Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar



Jokakuu you are right; Utumwa hapa kwetu ni REALITY. Sultan aliyesainishwa nadhani ni Barghash. Ila wanasema iliendele kichichini baada ya hapo. India kuna sehemu kabisa kuna waafrika ambao ni wazaliwa wa hao watumwa toka huku. Nadhani dada mmoja wa Kenya (mwandishi) alipata tuzo ya CNN ya ku-cover these guys.
 
Last edited by a moderator:

Nimesema hapa something about the spirit of the narration nikaambulia some rebuke ya MS. Shukran Wildcard kwa kuliona hilo.
 

Wickama,

Naona kama dasturi yako umeingia kwa kukurupuka na vishindo vingi mno.

Verify/verification nilokusudia kwenye yale majibu yangu kwa Yericko,yeye alishanifahamu ndo maana katumia ustaarabu kiduchu wa kutulizana.

Lakini wewe umeamua kunifungulia kindergarten/Nursery School ya IT Hub/Port traceability!?ahaha!! Nakushukuru lakini usipate taabu ndugu yangu. Kabla ya kuingia hapa jamvini; ilinilazim kufikiri,kuzingatia na kupitia mambo na vitu vingi mno kuliko unavyohisi.

La kama unatumia hayo kunitisha,hasha! Maana umekwenda kwa mtu wrong kabisaa! Mimi kutishika kwa lolote itakuwa ni kinyume cha maadili yangu na pia sisi hatuna asili ya kutishwa halafu ati tukatishika.

Kama unatamani nitaku-PM na ufike mpaka kizingitini petu hapo D'Salaam na utapokelewa kwa wema mwingi tu. Lakini tukikubaliana yakuwa utanihifadhi kwa muda/kiduchu wakti nikiendelea kuwapo hapa jamvini!?

Niwie radhi, takupa kisa kiduchu. Mimi mara nyingi napanda El Al Airline or Arkia Airline both Israel Airlines,ninapokwenda Haifa,Eilat au Tel Aviv. Basi zamani kiduchu walikua wakinipa vituko na vitimbi vingi mno...nafikiri ilikua ikiwatatiza haya majina yangu ya kiiIslamu,khasa wakiona mzunguko wangu mwingi kwenye Passport. Kuna wakti nilishawahi kuhojiwa na Shin Bet takriban 45min pale Ovda International wakti nakwenda Eilat kwa Family. Maswali yao yoote yalikua ni ya kipuuzi tu! Lakini siku hizi washanizoea wala sipati taabu asilan!

Kama wewe ni msafiri wa mara kwa mara, nafikiri utajua jinsi gani security check iliyopo kwenye El Al,tena kuanzia tangia pale una-login kwenye site yao kuthubutu tu kukata ticket.

Nina mifano na majambo mengi saana ya kukupa kuhusu hayo "ulonitahadharisha",lakini hapa si pahala pake. Unajua pana watu wengine wanakwazika na "khadith za watu wa Madrassa". Nami nachelea kuwakera Wanajamvi wenzangu!ahaha!!

Kwa kifupi,mimi binafsi matata yanikurubiapo basi huyapenda na kuyapigia nderemo na vifijo vingi. Lakini personality yangu, mimi ni mtu mtaratibu mno ndugu yangu na pia ni mvivu wa kuzungumza. Lakini Insha Allah,siku nikija Lushoto(kama bado upo huko!?) takutafuta ujithibitishie mwenyewe.

Napajua uzuri huko,khasa pale Soni,Bumbuli,Mlalo,Mazinde na baadhi ya vijiji vilivyopo kati ya sehemu hizo. Nakumbuka zile barabara zao zamani ilikua taabu mno magari mawili kupishana,khasa kwenye yale maporomoko na miteremko mikali.

Natumai umenifahamu japo kiduchu,na tuendelee na mnakasha.

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
gombesugu,

..wala siwezi kubishana na wewe kwamba MTUME alikataza utumwa.

..dini zote zinakataza na kulaani maovu mbalimbali.

..pamoja na hayo bado kuna vichwa maji miongoni mwa wanadamu ambao hawafuati mafundisho ya dini zao.

JokaKuu,

Nashukuru ndugu yangu.

Pana mambo na vitu vingi mno,kuthibitisha sio tu Wazungu bali Kanisa khasa Vatican lilivyoshiriki kikamilifu katika Biashara ya Utumwa. Na Wazungu walivyokua wakitumia na kunukuu vipengele vya kwenye Bible kuendeleza udhalimu wao kwa Watu weusi.

Pale Unguja mpaka kesho ndani ya Kanisa la Mkunazini pana ushahidi wa vigingi walokua wakifungiwa Watumwa ili wasitoroke,na huku Makasisi wakishiriki kikamilifu.

Nilkua zamani kwenye team ya Table Tennis ya pale Kanisani,chini ya Uangalizi wa Mzee Mazuguni wa Ndahani,huyu pia ni family friend wetu na ananijua vizuri na tukihishimiana mno. Ni Kiongozi Mkubwa mno wa Kanisa hapo Tanzania khasa ule ulokua nafikiri Usharika wa Tanga na Zanzibar. Japo huyu Mzee kwao ni Dodoma. Sijui kama bado yupo hai au la..maana nimepoteza nao mawasiliano kitambo!?

Haya masuala kwakuwa yana elements za malumbano ya kidini,mimi binafsi nisingependa asilan kuendelea nayo.

Point niliyokua najaribu kukuonyesha ni yakuwa Uislam wenyewe,yaani Qur'aan na Mtume Muhammad hawakushiriki na walipiga marufuku na kukemea kwa ukali na juhudi ziziso kifani.

Lakini ndugu zetu wa Kizungu au Kanisa khasa Vatican,imefanza ushiriki mkubwa mno katika biashara hiyo ya Utumwa. Yaani hapa nina maana mpaka wale Makasisi na Makanisa kubariki na kuzifanzia maombolezo makubwa na Ibada zile Manuari za kina Vasco Da Gama na C. Columbus kwenye Makanisa kabla ya kwenda kufanza ule udhalimu/"uvumbuzi"...na huku hayo Makanisa na Viongozi wake woote wakijua kiundani na kujihusisha!?

Ukija kwenye upande wa Waarabu,ni kweli walifanza madhila mengi mno, ukatili uso kifani na walifanza Biashara ya Utumwa. Lakini kumbuka hao Waarabu hayo mambo walikua wakifanza kabla hata Mtume Muhammad hajazaliwa!

Hakuna ushahidi yakuwa Mtume Muhammad,Masheikh,Maulamaa au Qur'aan ilitumika kuhalalisha au kubariki Biashara ya Utumwa...kwa kifupi hakuna kabisa! Asilan abadan!

Kama ungekuwepo,ungeshauona kutwa kucha unanyambuliwa khasa kwenye Western mainstream Medias/empires na wale so called Specialists/Orientalists.

Tafadhali tuyaache haya majambo,si mazuri khasa kwangu mimi.

Kumbuka nilishasema tangia siku chache za mwanzoni kujiunga hapa jamvini;yakuwa sipendi na wala sijawahi maishani mwangu kujihusisha na malumbano ya kidini.

Ndo maana nilikua namdodosa mno na kumsumbua Mwanakijiji,maana yeye hii ndiyo Hobby yake kubwa kama alivyowahi kutuambia awali hapa jamvini.

Shukran.

Cc;Ritz
 
Nimesema hapa something about the spirit of the narration nikaambulia some rebuke ya MS. Shukran Wildcard kwa kuliona hilo.
Wickama,

..maudhui ya madai ya Tanganyika kule UN yasingeweza kubadilika regardless of who was presenting us.

..my guess ni kwamba hicho ndicho alichokuwa akikizungumzia Mzee Ally Sykes[r.i.p].

..kwa upande mwingine, ningependa sana kumjua mwandishi aliye-coin kauli mbiu ya, "sisi wananchi wa Tanganyika, tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro..."

cc: Mohamed Said, Jasusi, Ritz, gombesugu, Mag3
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu,Ni kweli maudhui yasingeweza kubadilika. Muhimu kukumbuka hapa ni kuwa hadi mwaka 1953 Tanganyika haikuwa na chama cha siasa. TAA ilikuwa bado ni NGO hadi Mwalimu na wenzake walipoandika katiba mpya( Mzee Mohamed anasema wali-copy na ku-paste ile ya Ghana!).Mapenzi ya Mzee Mohamed kwa akina Sykes yalimfanya asifikiri nje kidogo ya yale alioyakuta kwenye vikabrasha vyao. Akaamini kila kitu. Dini yao hawa wazee ikawa ni kigezo tosha kuwakubali zaidi. Ukatoliki wa Mwalimu ukawa ni balaa!
 
Last edited by a moderator:

hahahahaha Gombesugu; sawa karibu sana ndugu YANGU huwa nacheka sana kila nikikuta kati ya maneno yako matatu (patent);AHSANTA, KIDUCHU NA UCHEFUCHEFU. hahahahahah. Usijali tuko pamoja. Pia niwie radhi inaelekea nilichangia kitu ambacho hukuhitaji. Kalamu ilikuwa imejaa wino!!!! Kuhusu kuendesha gari huku milimani nitakupeleka Mtae. Uendeshe bila kuangalia pembeni!!!! Haswa Reverse. hahahah. Jioni njema.
 

Wild Card,
Tafuta katiba ya CPP na ya TANU kisha fananisha.

Mapenzi yangu kwa Abdu Sykes ni makubwa wala
si uongo.

Ni haya mapenzi ndiyo yalonifanya niandike historia
ya maisha yake.

La mwisho hilo la kunakili katiba halipo katika nyaraka
za Sykes hili kanambia Tewa Said Tewa.

Ngoja nikufahamisha.
Nyaraka za Sykes wala isikupitie kuwa ni "vikabrasha."

Kila aliyeacha alama katika historia ya Tanganyika yumo.

Kuanzia Kleist mwenyewe, magavana, Wazungu kama
Ivor Byldon, Waasia kama Annur Kassum, wazee maarufu
wa Dar es Salaam, machifu kama David Kidaha Makwaia,
Abdiel Shangali, Thomas Marealle, Msabila Lugusha, Kunambi,
Abdallah Said Fundikira, wanaharakati wa uhuru, Abdu Sykes
na ndugu zake, Dk. Mutahangarwa, Dk. Mwanjisi, Dk. Lugazia,
Dk. Tsere, Dk. Kyaruzi, Mwapachu, Mhando, Magembe, Kirilo,
Seaton, Rupia, Kandoro, Bomani...

Haya mafaili yalizua ugomvi.
Yalitakiwa na Ally Sykes aligoma kuyatoa akidai ni ya marehemu
kaka yake binafsi si ya TANU kama chama.

Hii ilikuwa baada ya uhuru.
 

Uko sawa. Ila huanzi na negativity on a person. Kama "wajua wengi wanadhani ile hotuba Fulani ndiye aliyeiandaa.................. tulikuwa nayo kwenye maili yetu for 5 years" Hapa you are ridiculing a person. Infact a person ambaye hajawahi ku-deny your contribution to that speech. So what point are you making? Ukiwaambia kuwa hapa unasimanga mtu utaambiwa Wickama hapana hii ni historia.
 
Last edited by a moderator:
ukija tena huko nakupiga ZONGO,
teh teh teh teh (chai ya jioni)
 

Shariff gombesugu,

Nasoma bayana zako walaahi napata starehe, jamaa ana tabia za kitoto kutisha watu hata siku moja alishawahi kumuambia Mohamed Said, hayo maneno kuwa eti msako ukiaanza wanaanza na Internet Protocol address (IP address. nilicheka sana.

Hawa jamaa zetu wanadhani watu humu wajinga wanatishika ovyo hawajui hizi forums zilivyo, takupa kisa kimoja kilishawahi kunitokea mimi pale ubalozi wa Uingereza, nilikuwa na appointment kuchukuwa viza yangu nikakutana na jamaa zetu pale yeye alikuwa kaja ubalozi wa Holland hizi balozi zipo karibu madirisha ndiyo tofauti mimi nimevaa kanzu eti ananiuliza watakupa visa kweli ulivyo vaa mimi nikacheka sana nikamwambiwa I'm a very frequent flyer (and big fan) of Emirates airlines. I am also a Gold Skyward member, nimeanza kusafiri wewe bado upo kijijini kwenu.

Cha kuchekesha documents zake za viza hazijakamilika wakamwambia kuna vitu vingi vinakosekana ananifuata kuniuliza mie nikamjibu mimi takusaidia vipi wakati nimevaa kanzu...ha haa haa huku naingia zangu kwenye gari na bahasha yangu ya viza...watu wa madrassa sisi.
 

Shariff gombesugu,

Humu watu wana mahaba na mahaabuba mabaya kwa wazungu hebu hapa chini wasome wazungu wenyewe wanavyosema...ha hah haa.

 
Last edited by a moderator:
Slave Ship Jesus



Slave Ship Jesus Coat of Arms​


Slavery is a stain on the history of the British Empire. The Anglo-Saxons kept slaves, but although serfdom survived for many years, slavery had all but gone from England by the 12th century. Certainly the earliest colonies, the West Indies and Virginia could not have survived without slaves.
The British were not the first Europeans in the slave trade. The Portuguese had established themselves as traders a century earlier.
Our story, here in the sixteenth century, centres on three voyages of John Hawkins. Hawkins was the first established English slave trader. Between 1562 and 1567 he made such profits so lucrative that he was supported by the Queen who showed her investment by donating two of her own ships, the Jesus of Lubeck and the Minion.
The pattern was consistent. Hawkins sailed for the west coast of Africa and, sometimes with the help of other African natives, kidnapped villagers. He would then cross the Atlantic and sell his cargo, or those who survived the voyage, to the Spanish. The slave trade was better business than plantations.



Sir John Hawkins
For Hawkins, the trade ended in 1567 when his fleet, which included a ship commanded by Francis Drake, took shelter from a hurricane in the Gulf of Mexico. The Spanish were also there. In the chaos and fight that followed, many of his men were killed. The Queen's Jesus of Lubeck was lost. Hawkins escaped in one ship and Drake in another. He'd lost 325 men on that voyage but it still showed a financial profit.
That skirmish between the Spanish and English ships was partly a turning point in the naval confrontation between the two nations; it continued for two decades and was only partially settled by the 1588 English Channel battle with the Spanish Armada. However, slavery continued after Hawkins and, although banned in England in 1772, it continued in the colonies until the 19th century. (source: BBC)


Slave Ship Jesus of Lubeck

JESUS OF LUBECK

The Jesus Of Lubeck was a German-built carrack of 700 tons displacement built around 1544 as a Hanseatic trading ship, before being bought by Henry VIII of England and converted to a warship. In 1564 she was leased as an armed slave-ship to Captain John Hawkins who used her until she was sunk during an engagement with the Spanish at San Juan de Ulloa in the Gulf of Mexico.
The Jesus Of Lubeck had four masts, the fore and main masts were square-rigged, the mizzens lateen rigged, carried a crew of 300 and was armed with 26 guns. (source: probertencyclopaedia.com
 
THE BIG SHOW,

Hakuna simulizi inayohusu tukio la kweli isiyofanyiwa utafiti!

Kitabu cha vita dhidi ya Ugaidi ni simulizi ya kweli iliyoandikwa kufatana na matukio halisi,

Nitakupa mfano wa matukio halisi yaliyondani ya kitabu hiki!


Pembukaaaaaaaa Mwanaharakati wa GESI ya Ntwaraaaaa!


MATUKIO MUHIMU KATIKA VITA VYA IRAQ


20 Machi 2003
Saa Tisa alfajili, muda alioutoa Rais Bush kwa Rais Saddam kuondoka nchini
mwake, unamalizika pasipo tukio lolote mjini Bagdad.

11: 35 alfajiri- Marekani inazindua rasmi vita Iraq kwa kudondosha rasharasha ya
mashambulizi ya anga dhidi ya jiji la Bagdad. Nakisha Rais Bush analihutubia taifa la Marekani na kuahidi kuwa kuwepo na kampeni kamambe za kumpokonyoka Rais
Sadam Hussein silaha za maangamizi. Kesho yake inatangaza kuwa Rais Saddam
ameuawa.
Lakini, Saddam anaonekana kwenye luninga akiwa amevalia mavazi rasmi ya kijeshi na kutangaza kuwa anahakika ya kupata ushindi na kuwataka raia wote wa Iraq kupambana na wavamizi. Hakuongelea lolote juu ya shambulio lile la alfajiri ambalo
liliangamiza kabisa Kasri lake kando kando ya mto Tigris, wala alivyo nusurika.
Viongozi kadhaa duniani wanapinga mpango wa vita wa Marekani kwakuhofia kuwa raia wasio na hatia maelfu kwa mamia wakimo watoto wangeuawa.

21 Machi- (siku ya pili)

Askari wanane wa Uingereza na wanne wa Marekani wanakuwa wahanga wa kwanza
kufa vitani baada ya helkopta zao mbili kugongana wakati zikijiandaa kuruka huko Kuweit kwenye kambi yao.
Marekani inazindua rasmi mashamulizi ya maangamizi kwa kulibamiza jiji la Bagdad kwa kushusha mvua ya makombora 10,000 ya aina ya Cruise na mengine 10,000
yamidege ya kivita aina ya Tomahawk dhidi ya shabaha kadhaa ndani yajiji la
Bagdad na kwingine nchini pote. Iraq inatangaza kuwa watu watatu wameuawa
katika mashambulizi hayo na wengine 207 wa mejeruhiwa.


22 Machi- (siku tatu)
Vikosi vya washirika vinauteka mji wa kusini wa Nasiriyah, mji watatu kabla ya
kufika mji mkuu Bagdad. Vikosi vya Marekani vinakumbana na upinzani mkali
kutoka kwa vikosi vya Iraq katika mji wa mpakani wa Umm Qasr.
Kamanda wa majeshi ya Marekani Ghuba, Jenerali Tommy Franks anasema majeshi ya washirika hayanampango wa kuingia ndani ya jiji la Basra lililotekwa. Mpigapicha wa kituo cha televisheni cha Australia anauawa katika shambulio la
kigaidi Basra baada ya gari alimokuwa akisafiria kulipuliwa na bomu la kutegwa.
Saddam Hussein kwa aina nyingine ya muujiza anaonekana kwenye runinga akiwa
kwenye mkutano na baraza lake la mawaziri huku kavalia magwanda yake ya kijeshi.
Makao makuu ya jeshi la Marekani (The Pentagon) inatangaza kuwa kunamazungumzo ya siri na viongozi wakuu wa serikali ya Iraq.

23 Machi- (siku ya nne)

Midege ya kijeshi ya Marekani inalibamiza vibaya jiji la Bagdad na mji wa kaskazini
wa Mosul hasa dhidi ya vituo vya kijeshi vinavyokaliwa na wapiganaji wa mtandao
wa Al Qaeda.
Saddam anonekana live kwenye runinga akiendesha kikao na mawaziri wake katika
kile alichokiita kikao cha jumapili.
Vikosi vya mizinga ya kudungua ndege vinalidungua dege la Uingereza aina ya
Tornado kwa makosa na kisha Uingereza inasema marubani wake hawajulikani
walipo.
Vikosi vya Iraq vinaanza kujibu mapigo dhidi ya uvamizi wa majeshi ya washirika
huko Umm Qasr na mpambano huo unaendelea kwa muda wa siku nne mfululizo
kabla ya vikosi vya Saddam kuyeyuka.
Makomandoo wa Australia wanaangamiza kituo cha makombora cha Iraq kilichokuwa na mitambo ya kubebea mizinga mikubwa na kuuwa raia wa Iraq 77 na kujeruhi wengine 366 huko Basra.
Maelfu kwa mamia ya wapinga vita, wanaendelea na maandamano kila pembe ya dunia kupinga vita haramu Iraq.

24 Machi- (siku ya 5)

Saddam Hussein kama muujiza anajitokeza tena kwenye runinga na kutangaza kuwa
yupo ngangari kinoma na angeya shinda kwa kishindo majeshi dharimu ya
Marekani na Uingereza. Marekani inakanusha kuwa mtu yule hakuwa Saddam halisi bali mbadala tu.
Marekani inaanzisha mashambulizi mapya ya maangamizi dhidi ya mji wa
Nasiriahlakini, ya shindwa kusonga mbele kwenda Baghadad kutokana na
kimbunga cha jangwani.
Iraq inaonyesha miili na picha ya askari wa Marekani iliyowaua vitani na wengine
kuwateka.
Marekani inatangaza kuwa katika kipindi cha siku nne za vita imeshika mateka
askari 3,000
Ndege ya kwanza ikiwa na wanajeshi wa Marekani waliojeruhiwa vitani inatua
uwanja wa Ndege za jeshi wa Ramsten,Ujeruma kwa ajili ya matibabu.

25 Machi- (siku ya 6)
Majeshi ya uvamizi yanateka madaraja mawili muhimu kwenye mto Euphrates na pia
kuudhibiti kabisa mji wa Umm Qasr.
Raia 16 wanauawa na wengine 95 wanajeruhiwa baada ya makombora ya Marekani
kukosa shabaha na kufukua soko mjini Bagdad.
Saddam Hussein anawabadilisha nyadhifa makamanda wake wa vikosi vya
Republican Guard. (The killers)

26 Machi- (Siku ya 7)

Majeshi ya Marekani yanauwa wanajeshi 650 wa Iraq mji mtakatifu wa Najaf
kufuatia mapigano makali ya saa 24 mfululizo katika mji huo uliokatikati ya nchi.
Makombora mengine mawili ya Marekani yanafumua soko mjini Bagdad na kuuwa
kwauchache watu 14 na kujeruhi wengine 30.

Waziri mkuu wa Uingereza, Tony Blair anakwenda Marekani kukutana na Rais
Bush.


27 Machi- (siku ya 8)

Wakazi wa mji wa Bagdad wanakurupushwa usingizini alfajiri na mapema na
mashambulizi ya nguvu ya makombora wakati vita inaingia siku ya kwanza ya wiki
ya pili. Iraq inasema raia wake 350 waliuawa wiki ya kwanza ya vita.

28 Machi- (siku ya 9)
Majeshi ya anga ya Marekani yanaangamiza kabisa maeneo nyeti ya mjini Bagdad,
kikiwemo kituo cha mawasiliano kwa njia ya simu na setilaiti.
Majeshi ya Iraq yanawashambulia raia wao kwa risasi waliokuwa wanajaribu
kutoroka kutoka katika mji wa Basra uliozingirwa na majeshi ya Uingereza kwa
madai kuwa niwoga wa vita.
Kituo cha runinga cha Iraq kinarusha mahojiano kati yake na watu watatu ambao
kilisema ni wanajeshi wa Marekani waliotekwa, na kuzua hisia kali miongoni mwa
waliojiita wanaharakati wa haki za binadamu katika mataifa ya magharibi.
Bei ya mafuta katika soko la dunia inapanda mara dufu.

29 Machi- (siku ya 10)

Mashambulizi ya dhoruba yanalitikisa jiji la Bagdad na viunga vyake na kuuwa watu
62 raia.
Mpiganaji wa kujitoa muhanga anawauwa askari watano wa Marekani kwenye
kizuizi cha barabarani na kufanya idadi ya askari wa Marekani waliokufa vitani
kufikia 34.
Jiji la Kuwait City linashambuliwa kwa kombora la Skadi la Iraq na kuharibu vibaya
sehemu ya maduka ilyopo ufukweni.
Majeshi ya washirika yanashambulia jingo moja mjini Basra ambamo wakereketwa
200 wa chama tawala cha Baath walikuwa wamejichimbia kwenye mkutano.
Iraq inapinga mpango wa umoja wa Mataifa wakubadilisha mafuta kwa mali ambao
ungempa ruksa siku 45 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Koff Annan kufanya
manunuzi na madawa kutokana na mauzo ya mafuta.

30Machi-(siku ya 11)

Iraq inatoa wito kwa nchi za kiarabu kwenda Iraq kupambana na majeshi ya uvamizi
yanayoongozwa na Marekani na mshirika wake Uingereza
Kundi la kigaidi la Islamic Jihad la Upalestina linasema limesafirisha kundi la
kwanza la wapiganaji wake wakujitoa muhanga (wa kujilipua kwa mabomu) kwenda
Iraq.
Mashambulizi ya dhoruba yanaendelezwa mjini Bagdad.
Kituo cha runinga cha All Jazeera kinalipoti kuwa maelfu ya raia kutoka mataifa ya
kiarabu yanamiminika Iraq kupigana vita bega kwa bega na waislamu wenzao.
Maelfu ya askari wa Iraq yanakimbia kutoka katika mahandaki yao na kutelekeza
shehena ya silaha nzito nzito huko Basra.

31 Machi- (siku ya 12)

Marekani kwa mara ya kwanza inakili kupambana uso kwa uso na vikosi vya
Republican Guard,kusini mwa jiji la Bagdad.
Wapiganaji wa Kikurd wanaoungwa mkono na Marekani wanaripoti kuwa wameiteka
kambi ya magaidi wa Al Qaeda kaskazini mwa Iraq katika maeneo ya milima.

1 April-(sikuya14)

Vikosi vya Marekani vinawatandika kwa risasi wanawake saba wa Kiiraq na watoto
wao migongoni kwenye kizuizi cha barabarani baada ya kushukiwa kuwa ni magaidi
wa kujitoa muhanga.

2 April- (siku ya 15)

Vita rasmi vya kuliteka jiji la Bagdad vinaanza na vikosi vya Marekani siku hiyo
vinafanikiwa kumwokoa mwanajeshi wao wa kike Jessica Lynch 19, ambae alitekwa Machi 23/ 2003 wakati
msafara wao wa magari ulipigwa ambushi kule Karbala.

3 Aprili –(siku ya 16)

Vikosi vya Marekani vinafikia umbali wa kilomita 20 kuufikia uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Saddam International Airport uliopo Bagdad huku majeshi mengine
yakitokea Magharibi na mengine Kusini mwa mji huo. Wakurd waliokuwa
wakisonga mbele kutoka Kaskazini mwa Iraq, inawabidi warudi nyuma kufuatia
mapigano makali ya anga yanayofanywa na majeshi ya Marekani dhidi ya maafande
wa Sadam, lengo likiwa nikusafisha njia na kuteka makao makuu ya mji wa Khazer
katika barabara ya kuelekea mji mwingine wa Mosul.
Marekani ikitamba kuwakamata mateka 9,000 askari wa Saddam.

4 April (siku ya17)

Vikosi vya uvamizi vinauteka uwanja wa ndege wa Bagdad. Vikosi vya Marines
vinawakamata mateka wa kivita askari 2,500 watiifu wa Saddam wa kikosi cha
Republican Guard.
Iraq yatema mkwara kwa askari wa uvamizi kuwa watakiona cha mtemakuni, wengi
wao watauawa kikatili
Rais Saddamu Hussein anatoa wito kwa wananchi wa Baghdad ambao walikuwa
wakipata shida ya kukosa maji, umeme na mawasiliano ya simu, kupambana vikali
dhidi ya vikosi vya uvamizi.
Wapiganaji wa Kikurd wanapambana vikali na mkono wa chuma wa Saddam wa
Republican Guard kwa saa 24, wanafanikiwa kuvichinja na kuvuka daraja
linalounganisha mji wa Khazer na eneo la Kaskazini mwa Iraq.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Dominique de Villepinted anasema kwamba
Umoja wa Mataifa ndio wenye jukumu la kusimamia ujenzi mpya wa Iraq.
Mkuu wa kitengo cha Uchunguzi wa silaha za nyukilia wa Umoja wa Mataifa, Hans
Bliex anasema serikali ya Marekani imepoteza heshima yake katika umoja wa

Mataifa tangu kuanza kwa mgogoro wa Iraq, lakini hali hiyo haiwezi kuifanya
itengwe kimataifa.
Kamanda wa Marekani wa kikosi cha Marine, Colonel Joe Dowdy, aliyeongoza
mashambulizi mazito katika mto Euphrates mjini Nasiriyah kuelekea Bagdad
anaenguliwa katika wadhifa huo.
Viko vya Marekani vinagundua shule ambayo inaaminika kuwa inatumika kwaajili ya
kutolea mafunzo ya silaha za nyukilia, kemikali na kibaiolojia nchini Iraq.
Wafanyakazi maalum wa Umoja wa Mataifa wakutoa misaada ya kiutu kwa mara ya
kwanza wanaingia Iraq tangu waondoke wakati mipango ya mwisho ya kuivamia
nchi hiyo ikifanywa.
Malori 40 yenye shehena ya chakula kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la mpango
wa chakula Duniani (WFP) yawasili eneo la Silopi kwenye mpaka wa Uturuki na Iraq
kabla hayajaendelea na safari kuelekea maeneo ya Kaskazini mwa Iraq.
Waziri mkuu wa Uingereza, Tony Blair anasema kwamba majeshi ya ukombozi
hayahusiki katika tukio la machi 26 lakushambulia watu wakiwa katika soko mjini
Bagdad ambapo watu 14 waliuawa.
Imam wa msikiti kusini mwa Ufaransa atoa mwito kwa waumini wa kiislam kususia
bidhaa zinazotengenezwa Marekani katika mikakati yao ya kupinga uvamizi nchini
Iraq. Makampuni ya mafuta ya Kihispania yajulikanayo kama Repsol YPF
yanasema yapo tayari kuendesha biashara hiyo baada ya vita nchini Iraq.

5 Aprili (siku ya 18)

Askari wa Marekani wanapata mafanikio ya kwanza kivita kuingia mjini Bagdad kwa
kuvizidi nguvu vikosi vinavyo mtii Saddam na kuuwa mamia ya Wairaq.
*Wasemaji wa Marekani na Iraq kila mmoja kwa upande wake anadai anamiliki
uwanja wa ndege wa Bagdad.
Kiongozi wa kijeshi wa Wakurd anasema kwa kushirikiana na Marekani
wamefanikiwa kuuteka mji wa Kirkuk ambao unautajili mkubwa wa mafuta.
Kituo cha runinga cha Al Jazeera kinatangaza kuwa milipuko mikubwa imesikika
kaskazini mwa mji wa Mosul wenye visima vingi vya mafuta.
Ndege za kivita za Marekani 101 zatumika kuangusha mabomu ilikuuteka mji wa
Karbala. Vikosi vya Uingereza vinagundua miili ya mamia ya watu waliouawa
wakati wa utawala wa Saddamu kusini mwa nchi hiyo.
Rais wa Misri, Hosni Mubarak anailaumu Israel kutumia mwanya wakati dunia
imeelekeza macho kwenye vita nchini Iraq kuzidisha mashambulizi kwa Wapalestina.
Rais wa Iran Mohammad Khatami na baadhi ya wairaq waishio uhamishoni wanataka
kumalizika vita na Umoja wa Mataifa kupewa jukumu la kusimamia kuundwa kwa
serikali mpya ya Iraq.

Mshauri wa Usalama wa Marekani Bibi Condoleeza Rice anasema majeshi ya
Marekani na Uingereza watakuwa na maamuzi ya mwisho baada ya kumalizika vita
na hatima ya kuundwa kwa serikali mpya na nafasi ya Umoja wa Mataifa katika
jukumu hilo.
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Colin Powell anasema nchi yake haina
mpango wakuivamia Iran na Syria.

6 April (siku ya 19)

Askari wanne wa Marekani na12 wa Kikurd wanauawa katika shambulio la mabomu
yaliyotupwa kimakosa na midege ya Marekani Kaskazini mwa Iraq. Marekani
ikaomba radhi kwa kosa hilo.
Shirika la Utangazaji la BBC linasema mkalimani wake mmoja ameuawa kwa risasi
na askari wa Marekani. Katika tukio hilo mwandishi wa kujitegemea alijeruhiwa.
Afisa mmoja wa Kimarekani anasema vikosi vya Marekani vya ardhini, vikitumia
vifaru na kusaidiwa na maroketi vinalikaribia jiji la Bagdad katika mkakati wake
wakulizunguka jiji hilo na kutimiza dhamira ya Bush ya kuwakomboa wananchi wa
Iraq na kuchota kiwese cha utajiri wa Iraq. Ili kufanikisha hilo ilimlazimu Bush
kumzika nguli wa nchi hiyo Saddam Husein.
Rais Saddam anatoa mwito kwa wapiganaji wa Iraq kupambana kiume katika
kudumisha umoja na mafanikio ambayo yamepatikana dhidi ya maadui katika mji wa
Bagdad.
Kituo cha runinga cha Al Jazeera kinachorusha matangazo yake kutoka Qatar nchini
Saud Arabia kinasema kwamba vifaru vya Uingereza vimefanikiwa kuingia katika
jiji la Basra.
Askari wa Marekani anauawa na wengine wa nane wanajeruhiwa katika mapambano
ya mji wa Karbala.
Watu kadhaa wanajeruhiwa katika shambulio lililofanywa na vikosi vya Marekani
kwenye msafara wa Barozi wa Russia mjini Bagdad. Kamanda wa majeshi ya
Marekani katika mji wa Umm Qasir anasema kwamba shambulizi hilo lilifanywa
kwenye operesheni yake ya kupambana na magaidi katika eneo hilo.
Jeshi la wanamaji la Marekani linatoa taarifa kuwa limetegua mabomu kadhaa yaliyo
tegwa na wanajeshi wa Iraq baharini.
Afisa Shushushu wa Marekani anasema vikosi vya Marekani vimefanikiwa kuvifyeka
vikosi sita muhimu vya Republican Guard vilivyo kuwa mbele kuulinda utawala wa
Saddam.
Askari wawili wa kikosi cha Marine wauawa katika shambulio la kujitoa muhanga.

7 Aprili (siku ya 20)

Vikosi vya Marekani vinaingia mjini Bagdad na kufanikiwa kupenya baadhi ya
sehemu muhimu za Rais Saddam, ikiwemo ofisi yake.
Waziri wa Ulinzi wa Uingereza Geoff Hoon anasema majeshi ya Marekani
yanashikilia barabara kuu za kuingia na kutoka mjini Bagdad.
Jeshi la Uingereza linateka makao makuu ya Rais mjini Basra mji wa pili kwa
ukubwa nchini Iraq. Shirika la AFP linaripoti kuwa watu 9 wameuawa katika shambulio la kombora lililolengwa kimakosa katika makazi ya watu karibu na mji wa
Bagdad.
Waziri wa habari wa Iraq ambaye ni mtaalam wa Saikolojia ya kivita, aliyekuwa
anapigana vita ya maneno na Marekani kwa wakati huo, Mohammad Said al- Sahhaf
anasema utawala wa Saddam bado upo ngangari kinoma na unaendelea kuvinjari
madarakani, mbinu zote za wavamizi zitadunda.
Uingereza inasema kuna kila dalili kuwa Chemical All mpwa wa Saddam ambaye
alilalamikiwa na Wakurd kwakuwashambulia kwa silaha za sumu mwaka 1988,
ameuawa.
Askari wawili wa Kimarekani na waandishi wawili wanauawa kwa mashambulizi
yaliyofanywa kimakosa na maroketi ya Marekani, kusini mwa Bagdad, anasema meja
wa Marekani.
Rais George Bush wa Marekani anakwenda Ireland kwa mazungumzo na Waziri
mkuu wa Uingereza Tony Blair juu ya hatma ya Iraq baada ya vita.
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Koffi Annan anasema umoja huo ndio
unaopaswa kujadili juu ya serikali mpya ya Iraq baada ya vita.
Barozi wa Russia nchini Iraq anayashutumu majeshi ya Marekani kwa kuushambulia
msafara wake uliokuwa unaukimbia mji wa Bagdad kuelekea Syria.
Mshauri wa masuala ya vita nchini Marekani ambaye baada ya vita alitwaa kiti cha
Uwaziri wa Mambo ya Kigeni, bibi Condoleeza Rice, anamfahamisha Rais wa
Russia Vladmir Putin mjini Mosscow kuwa shambulizi dhidi ya msafara wa Barozi
wake halikuwa la makusudi kwa lengo la kuleta madhara kwenye msafara huo.

8 Aprili (siku ya 21)

Bush anatoa kauli kukubali umoja wa Mataifa kupewa nafasi katika mpango wa
uundaji wa serikali mpya ya Iraq baada ya vita kumalizika kufuatia mkutano wa siku
mbili na Blair. Vikosi vya Marene vya Marekani vinapata mafanikio makubwa
kwakuingiza magari mengi ya kivita mjini Bagdad pasipo upinzani mkubwa.
Mwandishi wa habari wa kituo cha runimga cha Al Jazeera anauawa katika
shambulio lililofanywa na majeshi ya Marekani katika kituo cha waandishi wa habari
mjini Bagdad. Vifaru vya Marekani vinateka sehemu kubwa ya daraja la Al
Jumhuriya katika mto Tigris.
Majeshi ya Uingereza yanafanikiwa kuuteka mji mashuri kusini mwa Iraq Basra.
Majeshi ya Marekani yanateka uwanja wa ndege wa pili kwa ukubwa mjini Bagdad
ambao upo katika viunga vya All Rashid Kusini mwa Magharibi.
9 Aprili 2003(siku ya 22)
Umati wa wananchi wa nchini Iraq wa wilaya ya Hababiyah iliyopo kilomita tatu
Kaskazini mwa Bagdad wanavipokea kwa nderemo na vifijo vikosi vya Marekani
vilivyoingia katika maeneo hayo kwakusema “Shwari Bush! Shwari Bush!”
Saadam Hussein akitiwa kitanzi tayari kwa kunyongwa
Runinga ya Uingereza inaonyesha wananchi wa Iraq wakivunja majengo na kuiba
mali kutokana na jiji hilo kukosa udhibiti na ulinzi.
22 Aprili 2003
Wananchi wa Bagdad wanavunja
kuashiria kuwa utawala wa kibabe wa mkono wa chuma umekoma.
Rais Bush anatangaza kumalizika kwa vita kali ya kumn’goa madarakani Al Tikrit
(Saddam)
23 Julai 2005
Wakati Bush akitangaza 22 Aprili kuwa vita
Saddam vyakatwa (watoto wake) ambavyo ni Udayh na Qusaih na majeshi ya
ushirika kufuatia mapigano ya kufa mtu mjini Tikrit.
30 Julai 2005
Miili ya watoto wa Sadam
zaliwa
26Agosti2005
Mashambulizi ya kujitoa mhanga yafanywa na wafuasi wa Saddam na kuuwa
akiwemo mjumbe wa Umoja wa Mataifa Silvio Seginer de Melo

sanamu la nguli wanchi hiyo Saddam Hussein
vimemalizika nchini Iraq, vidole vya
, Udayh na Qusaih ya zikwa mjini Tikrit, katika mji
89
walio
watu
90
30 Agosti 2005
Saddam kwa mara nyingine awatoa uvivu Bush na Blair kwakuandika ujumbe akiwa
mafichoni wenye kuhimiza kujitoa muhanga dhidi ya vikosi vya uvamizi.
Osama bin Laden atia ubani kauli hiyo kwakusema Iraq haitakalika kwa wavamizi.
10 Desemba 2005
Marekani yakataa nchi zilizo pinga vita kupewa nafasi ya kuijenga Iraq.
Nchi zilizopinga vita zazuia mpango wa kuifutia madeni Iraq, mpango huo ulikuwa
unapigiwa debe sana na Marekani.

14 Desemba(saa kumi alfajiri) 2005

Saddam Hussein (Al Tikrit) atiwa mikononi mwa Makomandoo ya Washirika yakiwa
bega kwa bega na vikosi vya Wakurd katika Handaki maalumu pembeni mwa mji wa
Tikrit.
Taarifa za kukamatwa kwa Saddam za wafikia Bush na swahiba wake mkubwa Blair
na kufanya waandae hafla za chini kwa chini.

5 Novemba 2006

Saddam ahukumiwa kunyongwa (derth by hanging) kutokana na mashitaka yanayo
mkabili ya mauaji na ukiukwaji wa haki za kibinadamu

20 Desemba 2006

Rufaa ya Saddam yatupiliwa mbali

27 Desemba 2006

Dunia yashuhudia LIVE kunyongwa kwa Saddam Hussein. Afa akisema ni sadaka
kwa Wairaq, Alitoa ushirikiano mkubwa mpaka dakika yamwisho anakata roho.
(Hakuleta usumbufu kutiwa kitanzi)

28 Desemba 2006

Makundi kadhaa duniani yaandamana kulaani kunyongwa kwa Saddam.

1/1/ 2007

Mjumbe wa haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa atoa shinikizo kwa serikali
ya Iraq kuto wanyonga washirika wawili wa Saddam walio hukumiwa kunyongwa.

3 Januari 2007

Serikali ya Iraq yaamuru kukamatwa kwa mtu aliyepiga picha wakati wakunyongwa
kwa Saddam.

Serikali ya Iraq yasema itawanyonga washirika wa Saddam bila kutangazwa na
Mashirika ya Habari ya Kimataifa, wala kiumbe yeyote kunasa picha zao.

12 Januari 2007

Watuhumiwa waliohukumiwa kunyongwa sambamba na Saddam Hussein
wanyongwa mahali palepale aliponyongwa Boss wao (Saddam). Isipokuwa mpwa
wake Mohamed Said al Sahaf.
.
28 Februali 2008

Serikali ya Iraq yaidhinisha
kunyongwa kwa mpwa wa Saddam bw Mohamed Said al Sahaf (Chemical All) kwa kuhusika na mauaji
yaliyofanywa enzi za ubabe wao akiwa chini ya mpwawe Saddam Hussein

14 Desemba 2008

Rais George Bush wa Marekani anusurika
kujuruhiwa bada ya mwandishi wa habari wa Iraq kumrushia viatu. Alirusha kiatu cha kwanza huku akisema “kwaheri
yakuonana mbwa mkubwa we!” na akarusha cha pili huku akisema “ni salamu za
watoto na wajane wa walioathirika wakati wa vita"

Baadaye alikamatwa na maafisa usalama waliomshushia kipigo cha mbwa mwizi na
kisha kumweka kizuizini kwa mahojiano maalumu.

19 Desemba 2008

Mahakama ya mjini Baghdad yaamuru uchunguzi ufanywe ili wachukuliwe hatua
wale maafisa wote waliomshushia kipigo mwandishi bwana
Zeid aliyemrushia viatu rais Bush


12 March 2009.

Mahakama ya mjini Baghdad ya muhukumu kifungo cha miaka mitatu jela

mwandishi wa habari aliyemrushia viatu rais Bush, bwana Muntadhar al Zeid.

Baada ya kusomewa hukumu Bwana Zeid alisimama na kusema kwa sauti kuu
“Idumu Iraq”.

Na

Yericko Nyerere
 
Yericko Nyerere sasa unaharibu mtiririko wa mnakasha

Sijaharibu,

Inawezekana hujaufuatilia huu mjadala tangu mwanzo!

Suala la ugaidi na matatizo ya sheria yake kwa nchi nyingi hasa afrika tumelijadili sana huko nyuma ya mjadala huu,

Hapa nilikuwa namjibu huyu mdau wangu aliyehoji juu yayo

Tusonge mbele ndugu
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada ingekuwa poa sana kama ungeweka attachment wa hicho kitabu humu jamvini ili nasi tuweze kuchangia baada ya kukisoma tafadhali
 
Mtoa mada ingekuwa poa sana kama ungeweka attachment wa hicho kitabu humu jamvini ili nasi tuweze kuchangia baada ya kukisoma tafadhali

Karibu sana mkuu katika mnakasha huu,

Tumetimiza miezi mitano katika uzi huu, mengi yamezungumzwa hapa na mengi yamejibiwa hapa!

Ombi lako ni muhimu sana, bila shaka ndugu yangu Mohamed Said atakusaidia kukuelekeza kinapouzwa kulingana na mahali ulipo!

Lakini kabla hujakipata kitabu cha Mohamed Said, ningeomba kukuuliza,

Uliwahi kusoma kitabu gani kinachohusu historia ya harakati za uhuru Tanganyika na uhuru kamili?

Kama sio kitabu basi ni machapisho gani uliyowahi kusoma yanayohusu historia ya Uhuru?

Nimekuuliza hivyo ili upate kujenga hoja stahiki pindi ukikisoma kitabu cha bwana Mohamed, usije ukakubwa na upepo wa uhanga wa ngano!
 

mtoa hoja wala ucjali maana kama ni vitabu nimesoma vingi na mbali mbali kwaiyo mpaka nimefikia hatua yakuomba hicho kitabu ni katika hali ya kutaka kufanya ulinganisho halisia wayale niliyokwisha soma na hiki ambacho bado cjasoma sababu nimepitia pitia uzi huu kuna baadhi ya mambo yananitatiza ambapo naic majibu mazuri nitayapata nikishakisoma kwa lugha rahisi naomba nisome hiyo historia iliyoandikwa kwa mawazo yake na mtizamo wake kwa jinsi ajuavyo yeye
 

Mohamed Said amekusikia na kukuona, bila shaka atakusaidia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…