Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hata Lema naye darasa la 7 akili ndogo inaongoza akili kubwa.

Kubwa lao ndio kabisa usiseme! kasomea elimu ya dini na kufunzwa kila aina ya maadili lakini bila aibu wala songo alienda kupiga kampeni akitaka Urais huku kamshika mkono mke wa mtu akimtangaza ni hawara ake!
 
Nikiiona hii picha nakumbuka mbali sana kuhusu unyama aliofanyiwa Kambona yeye pamoja na ndugu zake.

In his address to the Press in London in 1991 Kambona recalls the events. " Mr Nyerere was staying with me in my cramped student accommodation. We discussed how he could avoid returning to Tanganyika to face his supporters empty handed. I managed to persuade him to state at a press conference at the East Africa House in Marble Arch that ‘The White Settlers in Tanganyika were the most reasonable in East Africa.' He agreed to do this on condition that I would suspend my law studies in London and return to Tanganyika to give him support before the National Executive Committee of TANU when he defended the "most reasonable statement."

RITZ:
Umetukumbusha mbali bro: hivi unakumbuka au kusikia kuwa kuna wakati ilikuja ndege na kurusha toka angani vipeperushi vyenye picha ya Mwalimu akiwa kashika tama na kukata tamaa! huku Kambona akifurahi! baadae ikatangazwa atakaepatikana navyo atafungwa! una habari hii?
 
Kwakweli ninalia, na sababu za kulia ni kuona jinsi gani watu wanayangalia matatizo ya jamii katika jicho la makengeza.

Kwamba hawatafuti suluhu wanatafuta mahali pakupoozea ima machungu yao binafsi au kufanya biashara zenye hatari kwa taifa hili.

Ukisoma maandishi mengi ya Mohamed ambayo yamedhihirika kujaa upotoshaji, watu wanayafumbia macho kwasababu tu pengine kuyapinga ni kupinga maandiko matakatifu. Sina sababu ya kurudia yale yote aliyopotosha lakini kila uchao kuna jambo jipya linajitokeza.

Hakuna aliyejua kuwa Sheikh maarufu alipewa nafasi na Nyerere akakataa, kinachosikika ni yeye kufanyiwa fitna.
Hakuna anayeeleza chanzo na kifo cha EAMWS kule kilipoanzia bali kifo hicho mwaka unaotajwa bila sababu za mashiko.

Hapa ndipo Mohamed ameshika akili za watu wengi na nakiri wengi kwasababu yeye ni Orator mzuri sana kiasi kwamba hatoi nafasi ya mtu kufikiria zaidi ya kumeza.

Nineshauri wale wanaodhani kuwa mtu hakamiliki bali akubaliane na Mohamed wafikirie mara mbili mbili.
Huko nyuma tumeonyesha jinsi gani ushabiki ulivyomgubika kiasi cha kutaka kuufanya ulimwengu wote ni mazuzu.

Hilo suala la Ibadan nalirudia kwasababu kuna watu hawakubali kuwa hakukuwa na kitu kama hicho.
Paper iliwasilishwa lakini maudhui yana matatizo sana. Na wala si hilo tu, tunaweza kurudi nyuma na kuangalia mambo mengi sana ambayo Mohamed ameyaandika kwa nia ya ushabiki wala si elimu.

Wickama alipojaribu kuliangalia suala kwa mtazamo wake yeye akaitwa Abu Jahil kwamba ni mhaini mkubwa.
Kila anayejaribu kuyaangalia mambo kwa mtazamo tofauti na Mohamed huyo anaondolewa katika uislam kwanza.

Watu wasichoelewa ni kuwa uislam unasiitiza katika haki na ukweli.
Kama mtu anadanganya ili kufarkanisha jamii, je huyo anautimiza uislam kama ilivyoandikwa?

Ni kwasababu za kutokuwa na independent mind ndiyo maana kuna matatizo katika jamii ya waislam.
Narudia katika jamii ya waislam na si Uislam.

Leo utasikia BAKWATA ni adui, ukweli ni kuwa ndani ya makundi mbali mbali kuna uhasama ambao unasubiri tu BAKWATA iondoke ili iuhasama huo ushamiri haswa.

Hebu niulize, hivi kamati ya mali za waislam inatetea mali zipi zaidi ya zile zilizohalifiwa na waislam?
Kuna kiwanja kimeuzwa na waislam, kikanunuliwa na waislam leo tunaambiwa ni kutokana na mfumokristo.

Kuna habari kuwa BAKWATA haina support ya waislam, sasa kama haina na inajulikana ni kibaraka wa serikali kwanini basi serikali ishikilie watu 3 au 7 na kwa masilahi gani. Kama BAKWATA haina support basi isingekuwepo lakini uwepo wake una maana ya kuungwa mkono. Iwe sahihi au la ukweli utabaki kuwa wanaungwa mkono na waislam kama waislam wasiounga mkono. Uislam na waislam kuna wakati havitegemeani. Baurbaru ameeleza usilam ni nini na uumini ni nini.

Kuna matatizo BAKWATA, lakini basi lazima watu wawe wakweli kuwa si BAKWATA tu hata ndani ya Baraza kuu kuna matatizo. Haiwezekani baraza hilo liwe na taasisi lukuki na taasisi hizo chini ya baraza ziendelee kupingana.

Njia rahisi ya kuficha ukweli ni kusingizia mfumo na wala si kutafuta chanzo halisi cha matatizo.

Ningedhani kuwa ni wakati sasa wa waislam wa Tanzania kufanya haya ili kuweza kupata suluhu ya kweli
1. Kwanza, baadhi yao kuachana na chuki kwasababu si sehemu ya uislam
2. Kukubali kuwa suluhu ya matatizo yao itatokana na wao wenyewe.

3. Kukubali kushirikiana kama inavyoamrisha dini na hapa naomba kusahihishwa, washikamane katika kamba ya mwenyezi mungu.

4. Wakubali mabadiliko na wakaribishe wasomi katika kuongoza taasisi zao.
a) wasomi wa dini wachukue majukumu ya dini na wao ndio waongeze sehemu hiyo muhimu ya imani
b)wasomi wa elimu zingine wapewe nafasi za kuongoza taasisi ili kupata viongozi wenye weledi kwa nyakati tulizo nazo
Huu si wakati wa kuwa na viongozi wahamasishaji wa vurugu, bali wenye vision na mission.

5. Waislam wakatae kurubuniwa na makundi yanayochochea hisia, chuki na vurugu kwani Usilam hausemi kuhusu uzushi, uongo, unafiki na farki. Badala yake Uislam unapinga hayo.

6. Huu ni wakati wa kufikiri kulingana na nyakati. Haina maana kufikiri kuhusu chuo kikuu cha kufikirika wakati chuo kikuu kilichopo kina matatizo. Kwanini watu wasielekeze nguvu zao kule kuliko hai bali watumie muda wao kufikiria kitu cha kuaminishwa ambacho hakina maelezo yanayojitosheleza.

7. Waislam waitimize dini yao kwa upendo, kwani uislam ni amani na upendo. Wasione haya kukemea maovu hata kama yanafanywa na waislam wenzao. Mathalan, watu wanaona haya kusema kuwa alichokisema Ilunga si sahihi wanabaki kutafuta sababu za maalumaa. Kwa mwislam ukweli ni haki anayopaswa kutendewa na kuitenda.

8. Waislam wajiulize kwanini baadhi yao hasa wa madhehbu mengine kama Shia, Ismaili wanafanya vizuri na kwanini wale wengine wawe mafundi na manguli wa vurugu bila kuwa na mchango mwingine wa maana katika jamii zao.(Nitarukiwa hapa, nasimama na kauli yangu)

Ni wakati wa kutenda yale yalihimizwa na kuacha yaliyokatazwa kama ilivyoandikwa

Gombesugu karibu sana Kicheba kwa mzee Mhina . Inshallah nimekuandalia nguru(siyo Nguruvi).
Panapo majaaliwa nitakuwa barabara ya 10 kabla ya kurudi Magila. Ninahamu sana na Ngogwe, kibandameno na Mahiza.

Bonde kwema atakaye na aje
.

Nguruvi3,

Siku zote huwezi zungumzia jambo usilolijuwa au usilokuwa na ujuzi nalo hususan hili la BAKWATA. Kwa mtu mwingine anaweza akaona ni kawaida tu lakin kwa wenyewe au mgeni linatia mashaka makubwa sana. Mimi nakwambia ni LAZIMA kiongozi wa Serikali katika ngazi ya Kitaifa, mkoa na Wilaya kuswali swala ya IDD katika misikiti ya BAKWATA na si kwingineko. Mimi nimeyaona hayo nilipokuwa Mwanza. Hivyo utajiuliza kuna uhusiano gani kati ya Bakwata na Serikali.

Au jaribu tu kuangalia rais au makamo wake wakti wa swala ya Eid anaswali msikiti gani au hata kama atahudhuria baraza la Idd litakuwa limeandaliwa na nani?

lakin BAKWATA ina matatizo mengi ikiwemo viongozi wake hususan Sheikh Mkuu kukosa ya kutosha. Je umewahi kumsikia hata siku moja anatoa mawaidha au hata kujibu maswali kama alivyokuwa Sheikh Mkuualiyepita marhum Hemed Bin Jumaa Bin Hemed? Katika Uislam KIONGOZI achaguliwi kwa kura bali kwa kuwa na weledi mkubwa kupita wote, hekima na umri. je shaikh wenu wa Bakwata ana weledi gani?

Ulipotaja magila ukanikumbusha Muheza kuna sehemu moja inayoitwa Amani ambako ni kijani tupu.

Tiugusie Bonde.
 
RITZ:
Umetukumbusha mbali bro: hivi unakumbuka au kusikia kuwa kuna wakati ilikuja ndege na kurusha toka angani vipeperushi vyenye picha ya Mwalimu akiwa kashika tama na kukata tamaa! huku Kambona akifurahi! baadae ikatangazwa atakaepatikana navyo atafungwa! una habari hii?

Kadogoo,

Unazidi kunikumbusha mbali cha kusikitisha zaidi baada ya Kambona kukimbilia London Nyerere akawakamata wadogo zake na kuwaweka kizuizini wamekaa miaka 10.

Mwaka 1982 ndiyo wakaachiwa baada ya Waziri Mkuu wa New Zealand, Robert Muldoon, kumuomba Nyerere awaachie.

Cc. gombesugu, Jasusi, Zali la Mentali, Boko haram,
 
Last edited by a moderator:
Ritz

Vipi maalim, unatumia simu mpya kwako nini? Naona unaongoza kwakufuta comments humu!

Jitahidi shekhe wangu, ndio mfumo wa digitali huo!
 
Ritz

Vipi maalim, unatumia simu mpya kwako nini? Naona unaongoza kwakufuta comments humu!

Jitahidi shekhe wangu, ndio mfumo wa digitali huo!

Hapana natumia mchina wangu wa siku zote tatizo network JF haipo vizuri upande wa mobile.

Yericko Nyerere,

Naomba unifahamishe hivi Oscar Kambona, alikuwa na cheo gani katika TANU?
 
Last edited by a moderator:
Unazidi kunikumbusha mbali cha kusikitisha zaidi baada ya Kambona kukimbilia London Nyerere akawakamata wadogo zake na kuwaweka kizuizini wamekaa miaka 10.

Mwaka 1982 ndiyo wakaachiwa baada ya Waziri Mkuu wa New Zealand, Robert Muldoon, kumuomba Nyerere awaachie.

Cc. gombesugu, Jasusi, Zali la Mentali, Boko haram,
Angalia usije ukamuumbua mtoa darsa wako Al Akhiy Mohamed Said? Au na huyu Kambona naye alikuwa Ustaadh!
 
NAmshukuru sana muumba kwa kuzaliwa katika uisilamu pia namuomba awJaalie watu hawa wakone mwAnga huu

Njooni katik njia ya haki
 
Angalia usije ukamuumbua mtoa darsa wako Al Akhiy Mohamed Said? Au na huyu Kambona naye alikuwa Ustaadh!

Naona huu mpini umekustua mpaka unachanganyikiwa mimi naelezea unyama wa Nyerere aliyowafanyia familia ya Kambona kuwaweka kizuizini wadogo zake miaka 10 bila kuwapeleka mahakamani.

Wewe unalilia na Mohamed Said, leo mwezi wa tano umeishindwa kumuumbua umebaki kutukana ovyo Mohamed Said Khabari ingine.

Tupe jibu kwa nini Nyerere aliwatesa hao wadogo zake Kambona wakati alikosana na Kambona peke yako.
 
Last edited by a moderator:
There are currently 152 members browsing this thread,one member i.e THE BIG SHOW and 151 guests,ukumbi bado unazid kupendeza...
 
Last edited by a moderator:
kama taasisi ikiwa na kiongozi tu wa muislam lazima mtaipakazia taasisi hiyo kuwa ina udini, tena bungeni kupitia chama chenu cha chadema bungeni, hivi idadi ya wakristo pale necta wangekuwa ndio waislam mngesemaje.
taasisi ikiwa na waislam angalau moja ya kumi tu, huwa mnaipakazia kuwa ina udini, ila wakristo wakiwa wengi utasikia kimya kuwa hapo hakuna udini.
jamani ndugu zetu wakristo tulione hili na tukitaka kuondoa mitafaruku kwanza turekebishe mambo haya.
 
Ndugu yangu ukiuliza ivyo wanakuambia huwezi kumjua mtu dini yake kwa jina lake.
 
Nafyonza Ilm tu hapa nachukuwa data na facts tu za uhuru wetu wa Tanganyika makapi yote na matusi nayaacha, nafyonza jamami Mzee Said, mimi natoka tarudi tena kufyonza Ilm.

Spike Lee,

Karibu jamvini.

Ilm ni hidaya kutoka kwa Allah na ni amana.

Aliyekuwekeza amana yake akija una wajibika kumrejeshea.
Wengi hapa hawakuwa wanaijua historia hii ya kudai uhuru.

Kinachonisikitisha ni kuwa inawasononesha na kusababisha
hasama kitu ambacho sikutarajia.

Kuna mtu anazungumza kuhusu matamabiko.
Lakini unajua Mwafrika kuacha mila yake ni tabu...

Katika TANU ile ''inner circle'' walichokuwa wamekiweka mbele
ilikuwa tawaswul kwa kuwa hapa ni Allah mwenyewe anaombwa.

Nadhani umesoma visomo nilivyovieleza kuanzia 1948 hadi TANU
ilipokujakuchukua nchi.

Kuna mtu kafanya kebehi.

Hainishangazi hata kidogo mambo haya ili kuyaelewa inabidi uishi
ndani yake hapo ndipo utakapotambua athari yake.

Vinginevyo utaona si lolote si chochote.

Kama itakavyokuwa nimeeleza waliyofanya wazee wetu katika kuipigania
nchi yao.

Kipo kisa cha Sheikh Issa Nassir wa Bagamoyo.
Huyu alikuwa ''special body guard'' wa Nyerere.

Ukiaangalia picha ya Nyerere ile amebeba bango lililoandikwa ''Uhuru 1961,''
pembeni yake yuke Rajab Diwani na yuko Sheikh Issa Nassir pamoja na
watu wengine.

Sheikh Issa Nassir alikuwa bingwa wa ''seth habar...''

Spike Lee,

Katika vitu vilivyonipa utatanishi ilikuwa vipi nitaeleza katika kitabu ni
mikasa kama hii.

Nilifarajika sana pale Gombesugu aliponiambia kuwa ananielewa vyema kabisa
na yeye kapokea mengi katika hayo kutoka kwa babu yetu Shariff Attas.

Tushie hapa.
 
I almost began to take you seriously mpaka pale uliposema kuwa Nyerere alizungumza na Kennedy juu ya kumdhibiti Lumumba. Nyerere amekutana na Kennedy 1963. Lumumba ameuawa 1960. This simple fact makes everything you are claiming to be another njozi. Kuhusu Matabeleland, sina fact kuwa majeshi yetu yalishiriki. What I was saying is that if they took part Joshua Nkomo is as much to blame as anyone else. Hata ungekuwa wewe Mugabe usingeruhusu nchi iwe na majeshi mawili independent of each other. Na kuhusu racism ya Marekani every white person at one time or another has been a racist, kwa hiyo matamshi ya Jacqueline Kennedy hayana mshiko.
By the way, hivyo vitabu vyote nimevisoma ila tu kile cha Dr. Ghassan sikuweza kuendelea baada ya ukurasa wa kwanza kwa njozi zake kuhusu mapinduzi ya Zanzibar.

Jasusi,
Yawezekana kilichokusudiwa na Gombesugu ni kundi la Lumumbaists la akina Kabila.

Kabla yas kusema unapuuza ingekuwa vyema ukataka athibitishe kauli yake.

Haiyumkiniki mtu mwenye uwezo wa ngazi ya Gombesugu akapuuzwa kama Mohamed
Said.

Huu mnakasha wenu umerejesha uhaia barzani.
Msitupunje kwa sababu ndogondogo za makosa ambayo kila binadamu lazima ayafanye.

Sitaki kusema chochote kuhusu kitabu cha Dr Harith Ghassany kwa kuwa mimi nilikuwa
mtafiti msaidizi katika utafiti ule.
 
Mkuu hargeisa pia usisahau kumshukuru Mungu kwa kuzaliwa Msomali nchi ya waIslamu watupu lakini isiyotawalika wala kukalika kwa amani na utulivu.

NAmshukuru sana muumba kwa kuzaliwa katika uisilamu pia namuomba awJaalie watu hawa wakone mwAnga huu

Njooni katik njia ya haki
 
Last edited by a moderator:
Jasusi,
Yawezekana kilichokusudiwa na Gombesugu ni kundi la Lumumbaists la akina Kabila.

Kabla yas kusema unapuuza ingekuwa vyema ukataka athibitishe kauli yake.

Haiyumkiniki mtu mwenye uwezo wa ngazi ya Gombesugu akapuuzwa kama Mohamed
Said.

Huu mnakasha wenu umerejesha uhaia barzani.
Msitupunje kwa sababu ndogondogo za makosa ambayo kila binadamu lazima ayafanye.

Sitaki kusema chochote kuhusu kitabu cha Dr Harith Ghassany kwa kuwa mimi nilikuwa
mtafiti msaidizi katika utafiti ule.

Sheikh Mohammed,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Kwani unafikiri hajui!? Anachofanya ni kufurukuta na kuzikimbia zile hoja nilizomjibu na kukimbilia kwenye kile kibwagizo nilichompa cha Lumumba.

Hiyo Amerika,sisi tunaitembea na kujiua Historia yake kiundani tangia dahri na mpaka kesho na tuna connections zoote muhimu za kitaaluma pale.

Hizo habari za Lumumba/Kongo,mimi binafsi nalipata kuzungumza kwa kina na Prof. G. Nzongola-Ntalaja mtaalamu aloboboea wenye taaluma ya Afrikan and Afrikan Amerikan History.

Embu angalia,huyo jamaa yako ati anadai kutaka kunirekebisha mimi, wakti wala hata hajui hiyo 1960 tarehe anayodai yeye kuwa Lumumba ndo alokufa si ya kweli. Kwa kifupi Lumumba hiyo 1960 alifanza ile European Tour na alifika mpaka New York. Aliuliwa kinyama ule mwaka ulofata 1961. Hizi ni documents mahiri kutoka kwa MI6 na kwa sasa zipo wazi(declassified kwa atakae kuziona).

Nahisi kilichomuuma,ni ile mimi kubainisha uharamia wa wale Wakatoliki wake alotaka kuwa-glorify hapa jamvini/JF.

Haina neno,nipa fursa nimnyooshee maneno kiduchu.

Ahsanta.
 
gombesugu
Jamaa wanafanya mchezo na akili za madrasa hao...
Wape mipini...
 
Last edited by a moderator:
Jasusi,
Yawezekana kilichokusudiwa na Gombesugu ni kundi la Lumumbaists la akina Kabila.

Kabla yas kusema unapuuza ingekuwa vyema ukataka athibitishe kauli yake.

Haiyumkiniki mtu mwenye uwezo wa ngazi ya Gombesugu akapuuzwa kama Mohamed
Said.

Huu mnakasha wenu umerejesha uhaia barzani.
Msitupunje kwa sababu ndogondogo za makosa ambayo kila binadamu lazima ayafanye.

Sitaki kusema chochote kuhusu kitabu cha Dr Harith Ghassany kwa kuwa mimi nilikuwa
mtafiti msaidizi katika utafiti ule.
Mohamed,
Kama ni kundi la akina Kabila, basi angesema hivyo. Jinsi alivyoandika kunaweza kutokea mwendawazimu mmoja akisoma hilo bandiko akaanza kutangaza kuwa Nyerere alishirikiana na Kennedy kumuua Lumumba. Tumeona shutuma nyingi sana juu ya Nyerere katika mabandiko ya akina Zali la Mentali, mengi yakiwa bila misingi au uthibitisho. Kabila alikuwa mfuasi wa Lumumba. Na Kabila adui wake alikuwa ni Mobutu, aliyemuua Lumumba na kupachikwa uongozi wa nchi na CIA. Siwezi kumpuuza Gombesugu hata kidogo ndio maana nimeona afadhali nimjibu tuendelee na mnakasha.
 
Sheikh Mohammed,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Kwani unafikiri hajui!? Anachofanya ni kufurukuta na kuzikimbia zile hoja nilizomjibu na kukimbilia kwenye kile kibwagizo nilichompa cha Lumumba.

Hiyo Amerika,sisi tunaitembea na kujiua Historia yake kiundani tangia dahri na mpaka kesho na tuna connections zoote muhimu za kitaaluma pale.

Hizo habari za Lumumba/Kongo,mimi binafsi nalipata kuzungumza kwa kina na Prof. G. Nzongola-Ntalaja mtaalamu aloboboea wenye taaluma ya Afrikan and Afrikan Amerikan History.

Embu angalia,huyo jamaa yako ati anadai kutaka kunirekebisha mimi, wakti wala hata hajui hiyo 1960 tarehe anayodai yeye kuwa Lumumba ndo alokufa si ya kweli. Kwa kifupi Lumumba hiyo 1960 alifanza ile European Tour na alifika mpaka New York. Aliuliwa kinyama ule mwaka ulofata 1961. Hizi ni documents mahiri kutoka kwa MI6 na kwa sasa zipo wazi(declassified kwa atakae kuziona).

Nahisi kilichomuuma,ni ile mimi kubainisha uharamia wa wale Wakatoliki wake alotaka kuwa-glorify hapa jamvini/JF.

Haina neno,nipa fursa nimnyooshee maneno kiduchu.

Ahsanta.

Ok, so I make a mistake of 1960 instead of 1961. What I know is that Lumumba was killed just before our independence. And it is a known fact that Nyerere did not meet Kennedy before 1963. So my point still stands.
 
Mohamed,
Kama ni kundi la akina Kabila, basi angesema hivyo. Jinsi alivyoandika kunaweza kutokea mwendawazimu mmoja akisoma hilo bandiko akaanza kutangaza kuwa Nyerere alishirikiana na Kennedy kumuua Lumumba. Tumeona shutuma nyingi sana juu ya Nyerere katika mabandiko ya akina Zali la Mentali, mengi yakiwa bila misingi au uthibitisho. Kabila alikuwa mfuasi wa Lumumba. Na Kabila adui wake alikuwa ni Mobutu, aliyemuua Lumumba na kupachikwa uongozi wa nchi na CIA. Siwezi kumpuuza Gombesugu hata kidogo ndio maana nimeona afadhali nimjibu tuendelee na mnakasha.

Jasusi,

Wallahi,nilikuandikia majibu almost 2pages believe me!...I don't know wot happen as my message just been deleted!? Probably my laptop just playing me up!

Nitakujaribia tena kukuletea majibu yako japo kiduchu...sitafanza uungwana kama nitakwacha hivihivi tu.
 
Back
Top Bottom