Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

jamaa muda mwingine anatuletea stori za kahawa anataka tukubali tu...

Nimeishakuambia kijana wewe kazi yako ni mbili tu humu JF kumtetea Dr Slaa mpaka unakufa na kutetea Kanisa. Kuna hoja gani umeisheleta humu wanaukumbi wakafyonza Ilm ha haa haaa! Nimeishakuweka kwenye list yangu ya baikoko.
 
Mkuu wa Chuo,
Nimeandika kitabu cha Abdu Sykes na pitia faharasha yake utawakuta
hao wazee wamo.

Hakiwekwi ''kila walichokifanya'' bali kinawekwa kile ambacho kina maana
katika historia ya kudai uhuru.

Shariff Abdallah Attas umuhimu wake unakuja kwa kuwa baada ya Abdu
kufariki mwaka 1968 mtu ambae alikuwa anaujua kwa undani uhusiano
kati ya Abdu Sykes na Nyerere katika kuunda TANU alikuwa yeye.

Pamoja na hayo alijua mengi sana katika siasa za 1950.

Sheikh Mohamed Said,

Kitabu chako kimewachoma watu wengi sana na kitaendelea kuwachoma kuna baadhi ya watu hawapati hata usingizi kimewaharibu mpaka ubongo kila wakilala wakiamka kitabu kimewajaa vichwani mwao. Kila wanapojibu wanajikuta wazidi kuzama.

Tofauti kubwa kati yako na wao wewe unakuja na data pamoja na facts za kutosha lakini bahati mbaya wao wanakuja na maneno matupu yakiwa na kejeli na dhihaka, mara Wazee wa madrassa walala vibarazani, wauza kahawa, makuli, hawakusoma na meneno mengi.

CC: gombesugu, THE BIG SHOW, Barubaru, Boko haram, Ami, HASANALIS, Spike Lee, zomba,

Hivi ni baadhi ya vichwa vya Madrassa wanywa kahawa...ha ha haaa.

Wabillah Tawfiiq
 
Last edited by a moderator:
Sijui kama umeshajibiwa kwani huu mnakasha nimedandia tena katikati. Roman Catholic hapo ni wawili. Mwalimu na Kahama.

Facts zako zina walakin, rudia tena labda utakuja na jibu jipya.
 
Zomba ni ghali kukusaidia kuwa specific na maswali yako. kwa mfano kuna Tosiri wengi pia (zabibu, vitabu, aborigines australia nk) utakuwa UNA ASSUME KUPITA KIASI KAMA UNADHANI TUNAANDIKIANA TEXT ZA SIMU HAPA. Kuwa specific na shida yako. Kama unataka kumtukana mtu (mimi yaani) unatakiwa ushushe vitu vya uhakika sio kuwatafuta wakina tosiri. mimi siwajui mods waliko. Kwa sababu hakuna matusi mapya duniani wala hainisumbui. sana sana nitaangalia kama unajua kutukana. Shusha vitu mwanangu.

Nilikwambia wewe ni wa shule zilezile za Father Cunningham ukajifanya huelewi, Jee, umeshamuelewa? zielewa?

Endelea na kipande hiki: Papal resignation linked to inquiry into 'Vatican gay officials', says paper | World news | The Guardian
 
you are very predictable...mwl..aliwatoa tongotongo ktk hotuba zake.So karudie hotuba zake.Mzee alikuwa kichwa,mlipokuwa mnakanyaga yeye alitoka.....sasa km leo mnadai elimu mlinyimwa...sasa km shule hazikutifishwa ingekuweje?wengi mngekuwa Wakristu sasa hivi.

Tatizo lako huelewi, kuwa kupiga porojo na kutenda ni vitu viwili tofauti. Kwa mimi Nyerere alikuwa mpiga porojo mzuri sana, mwenye maneno matamu sana lakini ni matendo alikuwa zero, ndio maana akaiacha nchi taabani, hohe hahe na badala yake akaliacha kanisa katoliki lina nguvu kuliko nchi. Au hilo hulijui?
 
sidhani kam nahitaji jibu huu uchafu...nitakupa nafasi ya kukimbia ulichoanza.Maswali umepewa mengi tuu,na watu hujajibu hadi ukajisahau na kudhani wewe ndio ulianza.

Una akili ya laini sana...upe easily influenced sana.Na hii inaonyesha jinsi mlivyo dhaifu na sana kifikra,na imechangia sana hata waandishi na wasomi wenu kuwa hovyo sana ktk fani husika.

Naona yamekushinda unaanza kulalama upatiwe huruma na msaada, kwa kukusaidia tu, pitia hapa: Papal resignation linked to inquiry into 'Vatican gay officials', says paper | World news | The Guardian
 
Haya wanajamvi, baada ya kusikia habari za akina Chamwenyewe na chaka la simba, Kinyozi mwingereza, akina Attas,warioba alivyonyakuliwa machungani, wamakonde walipoondoka bila kuaga tena usiku wa mbaramwezi n.k sasa turejee katika mnakasha.

Nimuhimu kupooza pooza mnakasha ''relax'.

Hapa ndipo tulipo, tukwamue gari ilitusonge mbele.
Sishauri tuvunje chaka tu kwa kwenda mbele katika mwendo wa kufyonza tu. Of course wanaofyonza hiari yao !

Tuwape akina Pain killer na wanambagala na 209K nafasi ya kukata kiu zao za fikra na maarifa. Tuendelee

Mohamed Said

1. Nani aliandaa mapinduzi na nani alimuomba mwenzake msaada ni TANU au ASP
2. Je, mapinduzi ni halali au ni haram?
3. Viongozi waliofanya kazi na Nyerere kutoka zanzibar ni wasalaiti wa Uislam na vibaraka au ni wana mapinduzi?
4. Je, wznz wanasherehekea mapinduzi kwa akili au ni uzumbukuku hasa tukijua yalilenga kuua Uislam kwa kupitia Nyerere

Wickama naona una phase II ya akina Hanga na Okello, ngoja tupate majibu ya hapo juu halafu tuingie phase hiyo.
 
Hiyo ni kauli ya mtemi mmoja wa zamani Kariakoo akijulikana kwa jina la kijiweni kama "Costa MM-bademm-bade"

Costa huyu chotara wa Kigiriki? au mwingine? waliokuwa wakikaa Aggrey katika70s?
 
Haya wanajamvi, baada ya kusikia habari za akina Chamwenyewe na chaka la simba, Kinyozi mwingereza, akina Attas,warioba alivyonyakuliwa machungani, wamakonde walipoondoka bila kuaga tena usiku wa mbaramwezi n.k sasa turejee katika mnakasha.

Nimuhimu kupooza pooza mnakasha ''relax'.

Hapa ndipo tulipo, tukwamue gari ilitusonge mbele.
Sishauri tuvunje chaka tu kwa kwenda mbele katika mwendo wa kufyonza tu. Of course wanaofyonza hiari yao !

Tuwape akina Pain killer na wanambagala na 209K nafasi ya kukata kiu zao za fikra na maarifa. Tuendelee

Mohamed Said

1. Nani aliandaa mapinduzi na nani alimuomba mwenzake msaada ni TANU au ASP
2. Je, mapinduzi ni halali au ni haram?
3. Viongozi waliofanya kazi na Nyerere kutoka zanzibar ni wasalaiti wa Uislam na vibaraka au ni wana mapinduzi?
4. Je, wznz wanasherehekea mapinduzi kwa akili au ni uzumbukuku hasa tukijua yalilenga kuua Uislam kwa kupitia Nyerere

Wickama naona una phase II ya akina Hanga na Okello, ngoja tupate majibu ya hapo juu halafu tuingie phase hiyo.

"
Haitoshi kuitambuwa hakika ya yale yaliyoisibu Zanzibar katika mapinduzi na muungano na Tanganyika bila ya Wazanzibari wenyewe kukiri kuwa mifarakano yao wenyewe kwa wenyewe ndiyo iliyowapa wengine mwanya wa kuwaingiliya na kuwaondoleya masikilizano na neema za kuungana. Kurekebishika kwa mapinduzi na muungano kutatokana na mapinduzi ya kifikra na muungano wa Wazanzibari ndani ya Zanzibar kwanza. Hakuna nchi, au kiongozi, au taasisi ambazo zitaweza kuwapatanisha Wazanzibari kabla ya wenyewe kulivuwa jumba la buibui liloendeleya kuwapotosha na kuwanyima njiya ya kutokeya. Watu wenye kupatana ni wale wenye nia ya kupatana na wakawalazimisha viongozi wao kwenda na uwamuzi wao. Penye jahazi lenye kuzama watu huwa hawamtafuti nahodha mweusi au nahodha mweupe na ubaguzi huchukuwa likizo la moja kwa moja.
Kwa mujibu wa matokeyo ya utafiti huu, Zanzibar haina budi kwanza kuamuwa kujikombowa kutokana na mzimu wa kihistoria uloziiba nyoyo na akili za Wazanzibari na za Watanganyika kwanza na kuendeleya kuiandika na kuisomesha historia ambayo haikupotoshwa na kuitiya jamii nzima ndani ya upofu. Mtoto wa tembo anapolelewa kutokeya mdogo huwa anafungwa myororo wa mguu kunako chuma basi hata anapolifikiya tambo la kuwa tembo mkubwa bado huendelea kuamini kuwa hana nguvu za kuuvunja myororo wa chuma ambacho hakina nguvu za kumzuwiya ikiwa ataamuwa kuukata. Ukombozi wa Wazanzibari wa kwanza ni ukombozi wa nguvu za akili ambazo zinafikiri nje ya gofu/sanduku la kihistoria..."

Mlango wa Ishirini: Mapinduzi Ndani na Nje | Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru!
 
Wanakumbi wanataka majibu kutoka kwa Yericko Nyerere, wanaitaji kufahamu kina nani walisamehewa na Nyerere kwa uasi na wakapewa vyeo na wengine wengi wakapelekwa kuwa mabalozi ulaya leo mwezi wa sita hakuna majibu.

Mag3,

Wanaukumbi pamoja na wanafamilia ya Mzee Lawi Nangwanda Sijaona wanaomba majibu lini mzee alikuwa Muislam.

Nguruvi3,

Wanaukumbi zaidi ya 200,000 wanaomba ushahidi ulisema matatizo ya elimu ya Kilwa kwa Waislam yanafanana na ya Mombasa Kenya, au nimefanya Spinning.
 
Sasa subiri uone "spinning" zitazofatia.
 
Ritz
Habari zako kubwa sana al akhiy,
Niandalie vipopopoo maana mwez huu unakaribia karibia sasa... Mag3 hawez tena kurudi hapa na mauza mauza yake,lawi sijaona anaamua kumtamkisha shahada kwa lazima hali ya kuwa yeye kaupenda ubatizo wa Jesus wa Nazareti hadi anaingia kaburini??kisha anatamba kukunja ngumi na masumbwi na Moh Said atawezea wapi??
Jamaa yake alikuja hapa na mauza uza ya ugaidi,sijui kayatupia jalala gani??
Sijui pale dampo la tabata??
Hatari sana,twawapa pole sana...
 
Last edited by a moderator:
Sasa subiri uone "spinning" zitazofatia.

Kuna viporo vingi kutoka kwa jamaa inabidi tuwakumbushe vinaitaji majibu.

Ninanayo mengi tawakumbusha mpaka watakimbilia kwa Mods kama kawaida yao.
 
The Big Show,

Salaam Al Akhiy.

Yaani hawa jamaa ni vichwa ngumu kupita kiasi,hawajui chochote/lolote...halafu wabishi kiama!ahaha!!

Wao kwao la muhimu ni ile prejudices na stereoypes zao walizofundishwa Sunday Schools;yakuwa Watu wa Madrassa,ni hovyo na hawajenda Shule. Sasa wakikutana na vichwa kama wewe,Shariff Ritz na wenzenu wengine wengi hapa jamvini...basi hapo wanaanza hamaki,matusi na kashfa.

Huyo Mag3,nishamuuliza maswali na mambo mengi tu na kuhitaji maelekezo ya kina toka kwenye yale majwedali/statistics zake anazoleta hapa jamvini,lakini hunyamaza kimya!? Yeye anafikiri kila mtu hapa ni mfuasi wa Nguruvi3!ahaha!!

Mimi huwa ninamwekea mitego kusudi,lakini anajua kukwepa. Kwa mfano juzi kaleta ile khutba anayodai ni ya Karume kwa English...nimemuuliza maswali kadhaa!?

Nilikua najaribu kumwonyesha uongo wake...Karume na yule Mwanaharamu wa Kiganda woote walikua "watupu" wa English na sio kwa level ya grammar ile... Nilijaribu kumtajia mpaka Maalim wa Tution wa English wa Karume tena wakti huo akiwa ni Rais!....tunauliza je imetafsiriwa na nani, na kwa madhumuni yepi!?...na haya masuali kwa sababu kuna vitu nilitaka kumuuliza zaidi/follow ups...ili kumfichua zaidi.

Unajua Nyerere alikua anawabeba saana hawa jamaa,yaani kupita kiasi...takriban katika kila nyanja!

Sasa wanakutana na reality ya maisha,ghafula wanachanganyikiwa!ahaha!!...

Poleni saana Al Akhiy,kwa kukaa na "kupasuana vichwa" humu Jf na hawa jamaa wasojua lolote/chochote lakini wana asili ya kubishana tu kila jambo,kila kukicha tena kwa miaka kadhaa!? Yaani nakusifuni mno...

Lakini taratibuni tu, lakini muhimu na huku mnashughulika na maisha yenu. Maana nahisi wengi ya hao jamaa hapa,haya ndo maisha yao na pia Jf ndo sehemu zao za kupatia umaarufu wa kipuuzi!ahaha!!

Ahsanta.

Cc;Ritz

Waleykhum Salaam Al akhiy gombesugu
Usijali ndugu yangu,tunajaribu hivyo hivyo kubalance muda wa kujitafutia rizk na muda wa kukaa hapa kupata ilm,
Mwenyezimungu huwa kawaida yake ya kuiondosha elimu ni kuwachukuwa wale wenye ujuzi kwenye mgongo wa ardhi hii,
Sasa sisi tusipojipinda kuinyonya elimu hii kwa wenye nazo kama Moh Said hali ya kuwa bado tuko nao,siku Allah s.w akiwachukua tutakosa wa kumlaum zaid ya kuzilaum nafsi zetu,
Ndio kwa maana tunakesha hapa kumfuatilia hatua kwa hatua,hatutoki labda atoke yeye...
Masalaam...
 
Last edited by a moderator:
Ritz
Habari zako kubwa sana al akhiy,
Niandalie vipopopoo maana mwez huu unakaribia karibia sasa... Mag3 hawez tena kurudi hapa na mauza mauza yake,lawi sijaona anaamua kumtamkisha shahada kwa lazima hali ya kuwa yeye kaupenda ubatizo wa Jesus wa Nazareti hadi anaingia kaburini??kisha anatamba kukunja ngumi na masumbwi na Moh Said atawezea wapi??
Jamaa yake alikuja hapa na mauza uza ya ugaidi,sijui kayatupia jalala gani??
Sijui pale dampo la tabata??
Hatari sana,twawapa pole sana...

Al Habiby THE BIG SHOW,

Walahii nasoma bayana zako kwa ushui wa hali ya juu.

Leo Ijumaa nakuwekea Mandi ya bata mzinga, ha haa haa.

Ngoja tusubiri majibu kutoka kwa Mag3, kama atashindwa basi wale wote waliomgongea LIKE waje wamsaidie mzee wao.
 
Last edited by a moderator:
Mimi kujibishana na wewe najidhalilisha wewe humu huna unalolijua zaidi ya vitu viwili Chadema na Kanisa.

Wewe umeletwa JF kama mateka wa Dr Slaa pamoja na Kanisa basi, masikini ya Mungu nyie vijana mnatumika vibaya sana Chadema wakishawapa viroba vya Valeur mnapoteza kabisa uwezo wenu mpaka mnatia huruma.
na mimi kati ya vitu hivyo viwili ninavyovijua kama unavyosema sintokubali kukaa kimya nikiona unapotosha watu kwa sababu navijua...

chukua hii al akhiy "kuzaliwa zezeta haina shida ila kuwa ccm ni uzezeta wako mwenyewe"
 
Tatizo lako huelewi, kuwa kupiga porojo na kutenda ni vitu viwili tofauti. Kwa mimi Nyerere alikuwa mpiga porojo mzuri sana, mwenye maneno matamu sana lakini ni matendo alikuwa zero, ndio maana akaiacha nchi taabani, hohe hahe na badala yake akaliacha kanisa katoliki lina nguvu kuliko nchi. Au hilo hulijui?

sioni sifa kujidai najua story ya kimbea ktk gahawa.Long time watu wenye akili wamedharau sana gahawa kumbe walikuwa sahihi
 
Nimeishakuambia kijana wewe kazi yako ni mbili tu humu JF kumtetea Dr Slaa mpaka unakufa na kutetea Kanisa. Kuna hoja gani umeisheleta humu wanaukumbi wakafyonza Ilm ha haa haaa! Nimeishakuweka kwenye list yangu ya baikoko.
haya bwana emirates gold member wasafiri wote wakikujua uliyekuwa rafiki wa Masubo...

usidhani we kupenda baikoko basi wote ni wapenzi wa baikoko, wengine huko kwenye baikoko hata hatupo si wapenzi wa baikoko...
 
na mimi kati ya vitu hivyo viwili ninavyovijua kama unavyosema sintokubali kukaa kimya nikiona unapotosha watu kwa sababu navijua...

chukua hii al akhiy "kuzaliwa zezeta haina shida ila kuwa ccm ni uzezeta wako mwenyewe"

Mbona unamtukana Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ambaye alianzisha CCM, kuwa ni Zezeta. Kwa hiyo unamuheshimu Dr Slaa peke yake pamoja na Chadema.

CC: gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom