Sijui kama umeshajibiwa kwani huu mnakasha nimedandia tena katikati. Roman Catholic hapo ni wawili. Mwalimu na Kahama.Roman Catholics wangapi na wengineo wangapi kati ya wakiristo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kama umeshajibiwa kwani huu mnakasha nimedandia tena katikati. Roman Catholic hapo ni wawili. Mwalimu na Kahama.Roman Catholics wangapi na wengineo wangapi kati ya wakiristo?
Hivi Al Akhiy Ritz, una tatizo gani au kuna kaugonjwa kanatembea miongoni mwa ma Al Akhiy? Vipi kuhusu mwalimu wako anayedai waliofanikisha mapinduzi 1964 na kuunda Baraza la Mapinduzi walikuwa wasaliti wa Wazanzibar na Uislaam. Je anataka tuelewe kwamba mapinduzi yalikuwa haramu? Kwamba serikali ya Mapinduzi Zanzibar ni dhalimu? Kwamba hii nembo hapa chini si lolote, si chochote?Nimepigiwa simu zaidi ya mara kumi familia ya Mzee Lawi Nangwanda Sijaona wanalalamika kuwa wamesoma JF kuwa mzee wao alikuwa Muslim wanakanusha wanasema hajawahi kuwa Muislam.
Mag3,
Waombe msamaha ndiyo uungwana.
MNYWA ghahawa kapewa visa.basi imekuwa kama milestone,every breathing soul atasimuliwa-kweli nimeamini our beloved country has a long walk to development-maana if trivial matters vinakuwa some sort of achievement then GOD help usSheikh wangu kumbe wewe ni mtu mkubwa sana sheikh, tokea ubalozi wa uingereza wa kupe ile visa na yule jamaa mwingine kukosa hapo kweli al khiy nimekukubali...
inamaana alipigiwa simu mara ya kwanza akatulia, mara ya pili akatulia tu mpaka zinafika kumi jamaa ametulia tu halafu zote zilikuwa zikimwelekeza amwambie mag3 aombe msamahama... alipoona zimezidi kumi ikabidi aje jf kutoa tamko kama alivyoagizwa...simu akupigie nani? mbona unapenda kuji elevate- ONCE u r nobody u always remain so
....keh keh keh,kwi kwi kwi, teh teh jamani mbavu zangu! jamaaaaani mbavu sina!!sipati picha sijui itakuwaje. tuombe awe na uwezo wa ku reasoning sio kwamba akiambiwa kwa mfano Warioba alitoka machungani akapewa uwaziri mkuu ukubali tu, wamakonde waliamka asubuhi na jioni wakapanda jahazi kutoka Kipumbwi kwenda kuvamia Unguja ukubali tu.Kisa si kasema maalim...
jamaa yaani huwa anatambia hiyo hiyo yote sababu jamaa ana inferiority complex nadhani ndio inamsumbua...MNYWA ghahawa kapewa visa.basi imekuwa kama milestone,every breathing soul atasimuliwa-kweli nimeamini our beloved country has a long walk to development-maana if trivial matters vinakuwa some sort of achievement then GOD help us
Anadai alikwenda kuomba visa amevaa kanzu,i can bet with my life siku hiyo alikwenda amevaa suti yake ya arusijamaa yaani huwa anatambia hiyo hiyo yote sababu jamaa ana inferiority complex nadhani ndio inamsumbua...
ha ha haaa, mkuu Nguruvi3 chuo changu kinaruhusu mikoba ya aina yote hata kama ya balozi alihutubia bunge inaruhusiwa pia....keh keh keh,kwi kwi kwi, teh teh jamani mbavu zangu! jamaaaaani mbavu sina!!
Mkuu wa chuo unaruhusu tuje na mikoba chuoni kwako! teh teh teh
jamaa muda mwingine anatuletea stori za kahawa anataka tukubali tu...Anadai alikwenda kuomba visa amevaa kanzu,i can bet with my life siku hiyo alikwenda amevaa suti yake ya arusi
chuoni kwako itabidi wanafunzi wafunzwe habari za saidi chamwenyewe,huyu alikuwa anaendesha baiskeli toka dar through lion infested forests mpaka rufiji yote kwa ajili ya TANU,lakini historia imemtupa kapuniha ha haaa, mkuu Nguruvi3 chuo changu kinaruhusu mikoba ya aina yote hata kama ya balozi alihutubia bunge inaruhusiwa pia
ila huku watu hawamezi ngano nzima nzima bila kuhoji lazima wahoji...
dah! sipati picha hicho kitabu kitakuwaje huo ukubwa utakuwaje tukiwaweka wote pamoja na kina shariff Attas kila walichokifanya duh!chuoni kwako itabidi wanafunzi wafunzwe habari za saidi chamwenyewe,huyu alikuwa anaendesha baiskeli toka dar through lion infested forests mpaka rufiji yote kwa ajili ya TANU,lakini historia imemtupa kapuni
itabidi ziwe VOLUMES,maana kitabu pekee is too small kuwatosha wazee wa narungombe,kipata,new street,gerezani and what have youdah! sipati picha hicho kitabu kitakuwaje huo ukubwa utakuwaje tukiwaweka wote pamoja na kina shariff Attas kila walichokifanya duh!
hapo upo sahihi maana kwa kitabu kitakuwa kikubwa sana lakini kwa volumes nadhani wote wanaweza wakaingia mpaka yule kinyozi aliyekuwa anawanyoa wapigania uhuru na wazee wa Kariakoo aliyekuwa mcheshi akijulikana maarufu kwa jina la MUINGEREZA nadhani ataingia...itabidi ziwe VOLUMES,maana kitabu pekee is too small kuwatosha wazee wa narungombe,kipata,new street,gerezani and what have you
Kwahiyo mgeni yeyote atakaejiunga na mjadala huu na kumuuliza maswali ya muhimu Sheikh Said inakuwa ni kosa?
Sisi wengine tumesoma mjadala huu sasa ni mwezi wa 4. Hao wakina Tosiri unaoniambia nimewasoma wote kupitia Sheikh Mohamed Saidi. Pia nakuomba unianikie hapa jamvini hiyo ID yangu ya zamani. Shukran
Mohamed Said, huko siku za nyuma katika mnakasha huuhuu uliwahi kuulizwa kama wakati wa kuandika kitabu chako hiki uliwahi kuzisoma katiba za TAA na TANU, ulikataa kwamba hukuona umhimu wa kupitia katiba hizo. Kwa maneno mengine wewe hujui kilichoandikwa kwenye hizo katiba. Sasa leo unakuja kutudanganya hapa kwamba unajua kuwa katiba ya TANU haikuandikwa na Nyerere bali ilinakiliwa kutoka CPP ya Nkurumah!Yericko,
Yericko,
Hilo la kuwa Nyerere ndiye aliyeandika katiba ya TANU si kweli hili nimelieleza huko nyuma kuwaTAA walinakili
katiba ya Convetion Peoples Party (CPP) ya Kwame Nkrumah wa Ghana.
Lakini ikiwa unafurahi kuamini kuwa Nyerere aliandika katiba ya TANU hapana neno endelea kuamini hivyo.
Hivi Al Akhiy Ritz, una tatizo gani au kuna kaugonjwa kanatembea miongoni mwa ma Al Akhiy? Vipi kuhusu mwalimu wako anayedai waliofanikisha mapinduzi 1964 na kuunda Baraza la Mapinduzi walikuwa wasaliti wa Wazanzibar na Uislaam. Je anataka tuelewe kwamba mapinduzi yalikuwa haramu? Kwamba serikali ya Mapinduzi Zanzibar ni dhalimu? Kwamba hii nembo hapa chini si lolote, si chochote?
Ni Mohamed Said huyo huyo amewahi kudai humu ndani kwamba ni Waislaam ndio waliomtuma Sheikh Ilunga kuzunguka huku bara akipandikiza chuki na kuchochea mauaji ya viongozi wa dini zingine, je hii ya kuwatukana Wazanzibari walioukataa ukoloni wa Kiarabu, yeye katumwa na nani? Halafu wanatokea watu eti wanahoji tuhuma za uchochezi na dhihaka dhidi yake, tunazitoa wapi!![]()
Al Akhiy Ritz nitakupa ushauri kidogo...kama unapokea simu unavyodai ingawa sina hakika wewe unapigiwa simu kama nani, waambie mmojawapo katika wanaokupigia simu ajiunge na JF kama verified user, majibu murua atayapata bila wasi wasi wowote.
hapo upo sahihi maana kwa kitabu kitakuwa kikubwa sana lakini kwa volumes nadhani wote wanaweza wakaingia mpaka yule kinyozi aliyekuwa anawanyoa wapigania uhuru na wazee wa Kariakoo aliyekuwa mcheshi akijulikana maarufu kwa jina la MUINGEREZA nadhani ataingia...
MNYWA ghahawa kapewa visa.basi imekuwa kama milestone,every breathing soul atasimuliwa-kweli nimeamini our beloved country has a long walk to development-maana if trivial matters vinakuwa some sort of achievement then GOD help us
dah! sipati picha hicho kitabu kitakuwaje huo ukubwa utakuwaje tukiwaweka wote pamoja na kina shariff Attas kila walichokifanya duh!
jamaa yaani huwa anatambia hiyo hiyo yote sababu jamaa ana inferiority complex nadhani ndio inamsumbua...