Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Unachekesha sana bahati mbaya au nzuri huwajui kina Sykes, fanya tafiti kidogo ili uwajue, siyo watu wa kuuza nyumba kariakoo na kukimbilia mahakamani hayo unayoongea labda umeamua kujifariji na kujiliwaza.

Mzee Ally Sykes amefariki kaacha nyumba nyingi hapa Dar, Kariakoo, Masaki, Upanga, Mbezi beach alipokuwa anaishi, Mikocheni, moja ya jengo lake ni lile ghorofa pale Aggrey na Sikukuu, chini kuna bank, jengo la ushirika pale ule uwanja ulikuwa wa mama yao, bado ujaenda Kipata kwao, hawa siyo wa kuuza nyumba kisha kukimbilia mahakamani, mwaka 1960 Ally Sykes anaendesha benz, muulize Jasusi, anawajua wewe ulikuwa bado upo Tarime.

Kaa na wenzako mkubaliane Yericko anasema AA, imeundwa na Matola, huyu jamaa yako anasema AA. TAA zianzishwa na Waingereza, wewe unasema waliounda ni Waingereza mnajichanganya wenyewe.

Nakufungua akili kwa mara ya pili, japo hili tulishalieleza mwanzo mwa mjadala huu kwa ufasaha zaidi na welevu walielewa!

1) AA ilianzishwa kwa msaada/amri ya Gavana wa Tanganyika Sir Cameron 1929,

Rais wake wakwanza kabisa akawa ni msomi Mwalimu Cesil Matola,

Mkutano wake wakwanza kabisa ulifanyika nyumbani kwa Cesil Matola (Myao)

Uongozi kamili ulikuwa hivi:

Rais: Mwalimu Cesil Matola (Myao)

Katibu: Klest Sykes (Mzulu wa Afrika ya Kusini) mstaafu wa jeshi,

Muhazini: Ramadhani Ally (Mzaramo) mvuvi na mfanya biashara wa samaki

Baada yahapo ilipofika 1933 Mwalimu Cesil Matola alifariki na nafasi yake "ikakaimiwa" na Klest Sykes hadi 1948 ilipozaliwa TAA kwa MLENGO uleule wa Sir Cameron!

Narudia, ikazaliwa TAA kwa MLENGO ule ule wa Sir Cameron!

1953 Mwalimu Julius Nyerere anaingia katika uongozi wa juu wa TAA na kuanza mageuzi ya kukifanya kuwa chama cha siasa!

Ni Julius Nyerere ndie aliyeiandika KATIBA ya TAA iliyopelekea kuzaliwa TANU,
 
Last edited by a moderator:
Wewe una matatizo kwenye ubongo (Biochemically) pamoja na (Biophysically) ndiyo maana haueleweki unaandika nini.
"uelewa si kipawa chako" nashangaa sana ulivyo busy JF, bora ungeenda fanya mambo ya maana.Mataaahira wenyewe wanafuma,wanafua umeme kwa kupiga pedeli za baiskel ktk vituo vyao na wanaiingiza hela..nashangaa nyie mpo busy ktk ujinga.Halfu baadaye mnaishia kuwa loosers tena. hizi ndizo patterns zenu ziwafanyao kuwa miserable.
 
Shariff Ritz,
Achana na hawa jamaa hawajui kitu.

Kleist Sykes msingi wa utajiri wake unatokea kwanza alipotoka
jeshini 1918 akiwa Aide de Camp wa Von Lettow Vorbeck.

Akaajiriwa kama Accounts Clerk Tanganyika Railways.

Kipindi hiki akafungua duka la vyakula kisha duka la hardware
na baadae akawa na machimbo ya chokaa Kigamboni.

Machimbo haya yalimwingizia fedha nyingi sana kwa kuwa alikuwa
na mkataba wa kupeleka chokaa katika stesheni zote za reli.

Akifanya haya alikuwa na nyumba nne moja anakaa mwenyewe tatu
kapangisha.

Alikuwa na nyumba nyingine mbili alimpa mkewe.
Jumla alikuwa na nyumba sita hapa Dar es Salaam.

Alikuwa katika board ya Dar es Salaam Municipal Council na Dar es Salaam
Chamber of Commerce na Dar es Salaam Maulid Committee.

Hayo ya kuasisi AA na Al Jamiatul Islamiyya tushayaeleza.

Wakati ule huingii kwenye siasa kupata fedha kiongozi ndiye mfadhili wa chama.

Akutukanae hakuchagulii tusi.
Huyu mtu alikuwa na hadhi na heshima ya pekee hakuwa mwizi.

Kama uko ushahidi alitajirishwa na AA uwanja uko wazi.

In Sha Allah ikiwa ni lazima kuonyesha Ally Sykes alitajirika vipi nitamtetea mzee wangu.
 
Yericko,
Hapana ugomvi.

Wasomaji watasoma version hiyo yako na watasoma
hii version yetu In Sha Allah.
 
Afadhani umelet akitu ambacho nilikuwa najaribu chelewa kuambia......AA na baadaye TAA zilikuwa na misuse kubwa sana ya Funds ....So nilikuwa nataka introduce hiyo kitu ila nikaona wewe na MS mngeanza kurupuka na kupata escape door.. Kwa ujumla Hawa jamaa walikuwa wezi sana, na walitumi akila nafsi kujipa vipaumbele zaidi ya waafrica wengine.Ndio maana unaona anavyo vitu vyote hivyo, wakati wenzie wacheza bao walipata maeneo ambayo kupanuka kwa mji ndiko kuliwaleta mjini. Kwa ulewa wako mdogo unaona sifa kusifia mali anazozimiliki km zake....poor you.Life has been made to be very unfair to muslims by fellow muslims.Sykes hakupenda uhuru wala hakuwa na haja nao,kwani alikuwa ana kamrija kake, ila ktk uongo wake na unafiki akajikuta hawezi pingana na Nyerere hadharani,kwani angeumbuka, na hivyo kuangalia show ya Nyerere tuu na wazee wasiokuwa na kitu.Waliokuwa chini yake walikuwa hata habari kuwa uhuru ulikuwa wazi km watajipanga na kujitambua..watajitambua vipi wakati familia ilishajijengea (FAT fulani -Enzi ya Rage na Ndolanga), si Alhajis wale? Kweli kwa miaka mingi ijayo waislam ni wa kutumia tuu.Wanaweza kufa wakimlinda adui wakidhani wanapigana nae, wanaweza piga wrong friend wakamkumbatia adui bila jijua. Believe me, muda si mrefu km serikali za design ya JK hazitokuwepo kwa 5 yrs kubail out hizi familia...zaidi ya nusu ya hizo mali zitakuwa zinamilikiwa na wajasiriamali wa nchi hii.Zitasalia zilizokodiwa na makampuni au taasisi kubwakubwa..ila baada ya kuzaana na kurishana kwa asilimia kadhaa..nazo zitafikia point ,hawawezi fanya huo mgao tena na kuweza ishi bila vurugu za wataka kula kikubwa na hivyo nazo kumalizikia.Akizaliwa mmoja mwenye bidii ya kutafuta traces za jina sykes kwa darubini ,ndio ataingi tena misikitini kulia upya kuwa matuna ya uhuru hawajapata. You are alaways like that dunini kote...mna demands ambazo hazitekelezeki, n akuplay victims kila mahali ili kupata mrija na si kazi.

ha haa haa! Umebadilika tena si ulikuwa unasema wanauza nyumba baada ya mazishi wanakimbilia mahakamani, halafu unajidanganya sana kuwa kuna mtu ataku escape wewe, haa haa ha, wewe una matatizo kwenye ubongo kweli.
 
"uelewa si kipawa chako" nashangaa sana ulivyo busy JF, bora ungeenda fanya mambo ya maana.Mataaahira wenyewe wanafuma,wanafua umeme kwa kupiga pedeli za baiskel ktk vituo vyao na wanaiingiza hela..nashangaa nyie mpo busy ktk ujinga.Halfu baadaye mnaishia kuwa loosers tena. hizi ndizo patterns zenu ziwafanyao kuwa miserable.

Ha haa ha, nilishakuambia tatizo lako la ubongo kamuone Dr J. Andrew Armour, akufanyie upasuaji wa ubongo wako, kuna kitu kinaitwa (Energetically) kwako kimekufa ndiyo maana unaropoka ovyo, ha haa haaa, hata Chadema wasipokuwa makini wakikupa mic unaweza kuitafuna.
 
Wickama,
Nami naona wakati wa mie kuuliza maswali umefika.

Hivi mwindaji akikuta mtego wake umekamata chui
badala ya paa anafanyaje?
 
Mohamed Said,

..lakini Znz kulifanyika chaguzi tatu na mara zote ASP walikuwa wakifanyiwa mizengwe.

..sheria za uchaguzi za Znz , na ukizingatia UBAGUZI uliokuwepo dhidi ya Mwafrika, zilikuwa zina-guarantee kwamba ASP[chama kilichokuwa kikiwakilisha Waafrika] hakitoweza kushika madaraka.

..tuhuma kwamba ASP ilikuwa inashinda kwasababu ya kukusanya wapiga kura toka Tanganyika hazina mashiko. Muingereza, Waarabu, na Sultani, walikuwa pamoja ktk kuikomoa ASP. Muingereza, Waarabu, na Sultani, ndiyo waliokuwa na dola, sasa haiyumkiniki ASP wa-rig chaguzi tatu mfululizo.

..kwa mtizamo wangu chanzo cha mapinduzi ni mbinu chafu walizokuwa wakifanyiwa ASP[waafrika]. Yupo kiongozi mmoja, sina uhakika kama ni Mohamed Shamte, au Ali Muhsin, aliyejiapiza kwamba asingeweza kuunda umoja na Karume/ASP hata kama angelazimishwa na MTUME MOHAMMED!!

..zaidi nakuomba hebu soma hapa chini Ahmed Rajab anasema nini kuhusu Ali Muhsin.

NB:

..linapokuja suala la historia ya Zanzibar binafsi nakiri kumuamini mwandishi asiye Mzanzibari.

..nasema hivyo kwasababu Wazanzibari karibu wote wanapoandika wanakuwa na agenda nyuma yao, ama kumpamba Sultani, au kuyapamba Mapinduzi.

..ni mara chache sana huacha propaganda zao, na "kuchoropokwa" na ukweli.

cc: Wickama, gombesugu, Mag3, Nguruvi3, Ritz[/FONT][/COLOR]

JokaKuu,

Salaam ndugu yangu. Hatujazungumza kitambo.

Nilikua nachungulia kiduchu asubuhi hii hapa jamvini ndo nimekumbana na hii bayana yako.

Takriban mara zoote napenda mno ustaarabu unaotumia katika maandishi yako.

Hayo uloandika ni vyema,khasa tukizingatia yakuwa umekiri yakuwa ni mtazamo wako binafsi.

Nafikiri tunachopingana mimi nawe ni hiyo "description yako" ya ASP kwamba kilikua ni chama cha "WaAfrika".

Hapo ndo inarejea tena ile Race Issue, hii kitu ni very complicated/complex dunia nzima...na kwa siasa za Zanzibar ni mpaka kesho inasababisha utata/mzozo fulani kiduchu.

Nafikiri kwa mtazamo wako kama sikosei,huyo Mohammed Shamte wewe unamuona ni "Mwarabu"!?...hakuna mwarabu yeyote duniani aitwae Shamte,hayo ni majina yenye asili ya ndugu zetu Wandengereko!

Ule wakti pale Zanzibar ilikua ni Class and/or Political struggle,japo inawezekana pia yakuwa Racism/discrimination ili-play part kwa kiasi fulani.

Huu udhaifu upo pahala pengi,takriban pote duniani au kwenye societies nyingi mno ndugu yangu.

Embu tujipe mfano ya hapo "kwetu" Tanganyika kiduchu;angalia jinsi ndugu zetu Wagogo na Wahehe jinsi walivyokua wakionekana duni na kunyanyaswa pita kiasi na bila ya sababu zozote kwa miaka mingi mno.

Nakumbuka wengi wao walikua ndo wasaidizi wa kwenye majumba mengi hapo D'Salaam na waajiiriwa wa kwenye mashamba viunga vya watu walikokua wakijimudu. Kazi zoote za kipumbavu zamani walikua wakifanza/kufanzishwa wao maskini,na wala mimi sikuwaona hao "makatili wa kiarabu" kuhusika hapo!?ahaha!!

Kuna mengi mno ya kunena,lakini nafikiri ni uzuri tuaachilia kwa hapo.

Takupa mfano mwingine kiduchu;hivi unafikiri mpaka leo hii huyo "jamaa wa Ngaramtoni",kwa jinsi ninavyomsoma hiyo attitude na arrogance yake atathubutu kweli kupokea posa ya ndugu yake wa kigogo/Mgogo toka Mpwapwa hata kama ni Mkristo/Mkatoliki mwenzie!?

Nimejiepusha makusudi kutaja Muislamu au Mtu wa Mwambao...maana najua huyo jamaa ana allergy na Watu hao!ahaha!!

Nachelea tusirejee tena kulekule tutokeako,maana huu mnakasha najua hautokwisha asilan. Tunajua kuna baadhi hapa Jamvini wangependa usishe asilan ili kuendeleza maslahi yao binafsi!

Nimependa umenikubalia kunisikiza huo uchechefu wangu japo kiduchu.

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Hahaahaaa nimecheka sana,

Mpaka mke wangu amehoji kama ninaota au ninaumwa?

Hahahaa kweli Mohamed ni Scholar wa historia!

Uongo huwa haujisimamii hata kwa dakika moja! Lazima ushikiliwe ndipo usimame!

Yericko,

Kuna wakti mimi nilipokuambia yakuwa una maradhwi,ulikereka mno mpaka ukanishtaki kwa nduguzo Mods.

Hayo matatizo hata huyo Mkeo kumbe nae anaanza kuyaona maskini!?ahaha!!

Wewe unadai Sheikh Mohammed,muda wake woote yupo hapa Jf kwa ajili yako!?...sasa wewe unamjibu saa kumi za usiku kwa time za huko kwako Mbutu,wakti huo mwenzio amejipumzisha kwa singizi mzito saana!

Sasa huoni hapa yupi amnyimae mwenzie usingizi!?

Unatuchosha na khadith zako za kitoto kwenye huu mnakasha!

Nahudumu jf kwaajili ya wasomaji 200000 na zaidi!

Iwe usiku ama mchana nipo hapa jf!
 
Al Habiby gombesugu,

Unaangaika na huyo wa nini soma hapa kejeli zake na dhihaka dhidi ya Uislam na Waislam, nimeshangaa sana anakumbia eti umletee maneno wapi kakekeli Uislam.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

ha haa haa tushie hapa lakini lazima atabisha na kusema hakuna kejeli hapo.

Shariff Ritz,

Salaam,Al Akhiy.

Nitakua mwizi wa fadhila na pia itakua nimeifanzia dhuluma roho yangu kama sitakujaalia Shukran zako nyingi mno.

Ama kwa hakika nimepatwa na kisunzi kisicho tiba kwa hilo furushi la matusi. Wallahi, tangia nimezaliwa sijapatapo sikia kashfa na matusi mazito kama haya! Astagha'firullahi!!

Lakini haina neno mie tajaribu zungumza na ndugu yetu Gwalihenzi kwa ustaarabu tu.

Itanilazim leo kulala mapema mchana huu kwa hayo majambo.

Ahsanta.

Cc;Gwalihenzi
 
Unachekesha sana bahati mbaya au nzuri huwajui kina Sykes, fanya tafiti kidogo ili uwajue, siyo watu wa kuuza nyumba kariakoo na kukimbilia mahakamani hayo unayoongea labda umeamua kujifariji na kujiliwaza.

Mzee Ally Sykes amefariki kaacha nyumba nyingi hapa Dar, Kariakoo, Masaki, Upanga, Mbezi beach alipokuwa anaishi, Mikocheni, moja ya jengo lake ni lile ghorofa pale Aggrey na Sikukuu, chini kuna bank, jengo la ushirika pale ule uwanja ulikuwa wa mama yao, bado ujaenda Kipata kwao, hawa siyo wa kuuza nyumba kisha kukimbilia mahakamani, mwaka 1960 Ally Sykes anaendesha benz, muulize Jasusi, anawajua wewe ulikuwa bado upo Tarime.

Kaa na wenzako mkubaliane Yericko anasema AA, imeundwa na Matola, huyu jamaa yako anasema AA. TAA zianzishwa na Waingereza, wewe unasema waliounda ni Waingereza mnajichanganya wenyewe.

Ritz;
1. siwajui kina Sykes kama wewe na sioni tija;
2. aliyeeleeza mkasa mkasa wa nyumba ya Cameron ni Nguruvi forward malalamiko yako kwake;
3. AA na Sir Cameron nimesema awali vinaninipa matatizo kuelewa nikaomba msaada kwa nayaejua. Nicholas na Nguruvi wakajitokeza, wewe ulikaa kimya. Huna haki la lawama.
4. Ni kweli tarime ni nyumani kama vile Sykes kwao ni afrika kusini. Kama inakupa shida natanguliza pole zangu.
5. Mwisho nikiri kuwa sijajaliwa kipaji cha kuaga wanangu nyumbani kuja kutukuza na kutumikia mtu mwingine ONLINE tena mwenye username na password yake mahali kama JF!!! Tarime hatulelewi hivyo.

Chuki zako zina umri na wala hazitakufaa kitu. Weka mada, naona hu-paste tena Kwaheri Uhuru.....
 
Last edited by a moderator:
Shariff Ritz,

Salaam,Al Akhiy.

Nitakua mwizi wa fadhila na pia itakua nimeifanzia dhuluma roho yangu kama sitakujaalia Shukran zako nyingi mno.

Ama kwa hakika nimepatwa na kisunzi kisicho tiba kwa hilo furushi la matusi. Wallahi, tangia nimezaliwa sijapatapo sikia kashfa na matusi mazito kama haya! Astagha'firullahi!!

Lakini haina neno mie tajaribu zungumza na ndugu yetu Gwalihenzi kwa ustaarabu tu.

Itanilazim leo kulala mapema mchana huu kwa hayo majambo.

Ahsanta.

Cc;Gwalihenzi

Al Habiby gombesugu,

Waalahi tumsamehe ndugu yetu ni yale yale matatizo Essentials of anatomy and physiology.

Unaweza kudharau umuhimu wa ubongo lakini mwili wako unatambua umuhimu wake.
 
Last edited by a moderator:
Nakufungua akili kwa mara ya pili, japo hili tulishalieleza mwanzo mwa mjadala huu kwa ufasaha zaidi na welevu walielewa!

1) AA ilianzishwa kwa msaada/amri ya Gavana wa Tanganyika Sir Cameron 1929,

Rais wake wakwanza kabisa akawa ni msomi Mwalimu Cesil Matola,

Mkutano wake wakwanza kabisa ulifanyika nyumbani kwa Cesil Matola (Myao)

Uongozi kamili ulikuwa hivi:

Rais: Mwalimu Cesil Matola (Myao)

Katibu: Klest Sykes (Mzulu wa Afrika ya Kusini) mstaafu wa jeshi,

Muhazini: Ramadhani Ally (Mzaramo) mvuvi na mfanya biashara wa samaki

Baada yahapo ilipofika 1933 Mwalimu Cesil Matola alifariki na nafasi yake "ikakaimiwa" na Klest Sykes hadi 1948 ilipozaliwa TAA kwa MLENGO uleule wa Sir Cameron!

Narudia, ikazaliwa TAA kwa MLENGO ule ule wa Sir Cameron!

1953 Mwalimu Julius Nyerere anaingia katika uongozi wa juu wa TAA na kuanza mageuzi ya kukifanya kuwa chama cha siasa!

Ni Julius Nyerere ndie aliyeiandika KATIBA ya TAA iliyopelekea kuzaliwa TANU,

Yericko; Ahsante; Nimeshatukanwa kwa kusema nilisoma somewhere kuwa Governor Cameron ndiye chimbuko la AA. Hawa wakina Matola na Sykes walikuwa Office bearers kama alivyoeleza Nicholas na Nguruvi. Sio founders. It is all clear Now. Shukran. Na ndio maana waliingia civil servants.
 
Ritz;
1. siwajui kina Sykes kama wewe na sioni tija;
2. aliyeeleeza mkasa mkasa wa nyumba ya Cameron ni Nguruvi forward malalamiko yako kwake;
3. AA na Sir Cameron nimesema awali vinaninipa matatizo kuelewa nikaomba msaada kwa nayaejua. Nicholas na Nguruvi wakajitokeza, wewe ulikaa kimya. Huna haki la lawama.
4. Ni kweli tarime ni nyumani kama vile Sykes kwao ni afrika kusini. Kama inakupa shida natanguliza pole zangu.
5. Mwisho nikiri kuwa sijajaliwa kipaji cha kuaga wanangu nyumbani kuja kutukuza na kutumikia mtu mwingine ONLINE tena mwenye username na password yake mahali kama JF!!! Tarime hatulelewi hivyo.

Chuki zako zina umri na wala hazitakufaa kitu. Weka mada, naona hu-paste tena Kwaheri Uhuru.....

Mimi sijakaa kimya wote hao uliowataja nimewajibu, na wewe nimekujibu baada ya kuleta kejeli kama kawaida yenu umeandika kina Sykes wanauza nyumba zao baada ya msiba kisha wanakimbilia mahakamani kugombea.

Mbona unajitoa ufahamu wewe umeaga kwenu kuja JF kumtetea Nyerere na kukashifu Uislam na Waislam pamoja na Wazee wetu hilo kwetu wala siyo tatizo hakuna tusi wala kashfa mpya ambayo utakuja nao kwenye hii sayari.

Unaposikia neno akili, kitu cha kwanza kukifikiria bila shaka siyo moyo, lakini tafiti za kisasa zimethibitisha moyo nao una erevu, ubongo wako ulio kichwani kwako unafanya kazi kwa bidii kwa kutii ujumbe wowote unaotumwa kutoka katika ubongo wako, ha haa ha.
 
CC: gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom