Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee Mohamed,
Hizi "Awards" nchi hii ziko nyingi siku hizi. Ambacho kiko wazi juu ya kitabu chako hiki kimeanza kutugawa KIDINI Watanzania. Wapo Watanzania umewasafisha kweli ubongo kiasi kwamba kuna mabomu yanatupwa makanisani sasa.
 
Kitabu chako kimesahihisha jambo lipi kwenye kitabu cha Kivukoni? Tarehe iliyozaliwa TANU imebadilika ikawa ile ya Burma? Rais wa KWANZA wa TANU sio Mwalimu tena?

Kuna anayemfahamu Abdu?

Wild Card,
Abdu Sykes anafahamika hii leo pamoja na wenzake wengi.

Labda nami nikuulize, "Kuna anayemfahamu Mshume Kiyate?"
 
Mzee Mohamed,
Hizi "Awards" nchi hii ziko nyingi siku hizi. Ambacho kiko wazi juu ya kitabu chako hiki kimeanza kutugawa KIDINI Watanzania. Wapo Watanzania umewasafisha kweli ubongo kiasi kwamba kuna mabomu yanatupwa makanisani sasa.

Wild Card,
Hata kama kulikuwa na award lukuki ya Sheikh Hassan bin Amir haikuwapo.

Ama hayo ya mabomu sina ujuzi kwa hiyo uniwie radhi.
 
Tatizo hapa kuna watu wanataka kututeka dhanira zetu tuamini kua baadhi ya watu wao tena kwa kigezo cha UDINI walistahili tukuzo zaidi ya Mwl. Nyerere eti tu kwa mchango wao kwenye kumkaribisha nyerere ubwabwa na mambo mengineyo ya kirafiki sasa hatukatai kama walikua nae karibu inshallah wataongelewa kw nafas yao (historia binafsi) lakini katika historia ya Tanganyika things will remain the same! hakuna habari ya UDINI wala URAFIKI na ninamshukuru Mwalimu kw kuwafutilia mbali wale wote waliowekeza minajili ya UDINI toka zama hizo jambo ambalo kwa mtawala wa leo limeonekana kumshinda na nchi inachafuka! Nyerere aliyaona haya na angewaendekeza hao wanaotajwa kusahaulika hakika tusengefika hapa bila historia ya ukanda wa KIDINI.
 
Wild Card,
Abdu Sykes anafahamika hii leo pamoja na wenzake wengi.

Labda nami nikuulize, "Kuna anayemfahamu Mshume Kiyate?"

Hakuna isipokuwa sisi tunaochezea keyboard humu na ndugu na jamaa aloozaa au kuzaliwa naye. Maharage na mchicha wake kwa Mwalimu yatasababisha afahamike kweli?
 
Hakuna isipokuwa sisi tunaochezea keyboard humu na ndugu na jamaa aloozaa au kuzaliwa naye. Maharage na mchicha wake kwa Mwalimu yatasababisha afahamike kweli?

Wild Card,
Hapana ugomvi.

Binadamu lazima tughitilafiane kwa mengi.
Ingekuwa mie nisingejibu kwa ujuvi wa
lugha ya kijeuri ya "maharage na mchicha."
 
Kila mtu ana mtazamo wake lakin mimi naamini kwa wasomi wote hatuwezi hukumu Kitabu kwa jalada lake. Kwani wasomi tunajikita katika maudhui aliyomo na sio kichwa cha habari.

Pole sana

Utaishia kutoa pole tu, lakini nakuhakikishia NONDO za Nguruvi3 huziwezi na hutakaa uzijibu kisomi kwa sababu wewe haupo hapa kutetea ukweli bali upo kumtetea Mohamed Said ustaadh kwa maslahi ya imani yenu! jaribu kusoma tena nondo za msomi Nguruvi3 hapa chini na ulinganishe na majibu yako fyongo uliyoyatoa
 
Yericko,uchochezi uko wapi??
Naona huna la maana sasa unaloliongea,,,
 
Last edited by a moderator:
Wild Card,
Hata kama kulikuwa na award lukuki ya Sheikh Hassan bin Amir haikuwapo.

Ama hayo ya mabomu sina ujuzi kwa hiyo uniwie radhi.
Mzee Mohamed,
Hivi ulitarajia nini kutoka kwa vijana wa sasa wa Kiislam unapowahubiria na kuwaandikia kuwa "dhulma" imefanywa na Mwalimu kwa wazee wao, kwa sababu ya DINI yao? Unasisitiza kabisa kuwa Mwalimu alifanya dhulma hii kwa sababu ya Ukatoliki wake na kanisa hilo halitaki kuona Uislam unakua, watoto waKiislamu hawakupewa fursa sawa za ELIMU, AJIRA.

Lazima makanisa yachomwe moto, maPadre wauwawe, mabomu yatumike kuuangamiza ukristo. Wewe mtaalam wa Ugaidi leo unasema huna ujuzi na mabomu! Umeisahau ile Paper yako ya Ibadan?
 
Mzee Mohamed,
Hizi "Awards" nchi hii ziko nyingi siku hizi. Ambacho kiko wazi juu ya kitabu chako hiki kimeanza kutugawa KIDINI Watanzania. Wapo Watanzania umewasafisha kweli ubongo kiasi kwamba kuna mabomu yanatupwa makanisani sasa.

Makanisa mangapi yameshatupiwa mabomu? Una ushahidi wowote wa kumuunganisha Mzee Mohamed na matukio hayo? Kama ndiyo, kwa nini usiende kuisaidia polisi ili haki ipatikane?

Inaonekana wewe ni mtaalamu wa kugundua wahusika kwenye matukio kama hayo. Sasa tusaidie hapa, msikiti uliposhambuliwa Mbeya nani alihusika kwenye tukio hilo?
 

Mtaalamu wa Ugaid ni Yericko. Aulizwe yeye.
 
Wilcard, huyu jamaa nishawahi kusema huko nyuma kuwa ni mjanja sana. Mambo yakinuka anaruka kama hakimu kiruka.
Leo amesahau Mkoba wa Ibadan! tena alikoalikwa na tambo kibao.

Maandamano yanaratibiwa na watu nyuma ya pazia na mengine tunayoyaona tu.
Waislam wa Ponda wapo Segerea wengine wanaandika na kuuza vitabu!!
Matukio kama ya Zanzibar na Arusha watu wanaandaa paper n.k. Huwezi kuwaona front line, they operate behind the curtain. Leo watu wanaruka sina ujuzi nalo. Huna ujuzi wakati 15 yrs umekuwa unachagiza uhalifu wa namna hiyo!
Kesha waruka wenzake anasubiri mwaliko kwenda kuthibitisha aliyoandika kama kwamba ni mtabiri wakati anajua fika kuwa 15yrs amehubiri uhalifu.
 

Maandamano ya Mbeya yaliyosababisha Msikiti kuharibiwa aliyaratibu nani?
 
Mtaalamu wa Ugaid ni Yericko. Aulizwe yeye.

Ugaidi ninaouelezea ni ule wenye chuki dhidi ya maslahi ya Marekani,

Sio huu wa Mohamed Said wa kuchoma makanisa na kulipua mabomu kanisani!

Hili Mohamed analijua vema, amelihubiri miaka 15 akipanda mbegu ya chuki,

Na sasa haya ndiyo matokeo yake halisi,

Lakini kwamshangao anasema hana ujuzi nalo
 

Najua mna njaa sana ya damu yake kwa sababu Kanisa lenu bila kunywa damu za watu mnaowaona kama kikwazo cha kuendeleza dini yenu bila hoja bali mabavu ndiyo mnaowaweka target kwa mauaji. Sasa na ule wa chuki dhidi ya Uislamu kwa kuharibu msikiti kule Mbeya unaona ni haki yenu kufanya ugaidi huo?
 

Hivi wewe nchi yako maskini kiasi hiki unapata wapi muda wa kusemea ugaidi wa Marekani? Kwanza tueleze Ugaidi maana yake nini?
 

WILDCARD;

Hivi unajua maana ya msahafu? kamwe huwezi kulinganisha historia anazoandika binaadamu halafu uje linganisha na msahafu! itabidi tukupeleke madrasa ukafundishwe maana ya msahafu na vipi tuienzi na kuiheshimu sababu ni maneno ya Mwenyeezi Mungu!
Kama wewe ni muungwana huna budi kuomba radhi kwa Waislamu ambao kwao Msahafu ni matukufu yao! umeivunjia heshima Msahafu kuulinganisha na historia wanazoandika wanaadamu! au labda ulitaka kutueleza hekaya?
 

Ungefanya la maana sana kama ungeisaidia polisi kuwa Waislam ndiyo wanahusika na mabomu Arusha.

Halafu uisaidie polisi kuhusu watu waliochuma Msikiti Tunduma.

FBI wanaangaika kutafuta watuhumiwa kumbe nyie wataalam wa mabomu mpo.
 

Mbona unapingana na kiongozi wako wa Chadema, Lema mbunge wa Arusha.

Lema anasema CCM ndiyo wanahusika wewe Chadema-Kata unasema Waislam.

Tumfuate nani sasa au tutumie maneno ya Juma Mkamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…