Cool Runnings
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 277
- 199
Ngongo,
Una maana kwa hapo Tanzania/Tanganyika,au dunia nzima hujawahi kusikia malalamiko hayo ya "Wakristo wengine" dhidi ya Roman Catholics!?
Embu kipata nafasi tafuta kijitabu hiki na uchungulie hizo bayana zake japo kiduchu;
Is Roman Catholicism Christian!? by Dr. John Henry 2001
Niwie radhi kwa kuingilia kati ya bayana yako ndugu yangu, na nakusihi usinifanzie hamaki kwa ihsan yako.
Ahsanta.
Hapo ndiyo mnatakiwa mjifunze kwani ni kweli waprotestant, Mashahidi wa Yehova, wasabato nk hawakubalian na mafundisho ya kikatoliki. Wasabato wanakwenda mbali na kuiona catholic ni dini ya kishetani na papa ndiye lucifer mwenyewe. Lakini upinzani huu ni kiimani zaidi kuliko literal kama livyo kwa nyie ndugu zetu. Hutasikia hata siku moja eti wasabato wanalalamika kwa nini maraisi ni wakatoliki tuuu! au sijui necta mbona hakuna msabato. Au protestants kuhesabu mawaziri kwa imani zao kujua yupi mkatoliki na yupi protestant. Au shahidi wa Yehova kusingizia dhulma kutoka kwa wakatoliki sababu ya ugumu wa maisha. Au hao niliyowataja kuhoji utakatifu wa Nyerere wakati ni mambo yasiyowahusu.
Eneo hili hata hawa wachochezi akina Mwamedi wanashindwa kulielewa maana wanafikiri et ni haki ya wasio wakatoliki kulalama juu ya dominance ya ukatoliki katika serikali kitu ambacho ni utter non sense.
Ukikosa kufikiri inakuwa rahisi kuamini hata zile hoja za kimbumbumbu kuwa ooh Idd Amin alitandikwa et sababu ya dini yake au Sudani kusini wamejitenga kwa kuwa Mataifa ya magharibi yanauchukia uislamu. Vp kuhusu indonesia nchi yenye waislamu wengi duniani si wamejitenga na East Timor? haya mwageni konspirasi zenu za kidini kwenye hilo pia.