Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #16,401
Nimefurahishwa sana na swali lako la mwisho hapo chini!Sijapata ujumbe wowote kutoka kwako zaidi ya vijembe tu. bado namsubiria Sheikh Said aje kujibu hoja za mapinduzi ya Zanzibar kutoka kwa Bwana Nguruvi3.
Na mimi nakuacha na swali moja tu: Mara nyingi nikusomapo hapa jamvini unalalamika kuwa Waislaam tumeonewa sana toka uhuru na aliyesababisha haya yote ni hayati Mwalimu Nyerere na maranyingi unasema kuwa hii inchi inaendeshwa na mfumo kristo ambao viongozi wake wote ni CCM au wametokana au kupitia CCM. Alafu wewe huyohuyo ndiye mtetezi na mshabiki mkubwa sana wa CCM ambao wamesababisha sisi waislaam tunaishi maisha ya daraja la nne(refer to Lipumba)ndani ya nchi yetu. Hivi huoni kuwa wewe kaka sijui Baba ni mnafiki sana?
Kwakweli hao ndio Radical Muslims wa Tanzania,
Kila siku wanakesha kuhubiri kuwa Tz ni ya mfumo kristu na kwamba serikali ya ccm inawapendelea Wakristu, hawaishii hapo tu bali hukesha wakimtukana Mwalimu Nyerere na Serikali yake, lakini kamwe huwezi kuwaona au kuwasikia wakimtukana Mzee Mwinyi au Kikwete na serikali zao!
Kinyume chake huwezi kuwaona siku wakihubiri kuitoa CCM madarakani kwa njia za kidemokrasia, hawataki kusikia chama kingine zaidi ya CCM!
Ni mashabiki na wanamahaba mazito na Chama tawala!
Hapo ndipo pakutafakari, hawa ni akina nani katika Tanzania?
