Kuwa na nchi masikini hakuzuii watu wake kuiangaza dunia kwa mapana na marefu!
Nguruvi3,
Unajivunjia sana heshima yako jamvini kutokana na chuki yako dhidi ya Waislam na Uislam, unawanasibisha Waislam na mlipuko wa bomu Kanisani huko Arusha, sijui kama unafahamu mtuhumiwa anayeshikiliwa na polisi na Mkirsto mwenzako.
Kwa nini nyie wafuasi wa Chadema mnakuwa mna chuki sana na Waislam sijui kwa nini.
Hapa mbona ujawapa ushauri Chadema wenzako kuhusu Ugaidi wa Lwakatare na vijana wa Chadema, unafiki ni kitu kibaya sana.
Cc.. gombesugu,
Hujanijibu bado suali nililokuuliza kwamba Ugaidi ni nini?
Yericko Nyerere,Msamehe tu huyo mzee mchochezi,
Amesema kafichama hataki kabisa kuzungumza na mimi,
Lakini kila saa yupo vubarazani huku jina langu halimtoki mdomoni!
Kaleta ngano za Shariff Attas kuwa alikuwa food tester wa Nyerere, nikamwambia wewe ni MUONGO
Anaanza sasa kutafutiza vihadithi vya watu ilimradi tu apate pakumchafulia Mwalimu Nyerere!
Sasa kaja na ngano ya eti Abdul Sykes alifanyiwa tambiko kabla ya Nyerere kwaajili yakupambana na mzungu wakati huo akiwa TANU,
Uongo ni mgumu sana,
Jiulizi hivi angefanyiwa tambiko la kwanza Abdul Sykes badala ya rais wa chama hicho ambae ndie aliekiunda na kuwa rais wa kwanza wa chama hicho?
Hapa tunapata picha mbili,
Kwanza nikuwa TANU iliundwa kabla ya ujio wa Nyerere TAA mwaka 1952,
Pili ni TANU iliyoundwa na Julius Nyerere 1954 ambayo ndio iliyoleta uhuru wa Tanganyika
Kumbuka katika TANU ya 1954, Abdul hakupata kuwa kiongozi wa ngazi yoyote!
Sasa unajiuliza hivi tambiko hilo alifanyiwa kwa chama kipi? Ni sahihi kama Mohamed Said asemavyo kuwa ni TANU ya 1950?
Nakatika kuhanikiza uongo wake anasema mwaka huo akifanyiwa tambiko nikuwa pale sokoni kariakoo Abdul Sykes tayari alikuwa akiuza kadi za TANU!
Hapo sasa ndio mkanganyiko wa ngano za Mohamed Said na uongo ndipo unapodhihirika!
Lakini wepesi anawageuza atakavyo bila kumhoji!
Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).Msamehe tu huyo mzee mchochezi,
Amesema kafichama hataki kabisa kuzungumza na mimi,
Lakini kila saa yupo vubarazani huku jina langu halimtoki mdomoni!
Kaleta ngano za Shariff Attas kuwa alikuwa food tester wa Nyerere, nikamwambia wewe ni MUONGO
Anaanza sasa kutafutiza vihadithi vya watu ilimradi tu apate pakumchafulia Mwalimu Nyerere!
Sasa kaja na ngano ya eti Abdul Sykes alifanyiwa tambiko kabla ya Nyerere kwaajili yakupambana na mzungu wakati huo akiwa TANU,
Uongo ni mgumu sana,
Jiulizi hivi angefanyiwa tambiko la kwanza Abdul Sykes badala ya rais wa chama hicho ambae ndie aliekiunda na kuwa rais wa kwanza wa chama hicho?
Hapa tunapata picha mbili,
Kwanza nikuwa TANU iliundwa kabla ya ujio wa Nyerere TAA mwaka 1952,
Pili ni TANU iliyoundwa na Julius Nyerere 1954 ambayo ndio iliyoleta uhuru wa Tanganyika
Jisomee utangulizi wa kitabu cha "Vita dhidi ya Ugaidi"
UTANGULIZI
Vita ni mapambano/majibizano kwa silaha au lugha ya ukali ya pande mbili zinazo hasimiana/ mapambano dhidi ya kitu fulani mathalani rushwa, maradhi nk. Ugaidi ni shambulio la ghafla ambalo huangamiza kila kitu kilicho mzunguka muhanga wa ugaidi ambacho kipo ndani ya shabaha ya Gaidi. Vita dhidi ya ugaidi ni mapambano yanayoendelea kati ya makundi yenye msimamo mkali dhidi ya serikali za mataifa, lakini yakiwa na maadhimio yenye vuguvugu la mageuzi ya kimtazamo kwa baadhi ya serikali duniani.
Na Yericko Nyerere
Kwa tafsiri yako ya ugaidi kwamba ni shambulio la ghafla ambalo huangamiza kila kitu kilicho mzunguka muhanga wa ugaidi ambacho kipo ndani ya shabaha ya Gaidi, ni wazi kwamba mashambulizi yanayafanywa na Wamarekani Iraq, Afghanistan na sehemu nyingine duniani ni mashambulizi ya kigaidi.
Vilevile mashambulizi katika msikiti wa mwembechai mauaji ya Zanzibar mauaji ya Zanzibar nayo vilevile yanaangukia kwenye maana hiyo ya Ugaidi. Sasa huoni kwamba ni Serikali ya Tanzania ndiyo Serikali ya kigaidi dhidi ya raia wake?
Tukija kwenye tafsiri yako ya Vita dhidi ya ugaidi kwamba ni mapambano yanayoendelea kati ya makundi yenye msimamo mkali dhidi ya serikali za mataifa, lakini yakiwa na maadhimio yenye vuguvugu la mageuzi ya kimtazamo kwa baadhi ya serikali duniani, nashindwa kukuelewa una maana gani? Kwa hiyo watu/makundi yenye msimamo mkali yakipambana na serikali za mataifa hiyo inakuwa ni vita dhidi ya Ugaidi?

Kwamba vita vinavyopiganwa Iraq, Afghanistan nk vinavyoongzwa na Marekani eti ni Ugaidi wa Marekani sio kweli,
Lakini baadhi ya staili ya upiganaji vita hivyo inaangukia kwenye ugaidi pia
Suala la Mwembe chai na mauaji ya Zanzibar sio ugaidi kwa maana ya eti serikali iliendesha ugaidi!
Ninachoweza kukwambia nikuwa serikali ilitumia nguvu kubwa kuzuia vitendo vilivyokuwa vikipelekea kwenye ugaidi!
Na mwisho makundi hayo yakipambana na serikali za mataifa kwakutumia njia inayotafsiriwa kuwa ni ugaidi bila shaka yatabeba dhama ya makundi ya kigaidi pia!
Ndio maana nikasema kwamba hicho kitabu chako hata ukigawa bure sichukui. Nilisha ku assess nikajua kitakua utumbo mtupu. Sasa definition tu ya scope ya kitabu chako inaonyesha wazi kwamba Marekani ndio taifa gaidi kuliko magaidi wote hapa duniani. Unawezaje kuwa na guts za kuita watu au vikundi vingine magaidi ukaacha kulinyooshea vidole gaidi number moja duniani? Si ungebadilisha basi definition ya Ugaidi ili scope yake iandane na utumbo uliotaka kuuandika?
Boko haram, hutaona chochote kilichoandikwa hapa kwa sababu hujawahi kutumia akili yako kufikiri. Wewe unapelekeshwa na lile zee la hovyo kupita kiasi! kwa hiyo mpaka utakapopata nafuu kutoka ugonjwa mbaya unaougua wa kutojiamini na kumtegemea mzee muovu ndipo utaona hoja za wasomi humu jamvini.Kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo hivi wewe mpuuzi kunakitu gani cha maana uliwahi kuandika zaidi ya kuwapa like wanaume wenzako sana sana umeleta mipasho tu huku mjinga mnene
Sijajua hapa unamaana gani,
Kwahiyo ikiwa wewe hujakipenda kwakuwa hakijakaa kama unavyotaka wewe hivyo unamwambia mwandishi aachane nacho?
Tumia akili ndugu yangu,
Jenga hoja kulingana na ulichokiona ama kukisoma!
Kwanza niseme ni TANU na sio TAA, nimakosa ya kiuandishi tu,
Ndio Mwalimu Nyerere alikuwa waziri mkuu wa kwanza, tena wakuchaguliwa sio wa mapinduzi au wakuteuliwa!
Hilo la pili kwa maneno ya Mohamed Said inamaana Shariff Attas alikuwa ni mlinzi wa Mwalimu Nyerere, (food tester)
Lamwisho ni ndio, Mshume Kiyate katajwa sana katika masimulizi na mafunzo na Mwalimu Nyerere,
Tafuta machapisho yake yahusuyo historia yake utawakuta watu wote aliowataja Mohamed Said na wengine wengi tu hawajatajwa na Mohamed!
Watanzania wenzangu mpende kusoma historia ya nchi hii,
Inashangaza sana watu kuja hapa jf nakuona kama mambo haya ni mageni,
Huku akina Mohamed Said wakijinasibu kuwa wao tu ndio wanaijua historia ya Tanganyika/Tanzania!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu mrehemu Marehemu Mzee Julius Nyerere
Ugaidi ninaouelezea ni ule wenye chuki dhidi ya maslahi ya Marekani,
Sio huu wa Mohamed Said wa kuchoma makanisa na kulipua mabomu kanisani!
Hili Mohamed analijua vema, amelihubiri miaka 15 akipanda mbegu ya chuki,
Na sasa haya ndiyo matokeo yake halisi,
Lakini kwamshangao anasema hana ujuzi nalo
uMaandamano ya Mbeya yaliyosababisha Msikiti kuharibiwa aliyaratibu nani?
Yericko Nyerere,
Endelea kuwalisha wenzako ngano zako bahati mbaya hujui chochote kuhusu historia ya Tanganyika na TANU.
Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).
Ritz,
Ahsante sana kwa kuyaweka mambo hadhir ili kila mtu ayaone.
Tatizo ni kujaribu kuwatoa waasisi wa TANU katika historia ya kudai
uhuru.
Umuhimu wa Abdu Sykes, Ally Sykes, Dossa Aziz na John Rupia haukuwa
katika nyadhifa.
Kama vile umuhimu wa Iddi Tosiri, Iddi Faiz, Sheikh Hassan bin Amir, Mshume
Kiyate, Jumbe Tambaza na wengineo wengi umuhimu haukuwa kwa wao kushika
vyeo.
La hasha.
Watu hawa umuhimu wao uko kwenye yale walofanya kumpa nguvu Nyerere na TANU.
Waingereza walikuwa wanajua fika fedha za kuendesha TANU zinapotoka.
Walikuwa wanakijua kichwa cha nyoka kilipo.
Waingereza walikuwa wanafahamu kuwa Kariakoo Market ni moja ya ng'ombe wa
maziwa wa TANU na kile kichwa cha nyoka alikuwa Abdu Sykes.
Ukimkata Abdu na Soko la Kariakoo utakuwa umeikaba roho TANU na Nyerere.
Wanachama wa TANU halikadhalika wakijua kuwa soko bila Abdu chama kitaumia.
Uamuzi ukapita lazima Mzungu anaemtafish Abdu apigwe kipaipai.
Wanajamvi,
Naomba tusaidiane hapa, labda ndugu yetu kiswahili tunapishana hapa!
Kwa maneno ya nukuu hii ya hotuba ya mwalimu Nyerere hapa chini,
"Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili)"
Je Mohamed Said, hapo unaiona TANU ya 1954 au unaiona TANU ya Burma?
Mimi naliona jina lililofikiriwa huko Burma, lakini chama nakiona cha 1954 kilichozaliwa chini ya Julius Nyerere na ndie kiongozi muasisi wa TANU!
Sasa hapa kwa ugumu wa lugha ya kiswahili kwa watu wengi hasa vijana wa dotcom, anataka kutumia udhaifu wao kuwapotosha kuwa chama cha TANU kiliasisiwa Burma, badala yakuwaambia jina la TANU lilifikiriwa Burma na kuja kuasisiwa Tanganyika 1954 chini ya Julius Nyerere!

Amewahi pia kudai kuwa, wakati wa wa awamu ya kwanza, kuna kipindi shughuhuli za Kiislaam zilisimama kabisaa! Nanukuu;Mohamed Said said:Mimi ni Mmanyema, kabila la Waislaam watupu!
Eti ikafika mahali Muislaam aliogopa kujitambulisha kwa dini yake hadi walipozinduliwa na Mpakistani, Prof. Malik, kupitia WARSHA, nanumkuu!Mohamed Said said:Ikapita kipindi nchi ikawa ziiiiii kabisa huhisi kama nchi ina Waislam. Zile shamramshamra tulizozoea utotoni wakati wa Maulid ya Mfungo Sita zikatoweka jiiiii!
Mohamed Said si muongo tu, ni mchochezi na mchonganish!Mohamed Said said:Warsha ikaanza katika njia ya unyonge vijana wakipita msikiti kwa msikiti tena ile ya pembeni maana ile mikubwa watu wakiogopa kuwekwa ndani. Allah atamlipa Sheikh Malik na wanafunzi wake Burhani Mtengwa na Mussa Mdidi wote wako mbele ya haki kwa mchango wao wa kuwazindua Waislam. Taratibu ikawa watu wanafunguka macho.
Hapa haijalishi kama inaongelewa nchi ya Tanzania au jiji la Dar es Salaam!Mohamed Said said:Alhamdulilah leo ukitembea asubuhi watoto wanakwenda shule utajua uko katika nchi ambayo Waislam wapo na hadi leo tuko hali hii.
Believe this, you'll believe anything...JMC. Nyama choma hiyo, ongezea na kachumbari hii;Mohamed Said said:Neno "Uislam" kama lilivyokuwa likimtisha Julius Nyerere kiasi cha kuogopa kuwataja Waislam waliokuwa katika harakati za kudai uhuru.
Mila na desturi za Wahehe na Uislaam, wapi na wapi!Mohamed Said said:Katika kumbukumbu ya Vita Vya Maji Maji majina yote ya Waislam walionyongwa na Wajerumani yamefutwa. Ali Songea Mbano haitwi kwa majina yake yote anaitwa "Songea Mbano."
Matokeo ya utafiti uliojengwa katika misingi ya ngonjera na mipasho! Haya malizeni na haya;Mohamed Said said:Mimi najiuliza siku zote hivi kwa nini Wakristo wanaumwa sana na historia hii kuanzia Julius Nyerere hadi Wakristo wa kawaida?
Na hii inadaiwa eti ni "fact"...hapo siongezei neno, nawaachia wasomaji...TAA ilitokana na African Association chama kilichoanzishwa na Kleist Sykes 1929 yeye akiwa katibu na rais akiwa Mzee bin Sudi.
Sheikh Hassan bin Amir hakufukuzwa nchini, alibaki nchini Tanzania!...oops! nilikuwa nasahau, Dar es Salaam kwake ndiyo Tanzania! Huyo ndiye Mohamed Said, bingwa wa porojo na umbea, akiwapa darsa "blind followers wake" na wao wakaamini wanafyonza elimu!Mohamed Said said:Waislam walikuwa wanajenga Chuo Kikuu mwaka 1968 chini ya uongozi wa Mufti Sheikh Hassan bin Amir na East African Muslim Welfare Society (EAMWS). Kanisa Katoliki hawakupendezewa na hili na kwa kumtumia Nyerere EAMWS ikapigwa marufuku kuwa si chama halali na Sheikh Hassan bin Amir akafukuzwa nchini.
Are you serious! siamini kama nasoma maneno ya Barubaru aliyekuwa na mzee Edwin Mtei wakijadili mstakabali wa nchi na kisha kutoka kwenda Ngazija kusali!!! I can't believeYericko,Hivi unafikiri haya yameanza jana au juzi?
Mimi naamini wazi aliyaanzisha ni Nyerere kama alivyoweza kuasisi Rushwa na Ulanguzi na leo vinawatafuna na kuwamaliza baada ya kukomaa na kuwa UFISADI. wakti wa mkoloni haijapa tokea neno Rushwa wala ulanguzi.
Lakin suala dogo jiulizeni. Waarabu tunasema siku zote SWADAKA HUANZIA NYUMBANI. kama kweli Nyerere aliweza kuleta amani huko Tanzania vipi alishindwa kuleta amani mkoa wake wa Mara. Mpaka leo Mkoa huo unaongoza kwa watu Kuuwana (kugechana)?
Kama kweli aliweza leta wasomi vipi alishindwa kusomesha watoto wake kuwa na hata first Degree.
nafikiri mnamlimbikizia swifa ambazo si zake. Huwezi lisha jirani yako wakti kwako wanalala na njaa. Je hiyo ni akili kweli?
Kuna mambo alijitahidi na sie tuliobahatika kufanya nae kazi tunayaona na kuyakubali hususan katika siasa lakin katika Uchumi hapo ni total Zero amewatia umasikini ambao bila kuwa makini mtarithisha kwa wajukuu zenu.
Mola awape uweleo na kuona njia sahihi na kuwaepusha na jazba na chuki miongoni mwenu lakin awajaalie muwe wasema kweli japo ukweli unauma.