Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Yericko,

Kwa kuwa mnakasha umetoka katika barabara yake nakuwekea hapa ''kitu'' kutoka
paper ya Ibadan huenda ikakupa fikra mpya katika kile kitabu chetu cha ugaidi.

Unaweza kujazia ikiwa utapenda la utaona hakuna jipya si kitu:

The Bombing of the US Embassies in East Africa
‘Chickens Coming Home to Roost’

Discriminate killing of innocent people or ‘terrorism’ as the analogy is known today has never been a problem to Africa save the terror unleashed on its people by the colonising powers, notorious among them were the Portuguese in Mozambique and Guinea Bissau, the French in Algeria during the war of liberation, Boers in South Africa, and the British in Kenya during the Mau Mau.

Power is addictive to terror.

Acts of terror were not a monopoly of the colonial governments only. Indigenous African governments have their own share.

In East Africa there have been summary executions in Zanzibar under Abeid Amani Karume.

While under Jomo Kenyatta and Daniel Arap Moi Kenya has experienced torture and executions, Uganda experienced mass executions during the reign of Idi Amin Dada.

In other words Africans have experienced terror even before the word ‘terror’ became fashionable.

There is no need to mention the 1994 Rwandan genocide. All this is enough proof that Africa has tasted terror from the colonising authorities as well as terror from its own indigenous governments.


The United States is more concerned with international terrorism while Africa is obsessed with domestic terrorism.

The question which the United States should reflect upon is that why is it that the United States is considered a legitimate target for attack by terrorists? In the answer probably lies the key to solving the problem.

It is a pity that terrorism as a field of inquiry is yet to be taken up by actual victims of terrorism.

The inquiry has been monopolised by scholars from societies which at most have suffered one or two bomb attacks.

This erodes the realities of the subject as would be perceived by the actual victims of terrorism whose lives have seen nothing but sufferings.

Selective sampling will always as a rule provide wrong premise. Today the world knows what took place in Auschwitz from the victims who went through the extermination camps during the Holocaust.[1]

We are yet to get first hand experience of terrorism from those who had lived and experienced it in Vietnam, Afghanistan, Iraq, Nicaragua etc. documented with the same intensity as the world had documented the holocaust.



[1] See ‘The Last Days of Auschwitz 50 Years Later: Untold Stories From the Death Camp,’ Newsweek, January 16, 1995.

Ooooho asante sana ndugu yangu!
 
Hajui lolote masikini ya mungu ngoja tusubiri darsa.

:A S 576:
A%20S%20576.gif
A%20S%20576.gif
 
Wanajamvi,
Hii ni sehemu ya majibu ya Hoja za Mapinduzi na uhalali wake. Ameonyesha kwa njia mbadala kuwa uvamizi ulifanywa na Wamakonde wa Kipumbwi na Nyerere ndiyo ili kushadidia hoja yake. Halina tabu pia

Kwa wale wanaomjua Mohamed Said ni wazi alikuwa anajaribu kujibu bila mafanikio akijificha katika mwamvuli wa lugha. Ameleta vipande viwili kile chakwanza kikiwa kina paragraph ambayo sidhani kama kuna mhariri angeiacha iende kwa wasomaji. Tulimvumilia tu

Ameshindwa kusema Mapinduzi ni haramu na walioshiriki ni mabaradhuli na madhwalim kwa kuushambulia Uislam.
Kwa kutumia lugha ya kiingereza, na hapa natoa mfano ni sawa na kushindwa kusema ''vagina'' kwa kiswahili kwasababu inatamkika vibaya sana.

Ndiyo maana anatumia lugha ya kiingereza katika kuwatukana Wanamapinduzi na wznz pengine pia akidhani wengi hawatamuelewa.

Hoja ya nukuu ya pili ni kuwa hataleta source kama alivyoombwa na Wickama kwa sababu maalumu. Hatuna shida na hilo na wala hapa simwambii alete source.

Nafungua kitendawili kwa kusema kuwa hakuna source yoyote ile. Anachotaka ni kufanya watu waelewe ana source nyeti wakati ambapo kama kawaida kajifungia chumbani na kutunga hiyo hadithi.

Soma mstari wa mwisho utaona anasema ''which gave Zanzibar sleepless nights for forty nine years''
Kwahesabu, leo ni miaka 49 tangu mapinduzi ya Zanzibar na 49 Tangu Muungano.
Kwahiyo anaposema source yake imempa hiyo habari ana maana hiyo source imempa kati ya Jan 2013-June 2013

Maandishi yake kuhusu Mapinduzi yapo kabla ya 2013. Kwahiyo source anayosema ingempa habari hizo kabla ya hapo maneno yangesomeka ''''which gave Zanzibar sleepless nights for ........ years'' ( ima ni 20,30 mapaka 48) na 49 isingetokea asilani kwasababu tayari maandishi ya Mohamed yalikuwepo kabla ya 2013

Kwavile tumeshawahi kumhoji kuhusu kujinukuu na kumwambia mubashara kuwa huo si uandishi au ''scholar'' hafanyi hivyo, leo ameamua kujinukuu na kusema ana source. Hawezi kutufanya wapuuzi sisi sote.

Hoja hapa si yeye kuleta source ni uongo alioutumia katika kuficha source ambayo ni yeye mwenyewe na akaileta jamvini kama reliable source huku tukijua yeye si relaible source.

Angesema yeye ni source wala isingesumbua, kinachosumbua ni kujificha kwa kujifanya ana source zingine.
Mwandishi mwadilifu hafanyi hivyo, hoja ikimzidi husema hoja imemzidi. Hoja ya Mapinduzi ni mwiba na utabaki kuwa mwiba.

Mohamed, kwa mara nyingine kama ilivyokuwa kule kwa Yakoub Gowon unaongopa hadhrani. Huna source na wewe si source yako mwenyewe.

cc. Wickama, Mag3, Jasusi, Gombesugu, Nicholas, Yericko,Gwalihemzi,Spike lee, Prisharz
Asante sana mkuu Nguruvi3 kwa uchambuzi mwanana. Ritz atakuja na hoja zake za kitoto kupapasa hili rungu!
 
Usikasirike mimi siyo kina Nguruvi3, Mag3, Wickam ukimwaga ngano nimeze tu.

Kilisajiliwa wapi hicho chama na ofisi zake zilikuwa wapi hapa Tanganyika Musoma au Tarime?
Ngano za mzee wa hovyo na mpuuzi MS kwakuwa zimejaa udini hizo huwa unazimeza kama uji!
 
Nakushauri tena una tatizo la ubongo ambalo linaita surgeon halafu bado unakunywa valeur, angalia unavyoandika ovyo ovyo tu unachanganya herufi kubwa na ndugu kwa lugha ya kiuandishi unaonekana unafanya fujo lakini kuna punga lako moja humu litakusifia ha haa ha.
Pole kijana!
 
Sheikh Mohamed Said,

Tupe darsa la mkutano wa Pan African Congress wa Rhodesia ya Kaskazini 1953.
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Mohamed Said,

Tupe darsa la mkutano wa Pan African Congress wa Rhodesia ya Kaskazini 1953.
 
Last edited by a moderator:
Ninabaki kuwa mimi ni maji kwako, huwezi kunikwepa,

Mimi ni pumzi kwako ya uzima na haki, huwezi kukaa saa moja bila kuja jf kuniona!

Nimekuhamishia makazi jf bila kutaka!

Na zaidi nimeisimamisha ngano yako na kuichanachana kabisa!

Nimeruhusu fikra mpya magwiji wa historia wamekuhukumu mchana kweupe kabisa!

Kwamara yakwanza katika historia ya wanahistoria umekuwa mtu wa kwanza unaejiita mwanahistoria kuchambuliwa na kubezwa juu ya tungo zako kwanjia ya majukwaa huru ya mitandao ya kijamii na "ukakiri" wazi na kulialia mbele ya umma!

Katika hilo tu umevunja rekodi ya dunia, hakuina mwandishi wa vitabu aliyewahi kubanwa na mitandao ya kijamii na akalia mbele ya hadhila kama wewe!

Wengi hujibia hoja kwanjia hadhila za jumuiya za kisomi!

Lakini sisi tumekumwaga uswahilini tu na tukakuchangua changua na kukuvua nguo hadharani!

Pole sana hukutegemea yaliyokukuta!

Ulidhani hapa ni Ibadan ulipotapika sumu bila watu kukuhoji sababu za matapishi hayo!

Amma kweli, mwenye macho haambiwi tazama!

Kwa lipi zaidi? Hukuwa na moja la maana zaidi ya kumpaisha Mohamed Said na historia ya kweli imejulikana na wengi zaidi.

Jee, ukimjuwa Mshume Kiyate kabla ya kumsoma Mohamed Said?
 
Shariff Ritz,
In Sha Allah nitakuwekea.

Hiyo ni movie khasa na siku Ally Sykes aliporejea na Denis
Phombeah Nyerere alikuwapo uwanja wa ndege kuwapokea.
 
Yericko,
Hiyo ndiyo miba iliyowachoma rafiki zako Wamerekani.

Tena wakati nawasilisha wapo na digital tape zao na
camera zina roll...

Sikuchukua duru nikabambwa Uwanja wa Mwalimu
Nyerere natokea Tehran kwenye hawli ya Imam Khomeni.
 
Wanajamvi,
"Asogelei" hivi ndivyo nisemavyo toka nimezaliwa.

"Hasogelei" hii inaweza ikawa sawa kwa Kiswahili
cha bara.

Mimi hujitahidi kusahihisha lakini nadhani hii ni
kutokana na athari ya asili ya mtu.

Kuna mahali nimesoma "kauri" badala ya "kauli."

Wa kuamua kuwa nani Kiswahili chake safi ni nani?
 
Yericko,
Nimekutajia viongozi wa Mau Mau.

Huna lolote la kusema ila hayo yako?
Hebu kisome "Roots of Freedom" cha
Bildad Kaggia.

Acha utoto kuwa makini hii ndiyo nafasi
yako ya kujifunza.

Hao ndiyo watu alojuananao Ally Sykes
na wakajaunganisha nguvu zao dhidi ya
ukoloni wa Waingereza.

Vipi wewe hupendi kuwajua marafiki wa
baba yako alokuwanao bega kwa bega kuunda
TANU?
 
leo ndio nimefungua hii thread!nahisi wachangiaji wanaojibizana hapa siwazima upstairs!ukishajua historia itakupeleka wapi?nahisi wengi wenu mmekuwa watumwa wa wanasiasa bila kujijua!fanyeni mambo yenu ya msingi na maendeleo sio porojo ambazo hazitatufikisha popote!
nawasilisha
c.c zomba Mohamedsaid Ritz Nguruvi3 @yerickonyerere
 
Last edited by a moderator:
Yericko,
Nimekutajia viongozi wa Mau Mau.

Huna lolote la kusema ila hayo yako?
Hebu kisome "Roots of Freedom" cha
Bildad Kaggia.

Acha utoto kuwa makini hii ndiyo nafasi
yako ya kujifunza.

Hao ndiyo watu alojuananao Ally Sykes
na wakajaunganisha nguvu zao dhidi ya
ukoloni wa Waingereza.

Vipi wewe hupendi kuwajua marafiki wa
baba yako alokuwanao bega kwa bega kuunda
TANU?
 
GOAT Mohamed Said,

Rusha mipini ya historia ya Tanganyika watu tupate darsa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom