Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee wetu Mohamed Said ndio anafikia umri wa miaka sitini mwaka huu. Angekuwa mtumishi wa mfumokristo angestaafu mwaka huu. Hivyo sio mzee sana wa kuwa "senile". Ametusoma sana humu kwa threads hizi tatu. Kwa kuwa mzee huyu ni muelewa sana, arekebishe "historia" yake hii ili ikae kitaifa zaidi. Akubali tu kwamba katika wazee wake wote hakuna aliyetumwa na DINI yake ya KIISLAM kudai uhuru wa Tanganyika.

Akubali pia kwamba Mwalimu hakupata kuuhujumu UISLAM na WAISLAM ingawa angetaka kufanya hivo angeweza sana. Kwake yeye Mwalimu suala la DINI ya mtu lilikuwa ni suala la kibinafsi sana tu. Ndio maana hata alipojiuzulu uwaziri mkuu wakati ule alimwachia Rashid Mfaume Kawawa, MuIslam safi kwa kuzaliwa. Hata Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa awe Salim Ahmed Salim na sio Ben Mkapa.
 
Last edited by a moderator:

WC,

Hivi nabadili vipi mchango wa Sheikh Hassan bin Amir.
Vipi maisha yake niyapindue yawe na sura ya kukufurahisha
wewe.

Maisha ya sheikh yasiwe yale yumo katika TAA Political Sub
Committee.

Asiye yeye yuko katika darsa Msikiti Badawy anauza kadi za TANU.

Vipi Idd Faiz anakuwa hakuhudhuria mkutano wa kwanza wa TANU.
Vipi anakuwa si yeye aliyehangaika kutafuta hela za safari ya Nyerere
UNO.

Hii kweli itawezekana?
 
Swali kwa Moh' Said:
Hii EAMWS iliyoanzishwa na akina Agha Khan, ilikuwa ina-operate Tanzania tu?
Kama ilikuwa ina-operate East Africa yote, lakini hapa Tanzania ikavunjwa na Nyerere, ni nini kilipelekea kufa kwake huko kwenye nchi zingine?

Swali la pili.
Kwenye paper yako "Islam and Politics in Muslim Population
Umedai kuwa sensa ya 1957 ilionesha kuwa "moslems outnumbered christians at a ratio of 3 to 2. Je unaweza ukaweka source ya hiyo data hapa?
 
Heko kaka mohammed said. Nyerere ndio alietufanya waislam hapa tz tuwe kama hivi. Lkn mungu amemjaalia hao aliowandaa wakiristo kuongoza nchi imewashinda. Rushwa ipo juu. Elimu mbovu na hakuna kinachoendelea
 
swali kwa moh' said:
Hii eamws iliyoanzishwa na akina agha khan, ilikuwa ina-operate tanzania tu?
Kama ilikuwa ina-operate east africa yote, lakini hapa tanzania ikavunjwa na nyerere, ni nini kilipelekea kufa kwake huko kwenye nchi zingine?

Swali la pili.
Kwenye paper yako "islam and politics in muslim population
umedai kuwa sensa ya 1957 ilionesha kuwa "moslems outnumbered christians at a ratio of 3 to 2. Je unaweza ukaweka source ya hiyo data hapa?

ndio maana pakiwa na waislam ukisema nyerere utasikia mungu amlaani (laanatullah
 
wc,

hivi nabadili vipi mchango wa sheikh hassan bin amir.
Vipi maisha yake niyapindue yawe na sura ya kukufurahisha
wewe.

Maisha ya sheikh yasiwe yale yumo katika taa political sub
committee.

Asiye yeye yuko katika darsa msikiti badawy anauza kadi za tanu.

Vipi idd faiz anakuwa hakuhudhuria mkutano wa kwanza wa tanu.
Vipi anakuwa si yeye aliyehangaika kutafuta hela za safari ya nyerere
uno.

Hii kweli itawezekana?

waelemishe kaka. Wapige kaka, waumize kaka. Waambie kaka wamekwama sana tu hao.hapa ndipo napoona udhaifu wa ndugu zetu wakiristo. Udini wameweka mbele kuliko utaifa
 
Babu M,

Ningeweza nikafanya mjadala na wewe lakini umenivunja nguvu
na hizo lugha za ''kuganga njaa'' nk.

Hunijui wala mie si mtu wa hivyo.
Kwa ajili hiyo basi nawacha matusi yako yapite.

Nashukuru sana Mkuu Mohamed Said, Historia ya nchi hii yatakiwa kuenziwa sana na kama ungelikuwa na nia nzuri kutaka kuandika kitabu chako kikawa na value halali basi ulitakiwa kuwa positive side. Kichwa cha habari kimeanza na mvuto wa Pessimistic. Mwandishi kwa kalamu yake ndogo sana huweza kuchimba shimo kubwa sana na akaelekeza wengi kama si wote kutumbukia humo. Ni wajanja wachache tu husalimika. Sori sana kwa lugha niliyotumia ya "Kuganga Njaa" Lakini nadhani ulichoandika siyo "Pamphlet" ni kitabu ambacho mauzo yalikuwa makubwa na katika miaka 15 umeweza kuwashawishi wengi sana kuamini ulichoandika. Mohamed Said kama ni dhambi unayo.
 
Mzee Mohamed Said unaumbuka mchana kweupeee....mashabiki wako au wapambe wako wanaofatilia mtanange huu
kama wanasoma nondo za Mzee Mwanakijiji,Nguruvi3, Yericko Nyerere,WildCard na Sweke 34...kama ulikuwanao 500
basi kupitia hoja za hao wakuu hapo juu nakuhakikishia wafuasi wako wamebaki 200 kutoka kwenye 500. Pole sana!

Utani huo kaka.

Kitabu cha kumuumbua mwandishi hukipati ndani ya Cambridge Journal of African History.
Kama hujui uliza ndugu yangu.

Utaelezwa na hata wale wasonipenda.

Kuna walimu wamesomesha chuo kikuu na kuandika heshima hii hawakupata hadi wanastaafu.
Usidhani mambo ni mepesi kama humu JF utaogelea kama unavyoogelea hapa ukumbini.

Kitabu cha kumuumbua mtu kinaitwa ''trash'' kisha kinatiwa katika ''shit list.''

Ukitaka kuwapongeza hawa ndugu zangu njoo kwanza na ''credentials'' zao toka vyuo vinavyokubalika.
Kisha njoo na kitabu kifute hiki changu baada ya hayo anza sasa kuwapongeza hawa ndugu zangu.

Kisha jingine sina mfuaisi.
Mimi ni mtu tu ninayechangia katika historia ya taifa langu kama mtu yoyote.

Hayo mambo ya ''wafuasi wangu,'' ''chama changu,'' si yangu yana wenyewe na hao wenyewe
wanajulikana.

Ndugu yangu usiniponze bure ikaonekana nataka kuwachukua ''watu wao.''

Sheikh Mselem bin Ali siku zote huonya lugha hizi.
Usiniponze bure.

Sina wafuasi ila nina wasikizaji JF.
 
Asante sana mdau kwa kuthamini mchango wetu hapa jukwaani, watanzania tushirikiane kuilinda historia ya nchi yetu takatifu
Nami ningependa kuwatahadharisha na kuwaomba sana WATANZANIA wenzangu kwamba unapoandika suala lolote ambalo ni la KITAIFA weka DINI na KABILA pembeni kabisa. Vinginevyo tutaulizana maswali ambayo yatakuwa magumu kuyajibu kwa mfano: Iweje watu kutoka Mozambique, South Africa au Mashariki ya Congo wawe na uchungu wa kuusaka uhuru wa TANGANYIKA kuliko WaTanganyika wenyewe? Hiyo nayo ni historia pia.
 
Mfungeni basi kama Ponda ili msisikie haya . lkn kwa kuwa somo hili tayari lipo ni wajibu wa waislam kuwatolea historia hii vizazi vyetu
 
Nami ningependa kuwatahadharisha na kuwaomba sana WATANZANIA wenzangu kwamba unapoandika suala lolote ambalo ni la KITAIFA weka DINI na KABILA pembeni kabisa. Vinginevyo tutaulizana maswali ambayo yatakuwa magumu kuyajibu kwa mfano: Iweje watu kutoka Mozambique, South Africa au Mashariki ya Congo wawe na uchungu wa kuusaka uhuru wa TANGANYIKA kuliko WaTanganyika wenyewe? Hiyo nayo ni historia pia.

hahaha. anaglianza Nyerere
 
Utani huo kaka.

Kitabu cha kumuumbua mwandishi hukipati ndani ya Cambridge Journal of African History.
Kama hujui uliza ndugu yangu.

Utaelezwa na hata wale wasonipenda.

Kuna walimu wamesomesha chuo kikuu na kuandika heshima hii hawakupata hadi wanastaafu.
Usidhani mambo ni mepesi kama humu JF utaogelea kama unavyoogelea hapa ukumbini.

Kitabu cha kumuumbua mtu kinaitwa ''trash'' kisha kinatiwa katika ''shit list.''

Ukitaka kuwapongeza hawa ndugu zangu njoo kwanza na ''credentials'' zao toka vyuo vinavyokubalika.
Kisha njoo na kitabu kifute hiki changu baada ya hayo anza sasa kuwapongeza hawa ndugu zangu.

Kisha jingine sina mfuaisi.
Mimi ni mtu tu ninayechangia katika historia ya taifa langu kama mtu yoyote.

Hayo mambo ya ''wafuasi wangu,'' ''chama changu,'' si yangu yana wenyewe na hao wenyewe
wanajulikana.

Ndugu yangu usiniponze bure ikaonekana nataka kuwachukua ''watu wao.''

Sheikh Mselem bin Ali siku zote huonya lugha hizi.
Usiniponze bure.

Sina wafuasi ila nina wasikizaji JF.

hongera Sheikh, Mtaalam, mjuzi, mpembuzi, mbunifu, researcher na sijui nikupe cheo gani. Hao wanapinga tu. kama wanaglikuwa wanajua wanachofanya wangalitoa angalau kimakala kimoja kupitia magazetini. Hongera Mungu akupe umri mrefu
 
Heko kaka mohammed said. Nyerere ndio alietufanya waislam hapa tz tuwe kama hivi. Lkn mungu amemjaalia hao aliowandaa wakiristo kuongoza nchi imewashinda. Rushwa ipo juu. Elimu mbovu na hakuna kinachoendelea

Una maana ya Mwinyi,Mkapa na Kikwete?

Hawa ni wakristu wote au wamewasaliti waislamu?
 
Una maana ya Mwinyi,Mkapa na Kikwete?

Hawa ni wakristu wote au wamewasaliti waislamu?

kaliandaa taifa la mfumo kristo hivi sasa hatujui wapi tunaenda na tunaelekea.

ANGALIA SAKATA LA BANDARI

TAARIFA YA WIZARA YA UCHUKUZI KWA VYOMBO VYA HABARI

2. UFAFANUZI:

(i) Bw. Ephraim Mgawe, Mkurugenzi Mkuu wa TPA.
Bodi ililidhirika kuwa alikuwa na makosa yafuatayo:-

a) UZEMBE ULIOKITHIRI -
b) UFANISI DUNI

c) KUKOSA UAMINIFU KULIKOPINDUKIA -

d) KUKIUKA SHERIA NA TARATIBU -
(ii) Bw. Hamadi Koshuma, Naibu Mkurugenzi Mkuu (Huduma)

(iii) Bw. Julius Mfuko, Naibu Mkurugenzi Mkuu (Miundombuni)

(iv) Bw. Cassian Ngamilo, Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam.

Bodi iliridhika kuwa alikuwa na makosa yafuatayo:

a) MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA.

b) Uzembe uliokithiri:

c) Ufanisi duni
i. Kushindwa kusimamia ipasavyo watendaji wa Kitengo cha Ulinzi na Usalama na hivyo kusababisha wizi na ubadhirifu wa mali za Mamlaka na wateja kwa mdfano wizi wa makontena manne ya shaba.

d) Kukiuka sheria na taratibu mbalimbali
i. Kutoa misamaha ya tozo la hifadhi (storage charges) kinyume na taratibu zilizoanishwa kwenye Kanuni za fedha za Mamlaka ya Usimamizi wa bandari.
ii. Kutoa nyongeza za mikataba ya Zabuni kwa M/S NAGLA General Shipping Serbices; M/S HAI Sub Supplier; M/S Tricon Investment; M/S Evans Manyasi Co bila ya kushirikisha Bodi ya Zabuni na Sheria ya Manunuzi ya Umma.

(v) Capt. Tumaini Massaro, Oil Terminal Manager.

Bodi ilimkuta na makosa yafuatayo:

a) Uzembe iuliokithiri

b) Ufanisi duni

vii) Capt. Joseph Gwakabale, Jetty Master (Mkuu wa Kitengo cha Mafuta cha Kurasini)

Bodi haikuridhishwa na uainishaji wa tuhuma dhidi yake, hivyo ikaamuru tuhuma zake ziandaliwe upya na kwa ufasaha.

MSEMAJI WA WIZARA
WIZARA YA UCHUKUZI
21 JANUARI, 2013

UNATAKA KUNIAMBIA HAPA ILIKUWA BAHATI MBAYA KUKUTA VIONGOZI WOTE WA DINI MOJA? HAYA NDIO MATUNDA YA MWALIMU KUAMINI KUWANDAA WATU WA DINI MOJA KUSHKA NYADHIFA NDIO SULUHU YA TZ YETU
 
Swali kwa Moh' Said:
Hii EAMWS iliyoanzishwa na akina Agha Khan, ilikuwa ina-operate Tanzania tu?
Kama ilikuwa ina-operate East Africa yote, lakini hapa Tanzania ikavunjwa na Nyerere, ni nini kilipelekea kufa kwake huko kwenye nchi zingine?

Swali la pili.
Kwenye paper yako "Islam and Politics in Muslim Population
Umedai kuwa sensa ya 1957 ilionesha kuwa "moslems outnumbered christians at a ratio of 3 to 2. Je unaweza ukaweka source ya hiyo data hapa?

Kisa cha kuvunjika EAMWS ni kirefu sana kwa hapa sitokitendea haki
Lakini kwenye kitabu changu nimekieleza chote pamoja na wahusika
wakuu nimewataja kwa majina yao.

Kuwa kwa nini huko kwengine nako chama kikafa sababu sijui.
Ila sababu ya hapa kupigwa marufuku ni kuwa EAMWS ilikuwa
inataka kujenga chuo kikuu.

Hii ikatia hofu Kanisa Katoliki na Nyerere ikabidi afanye kila juhudi
EAMWS ipigwe marufuku.

Source ya hiyo info. ya sensa ni Islam and Politics cha August Nimitz
unaweza kupata thesis yake Maktaba ya Chuo Kikuu.

Nitajaribu Insha Allah kuangalia kitabu nikupe na ukurasa ninacho katika
''archives'' yangu.
 
kisa cha kuvunjika eamws ni kirefu sana kwa hapa sitokitendea haki
lakini kwenye kitabu changu nimekieleza chote pamoja na wahusika
wakuu nimewataja kwa majina yao.

Kuwa kwa nini huko kwengine nako chama kikafa sababu sijui.
Ila sababu ya hapa kupigwa marufuku ni kuwa eamws ilikuwa
inataka kujenga chuo kikuu.

Hii ikatia hofu kanisa katoliki na nyerere ikabidi afanye kila juhudi
eamws ipigwe marufuku.

Source ya hiyo info. Ya sensa ni islam and politics cha august nimitz
unaweza kupata thesis yake maktaba ya chuo kikuu.

Nitajaribu insha allah kuangalia kitabu nikupe na ukurasa ninacho katika
''archives'' yangu.
kwani hawajui hao? Ndio maana maaskofu wanapiga kelele wanaompinga wanaompinga nyerere
 
Kisa cha kuvunjika EAMWS ni kirefu sana kwa hapa sitokitendea haki
Lakini kwenye kitabu changu nimekieleza chote pamoja na wahusika
wakuu nimewataja kwa majina yao.

Kuwa kwa nini huko kwengine nako chama kikafa sababu sijui.
Ila sababu ya hapa kupigwa marufuku ni kuwa EAMWS ilikuwa
inataka kujenga chuo kikuu.

Hii ikatia hofu Kanisa Katoliki na Nyerere ikabidi afanye kila juhudi
EAMWS ipigwe marufuku.

Source ya hiyo info. ya sensa ni Islam and Politics cha August Nimitz
unaweza kupata thesis yake Maktaba ya Chuo Kikuu.

Nitajaribu Insha Allah kuangalia kitabu nikupe na ukurasa ninacho katika
''archives'' yangu.

SWALI KWA KAKA MOHAMMED SAID. Hivi unaamini kama haya yanayofanyika kwa waislam kupitia NECTA, yangalifanyika kwa wakiristo baraza la mitihani hadi leo mabadiliko makubwa yasingefanyika? Kwanini wabunge waislam bungeni wanakuwa woga kuzungumzia jamii ya kiislam tofauti na wakiristo kama vile Peter msigwa?
 
hongera Sheikh, Mtaalam, mjuzi, mpembuzi, mbunifu, researcher na sijui nikupe cheo gani. Hao wanapinga tu. kama wanaglikuwa wanajua wanachofanya wangalitoa angalau kimakala kimoja kupitia magazetini. Hongera Mungu akupe umri mrefu

Ahsante ndugu yangu,

Uongo siku zote ni kitu chenye kutoweka.

Ingekuwa wana historia ya kuandika tayari
wangeshaandika.

Lakini hawana kitu katika historia ya uhuru.

Hata hicho walichokuwanacho katika mchango
wa Nyerere inabidi uwafute wengine ndiyo Nyerere
apate kung'aa.
 
Back
Top Bottom