Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Shariff Ritz,
Ahsante sana.
Ahsante sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hautaki home wajue...ha haa ha.[/QUOTE THE BIG SHOW,ndio word going around anajificha kwenye closet
son
Sijakusoma...
Unachekesha sana bahati mbaya au nzuri huwajui kina Sykes, fanya tafiti kidogo ili uwajue, siyo watu wa kuuza nyumba kariakoo na kukimbilia mahakamani hayo unayoongea labda umeamua kujifariji na kujiliwaza.
Mzee Ally Sykes amefariki kaacha nyumba nyingi hapa Dar, Kariakoo, Masaki, Upanga, Mbezi beach alipokuwa anaishi, Mikocheni, moja ya jengo lake ni lile ghorofa pale Aggrey na Sikukuu, chini kuna bank, jengo la ushirika pale ule uwanja ulikuwa wa mama yao, bado ujaenda Kipata kwao, hawa siyo wa kuuza nyumba kisha kukimbilia mahakamani, mwaka 1960 Ally Sykes anaendesha benz, muulize Jasusi, anawajua wewe ulikuwa bado upo Tarime.
Kaa na wenzako mkubaliane Yericko anasema AA, imeundwa na Matola, huyu jamaa yako anasema AA. TAA zianzishwa na Waingereza, wewe unasema waliounda ni Waingereza mnajichanganya wenyewe.
"uelewa si kipawa chako" nashangaa sana ulivyo busy JF, bora ungeenda fanya mambo ya maana.Mataaahira wenyewe wanafuma,wanafua umeme kwa kupiga pedeli za baiskel ktk vituo vyao na wanaiingiza hela..nashangaa nyie mpo busy ktk ujinga.Halfu baadaye mnaishia kuwa loosers tena. hizi ndizo patterns zenu ziwafanyao kuwa miserable.Wewe una matatizo kwenye ubongo (Biochemically) pamoja na (Biophysically) ndiyo maana haueleweki unaandika nini.
Afadhani umelet akitu ambacho nilikuwa najaribu chelewa kuambia......AA na baadaye TAA zilikuwa na misuse kubwa sana ya Funds ....So nilikuwa nataka introduce hiyo kitu ila nikaona wewe na MS mngeanza kurupuka na kupata escape door.. Kwa ujumla Hawa jamaa walikuwa wezi sana, na walitumi akila nafsi kujipa vipaumbele zaidi ya waafrica wengine.Ndio maana unaona anavyo vitu vyote hivyo, wakati wenzie wacheza bao walipata maeneo ambayo kupanuka kwa mji ndiko kuliwaleta mjini. Kwa ulewa wako mdogo unaona sifa kusifia mali anazozimiliki km zake....poor you.Life has been made to be very unfair to muslims by fellow muslims.Sykes hakupenda uhuru wala hakuwa na haja nao,kwani alikuwa ana kamrija kake, ila ktk uongo wake na unafiki akajikuta hawezi pingana na Nyerere hadharani,kwani angeumbuka, na hivyo kuangalia show ya Nyerere tuu na wazee wasiokuwa na kitu.Waliokuwa chini yake walikuwa hata habari kuwa uhuru ulikuwa wazi km watajipanga na kujitambua..watajitambua vipi wakati familia ilishajijengea (FAT fulani -Enzi ya Rage na Ndolanga), si Alhajis wale? Kweli kwa miaka mingi ijayo waislam ni wa kutumia tuu.Wanaweza kufa wakimlinda adui wakidhani wanapigana nae, wanaweza piga wrong friend wakamkumbatia adui bila jijua. Believe me, muda si mrefu km serikali za design ya JK hazitokuwepo kwa 5 yrs kubail out hizi familia...zaidi ya nusu ya hizo mali zitakuwa zinamilikiwa na wajasiriamali wa nchi hii.Zitasalia zilizokodiwa na makampuni au taasisi kubwakubwa..ila baada ya kuzaana na kurishana kwa asilimia kadhaa..nazo zitafikia point ,hawawezi fanya huo mgao tena na kuweza ishi bila vurugu za wataka kula kikubwa na hivyo nazo kumalizikia.Akizaliwa mmoja mwenye bidii ya kutafuta traces za jina sykes kwa darubini ,ndio ataingi tena misikitini kulia upya kuwa matuna ya uhuru hawajapata. You are alaways like that dunini kote...mna demands ambazo hazitekelezeki, n akuplay victims kila mahali ili kupata mrija na si kazi.
