Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jambo hilo Mohamed Said hapendi kabisa, achilia mbali kumfedhehesha anakofanya, lakini anafikiria hata kumtoa kabisa Mwalimu Nyerere kwenye kundi la wapigania Uhuru.

Bwana Nyerere una papara kwenye kitabu changu sura ya tano inaitwa ''The Story of Julius Kambarage Nyerere, 1952.'' Hivi ndiko kumtoa Nyerere katika historia au kumuenzi.

Watafute walio badili historia na kuwatoa wenzao.
Mohamed Said hayupo katika orodha hiyo.

Fanya utafiti, soma kabla hujaandika.
 
Mkuu Maalim Mohamed Said, kumbe hivi ndivyo mlivyotukosesha rais bora 2010?!. Kumbe mlihakikisha JK anarudi kwa Uislamu wake?, sasa kama ndio hivyo, na akaambulia asilimia 60% ya kura zote!, hii ndio inatuambia nini?.
Sasa tusubiri 2015 tuone kura zenu mtazielekeza wapi endapo mgombea wa CCM atakuwa ni Mkristu Mkatoliki!, mgombea wa Chadema pia awe ni Mkristu Mkatoliki na CUF awe ni yule kijana wao Mkristu Mkatoliki?!.

Na endapo Chadema hatimaye itamsimamisha mgombea Muslamu, ZZK, jee unadhani kura zetu mtazielekeza kwake?.
Pasco.
 
Mzee Said wakati mwingine unaandika vitu sijui hata kama unavisoma vinavyosomeka au la. Nimesoma kitabu chako na nimeelewa vizuri sana uanchosema wakati mwingine inashangaza kama unamaanisha unachokisema au la. Angalia haya unayoyasema hapa chini na nitakuuliza maswali juu yake - usikimbe na kusema 'hayakuhusu' au 'miye hayo siyajui' wakati ni wewe umeandika.




a. Hili jambo la kwanza. Nitauliza swali la kwanza hapa: Hawa "small faction of radical Muslims" waliotaka kumuondoa Nyerere kutokana na Ukristu wake walikuwa ni kina nani? Je unayajua majina yoyote ya Waislamu hawa ambao walikuwa wadini waliotaka kumuondoa Nyerere kwa sababu tu ya dini yake?


This was the second time the issue of religion had cropped up since Nyerere assumed leadership of the movement for the first time in 1953.

b. Unaweza ukatumbia mara ya kwanza suala la udini lilitokea ilikuwa ni lini, kwanini na kina nani walihusika?


Ni nani aliyeitisha mkutano huu na kwa mamlaka gani?



Na Wasaliti hawa bado wapo; wakiendelea na ubaguzi dhidi ya ndugu zao kwa sababu ya dini

The problems which TANU encountered were mainly from colonial government or those inspired by it using fellow Africans as puppets to try to derail the movement.

Na ile chuki ya Waislamu "small radical group" dhidi ya Nyerere ilikuwa imetokana na nini? Nyerere alikuwa amewakosoea nini hawa? maana wakati wanataka kumtoa sababu ya Ukristu wake EAMWS haikuwa imevunjwa, hakuna shehe amefukuzwa au kufungwa, n.k Nini kiliwafanya hawa Waislamu uliowataja mwanzoni watake kumuondoa Nyerere sababu ya Ukristu wake?

Walikuwa na tatizo na Nyerere au Ukristu wake?
Kwanini hawakutaka kumuondoa Vedastus Kyaruzi ambaye alikuwa Rais wa TAA na ni Mkristu?

[1] See article by Rajab Diwani, 'TANU Ilipambana na Misukosuko Mingi' UHURU 3rd July, 1974.

Unaweza kutupatia hii article mahali maana inaonekana inaweza ikatupa maelezo mengine juu ya TANU ambayo hatuyajui.


Tatizo kubwa linalokupateni ni kuwa hamuhifahamu historia hii wala hamkupata kuwasikia watu kama Sheikh Hassan bin Amir.

Nyie mmefunguka macho na Nyerere, Nyerere, Nyerere.

Tatizo ni kuwa historia hii inajulikana; imeanikwa na watu wengine kabla yako. Unadhania mno kiasi kwamba unafikiria wote hatuijui hiyo historia as if ni wachache waliobahatika wanaijua. Wewe si wa kwanza kumtaja Shehe Amir vitabuni.

Kuja kusikia kuwa historia si hiyo imekuumizeni sana. Na khasa kusikia kuwa Waislam ndiyo walioongoza vita dhidi ya Waingereza.

Lakini hili unajua si kweli; mchango wa Wakristu, Waislamu na watu wengine hauwezi kupuuzwa au kubezwa kama unavyofanya. Wewe mwenyewe umeandika vya kutosha na kuonesha jinsi Wakristu walivyoshiriki toka mwanzo kabisa. Na kama ni kuongoza harakati za kumuondoa Mwingereza ni Nyerere (Mkristu) aliyekuwa nambari wani. HIli hata ujaribu vipi kulikataa historia hailikatai.
 
sawa; lakini tumeuliza imeandikwa wapi kuwa Nyerere alikuwa peke yake? Au wewe umewahi kusoma wapi kuwa Nyerere alikuwa peke yake katikaharakati za uhuru au katika kuanzisha TANU?
Ukweli ni kuwa wengi hatukuwajua kabla ya kuandikwa na MS. Na hata wale tuliowajua pia tuliwajua ndivyo sivyo kwenye michango yao ya kupigania haki na kuondoa dhulma.
 

Wewe ni mdini tu, unatuchonganisha na udini wako, hebu anza kuwashauri ndugu zako waislamu wawapeleke watoto shule.
 
Ukweli ni kuwa wengi hatukuwajua kabla ya kuandikwa na MS. Na hata wale tuliowajua pia tuliwajua ndivyo sivyo kwenye michango yao ya kupigania haki na kuondoa dhulma.

a. Sawa; umewahi kusoma mahali popote kuwa imeandikwa Nyerere alisema yeye ndiye aliyepigania uhuru peke yake au yeye ndiye aliyekuwa muasisi wa TANU peke yake?

b. Wewe kutokusoma hilo kunafanya jambo kuwa halijawahi kuandikwa? Umesoma maandishi yote yanayohusiana na uhuru wa Tanganyika? Au kitabu cha MS ndio cha kwanza kwako kukisoma?
 
Ukweli ni kuwa wengi hatukuwajua kabla ya kuandikwa na MS. Na hata wale tuliowajua pia tuliwajua ndivyo sivyo kwenye michango yao ya kupigania haki na kuondoa dhulma.

Tumia mda mwingi kusoma vitabu vya historia ya uhuru,

Hao wote aliowataja MS wapo kwenye maandishi mengi tu yahusuyo uhuru wetu,

Labda kwamara ya kwanza ndio unasikia na kusoma habari hizi hapa jf, au umesoma kitabu cha MS tu?

Hakuna kigeni kwa hayo ndugu,

Na hakuna palipowahi kuandikwa au Mwalimu Nyerere akajitangaza kuwa YEYE tu ndie aliyedai Uhuru wa Tanganyika, bali ni ukweli usiopindishwa kuwa yeye ndie aliyeongoza harakati za kudai Uhuru mpaka Uhuru kamili.
 

Mimi nipo kwenye huu uzi leo siku ya 12 ninasoma vitu vingi na natumia akili ya kupima mambo sina upande. Sijaja humu kubishana na mtu wala kufuata ushabiki nimeacha akili yangu wazi ipokee baadae nachuja. Hayo mengine nakuachia wewe.
 
Mimi nipo kwenye huu uzi leo siku ya 12 ninasoma vitu vingi na natumia akili ya kupima mambo sina upande. Sijaja humu kubishana na mtu wala kufuata ushabiki nimeacha akili yangu wazi ipokee baadae nachuja. Hayo mengine nakuachia wewe.


Hii attitude itakufikisha mbali sana; ni vizuri kuwa na ile inaitwa "teachable mind". Usifunge fikra zako .... safi sana.
 
Nimejaribu kupitia post nyingi lkn naona hazinipi ukweli unaoniridhisha lengo langu ni kujua ipi historia tunayoweza kutumia kama historia halisi ya nchi yetu isiyovutia upande wowote na ningependa kama kuna mtu anaweza kujua ni kitabu gani kinaweza kunipa mwangaza wa nchi yetu kabla na baada ya uhuru nikitafute,hasa napatwa shida nnaposikia historia ya nchi hii imepotoshwa, nani kaipotosha, kwann, na kwa maslahi ya nani? ukumbuke hii ni forum kila mtu anacoment anavotaka hata kama anaamini sio ukweli, ndg nipen majina ya vitabu hivyo.
 

Yericko Nyerere,

Jaffari Idd, Ramadhani Abdallah Singo, G. B. Somji, Elias Kissenge, Julius Mwakasanyangi, Idd Tosiri, Hadari Mwinyimvua, Idd Tulio.

Hebu nipe habari zao ndani ya TANU kama unazijua.

Mkuu nakumbushia yale majina ya waliopewa msamaha na Nyerere na wengini wengi kupelekwa kuwa mabalozi baada ya uasi.
 
Last edited by a moderator:
Huo ndiyo ukweli kuwa Waislam walikusanyika kumhami Kikwete
si kama anapendeza sana kwao ila kupambana na kanisa.

Sheikh Issa Ponda alizunguka takriban nchi nzima.

Hapa ndipo nchi yetu ilipofika.
 
Hii attitude itakufikisha mbali sana; ni vizuri kuwa na ile inaitwa "teachable mind". Usifunge fikra zako .... safi sana.

sasa naamini kwamba mwanakijiji anampinga kikwete kwa sababu ni muislam tu. Mbona nyerere anampamba sana huku akisahau kwamba ndie alietufikisha hapa kwa umaskini?
 
Huo ndiyo ukweli kuwa Waislam walikusanyika kumhami Kikwete
si kama anapendeza sana kwao ila kupambana na kanisa.

Sheikh Issa Ponda alizunguka takriban nchi nzima.

Hapa ndipo nchi yetu ilipofika.

Hehee Picha ile ya kale ndio inaakisi leo kwa Kikwete na Ponda,

Leo angekuwa rais Mkristu naamini lugha a dhihaka kutoka kwa ndugu zetu ingekuwa haitazamiki wala kusomeka.

Leo mtu mhimu na rafiki. Mhimu wa Jakaya Kikwete yupo Segerea, na aliyemsweka huko ni huyohuyo aliyempigania aingie ikulu kwamgongo wa dini yao.

Vuta picha ya Nyerere, Abdu, Shehe Amir na wengine! Kisha unganisha toti.
 
Huo ndiyo ukweli kuwa Waislam walikusanyika kumhami Kikwete
si kama anapendeza sana kwao ila kupambana na kanisa.

Sheikh Issa Ponda alizunguka takriban nchi nzima.

Hapa ndipo nchi yetu ilipofika.

Huyu sheikh ponda Issa ponda? Ndio maana mfumo kristo umehamaki sana tu?
 
 
Mzee Mohamed Said kama kuna siku umepiga msumari mzito ni leo yani hapa ndio ni likuwa nataka nadhani YERICKO NYERERE yuko hoi mimi nilikuwa nataka ajibu hii point yako hapa
 
sasa naamini kwamba mwanakijiji anampinga kikwete kwa sababu ni muislam tu. Mbona nyerere anampamba sana huku akisahau kwamba ndie alietufikisha hapa kwa umaskini?

baina ya mzee mwanakijiji na yericko kuna tofauti kubwa sana.
1.yericko anabeza hoja ya kupuuzwa kwa wale waliofutwa kwenye historia bila kusimamia hoja zake kwa ushahidi.

2.mzee mwanakijiji ni mdini,we fuatilia kwa umakin sana posts za hao jamaa wawili utakuja kuung'amua ukweli.
 

ndio maana chadema na Mfumo kristo wanamchukia sana Sheikh ponda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…