Swadakta.Nimekukubali kabisa yakhi..
Kwemwale na ndugu yako mfyonza sumu, mnashindwa nini kuelewa jambo dogo kama hili? Ukombozi wa Afrika ilikuwa ni ajenda ya Tanganyika mara tu baada ya kujipatia uhuru wake. Ilishawahi kuwekwa bayana kwamba uhuru wa Tanganyika usingekuwa na maana kama nchi nyingine za kiafrika zingeendelea kuwa mikononi mwa wakoloni. Baada ya hapa Tanganyika na baadae Tanzania ilizisaidia nchi zote zilizohitaji msaada wa ukombozi... nchi zilizonufaika ni pamoja na Namibia, Zimbabwe, Msumbiji...
Barubaru,
Salaam Al Habiby.
Nilikua nasoma bayana zako za awali punde. Mola takulipa kwa fadhila zako zoote.
Ahsanta sana kwa yoote,na khasa kwa unyonge ulokukuteni ndugu zangu.
Dhuluma na batili siku zoote hushindwa.
Si wasikia leo hii huyo "Field Marshal" wao wa kuchonga Okello;wanae na Family yake yoote wamekumbwa na madhila yaso mipaka huko kwao Uganda na wanaishi na wanalala nyikani huku wakijistiri kwa matunda ya mitini!?...Pole zao nyingi mno!
Nakwacha Al Akhiy,nawe ubaki vyema Insha Allah.
Shukran.
Cc;Ritz
Nguruvi3
Crusade war haitakusaidia,na chuki zako dhidi ya uislam hata kama unajaribu kuzificha na kuzionesha tambua ya kwamba pia na hiyo haitakusaidia,
Unapokuja na kuubeza uislam kwa kutoa kauli zako za kuzunguka mbuyu sisi tunakuona umefili hata kabla hiyo mission yako hujaianza,
Na hakuna aliekuambia hapa kwamba Kuondolewa kwa sultan zanzibar basi ni kuanguka kwa uislam,
Labda nikuulize,unauliza hilo kwa dhati ya kutaka kujua au kwa mantiq ya kuuvaa na kuukejeli uislam??
Kipindi sultani anatawala zanzibar kulikuwa kunaendeshwa kama dola ya kiiislam??
Kama ni kweli weka uthibitisho,kama si kweli jipime mwenyewe na uone chuki yako ni ya kiwango gani dhidi ya uislam na waislam??
Inawezekana kabisa ya kwamba walikuwapo waislam ambao walikuwa wanaish zanzibar kipindi hicho cha usultani na walikuwa hawaufurahii uongozi wa kisultani kwa namna moja ama nyingine,unalizungumzaje hilo?
Je unafaham uislam uliingia lin zanzibar??kabla au baada ya usultani???
Tunachokuambia hapa ni kwamba mumeshindwa kuuonesha uchochez wa Moh Said,na mnachokifanya ni kuangaza huku na kule kutafuta kitu ambacho mtaegemea kutafuta uthibitisho lakini bahati mbaya sana mmekosa,
Moh Said hayupo hapa kuweka ligi na mtu au kuweka ubishani,yeye yupo hapa kuweka uhalisia wa historia,
Kama umeshindwa kuiamini na kuikubali ni juu yako,wapo wanayoiamin na ni wengi wenye weledi wao,kama wewe umeshindwa kuafiki kwa kuona Juhudi za ukristo na wakristo hazipewa nafasi kama unavyojaribu kuongelea ni sawa pia,
Lakini uhalisia uko hivyo,na utabakia kuwa hivyo....
Ndugu yangu Gwalihenzi
Ni jambo la kushangaza sana ikiwa hawa ndugu zetu wanajiita ni Great Thinker
Badala yakujibu hoja wao wanashambulia watu,
Lakini ndio hivyo tutafika tu na historia itabaki huru bila kuchafuliwa!
Swadakta.Nimekukubali kabisa yakhi..
