Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Yericko,
Kipi kinakufanya wewe utumie neno ''alimuogopa'' huo uoga utokane na nini?

Unadhani kwa heshima ya Nyerere unaweza kuandika kitabu au umtukane
majukwaani na wewe ubaki na heshima yako?

Unanitia hata uvivu kukusomesha.

Yericko,
Husomesheki.
Hebu jifunze kwanza adabu ya mjadala.
Nimetumia neno "alimuogopa" kutokana na MANTIKI ya hoja yako ya leo na ile ya siku zote juu ya kile unachodai "nyaraka za Mwalimu Nyerere" kuwepo katika hifadhi ya Abdul Sykes

Unabishana na maandiko yako wewe mwenyewe mzee,

Huko nyuma ulisema wazi kuwa TANU walipozitaka NYARAKA hizo, Abdul Sykes aliwanyima,

Hapo tafsri ya kisomi nikuwa aliyenyimwa ni "Nyerere" na sio TANU!

Hata hivyo unazidi kujichanganya zaidi, kama nyaraka za Mwalimu Nyerere zipo mpaka leo kwenye hifadhi ya Abdul Sykes inamaana kuwa watu hawa walikuwa marafiki mpaka mauti yao tofaiti na wewe unavyoudanganya umma leo hii,

Twende taratibu mkuu, usikimbilie kudai heshima ambayo ipo na itaendelea kuwepo daima!
 
Boko haram,
Hii ndio tafsiri halisi ya jina lako hili:

Congregation and People of Tradition for Proselytism and Jihad[SUP][2][/SUP] (Arabic: ????? ??? ????? ?????? ??????? Jam?'a Ahl al-sunnah li-da'wa wa al-jih?d), better known by its Hausa name Boko Haram (pronounced [b??kò? hàrâm], "Western education is sinful"),[SUP][[/SUP]

Hehee wala sina lakusema hapa!
 
Wanaukumbi, zaidi ya 200.000,

Nimepigiwa simu tena kutoka Canada familia ya Amir H. Jamal wanalalamika kuwa wamesoma jana JF baba yao amefutwa kwenye Uislam na kupewa dini ya Hinduist, wanakanusha wanasema Mzee wao alikuwa Muislam wanaomba waombwe radhi, Mag3, haya hapa chini maneno yako msije kusema nafanya "Spinning" kama kwaida yenu ha haa haa.

Wanaukumbi hebu hapa chini tumsome Mzee Amir H. Jamal.

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="class: n, colspan: 2"]Honourable
Amir Jamal
MP
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2"]Permanent Representative of Tanzania to the United Nations in Geneva
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]In office
1988–1993
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]President
[/TH]
[TD]Ali Hassan Mwinyi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2"]Minister of Finance
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]In office
1980 – 1983
Prior terms: 1965-1972 / 75-77 / 79-80
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]President
[/TH]
[TD]Julius Nyerere
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2"]Member of the Tanzanian Parliament
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Constituency
[/TH]
[TD]Morogoro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2"]Personal details
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Born
[/TH]
[TD]c. 1921
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Died
[/TH]
[TD]21 March 1995 (aged 73–74)
Vancouver, Canada
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Nationality
[/TH]
[TD]Tanzanian
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Political party
[/TH]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Other political
affiliations
[/TH]
[TD]Tanganyika African National Union
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Spouse(s)
[/TH]
[TD]Shasu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Children
[/TH]
[TD]4
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Religion
[/TH]
[TD]Islam

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kumbe kuna WAISLAM waliofanyakazi na Mwalimu tena katika ngazi kubwa na wizara nyeti kama kama huyu?! Mimi nilidhani, kwa maelezo ya Mohamed Said, Mwalimu aliuchukia UISLAM na WAISLAM wote.
 
Last edited by a moderator:
Najua hauwezi kukubali haya mambo huwa yanakwenda kwa siri, mbona wapenda kuvaa kikuu, ha haa ha walahi wanikosha mkuu wa chuo napenda chuo chako kisafi sana.

Cc.. gombesugu,
walahi sheikh wangu hizo bayana zako zinanifurahisha sana... lakini hayo ni mambo yako sheikh wangu...
naona umempa na copy binamu yake sultan Jamshid, al habiby tuendelee na mnakasha...
 
Last edited by a moderator:
Nimetumia neno "alimuogopa" kutokana na MANTIKI ya hoja yako ya leo na ile ya siku zote juu ya kile unachodai "nyaraka za Mwalimu Nyerere" kuwepo katika hifadhi ya Abdul Sykes

Unabishana na maandiko yako wewe mwenyewe mzee,

Huko nyuma ulisema wazi kuwa TANU walipozitaka NYARAKA hizo, Abdul Sykes aliwanyima,

Hapo tafsri ya kisomi nikuwa aliyenyimwa ni "Nyerere" na sio TANU!

Hata hivyo unazidi kujichanganya zaidi, kama nyaraka za Mwalimu Nyerere zipo mpaka leo kwenye hifadhi ya Abdul Sykes inamaana kuwa watu hawa walikuwa marafiki mpaka mauti yao tofaiti na wewe unavyoudanganya umma leo hii,

Twende taratibu mkuu, usikimbilie kudai heshima ambayo ipo na itaendelea kuwepo daima!

Yericko,
Sijapata kujichanganya katika maisha yangu.

Umenikumbusha kisa kimoja na mkuu wangu wa kazi katika kesi.
kuwa najichanganya jibu langu lilikuwa hili:

''Sijapata kutumia ulevi katika maisha yangu. Kama kujichanganya
huenda ni huyu mkubwa wangu maana yeye mara nyingi hata hapa
kazini huwa kalewa huenda yeye ndiye anaepoteza fahamu.''

Mimi sina haja ya kubishana na wewe.
 
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa.... muereze arewee chezea mzee Mohamed Said tukisema tunafyonza ilm hatutanii haya yote tungejuaje mzee MS hapo umemshika pabaya wapare wanasema "umgura afande mdhuti"

Boko Haram,
Nia yangu ni kumfahamisha Yericko kuwa kuunda TANU kuna historia yake.

Ikiwa utataka historia ya TANU ianze na kuishia kwa Nyerere basi jua mengi
yatakupita.
 
walahi sheikh wangu hizo bayana zako zinanifurahisha sana... lakini hayo ni mambo yako sheikh wangu...
naona umempa na copy binamu yake sultan Jamshid, al habiby tuendelee na mnakasha...

Nimekununulia kitezo kizuri kwa ajili yako mkuu wa chuo.
 
Nimekununulia kitezo kizuri kwa ajili yako mkuu wa chuo.
hapana sheikh wangu... hicho tumia mwenyewe, ila nahitaji kanzu size 38 pamoja na kitambaa cha mujahidina mnaweza fanya negotiation na mliberali Kadogoo si bado yupo kule Misri, halafu ukanipatia hivyo vitu sheikh wangu... nitashukuru sana sheikh wangu...
 
Basi takununulia Dera XXL utapendeza sana mkuu wa chuo.
 
Last edited by a moderator:
Ritz mmeigeuza thread kuwa ya salam,dedications na mijadala ya kiislam.Kweli mnapenda islamize kila kitu..Nitakukaribisha u islamize mifugo yangu.
 
Boko Haram,
Nia yangu ni kumfahamisha Yericko kuwa kuunda TANU kuna historia yake.

Ikiwa utataka historia ya TANU ianze na kuishia kwa Nyerere basi jua mengi
yatakupita.
Niliwahi sema wazi kuwa TANU ni chama cha kiislam(chama cha wasilam wa Dar) ambacho kilibahatika mpata Nyerere ambaye alikifanya kikawa na taswira ya kitaifa bila kuua usilam..Wengi hawakuelewa sana

Nyerere ali struggle sana kuweza balance udini uliokuwa unaibuka kila mara,....hao waislam na uzao wa km akina Ritz bado wana ndoto ya kuifanya CCM kurudi ktk dyanamics za TANU.

Vitabu vingi vya hovyo vimeandikwa kwa vile watu wana papara na hawaangalii vitu kiuhasilia,wangeweza kuwa na point za kweli na muhimu ktk historia.

"Badala ya kusema Waislam pekee ndio wameleta uhuru, wangesema islam iliplay role kubwa ktk siasa za TANU".Hata leo wangepewa CCM yao.Kwani ktk uhuru ingekuwa TAA /TANU ya kiislam ya dar..basi isinge vuka kibaha na isiengekaa ivuke kibaa.Kwanini iende na vipi ingevuka wakati tayari zaidi ya Nusu ya watanzania walikuwa hawajui kiswahili,na uslam ulipiti anjia za watumwa? waislam wengine ni wale waliotaka uganga na uchawi ndio waliiigia dini.
 
Sweet Ritz tafadhali mwambie MS atufanyie fwadila ya ilm,ukimya wake katika hili swala anatuacha katika limbo-historia ni ya kushare sasa kama ana plead 5th amendment,tunakosa ilm
1. Nani alimuomba mwenzake msaada wa mapinduzi kati ya TANU na ASP
2. Mapinduzi ni halali au ni haram
3. Kwanini wznz waendelee kuenzi mapinduzi haram ya Nyerere
4. Kwanini viongozi wa mapinduzi washirikiane na Nyerere aliyekwenda ''kuua'' ndugu zao
 
Last edited by a moderator:
Kumbe kuna WAISLAM waliofanyakazi na Mwalimu tena katika ngazi kubwa na wizara nyeti kama kama huyu?! Mimi nilidhani, kwa maelezo ya Mohamed Said, Mwalimu aliuchukia UISLAM na WAISLAM wote.
WildCard yaani hapa nilipo nacheka tu...kuna watu kweli wanahaha wakitafuta pa kutokea! Eti wanadai wamemkamata Mag3 hadi kalikimbia jamvi, eti wanapigiwa simu usiku kucha hawalali kwa sababu ziko familia zimedhalilishwa kwa kuhusishwa na dini zisizo zao. Wamesahau kabisa mahubiri ya kichochezi ya Mohamed Said kuwa baada tu ya uhuru Mwalimu alihakikisha Waislaam hawapati fursa ndani serikali yake, halafu hao hao wanapiga mayowe wakidai kuwa mbona dini ya Waziri moja Muislaam imekosewa! Duh, kumbe walikuwepo mawaziri Waislaam!

Nikipata muda nitajibu shutuma zote ninazotupiwa ila ni ajabu ilioje kuwa watu ambao wanafyonza na kumeza kila wanacholishwa na Mohamed Said leo angalau wanajitutumua...hongereni sana kwa hilo, ndivyo inavyotakiwa humu jamvini...kuhoji na si kufyonza tu. Ritz niliyoyaandika kwenye lile jedwali yaliandikwa na walionitangulia siku nyingi tu na sikuwahi kusikia kuna mtu anapigiwa simu usiku kucha, hao jamaa wanaokukosesha usingizi walikuwa wapi? Muombe mmoja wao ajitokeze hapa ajibu kwa nini leo na si miaka ya nyuma?
 
Last edited by a moderator:
Yericko,
Sijapata kujichanganya katika maisha yangu.

Umenikumbusha kisa kimoja na mkuu wangu wa kazi katika kesi.
kuwa najichanganya jibu langu lilikuwa hili:

''Sijapata kutumia ulevi katika maisha yangu. Kama kujichanganya
huenda ni huyu mkubwa wangu maana yeye mara nyingi hata hapa
kazini huwa kalewa huenda yeye ndiye anaepoteza fahamu.''

Mimi sina haja ya kubishana na wewe.

Hahaha pole mzee wangu,

Unajikana mwenyewe kabisa?

Ok,

Hizo "Nyaraka za Mwalimu Nyerere" zilizo chini ya hifadhi ya Abdul Sykes, katika uhai wa Julius Nyerere, alishawahi kuzihitaji na ikashindikana?

Nyaraka za Mwalimu Nyerere zilifikaje kwa Abdul Sykes ambae wewe Mohamed Said unasema Nyerere alimfanyia ghiriba na dhihaka baada ya uhuru?

Zingatia kuwa MASWALI yetu bado yapo mezani yanasubiri hekima zako mkuu

Uongo unatabia ya kufifia kadiri mda unavyosonga!
 
Naona kuna mtu karibuni atavikwa taji la mhifadhi mkuu wa nyaraka za wazee wetu woote waliotangulia mbele ya haki...yaani mpaka na za Mwalimu, duh!
 
Wanakumbi wanataka majibu kutoka kwa Yericko Nyerere, wanaitaji kufahamu kina nani walisamehewa na Nyerere kwa uasi na wakapewa vyeo na wengine wengi wakapelekwa kuwa mabalozi ulaya leo mwezi wa sita hakuna majibu.

Mag3,

Wanaukumbi pamoja na wanafamilia ya Mzee Lawi Nangwanda Sijaona wanaomba majibu lini mzee alikuwa Muislam.

Nguruvi3,

Wanaukumbi zaidi ya 200,000 wanaomba ushahidi ulisema matatizo ya elimu ya Kilwa kwa Waislam yanafanana na ya Mombasa Kenya, au nimefanya Spinning.

Sharif ritz umesahau na haya
(1) kanda ya muago
(2) yule mvuvi wa zaid ya miaka 80 kisha akafufuka kuhudhuria kikao cha chama
lol
Bcc, Wamakonde wa kipumbwi
 
Yericko,
Nimekuiwekea hapa kwa mukhtasari TAA ilikuwaje kabla ya baba yako.
Huna la kusema?

Ulikuwa unaufahamu uhusiano wa Seaton na Abdu Sykes.
Unajua ni Abdu ndiye aliyemjulisha Seaton kwa baba yako?

Unaujua mchango wa Seaton katika TANU?

Unajua baada ya msaada wake wote ule TANU ilirudisha
fadhila kwa Seaton baada ya uhuru?

Yericko,
Unatoa shingo unasema ati mimi siijui historia ya TAA/TANU...

Siko hapa kufanya ubishi mimi niko hapa kueleza yale ambayo
kwa kweli si wengi mlikuwamnayajua.

Nikikaa hapa kufanya ubishi watazamaji watatukimbia.

Mzee MS; Baada ya salamu;
1. Mtiririko wa matukio ni sahihi

2. Lengo ya uelezaji sio "objective". Maana ni kuwa Kama Abdu alimtafuta Seaton in his capacity kama fulani wa TAA, sio FAIR kuripoti kuwa ABDU kam-engage SEATON. It is fair kusema TAA walim-engage SEATON

3. Mtiririko huu ambao ni intellectual "dishonesty" umeuridia pia kwenye majukumu ya TAA sub-political commitee ambayo a reader anapata taswira kama vile wakina Vedasto Kyaruzi walikuwa mzigo kwa Abdu sykes.

4. Kwa maana nyingine kosa unalolilia kuwa jamaa wa Kivukoni wamefanya kum-marginalize Abdu kwenye kitabu cha historia ndilo hilo hilo umerudia kwa kuwa-marginalize wengine wa TAA at his glory.

5. Last, nadhani una-over react kumwambia Yericko kuwa ukianza Ubishi basi viewers watakimbia. Hilo neno views ni Meter-TANGU thread imeanza kuna 200,000 VIEWs, that does NOT translate into 200,000 people. Hiyo hesabu ni inclusive Fulani kaitazama hii thread HOW MANY times (wewe peke yako sio ajabu umeshai-view 500 times). Kwa hiyo sidhani kama ni sahihi kudhani kuna umati wa 200,000 umejipanga unamsikiliza mtu. Anayejua zaidi atanikosoa.
 
Mzee MS;

Yeye mwenyewe Mohamed Said post zake tu katika huu mnakasha zinakaribia 3,000 akifuatiwa karibu na Ritz mwenye posts karibu 2,000...yaani watu wawili wana posts karibu 5,000! Hii ni sawa na theluthi moja (one third) ya posts zote kwenye thread hii moja! Mia Mag3 nina my five cents, posts hazifiki hata 250! Hivyo usishangae kwamba katika hizo views 200,000, jamaa moja keshachungulia si chini ya mara 10,000!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom