Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nguruvi3,

Unajivunjia sana heshima yako jamvini kutokana na chuki yako dhidi ya Waislam na Uislam, unawanasibisha Waislam na mlipuko wa bomu Kanisani huko Arusha, sijui kama unafahamu mtuhumiwa anayeshikiliwa na polisi na Mkirsto mwenzako.

Kwa nini nyie wafuasi wa Chadema mnakuwa mna chuki sana na Waislam sijui kwa nini.

Hapa mbona ujawapa ushauri Chadema wenzako kuhusu Ugaidi wa Lwakatare na vijana wa Chadema, unafiki ni kitu kibaya sana.

Cc.. gombesugu,

Ninani aliyekudanganya kuwa JINA la binadamu ni kiashiria cha imani/dini yake?

Mimi unatambua kuwa ni muamini wa dini gani?

Usiwe na akili za kukariri vitu!
 
Last edited by a moderator:
Hujanijibu bado suali nililokuuliza kwamba Ugaidi ni nini?

Jisomee utangulizi wa kitabu cha "Vita dhidi ya Ugaidi"

UTANGULIZI
Vita ni mapambano/majibizano kwa silaha au lugha ya ukali ya pande mbili zinazo hasimiana/ mapambano dhidi ya kitu fulani mathalani rushwa, maradhi nk. Ugaidi ni shambulio la ghafla ambalo huangamiza kila kitu kilicho mzunguka muhanga wa ugaidi ambacho kipo ndani ya shabaha ya Gaidi. Vita dhidi ya ugaidi ni mapambano yanayoendelea kati ya makundi yenye msimamo mkali dhidi ya serikali za mataifa, lakini yakiwa na maadhimio yenye vuguvugu la mageuzi ya kimtazamo kwa baadhi ya serikali duniani.

Ugaidi ulianza kutajwa mwanzoni mwa miaka ya 1990 mpaka 1994 ambapo mezani pawanaojita wapinga ugaidi palishajaa mafaili yenye kujuza ugaidi kwa mapana yote, Kutokeza kwa vita baridi pande za Kisoviet na Amerika na kuenea maeneo mengine duniani kote kulizaa makundi yenye mitazamo hasi katika baadhi ya maeneo duniani. Kuna aina nyingi za makundi yenye kutajwa kuwa ya kigaidi katika dunia hii, Makundi haya yamekuwa na mlengo (philosophy) tofauti tofauti kulingana na aina ya kundi na litokako. Makundi hayo ni kama vile: Hezbollah (Arabic for “Party of God”) lililopo Lebanon, Hamas lililopo Palestinian, Muslim Brotherhood lilopo Misri, Mafia la pale Italia, Tamil Tigers lahuko Sri Lanka, Taliban la Afghanistan, Al shabab lilopo Sudan, Load Resistance Army la Uganda na mengine mengi yaliyopo duniani.

Ugaidi huu tunaouzungumza leo wenye chembe za chuki dhidi ya maslahi ya Marekani na wenye shinikizo la kiroho zaidi ulianza kuchipuka katikati ya mgogoro wa Urusi na Afghanistan hasa baada ya makundi yale yaliyoundwa kipindi cha vita baridi duniani kujibu wito wa jihadi dhidi ya wakomunisti. Baada ya ukomunisti kung’olelewa ndani ya ardhi ya Afghanistani makundi haya yalisimamisha kundi lao maarufu la Taliban kushika dola, hakika yalifanikiwa kwani Afghanistan iliwekwa chini ya udhibiti wa kundi hilo lenye mlolongo wa maovu ndani na nje ya nchi hiyo. Vita inakuwa ngumu pale serikali hizi zinapo pambana na makundi yasiyoonekana hadharani kwani hata yakionekana au kutaka kukamatwa hujilipua na kufa pamoja na hao askari waliotaka kuwakamata.

Vita dhidi ya ugaidi ni kitabu kinachoelezea chanzo cha vita hivyo na mtiririko wake, kikibashiri hatima ya vita, na kukupa ukweli halisi jinsi vita hivyo vilivyoendeshwa Iraq na Afghanistan na matukio muhimu katika vita vya Iraq. Utapata kujua mipango mizima na vikao muhimu vya Baraza la Usalama la Marekani vilivyofanyika kabla ya mashambulio ya Sept 11/ 2001 na baada ya mashambulio hayo. lichukua miezi 149 li kukamilisha kitabu hiki, Siku ya kwanza kuanza kuandika yaliyo ndani ya kitabu hiki, sikudhamiria kuandika kitabu, lengo langu lilikuwa kuhifadhi kumbukumbu za matukio ya kidunia katika daftari langu la kumbukumbu.

Na Yericko Nyerere
 
Msamehe tu huyo mzee mchochezi,

Amesema kafichama hataki kabisa kuzungumza na mimi,

Lakini kila saa yupo vubarazani huku jina langu halimtoki mdomoni!

Kaleta ngano za Shariff Attas kuwa alikuwa food tester wa Nyerere, nikamwambia wewe ni MUONGO

Anaanza sasa kutafutiza vihadithi vya watu ilimradi tu apate pakumchafulia Mwalimu Nyerere!

Sasa kaja na ngano ya eti Abdul Sykes alifanyiwa tambiko kabla ya Nyerere kwaajili yakupambana na mzungu wakati huo akiwa TANU,

Uongo ni mgumu sana,

Jiulizi hivi angefanyiwa tambiko la kwanza Abdul Sykes badala ya rais wa chama hicho ambae ndie aliekiunda na kuwa rais wa kwanza wa chama hicho?

Hapa tunapata picha mbili,

Kwanza nikuwa TANU iliundwa kabla ya ujio wa Nyerere TAA mwaka 1952,

Pili ni TANU iliyoundwa na Julius Nyerere 1954 ambayo ndio iliyoleta uhuru wa Tanganyika

Kumbuka katika TANU ya 1954, Abdul hakupata kuwa kiongozi wa ngazi yoyote!

Sasa unajiuliza hivi tambiko hilo alifanyiwa kwa chama kipi? Ni sahihi kama Mohamed Said asemavyo kuwa ni TANU ya 1950?

Nakatika kuhanikiza uongo wake anasema mwaka huo akifanyiwa tambiko nikuwa pale sokoni kariakoo Abdul Sykes tayari alikuwa akiuza kadi za TANU!

Hapo sasa ndio mkanganyiko wa ngano za Mohamed Said na uongo ndipo unapodhihirika!

Lakini wepesi anawageuza atakavyo bila kumhoji!
Yericko Nyerere,

Endelea kuwalisha wenzako ngano zako bahati mbaya hujui chochote kuhusu historia ya Tanganyika na TANU.
Msamehe tu huyo mzee mchochezi,

Amesema kafichama hataki kabisa kuzungumza na mimi,

Lakini kila saa yupo vubarazani huku jina langu halimtoki mdomoni!

Kaleta ngano za Shariff Attas kuwa alikuwa food tester wa Nyerere, nikamwambia wewe ni MUONGO

Anaanza sasa kutafutiza vihadithi vya watu ilimradi tu apate pakumchafulia Mwalimu Nyerere!

Sasa kaja na ngano ya eti Abdul Sykes alifanyiwa tambiko kabla ya Nyerere kwaajili yakupambana na mzungu wakati huo akiwa TANU,

Uongo ni mgumu sana,

Jiulizi hivi angefanyiwa tambiko la kwanza Abdul Sykes badala ya rais wa chama hicho ambae ndie aliekiunda na kuwa rais wa kwanza wa chama hicho?

Hapa tunapata picha mbili,

Kwanza nikuwa TANU iliundwa kabla ya ujio wa Nyerere TAA mwaka 1952,

Pili ni TANU iliyoundwa na Julius Nyerere 1954 ambayo ndio iliyoleta uhuru wa Tanganyika
Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).
 
Jisomee utangulizi wa kitabu cha "Vita dhidi ya Ugaidi"

UTANGULIZI
Vita ni mapambano/majibizano kwa silaha au lugha ya ukali ya pande mbili zinazo hasimiana/ mapambano dhidi ya kitu fulani mathalani rushwa, maradhi nk. Ugaidi ni shambulio la ghafla ambalo huangamiza kila kitu kilicho mzunguka muhanga wa ugaidi ambacho kipo ndani ya shabaha ya Gaidi. Vita dhidi ya ugaidi ni mapambano yanayoendelea kati ya makundi yenye msimamo mkali dhidi ya serikali za mataifa, lakini yakiwa na maadhimio yenye vuguvugu la mageuzi ya kimtazamo kwa baadhi ya serikali duniani.

Na Yericko Nyerere

Kwa tafsiri yako ya ugaidi kwamba ni shambulio la ghafla ambalo huangamiza kila kitu kilicho mzunguka muhanga wa ugaidi ambacho kipo ndani ya shabaha ya Gaidi, ni wazi kwamba mashambulizi yanayafanywa na Wamarekani Iraq, Afghanistan na sehemu nyingine duniani ni mashambulizi ya kigaidi.

Vilevile mashambulizi katika msikiti wa mwembechai mauaji ya Zanzibar mauaji ya Zanzibar nayo vilevile yanaangukia kwenye maana hiyo ya Ugaidi. Sasa huoni kwamba ni Serikali ya Tanzania ndiyo Serikali ya kigaidi dhidi ya raia wake?

Tukija kwenye tafsiri yako ya Vita dhidi ya ugaidi kwamba ni mapambano yanayoendelea kati ya makundi yenye msimamo mkali dhidi ya serikali za mataifa, lakini yakiwa na maadhimio yenye vuguvugu la mageuzi ya kimtazamo kwa baadhi ya serikali duniani, nashindwa kukuelewa una maana gani? Kwa hiyo watu/makundi yenye msimamo mkali yakipambana na serikali za mataifa hiyo inakuwa ni vita dhidi ya Ugaidi?
 
Kwamba vita vinavyopiganwa Iraq, Afghanistan nk vinavyoongzwa na Marekani eti ni Ugaidi wa Marekani sio kweli,

Lakini baadhi ya staili ya upiganaji vita hivyo inaangukia kwenye ugaidi pia

Suala la Mwembe chai na mauaji ya Zanzibar sio ugaidi kwa maana ya eti serikali iliendesha ugaidi!

Ninachoweza kukwambia nikuwa serikali ilitumia nguvu kubwa kuzuia vitendo vilivyokuwa vikipelekea kwenye ugaidi!

Na mwisho makundi hayo yakipambana na serikali za mataifa kwakutumia njia inayotafsiriwa kuwa ni ugaidi bila shaka yatabeba dhama ya makundi ya kigaidi pia!
 
Ndio maana nikasema kwamba hicho kitabu chako hata ukigawa bure sichukui. Nilisha ku assess nikajua kitakua utumbo mtupu. Sasa definition tu ya scope ya kitabu chako inaonyesha wazi kwamba Marekani ndio taifa gaidi kuliko magaidi wote hapa duniani. Unawezaje kuwa na guts za kuita watu au vikundi vingine magaidi ukaacha kulinyooshea vidole gaidi number moja duniani? Si ungebadilisha basi definition ya Ugaidi ili scope yake iandane na utumbo uliotaka kuuandika?
 
Kutokana na definition yako ya ugaidi, kwa nini unadhani vita ya Marekani sio magaidi katika kupigana kwao vita huko Iraq na Afghanistan? Nataka unieleze kwa kutumia definition yako ya ugaidi na si vinginevyo.

Kuhusu mauaji ya Mwembe chai na Zanzibar, haikuua watu au iliua? Tukirudi tena kwenye definition yako ya ugaidi kwamba ni shambulio la ghafla ambalo huangamiza kila kitu kilicho mzunguka muhanga wa ugaidi ambacho kipo ndani ya shabaha ya Gaid kwa nini uipeshe serikali na mauaji ya Mwembechai na Zanzibar yawe nje ya definition yako hii ya Ugaidi? Kwa nini serikali iamue kugeuka gaidi kwa raia wake simply kwa sababu kuna "vitendo vinavyopelekea kwenye ugaidi"? Watu kukataa masanduku ya kura halali zilizopigwa zisiibiwe na serikali ni vitendo vinavyopelekea kwenye ugaidi?

Suala la mwisho bado halijatulia kabisa. Isome tena hiyo definition yako ya vita dhidi ya ugaidi halafu uone kama kwa definition hiyo inayahukumu kwa ugaidi makundi yenye msimamo mkali au la.
 
Ndio maana nikasema kwamba hicho kitabu chako hata ukigawa bure sichukui. Nilisha ku assess nikajua kitakua utumbo mtupu. Sasa definition tu ya scope ya kitabu chako inaonyesha wazi kwamba Marekani ndio taifa gaidi kuliko magaidi wote hapa duniani. Unawezaje kuwa na guts za kuita watu au vikundi vingine magaidi ukaacha kulinyooshea vidole gaidi number moja duniani? Si ungebadilisha basi definition ya Ugaidi ili scope yake iandane na utumbo uliotaka kuuandika?

Sijajua hapa unamaana gani,

Kwahiyo ikiwa wewe hujakipenda kwakuwa hakijakaa kama unavyotaka wewe hivyo unamwambia mwandishi aachane nacho?

Tumia akili ndugu yangu,

Jenga hoja kulingana na ulichokiona ama kukisoma!
 
Kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo hivi wewe mpuuzi kunakitu gani cha maana uliwahi kuandika zaidi ya kuwapa like wanaume wenzako sana sana umeleta mipasho tu huku mjinga mnene
Boko haram, hutaona chochote kilichoandikwa hapa kwa sababu hujawahi kutumia akili yako kufikiri. Wewe unapelekeshwa na lile zee la hovyo kupita kiasi! kwa hiyo mpaka utakapopata nafuu kutoka ugonjwa mbaya unaougua wa kutojiamini na kumtegemea mzee muovu ndipo utaona hoja za wasomi humu jamvini.
 
Sijajua hapa unamaana gani,

Kwahiyo ikiwa wewe hujakipenda kwakuwa hakijakaa kama unavyotaka wewe hivyo unamwambia mwandishi aachane nacho?

Tumia akili ndugu yangu,

Jenga hoja kulingana na ulichokiona ama kukisoma!

Were you guided by the boundaries of your scope wakati unaandika kitabu chako au ulitiririka tu kutokana na information uliyoipata ambayo ipo karibu yako?
 
Kwanza niseme ni TANU na sio TAA, nimakosa ya kiuandishi tu,

Ndio Mwalimu Nyerere alikuwa waziri mkuu wa kwanza, tena wakuchaguliwa sio wa mapinduzi au wakuteuliwa!

Hilo la pili kwa maneno ya Mohamed Said inamaana Shariff Attas alikuwa ni mlinzi wa Mwalimu Nyerere, (food tester)

Lamwisho ni ndio, Mshume Kiyate katajwa sana katika masimulizi na mafunzo na Mwalimu Nyerere,

Tafuta machapisho yake yahusuyo historia yake utawakuta watu wote aliowataja Mohamed Said na wengine wengi tu hawajatajwa na Mohamed!

Watanzania wenzangu mpende kusoma historia ya nchi hii,

Inashangaza sana watu kuja hapa jf nakuona kama mambo haya ni mageni,

Huku akina Mohamed Said wakijinasibu kuwa wao tu ndio wanaijua historia ya Tanganyika/Tanzania!

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mrehemu Marehemu Mzee Julius Nyerere

Ahsantum kwa majibu yako.

lakin mimi nimepitia karibu machapisho yake yote hakuna hata sehemu moja alipotajwa Mshume Kiyate. sasa unaweza nisaidia jina tu la hilo chapisho na la mwaka gani ili nami nilitafute ili nijiridhishe kuwa kweli JK Nyerere alimtaja huyu Mtu muhimu kwake.

Naomba jibu lako hapo ili nami nitafute kujiridhisha.

Ahsantum tena.

Ugaidi ninaouelezea ni ule wenye chuki dhidi ya maslahi ya Marekani,

Sio huu wa Mohamed Said wa kuchoma makanisa na kulipua mabomu kanisani!

Hili Mohamed analijua vema, amelihubiri miaka 15 akipanda mbegu ya chuki,

Na sasa haya ndiyo matokeo yake halisi,

Lakini kwamshangao anasema hana ujuzi nalo

Yericko,

Hivi unafikiri haya yameanza jana au juzi?

Mimi naamini wazi aliyaanzisha ni Nyerere kama alivyoweza kuasisi Rushwa na Ulanguzi na leo vinawatafuna na kuwamaliza baada ya kukomaa na kuwa UFISADI. wakti wa mkoloni haijapa tokea neno Rushwa wala ulanguzi.

Lakin suala dogo jiulizeni. Waarabu tunasema siku zote SWADAKA HUANZIA NYUMBANI. kama kweli Nyerere aliweza kuleta amani huko Tanzania vipi alishindwa kuleta amani mkoa wake wa Mara. Mpaka leo Mkoa huo unaongoza kwa watu Kuuwana (kugechana)?

Kama kweli aliweza leta wasomi vipi alishindwa kusomesha watoto wake kuwa na hata first Degree.

nafikiri mnamlimbikizia swifa ambazo si zake. Huwezi lisha jirani yako wakti kwako wanalala na njaa. Je hiyo ni akili kweli?

Kuna mambo alijitahidi na sie tuliobahatika kufanya nae kazi tunayaona na kuyakubali hususan katika siasa lakin katika Uchumi hapo ni total Zero amewatia umasikini ambao bila kuwa makini mtarithisha kwa wajukuu zenu.

Mola awape uweleo na kuona njia sahihi na kuwaepusha na jazba na chuki miongoni mwenu lakin awajaalie muwe wasema kweli japo ukweli unauma.

Maandamano ya Mbeya yaliyosababisha Msikiti kuharibiwa aliyaratibu nani?
u

Na vurugu za kule Tunduma kuhusu kuchinja , Msikiti uliharibiwa vibaya sana na kupigwa moto mbona hamyaoni hayo?

Mimi nafikiri kuitisha mjadala wa kitaifa ni muhimu sana nchini mwenu kwani hapo kila mtu atatoa dukuduku lake na kisha mtaweza pata suluhu. lakin kwa mwendo huu wa mmoja kubebwa ndio mnazidi pandikiza chuki katika jamii zenu.

Poleni sana
 
Yericko Nyerere,

Endelea kuwalisha wenzako ngano zako bahati mbaya hujui chochote kuhusu historia ya Tanganyika na TANU.

Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).

Ritz,
Ahsante sana kwa kuyaweka mambo hadhir ili kila mtu ayaone.

Tatizo ni kujaribu kuwatoa waasisi wa TANU katika historia ya kudai
uhuru.

Umuhimu wa Abdu Sykes, Ally Sykes, Dossa Aziz na John Rupia haukuwa
katika nyadhifa.

Kama vile umuhimu wa Iddi Tosiri, Iddi Faiz, Sheikh Hassan bin Amir, Mshume
Kiyate, Jumbe Tambaza na wengineo wengi umuhimu haukuwa kwa wao kushika
vyeo.

La hasha.
Watu hawa umuhimu wao uko kwenye yale walofanya kumpa nguvu Nyerere na TANU.

Waingereza walikuwa wanajua fika fedha za kuendesha TANU zinapotoka.
Walikuwa wanakijua kichwa cha nyoka kilipo.

Waingereza walikuwa wanafahamu kuwa Kariakoo Market ni moja ya ng'ombe wa
maziwa wa TANU na kile kichwa cha nyoka alikuwa Abdu Sykes.

Ukimkata Abdu na Soko la Kariakoo utakuwa umeikaba roho TANU na Nyerere.

Wanachama wa TANU halikadhalika wakijua kuwa soko bila Abdu chama kitaumia.

Uamuzi ukapita lazima Mzungu anaemtafish Abdu apigwe kipaipai.
 
Wanajamvi,

Naomba tusaidiane hapa, labda ndugu yetu kiswahili tunapishana hapa!

Kwa maneno ya nukuu hii ya hotuba ya mwalimu Nyerere hapa chini,

"Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili)"

Je Mohamed Said, hapo unaiona TANU ya 1954 au unaiona TANU ya Burma?

Mimi naliona jina lililofikiriwa huko Burma, lakini chama nakiona cha 1954 kilichozaliwa chini ya Julius Nyerere na ndie kiongozi muasisi wa TANU!

Sasa hapa kwa ugumu wa lugha ya kiswahili kwa watu wengi hasa vijana wa dotcom, anataka kutumia udhaifu wao kuwapotosha kuwa chama cha TANU kiliasisiwa Burma, badala yakuwaambia jina la TANU lilifikiriwa Burma na kuja kuasisiwa Tanganyika 1954 chini ya Julius Nyerere!
 
Mimi nitaendelea kushikilia msimamo wangu ya kwamba julius was very very bright and clever,na hawez kuzaa mtoto Dull wa sampuli yako hata siku moja,,

Kwa kupitia hilo bandiko lako umeshindwa kabisa kujua maana ya uasisi??

Julius anakuambia hao jamaa walishalifikiria hilo jina long time ago hata kabla ya huo mwaka 1954,sasa kipi kinachokushangaza wewe na kukufanya ushindwe kung'amua ni nani ana jua chimbuko la jina la chama hiko??

wao waliokawepo burma au huyu alieibuka mwaka 1954??

Kweli umechuja sana bwana mdogo..,mdandia nasaba za watu...

What a shame...!!
 
Wanajamvi,

Naomba tusaidiane hapa, labda ndugu yetu kiswahili tunapishana hapa!

Kwa maneno ya nukuu hii ya hotuba ya mwalimu Nyerere hapa chini,

"Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili)"

Je Mohamed Said, hapo unaiona TANU ya 1954 au unaiona TANU ya Burma?

Mimi naliona jina lililofikiriwa huko Burma, lakini chama nakiona cha 1954 kilichozaliwa chini ya Julius Nyerere na ndie kiongozi muasisi wa TANU!

Sasa hapa kwa ugumu wa lugha ya kiswahili kwa watu wengi hasa vijana wa dotcom, anataka kutumia udhaifu wao kuwapotosha kuwa chama cha TANU kiliasisiwa Burma, badala yakuwaambia jina la TANU lilifikiriwa Burma na kuja kuasisiwa Tanganyika 1954 chini ya Julius Nyerere!

"Baada ya miezi 13 tukaanzisha TANU"

Wasaidie wanajamvi kuweka sawa hii wakaanzisha TANU na kina nani?

Kimsingi hapa Nyerere anasema akuanzisha TANU ila walianzisha TANU.

Tupe majina ya hao walioanzisha TANU.
 
Ni vizuri kumfahamu Mohamed Said ni mtu wa namna gani na kwa nini wengine wetu tunamwita mzushi na muongo.
Mohamed Said said:
Mimi ni Mmanyema, kabila la Waislaam watupu!
Amewahi pia kudai kuwa, wakati wa wa awamu ya kwanza, kuna kipindi shughuhuli za Kiislaam zilisimama kabisaa! Nanukuu;
Mohamed Said said:
Ikapita kipindi nchi ikawa ziiiiii kabisa huhisi kama nchi ina Waislam. Zile shamramshamra tulizozoea utotoni wakati wa Maulid ya Mfungo Sita zikatoweka jiiiii!
Eti ikafika mahali Muislaam aliogopa kujitambulisha kwa dini yake hadi walipozinduliwa na Mpakistani, Prof. Malik, kupitia WARSHA, nanumkuu!
Mohamed Said said:
Warsha ikaanza katika njia ya unyonge vijana wakipita msikiti kwa msikiti tena ile ya pembeni maana ile mikubwa watu wakiogopa kuwekwa ndani. Allah atamlipa Sheikh Malik na wanafunzi wake Burhani Mtengwa na Mussa Mdidi wote wako mbele ya haki kwa mchango wao wa kuwazindua Waislam. Taratibu ikawa watu wanafunguka macho.
Mohamed Said si muongo tu, ni mchochezi na mchonganish!
Mohamed Said said:
Alhamdulilah leo ukitembea asubuhi watoto wanakwenda shule utajua uko katika nchi ambayo Waislam wapo na hadi leo tuko hali hii.
Hapa haijalishi kama inaongelewa nchi ya Tanzania au jiji la Dar es Salaam!
Mohamed Said said:
Neno "Uislam" kama lilivyokuwa likimtisha Julius Nyerere kiasi cha kuogopa kuwataja Waislam waliokuwa katika harakati za kudai uhuru.
Believe this, you'll believe anything...JMC. Nyama choma hiyo, ongezea na kachumbari hii;
Mohamed Said said:
Katika kumbukumbu ya Vita Vya Maji Maji majina yote ya Waislam walionyongwa na Wajerumani yamefutwa. Ali Songea Mbano haitwi kwa majina yake yote anaitwa "Songea Mbano."
Mila na desturi za Wahehe na Uislaam, wapi na wapi!
Mohamed Said said:
Mimi najiuliza siku zote hivi kwa nini Wakristo wanaumwa sana na historia hii kuanzia Julius Nyerere hadi Wakristo wa kawaida?
Matokeo ya utafiti uliojengwa katika misingi ya ngonjera na mipasho! Haya malizeni na haya;
TAA ilitokana na African Association chama kilichoanzishwa na Kleist Sykes 1929 yeye akiwa katibu na rais akiwa Mzee bin Sudi.
Na hii inadaiwa eti ni "fact"...hapo siongezei neno, nawaachia wasomaji...
Mohamed Said said:
Waislam walikuwa wanajenga Chuo Kikuu mwaka 1968 chini ya uongozi wa Mufti Sheikh Hassan bin Amir na East African Muslim Welfare Society (EAMWS). Kanisa Katoliki hawakupendezewa na hili na kwa kumtumia Nyerere EAMWS ikapigwa marufuku kuwa si chama halali na Sheikh Hassan bin Amir akafukuzwa nchini.
Sheikh Hassan bin Amir hakufukuzwa nchini, alibaki nchini Tanzania!...oops! nilikuwa nasahau, Dar es Salaam kwake ndiyo Tanzania! Huyo ndiye Mohamed Said, bingwa wa porojo na umbea, akiwapa darsa "blind followers wake" na wao wakaamini wanafyonza elimu!
 
Yericko,Hivi unafikiri haya yameanza jana au juzi?
Mimi naamini wazi aliyaanzisha ni Nyerere kama alivyoweza kuasisi Rushwa na Ulanguzi na leo vinawatafuna na kuwamaliza baada ya kukomaa na kuwa UFISADI. wakti wa mkoloni haijapa tokea neno Rushwa wala ulanguzi.
Lakin suala dogo jiulizeni. Waarabu tunasema siku zote SWADAKA HUANZIA NYUMBANI. kama kweli Nyerere aliweza kuleta amani huko Tanzania vipi alishindwa kuleta amani mkoa wake wa Mara. Mpaka leo Mkoa huo unaongoza kwa watu Kuuwana (kugechana)?
Kama kweli aliweza leta wasomi vipi alishindwa kusomesha watoto wake kuwa na hata first Degree.
nafikiri mnamlimbikizia swifa ambazo si zake. Huwezi lisha jirani yako wakti kwako wanalala na njaa. Je hiyo ni akili kweli?
Kuna mambo alijitahidi na sie tuliobahatika kufanya nae kazi tunayaona na kuyakubali hususan katika siasa lakin katika Uchumi hapo ni total Zero amewatia umasikini ambao bila kuwa makini mtarithisha kwa wajukuu zenu.

Mola awape uweleo na kuona njia sahihi na kuwaepusha na jazba na chuki miongoni mwenu lakin awajaalie muwe wasema kweli japo ukweli unauma.
Are you serious! siamini kama nasoma maneno ya Barubaru aliyekuwa na mzee Edwin Mtei wakijadili mstakabali wa nchi na kisha kutoka kwenda Ngazija kusali!!! I can't believe

Baru baru kuna kusoma na kueleimika. Si kila aliyesoma ameelimika ingawa inaweza kuwa aliyesoma ameelimika.
Awali ya yote Mola akupe uelewa wa kuona mambo kwa mtazamo tofauti na wenye mantiki.

Ama baada ya dua hiyo, ningegusia hoja zako kidogo tu uone hasira, chuki na jwazba zinavyoweza kumtoa mtu katika weledi na kumpeleka ''kwingine nisikoweza kusema'' (kwa hisani ya Mohamed)

1. Unapoongelea amani ya nchi huongelei kijiji, unaongelea kwa ujumla. Hakuna taifa lolote dunia(hapa nitajie) ambalo halina migogoro, wala jamii isiyo na matatizo achilia mbali familia.
Inaposemwa alisimamia amani ya nchi haina maana alisimamia amani ya kila wilaya, kaya au kijiji.

Nyerere si mungu wa kuweza kuzuia wahalifu na hakuna kiongozi duniani aliyeweza kufanya hivyo.
Huko Vatican kuna migogoro, hapo Maka kuna migogoro sasa vipi uone kuna cha ajabu kuhusu Kugechana?

Nyerere angezuia vipi watu walioamua kuua vikongwe? Nyerere angezuia vipi mtu aliyeamua kuwa jambazi?
Hebu nipe taifa moja tu, moja dunia ambalo ni swafi 100%. Lakini basi je alithubutu kuchukua hatua? hilo fikiria

Lakini pia jiulize kama yeye alileta migogoro, si kuna waliofuata? Je wao wamefanya nini kutanzua matatizo yaliyokuwepo?

2. Kuhusu Rushwa, hapa ndipo nimekushangaa sana. Hao wakoloni wametumia neno bribe, corruption, grand corruption na wamegeuza lobbying n.k. Maneno hayo si misiamiati yamo katika dictionary zao karne nyingi sana.

Kama wakati wa mkoloni hakukuwa na hayo sheria za rushwa aliwekewa nani?
Na hapa tena narudia kukuuliza, nipe taifa moja tu dunia ambalo ni ''pristine'' ya rushwa.

3. Kuhusu watoto wa Nyerere, nadhani umedhihirisha uadilifu wake.
Bado angeweza kutoa amri mtoto amalize chuo kikuu na ikawa.
Yeye hakuona hilo alitoa fursa kama kuna aliyewahi kuzitumia au la, Nyerere akatimiza wajibu kama mzazi.
Sijui una maana ilitakiwa agawe degree katika familia yake.

Wakati anaingia madarakani alikuta wasomi wa kiwango cha degree unachokisema wasiozidi 25.
Akiondoka madarakani in take moja ya faculty moja ilitoa degree zaidi ya 100.
Kama hakutoa wasomi, ah sijui ulitaka wapi na sijui unataka kutueleza nini maana JK ni sehemu za mazao yake.

Akiingia madarakani hakukuta profesa kiondoka ameacha la, hata sijui nisemeje!
Ni wakati wake ambapo mtu alikuwa ana uhakika wa elimu, je sasa hivi ikoje! wangapi wanamudu ''Academy''

Nenda mbali angalia literacy level wakati anaingia na wakati anatoka.
Sasa ukiangalia familia mbili ukasema ndio Tanzania, tunarudi kule kule kwa kukusanya data za shule moja, faculty 2 na kusema ndiyo ushahidi wa uonevu kama alivyotuletea.

Nyerere hakulisha jirani yake, alitoa kwa mwenye uwezo na aliyekuwa hajitambui basi hilo ni shauri lake hata kama alikuwa mjomba wake! hiyo ni akili ndiyo maana ujinga ni ule wa kubebana.

Au ulitaka afanye ''ufisadi'' kama ilivyo sasa?

Please Baru baru, I respect you! get back on the track
 
Back
Top Bottom