Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Sijapata ujumbe wowote kutoka kwako zaidi ya vijembe tu. bado namsubiria Sheikh Said aje kujibu hoja za mapinduzi ya Zanzibar kutoka kwa Bwana Nguruvi3.

Na mimi nakuacha na swali moja tu: Mara nyingi nikusomapo hapa jamvini unalalamika kuwa Waislaam tumeonewa sana toka uhuru na aliyesababisha haya yote ni hayati Mwalimu Nyerere na maranyingi unasema kuwa hii inchi inaendeshwa na mfumo kristo ambao viongozi wake wote ni CCM au wametokana au kupitia CCM. Alafu wewe huyohuyo ndiye mtetezi na mshabiki mkubwa sana wa CCM ambao wamesababisha sisi waislaam tunaishi maisha ya daraja la nne(refer to Lipumba)ndani ya nchi yetu. Hivi huoni kuwa wewe kaka sijui Baba ni mnafiki sana?
Nimefurahishwa sana na swali lako la mwisho hapo chini!

Kwakweli hao ndio Radical Muslims wa Tanzania,

Kila siku wanakesha kuhubiri kuwa Tz ni ya mfumo kristu na kwamba serikali ya ccm inawapendelea Wakristu, hawaishii hapo tu bali hukesha wakimtukana Mwalimu Nyerere na Serikali yake, lakini kamwe huwezi kuwaona au kuwasikia wakimtukana Mzee Mwinyi au Kikwete na serikali zao!

Kinyume chake huwezi kuwaona siku wakihubiri kuitoa CCM madarakani kwa njia za kidemokrasia, hawataki kusikia chama kingine zaidi ya CCM!

Ni mashabiki na wanamahaba mazito na Chama tawala!

Hapo ndipo pakutafakari, hawa ni akina nani katika Tanzania?
 
Ritz,
Kweli bayana zako zimewanyong'onyesha,

Naona sasa hadi wanaamua kuingiza kauli za kutafuta mabwana tena?

Hatari sana hii,sasa kama wamepanic kias hiki na wanasema hii historia haina tija wanakesha hapa 24/7 wanakeshea nini??
 
Last edited by a moderator:
Hawa ndugu zetu siku zote tuendelea kuwapa darsa pamoja kuwa wanatuletea kejeli na dhihaka kwa wazee wetu wazalendo amabao walikuwa na mapenzi makubwa na Nyerere anagalia hapa chini hizi kejeli.

Wanaukumbi baada ya kumsoma huyu ndugu yetu hebu hapa chini tumsome Nyerere anawazungumziaje hawa Wazee wanaoitwa makuli.

Mashaalah hapa tumeona Wazee wetu makuli walijibana na vijisenti vyao na kuamua kumnunulia Nyerere baiskeli, mahaba mazito.

Hakuna alikuambia Nyerere alifunga Ramadhan Nyerere alifunga kwa ajili ya mapambano ya uhuru na kuwasaidia wengine ndiyo maana anasema tulikuwa tunafunga hebu msome Nyerere mwenyewe hapa chini.

Wanakumbi hebu tuendelee kumsoma Nyerere mwenyewe anavyoielezea funga halafu tulinganishe na maneno ya huyu ndugu yetu.

Wanaukumbi hebu chini hapa tujitulize tumsome Nyerere mwenyewe anavyofafanua vizuri kuhusu walivyokuwa wanafunga.

Wanaukumbi nadhani mesoma wenyewe hali ilivyokuwa pamoja na kejeli na dhihaka kutoka kwa hawa ndugu zetu wanaowaita wazee wetu makuli lakini sisi bado tupo nao kama Watanzania wenzetu.
Sioni unapinga nini wala umerudia kwanini...

Kumwita mtu Kuli si dhihaka....wenyewe ktk historia zilizoandikwa na waislam zinasema mambo ya makuli..na waliobaki wengi ndio walikuwa wakifanya kazi za kivivu tuu.

The only thing unaonyesha hapa ni kwamba Nyerere alikuwa na vitu vya pekee,vitu alivyovifanya hadi waislam wabaguzi wa dara wakaona kitu kinachozidi mipaka ya dini.Mojawapo ni Nyerere kushiriki mambo yao yawaunganishayo na hivyo kuwafanya wamuone kuwa ni mwenzao.Ingawa kila mara alikuwa ktk hot soup na hivyo kutumia akili yake kuendesha punda.Nyerere alijua kitu kimoja kimoja juu ya hawa jamaa.."Waislama unaweza watrain kuwa kitu chochote ukiweza waonyesha kuwa unajali dini yao" adrenaline zao zipo karibu.Wamarekani wanatumia njia zote kuwaprogram...ama "kuwasifia na kuikubali dini yao" ama "...kuwaudhi..kwa kuchokonia dini yao.".Wanafanya kila kitu km upendavyo na mara nyingi zaidi.

Nyerere aliweza tread with a monster.
 
Nimefurahishwa sana na swali lako la mwisho hapo chini!

Kwakweli hao ndio Radical Muslims wa Tanzania,

Kila siku wanakesha kuhubiri kuwa Tz ni ya mfumo kristu na kwamba serikali ya ccm inawapendelea Wakristu, hawaishii hapo tu bali hukesha wakimtukana Mwalimu Nyerere na Serikali yake, lakini kamwe huwezi kuwaona au kuwasikia wakimtukana Mzee Mwinyi au Kikwete na serikali zao!

Kinyume chake huwezi kuwaona siku wakihubiri kuitoa CCM madarakani kwa njia za kidemokrasia, hawataki kusikia chama kingine zaidi ya CCM!

Ni mashabiki na wanamahaba mazito na Chama tawala!

Hapo ndipo pakutafakari, hawa ni akina nani katika Tanzania?
Halafu mijitu kama Ritz,ashukuru elimu imemkomboa,angeishia kwenye ilm leo hii na udini wake pengine angekuwa muimbaji wa bongo fleva
 
Roman Catholics wangapi na wengineo wangapi kati ya wakiristo?

you are very predictable...mwl..aliwatoa tongotongo ktk hotuba zake.So karudie hotuba zake.Mzee alikuwa kichwa,mlipokuwa mnakanyaga yeye alitoka.....sasa km leo mnadai elimu mlinyimwa...sasa km shule hazikutifishwa ingekuweje?wengi mngekuwa Wakristu sasa hivi.
 
Haitoshi Akaamua hadi kumchukua na LAWI SIJAONA Na kumtamkisha shahada hali ya kuwa anajua fika huyo ni Mgalatia mwenzake...!!

Kaazi kweli,kweli...

The Big Show soma hii hapa:Realising theimportance of having educated leadership, Mnonji contacted Lawi NangwandaSijaona who was at that time living in Newala to come to Lindi and advise TAAon how to organize effectively. Mnonji was a well-to-do African. He was themain supplier of government uniforms in the south. Through this business he wasable to own three houses in Lindi and when TAA was transformed to TANU hedonated one of his houses as the first TANU office in Lindi, and probably thefirst in Southern Province. Mnonji's influence did not end there; one of histwo wives, Bibi Zaituni Fadhili, was also involved in politics during thestruggle. Bibi Zaituni Fadhili and another woman, Bibi Shariffa bint Mzee, wereamong early women activists in Lindi. Bibi Zaituni Fadhili died in 1995 as aserving member of parliament.
 
Humu JF unapimwa kwa hoja na si una nini? Kwa mfano mpaka hapa mtu akisoma nilichoandika na ulichoandika moja kwa moja atagundua wewe ni zezeta na retard. Mambo ya Chadema yameingiaje? wewe unafahamu mim niko wapi? zezeta2. Kwa udhaifu wa hoja zenu mnafikiri eti mkijadiliana na mkjiji basi mtaoyesa jinsi gani mnaelewa mambo ndio maana hamuishi ulimbukeni. Jf ni hoja kwa hoja na si viroja. Mtu kaamua zake kupumzika na wewe kama umechoka pumzika. Hili si jukwaa la kutafuta mabwana.
ha ha haa haaa, hoja zimekweisha masikini sasa hivi ni kuporomosha matusi tu, haya lete matusi mapya wanajamvi wayasome bahati nzuri sisi atukimbili kwa mods wewe tukana tu tu sisi watu wa Madrassa bana tumefunzwa utui.
 
Nimefurahishwa sana na swali lako la mwisho hapo chini!

Kwakweli hao ndio Radical Muslims wa Tanzania,

Kila siku wanakesha kuhubiri kuwa Tz ni ya mfumo kristu na kwamba serikali ya ccm inawapendelea Wakristu, hawaishii hapo tu bali hukesha wakimtukana Mwalimu Nyerere na Serikali yake, lakini kamwe huwezi kuwaona au kuwasikia wakimtukana Mzee Mwinyi au Kikwete na serikali zao!

Kinyume chake huwezi kuwaona siku wakihubiri kuitoa CCM madarakani kwa njia za kidemokrasia, hawataki kusikia chama kingine zaidi ya CCM!

Ni mashabiki na wanamahaba mazito na Chama tawala!

Hapo ndipo pakutafakari, hawa ni akina nani katika Tanzania?

Huyo baba sijui ni mkaka huwa ananishangaza sana nisomapo coment zake,yaani ubongo wake umejaa chuki sijapata ona.

-Anawachukia sana watu wa kaskazini.....lakini watu hao ndiyo wamesoma na wameendelea kuliko sisi watu wa pwani.

Kwa ufupi toka nimeanza kumsoma huyu jamaa nimegundua anaugua magonjwa makubwa 3 na yanamtesa sana!

Nayo ni

-Ukristo :- anatamani siku moja akiamka akute ukristo na wakristo wote wawe wamekufa. Kitu ambacho hakiwezekani.
-Watu wa kaskazini na Wamusoma :- anatamani hawa watu wasingezaliwa Tanzania. Kitu ambacho hakitakuja kutokea.
-Chadema:- hakika hiki chama kinamtesa sana huyu baba! Yu radhi apende chama kinachotukandamiza waislaam lakini siyo CDM.

Haya ndiyo magonjwa makubwa ya huyu kaka. Daima nitamweshimu Mohamed Said lakini siyo huyu Mbaba.
 
Sijapata ujumbe wowote kutoka kwako zaidi ya vijembe tu. bado namsubiria Sheikh Said aje kujibu hoja za mapinduzi ya Zanzibar kutoka kwa Bwana Nguruvi3.

Na mimi nakuacha na swali moja tu: Mara nyingi nikusomapo hapa jamvini unalalamika kuwa Waislaam tumeonewa sana toka uhuru na aliyesababisha haya yote ni hayati Mwalimu Nyerere na maranyingi unasema kuwa hii inchi inaendeshwa na mfumo kristo ambao viongozi wake wote ni CCM au wametokana au kupitia CCM. Alafu wewe huyohuyo ndiye mtetezi na mshabiki mkubwa sana wa CCM ambao wamesababisha sisi waislaam tunaishi maisha ya daraja la nne(refer to Lipumba)ndani ya nchi yetu. Hivi huoni kuwa wewe kaka sijui Baba ni mnafiki sana?
ha haa haaa JF kuna vituko.
 
Gwalihenzi,

Hiyo ni very cheap excuse unatumia hapo...

Kama kweli Mama yako ni "Muislamu" kama unavyodai,sasa kwanini unaitukana na kuidhalilisha "Dini ya Mzazi" wako kila kukicha,hata kama huiamini!?

Huoni yakuwa unamsononesha Mzazi/Mama yako kupita kiasi,unajuaje labda nayeye pia ni Member hapa jamvini na anaona na kushuhudia zile kashfa na matusi yako kwa Uislamu!?

Jaribu kupitia Posts zako zoote za awali hapa Jamvini,halafu kaa chini utulie na utumie busara zako kwa makini huku ukimhurumia Mama yako alokuzaa kama ulivyotujuza.

Najua utarejea na matusi mengi mno,kwa hiyo inanilazim nikusamehe in advance.

Ahsanta.

Cc;Boko Haram
gombesugu, uwe mkweli katika maisha yako tafadhari. Mimi ni "adent atheist" hata huyo mama yangu anafahamu wazi kabisa mitazamo yangu katika maisha. Pamoja na mtazamo wangu huu sina uhasama wowote ule na dini au imani yoyote ile. Hebu nioneshe mahali popote katika jamvi hili ambapo mimi nilishawahi kuitukana na kuidhalilisha dini ya kiislam ambayo mama yangu ni muumini wake! please gombesugu,show me. Tatizo lenu wewe na wenzako unaowapelekea nakala ya ujumbe huu mnachanganya mambo! mnachanganya uislam ambao naamini ni kitu kizuri sana na waislam ambao wanatofauti kubwa mno kwani hao ni binadamu wenye matatizo mengi! (gombesugu,kwani si unaona kuna "diversity" ya waislam? wapo shia, Bohora, suni etc)kuna waislam wanaotaka kuuteka uislam kwa manufaa yao binafsi na hivyo kuleta uvunjifu wa amani. Mfano mdogo tu nikupe - mtu akija hapa jamvini akadai watu walioko BAKWATA sio waislam, unataka tukubaliane naye kirahisi tu. Au mtu aende nyumbani kwa mama yangu mzazi amwambie mama yangu muislam asile sambusa ati kwa sababu inaumbile la pembe tatu na kwa hiyo inaashiria utatu mtakatifu wa wakristo! unataka nimsifie bila kumuuliza? au aje aniite mimi kafir kwa nia ya kunidhalilisha unataka nimchekee tu? au aje hapa jamvini aniite mie mgalatia kwa nia ileile ya kunidhalilisha kisa kwa vile sikubaliani na mawazo ya Mohamed Said hiyo ni sahihi? Kukataa hoja za Mohamed Said sio kosa hata kidogo katika ulimwengu wa taaluma na wala sio kuutukana uislam. Narudia tena gombesugu nioneshe mahali popote pale ambapo katika mnakasha huu niliutusi uislam!
 
lawi sijaona ni mmakonde mwenzangu,
hadi kanisa alilokuwa anafanyia ibada zake newala na mnyambe nalifaham vema sana,na watoto wake wote pamoja na wajukuu zake tunafahamiana,

unakuja kuongopea jamvi kwa takwimu zako bubu kuwa lawi sijaona was a muslim??

Ili tuh ushinde mission yako??

Haya tumeona,umeshinda,
nimekubesha medali mzee wa takwimu na majedwali...

The Big Show,

Salaam Al Akhiy.

Yaani hawa jamaa ni vichwa ngumu kupita kiasi,hawajui chochote/lolote...halafu wabishi kiama!ahaha!!

Wao kwao la muhimu ni ile prejudices na stereoypes zao walizofundishwa Sunday Schools;yakuwa Watu wa Madrassa,ni hovyo na hawajenda Shule. Sasa wakikutana na vichwa kama wewe,Shariff Ritz na wenzenu wengine wengi hapa jamvini...basi hapo wanaanza hamaki,matusi na kashfa.

Huyo Mag3,nishamuuliza maswali na mambo mengi tu na kuhitaji maelekezo ya kina toka kwenye yale majwedali/statistics zake anazoleta hapa jamvini,lakini hunyamaza kimya!? Yeye anafikiri kila mtu hapa ni mfuasi wa Nguruvi3!ahaha!!

Mimi huwa ninamwekea mitego kusudi,lakini anajua kukwepa. Kwa mfano juzi kaleta ile khutba anayodai ni ya Karume kwa English...nimemuuliza maswali kadhaa!?

Nilikua najaribu kumwonyesha uongo wake...Karume na yule Mwanaharamu wa Kiganda woote walikua "watupu" wa English na sio kwa level ya grammar ile... Nilijaribu kumtajia mpaka Maalim wa Tution wa English wa Karume tena wakti huo akiwa ni Rais!....tunauliza je imetafsiriwa na nani, na kwa madhumuni yepi!?...na haya masuali kwa sababu kuna vitu nilitaka kumuuliza zaidi/follow ups...ili kumfichua zaidi.

Unajua Nyerere alikua anawabeba saana hawa jamaa,yaani kupita kiasi...takriban katika kila nyanja!

Sasa wanakutana na reality ya maisha,ghafula wanachanganyikiwa!ahaha!!...

Poleni saana Al Akhiy,kwa kukaa na "kupasuana vichwa" humu Jf na hawa jamaa wasojua lolote/chochote lakini wana asili ya kubishana tu kila jambo,kila kukicha tena kwa miaka kadhaa!? Yaani nakusifuni mno...

Lakini taratibuni tu, lakini muhimu na huku mnashughulika na maisha yenu. Maana nahisi wengi ya hao jamaa hapa,haya ndo maisha yao na pia Jf ndo sehemu zao za kupatia umaarufu wa kipuuzi!ahaha!!

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Mimi nimesomeshwa na nguvu za wazazi wangu...
Rekebisha usemi huo,sema umesomeshwa na walipa kodi,mwenzako MS alijitahidi sana kuficha shule alizosoma,ikaja kubainika kapitia humo humo anaponyea kambi-kila siku asubuhi assembly time ana pray kwa jina la bikira maria
 
gombesugu, uwe mkweli katika maisha yako tafadhari. Mimi ni "adent atheist" hata huyo mama yangu anafahamu wazi kabisa mitazamo yangu katika maisha. Pamoja na mtazamo wangu huu sina uhasama wowote ule na dini au imani yoyote ile. Hebu nioneshe mahali popote katika jamvi hili ambapo mimi nilishawahi kuitukana na kuidhalilisha dini ya kiislam ambayo mama yangu ni muumini wake! please gombesugu,show me. Tatizo lenu wewe na wenzako unaowapelekea nakala ya ujumbe huu mnachanganya mambo! mnachanganya uislam ambao naamini ni kitu kizuri sana na waislam ambao wanatofauti kubwa mno kwani hao ni binadamu wenye matatizo mengi! (gombesugu,kwani si unaona kuna "diversity" ya waislam? wapo shia, Bohora, suni etc)kuna waislam wanaotaka kuuteka uislam kwa manufaa yao binafsi na hivyo kuleta uvunjifu wa amani. Mfano mdogo tu nikupe - mtu akija hapa jamvini akadai watu walioko BAKWATA sio waislam, unataka tukubaliane naye kirahisi tu. Au mtu aende nyumbani kwa mama yangu mzazi amwambie mama yangu muislam asile sambusa ati kwa sababu inaumbile la pembe tatu na kwa hiyo inaashiria utatu mtakatifu wa wakristo! unataka nimsifie bila kumuuliza? au aje aniite mimi kafir kwa nia ya kunidhalilisha unataka nimchekee tu? au aje hapa jamvini aniite mie mgalatia kwa nia ileile ya kunidhalilisha kisa kwa vile sikubaliani na mawazo ya Mohamed Said hiyo ni sahihi? Kukataa hoja za Mohamed Said sio kosa hata kidogo katika ulimwengu wa taaluma na wala sio kuutukana uislam. Narudia tena gombesugu nioneshe mahali popote pale ambapo katika mnakasha huu niliutusi uislam!

Gwalihenzi,

Hapa labda mimi binafsi nawewe tutaweza kuanzia pahali fulani kiustaarabu,ili kukamilisha mazungumzo niliyoya-instigate mimi.

Nakusihi nipe muda kiduchu, na nitakurejea kwa utulivu mzuri, tena kama bado unahitaji na huo ushahidi takuwekea hapa jamvini.

Nitakujibu hoja zako zoote moja baada ya nyingine kwa kituo ndugu yangu.

Nimefurahi ustaarabu ulotumia leo. Nilihisi ungetulizana kwa ile bayana yangu.

Natanguliza shukran zangu nyingi kwako,kwa staha na ustaarabu uloonesha kwayo.

Ahsanta.
 
Umechoka na matusi yako siku zinahesabika kwa uwizi uliowaneemesha na kuwafanya mjione mnatawala, kwa upendeleo, siku zinahesabika tu.
 
The Big Show soma hii hapa:Realising theimportance of having educated leadership, Mnonji contacted Lawi NangwandaSijaona who was at that time living in Newala to come to Lindi and advise TAAon how to organize effectively. Mnonji was a well-to-do African. He was themain supplier of government uniforms in the south. Through this business he wasable to own three houses in Lindi and when TAA was transformed to TANU hedonated one of his houses as the first TANU office in Lindi, and probably thefirst in Southern Province. Mnonji's influence did not end there; one of histwo wives, Bibi Zaituni Fadhili, was also involved in politics during thestruggle. Bibi Zaituni Fadhili and another woman, Bibi Shariffa bint Mzee, wereamong early women activists in Lindi. Bibi Zaituni Fadhili died in 1995 as aserving member of parliament.

Moh Said shughuli yako si ya kawaida,sisi haya mambo mengine kwa kweli tusingeyajua kabisa,Na hata hawa jamaa wenyewe wanakiri ya kwamba wananufaika na darsa hili,Ushahid tosha tumeuona hapa kwa Mag3 kuja hapa kifua mbele na kusema ya kwamba LAWI SIJAONA ALIKUWA MUISLAM NA KUMWINGIZA KATIKA LIST YAKE ILI MRADI TUH ATILIE MKAZO juu ya mission yake/yao waliyoianzisha,Sisi tunaambia hatupo hapa kupigana jihadi,tunawashangaa wao kupigana vita vyao takatifu pale watu walipoamua kuandika historia hii fichwa,tena zaid ya hapo hawajasemwa wazee wenye iman ya kiislam tuh,wazee wengi humu wameelezwa kwenye historia hii...Wamakonde watamcheka sana Mag3 kwa uwongo wake wa kudhamiria kama ule,na nadhani hata wenzake wamefadhaika kwa hilo,

lawi pilila sijaona.jpg

Huyu ni binti yake mzee Lawi Sijaona,anaeitwa Pilila lawi Sijaona...
 
The Big Show,

Salaam Al Akhiy.

Yaani hawa jamaa ni vichwa ngumu kupita kiasi,hawajui chochote/lolote...halafu wabishi kiama!ahaha!!

Wao kwao la muhimu ni ile prejudices na stereoypes zao walizofundishwa Sunday Schools;yakuwa Watu wa Madrassa,ni hovyo na hawajenda Shule. Sasa wakikutana na vichwa kama wewe,Shariff Ritz na wenzenu wengine wengi hapa jamvini...basi hapo wanaanza hamaki,matusi na kashfa.

Huyo Mag3,nishamuuliza maswali na mambo mengi tu na kuhitaji maelekezo ya kina toka kwenye yale majwedali/statistics zake anazoleta hapa jamvini,lakini hunyamaza kimya!? Yeye anafikiri kila mtu hapa ni mfuasi wa Nguruvi3!ahaha!!

Mimi huwa ninamwekea mitego kusudi,lakini anajua kukwepa. Kwa mfano juzi kaleta ile khutba anayodai ni ya Karume kwa English...nimemuuliza maswali kadhaa!?

Nilikua najaribu kumwonyesha uongo wake...Karume na yule Mwanaharamu wa Kiganda woote walikua "watupu" wa English na sio kwa level ya grammar ile... Nilijaribu kumtajia mpaka Maalim wa Tution wa English wa Karume tena wakti huo akiwa ni Rais!....tunauliza je imetafsiriwa na nani, na kwa madhumuni yepi!?...na haya masuali kwa sababu kuna vitu nilitaka kumuuliza zaidi/follow ups...ili kumfichua zaidi.

Unajua Nyerere alikua anawabeba saana hawa jamaa,yaani kupita kiasi...takriban katika kila nyanja!

Sasa wanakutana na reality ya maisha,ghafula wanachanganyikiwa!ahaha!!...

Poleni saana Al Akhiy,kwa kukaa na "kupasuana vichwa" humu Jf na hawa jamaa wasojua lolote/chochote lakini wana asili ya kubishana tu kila jambo,kila kukicha tena kwa miaka kadhaa!? Yaani nakusifuni mno...

Lakini taratibuni tu, lakini muhimu na huku mnashughulika na maisha yenu. Maana nahisi wengi ya hao jamaa hapa,haya ndo maisha yao na pia Jf ndo sehemu zao za kupatia umaarufu wa kipuuzi!ahaha!!

Ahsanta.

Cc;Ritz

Ndugu yangu,

Chuki imekujaa sana mpaka huoni aliyembele yako!

ASP ni chama kikongwe, hakikuzaliwa ghafla bin vuu baada ya mapinduzi!

Mzee Karume ni mmoja wa wanachama wakongwe na watiifu wa chama hicho,

Kumdharirisha kuwa alikuwa maamuma ni kujidharirisha wewe mwenyewe!

Kuanzia mwaka 1963 kurudi nyuma lugha kuu ya mawasiliano chini ya Muingereza ilikuwa ni Kiingereza na chini ya Mjerumani ilikuwa ni Kijerumani,

Mzee Karume amehudumu katika mamlaka ya Bandari Zanzibar kwa ngazi ya afisa wa juu kabisa na kuwa mtu mwenye haiba na ushawishi wa hali ya juu ambae sauti na maandiko yake yalikuwa tunu kwa wanyonge na shubiri kwa Sultan (nduguzo)

Hakuna tofauti ya uongozi wa TAA kabla ya Mwalimu kushika hatamu na ilivyokuwa ASP

Nikweli uliowazi kuwa TAA hakikuwa chama cha siasa kabla ya kushika madaraka kwa Julius Nyerere!

Katiba ya TAA iliyozaa TANU kaiandika Mwalimu Nyerere kwamkono wake,

Sasa jiulize kiongozi wa chama cha siasa kilichoshiriki uchaguzi zaidi ya mara 3 na kushinda lakini kikanyimwa kwa hila na MUMIA alikuwa maamuma kama unavyotaka kuuaminisha umma?
 
Back
Top Bottom