Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Vema sana ndugu,

Lakini kuna hoja hapo nimeziweka kutokana na madai ya wewe kuwa ni safari ya pili ndio kanisa lilisaidia,

Zifanyie hisani kwakuzijibu mzee wangu!
 
By Mvaa Tai

Mkuu naona mmeacha mada mnajadiri mtu, mimi naamini dunia isingekuwa na waislam ingekuwa na amani sana, zaidi ya 90% ya milipuko na mauaji dunini yanayofanywa na magaidi yanahusiana na uislam kwa jina la JIHADi, hivi ni kwanini mnatumia mda mwingi kujadiri fitna na chuki tu? Bokoharam, Alshabab, Alqaeda, Hezbolah..............Hamas ni matokeo ya mafundisho yenu misikitini, isingekuwa uislam damu nyingi watoto na watu wasio na hatia zisingekuwa zinaendelea kumwagika duniani


Mkuu, hii sio kweli, waingereza kwa miaka mingi walichinjana kule Irend kwa jina la kiristo!

Gwalihenzi;
Huyu mvaa tai ni wa kumpuuza! mtu anaekashifu Dini ya Kiislamu inayokuwa kwa kasi kubwa kuliko dini yoyote hapa duniani ni wa kumpuuza tu!
 

Yericko we ni kiboko! umealikwa Pentagon! tufanyie hisani utuwekee na picha basi ulizopiga Pentagon!
 
Yericko we ni kiboko! umealikwa Pentagon! tufanyie hisani utuwekee na picha basi ulizopiga Pentagon!

Kwamara ya sita tangu tuanze mjadala huu unaomba tena picha za tukio hilo!

Swali moja kwako,

Je uliwahi kuomba picha zangu nje ya hilo?

Zitakusaidia nini wewe ukiziona?
 
Kwamara ya sita tangu tuanze mjadala huu unaomba tena picha za tukio hilo!

Swali moja kwako,

Je uliwahi kuomba picha zangu nje ya hilo?


Zitakusaidia nini wewe ukiziona?

Ili niamini kweli ulialikwa Pentagon! hilo ni ombi tu una haki ya kukataa kutuwekea picha hakuna ugomvi mkuu!
 
Ili niamini kweli ulialikwa Pentagon! hilo ni ombi tu una haki ya kukataa kutuwekea picha hakuna ugomvi mkuu!

Oooho hehee ondoa shaka,

Nilidhani unataka kupiga kisomo kwenye hizo picha!

Ondoa hofu mkuu nimekataa kuziweka hapa au popote katika mitandao ya kijamii
 
Boko Haram,
Kwanini Tanzania Daima lina sifa gani inayomwenea Jericko?

Mzee MS huyu mtu ni mjanja sana nafikiri wewe unatembelea huu uzi tu laitiungekuwa unapitia uzi zote huku jf ungemjua huyu jamaa ni nani, hawa ni mapro wa hiko kikundi kinacho toa hilo gazeti ni jamaa zake nje ya hapo hana ubavu. Kaombwa picha za ushaidi kuhusu alivyo kuwa anaongea na hao watu kuhusu ugaidi povu linamtoka eti picha zitakusaidia nini wala hizo picha hana mjanja mjanja tu na akiziweka naritadi sasa hivi!
 

Picha ni privacy yangu, je inamafaa gani hapa?

Why hatukai katika hoja badala yake tunatuama kwa watu?
 

Boko Haram,
Mfano huo haufai.

Mimi nimemuuliza maswali yale kwa kuwa nimealikwa na hawa Waamerika kwa
hiyo kwa ufupi nawajua kwa kiasi changu.

Kwanza mpaka umepotoa chekeche la kuwa wakuchague wewe ipo shughuli
pevu sana tena sana.

Hawabahatishi.
Wakikualika kwao wana jambo wanalitaka kulijua na wana uhakika una ujuzi.

Sasa Yericko...
Bado mwanafunzi anasoma...

Wenyewe wana msemo,''There is no free lunch in America.''
Muamerika akikualika chakula jua anataka kitu kwako.

Lakini kubwa zaidi mtu wa karibu sana na mimi ni alumni wa
vyuo vikuu vikubwa viwili Marekani na amesoma Peace Studies.

Kwa hiyo nina mwalimu ya masuala haya ndani nyumbani siendi
kuuliza nje wala sina haja ya kuhangaika na google.
 
Vema sana ndugu,

Lakini kuna hoja hapo nimeziweka kutokana na madai ya wewe kuwa ni safari ya pili ndio kanisa lilisaidia,

Zifanyie hisani kwakuzijibu mzee wangu!


Yericko,

Mimi ushauri wangu ni kuwa wewe umeeleza uyajuayo katika historia ya TANU
na mimi kwa upande wangu nimeeleza niyajuayo.

Hii inatosha kwani wasikilizaji wametusoma.
Wao tuwaache waamue ni nani wanamuamini.

Hapana haja ya sie tukavutana pasi na sababu ya maana sana.
Tukubali kutokubaliana na tuendelee na mengine.

Nini fikra yako katika hili?
 

Sihitaji kujua serikali inatumia chombo kipi. Ninachojua ni kwamba inawasiliana na wakristo kutumia vyombo au chombo ambacho wakristo wamekiunda wenyewe. Hawakuundiwa na Dola.

Kusajiliwa na Serikali ni kuruhusiwa kisheria kuendesha shughuli zao iwe kama NGO au vinginevyo. Hivyo vyote nilivyovitaja hapo juu vimesajiliwa. EAMWS ilivunjiwa usajili wake kwa mabavu na Nyerere na mpaka leo Waislamu wanashindwa kuanzisha vyombo vyao ambavyo vinatambuliwa na Serikali kama nilivyoelezea na ambavyo vina uhuru wa kuungana na vyombo vingine duniani kama ilivyo kwa vyombo vya Kikristo.

Kama sio kibano cha Serikali, basi sio tu EAMWS bali Waislamu hapa tunapoongea wangekuwa na vyombo vyao ambavyo vinawaunganisha mpaka kwenye ngazi ya Africa na duniani pia kama ilivyo kwa vyombo vya kikristo.
 
Huu upuuzi ulioandika ndiyo umepewa mualiko Marekani...Ha haa haa haa.
gombesugu, Zali la Mentali, THE BIG SHOW, Kadogoo,
 

Ndiyo maana nilimuuliza kama alikuwa guided na scope ya kitabu alichotaka kuandika akashindwa kuelewa nina maana gani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Yaani huyu jamaa hata kusimulia mapenzi yake na mke wake kwenye kitabu hawezi.
 

The Big Show,

Katika ujana wangu kulikuwa na kundi moja la muziki likkitwa Earth, Wind and Fire.
Hawa jamaa walikuwa na nyimbo yao moja nikiipenda ikkitwa ''Illusions.''

Moh Said wacha kabisa..!
Me nadhan hizi bur'dani hazina kifani,wacha tuburudike tuh na "illusions"...
Sisi tupo hapa tunasoma maarifa na sio laghawi laghawi..!
 
Huu upuuzi ulioandika ndiyo umepewa mualiko Marekani...Ha haa haa haa.
gombesugu, Zali la Mentali, THE BIG SHOW, Kadogoo,

Nikweli huo ndio upuuzi ulionifikisha katika ground zero!

Ndio huo ulinikutanisha uso kwa uso na Bob Beqeen

Huo ndio ulionifikisha mezani pamataifa!

Wasomi hukaa kwenye mantiki sio kwenye herufi!

Uzuri nikuwa umeelewa mantiki
 
Nikweli huo ndio upuuzi ulionifikisha katika ground zero!

Ndio huo ulinikutanisha uso kwa uso na Bob Beqeen

Huo ndio ulionifikisha mezani pamataifa!

Wasomi hukaa kwenye mantiki sio kwenye herufi!

Uzuri nikuwa umeelewa mantiki


Tafuta wa kuwaongopea wewe...
Hivi hicho ulichokiandika umekiona lakin??
Umejishusha sana,tena sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…