Ahalan wa sahalan yaa akhiy
Yericko Nyerere,
Nakusubiri kama umeshindwa kujibu waambie wenzako wakusaidie kuna mipini nimekuandalia hii naifanya kwa kumuenzi ndugu yetu gombesugu,
Wakuu Barubaru na GombeSugu,
Maswali yetu kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar yapo wazi mnaweza kumsaidia Mohamed Said kuyajibu!
Hasanalis,
Salaam Al Akhiy.
Nina neno langu takakwambia,si kwa Kizungu bali Kiswahilia. Msiba walinidhamiria wala sijeumia,azma yao ni dhuluma,katu Mola hatakubalia.
Wewe Al Akhiy ndie wa kukutaka radhi wala si mwingine asilan,maana najua madhila yalokusibu kusikia nduguyo janiona.
Wallahi,nipo vyema ni kibarua na safari kiduchu menibana.
Nakuacha na nasaha mbili;mojawapo ni ya kizungu na nyingine ni ya Mzee wetu alokua mashuhuri kwa upande wake.
No one is your friend who demands your silence,or denies your right to speak - A. Walker
Sigida Mpingo hading'oka - Kondo Kipwata.
Nimefurahika kwa kunisikiza.
Tuendelee na hili zogo/"Mnakasha".
Ahsanta.
Cc;Ritz,Barubaru,The Big Show,Boko Haram,JokaKuu
Yericko,
Mimi nipo safarini kibaruani,nisamehe.
Na kama ulihitaji nisaidie kujibu viroja/"hoja" zenu,mbona ulikua mstari wa mbele kulazimisha nifungiwe/niwe banned na hawa jamaa zako wa Jf!?
Kwa kifupi nitafanza mambo kwa priorities zangu na Lifestyle yangu inavyoniruhusu...
Najua utoto unakusumbua ndugu yangu!
Ahsanta.
Mbona humalizii usemi wako? Hoja ilikuwa kwamba serikali yaTanganyika/Tanzania ilikuwa tayari kuzisaidia nchi zilizohitaji msaada wa ukombozi. Kwahiyo basi swali la msingi linabakia palepale, kwamba ninani aliye muomba mwenzi msaada kati ya ASP na TANU, wazushi wako wanashindwa kujibu hapo kwa sababu jibu lake litawaumbua kwenye ajenda yao ya fitna.Duuh! kama hivi ndivyo....
then kulikuwa na hoja gani ya kuuliza kama nani alimuomba mwenzake msaada kwenye yale mapinduzi. Response hii inaonyesha kuwa kumbe Nyerere chini ya TANU ndio walikuwa na ajenda ya Mapinduzi yale. Tukikubaliana hapa ndipo tutakapo kuja kwenye nukta nyingine..je ni kweli lengo la Nyerere kufanikisha mapinduzi yale ilikuwa nikuifanya Zanzibar iwe huru chini ya Wakoloni.....au kulikuwa na agenda nyingine kama Dr Ghassani Hafidhwahu Llaahu alivyodai?
Amakweli kuchamba kwingi .......
Kwemwale.
Hongera sana! kwani mko wengi wa aina yenu hamjitambui wala kujijua kazi kweli kweli.Nibora nife nikiwa mjinga(mtoto wa madrasa) kuliko kufyonza hii uranium mnayoimwaga humu jamvini
Ukiwa dhaifu, kila anaekutizama utahisi anania mbaya na wewe. na kila saa utatafuta mtu wa kumsingizia kama chanzo cha udhaifu wako. Elimu duni kwa waislamu nani alaumiwe?
1. Vingozi wa dini ya Kiislamu: ambao wameeneza itikadi kama yako. Niambie Ukweli wewe unaifahamu Qur'an tukufu katika lungha yake ya Kiarabu cha zamani kama wenzetu wanavyoifahamu Biblia yao neno kwa neno bila kumtegemea Shekhe atafsiri, Shekhe ambaye wakija waarabu anajingáta midomo maneno hayatoki!!! Na ni huyohuyo anaetutafsiria Qur'an Tukufu kwa maneno anayoyajua yeyena mara nyingi hatujui hata kama kaingiza la kwake. Na hapa ndipo hutumia Mwanya kutimiza malengo yao ya kisiasa kwa niaba ya watu wenye nia zao wanazojua wenyewe.
2. Historia: Wakoloni waazungu na udhalimu wao walileta Elimu na Afya kupitia Wamishionary ambao ndio walikuwa Wapelelezi wakuu. Waarabu ambao hawakuwa wakoloni kimsingi waliamini sisi si binadamu bali ni wanyama wakatufunga minyororo kama masokwe na kutuuza na kututumikisha. Hawakuanzisha emilu Dunia wala Afya kwa watu wetu. Jambo hili baya limearithiri sana maendeleo ya maeneo kuliko na Waislamu wengi ambako Waarabu waliiueneza.
3. Mfumo wa Maendeleo wa taasisi a Kiislamu: Mpaka Miaka ya hivi karibuni, taasisi za Kiislamu zilijengwa katika misingi ya kidini zaidi kwa kuhamasisha watoto na vijana kiusoma Juzuu na Msaafu bila kuzingatia kuwa vijana hawa hawaishi katika ulimwengu wao peke yao, taasisi hizi tofauti na za wenzetu wakristu hazikuweka Elimu Dunia katika shule za Awali za Madrasa na hivyo kupelekea watoto kukariri na wala si kuelewa Aya mbalimbali, na hivyo katika sifa ya misingi hiyo, wanakuwa wazuri kwenye imani wabovu kwenye maisha, hawawezi kupata kazi wala kupewa nafasi katika taasisi mablimbali. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mwamko (ingawa bado madrasa zinabaki kuwa chanzo cha kuzorotesha Elimu ya watoto maana haziingizi elimu Dunia) wa Kielimu na taasisi mbalimbali tayari ziko katika mpangilio mzuri. Bado kunahcngamoto mfano shule zinazofanya vizuri miaka hii ni za Wakristo Seminari, na shule zinazofanya vibaya sana ni za Waislamu Seminari (Ukitizama makundo hayo mawili tu). Cha muhimu hapa ni kujifunza kutoka kwa wenzetu wakristo, ni siri gani waliyonayo, na si kuleta udini na kuonyesha infireority complex ambayo inakuzuia kufikiri vema zaidi kukabili changamoto.
4. Uislamu wa Kisasa: Hili kila mtu analifahamu oukizingatia kuibuka kwa Mujahidina na sera yao ya adhabu zao kali kwa yeyote yule anaemkosea Mungu, badala ya kutumia ushawishi kuenga hoja zao wanatumia Nguvu kwa jina la Mwenyezi Mungu. Sina Uhakika kama Mwenyezi Mungu anashindwa kuwaadhibu wanaomuudhi, tnea kwa sekunde. Rehema zake hazina kipimo na upendo wake na uvumilivu akiamnini tutarudi katika ibada na kuendelea kumcha Mungu. Je katika dini ya Uislamu hakuna kusamehewa dhambi na Mwenyezi Mungu? Je hakuna kusameheana mpaka tunaadhibiana Waislamu kwa waislamu, tukaeneza chuki na chuki dhidi hasahasa ya Ukristo ambao Qur'an Tukufu imeuzungumzia na hata kuja kwa Nabii wake. Je ndugu zangu Waislamu hamuoni hila hizi?
Mwisho, nasema hivi, hakuna mpango wala haujawahi kuwepo wa kuwakandamiza Waislamu, tunajikandamiza wenyewe kwa kutafuta mchawi wakati tumejiloga. Muda huu tunaweza kuutumia vema kujipanga na kufanya maajabu kwa watoto wetu na vizazi vijavyo na watu wakaufurahia Uislamu na kutaka kujiunga zaidi na zaidi. Kama ni Memorandum of Understanding kwanini Tasisisi husika zisiongee na Serikali kukawa na ya Waislamu? Sina uhakika kama Bakwata wanayo. Kama ni shule kwanini tusiongeze na kuziimarishana hasa ubora wa walimu? Kama ni Vyuo vikuutulipewa buuure, wakati wenzetu Wakristo siku nyingi. Sasa usitie neno, maana kama ni utajiri wako Waislamu matajiri sana. Kama ni akili wako Waislamu wenye akili sana. Isipokuwwa hawa viogozi wetu wa dini Mashekhe na wengineo wawe na degree angalau ya Islamic Knoweldge pamoja na nyingine, maana wengi wetu tunajua wamesomea wapi ingawa tunawaita Masheikh. Wenzetu wanawasomesha viogozi wao, tunaijua tofauti. Wakati wa Mabadiliko ndani ya taasisi za kiislamu ni sasa kuanzia Madrasa mpaka misikiti Mikuu.

Mbona humalizii usemi wako? Hoja ilikuwa kwamba serikali yaTanganyika/Tanzania ilikuwa tayari kuzisaidia nchi zilizohitaji msaada wa ukombozi. Kwahiyo basi swali la msingi linabakia palepale, kwamba ninani aliye muomba mwenzi msaada kati ya ASP na TANU, wazushi wako wanashindwa kujibu hapo kwa sababu jibu lake litawaumbua kwenye ajenda yao ya fitna.
gombesugu nashukuru nimejifunza kitu!Muheshimiwa Professor,
Umejitahidi saana na kutumia nguvu nyingi mno kujaribu kutufahamisha. Ni haki yako na ni vizuri mno.
Nafikiri tungekusikiza kwa utuvu kama ungeacha hiyo khabari yako ya kututajia yakuwa ati wewe ni "Muislamu".
Si kila asokua Muislamu ati huwa hafuatishwi ushauri wake au kusikilizwa na Waislamu...kwa kuwa wewe ni Professor najua unaelewa vizuri History na ushahidi wa haya nikwambiayo nina hakika unayo kichwani!
Kwa kifupi;maelekezo na ushauri wako ungekua na weight kama usingetumia hicho kigezo yakuwa wewe unazungumza kama Muislamu!?...nina maana yawezekana kabisa wewe ni "Muislamu",lakini hicho kigezo kwenye points/"analysis" yako,umetumia vibaya!?
Hapo juu nilipo bold...yaani wewe Professor mzima hiyo ndio Historia ya Mzungu/Mkoloni a.k.a "Mvumbuzi" unayoijua wewe!?
Tulipitia kiduchu hayo mambo hapo awali,nina imani ulikua ukifuatilia...tuliamua kuyacha/kuyapunguza kwakuwa yalikua na elements fulani za Udini.
Mengineyo mengi mno ulozungumza yalishajadiliwa kwa kirefu hapahapa jamvini.
Mfano mimi binafsi,JokaKuu na Kadogoo,tulishawahi kuzungumzia hayo masuala/matatizo ya Ilm kwa Waislamu...post yangu ya mwisho haikuwahi kujibiwa na ndugu yangu JokaKuu,na tuliishia hapo kwa imani yakuwa tulishafahamiana!?
Niwie radhi ndugu yangu,Professor "Muislamu" mwenzangu kwa huo uchechefu wangu kiduchu.
Ahsanta sana.
Cc;Ritz
Mheshimiwa Profesa,
Pamoja na mchango wako mzuri kwa baadhi ya maeneo,
Nachukua nafasi hii kukusihi kuweka kando hoja zinazodharirisha ama kuudhi watu wa dini nyingine,
Hilo tumejitahidi kuliepuka katika mnakasha huu kwakuwa sio dhamira ya uzi huu kuhubiri na kuinjirisha masuala ya kiroho,
Ni kweli kuna hoja ambazo ukitaka kuzitoa lazima zitabeba nasaba ya kiroho, lakini nikusihi tena ndugu yangu Profesa kuwa jitahidi kupunguza ukali unaozaa dhihaka kwa dini moja ama nyingine!
Zingatia sheria za jf!
Mbona sina sababu ya kukutisha mkubwa wangu; miye nasema ninachokijua tu. Kwamba inasemekana uko miongoni mwa marecruiter wa Muslim Brotherhood Tanzania ukiwa unapigwa tafu na jamaa mmoja wa kwenye shirika maarufu la Umma. Inasadikika kuwa zipo nyaraka zinazokuunganisha wewe na baadhi ya matukio ya udini nchini. Hivyo sina sababu ya kukutisha.