Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Toa source usipende kuropoka baba yako hapo juu kasema kaanza siasa mwaka 1952 na wazee wa mzizima.

Kama hata hata kusoma na kutafsiri maandishi tu unashindwa mimi nikusaidiaje?

Kwahiyo 1948 Julius Nyerere alipoanzisha TAWA pale Makerere alikuwa hajishughulishi na siasa??

Au ilikuwa ni kikundi cha UPATU?

Pale Tabora 1945 akiwa katibu wa jimbo hilo alikuwa anajishughulisha na siasa au alikuwa yupo kwenye kikundi cha HARUSI?

Tumia ubongo wako kijana usijaze kamasi kichwani tu!

Kwenye hiyo hotuba kasema wazi, kuwa siasa alianza mda mrefu lakini siasa za KITAIFA na KIMATAIFA alianza 1952!

Tafakari! Chukua hatua!
 

Wewe mnafiki majunun, angalia hapo namba 4 hayo kwako siyo MATUSI.

CC: gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
 

TAWA ni nini?
 
 
Last edited by a moderator:
Wewe mnafiki majunun, angalia hapo namba 4 hayo kwako siyo MATUSI.

CC: gombesugu,

Ritz; ni spelling mistake. correctly ni NYUMBANI. Nashukuru. Point ya 5 haina spelling mistakes? hahahahaha. Baunsa. Jitegemee mshikaji. Iko siku nimecheka na kukuonea huruma, eti unatutungazia umati humu JF tuwe tayari kuna kitu kizito Mzee MS atatujulihsa!!! (ilikuwa msiba wa Ally Sykes). Sasa nikajiuliza hivi MS siku hizi mpaka amtangulize baunsa kumtayarishia wanajamvi? Ndio maana usione nakuuliza kila mara WHAT ARE YOU?. Umekumbuka hiyo siku? Ngoja nicheke, bwana.....sina hamu. Hata majnun wanacheka au sio?
 
Last edited by a moderator:
Nakujibu kwa mara ya mwisho maswali yako ya kipuuzi!

Tanganyika African Welfare Association (TAWA)

Usikasirike mimi siyo kina Nguruvi3, Mag3, Wickam ukimwaga ngano nimeze tu.

Kilisajiliwa wapi hicho chama na ofisi zake zilikuwa wapi hapa Tanganyika Musoma au Tarime?
 

Kwetu sisi kufiwa na Mzee wetu Ally Sykes ni msiba mzito wala mimi sishangai kwako kuwa furaha mpaka uangushe kicheko ndiyo ubinadamu.

Ha ha haa wewe wa kunionea huruma mie, sisi tumeishi kama ndugu katika jamii zetu tunashirikiana kwenye shinda na raha ikiwamo na misiba, hakuna tatizo kama wewe ulifurahia kifo cha Mzee Ally Sykes, hakika kila nafsi itaonja mauti.
 
Usikasirike mimi siyo kina Nguruvi3, Mag3, Wickam ukimwaga ngano nimeze tu.

Kilisajiliwa wapi hicho chama na ofisi zake zilikuwa wapi hapa Tanganyika Musoma au Tarime?

Shariff Ritz,

Ghadhabu kaghadhibika.
Yericko kahamaki.

Mimi nimeeleza katika kitabu changu jinsi TANU ilivyokuja kuzaliwa na approach niliyochukua
inaitwa kitaalamu ''biographical approach.''

Nimeanza na maisha ya Kleist Sykes 1929 alipoasisi AA kama katibu muasisi kisha nikaja maisha
ya mwanae Abdulwahid Sykes 1945 akiwa Burma akiwa na azma ya kuendeleza mapambano ya
baba yake dhidi ya ukoloni.

Hapo ndipo akiwa katika 6th Battalion KAR aliwashawishi wenzake katika jeshi la Kiingereza kuunda
chama cha siasa.

1947 Abdu Sykes akahusika katika vuguvugu la makuli wa bandarini Dar es Salaam na ukafuatia mgomo
maarufu wa 1947 mgomo uliosababisha Waingereza kupitisha sheria ya kuunda vyama vya wafanyakazi
na Abdu Sykes akawa katibu wa Dar es Salaam Dockworkers Union 1948.

Ikaingia 1950 Abdu akachaguliwa kuwa katibu wa TAA na hili tushalizungumza sana hapa jamvini akaunda
Political Subcommittee.

