Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


yericko,

Mimi ni mmoja wa walionufaika sana na huu mnakasha kiasi cha kunipelekea kwa udi na uvumba ninunue kitabu cha Mohamed Said na kile cha kivukoni na vyote nimevipitia kwa kina sana.

kama kweli na utayakinisha kwa moyo kabisa kusoma vitabu vyote utaona kuna tofauti kubwa ya weledi na uandishi. Kitabu cha kivukoni kimemwelezea zaidi Nyerere kama kiongozi na muasisi wa Tanu na uhuru wa tanganyika. Kimeeleza kwa kina sana harakati zake za kutafuta uhuru na chama cha TANU.

Utaona waasisi wengine wa Tanu wameelezwa kwa ufupi sana mstari mmoja au miwili na mara nyingi wameelezwa pale walipokuwa katika tukio na Nyerere.

Mpaka nimekimaliza kitabu hicho kukisoma mara tatu SIAMINI kabisa kama kimeandikwa na wasomi na waliofanya utafiti kabla kuandika na nashawishika kabisa kusema Kimeandikwa na watu wale waliokuwa wanataka kujipendekeza kwa Nyerere kwa kupotosha mengi sana.

Abdul na nduguye wametajwa kwa ufupi sana lakin kuna wengine ambao hawakutajwa kabisa kama akina Mshume Kihate na wengine wengi ambao pamoja na kujitolea kwa hali na mali kumsaidia JKN kama kiongozi lakin kitabu hicho kimewaweka pambeni.

Binafsi kabisa na hata mke wangu alipokisoma tulishawishika kabisa kusema JINA la KITABU lilikosewa. Kilitakiwa kiitwe HISTORIA YA NYERERE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA na sio Historia ya uhuru wa Tanganyika.

Je sijui mwenzangu umekisoma umekionaje?
 

Ha ha haa... umetuweka kwenye "shit list" ni sawa ni haki yako na nilijua ule mpini aliokurekebisha The Big Show utakusumbua kisaikolojia hivi ulivyo jisifu ndio unaandika upumbavu kama ule halafu unategemea sisi tunyamaze lahasha hatukubali tutakujibu kila utakapokosea.
 

Mwalimu JK Nyerere aliwahi kusema katika moja ya hotba zake akanena Wazanaki wanasema " UBUBISUBISU OBUWERE EKIRO KIRIMBURA" akiwa na maana ya MFICHAFICHA MARADHI KILIO KITAMFICHUA.Thanks kwa kuligundua hilo kama kiini cha magandamizo kwa imani moja dhidi ya nyingine kunakofanywa na Serikali ya JMTz kwa upande wa Bara.
 

Hapo ndipo unapobainisha wazi uongo wa huyu ndugu Mohamed Said,

Kimsingi hoja ngumu kama hizo hatazigusa hata kidogo!

Atakimbilia kusema "nanyie andikeni kitabu"

Tumeshasema sana kuwa huyu mtu ni muongo na ni mchonganishi sana,

Abdul Sykes na Nyerere ni vitu viwili tofauti kabisa katika anga za siasa ndani na nje ya Tanganyika,

Mwalimu akihudumu katika siasa tangu AA mwaka 1945 tena kwa ngazi ya juu kabisa yani mkuu wa jimbo, huku Abdul Sykes akisikika baada ya mapinduzi ya 1948 tena ni TAA nasio AA,

Na sifa iliyomkuza Abdul Sykes mwaka ule wa 1948 sio siasa (technical Political) bali ngumi alizozionyesha siku ile ya mapinduzi ya TAA!
 

Ha ha haa... akaonane na Obama kwa upuuzi kama ule alioandika si bora yule mwenzake ameamua kuandika kitabu cha mapenzi(MWANAKIJIJI)kaingia mitini sijui kaaenda kuandaa part 2 ya kitabu chake cha mapenzi Yericko hii sio fani yako waachie wenye fani "hapa umedandia gari ya mashindano kwa mbele"
 

The Big Show,

Katika ujana wangu kulikuwa na kundi moja la muziki likkitwa Earth, Wind and Fire.
Hawa jamaa walikuwa na nyimbo yao moja nikiipenda ikkitwa ''Illusions.''

kosa kubwa ewe mtetzi wa uislamu.. Katika quran kuna aya zaidi ya 4 zinazoharamisha muziki na nyimbo, sasa muislamu wewe sijui unataka kutueleza nini hapo juu naomba chukua muda sikiliza mahubiri ya sheikh Nurdin Kishk. Au kama hauna nitakusaidia kukuwekea Allah amekataza kupenda mambo ya ZURI
 

akiweza kupangua hizo hoja mie najiunga na kusapoti ngano zake kuanzia leo.

Ila nasikitika badala ya kujibu atasema na nyie andikeni kitabu,
keshazoea kudanganya watu type kina ponda wasioweza kufikiri na badala yake wanaongozwa na mihemko ya kidini
 

Remote,
Umesema kweli kabisa hizo zilikuwa ''Roaring 1960s'' wazee walipata tabu
sana na vijana hapa Dar es Salaam.

Zilikuwa enzi za Sal Davis Chipukizi Club, Hussein Shebe, Henin Seif, Raymond
Chihota na wengine wengi.

Lakini tulikuja kuwa wakubwa na yote ya utoto tukaacha nyuma.
Zimebaki kumbukumbu.

Once in a while in my travels I would find a guitar or a piano in a
house of a host and I will pick up the guitar and play some few
chords or sit on a piano and play some old songs...to my host's
dismay!

Life is like that.
 
akiweza kupangua hizo hoja mie najiunga na kusapoti ngano zake kuanzia leo.

