Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hata Lema naye darasa la 7 akili ndogo inaongoza akili kubwa.

Kubwa lao ndio kabisa usiseme! kasomea elimu ya dini na kufunzwa kila aina ya maadili lakini bila aibu wala songo alienda kupiga kampeni akitaka Urais huku kamshika mkono mke wa mtu akimtangaza ni hawara ake!
 

RITZ:
Umetukumbusha mbali bro: hivi unakumbuka au kusikia kuwa kuna wakati ilikuja ndege na kurusha toka angani vipeperushi vyenye picha ya Mwalimu akiwa kashika tama na kukata tamaa! huku Kambona akifurahi! baadae ikatangazwa atakaepatikana navyo atafungwa! una habari hii?
 

Nguruvi3,

Siku zote huwezi zungumzia jambo usilolijuwa au usilokuwa na ujuzi nalo hususan hili la BAKWATA. Kwa mtu mwingine anaweza akaona ni kawaida tu lakin kwa wenyewe au mgeni linatia mashaka makubwa sana. Mimi nakwambia ni LAZIMA kiongozi wa Serikali katika ngazi ya Kitaifa, mkoa na Wilaya kuswali swala ya IDD katika misikiti ya BAKWATA na si kwingineko. Mimi nimeyaona hayo nilipokuwa Mwanza. Hivyo utajiuliza kuna uhusiano gani kati ya Bakwata na Serikali.

Au jaribu tu kuangalia rais au makamo wake wakti wa swala ya Eid anaswali msikiti gani au hata kama atahudhuria baraza la Idd litakuwa limeandaliwa na nani?

lakin BAKWATA ina matatizo mengi ikiwemo viongozi wake hususan Sheikh Mkuu kukosa ya kutosha. Je umewahi kumsikia hata siku moja anatoa mawaidha au hata kujibu maswali kama alivyokuwa Sheikh Mkuualiyepita marhum Hemed Bin Jumaa Bin Hemed? Katika Uislam KIONGOZI achaguliwi kwa kura bali kwa kuwa na weledi mkubwa kupita wote, hekima na umri. je shaikh wenu wa Bakwata ana weledi gani?

Ulipotaja magila ukanikumbusha Muheza kuna sehemu moja inayoitwa Amani ambako ni kijani tupu.

Tiugusie Bonde.
 

Kadogoo,

Unazidi kunikumbusha mbali cha kusikitisha zaidi baada ya Kambona kukimbilia London Nyerere akawakamata wadogo zake na kuwaweka kizuizini wamekaa miaka 10.

Mwaka 1982 ndiyo wakaachiwa baada ya Waziri Mkuu wa New Zealand, Robert Muldoon, kumuomba Nyerere awaachie.

Cc. gombesugu, Jasusi, Zali la Mentali, Boko haram,
 
Last edited by a moderator:
Ritz

Vipi maalim, unatumia simu mpya kwako nini? Naona unaongoza kwakufuta comments humu!

Jitahidi shekhe wangu, ndio mfumo wa digitali huo!
 
Ritz

Vipi maalim, unatumia simu mpya kwako nini? Naona unaongoza kwakufuta comments humu!

Jitahidi shekhe wangu, ndio mfumo wa digitali huo!

Hapana natumia mchina wangu wa siku zote tatizo network JF haipo vizuri upande wa mobile.

Yericko Nyerere,

Naomba unifahamishe hivi Oscar Kambona, alikuwa na cheo gani katika TANU?
 
Last edited by a moderator:
Angalia usije ukamuumbua mtoa darsa wako Al Akhiy Mohamed Said? Au na huyu Kambona naye alikuwa Ustaadh!
 
NAmshukuru sana muumba kwa kuzaliwa katika uisilamu pia namuomba awJaalie watu hawa wakone mwAnga huu

Njooni katik njia ya haki
 
Angalia usije ukamuumbua mtoa darsa wako Al Akhiy Mohamed Said? Au na huyu Kambona naye alikuwa Ustaadh!

Naona huu mpini umekustua mpaka unachanganyikiwa mimi naelezea unyama wa Nyerere aliyowafanyia familia ya Kambona kuwaweka kizuizini wadogo zake miaka 10 bila kuwapeleka mahakamani.

Wewe unalilia na Mohamed Said, leo mwezi wa tano umeishindwa kumuumbua umebaki kutukana ovyo Mohamed Said Khabari ingine.

Tupe jibu kwa nini Nyerere aliwatesa hao wadogo zake Kambona wakati alikosana na Kambona peke yako.
 
Last edited by a moderator:
There are currently 152 members browsing this thread,one member i.e THE BIG SHOW and 151 guests,ukumbi bado unazid kupendeza...
 
Last edited by a moderator:
kama taasisi ikiwa na kiongozi tu wa muislam lazima mtaipakazia taasisi hiyo kuwa ina udini, tena bungeni kupitia chama chenu cha chadema bungeni, hivi idadi ya wakristo pale necta wangekuwa ndio waislam mngesemaje.
taasisi ikiwa na waislam angalau moja ya kumi tu, huwa mnaipakazia kuwa ina udini, ila wakristo wakiwa wengi utasikia kimya kuwa hapo hakuna udini.
jamani ndugu zetu wakristo tulione hili na tukitaka kuondoa mitafaruku kwanza turekebishe mambo haya.
 

Ndugu yangu ukiuliza ivyo wanakuambia huwezi kumjua mtu dini yake kwa jina lake.
 
Nafyonza Ilm tu hapa nachukuwa data na facts tu za uhuru wetu wa Tanganyika makapi yote na matusi nayaacha, nafyonza jamami Mzee Said, mimi natoka tarudi tena kufyonza Ilm.

Spike Lee,

Karibu jamvini.

Ilm ni hidaya kutoka kwa Allah na ni amana.

Aliyekuwekeza amana yake akija una wajibika kumrejeshea.
Wengi hapa hawakuwa wanaijua historia hii ya kudai uhuru.

Kinachonisikitisha ni kuwa inawasononesha na kusababisha
hasama kitu ambacho sikutarajia.

Kuna mtu anazungumza kuhusu matamabiko.
Lakini unajua Mwafrika kuacha mila yake ni tabu...

Katika TANU ile ''inner circle'' walichokuwa wamekiweka mbele
ilikuwa tawaswul kwa kuwa hapa ni Allah mwenyewe anaombwa.

Nadhani umesoma visomo nilivyovieleza kuanzia 1948 hadi TANU
ilipokujakuchukua nchi.

Kuna mtu kafanya kebehi.

Hainishangazi hata kidogo mambo haya ili kuyaelewa inabidi uishi
ndani yake hapo ndipo utakapotambua athari yake.

Vinginevyo utaona si lolote si chochote.

Kama itakavyokuwa nimeeleza waliyofanya wazee wetu katika kuipigania
nchi yao.

Kipo kisa cha Sheikh Issa Nassir wa Bagamoyo.
Huyu alikuwa ''special body guard'' wa Nyerere.

Ukiaangalia picha ya Nyerere ile amebeba bango lililoandikwa ''Uhuru 1961,''
pembeni yake yuke Rajab Diwani na yuko Sheikh Issa Nassir pamoja na
watu wengine.

Sheikh Issa Nassir alikuwa bingwa wa ''seth habar...''

Spike Lee,

Katika vitu vilivyonipa utatanishi ilikuwa vipi nitaeleza katika kitabu ni
mikasa kama hii.

Nilifarajika sana pale Gombesugu aliponiambia kuwa ananielewa vyema kabisa
na yeye kapokea mengi katika hayo kutoka kwa babu yetu Shariff Attas.

Tushie hapa.
 

Jasusi,
Yawezekana kilichokusudiwa na Gombesugu ni kundi la Lumumbaists la akina Kabila.

Kabla yas kusema unapuuza ingekuwa vyema ukataka athibitishe kauli yake.

Haiyumkiniki mtu mwenye uwezo wa ngazi ya Gombesugu akapuuzwa kama Mohamed
Said.


Huu mnakasha wenu umerejesha uhaia barzani.
Msitupunje kwa sababu ndogondogo za makosa ambayo kila binadamu lazima ayafanye.

Sitaki kusema chochote kuhusu kitabu cha Dr Harith Ghassany kwa kuwa mimi nilikuwa
mtafiti msaidizi katika utafiti ule.
 
Mkuu hargeisa pia usisahau kumshukuru Mungu kwa kuzaliwa Msomali nchi ya waIslamu watupu lakini isiyotawalika wala kukalika kwa amani na utulivu.

NAmshukuru sana muumba kwa kuzaliwa katika uisilamu pia namuomba awJaalie watu hawa wakone mwAnga huu

Njooni katik njia ya haki
 
Last edited by a moderator:

Sheikh Mohammed,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Kwani unafikiri hajui!? Anachofanya ni kufurukuta na kuzikimbia zile hoja nilizomjibu na kukimbilia kwenye kile kibwagizo nilichompa cha Lumumba.

Hiyo Amerika,sisi tunaitembea na kujiua Historia yake kiundani tangia dahri na mpaka kesho na tuna connections zoote muhimu za kitaaluma pale.

Hizo habari za Lumumba/Kongo,mimi binafsi nalipata kuzungumza kwa kina na Prof. G. Nzongola-Ntalaja mtaalamu aloboboea wenye taaluma ya Afrikan and Afrikan Amerikan History.

Embu angalia,huyo jamaa yako ati anadai kutaka kunirekebisha mimi, wakti wala hata hajui hiyo 1960 tarehe anayodai yeye kuwa Lumumba ndo alokufa si ya kweli. Kwa kifupi Lumumba hiyo 1960 alifanza ile European Tour na alifika mpaka New York. Aliuliwa kinyama ule mwaka ulofata 1961. Hizi ni documents mahiri kutoka kwa MI6 na kwa sasa zipo wazi(declassified kwa atakae kuziona).

Nahisi kilichomuuma,ni ile mimi kubainisha uharamia wa wale Wakatoliki wake alotaka kuwa-glorify hapa jamvini/JF.

Haina neno,nipa fursa nimnyooshee maneno kiduchu.

Ahsanta.
 


gombesugu
Jamaa wanafanya mchezo na akili za madrasa hao...
Wape mipini...
 
Last edited by a moderator:
Mohamed,
Kama ni kundi la akina Kabila, basi angesema hivyo. Jinsi alivyoandika kunaweza kutokea mwendawazimu mmoja akisoma hilo bandiko akaanza kutangaza kuwa Nyerere alishirikiana na Kennedy kumuua Lumumba. Tumeona shutuma nyingi sana juu ya Nyerere katika mabandiko ya akina Zali la Mentali, mengi yakiwa bila misingi au uthibitisho. Kabila alikuwa mfuasi wa Lumumba. Na Kabila adui wake alikuwa ni Mobutu, aliyemuua Lumumba na kupachikwa uongozi wa nchi na CIA. Siwezi kumpuuza Gombesugu hata kidogo ndio maana nimeona afadhali nimjibu tuendelee na mnakasha.
 

Ok, so I make a mistake of 1960 instead of 1961. What I know is that Lumumba was killed just before our independence. And it is a known fact that Nyerere did not meet Kennedy before 1963. So my point still stands.
 

Jasusi,

Wallahi,nilikuandikia majibu almost 2pages believe me!...I don't know wot happen as my message just been deleted!? Probably my laptop just playing me up!

Nitakujaribia tena kukuletea majibu yako japo kiduchu...sitafanza uungwana kama nitakwacha hivihivi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…