1952 Abdu anakutana na Nyerere...
1953 uchaguzi wa Abdu na Nyerere na Nyerere anashinda anakuwa rais wa TAA na Abdu Makamu wake.

1954 TANU inaunndwa Nyerere akiwa rais wake.

Yericko na achukue cue katika hayo hapo juu na atuandikie kitu.
La hawezi hakuna shida wala hapana sababu ya kutukanana.
 

Sheikh Mohamed Said,

Ni vizuri tupate hiyo historia chama hakijawahi hata kufika Tanganyika leo hii kinapewa nafasi ni kituko.

Yericko Nyerere, anatuambia baba yake alianza siasa za kimataifa kabla ya kitaifa.
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha Wickama hata mimi hiyo siku nilikaa mkao wa tangazo aisee! Msamehe Ritz juu ya watu wa Mara alikuwa awe shemeji yako mrembo akamkimbia ndio hizi hasira(kidding)
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha Wickama hata mimi hiyo siku nilikaa mkao wa tangazo aisee! Msamehe Ritz juu ya watu wa Mara alikuwa awe shemeji yako mrembo akamkimbia ndio hizi hasira(kidding)

Mbona na masna tayari huko Musoma.
 
Last edited by a moderator:


Yericko,
Hapana hunikwazi.

Hivi ndivyo unavyotakiwa kufanya unaeleza yako na mimi naeleza yangu.
Baada ya hapo tunawaachia watazamaji wanaamua.
 

Mlengo wako ulisimama katika yale yale tuliyoyakataa hapa kuwa hukuandika HISTORIA ya Uhuru,

Uliandika NGANO tu,

Hapo unamsimulia Klest Sykes,

Kisha unaisimulia AA lakini hutaji safu nzima ya uongozi wa AA wa awali kwa maana ya Rais, Katibu, Mweka hazina,

Sababu ipo ndiomaana huwataji kwakuwa itavunja mission yako!

Mungu saidia mnakasha huu umefanya leo unasema Klest Sykes alikuwa KATIBU tofauti na tulipoanza mjadala huu ulipotamka bila aibu kuwa Klest ndie RAIS na muasisi halisi na ukakoleza kabisa kuwa (chama cha kwake)

Je viongozi wa wili wa mwanzo wa AA kwamaana ya Mwalimu Cesil Matola na Ramadhan Ally umewapa nafasi gani katika andishi lako???

NGANO NGANO NGANO NGANO
 
TAWA inauhusiano wowote na EAMWS? yaani East African M. Welfare Association?

Havikuwa na uhusiano wowote,

TAWA ilianzishwa kama chama cha harakati za ukombozi na Mwalimu Julius Nyerere 1948 akiwa masomoni pale Makerere nchini Ugani,

EAMWS iliingia nchini miaka ya 1960+ ikitokea nchini Kenya,

Ilikuwa ni chombo cha Waislamu na wao ndio walikiua,
 
Yericko,
Hapana ugomvi wala usihamaki eleza yako nami nitaeleza yangu:
Msikilize Ally Sykes anazungumza mambo yalivyokuwa 1947.

Ally Sykes kadi yake ya TANU ni namba 2 namba moja ni ya baba yako
na aliyemwandikia alikuwa Ally Sykes na kadi namba 3 ni ya kaka yake
Abdulwahid Sykes.

Msikize Ally Sykes hapa chini:

It was at the Central Hotel that I came to meet Jomo Kenyatta, Bildad Kaggia, Tom Mboya, W.W. Awori and other Kenyan nationalists.

I used to talk about my father and what he was doing in Tanganyika to further many issues of African interests.

Mboya
was a keen listener and he used to urge me to return back home and help in the struggle.

I also received many letters from Abdulwahid asking me to come home. He told me in his letters that the struggle against the British had begun.

I knew I had to get back home and join the struggle or I would miss an important opportunity to play a role in the history of my country.

Following persistent letters from my father asking me to come home I had to leave Nairobi and return home.

When I left Nairobi to return home in 1948 I was 21 years old.

PS:

Yericko,
Siwezi kusema Kleist alikuwa rais wa AA haiwezekani mie kufanya kosa kama hilo.

Wala mie sitakudai utoe ushahidi kuwa niliandika maneno hayo nakuchukulia kuwa
hukuwa makini tu katika kusoma na kuelewa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…