Mohamed Saida,
Historia ya AA,TAA na TANU huijui,
Wewe unajua vikundi vya walevi wa kariakoo tu ambao walijivika kilemba cha TAA
Sio kweli kuwa Mwalimu hakuandika katiba ya TAA-TANU na badala yake alinakili katiba ya chama cha ukombozi cha Ghana cha CPP,
Mimi hilo la kunakili ama kutonakili halina neno kwangu,
Hoja nikuwa Mwalimu Nyerere alipojiunga na TAA alikuta ni kikundi cha wanywa ghahawa na wacheza bao wasiokuwa na hata KATIBA tu,
Kilikuwa ni kikundi cha Walevi/wapenda starehe tu,
Mwalimu kalisema wazi katika hotuba yake ya muago hapa Dar kuwa alipojiunga alianza kukifufua chama na kuandika KATIBA na kukipa malengo/Ideology/Filosofia ya kudai UHURU,
Nitaomba ninukuu maneno yake hapa chini
Nimekuja, natoka Ulaya, tena masomoni. Muda mfupi tu jamaa hawa wakaniamini haraka sana – katika muda wa miezi mitatu. Wakanichagua Rais wa TAA. Hapo ndipo nilianza shughuli mpya ya kuandika katiba ya TAA na kuipa madhumuni hasa ya shabaha ya kuleta uhuru [/QUOTE]
Sasa nakuuliza Mohamed Said na wafuasi wako kuwa,
Kabla ya Mwalimu Nyerere kujiunga na kuchaguliwa kuwa Rais wa TAA hapo mwaka 1953, TAA ilikuwa na mlengo/Filosofia/Ideology gani?[/QUOTE]
Yericko,
Nafikiri kwa sasa
Sheikh Mohammed Said itakuwa taabu kukujibu wewe direct kama
mleta madai/shutuma dhidi yake.
Kwa sababu yeye ni
Scholar/Historian na pia ana hishma na taadhima ilo kubwa mno
ndani na nje ya nchi.
Amekuja hapa
Jf na kuwa
-verified na watu woote wanamjua yeye ni nani. Ndo maana unamuona yuko
mindful na
ethics,standard na procedure takriban zoote za
kitaaluma. Tafauti na
wahuni wengi hapa
jamvini tunaowashuhudia kila kukicha wakimshambulia na kumkebehi tena
wakiongozwa nawe binafsi!
Kwa kifupi,tatizo ni kuwa wewe binafsi kwa upande wako
verification yako ina utata/
fraudulently verification,ambapo sio tu ni
Academic dishonesty but can also amount to
criminality.
Kwa hiyo ili uwe/tuwe fair kwa
Sheikh Mohammed Said,inalazim wewe binafsi uache kumuuliza maswali kwa sababu kama hizo nilizoziakinisha hapo juu ni kuwa
credibility/reliability yako ina utata mwingi,na kumbuka wewe ndie mleta
Thread/Mada hii...na kuanzia ni hapo kwenye hiyo
cheating ulofanza hapa
Jf ya Kuji-verify kama
Yericko Julius Kambarage Nyerere,kumbe inabainika
si kweli!?
Kumbuka shutuma za
"Uchochezi,Ugaidi na Uhaini" kama ni za kweli na zikibainika ni nzito mno. Kwa hiyo kwakuwa tupo hapa kubainisha yayo,inatulazim tufuate
taratibu makhusus tena kwa uangalifu na umakini mwingi and leave no stone unturned!
Sheikh Mohammed,haitajiki ku-prove lolote/chochote...nyinyi/wewe ndo yatakiwa ubainishe hizo tuhuma zako kwa kina!!
Tafadhali naomba usitafute
sympathy kutoka kwa jamaa/wafuasi zako hapa
jamvini, yakuwa hii ni
personal attack,la hasha!...huu ni
ukweli wa kitaaluma na pia tunajaribu kuweka mambo sawa huku pia tukijaribu kuwa fair kwa
Sheikh Mohammed Said.
Ahsanta.
Cc;Ritz,The Big Show