Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jambo hilo Mohamed Said hapendi kabisa, achilia mbali kumfedhehesha anakofanya, lakini anafikiria hata kumtoa kabisa Mwalimu Nyerere kwenye kundi la wapigania Uhuru.

Bwana Nyerere una papara kwenye kitabu changu sura ya tano inaitwa ''The Story of Julius Kambarage Nyerere, 1952.'' Hivi ndiko kumtoa Nyerere katika historia au kumuenzi.

Watafute walio badili historia na kuwatoa wenzao.
Mohamed Said hayupo katika orodha hiyo.

Fanya utafiti, soma kabla hujaandika.
 
Muslims mobilised for the general election in a manner never seen before to oppose CHADEMA and the Church. Muslims irrespective of their political affiliations campaigned for the return to office of a Muslim president Jakaya Mrisho Kikwete.''

Siasa zetu ndipo zilipotufikisha hapa. Wakati umefika wa kujiuliza vipi tumefikia hali hii ilhali wakati wa kupigani uhuru wa nchi hii tulikuwa wamoja?
Mkuu Maalim Mohamed Said, kumbe hivi ndivyo mlivyotukosesha rais bora 2010?!. Kumbe mlihakikisha JK anarudi kwa Uislamu wake?, sasa kama ndio hivyo, na akaambulia asilimia 60% ya kura zote!, hii ndio inatuambia nini?.
Sasa tusubiri 2015 tuone kura zenu mtazielekeza wapi endapo mgombea wa CCM atakuwa ni Mkristu Mkatoliki!, mgombea wa Chadema pia awe ni Mkristu Mkatoliki na CUF awe ni yule kijana wao Mkristu Mkatoliki?!.

Na endapo Chadema hatimaye itamsimamisha mgombea Muslamu, ZZK, jee unadhani kura zetu mtazielekeza kwake?.
Pasco.
 
Mzee Said wakati mwingine unaandika vitu sijui hata kama unavisoma vinavyosomeka au la. Nimesoma kitabu chako na nimeelewa vizuri sana uanchosema wakati mwingine inashangaza kama unamaanisha unachokisema au la. Angalia haya unayoyasema hapa chini na nitakuuliza maswali juu yake - usikimbe na kusema 'hayakuhusu' au 'miye hayo siyajui' wakati ni wewe umeandika.

MM,

The transition from TAA to TANU at the headquarters was smooth.

There were no problems of personality clashes at the headquarters apart from a small faction of radical Muslims who were plotting to oust Nyerere from Party leadership for being a Christian.

a. Hili jambo la kwanza. Nitauliza swali la kwanza hapa: Hawa "small faction of radical Muslims" waliotaka kumuondoa Nyerere kutokana na Ukristu wake walikuwa ni kina nani? Je unayajua majina yoyote ya Waislamu hawa ambao walikuwa wadini waliotaka kumuondoa Nyerere kwa sababu tu ya dini yake?

This was the second time the issue of religion had cropped up since Nyerere assumed leadership of the movement for the first time in 1953.

b. Unaweza ukatumbia mara ya kwanza suala la udini lilitokea ilikuwa ni lini, kwanini na kina nani walihusika?

A meeting was called to clarify the status of Christianity in TANU and to establish a nationalist-secularist ideology as a way of preserving national unity. This meeting was held in a house in Pemba Street and its resolution was supported by Sheikh Hassan Bin Amir, Sheikh Nurdin Hussein from Lindi and Sheikh Abdallah Chaurembo of Dar es Salaam.

Ni nani aliyeitisha mkutano huu na kwa mamlaka gani?

This meeting coined the name ‘Yuda' which was to be the label of any member of TANU who discriminated his fellow African because of his faith. [1]

The name Yuda coined by TANU had direct relationship with Judas Iscariot of the Bible, the traitor who betrayed Jesus for thirty pieces of silver.

Na Wasaliti hawa bado wapo; wakiendelea na ubaguzi dhidi ya ndugu zao kwa sababu ya dini

The problems which TANU encountered were mainly from colonial government or those inspired by it using fellow Africans as puppets to try to derail the movement.

Na ile chuki ya Waislamu "small radical group" dhidi ya Nyerere ilikuwa imetokana na nini? Nyerere alikuwa amewakosoea nini hawa? maana wakati wanataka kumtoa sababu ya Ukristu wake EAMWS haikuwa imevunjwa, hakuna shehe amefukuzwa au kufungwa, n.k Nini kiliwafanya hawa Waislamu uliowataja mwanzoni watake kumuondoa Nyerere sababu ya Ukristu wake?

Walikuwa na tatizo na Nyerere au Ukristu wake?
Kwanini hawakutaka kumuondoa Vedastus Kyaruzi ambaye alikuwa Rais wa TAA na ni Mkristu?

[1] See article by Rajab Diwani, 'TANU Ilipambana na Misukosuko Mingi' UHURU 3rd July, 1974.

Unaweza kutupatia hii article mahali maana inaonekana inaweza ikatupa maelezo mengine juu ya TANU ambayo hatuyajui.

Tatizo kubwa linalokupateni ni kuwa hamuhifahamu historia hii wala hamkupata kuwasikia watu kama Sheikh Hassan bin Amir.

Nyie mmefunguka macho na Nyerere, Nyerere, Nyerere.

Tatizo ni kuwa historia hii inajulikana; imeanikwa na watu wengine kabla yako. Unadhania mno kiasi kwamba unafikiria wote hatuijui hiyo historia as if ni wachache waliobahatika wanaijua. Wewe si wa kwanza kumtaja Shehe Amir vitabuni.

Kuja kusikia kuwa historia si hiyo imekuumizeni sana. Na khasa kusikia kuwa Waislam ndiyo walioongoza vita dhidi ya Waingereza.

Lakini hili unajua si kweli; mchango wa Wakristu, Waislamu na watu wengine hauwezi kupuuzwa au kubezwa kama unavyofanya. Wewe mwenyewe umeandika vya kutosha na kuonesha jinsi Wakristu walivyoshiriki toka mwanzo kabisa. Na kama ni kuongoza harakati za kumuondoa Mwingereza ni Nyerere (Mkristu) aliyekuwa nambari wani. HIli hata ujaribu vipi kulikataa historia hailikatai.
 
sawa; lakini tumeuliza imeandikwa wapi kuwa Nyerere alikuwa peke yake? Au wewe umewahi kusoma wapi kuwa Nyerere alikuwa peke yake katikaharakati za uhuru au katika kuanzisha TANU?
Ukweli ni kuwa wengi hatukuwajua kabla ya kuandikwa na MS. Na hata wale tuliowajua pia tuliwajua ndivyo sivyo kwenye michango yao ya kupigania haki na kuondoa dhulma.
 
Bwana Nyerere una papara kwenye kitabu changu sura ya tano inaitwa ''The Story of Julius Kambarage Nyerere, 1952.'' Hivi ndiko kumtoa Nyerere katika historia au kumuenzi.

Watafute walio badili historia na kuwatoa wenzao.
Mohamed Said hayupo katika orodha hiyo.

Fanya utafiti, soma kabla hujaandika.

Wewe ni mdini tu, unatuchonganisha na udini wako, hebu anza kuwashauri ndugu zako waislamu wawapeleke watoto shule.
 
Ukweli ni kuwa wengi hatukuwajua kabla ya kuandikwa na MS. Na hata wale tuliowajua pia tuliwajua ndivyo sivyo kwenye michango yao ya kupigania haki na kuondoa dhulma.

a. Sawa; umewahi kusoma mahali popote kuwa imeandikwa Nyerere alisema yeye ndiye aliyepigania uhuru peke yake au yeye ndiye aliyekuwa muasisi wa TANU peke yake?

b. Wewe kutokusoma hilo kunafanya jambo kuwa halijawahi kuandikwa? Umesoma maandishi yote yanayohusiana na uhuru wa Tanganyika? Au kitabu cha MS ndio cha kwanza kwako kukisoma?
 
Ukweli ni kuwa wengi hatukuwajua kabla ya kuandikwa na MS. Na hata wale tuliowajua pia tuliwajua ndivyo sivyo kwenye michango yao ya kupigania haki na kuondoa dhulma.

Tumia mda mwingi kusoma vitabu vya historia ya uhuru,

Hao wote aliowataja MS wapo kwenye maandishi mengi tu yahusuyo uhuru wetu,

Labda kwamara ya kwanza ndio unasikia na kusoma habari hizi hapa jf, au umesoma kitabu cha MS tu?

Hakuna kigeni kwa hayo ndugu,

Na hakuna palipowahi kuandikwa au Mwalimu Nyerere akajitangaza kuwa YEYE tu ndie aliyedai Uhuru wa Tanganyika, bali ni ukweli usiopindishwa kuwa yeye ndie aliyeongoza harakati za kudai Uhuru mpaka Uhuru kamili.
 
Siku za nyuma tulipambana hapa na MS kuhusu Nyerere kama baba wa Taifa. Mashabiki wake walitoa mapovu wakidai kuwa kwa watu wa pwani hasa waislam, "baba" ni yule aliyekuzaa tu. Hakuna kigezo kingine. Bahati mbaya papara zao zikamwabisha mzee MS kwa sababu tulibainisha jinsi anavyoiwaita "baba" wazee wa gerezani. Sasa kuweni makini hata mnapoteteana kwa ushabiki, msiji-contradict.

Mimi nipo kwenye huu uzi leo siku ya 12 ninasoma vitu vingi na natumia akili ya kupima mambo sina upande. Sijaja humu kubishana na mtu wala kufuata ushabiki nimeacha akili yangu wazi ipokee baadae nachuja. Hayo mengine nakuachia wewe.
 
Hii attitude itakufikisha mbali sana; ni vizuri kuwa na ile inaitwa "teachable mind". Usifunge fikra zako .... safi sana.
 
Nimejaribu kupitia post nyingi lkn naona hazinipi ukweli unaoniridhisha lengo langu ni kujua ipi historia tunayoweza kutumia kama historia halisi ya nchi yetu isiyovutia upande wowote na ningependa kama kuna mtu anaweza kujua ni kitabu gani kinaweza kunipa mwangaza wa nchi yetu kabla na baada ya uhuru nikitafute,hasa napatwa shida nnaposikia historia ya nchi hii imepotoshwa, nani kaipotosha, kwann, na kwa maslahi ya nani? ukumbuke hii ni forum kila mtu anacoment anavotaka hata kama anaamini sio ukweli, ndg nipen majina ya vitabu hivyo.
 
Tumia mda mwingi kusoma vitabu vya historia ya uhuru,

Hao wote aliowataja MS wapo kwenye maandishi mengi tu yahusuyo uhuru wetu,

Labda kwamara ya kwanza ndio unasikia na kusoma habari hizi hapa jf, au umesoma kitabu cha MS tu?

Hakuna kigeni kwa hayo ndugu,

Na hakuna palipowahi kuandikwa au Mwalimu Nyerere akajitangaza kuwa YEYE tu ndie aliyedai Uhuru wa Tanganyika, bali ni ukweli usiopindishwa kuwa yeye ndie aliyeongoza harakati za kudai Uhuru mpaka Uhuru kamili.

Yericko Nyerere,

Jaffari Idd, Ramadhani Abdallah Singo, G. B. Somji, Elias Kissenge, Julius Mwakasanyangi, Idd Tosiri, Hadari Mwinyimvua, Idd Tulio.

Hebu nipe habari zao ndani ya TANU kama unazijua.

Mkuu nakumbushia yale majina ya waliopewa msamaha na Nyerere na wengini wengi kupelekwa kuwa mabalozi baada ya uasi.
 
Last edited by a moderator:
Huo ndiyo ukweli kuwa Waislam walikusanyika kumhami Kikwete
si kama anapendeza sana kwao ila kupambana na kanisa.

Sheikh Issa Ponda alizunguka takriban nchi nzima.

Hapa ndipo nchi yetu ilipofika.
 
Hii attitude itakufikisha mbali sana; ni vizuri kuwa na ile inaitwa "teachable mind". Usifunge fikra zako .... safi sana.

sasa naamini kwamba mwanakijiji anampinga kikwete kwa sababu ni muislam tu. Mbona nyerere anampamba sana huku akisahau kwamba ndie alietufikisha hapa kwa umaskini?
 
Huo ndiyo ukweli kuwa Waislam walikusanyika kumhami Kikwete
si kama anapendeza sana kwao ila kupambana na kanisa.

Sheikh Issa Ponda alizunguka takriban nchi nzima.

Hapa ndipo nchi yetu ilipofika.

Hehee Picha ile ya kale ndio inaakisi leo kwa Kikwete na Ponda,

Leo angekuwa rais Mkristu naamini lugha a dhihaka kutoka kwa ndugu zetu ingekuwa haitazamiki wala kusomeka.

Leo mtu mhimu na rafiki. Mhimu wa Jakaya Kikwete yupo Segerea, na aliyemsweka huko ni huyohuyo aliyempigania aingie ikulu kwamgongo wa dini yao.

Vuta picha ya Nyerere, Abdu, Shehe Amir na wengine! Kisha unganisha toti.
 
Huo ndiyo ukweli kuwa Waislam walikusanyika kumhami Kikwete
si kama anapendeza sana kwao ila kupambana na kanisa.

Sheikh Issa Ponda alizunguka takriban nchi nzima.

Hapa ndipo nchi yetu ilipofika.

Huyu sheikh ponda Issa ponda? Ndio maana mfumo kristo umehamaki sana tu?
 
Mzee Mwanakijiji;a. Sawa; umewahi kusoma mahali popote kuwa imeandikwa Nyerere alisema yeye ndiye aliyepigania uhuru peke yake au yeye ndiye aliyekuwa muasisi wa TANU peke yake?( HOJA [B said:
ILIYOPO MBELE YETU SI NYERERE KUJITAJA YA KWAMBA YEYE NDIE KINARA WA KUPIGANIA UHURU AMA LA,HOJA HAPA NI KUFANYE UPEMBUZI YAKINIFU WA KWANIN WENGINE WAKAPUUZWA,NA NYERERE PEKEE AKATUKUZWA HALI YAFAHAMIKA FIKA HAKUWA PEKE AKE MSTARI WA MBELE?USITUTOE KWENYE HOJA YA MNAKASHA HUU.[/B]

b. Wewe kutokusoma hilo kunafanya jambo kuwa halijawahi kuandikwa? Umesoma maandishi yote yanayohusiana na uhuru wa Tanganyika? Au kitabu cha MS ndio cha kwanza kwako kukisoma?(UKIACHILIA MBALI YEYE KUSOMA AMA KUTOKUSOMA KITABU CHA AINA YOYOTE ILE,INGEKUA BUSARA SANA KUMJIBU KWANIN SASA WENGINE WAKAPUUZWA NA KUFUTWA KWENYE HISTORIA,ILI HALI WENGINE WAKIENDELEA KUFURAHI KUITWA BABA WA TAIFA HALI YA KUWA ANAFAHAM FIKA YA KWAMBA WAPIGANAJI WALIOKAWA MSTARI WA MBELE WALIKUWA WENGI SANA ILA YEYE ALISIMAMA TUH KAMA MSEMAJI WA KUNDI LA WENGI?BASI KAMA NI HVO MABABA WA TAIFA WANGEKUWA WENGI SANA,ENZI ZA UHAI WAKE KIPI KILICHOKUWA KINAMPA LEGITIMACY YA KU-ENJOY UBABA WA TAIFA ILI HALI UHALISIA ALIKUWA ANAUFAHAM?KIPI KILICHOKAWA KINAMPA AMAN KWA KUENZIWA YEYE PEKEE NA WENZAKE KUPUUZWA NA KUFUTWA KABISA KWENYE HISTORIA??
HILI NALO HATA KAMA MNASEMA MIMI MUISLAM SIJASOMA,WALA SIJALI,NIACHENI TUH NA MNIZODOE TUH MIMI NI KANJANJA NA KIHIYO,LAKINI HATA KWA ELIMU YANGU HII YA MADRASA NA DARASA LA SABA NAWEZA KUING'AMUA KWELI YA DHATI HAPO,IPO HAJA YA KUHOJI KWA YULE MWENYE FIKRA NA MAONO.
 
Darwin,

Soma haya machache kutoka paper yangu ''Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania'' (Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin. Paper hii niliiwasilisha Ujerumani 2011:

''It took a decade to bring the Muslim movement back on track and the irony for that was, it was not CCM the old enemy which was responsible for that but an opposition party, Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) seemingly under the tutelage of Catholic Church out to oust a Muslim president, Mrisho Jakaya Kikwete, which broke the camel's back. The Catholic Church prior to election issued an Election Manifesto and a document of guidance on how Christians should vote. The presidential candidate for CHADEMA was a former Roman Catholic priest. That said it all. Muslims mobilised for the general election in a manner never seen before to oppose CHADEMA and the Church. Muslims irrespective of their political affiliations campaigned for the return to office of a Muslim president Jakaya Mrisho Kikwete.''

Siasa zetu ndipo zilipotufikisha hapa. Wakati umefika wa kujiuliza vipi tumefikia hali hii ilhali wakati wa kupigani uhuru wa nchi hii tulikuwa wamoja?
Mzee Mohamed Said kama kuna siku umepiga msumari mzito ni leo yani hapa ndio ni likuwa nataka nadhani YERICKO NYERERE yuko hoi mimi nilikuwa nataka ajibu hii point yako hapa
 
sasa naamini kwamba mwanakijiji anampinga kikwete kwa sababu ni muislam tu. Mbona nyerere anampamba sana huku akisahau kwamba ndie alietufikisha hapa kwa umaskini?

baina ya mzee mwanakijiji na yericko kuna tofauti kubwa sana.
1.yericko anabeza hoja ya kupuuzwa kwa wale waliofutwa kwenye historia bila kusimamia hoja zake kwa ushahidi.

2.mzee mwanakijiji ni mdini,we fuatilia kwa umakin sana posts za hao jamaa wawili utakuja kuung'amua ukweli.
 
Hehee Picha ile ya kale ndio inaakisi leo kwa Kikwete na Ponda,

Leo angekuwa rais Mkristu naamini lugha a dhihaka kutoka kwa ndugu zetu ingekuwa haitazamiki wala kusomeka.

Leo mtu mhimu na rafiki. Mhimu wa Jakaya Kikwete yupo Segerea, na aliyemsweka huko ni huyohuyo aliyempigania aingie ikulu kwamgongo wa dini yao.

Vuta picha ya Nyerere, Abdu, Shehe Amir na wengine! Kisha unganisha toti.

ndio maana chadema na Mfumo kristo wanamchukia sana Sheikh ponda?
 
Back
Top Bottom