Ila nasikitika badala ya kujibu atasema na nyie andikeni kitabu,
keshazoea kudanganya watu type kina ponda wasioweza kufikiri na badala yake wanaongozwa na mihemko ya kidini

Remote,
Nakuomba msome Ally Sykes hapo chini anasema nini kuhusu harakati za kudai uhuru.

Kuna vitu labda ulikuwa huvijui:

''When in August 1951, the United Nations Visiting Mission came to Tanganyika for the third time to determine if we were ready to rule ourselves, TAA submitted a memoranda to the mission.

As a result of this Dr. Kyaruzi was transferred to Nzega.'

The post of the president became vacant and Abdulwahid became secretary and acting president of the Association.

TAGSA also submitted a petition to the Visiting Mission to draw the attention of the United Nations to the problems of colonialism in
Tanganyika.
I signed the memorandum as secretary and Rashid Kawawa, Stephen Mhando, Othman Chande and Leonard Bakuname signed as committee members.

Since TAGSA had submitted a petition, its leadership that is myself, Kawawa and Dr. Mwanjisi were also served with letters of transfer.

The transfer of TAGSA leadership was punishment for challenging the government.

For a while it seems as if the African leadership was going to disintegrate.


The Visiting Mission received TAGSA memorandum but nothing positive came out of it.
As secretary I took up some of the issues raised in our memorandum with the Chief Secretary Bruce Hutt.

I particularly impressed upon him on the logic behind recruiting Indians from the sub-continent, which was expensive, while the government could easily recruit African within the African region.

Bruce Hutt also ignored this letter.

This letter shocked the Chief Secretary, Bruce Hutt. He wrote back to TAGSA reminding us that there was no question of the United Nations exercising any authority over
Tanganyika.

I did not receive any reply from the government. I wrote another letter to the Chief Secretary and for the first time in the history of our struggle against British rule, without mincing my words and without any ambiguity, I questioned British jurisdiction over our country.

I told the Chief Secretary that legally it is the United Nations Organisation, which should administer
Tanganyika and not Britain.

It is generally believed that the people of
Tanganyika asserted their mandate status in March 1955 when Nyerere spoke before the Trusteeship Council.

But we had established our status as amandate territory in 1950 when Abdulwahid, Hamza Mwapachu, Stephen Mhando and Dr. Kyaruzi took over the leadership of TAA.

Very few people are aware that the speech, which Nyerere delivered before the Trusteeship Council of the United Nations in 1955, was in TAA files since 1950.''
 


Nipo hapa Nakula zangu Poncon na juice ya muwa bariiid huku nakusoma,nasubiri Pilau la birian mama Big show analianda leo mapemaa,karibu sana huku Tabata Kimanga Al akhiy tujumuike,
Nakusoma sana...
 
Nipo hapa Nakula zangu Poncon na juice ya muwa bariiid huku nakusoma,nasubiri Pilau la birian mama Big show analianda leo mapemaa,karibu sana huku Tabata Kimanga Al akhiy tujumuike,
Nakusoma sana...

Mi nilidhani upo Mtwara, kumbe upo Tabata Kimanga...

Kwa hiyo kumbe huwa unahamasisha watu kupitia keyboard hapo Tabata Kimanga kwamba Gas haitoki

halafu watu wakianza kupokea vipigo kwa wapumbavu wenzako polisi, we upo unakula popcorn ukishushia na juisi ya miwa hapo Kimanga.
 

Barubaru,
Ally Sykes ana haya ya kusema:

''The life history of my late brother concealed from the people by TANU the party he founded has already been written
and published.

I believe there is now no dispute as to his role in founding of TANU in order to end foreign domination in
Tanganyika.

I believe no one now will have the courage to ridicule our efforts.

Yet still there are many patriots who as I speak more than fifty years after founding TANU, still remain forgotten.

I have now decided to tell my story because I believe I have something to share with those who were not there in those
difficult days when our country was under colonial rule.

I have deliberately tried although with much difficult to avoid repetitions of events which appear in my brother's biography.

I have tried in this narration not to repeat that which has already been detailed in the biography of Abdulwahid since that
information although suppressed for many years is now I believe common knowledge.

In telling my story I believe people will understand the path, which this country had trodden.''
 
Yericko Nyerere,

Umeishajiuliza kwa nini wenzako wamekutosa kwenye kitabu chako cha ugaidi? wewe kwenye anga za ugaidi huna lolote bo Hebu wasome Wamarekani wenyewew hapa chini...
Colin Powell on the Bush Administration's Iraq War Mistakes


On the evening of Aug. 5, 2002, President Bush and I met in his residence at the White House to discuss the pros and cons of the Iraq crisis. Momentum within the administration was building toward military action, and the president was increasingly inclined in that direction.




I had no doubt that our military would easily crush a smaller Iraqi army, much weakened by Desert Storm and the sanctions and other actions that came afterward. But I was concerned about the unpredictable consequences of war. According to plans being confidently put forward, Iraq was expected to somehow transform itself into a stable country with democratic leaders 90 days after we took Baghdad. I believed such hopes were unrealistic. I was sure we would be in for a longer struggle.

I had come up with a simple expression that summarized this idea for the president: "If you break it, you own it." It was shorthand for the profound reality that if we take out another country's government by force, we instantly become the new government, responsible for governing the country and for the security of its people until we can turn all that over to a new, stable, and functioning government. We are now in charge. We have to be prepared to take charge.

"Taking Charge" is one of the first things a young Army recruit learns. The new soldier is taught how to pull guard duty-a mundane but essential task. Every recruit memorizes a set of rules describing how a guard performs his duty to standards. These rules are collectively known as the "General Orders."

One of those guard-duty General Orders has stuck deeply in my head all these years and become a basic principle of my leadership style: a guard's responsibility is "to take charge of this post and all government property in view."

In the days, weeks, and months after the fall of Baghdad, we refused to react to what was happening before our eyes. We focused on expanding oil production, increasing electricity output, setting up a stock market, forming a new Iraqi government. These were all worth doing, but they had little meaning and were not achievable until we and the Iraqis took charge of this post and secured all property in view.

Colin Powell (Jake Chessum for Newsweek)
The Iraqis were glad to see Saddam Hussein gone. But they also had lives to live and families to take care of. The end of a monstrous regime didn't feed their kids; it didn't make it safe to cross town to get to a job. More than anything, Iraqis needed a sense of security and the knowledge that someone was in charge-someone in charge of keeping ministries from being burned down, museums from being looted, infrastructure from being destroyed, crime from exploding, and well-known sectarian differences from turning violent.

When we went in, we had a plan, which the president approved. We would not break up and disband the Iraqi Army. We would use the reconstituted Army with purged leadership to help us secure and maintain order throughout the country. We would dissolve the Baath Party, the ruling political party, but we would not throw every party member out on the street. In Hussein's day, if you wanted to be a government official, a teacher, cop, or postal worker, you had to belong to the party. We were planning to eliminate top party leaders from positions of authority. But lower-level officials and workers had the education, skills, and training needed to run the country.

The plan the president had approved was not implemented. Instead, Secretary Donald Rumsfeld and Ambassador L. Paul Bremer, our man in charge in Iraq, disbanded the Army and fired Baath Party members down to teachers. We eliminated the very officials and institutions we should have been building on, and left thousands of the most highly skilled people in the country jobless and angry-prime recruits for insurgency. These actions surprised the president, National Security Adviser Condi Rice, and me, but once they had been set in motion, the president felt he had to support Secretary Rumsfeld and Ambassador Bremer.

We broke it, we owned it, but we didn't take charge-at least until 2006, when President Bush ordered his now famous surge, and our troops, working with new Iraqi military and police forces, reversed the slide toward chaos.

Unreliable Sources

You can't make good decisions unless you have good information and can separate facts from opinion and speculation. Facts are verified information, which is then presented as objective reality. The rub here is the verified. How do you verify verified? Facts are slippery, and so is verification. Today's verification may not be tomorrow's. It turns out that facts may not really be facts; they can change as the verification changes; they may only tell part of the story, not the whole story; or they may be so qualified by verifiers that they're empty of information.



Mke wa Rais huyo Laura Bush akiwa amevaa suti nyekundu na mikufu miwili ya mapambo ya lulu shingoni mwake alikuwa katika chumba cha Caucus katika jengo la Ofisi ya Seneti la Russe mjini Washingtoni
Huu kama siyo upuuzi ni nini hujui chochote kuhusu ugaidi ngoja nikupe darsa hili ujue GAIDI wa kwanza duniani ni Marekani ambayo unajitapa hapa walikualika...Wanajamvi wataamua wenyewe nani gaidi.


Over the years America has waged war with countries, forcibly occupied territories and murdered millions of men, women and children. Dropped nuclear bombs on Japan, destroyed Vietnam's ecosystem with Agent Orange, and has created such an atmosphere in Iraq that radiation levels have been compared to twenty five thousand bombs used in Nagasaki.
As I take you on this journey through pain and suffering, we shall see an insight into American wars, why is there war and what are the benefits of war? More importantly we will run through the effects of war on the common citizens of the country.
I am letting you know now that this article may not be something that you may want to know as it can cause a deep state of sorrow. I started doing research for this post, more than two weeks ago. I did not want to proceed writing the article then, as I did not want my outrage to mess with the facts.
Agent Orange in Vietnam
The first case I shall start with is the case of Agent Orange in Vietnam, Agent Orange is the code name for a powerful herbicide and defoliant used by the U.S. military in an attempt to deny an enemy cover and concealment in dense terrain where they could hide. America dumped more than twenty million gallons of this chemical in the south of Vietnam, no one knows what is the total amount of chemicals dumped in the whole of Vietnam.
The chemicals used in agent orange produces dioxins that are harmful to not only the environment, but causes diseases like cancer and genetically transfer from one generation to the next causing massive deformation in babies. In 1984, chemical companies that manufactured the Agent paid $180m to the United States veterans who are suffering due to their contact with Agent Orange.
What about the Vietnamese, who have not received any aid, and their lawsuits filed against the companies have been dismissed in US courts. Lets take a look at Vietnam where so much of the defoliant has absorbed into the earth and the water supply that it continues to have an effect on peoples' lives.
Take a look at this video that has been recorded in Vietnam that will show you the long term effects of Agent Orange in the lives of the citizens who were sprayed.

Hiroshima and Nagasaki, Japan
Lets move on to Japan where the atomic bombings of Hiroshima and Nagasaki killed about 2,53,008 and 1,43,124 humans respectively, the American occupation forces imposed strict censorship on Japan, prohibiting anything "that might, directly or by inference, disturb public tranquility" and prohibited all pictures of the bombed cities.
On August 6, 1945, 8.15 am, the uranium atom bomb exploded 580 metres above the city of Hiroshima with a blinding flash, creating a giant fireball and sending surface temperatures to 4,000C. Housewives and children were incinerated instantly, their internal organs boiled and their bones charred into brittle charcoal.
Beneath the center of the explosion, temperatures were hot enough to melt concrete and steel. Within seconds, 75,000 people had been killed or fatally injured with 65% of the casualties nine years of age and younger.
Radiation deaths were still occurring in large numbers in the following days. "For no apparent reason their health began to fail. They lost appetite, their hair fell out, and bluish spots appeared on their bodies. And then bleeding began from the ears, nose and mouth".
Hibakusha is the term widely used in Japan referring to victims of the atomic bombings of Hiroshima and Nagasaki.
The Japanese word translates literally to "explosion-affected people", the sad part is that they and their children were (and still are) victims of severe discrimination due to lack of knowledge on the consequences of radiation sickness, where people believed it to be hereditary or even contagious.
Many of them were fired from their jobs, Hibakusha women never got married, as many feared they would give birth to deformed children and men suffered discrimination too as nobody wanted to marry someone who might die in a couple of years.
To date the Hibakusha receive a compensation from the Japanese government, as they and their children are virtually ostracized from society. When they die their names are added to the list of the dead due to the atomic bomb blasts.
Gulf War and Iraq
Depleted uranium that has been used in the ammunition of modern weaponry by the Americans, during the Gulf War and even the carpet bombing that took place in Iraq and is sill being used has tragic consequences. The amount of radiation now present in Iraq due to the weapons used by Americans is equal to a massive quantity of Weapons of Mass Destruction (WMD) exploding there.
Doctors in Iraq have estimated that birth defects have increased by 2-6 times, and 3-12 times as many children have developed cancer and leukemia since 1991. Moreover, a report published in The Lancet in 1998 said that as many as 500 children a day are dying from these sequels to war and sanctions and that the death rate for Iraqi children under 5 years of age increased from 23 per 1000 in 1989 to 166 per thousand in 1993.
Overall, cases of lymphoblastic leukemia more than quadrupled with other cancers also increasing ‘at an alarming rate' due to American bombs. Veterans of the Gulf War and of the fighting in the Balkans share common illnesses with children in southern Iraq.
Their own citizens like Doug Rokke, the U.S. Army contractor who headed a clean-up of depleted uranium after the first Gulf War stated, "Depleted uranium is a crime against God and humanity."
Rokke's own crew, a hundred employees, was devastated by exposure to the fine dust."When we went to the Gulf, we were all really healthy," he said. After performing clean-up operations in the desert without protective gear, 30 members of his staff died, and most others including Rokke developed serious health problems. Rokke now has reactive airway disease, neurological damage, cataracts, and kidney problems, "We warned the Department of Defense in 1991 after the Gulf War. Their arrogance is beyond comprehension."
Now that we have taken a look at the effects of war, why would America wage wars like these? Wars are the only way weapons are used on mass scales, which country produces the most weapons? America! Which country sells the most weapons, America? Which country spends the most on their military to wage wars? Yet once again America, half of the total world's spending on military is done by America.
America has sold weapons to India and Pakistan, then sold better weapons to Pakistan and then more weapons to India. America sold chemical and biological weapons to Iraq just before the gulf war, to help them fight against Iran and countries around the world in the same manner. Watch the movie, the Lord of War, it should give you a broader perspective on this issue.
Heres an ebook that you may like to read online about atomic bomb exposures and pregnancies.
 
Ritz

Wala sipingani na wewe,

Mimi natoa darasa tu, lihusulo ugaidi,

Marekani ndio imefanya ugaidi wala sina kipingamizi!
 
Suala la Zanzibar ni mtambuka, linahitaji uzamifu wa historia ndipo unene kimang'amuzi!

Msomeni huyu!


Usiku wa tarehe 12 Januari 1964 kundi la watu 300 walikitwaa kisiwa cha Unguja wakiongozwa na mtu asiyekuwa maarufu kipindi hicho, aliyekuwa akiitwa John Okello, John Okello alikuwa akiishi Pemba ambako alitokea Uganda miaka michache tu. Ndani ya Zanzibar Okello alipata umaarufu kwa vijana majabari, ambao wengi katika wao walikuwa ni makuli na wachukuzi w meli zilizoingia na kutoka bandarini Zanzibar, kundi lake hili John Okello lilikutana kwa siri. Okello aliwapa matumaini ya mabadiliko watu wake hawa, wafuasi, ambao wakifanya kazi pamoja kwa muda mrefu, mara nyingine katika mazingira ya hatari, na tayari kufuata amri za kiongozi yeyote ambaye ataweza kuwalipa. Wao walikuwa waasi wanaotafuta makaazi.-

Mchafuko wa kisiasa ulikuwa ukiongezeka ndani ya Zanzibar na Pemba tangu kifo cha Sultani Khalifa katika mwaka 1960. Sultani Khalifa alitawala Zanzibar kwa karibu ya miaka 50, tangu mwaka 1911. Baada ya udanganyifu mkubwa kwa majimbo ya uchaguzi na mseto katika chaguzi kuu mbili za mwaka 1961 vyama vikuu vilishindwa kujipatia wingi wa kura kwa kila kimoja. Waingereza waliondosha majeshi yao kikiwemo kikosi maalumu cha Kiarishi ambacho kilikuwa kimewekwa karibu na uwanja wa gofu na mpaka wa mji mkongwe mapema mwaka 1963. Wakati mfalme mpya, Jemshid- akipandisha bendera ya Taifa huru la Zanzibar tarehe 12 Disemba 1963, aliadhimisha uondokaji wa Gavana wa kiingereza Zanzibar na mwisho wa ukoloni Zanzibar.

Uchaguzi mwingine uliofanyika mwishoni mwa mwaka 1963 ukiipa ushindi mdogo wa kura Muungano wa vyama viwili ZNP na (chama cha kizalendo Zanzibar) na ZPPP (Chama cha watu wa Pemba na Unguja). A.S.P (Chama cha Afro shirazi) kilikuwa kiwe kipo katika Serikali iliyo na chini ya nusu ya wabunge kwa mtindo wa bunge la Kiingereza na Sultani, akiwa kama ni mtawala tu lakini sio mtawala mwenye maamuzi ya mwisho. Taifa hili la Zanzibar ambalo lilikuwa mwanchana kamili wa Jumuia ya madola na mwanachana mpya wa Umoja wa Mataifa lilidumu kwa siku 33 tu.

------------- ?

Majadiliano makali ya kisiasa na maandamano yalikuwa ni matukio ya kawaida siku hizo. Nakumbuka nilikuwa naendesha baskeli kuelekea shuleni kupitia makundi ya watu yaliyokuwa yakiimba na kusifu majina mbalimbali ya viongozi wa kisiasa, huku yakivuka vizuizi vya barabara vilivyokuwa vikilindwa na askari wa kiingereza. Vikundi mbali bmali vilijadiliana juu ya mambo mbali mbali; mfano Haki dhini ya- fursa, Wageni dhidi ya wenyeji wa zamani, Ubepari dhidi ya Ujamaa, Wafanyabiashara dhidi ya wamiliki ardhi, Waunguja dhidi ya Wapemba, Waasia dhidi- ya pazia la nyuma- la vita baridi na harakati za utaifa na kuondosha ukoloni ambazo zilikuwepo kipindi hiki ndani ya Afrika.--

?

John Okello hakuwa na jawabu ya mambo haya nyeti, lakini alikuwa na kipawa cha kutambua kwamba vikundi hivi vinavyoshindana vinatoa nafasi nzuri kwa mtu wa harakati kama yeye Okello.

Hata hivyo, watu kama mia waliojizatiti wangaliwez kutwaa vituo muhimu vya kienyeji vya habari na kambi za Polisi.- Mara tu baada ya vituo vya habari na Kambi za polisi pamoja na silaha kudhibitiwa na John Okelo, Ni nani katika visiwa angeweza kumshinda? Jee, wanasiasa wangeliungana na kumshutumu na kumpinga kwa vitendo vyake visivyo halali?- Au kama alivyotaraji, wangeendelea kutoaminiana na kutuhumu kwamba kati yao ndio wanaomuunga mkono?- Jee, wasingelitaka kukubaliana na yeye, haraka kabla mwengineo hajafanya hivyo?- John Okello alichezesha dadu usiku huo wa mwezi wa Januari.

-

Viongozi wa A.S.P walifadhaishwa na matendo ya Okello (wengi wao, walikuwa hata hawapo visiwani wakati huo).- Walikimbilia haraka kuwaunga mkono waasi.- Mamia ya wafuasi wa vyama walipigwa na butwaa juu ya wale ambao walikuwa na shuku ya kukata fundo hilo- gumu la majadaliano ya kidemokrasia na kukimbilia moja kwa moja kwenye utawala.- Hawawalitafuta njia ya kuiandaa jamii kwenda sambamba na kanuni zao.- Kanuni siku hizo zilikuwa ni ghali sana kama sarafu ya Marekani.- Ubinadamu ulikuwa ni kitu adimu sana.

-

?Baadhi ya viongozi wa ASP baada kuona kwamba serikali itakuwa haina udhibiti na uwezo kujilinda na kutokuwa na imani matokeo ya chaguzi huria zilizofanyika, viongozi hawalitafuta njia za haraka za kuhalalisha udhibiti yale ambayo yaliitwa sasa- "Mapinduzi".- Makundi ya watu wenye fujo yalikuwa huru.- Sheria na amani zilikuwa hazipo katika mitaa ya Zanzibar.

Walimiliki- ardhi na wafanya biashara waliburutwa kutoka majumbani na madukani mwao, uporaji na mauaji yalienea mji mkongwe mzima.- Kwa kweli mji wenyewe uliporwa.

-

Waarabu na Waasia , waliokuwa- wakiunga mkono vyama vyengine waliuliwa kwa makundi.- Kwa usiku mmoja maisha ya watu yasiyovika yalipotea na siku nyengine baadae maelfu ya watu waliikimbia nchi pamoja na kila walichoweza kubeba.

-

?John Okello mwenyewe alijipachika cheo cha Jemedari Mkuu akishirikiana na bataliani zake zenye fujo walianzisha utawala wa vitisho ndani ya visiwa vya Unguja na Pemba.- John Okello alitangaza vitisho visivyo vya kawaida na ahadi ya kifo kwa wote watakaojaribu kumpinga yeye.- John Okello aliamini alikuwa akipokea maelekezo /dokezo kutoka kwa Mungu na akionyesha uwezo usiokuwa wa kawaida kwa kutumia nambari, kwa mfano tarehe 13 Januari, 1964, alitangaza ujumbe ufuatao." Serikali sasa inaendeshwa na sisi… ikiwa mtakuwa wakaidi na kukataa kutii amri, Nitachukua hatua kali mara 88 zaidi ya hatua ninazozichukua hivi sasa" na- "Na ikiwa yeyote atashidnwa kutii amri ya kutotoka nje ya nyumba kama walivyofanya wengine….sitokuwa na njia nyengine lakini kutumia silaha nzito.- Sisi, ni jeshi lenye nguvu ya 99,099,000".

-

Vitisho vyake na uwezo wake wa kuvitekeleza viliwatia hofu raia, hasa makundi mbali mbali ya jamii zilizo ndogo.- Tarehe 14 Januari, 1964 alitangaza maneno haya ya kufadhaisha" Huyu hapa ni Jemedari Mkuu wa Unguja na Pemba…Nafikiria kuelekea kijiji cha Mtendeni kukiangamiza ikiwa watu wa hapo hawatafuata amri.- Baada ya dakika 40- nitawamaliza nyote hasa- Wangazija", " na kwa vijana wote wa kiarabu wanaoishi Malindi; Nitapita Malindi nikiwa nimesheheni silaha ambazo mimi mwenyewe ndie nizijuazo.- Nataka kuona kila mmoja abakie na chupi na kulala chini.- Nataka kuwaona wao wanaimba... Baba wa- Waafrika.- Mungu Mbariki yeye na malengo yake na yale ya Jemedari Mkuu"

-

?Wakati unyanyasaji uliposima jamii za tamaduni tofauti za- Zanzibar zilikuwa zimeparaganyika.- Taifa la chama kimoja lilitangazwa.- Lakini bado jTaifa hili likihofia uwezekano wa kufufuka upinzani kutoka kwa wapinzani waliokimbia nchi.- Wanamapinduzi hawa baadae walijihakikishia udhibiti zaidi baada ya kusaini mkataba wa muungano wa Tanganyika.- Hii ingeruhusu maelfu ya marafiki wa kisiasa wa Tanganyika kuingilia kati upinzani wowote wa baadae katika visiwa hivi.- Askari polisi wa Zanzibar walibadilishwa kwa askari polisi kutoka Tanganyika ambao ni watiifu kwa chama na pazia la siasa za utengano ziliwakumba wazanzibari ambazo zilitakiwa kudumu kwa zaidi ya miaka 20.

-

Leo hii siasa hizi za utengano hazipo tena, kumalizika kwa vita vya baridi na kuelekea kwa uchumi wa kisasa umeweza kuifungulia Zanzibar milango kwa ulimwengu wa nje.- Uchaguzi wa vyama vingi ulifanyika mwaka 1995 na mwengine unatarajiwa kufanyika mwaka, 2000. Viongozi wa kweli na wenye kujali hali za watu wameibuka Tanzania na hii imewafanya wakimbizi waliokimbia wakati wa mapinduzi kurejea visiwani.- Uvumilivu na amani wa watu wa aina tofauti, ambayo ni tabia ya maisha ya wazanzibari, sasa hivi unajitahidi kurejea katika mitaa ya mji- mkongwe.
 
Ritz mimi naamini kweli unamaarifa mengi juu ya ugaidi,

Lakini sio kuthubutu kuumiza kicho juu yayo!

Nakupa hiyo toka ngano zangu!

BUSH ALIZUNGUMZA KWA KUBABAIKA
“Tuko vitani,” Bush alisema na kumwambia Cheney kuueleza uongozi wa Baraza la Congress maelezo mafupi. Rais huyo alikata simu aliwageukia baadhi ya maofisa wake katika ndege hiyo ambaowalikuwa wamemsikia akizungumza na Cheney. “Vijana hiyo ndiyo kazi inayotupatia mkate”, Inatubidi tulishighulikie jambo hili na tukiwapata walofanya hivi, hawatanipenda kabisa nikiwa Rais.

Lazima apatikane mtu atakayejuta kwa kufanya hivi.” Muda mfupi Cheney alipiga simu tena kwa Rais huyo akimtaka aidhinishe ndege za Marekani kuziangusha ndege zozote zaidi za abiria ambazo zilikuwa mikononi mwa watekaji nyara ilikuwa ni silaha. Ungekuwa ni uamuzi muhimu lakini Cheney ambaye kwa kawaida huwa mwangalifu, alisisitiza kwamba kuwaidhinisha marubani kuzipiga ndege za abiria hata kama zingekuwa zimejaa raia, ilikuwa ndiyo hatua pekee ya kufanya. “sawa” Bush alisena na akatoa idhini hiyo.

Saa 4.30 asubuhi Cheney alimpigia tena simu Bush katika ndege yake ambayo ilikuwa njiani kwenda Washington. Ikulu ilikuwa imepata tishio likisema kwamba malaika (Angel) ndiye atakayekufuata kwa vile neno Angel ilikuwa jina la siri la ndege ya rais, hilo lingemaanisha kwamba magaidi hao walikuwa wanafahamu habari za ndani za serikali “lazima tumpate aliyefanya hivi” Bush alimwambia Cheney na watatutambua. Card aliripoti kwamba bibi Laura Bush alikuwa mahali pa usalama na maofisa wa usalama walisema kwamba mabinti zake walikuwa wamehamishiwa katika maeneo ya usalama zaidi.

Dakika chache baadaye Cheney alipiga simu tena akimtaka rais huyo asirejee Washington. Habari mbalimbali za kijasusi na taarifa za aina zote zilikuwa zinaingia kwa wingi. Kutokana na kilichokuwa kimetokea, yaani utekaji wa ndege nne, haikuwa vyema kurejea Washington Cheney alifikiria uwezekano wa magaidi hao kujaribu kuikata kichwa serikali kwa kuwaua viongozi wake. Alisema walikuwa na wajibu wa kuilinda serikali na viongozi wake.Bush alikumbuka baadaye na kusema, “ alikuwa ndiye mtu aliyeniambia kwenye simu, usirejee Washington” Rais huyo alikubali na kuelekea kwenye kituo cha jeshi la Anga cha Barksale huko Louisiana. Muda mfupi baadaye wale waliokuwa kwenye ndege hiyo walihisi jinsi ilivyopinda ghafla kushoto na kuelekea magharibi.

Saa 4:45 Bush alizungumza na mkewe. Ulikuwa ni wakati wa matatizo na mikanganyiko ambavyo vilikuwa vimejionyesha katika hati mbali mbali za kiserikali siku hiyo, nyingine zikiwa za wazi na nyingine zikiwa za siri. Hati mbali mbali zilikuwa zinasema Bush alikuwa amewasili Luoisiana kwenye saa 5:48 asubuhi 5:57 asubuhi,6:05 mchana na 6:15 mchana ambacho ni kipindi kinachojumuisha dakika 28 Kunako majira ya mchana ndege hiyo ya rais ilitua huko Barksale huko kukiwa na ulinzi mkali. Saa 6:36 kamili, Bush alitoa taarifa nyingine mbele ya waandishi wa habari wa televisheni.




Ilikuwa ni zaidi ya masaa matatu tangu rais huyo au kiongozi mwingine wa ngazi za juu kuzungumza mbele ya watu. Macho ya rais huyo yalikuwa yamebadilika na kuwa mekundu wakati anaingia sehemu hiyo alionekana kuwa amechanganyikiwa. Alizungumza kwa vituo na maneno mengine alikuwa anayatamka vibaya wakati akisoma taarifa yake. Alionekana kupata nguvu mwishoni mwa taarifa yake hiyo yenye maneno 219 na akaahidi kuchukuwa hatua thabiti, “lakini ni lazima mfahamu wazi kwamba tutaushinda mtihani huu.”alisema.

Alimwambia Card , “nataka kurejea nyumbani haraka. Sitaki kuona kwamba mtu aliyefanya kitu hiki ananilazimisha nisirejee Washington.” Lakini maofisa wa usalama walisema kwamba hali ilikuwa ya mashaka mjini Washington, na Cheney alisema kwamba hali ilikuwa bado haijawa ya usalama. Jambo sahihi ni kusubiri kwanza mambo yatulie,” Card alisema. Bush alikubali shingo upande na kupanda tena ndege yake ambayo muda mfupi baada ya saa 7:30 ilikuwa katika anga ikielikea magharibi wakati huo ikiwa inaelekea katika kituo cha jeshi la anga cha Offutt huko Nebraska.

Kituo cha Offut ndicho kituo cha uongozi mkuu wa mikakati ya kijeshi ambacho husimamia silaha za nyuklia za Marekani ambapo kituo kina vyombo vya kutoa ulinzi kwa rais. Huko angeweza pia kukutana na Baraza lake la usalama wa taifa kwa kutumia mawasiliano ya njia ya video. Akiwa katika ndege hiyo Bush aliweza kuwasiliana kwa simu na waziri wake wa ulinzi Donald H. Rumsfeld. “Lo,! ilikuwa ni ndege ya abiria ya kimarekani ambayo ilijibamiza Pentagon rais huyo alisema kwa mshangao “Ni siku ya janga la kitaifa na itabidi tusafishe vurugu yote hiyo na mpira utakuwa katika eneo lako na eneo la Dick Myers, Jenerali Richard B. Myers wa jeshi la Anga mtu mrefu na mtaratibu ambaye siku mbili ambazo zinge fuata angeukwaa unaibu wenyekiti, cheo cha juu zaidi katika jeshi la Marekani.
 
Suala la Zanzibar ni mtambuka, linahitaji uzamifu wa historia ndipo unene kimang'amuzi!

Msomeni huyu!

Yericko,

Hapo hakuna mapya hayo yote yanafahamika.

Ili msomi aweze kuteka hisia za wasomaji anatakiwa aje
na jipya.

Juu ya hayo hapo juu...
Vipi kuhusu ''Uchochezi wa Mohamed Said?''

Mjadala umekwisha sasa tunaingia Zanzibar?
Tufahamishe.
 
Ritz,
Ahsante sana kwa kazi hii...
Labda, labda, labda Yericko atasoma na kujifunza.

Umempa darsa zuri sana.

Kwa kazi ipi unayomshukuru?

Mimi nawapeni darasa kuhusu ugaidi unaopiganwa sasa duniani kote,

Ulioanzishwa na Radical Muslims kama wewe wanaooanisha uislamu na uovu!

Hebu pata juice kidogo hapa chini!

Kutoka ngano zangu!


NYOTA YA RUMSFELD
Rumsfeld mtu mwenye umbo dogo na uso wa kijana, rubani wa zamani wa jeshi la maji ambaye hakuonekana umri wake wa miaka 69 kuwa mkubwa katika kipindi cha mgogoro, alikuwa anasubiri amri kutoka kwa Rais huyo kwaajili ya majukumu. Mwanzoni mwa mwaka wakati Rumsfeld alikuwa katika majadiliano kuhusu kuwa waziri wa ulinzi wa Bush alifanya mazungumzo na rais mteule huyo, alimwambia Bush kwamba, wakati kwa miaka minane ya Clinton muundo wa asili uliendelea kuwa ni wa kutumia tahadhari na usalama. Na chaguo la silaha kwa upande wa Clinton lilikuwa ni kombora lenye kuongozwa kwenye lengo.

Rumsfeld alimweleza wazi Bush kwamba iwapo muda ungefika kama ilivyokuja kutokea ukafika kweli kwamba Marekani inakabiliwa na tishio yeye akiwa waziri wa ulinzi angemshauri rais kutumia jeshi. Bush alikuwa amejibu wazi wazi makadirio ya Rumsfeld kwamba hivyo ndivyo hasa alivyokuwa anataka. Rumsfeld aliamini kwamba walikuwa na msimamo wa wazi na wa pamoja. Rumsfeld alikuwa mmoja wa nyota zinazo ng'ara zaidi ndani ya chama cha Repblican, mnamo miaka ya 1960 na 1970 akiwa na sifa kama za John F. Kennedy mwenye sura nzuri mkakamavu, msomi, mwenye busara, mcheshi na mwenye tabasamu la kudumu. Watu wengi katika chama hicho akiwemo Rumsfeld mwenyewe walikuwa
wanafikiri kwamba njia yake ilikuwa inamwelekeza kwenye urais .Lakini kamwe hakuweza kupata sifa ua umaarufu au sura ya kuwa na msimamo wa ukorofi dhidi ya watu waliokuwa chini yake kikazi. Isitoshe alijikuta akiwa adui wa mmoja wa nyota wa chama hicho aliyekuwa akiibuka, yaani George W. Bush ambaye alikuja kuufikia urais.

Kuibuka kwa Rumsfeld hadi kufika katika ngazi za madaraka ya ndani ni habari inayotokana na mapito magumu, juhudi binasfsi na majungu. Na habari mnamo 1962 akiwa na umri wa miaka 30 zinasema, Rumsfeld alichaguliwa katika vipindi vinne katika baraza la Congress akiwa mwakilishi wa vitongoji vya ufukwe wa kaskazini wa Chicogo ambako alikuwa amekulia, Alijiuzulu kutoka Congress mwaka 1969 na kuwa mkurugenzi wa Ofisi ya Fursa za kiuchumi taasisi yenye kupiga vita umasikini ambayo ilikuwa ni cheo cha uwaziri katika utawala wa Nixon cheo ambacho ni maarufu na chenye kuonekana sana.

Mnamo 1973-74 alikuwa Brussels akiwa balozi wa Marekani katika Umoja wa kujihami wa nchi za Magharibi (NATO) na hivyo kuweza kukwepa kashfa ya Watergate. Kwa mujibu wa kitabu cha simulizi ya maisha ya Nixon, mnamo Julai 1974, "Donard Rumsfeld alipiga simu kutoka Brussels akitaka kujiuzulu akiwa balozi wa NATO na arejee kusaidia kazi dhidi ya kufunguliwa mashitaka kwa washirika wake wa zamani. Nixon alijiuzulu mwezi uliofuata na Rumsfeld aliombwa kuwa mwenyekiti wa timu ya kusimamia kipindi cha mpito kabla ya mshirika wake wa zamani Gerad Ford kushika nafasi hiyo. Ford alimwomba Rumsfeld kuwa mnadhimu wa Ikulu lakini Rumsfeld alitaka kubakia NATO. Rumsfeld alikubali wakati Ford alipoahidi kuzipanga upya safu za wafanyakazi na kumpa Rumsfeld madaraka kamili.

Baada ya mwaka mmoja akiwa Ikulu, Ford alimwambia kwamba alikuwa na mpango wa kumwondoa waziri wa ulinzi, James Schlesinger hivyo Rumsfeld angehamia katika wizara ya ulinzi na Mkurugenzi wa CIA William Colby nafasi yake ilikuwa ichukuliwe na George Bush mkubwa ambaye wakati huo alikuwa mwakilishi wa Marekani nchini China. Katika faragha, Rumsfeld alikiita cheo hicho cha China kuwa ni kazi ya ovyo na isiyokuwa na uhusiano wowote na siasa mbele ya nyuso za wamarekani,

Alikuwa anapinga majukumu hayo mapya kwa Bush na yeye mwenyewe, alimwambia Ford kwamba, kuwaweka pembeni watu hao kungesaidia katika kuwatumia wakati wa kampeni ya kugombea urais ikifika. Alisema kwamba wao walikuwa ni watu wawili pekee ambao wangetoa hotuba thabiti za kisiasa katika uchaguzi ambao ungefuatia katika mwaka wa uchaguzi wa 1976. Lakini Rumsfeld alikubali na kuchukua wizara ya Afya. Bush mkubwa alikuwa anaamini kwamba Rumsfeld alikuwa anamwondoa kwa siri kutoka katika CIA ilikummaliza kisiasa. Wakati huo ilionekana kwamba mkuu wa ujasusi na mwenye kupanga njama chafu nchi za nje asingeweza kuwa rais. Rais Ford wakati huo alimpandisha cheo naibu wa Rumsfeld Bw. Dick Cheney kuwa mnadhimu wa Ikulu.

Wakati huo pakiwa na manung'uniko kuhusu kuingiza siasa katika CIA, baraza la Seneti lilikuwa linakataa kumthibitisha Bush mkubwa kuwa mkurugenzi hadi hapo Ford aahidi kutomchagua kuwa makamu mgombea mwenza wake katika uchaguzi ambao ungefuata, Rumsfeld aliwambia Ford na Cheney kwamba rais asikubali shinikizo la Seneti. Hatimaye Ford na Bush walipata ahadi hiyo kwa Seneti, Rumsfeld alimlaumu Cheney kwa sehemu fulani akimwambia kwa maneno mengi kwamba Umevuruga mambo katika jambo ulilofanya Mnamo katikati ya mwaka uliofuata 1976, paliibuka aina ya upinzani kati ya waziri wa Ulinzi Bush mkubwa na Rumsfeld, Rumsfeld alikuwa amemwomba Bush kuwa mtu mwepesi mwenye kupendelea urafiki na uhusiano na watu wengi katika maoni yake, Bush mkubwa alikuwa anaepuka migongano isiyokuwa yalazima katika maeneo ya Ikulu.

Na Yericko Nyerere

Kutoka "Vita dhidi ya Ugaidi"
 

Ndugu yangu,

Soma kichwa cha uzi huu kinasemaje?

Haya yanakwenda pamoja!

Uchochezi wako upo wazi hauhitaji kumwelezea mtu bali ni kukueleza wewe tu kuwa huo ni uchochezi na uongo mtupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…