Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

gombesugu,

..sisi huku BARA tunajuana kwa makabila yetu.

..wewe mwenzetu kabila lako ni lipi?

..au, ndiyo akina Al-Shiraz, Al-Mazrui, halafu mnaukana Uarabu[sisi kwetu hata waajemi tunaita waarabu]??

..tuendelee.
 
Last edited by a moderator:

JokaKuu,

Kama nilivyokuambia nimeipenda hii post yako na hayo maneno yake.

Nakukumbusha tu yakuwa hapo ndani yake umechanganya vitu kadhaa. Lakini nahisi tuviweke uporo na kutia kwenye ile "miadi yetu". Binafsi nitapenda zaidi tulirejee kwa kina hilo somo la Race Issue...maana sisi wenye "michanganyiko makhusus"/Waswahili, nahisi hatujawahi kupewa fursa nzuri ya kunena na kusikilizwa kwa utuvu...kama vile upendavyo kusema "kufunguka"!

Ahsanta.
 

jokaKuu,
Asante kaka. Sina la ziada.
 
gombesugu,

..sisi huku BARA tunajuana kwa makabila yetu.

..wewe mwenzetu kabila lako ni lipi?

..au, ndiyo akina Al-Shiraz, Al-Mazrui, halafu mnaukana Uarabu[sisi kwetu hata waajemi tunaita waarabu]??

..tuendelee.

JokaKuu,

Kwa sababu ni wewe tu ndugu yangu,lakini angekua mwengine ningalimkatia maneno kiduchu!ahaha!!

Sisi kwetu hatuna Makabila,sasa sijui mwenzangu watokea Mkoa/Bara ipi!?

Kama Mag3,akitaja Kabila yake basi nami "nitafunguka"!

Tuendelee na mnakasha.
 

JokaKuu,

Hizo definition zenu za Blacks/Arabs ni uchechefu labda wa kutoelewa majambo mengi mno khasa ya kitaaluma.

Kwa mfano katika hizo picha zoote za Cabinet ya Zanzibar before 1964,mbona wale woote ni Waswahili!? Tumuombe Shariff Ritz labda atuwekee upya hapa jamvini halafu nyinyi mtuonyeshe hapo "Waarabu".

Halfu hapa pia unafanza kosa la kufafanisha yale mambo ya kina Abel Muzorewa na Ian Smith na Zimbabwe...huu ndo upotoshwaji mwingine wa Historia mchana kweupe. Yaani ASP baada ya kushindwa ule Uchaguzi halali,ambao wao wenyewe walikubali kushiriki na kufanza kampeni kila kona bila ya vikwazo vyovyote...ndipo ati waseme uchaguzi sio halali!? Niwie radhi yaani hapa sasa ndo inanilazim kuunganisha kabisa dots na hiyo strategy ya hicho Chama chenu kwenye ile election nafikiri ya 2010!!
Lakini hivi ndo wale Wakoloni walivyotaka iwe Dunia nzima,yaani Historia yoote iwe ni ile tu wanayotaka Wazungu Slave Masters isomwe au ieleweke.

Hizi Propaganda mpaka kesho zinaathiri uhusiano baina ya West Indians,Afrikan Amerikan na Afrikans.

Kwa ufupi JokaKuu,mimi wala sikulaumu wewe kuwa na hizo Colonial Connotations. Hayo ni mafanikio makubwa ya Wazungu waliyoyafanya kwa miaka na karne nyingi saana.

Huu mnakasha una vituko na viroja vingi,yaani leo inafikia pahala watu weusi ati wanatamani na kuwakumbuka Wazungu kwa "wema na ukarimu" walofanza Afrika!?

Haina neno tuendelee na mnakasha.
 

Mag 3 Shukran kwa posting yako. Dalili za hayo unayoyasema mbona zilianza muda. Za Wanyasa, lakini wao hawataji kabila lao???? Haya ni mabaki ya hiki utakachosoma hapa chini na wengine:

1. Kitabu: Kwaheri Uhuru ……… pg 403.

"………….Kwa mujibu wa Mohammed Said Harib Al Mahruqy, "Ukichukuliya idadi ya watu wote kutoka visiwa vya Unguja na Pemba ya wakati huo kuwa ilikuwa ni 400,000 na idadi ya Waarabu peke yao ilikuwa ni 50,000 (asilimiya 12 ya idadi ya watu wote)" Hapa ni Kwamba 12% wanawatawala 88%. Raha kuwa daraja la watawala bwana!!!!! Mtwana jeee?

Mzee Hamisi Daruwesh ktk Kwaheri Uhuru…… Pg 23-24 anaeleza masahibu ya Waafrika na dharau za hawa mabwana huko Zenj;
"……watu wa Zanzibar "walikuwa hawataki kujinasibu kama Waafrika. Hawapendi kuunga mkono Waafrika na walikuwa wakiwaita wakata maji."
"……Lakini uchaguzi wa pili ikaja pingamizi kwamba wote waliozaliwa Bara hawatapiga kura. Ukijipanga kwenye mstari, wanakuja wakikuuliza, katika mstari walikuwapo mawakala wa Hizbu na wa ASP. Unaulizwa utamke ‘halua', wengine hawawezi wanasema ‘haarua' kwa hiyo wanakutimua kwenye mstari" (huu ubaguzi dhidi wa yawatu wa bara umeanza tena kuvuma. Ila safari hawaulizwi waseme Halua.

Swali: Kumbe nyie siyo waafrika na wala hamkuwa mnataka kujinasibu na uafrika huku Afrika mlikuwa mnasubiri nini? Mli-renew licence kweli??

Mbinu za kudanganya watu kwa mgongo wa dini: Hili walianza tangu zamanai kama ilivyo kwenye Kwaheri Uhuru (Mzee Mkwawa&#8230😉. Bado wanalo, na viji "aya ambavyo si mahali pake"….

"…..Mwaka wa 1960 kwenye mwezi wa tisa [Septemba] kama hivi, walitolewa vijana wawili kati ya Zuberi Mtemvu na Chipaka, kuja eneo la Wete, Pemba, kuja kufanya kampeni. Hawa walichukuliwa na chama cha Zanzibar Nationalist Party (ZNP) kuja kufanya kampeni ili kuonekana chama cha TANU kibaya. Zuberi Mtemvu alisema mnachokifata si chama cha haki, mnafikiri ule msikiti mkubwa ulojengwa Tanga msikiti, lakini si msikiti ule wanasali Waislamu na Wakristo. Kwa hivyo kama mnafuata TANU mmepotea ndugu zetuni, wa visiwani. Nyinyi ni Washirazi, waumini, leo mnaweza kuungana na chama dhaifu kama TANU ambapo kiongozi wao hana maadili ya Kiislamu."

MWISHO WA WENZAO ILIKUWAJE?

2. Mwaka 1946; idadi ya Wazungu huko Zimbabwe ilikuwa 80,500. Hawa walikuwa wanatawala Waafrika 1,640,000. Yaani 5% wanawatawala 95%

Hawa tuliwakomboa na dhulma hii, Msumbiji nao tuliwakomboa, Namibia nao tuliwakomboa, na kabla yao jee…. Zenj??? Why NOT

Tunawashukuru sana WAZEE WETU PAMOJA NA FIELD MARSHALL JOHN OKELLO (huyu alizichapa kavu) kuwakomboa waafrika wenzetu wa ZENJ. Hatujuti. wengi tunajivunia sana mchango wa taifa hili katika kuwakomboa wanyonge kama hawa wa zimbabwe, angola, namibia, sahara magharibi na hatuna majuto ya kumkomboa mwafrika mwenzetu toka utawala wa kikoloni wa kiarabu ambapo asilimia 12 ilijihalalishia kuitawala asilimia 88.
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu,

Nani kakupa mamlaka ya kuwasemea Watanzania naona hapa ndugu yangu umeteleza ingawa Jasusi kakupongeza sana waswahili wanasema umemkosha kwa maneno yako murua.
..kwanza, kwetu sisi watu wa BARA, kuna tofauti kati ya MUARABU na MZUNGU.
.
Hapa naomba kwa faida ya wanaukumbi utufahamishe unawaongelea wa bara wa wapi bara kubwa hili nipate kukujibu vizuri, sababu umesema kwenu nyie wa bara.
MZUNGU yeye tunamtambua kama MKOLONI kwasababu alifika hapa na kuanzishwa utawala wa mabavu wa kikoloni.
Mnawatambua nyie kina nani? hebu soma hapa chini dunia inawatambuaje Wazungu.
[h=3]Rome[/h] See also: Slavery in ancient Rome
Romans inherited the institution of slavery from the Greeks and the Phoenicians.[SUP][21][/SUP] As the Roman Republic expanded outward, entire populations were enslaved, thus creating an ample supply to work in Rome's farms and households. The people subjected to Roman slavery came from all over Europe and the Mediterranean. Such oppression by an elite minority eventually led to slave revolts; the Third Servile War led by Spartacus was the most famous and severe. Greeks, Berbers, Germans, Britons, Slavs, Thracians, Gauls (or Celts), Jews, Arabs, and many more were slaves used not only for labor, but also for amusement (e.g. gladiators and sex slaves). If a slave ran away, he was liable to be crucified. By the late Republican era, slavery had become a vital economic pillar in the wealth of Rome.[SUP][22][/SUP] In the Roman Empire, probably over 25% of the empire's population,[SUP][23][/SUP] and 30 to 40% of the population of Italy[SUP][24][/SUP] was enslaved.
[h=3]Celtic Tribes[/h] Celtic tribes of Europe are recorded by various Roman sources as owning slaves. The extent of slavery in prehistorical Europe is not well known however.[SUP][25][/SUP]
[h=3]The Vikings and Scandinavia[/h] Main articles: Thrall and Volga trade route
In the Viking era beginning circa 793, the Norse raiders often captured and enslaved militarily weaker peoples they encountered. In the Nordic countries the slaves were called thralls (Old Norse: Þræll).[SUP][26][/SUP] The thralls were mostly from Western Europe, among them many Franks, Anglo-Saxons, and Celts. Many Irish slaves participated in the colonization of Iceland.[SUP][27][/SUP] There is evidence of German, Baltic, Slavic and Latin slaves as well. The slave trade was one of the pillars of Norse commerce during the 6th through 11th centuries. The Persian traveller Ibn Rustah described how Swedish Vikings, the Varangians or Rus, terrorized and enslaved the Slavs. The thrall system was finally abolished in the mid-14th century in Scandinavia.[SUP][28]
[/SUP]
[h=3]Portugal[/h] See also: Slavery in Portugal, Portuguese Empire, and Economic history of Portugal

Portrait of an African Man, c. 1525-1530. The insignia on his hat alludes to possible Spanish or Portuguese origins.


The 15th-century Portuguese exploration of the African coast is commonly regarded as the harbinger of European colonialism. In 1452, Pope Nicholas V issued the papal bull Dum Diversas, granting Afonso V of Portugal the right to reduce any "Saracens, pagans and any other unbelievers" to hereditary slavery which legitimized slave trade under Catholic beliefs of that time. This approval of slavery was reaffirmed and extended in his Romanus Pontifex bull of 1455. These papal bulls came to serve as a justification for the subsequent era of slave trade and European colonialism. Although for a short period as in 1462, Pius II declared slavery to be "a great crime".[SUP][54][/SUP] The followers of the church of England and Protestants did not use the papal bull as a justification. The position of the church was to condemn the slavery of Christians, but slavery was regarded as an old established and necessary institution which supplied Europe with the necessary workforce. In the 16th century African slaves had replaced almost all other ethnicities and religious enslaved groups in Europe.[SUP][55][/SUP] Within the Portuguese territory of Brazil, and even beyond its original borders, the enslavement of native Americans was carried out by the Bandeirantes.
Among many other European slave markets, Genoa, and Venice were some well-known markets, their importance and demand growing after the great plague of the 14th century which decimated much of the European work force.[SUP][56][/SUP] The maritime town of Lagos, Portugal, was the first slave market created in Portugal for the sale of imported African slaves – the Mercado de Escravos, opened in 1444.[SUP][57][/SUP][SUP][58][/SUP] In 1441, the first slaves were brought to Portugal from northern Mauritania.[SUP][58][/SUP] Prince Henry the Navigator, major sponsor of the Portuguese African expeditions, as of any other merchandise, taxed one fifth of the selling price of the slaves imported to Portugal.[SUP][58][/SUP] By the year 1552 African slaves made up 10 percent of the population of Lisbon.[SUP][59][/SUP][SUP][60][/SUP] In the second half of the 16th century, the Crown gave up the monopoly on slave trade and the focus of European trade in African slaves shifted from import to Europe to slave transports directly to tropical colonies in the Americas – in the case of Portugal, especially Brazil.[SUP][58][/SUP] In the 15th century one third of the slaves were resold to the African market in exchange of gold.[SUP][55][/SUP]
As Portugal increased its presence along China's coast, they began trading in slaves. Many Chinese slaves were sold to Portugal.[SUP][61][/SUP][SUP][62][/SUP] Since the 16th century Chinese slaves existed in Portugal, most of them were Chinese children and a large amount were shipped to the Indies.[SUP][63][/SUP] Chinese prisoners were sent to Portugal, where they were sold as slaves, they were prized and regarded better than moorish and black slaves.[SUP][64][/SUP] The first known visit of a Chinese person to Europe dates to 1540, when a Chinese scholar, enslaved during one of several Portuguese raids somewhere on the southern China coast, was brought to Portugal. Purchased by João de Barros, he worked with the Portuguese historian on translating Chinese texts into Portuguese.[SUP][65][/SUP] Dona Maria de Vilhena, a Portuguese noble woman from Évora, Portugal, owned a Chinese male slave in 1562.[SUP][66][/SUP][SUP][67][/SUP][SUP][68][/SUP] In the 16th century, a small number of Chinese slaves, around 29–34 people were in southern Portugal, where they were used in agricultural labor.[SUP][69][/SUP] Chinese boys were captured in China, and through Macau were brought to Portugal and sold as slaves in Lisbon. Some were then sold in Brazil, a Portuguese colony.[SUP][70][/SUP][SUP][71][/SUP][SUP][72][/SUP] Due to hostility from the Chinese regarding the trafficking in Chinese slaves, in 1595 a law was passed by Portugal banning the selling and buying of Chinese slaves.[SUP][73][/SUP] On 19 February 1624, the King of Portugal forbade the enslavement of Chinese of either sex.[SUP][74][/SUP][SUP][75][/SUP]
[h=3]Spain[/h] See also: Spanish Empire, Spanish colonization of the Americas, and Black ladino

Emperor Charles V captured Tunis in 1535, liberating 20,000 Christian slaves


The Spaniards were the first Europeans to use African slaves in the New World on islands such as Cuba and Hispaniola, where the native population starved themselves rather than work for the Spanish. Although the natives were used as forced labor (the Spanish employed the pre-Columbian draft system called the mita),[SUP][76][/SUP] the spread of disease caused a shortage of labor, and so the Spanish colonists gradually became involved in the Atlantic slave trade. The first African slaves arrived in Hispaniola in 1501;[SUP][77][/SUP] by 1517, the natives had been "virtually annihilated" by the settlers.[SUP][78][/SUP]
[h=3]Netherlands[/h] Although slavery was illegal inside the Netherlands it flourished in the Dutch Empire, and helped support the economy.[SUP][79][/SUP] By 1650 the Dutch had the pre-eminent slave trade in Europe.[SUP][80][/SUP] They were overtaken by Britain around 1700. Historians agree that in all the Dutch shipped about 550,000 African slaves across the Atlantic, about 75,000 of whom died on board before reaching their destinations. From 1596 to 1829, the Dutch traders sold 250,000 slaves in the Dutch Guianas, 142,000 in the Dutch Caribbean islands, and 28,000 in Dutch Brazil.[SUP][81][/SUP] In addition, tens of thousands of slaves, mostly from India and some from Africa, were carried to the Dutch East Indies.[SUP][82][/SUP]
[h=3]Great Britain and Ireland[/h] Main articles: Slavery in Britain and Ireland and Slavery in the colonial United States
Capture in war, voluntary servitude and debt slavery became common, and slaves were routinely bought and sold, but running away was common and slavery was never a major economic factor. Ireland and Denmark were markets for captured Anglo Saxon and Celtic slaves. Pope Gregory I reputedly made the pun, Non Angli, sed Angeli ("Not Angles, but Angels"), after a response to his query regarding the identity of a group of fair-haired Angles slave children whom he had observed in the marketplace. After 1100 slavery faded away as uneconomical.[SUP][83][/SUP]
[h=4]Barbary Corsairs[/h] From the 16th to 19th century, Barbary Corsairs raided the coasts of Europe and attacked lone ships at sea. From 1609 to 1616, England lost 466 merchant ships to Barbary pirates. 160 English ships were captured by Algerians between 1677 and 1680.[SUP][84][/SUP] Many of the captured sailors were made into slaves and held for ransom. The corsairs were no strangers to the South West of England where raids were known in a number of coastal communities. In 1627 Barbary Pirates under command of the Dutch renegade Jan Janszoon operating from the Moroccan port of Salé occupied the island of Lundy.[SUP][85][/SUP] During this time there were reports of captured slaves being sent to Algiers.[SUP][86][/SUP][SUP][87][/SUP]
Ireland, despite its northern position, was not immune from attacks by the corsairs. In June 1631 Murat Reis, with pirates from Algiers and armed troops of the Ottoman Empire, stormed ashore at the little harbor village of Baltimore, County Cork. They captured almost all the villagers and took them away to a life of slavery in North Africa.[SUP][88][/SUP] The prisoners were destined for a variety of fates-some lived out their days chained to the oars as galley slaves, while others would spend long years in the scented seclusion of the harem or within the walls of the sultan's palace. Only two of them ever saw Ireland again.
[h=4]Atlantic slave trade[/h] Main article: Atlantic slave trade
Britain played a prominent role in the Atlantic slave trade, especially after 1600. Slavery was a legal institution in all of the 13 American colonies and Canada (acquired by Britain in 1763). The profits of the slave trade and of West Indian plantations amounted to 5% of the British economy at the time of the Industrial Revolution.[SUP][89][/SUP] The Somersett's case in 1772 was generally taken at the time to have decided that the condition of slavery did not exist under English law in England. In 1785, English poet William Cowper wrote: "We have no slaves at home – Then why abroad? Slaves cannot breathe in England; if their lungs receive our air, that moment they are free. They touch our country, and their shackles fall. That's noble, and bespeaks a nation proud. And jealous of the blessing. Spread it then, And let it circulate through every vein."[SUP][90][/SUP] In 1807, following many years of lobbying by the Abolitionist movement, the British Parliament voted to make the slave trade illegal anywhere in the Empire with the Slave Trade Act 1807. Thereafter Britain took a prominent role in combating the trade, and slavery itself was abolished in the British Empire with the Slavery Abolition Act 1833. Between 1808 and 1860, the West Africa Squadron seized approximately 1,600 slave ships and freed 150,000 Africans who were aboard.[SUP][91][/SUP] Action was also taken against African leaders who refused to agree to British treaties to outlaw the trade, for example against "the usurping King of Lagos", deposed in 1851. Anti-slavery treaties were signed with over 50 African rulers.[SUP][92][/SUP] In 1839, the world's oldest international human rights organization, Anti-Slavery International, was formed in Britain by Joseph Sturge, which worked to outlaw slavery in other countries.[SUP][93][/SUP]
In 1811, Arthur William Hodge was the first slave owner executed for the murder of a slave in the British West Indies.[SUP][94][/SUP] He was not, however, as some have claimed, the first white person to have been lawfully executed for the killing of a slave.[SUP][95][/SUP][SUP][96][/SUP]
[h=3]Pre-industrial Europe[/h] It became the custom among the Mediterranean powers to sentence condemned criminals to row in the war-galleys of the state (initially only in time of war).[SUP][97][/SUP] The French Huguenots filled the galleys after the revocation of the Edict of Nantes in 1685 and Camisard rebellion.[SUP][98][/SUP] Galley-slaves lived in unsavoury conditions, so even though some sentences prescribed a restricted number of years, most rowers would eventually die, even if they survived shipwreck and slaughter or torture at the hands of enemies or of pirates.[SUP][99][/SUP] Naval forces often turned 'infidel' prisoners-of-war into galley-slaves. Several well-known historical figures served time as galley slaves after being captured by the enemy-the Ottoman corsair and admiral Turgut Reis and the Knights Hospitaller Grand Master Jean Parisot de la Valette among them.[SUP][100][/SUP]
From the 1440s into the 18th century hundreds of thousands of Ukrainians were sold into slavery to the Turks. In 1575, the Tatars captured over 35,000 Ukrainians; a 1676 raid took almost 40,000. About 60,000 Ukrainians were captured in 1688; some were ransomed, but most were sold into slavery.[SUP][101][/SUP][SUP][102][/SUP] Some of the Roma people were enslaved over five centuries in Romania until abolition in 1864 (see Slavery in Romania).[SUP][103][/SUP]
Denmark-Norway was the first European country to ban the slave trade. This happened with a decree issued by the king in 1792, to become fully effective by 1803. Slavery itself was not banned until 1848. At this time Iceland was a part of Denmark-Norway but slave trading had been abolished in Iceland in 1117 and had never been reestablished.[SUP][104][/SUP]
Slavery in the French Republic was abolished on 4 February 1794 however it was re-established by Napoleon Bonaparte in 1804. Slavery would be permanently abolished in the French empire during the French Revolution of 1848. The Haitian Revolution established Haiti as a free republic ruled by blacks, the first of its kind.[SUP][105][/SUP] At the time of the revolution, Haiti was known as Saint-Domingue and was a colony of France.[SUP][106][/SUP]

Kwa msingi huo ndiyo utaona kwamba sisi watu wa BARA
Hapa ndiyo nataka utufahamishe nyie watu wa bara taja hizo sehemu.
 
Last edited by a moderator:

Ritz,

Al Akhiy.

Ahsanta,hawa jamaa zako unawezana nao mwenyewe. Mie huwa siwezi yale malumbano,japo JokaKuu ni mmojawapo ya watu ninaowaheshimu hapa jamvini ndo maana nikawa nazungumza nae kiduchu.

Unajua hizo topic ni ndefu na yataka kwanza mtu awe na foundation nzito ya uelewa vitu fulani,pia apate exposure madhubuti. La si hivyo itakua ile pasua kichwa!ahaha!!

Nastaajabu pale JokaKuu ndugu yangu kipenzi, ati nae anajipa yakuwa na authority ya kuzungumza kwa niaba ya Wabara woote!?ahaha!! Ndo maana nikamuuliza embu nitajie hiyo Bara au huo Mkoa unaouwakilisha!?

Huko Mabara koote ni kwetu tangia karne na huko Zanzibar halikadhalika...labda hii sasa ndo inaleta ile "Kisirani Shida" na Hasada!

Haina neno tuendelee na mnakasha.

Ahsanta.
 

Ritz,

Al Akhiy.

Ahsanta,hawa jamaa zako unawezana nao mwenyewe. Mie huwa siwezi yale malumbano,japo JokaKuu ni mmojawapo ya watu ninaowaheshimu hapa jamvini ndo maana nikawa nazungumza nae kiduchu.

Unajua hizo topic ni ndefu na yataka kwanza mtu awe na foundation nzito ya uelewa vitu fulani,pia apate exposure madhubuti. La si hivyo itakua ile pasua kichwa!ahaha!!

Nastaajabu pale JokaKuu ndugu yangu kipenzi, ati nae anajipa yakuwa na authority ya kuzungumza kwa niaba ya Wabara woote!?ahaha!! Ndo maana nikamuuliza embu nitajie hiyo Bara au huo Mkoa unaouwakilisha!?

Huko Mabara koote ni kwetu tangia karne na huko Zanzibar halikadhalika...labda hii sasa ndo inaleta ile "Kisirani Shida" na Hasada!

Haina neno tuendelee na mnakasha.

Ahsanta.
 
 
Uafrika ni nini?
 


Yericko,

Sahihisho kidogo African Association Tanganyika ilianzishwa 1929 siyo 1927.
 
gombesugu,

..sisi huku BARA tunajuana kwa makabila yetu.

..wewe mwenzetu kabila lako ni lipi?

..au, ndiyo akina Al-Shiraz, Al-Mazrui, halafu mnaukana Uarabu[sisi kwetu hata waajemi tunaita waarabu]??

..tuendelee.

JokaKuu,

Bara wapi? Labda sema Musoma mimi sijawahi kuulizwa kabila langu.
 
Last edited by a moderator:
Yericko,Naona sasa unaanza kuzeeka vibaya! dalili ni hizi za kila Mohamed Said anapoalikwa kwenda nje kutoa Lecture, na wewe ni lazima ujikakamue kuwa hata na wewe umealikwa Majuu! halafu huku kuzeeka vibaya ni neno la Kiswahili, la kitaalamu huitwa dementia humfanya mtu mzima kiumri aonekane kama katoto vile kwa kutaka ushindani!Yericko hauna ubavu wa kujilinganisha na Mohamed Said! tunamfahamu sana na hicho kipindi cha Meza ya duara mimi nilikisikiza na pia kuna kipindi kingine kilichotayarishwa na Charles hilari kama sijakosea miongoni mwa wasemaji ni Mohamed Said lakini Mtangazaji hakutaka kabisa MS ajieleze vizuri hivyo kumpa nafasi finyu kulinganisha na wasemaji wengine!MS ni maarufu hapa nchini na kimataifa sasa wewe mwenzangu na mimi unataka kutumia jina la familia ya Kambarage ili ujitambulishe na kutambuliwa? unaona Dementia hiyo!
 

Inna lillahi wainnna illaihi rajihunna.

Hakika si kwa kusimuliwa bali kwa kuona kwa macho yangu yote yaliotokea wakti huo Hapo Mwera.

Allah atunusuru na dhulma.

mashukuurah yaa akhiy Gombesugu



 

Nilipo RED.i

Nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo kuhusu Nyie watu wa Bara kuwa ni nani na mnahusikaje katika uchuguzi au mambo ya nchi ya Zanzibar mpaka muweze toa fatwa hiyo.

Naomba ufafanuzi wangu ahali yangu

 
JokaKuu,

Bara wapi? Labda sema Musoma mimi sijawahi kuulizwa kabila langu.

we jamaa huwa nakushangaa sana mtu akitoka Mara hupendi mtu akitoka Kilimanjaro, Arusha pia na penyewe hupendi acha ubaguzi...

Halafu kuna jamaa anakusifia eti una mipini mikali kupambana na chadema eti huwa unapambana kwa mipini mikali kwasababu eti amejiridhisha baada ya kupitia nyuzi mbalimbali, akajaribu na kupanga cabinet

ndugu yangu ngojea nikwambie ukweli mchungu ni hivi jamaa anakuvika kilemba cha ukoka yaani hauna mipini yoyote kuhusiana na chadema
 
Last edited by a moderator:
Kwa Al Akhiy gombesugu; naona unaanza kwa kumpa like Al Akhiy shariff Ritz kwa "copy and paste" aliyoiweka hapa, mbona hataji "source" yake? Pili, mara nyingi tumeombwa tusishabikie source kutoka kwa Wazungu, hapa imekuwaje tena? Hayo tuyaache turudi kwenye maandishi yako Al Akhiy gombesugu; nianze kwa nukuu hii hapa;
gombesugu, naomba nikupe darasa kidogo kuhusu kinachoitwa uchaguzi na kwa nini uchaguzi wa mwaka 1961 haukuwa halali. Wapiga kura waliojiandikisha walikuwa 93,918 na waliopiga kura walikuwa 90,595 sawasawa na asilimia 96.5%; huo mwitikio wa wananchi ni excellent ukilinganisha na asilimia chini ya 40% waliojitokeza kwenye uchaguzi mkuu Tanzania mwaka 2010. Je, matokeo yalikuwaje? Chungulia mwenyewe;

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]
Chama​
[/TD]
[TD]
Kura​
[/TD]
[TD]
Asilimia​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Afro-Shirazi Party (ASP)[/TD]
[TD] 45,172[/TD]
[TD="width: 78"] 50.6%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"] Zanzibar Nationalist Party (ZNP)[/TD]
[TD="width: 74"] 31,681[/TD]
[TD="width: 78"] 35.3%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"] Zanzibar & Pemba Peoples Pary (ZPPP)[/TD]
[TD="width: 74"] 12,411[/TD]
[TD="width: 78"] 13.9%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"] Kura zilizoharibika[/TD]
[TD="width: 74"] 1,331[/TD]
[TD="width: 78"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"] Jumla ya kura zilizopigwa[/TD]
[TD="width: 74"] 90,595[/TD]
[TD="width: 78"] 100%[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Al akhiy gombesugu, hata ukizijumlisha kura za ZNP na ZPPP hazifikii kura walizopata ASP; sasa Al akhiy, huo ushindi wa halali uliozidi kuwaweka wazalendo utumwani kwenye visiwa vya Unguja mikononi mwa mkoloni mwarabu ni upi? Je kama wazalendo kwa msaada wa Field Marshal John Okello hawakukubali kuendelea kuwa chini ya Sultani Sayyid Jamshid bin Abdullah Al Said na wakaamua kumtimua, kosa lao nini? Of course naelewa uchungu mlio nao masalia ya Usultani lakini hapa mmenoa, katu mwarabu harudi!

copy; Al akhiy wote, joka Kuu, Nguruvi3, Yericko Nyerere, Mzee Mwanakijiji, Ngongo, Wickama, Jasusi, WildCard na wazalendo wote mnaoitakia mema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…