"uelewa si kipawa chako" nashangaa sana ulivyo busy JF, bora ungeenda fanya mambo ya maana.Mataaahira wenyewe wanafuma,wanafua umeme kwa kupiga pedeli za baiskel ktk vituo vyao na wanaiingiza hela..nashangaa nyie mpo busy ktk ujinga.Halfu baadaye mnaishia kuwa loosers tena. hizi ndizo patterns zenu ziwafanyao kuwa miserable.
Mohamed Said,
..lakini Znz kulifanyika chaguzi tatu na mara zote ASP walikuwa wakifanyiwa mizengwe.
..sheria za uchaguzi za Znz , na ukizingatia UBAGUZI uliokuwepo dhidi ya Mwafrika, zilikuwa zina-guarantee kwamba ASP[chama kilichokuwa kikiwakilisha Waafrika] hakitoweza kushika madaraka.
..tuhuma kwamba ASP ilikuwa inashinda kwasababu ya kukusanya wapiga kura toka Tanganyika hazina mashiko. Muingereza, Waarabu, na Sultani, walikuwa pamoja ktk kuikomoa ASP. Muingereza, Waarabu, na Sultani, ndiyo waliokuwa na dola, sasa haiyumkiniki ASP wa-rig chaguzi tatu mfululizo.
..kwa mtizamo wangu chanzo cha mapinduzi ni mbinu chafu walizokuwa wakifanyiwa ASP[waafrika]. Yupo kiongozi mmoja, sina uhakika kama ni Mohamed Shamte, au Ali Muhsin, aliyejiapiza kwamba asingeweza kuunda umoja na Karume/ASP hata kama angelazimishwa na MTUME MOHAMMED!!
..zaidi nakuomba hebu soma hapa chini Ahmed Rajab anasema nini kuhusu Ali Muhsin.
NB:
..linapokuja suala la historia ya Zanzibar binafsi nakiri kumuamini mwandishi asiye Mzanzibari.
..nasema hivyo kwasababu Wazanzibari karibu wote wanapoandika wanakuwa na agenda nyuma yao, ama kumpamba Sultani, au kuyapamba Mapinduzi.
..ni mara chache sana huacha propaganda zao, na "kuchoropokwa" na ukweli.
cc: Wickama, gombesugu, Mag3, Nguruvi3, Ritz[/FONT][/COLOR]
Hahaahaaa nimecheka sana,
Mpaka mke wangu amehoji kama ninaota au ninaumwa?
Hahahaa kweli Mohamed ni Scholar wa historia!
Uongo huwa haujisimamii hata kwa dakika moja! Lazima ushikiliwe ndipo usimame!
Yericko,
Kuna wakti mimi nilipokuambia yakuwa una maradhwi,ulikereka mno mpaka ukanishtaki kwa nduguzo Mods.
Hayo matatizo hata huyo Mkeo kumbe nae anaanza kuyaona maskini!?ahaha!!
Wewe unadai Sheikh Mohammed,muda wake woote yupo hapa Jf kwa ajili yako!?...sasa wewe unamjibu saa kumi za usiku kwa time za huko kwako Mbutu,wakti huo mwenzio amejipumzisha kwa singizi mzito saana!
Sasa huoni hapa yupi amnyimae mwenzie usingizi!?
Unatuchosha na khadith zako za kitoto kwenye huu mnakasha!
Ahsanta.
Cc;Ritz
Al Habiby gombesugu,
Unaangaika na huyo wa nini soma hapa kejeli zake na dhihaka dhidi ya Uislam na Waislam, nimeshangaa sana anakumbia eti umletee maneno wapi kakekeli Uislam.
Hapa chini tena.
Hapa chini tena.
Hapa chini tena.
Hapa chini tena.
Hapa chini tena.
Hapa chini tena.
Hapa chini tena.
Hapa chini tena.
ha haa haa tushie hapa lakini lazima atabisha na kusema hakuna kejeli hapo.
Unachekesha sana bahati mbaya au nzuri huwajui kina Sykes, fanya tafiti kidogo ili uwajue, siyo watu wa kuuza nyumba kariakoo na kukimbilia mahakamani hayo unayoongea labda umeamua kujifariji na kujiliwaza.
Mzee Ally Sykes amefariki kaacha nyumba nyingi hapa Dar, Kariakoo, Masaki, Upanga, Mbezi beach alipokuwa anaishi, Mikocheni, moja ya jengo lake ni lile ghorofa pale Aggrey na Sikukuu, chini kuna bank, jengo la ushirika pale ule uwanja ulikuwa wa mama yao, bado ujaenda Kipata kwao, hawa siyo wa kuuza nyumba kisha kukimbilia mahakamani, mwaka 1960 Ally Sykes anaendesha benz, muulize Jasusi, anawajua wewe ulikuwa bado upo Tarime.
Kaa na wenzako mkubaliane Yericko anasema AA, imeundwa na Matola, huyu jamaa yako anasema AA. TAA zianzishwa na Waingereza, wewe unasema waliounda ni Waingereza mnajichanganya wenyewe.
Shariff Ritz,
Salaam,Al Akhiy.
Nitakua mwizi wa fadhila na pia itakua nimeifanzia dhuluma roho yangu kama sitakujaalia Shukran zako nyingi mno.
Ama kwa hakika nimepatwa na kisunzi kisicho tiba kwa hilo furushi la matusi. Wallahi, tangia nimezaliwa sijapatapo sikia kashfa na matusi mazito kama haya! Astagha'firullahi!!
Lakini haina neno mie tajaribu zungumza na ndugu yetu Gwalihenzi kwa ustaarabu tu.
Itanilazim leo kulala mapema mchana huu kwa hayo majambo.
Ahsanta.
Cc;Gwalihenzi
Wickama,
Nami naona wakati wa mie kuuliza maswali umefika.
Hivi mwindaji akikuta mtego wake umekamata chui
badala ya paa anafanyaje?
Nakufungua akili kwa mara ya pili, japo hili tulishalieleza mwanzo mwa mjadala huu kwa ufasaha zaidi na welevu walielewa!
1) AA ilianzishwa kwa msaada/amri ya Gavana wa Tanganyika Sir Cameron 1929,
Rais wake wakwanza kabisa akawa ni msomi Mwalimu Cesil Matola,
Mkutano wake wakwanza kabisa ulifanyika nyumbani kwa Cesil Matola (Myao)
Uongozi kamili ulikuwa hivi:
Rais: Mwalimu Cesil Matola (Myao)
Katibu: Klest Sykes (Mzulu wa Afrika ya Kusini) mstaafu wa jeshi,
Muhazini: Ramadhani Ally (Mzaramo) mvuvi na mfanya biashara wa samaki
Baada yahapo ilipofika 1933 Mwalimu Cesil Matola alifariki na nafasi yake "ikakaimiwa" na Klest Sykes hadi 1948 ilipozaliwa TAA kwa MLENGO uleule wa Sir Cameron!
Narudia, ikazaliwa TAA kwa MLENGO ule ule wa Sir Cameron!
1953 Mwalimu Julius Nyerere anaingia katika uongozi wa juu wa TAA na kuanza mageuzi ya kukifanya kuwa chama cha siasa!
Ni Julius Nyerere ndie aliyeiandika KATIBA ya TAA iliyopelekea kuzaliwa TANU,
Ritz;
1. siwajui kina Sykes kama wewe na sioni tija;
2. aliyeeleeza mkasa mkasa wa nyumba ya Cameron ni Nguruvi forward malalamiko yako kwake;
3. AA na Sir Cameron nimesema awali vinaninipa matatizo kuelewa nikaomba msaada kwa nayaejua. Nicholas na Nguruvi wakajitokeza, wewe ulikaa kimya. Huna haki la lawama.
4. Ni kweli tarime ni nyumani kama vile Sykes kwao ni afrika kusini. Kama inakupa shida natanguliza pole zangu.
5. Mwisho nikiri kuwa sijajaliwa kipaji cha kuaga wanangu nyumbani kuja kutukuza na kutumikia mtu mwingine ONLINE tena mwenye username na password yake mahali kama JF!!! Tarime hatulelewi hivyo.
Chuki zako zina umri na wala hazitakufaa kitu. Weka mada, naona hu-paste tena Kwaheri Uhuru.....