu vya mzee Saidi, huyu Apson Mwalongo ndiye yupi tena?

Nyambala,

Kwakuwa humjui haina maana kuwa ha-exist...basi kwa kukusaidia ndugu yangu nakupa Augustine Mahiga shaidi X kwenye kesi ya watuhumiwa wa uhaini(nafikiri unajua alikua wapi na cheo gani pale Usalama!?)

Kuvaa viatu vya Al Akhiy Al Maaaruf Sheikh Mohammed Bin Said,kwangu mimi ni fahari na fani kubwa iso mipaka. Natamani kila kukicha niifikie hadhi hiyo.

Haina neno tuendelee na mnakasha.
 

Sasa mbona sasa hivi unajibizana na mimi mambo yaleyale uliyodai uelewaji wangu ni wa ajabu sana? Au sasa hivi nati zimekufyatuka?
Sasa nikujibu. Wazalendo walikuwa Watanganyika kwa ujumla wao ambao walitegemea uongozi wa TANU uharakishe wao kupata matunda yao ya uhuru lakini wakaona Nyerere hana priority kwenye eneo hilo. Yeye Nyerere alikuwa anatumia rasilimali nyingi za nchi pamoja na mda wake kama Rais kuweka mikakati ya kuwapendelea Wakatoliki dhidi ya Watanganyika wengine, kuweka mikakati ya kueneza Ukatoliki Africa nzima kama vile alivyotarajiwa kufanya na mabwana zake waliotumia rasilimali zao kumchongea mchoro wa kumuweka madarakani. Ndio maana Pope alimtumia barua ya pongezi kwa kueneza Ukatoliki. Nyerere hakuwa anahubiri neno hivyo uenezaji wake wa ukatoliki ni kwa kutumia rasilimali za Tanganyika na baadaye Zanzibar kueneza huo ukatoliki kwa nguvu na kusababisha umwajikaji wa damu usio na kifano barani Africa.
Muingereza hawezi kuingiza jeshi lake mahala pasipo na maslahi kwa taifa lake. Hivyo Kenya vilevile kulikuwa na maslahi yake kama Tanganyika. Mbona hawakuzuia mapinduzi ya Zanzibar yasifanyike?
 
Reactions: Ami

Hivi wewe mbulula nawe unajiweka kwenye kundi la wasomi? Kama ni upumbavu basi wewe upumbavu wako utakuwa wa ziada na hivyo utakuwa umeurithi kwenye mnyororo mrefu wa kurithi damu ya wapumbavu kuanzia mababu na mababu zako.
Kama kweli wewe ndio msomi na sisi wapumbavu, jibu swali hili hapa. Aliporudi kutoka Uingereza kusoma, alienda Pugu kufundisha kwanza ndio akaja Dar es Salaam na kuanza kuuliza Kiongozi wa TAA ni nani? Kama alikuwa anafahamu kiongozi ni Dosa kama unavyodai, kwa nini aliuliza kiongozi wa TAA ni nani? Iweje kipindi chote hicho tangu kuwa kiongozi wa TAA Makerere, kuja kuwa kiongozi wa TAA Tabora na kuingia Pugu kufundisha wakati wote hou hamfahamu Abulwahid Sykes?
Usomi wako au upumbavu wako utategemea na jinsi unavyoweza kuelewa na kujibu hoja nyepesi nyepesi kama hizi kwa ufasaha.
 

Wickama,

Ilikua nikutumie bayana yako makhsus siku chache zijazo,maana nami pia nimeshikwa na vijishughuli hapa. Lakini bahati mbaya ndo unatuaga. Kujua kwako Khadith naQur'aan(ili kumtetea Nyerere) haimaanishi ati yakuwa wewe ni Muislamu asilan,hasha!

Takupa mfano, pia hapa jamvini yupo Mwanakijiji,anajua mambo yoote hayo na labda kukushinda au hata kuwashinda Waislam wengi tu. Lakini yeye kama wewe pia ,si Muislam ila hizo zilikua ni silaha zake kwenye ile "hobby" yake dhidi ya Waislamu kwenye kilinge cha malumbano ya kidini.

Ahsanta.
 
Gombesugu taratibu utaanza kuvaa viatu vya mzee Saidi, huyu Apson Mwalongo ndiye yupi tena?

Nyambala,

Ukishamaliza huo "uchunguzi" wako kwa hizo sources zako,tafadhali urejee tena hapa jamvini halafu twende kwa kina na kuchambua kwa undani zaidi ndugu yangu.

Shukran.
 
Platozoom,
Laiti ungekuwa Muislam usingepata shida kutambua nini kinawafika
wanafiki.

Sasa hapa ndugu unaongopa kweupe, Unatulazimisha tukuulize mambo ya kidini mwisho unapiga chenga kwakusema hayo tuwaulize waamini wayo?!
 

Ndio maana nasema nyinyi vichwa vyenu vizito mno kuelewa. Kila kitu nimekianika wazi lakini bado hunielewi!!! Sasa nakupa majibu ya masuali yako moja baada ya jingine.

Kuhusu udini wa Nyerere, nimeweka ushahidi huu hapa kwenye post yangu uliyo i quote:

Mwaka 1970 Nyerere aliwaalika Ikulu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Tanzania Episcopal Conference Fr. Robert Rweyemamu na muwakilishi wa Papa Tanzania Mgr. Giovano Cerrano na Nyerere aliwaambia wageni wake alikuwa anafanya kila liwezekanalo katika mamlaka yake kuuimarisha Ukatoliki Tanzania. Aliwaomba pia waende kuwafahamisha ma bishops kwamba ameanzisha idara ya elimu ya siasa kwenye TANU na kwamba amemteua Mkristo Reverend kuwa mkuu wa idara hiyo sio kwa sababu ya uwezo wake katika siasa bali kwa sababu ya imani yake thabiti kwenye Ukristo. Jukumu lake ni kuongoza na kudhibiti muelekeo wa kisiasa wa chama. Aliwafahamisha vilevile kwamba katika Kamati Kuu ya Chama (NEC) wajumbe wawili ni Reverends. Alisema anaamini hiyo ndio njia nzuri ya kuhakikisha kwamba chama kinapata “watu” wazuri!!!!!! (van Bergen, 1981:333-336).

Si ajabu kutokana na agano lake hilo hapo juu kwamba Sivalon (1992:49) anaripoti kwamba katika mwaka huo huo aliotoa ahadi Wakatoliki walikuwa asilimia 70 ya asilimia 75 ya Wakristo wote waliochaguliwa kuwa wabunge. Kati ya wabunge 108 waliochaguliwa 5 walikuwa wanaamini kwenye dini zetu za asili, 23 walikuwa wanaamini kwenye Uislam, 24 walikuwa wanaamini katika madhehebu mengine ya Kikristo yasiyokuwa Katoliki na 56 walikuwa wanaamini katika Ukatoliki. Hivyo utaona Wakatoliki walikuwa zaidi ya nusu ya wabunge wote!!!!!!!!

Sasa wewe huelewi nini hapa kwamba Nyerere alikuwa mdini wa hatari sana hapa Tanzania kwa ushahidi huo niliouweka hapo juu? Watu maninja huwa hawaingii mkataba wa wazi. Wanafanya mambo yao kwa siri. Niliweka ushahidi hapa wa wikileaks wa jinsi Vatican inavyoshirikiana na Madicteta kama kina Nyerere kwa makubaliono ya siri ili kueneza Ukatoliki kwa kutumia mabavu na kuua watu wasio na hatia ili kulazimisha Ukatoliki kwa nguvu.

Kuhusu Okello kaua watu wangapi, idadi niliyotoa ni makisio baada ya kuangalia namba zililzowekwa na watu mbalimbali. Okello alikuwa anatumiwa tu na Nyerere hivyo hawezi kujua kila kitu. Kuhusu Okello kulenga kuua kina nani ni kwamba mapinduzi ya Zanzibar yalipangwa mahsusi kwa ajili ya kuua Uislam. Ushahidi huu ni mmojawapo wa jukumu alilopewa na Nyerere na Kanisa kuua Uislamu:

Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele:
"KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC".
Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.

Kutokana na ushahidi huo, tueleze Nyerere angewezaje kubadili Tanzania kuwa katika dini ya Katoliki?
Yeye hakuwa mhubiri wa dini. Alitumia mabavu kueneza huo Ukatoliki na kati ya mabavu hayo ni mipango yake ya kuivamia Zanzibar. Sasa unapovamia Zanzibar na kuuwa watu kwa ajili ya kuendeleza Ukatoliki, ni dhahiri umelenga kuwaua Waislamu na sio Waarabu. Waliokufa kwenye mapinduzi yale sio Waarabu peke yao. Ni Wazanzibari wote. Isitoshe Waarabu ni Waislamu hivyo wameuliwa si kwa sababu ya Uarabu wao bali kwa sababu ya Uislamu wao kutokana na mkakati huu wa Katoliki wa kueneza dini yao iliyofilisika kihoja kwa kutumia mabavu.
Isitoshe, mipango hii ya kuvamia Zanzibar ilipangwa na Waingereza na Wamarekani wakati huo George Bush akiwa mkuu wa kitengo cha mashushu cha Marekani na Wamarekani walieleza wazi jinsi wanavyomtegemea Nyerere kwa kazi hiyo chafu kwani walimuona kutokana na kichwa yake kuwa mbaya basi ananafasi nzuri ya kufanya kazi hiyo kwa ufanisi uliotarajiwa. Na haya mataifa ya Magharibi hayakuishia hapo. Yaliweka mpaka Plan B ili kama Wazanzibar watataka kurudisha nchi yao mikononi mwo baada ya mapinduzi basi wabanwe na Nyerere ili wasiweze kufanya hivyo. Nyerere alitumia rungu hilo alilokabidhiwa na mataifa ya Magharibi kuwaua, kuwakimbiza nje ya nchi, kuwatia kizuizini, n.k

Wazanzibari ambao walijitokeza kutaka kudai haki yao ya kuwa taifa huru nje ya Mfumo Katoliki. Mpaka leo hii mambo yaliyo kinyume na haki za binadamu yanaruhusiwa Zanzibar tu katika Africa na yanabaraka za Mataifa ya Kimagharibi ili kuhakikisha Plan B inafanya kazi ya kutosha kuendelea kuwakandamiza Wazanzibar ili wasipate nafasi ya kuwa huru na hivyo kupata muda wa wao kuanza kuujenga Uislamu wao upya. Mauaji, ukandamizwaji na wizi wa kura wa kutumia polisi kuua watu na kuny’ang’anya masanduku ya kura kwa nguvu ili kupoteza ushahidi wa mshindi halali wa Urais Zanzibar ni baadhi ya mambo ambayo huwezi kukuta sehemu nyingine yoyote Africa yanafanyika na viongozi wa Africa na kuungwa mkono na mataifa ya Magharibi.

Kuhusu mauti yake ya kufa polepole kwa ajili ya Ukosefu wa Kinga Mwilini na kupumulia kwenye mashine kama laana kwake nimesema hayo ni maoni yangu binafsi ambayo nimeyafikia baada ya kutafakari unyama uliokithiri alioufanya Nyerere kwa Watanzania kwa ujumla si tu Waislamu. Mauaji ya watu wengi tu mashuhuri yaliyotokea hapa Tanzania pamoja na kuwatimua watu nje ya Tanzania lazima yatakuwa na mkono wake (list ya watu waliouwawa na wengine kuamua kutimkia nje ya nchi kwa kuogopa kuuawa ni ndefu mno).

Sasa kama kuna neno linaitwa laana, basi Nyerere hawezi kuepuka kuwa mmoja wa watu waliolaaniwa kwa vitendo vyake vya kuuwa na kuwatesa binadamu wenzake kwa kutumuia mamlaka aliyopewa na Kanisa Katoliki na mataifa ya nchi za Magharibi.

Kuhusu Okello kudai kwamba kama angeweza angeunganisha Zanzibar na Kenya badala ya Tanganyika ni ushahidi wa wazi kwamba Okello alikuwa anatumiwa kama Condom na hakuwa mtu mweye akili timamu. Hakuwa na mamlaka yeyote kwenye lile suala la Mapinduzi, angewezaje kufanya maamuzi ya kuchagua nchi anayotaka kuungana nayo? Isitoshe, anatoa ushahidi mwingine hapa kwamba mpango huu wa kuivamia Zanzibar ulikuwa umeshaunganishwa na mpango mwingine wa kuimeza Zanzibar kwa kuinyan’ganya utaifa wao kwa kuiunganisha na nchi nyingine. Nyerere ndie aliyekuwa bosi wake kwa kushirikiana na Kanisa Katoliki pamoja na mabwana zake wa mataifa ya Magharibi ndio maana alikuwa anatamani bosi wake angekuwa Kenyatta baada ya Nyerere kumtosa mara baada ya mapinduzi yale. Isitoshe, huyu Okello hakuwahi kuwa na sifa yoyote ya kuwa mtu mwenye hadhi kwenye jamii kabla ya mapinduzi yale. Alikuwa na historia ya matatizo ya kuwa mtoto yatima anayehaha huku na huku kutafuta maisha wakati hana elimu yoyote ile ya maana. Hata ukienda kwenye Youtube na kutafuta habari zake, utamuona usoni tu kwamba alikuwa mtu aliyechanganyikiwa wakati ule wa mapinduzi ya Zanzibar. Ndio maana wakamtumia kwa sababu walijua kwamba CHIZI kama yeye ataweza kufanya kazi ile inayohitaji ukatili vyema kama ilivyo desturi ya Kanisa Katoliki kutumia watu waliochanganyikiwa ili waweze kufanya ukatili utakaowawezesha wao kupanua dini yao kwa kutumia mabavu kwani ni dini iliyofilisika kihoja.

Kuhusu Kamanda mkuu Zenj kuwasiliana na Kenya kutoa taarifa ya maendeleo ya mapinduzi yale ya haramu ni ushahidi mwingine kwamba mkakati huu ulikuwa na mkono wa Kanisa Katoliki na mataifa ya Magharibi kwani yalipangwa katika ngazi ya Africa Mashariki na sio Tanganyika peke yake. Hivyo ilibidi ripoti ziende hata nje ya Tanganyika (Kenya) katika uratibu wa zoezi lile. Ndio maana Okello anaanika wazi kwamba majeshi yaliyotumika katika mapinduzi yale yalitoka vilevile Kenya, Uganda, Mozambique na kwingineko barani Africa. Huu ni uthibitisho kwamba Mapinduzi yale yalipangwa na Kanisa Katoliki kutumia viongozi wa Kikatoliki ndani ya Africa kuufadhili na kuutekeleza mpango ule haramu. Nyerere yeye alikuwa na jukumu la moja kwa moja la kusimamia na kutekeleza uvamizi wenyewe. Waingereza kushindwa kutoa msaada wowote kwa nchi ambayo wao walikuwa ndio protector ni ushahidi mwingine kwamba Waingereza walihusika vyema kwenye kusaidia mapinduzi yale kwa hali na mali hivyo ikawa rahisi kwa Nyerere kuweza kufanya jukumu lake bila matatizo.

Hata kama vichwa vyenu ni vigumu kuelewa, nitaendelea kuwasugua mpaka vichwa vyenu vikae sawa.
 
Wewe unayetumia akili alikupa muumba tufahamishe Makelele ndiyo chuo gani?

Hujui hata Nyerere alisoma chuo gani.
Nasikitika sana kwa upembuko niliokuangaza, naaam si saizi yako! Aghalabu ungalijongea kwa taswira tunu!
 

Wewe nimeshakueleza kwenye post yangu hapo juu kwamba una kila dalili ya kurithi upumbavu sio tu wazazi wako waliokuzaa bali tangu enzi na enzi kwenye mfumo wa damu za mababu zako. Hivyo sishangai wewe kushindwa kuona hoja zangu kwa sababu upumbavu wako ni wa asili hata uende shule namna gani bado utabakia kuwa mpumbavu tu. Bora mimi ninayechimba chumvi nina uwezo wa kujenga hoja na kuzisimamia kuliko wewe unayefanya kazi ofisini wakati kichwani ZERO. Ndio maana taifa hili haliendelei kwa sababu watu mambulula kama nyie ndio mnaokabidhiwa maofisi yenye kuhitaji maamuzi makini ya watu wenye uelewa wa mambo. Nyie ndio mliopitia shule na kubebwa kwa mgongo wa majina yenu badala ya akili zenu.
 
Nasikitika sana kwa upembuko niliokuangaza, naaam si saizi yako! Aghalabu ungalijongea kwa taswira tunu!

Kweli mie siyo saizi yako huwezi kuniambia Nyerere kasoma chuo kinaitwa Makelele nikakukubalia, Nyerere kasoma Makerere.
 

Masimulizi ya hisia za mwandishi yanayohalalishwa kuwa ndio ukweli mkuu!

Ukiambiwa ulete ushahidi wa kipengele hadi kipengele utaanza kuweweseka!

Ngano juu ya ngano!
 
Kweli mie siyo saizi yako huwezi kuniambia Nyerere kasoma chuo kinaitwa Makelele nikakukubalia, Nyerere kasoma Makerere.

Kumbe unaelewa lakini unaujeuri wa asili tu shekhee?

Haya jibu maswali yangu twende kwenye hoja kuu!
 
Nduka,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Nafurahi kukusikia na kutambuana hapa jamvini.

Wallahi kama upo hapo D'salaam,nipa salaam sana pia kwa Eddy Islam mwambie nduguyo "Shariff Nganganga" wa Vienna anakusalim atacheka saana!ahaha!!

Ma'salaam.
Gombesugu,
Dk. Amour Abdallah Amour amefariki jana usiku Dar na kesho
Maziko Unguja.

Inalilah wainailaihy rajiun.
 

Na huu ndo upuuzi mwingine unaweka hapa. Unafananisha shule za Waislam za Uganda na Tanzania? Hujui kwamba Uganda wao hawajawabana Waislamu kujiletea maendeleo yao ukilinganisha na Tanzania. Juhudi za Waislamu kujenga chuo chao tumeona jinsi Nyerere alivyoziuwa. Uganda wao wapo ndani ya OIC hivyo ni rahisi kwa Waislamu wa Uganda kuweza kusaidiwa kimaendeleo na hivyo kuipunguzia mzigo Serikali ya Uganda ya kuwaendeleza watu wake. Hapa Tanzania Nyerere hakutaka Waislamu waendelee na Kanisa Katoliki linaendelea kushikilia uzi ule ule aliouacha Nyerere wa kuhakikisha Waislamu hawapati support kutoka kwa Waislamu wenzao nje ya nchi. Ndio maana Kanisa liko tayari kuingia ulingo wa siasa na kuweka vitisho vya nchi kutotawalika kama itajiunga na OIC!!!!!!!!!!!!! Kama kuna Rais aliyewahi kuwa MJINGA hapa Tanzania basi si mwingine bali ni Nyerere. Huwezi kuwa Rais mwenye akili timamu kama unawabagua watu wako katika makundi ya wanaostahili kuendelezwa na wasiostahili kuendelezwa. Huu ni UJINGA. NUKTA.
 
Unatisha watu! period.
Kwamba mtu asipokubali uongo,fitna na uzushi atakuwa amekufur! Mzee Said sijui unasimamia Uislam kwa kuzua uongo ili iweje.

Narudia tena kukwambia nawe uwe msikivu!
Kifo ni ahadi ya mja na mola wake.
Si wewe unayeamua nani afe kwa njia gani. Kifo kinakuja kadri mtu alivyopangiwa.

Unawatisha akina Gombesugu hata kufikia mahali pa kusema ''ni makosa madogo''
Wasomi wanaogopa kuongoza taasisi za waislam kwasababu ya vitisho vyenu. Na wewe na akina Ilunga na Ponda ni tatizo kabla ya kuongelea tatizo.Sasa hivi mupo bize mkiongoza itikafu ili kudhuru wanadamu wenzenu.

Kifo hapangi Mohamed Said, msitishwe! huyu anawatisha kwa mbinu za zamani.
Huyu ni mwanadamu tu asiwatishe jamani. Angekuwa mwadilifu kiasi hicho asingepokea tiketi ya ndege akabeba mfuko wenye nyaraka za uongo na kulala nao five star Ibadan! Tumeonyesha mara ngapi fitna ya mzee Said!

Siwezi kufanya utafiti wenye majibu kuwa kifo ni kazi ya mwenyezi mungu.
Siwezi kumhukumu mwanadamu mwenzangu kama ufanyavyo wewe! hili la wewe kujifanya nabii unalitoa wapi Mohamed!

Kila mtu atakwenda mbele ya haki na kuhesabiwa amali zake yeye na si kutokana na Mohamed Said asemavyo.

Usirudie tena kutisha watu!
 

Acha kuuliza masuali ya kijinga. Hoja hiyo iko wazi. Haihitaji mlolongo wa masuali ya kitoto ya kihistoria kujibiwa. Ni simple logic kwamba if A=B, B=C, then A=C. Nukta. Huitaji longolongo nyiiiiiiiiingi ku detach illogical pattern katika ubongo wake uliofilisika kwenye logical reasoning.
 
Wanajamvi, hapo chini kuna hoja zilizofuatiwa na ''majibu'' ya hoja hizo!

 
Zali la Mentali, umekuwa unatumia nguvu kubwa sana kutangaza kuwa unatoa hoja, ajabu hoja zenyewe hazionekani zaidi ya makelele na majisifu ya sio na maana yoyote. Unaposema bora wewe unauwezo wa kujenga hoja na kuzisimamia, mbona ni tofauti na hilo! kwanini usiseme tu kuwa bora wewe unaetembea uchi wa mnyama kama nguruwe kwenye shamba la mama yako huku ukitukana kama mgonjwa wa akili huku ukijinasibu kuwa mitusi hiyo ulijifunza madrasa na mwalimu wako alikuwa Mohamed Saidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…