Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

gombesugu,

..hapana.

..wananchi wa Meru hawakuwa wabinafsi ktk harakati zao za kudai kupokonywa ardhi yao.

..JAPHET KIRILLO, aliyewasilisha madai ya Wameru UN, ni mmoja kati ya waasisi wa chama cha TANU.

..harakati za uhuru wa Tanganyika zilikuwa na "plots" nyingi. Mgogoro wa ardhi wa Meru ni kati ya "plots" hizo zilizowaunganisha wa-Tanganyika kudai uhuru wa nchi yao.

..Japhet Kirilo amepata kunukuliwa akisema hivi: " The eviction woke our people up to the indignity of being ruled by foreigners. Now we nationalists are going to wake up all Tanganyika. "

..habari ya Chief Marealle na UTP ni ndefu kidogo. kuitendea haki kunapaswa kuwe na thread yake maalum.

cc: Nguruvi3, Ritz, Wickama, Yericko Nyerere, Mag3

Afadhari mkuu umejaribu kuweka sawa juu ya hilo,

Watu hawajui kitu lakini wanapokezana hapa kwa matusi na kejeri!

Kule nyuma tulieleza wazi juu ya Chifu Marealle na siasa za Tanganyika,

Tukazidi kueleza wazi kuwa Chifu Marealle allipofika UNO akawa UPANDE wa Julius Nyerere, Aliwageuka Waingereza ilihali katika kikao chao pale Mzumbe Morogoro walikubaliana kuwa yeye akiwakilisha Machifu akaseme kuwa Tanganyika haijawa tayari kujitawala!

Yapo mengi sana ndugu zetu hawa wanatakiwa kufunzwa hii leo!

Na tutawafunza tu hapa hapa watake wasitake!
 
Last edited by a moderator:
=Mohamed Said;6554016]Wickama, Hebu pumzika na hii: We have seen many times that the question of Zanzibar revolution is associated with"Arab slave trade."The origin of this paradigm stems from not knowing the actual source of the revolution. The most telling problem was to perceive that the revolution in Zanzibar had to take
place because of the oppressive regime of the Zanzibaris of
Arab descent.

It was not necessary that the invasion of Zanzibar should take place. It was a special plot by one country invading another and hiding that hideous fact which gave Zanzibar sleepless nights for forty nine years.
Nguruvi3 :Soma mstari wa mwisho utaona anasema ''which gave Zanzibar sleepless nights for forty nine years'' Kwahesabu, leo ni miaka 49 tangu mapinduzi ya Zanzibar na 49 Tangu Muungano. Kwahiyo anaposema source yake imempa hiyo habari ana maana hiyo source imempa kati ya Jan 2013-June 2013

Maandishi yake kuhusu Mapinduzi yapo kabla ya 2013. Kwahiyo source anayosema ingempa habari hizo kabla ya hapo maneno yangesomeka ''''which gave Zanzibar sleepless nights for ........ years'' ( ima ni 20,30 mapaka 48) na 49 isingetokea asilani kwasababu tayari maandishi ya Mohamed yalikuwepo kabla ya 2013

Hoja hapa si yeye kuleta source ni uongo alioutumia katika kuficha source ambayo ni yeye mwenyewe na akaileta jamvini kama reliable source huku tukijua yeye si relaible source. Angesema yeye ni source wala isingesumbua
Hili suala naona limewachoma sana watu.
Kwanza niwape pole kwa maumivu makali bila kuomba msamaha wa hoja yangu. Inasimama kama ilivyo!
Sijisikii ukakasi au hofu ninapokuwa katika Jugular vein! ha ha ha

Narudia tena, hebu jaribuni kuelewa kile anachosema mtu.
Nimeandika huko nyuma kwa dhati kabisa kuwa Sijamuomba Mohamed alete au ataje source, nikasema hata title, paper au kitabu asitaje, ataje muda wa hiyo source tena kwa range(1976-1986 kwa mfano) ili tulinganishe na hoja zangu. Hakufanya hivyo

Nikategua kitendawili kwa kuonyesha kuwa hakukuwa na source na hivyo yeye kusema ''samahani sitataja source'' ni kudanganya jamvi na ilikuwa ni kuonyesha majigambo ya source kitu ambacho si kweli ili kukwepa hoja ya Mapinduzi.

Alichokifanya ni kujibu suala la Mapinduzi kwa maoni yake(kama kila mtu anavyofanya) halafu akadanganya kuwa source ni nyeti sana. Kwanini lakini? Kuna tabu gani kutoa maoni binafsi hadi mtu ajifiche ifche kwa uongo?

Hakuna source, source ni yeye na kuna ubaya gani mtu akisema abcd ni maoni yake pekee.

Sasa badala ya matusi watu wange thibitisha kuwa nilichokisema hapo si kweli.
Tarbiya islam na tarbiya al adab hazimruhusu mtu kurukia matusi na matusi ndiyo silaha ya mwisho ya mnyonge wa hoja.
Kwa waliosoma ilm kama mzee Said wanajua tarbia na adab za mnakasha! Muulizeni kasoma kwa sheikh Haruna!

Kwangu mimi kadri mnavyotukana ndivyo hoja yangu inavyosimama yenyewe na nawashukuru sana kwa msaada huo.
 
Wickama,
Ni hivi ikiwa mtego wa paa kaingia chui mwindaji asogelei.

Practical step hapo ni kutafuta msaada na kumuua CHUI ili mtego uendelee kuleta kiteweo. Lau kama ana mitego mingine kwenye pori hilohilo basi haigombi kushughulikia hiyo ambayo hajaingia chui. Nukta.
 
Nguruvi; Nikuwa mzee Mohammed Said alitaka kujibu yale maswali kijanja bila marejeo. Nilikubaliana naye kuwa KITABU na PAPERS ataonyesha katoa wapi. Hilo hakujali. Mahali pekee nilipomkubalia ilikuwa kama ni maoni yake ASEME ni maoni yake.

In principle kama unahisi umepewa PRIVILEDGED information ambayo pia ni siri kubwa hutakiwi kutoa abstracts zake. Ndio maana bado nasubiri definition yake ya THE LARGER PICTURE. Hii ni statement ya nani.

By the way kwa hiari yake alishaiwacha hiyo mada ya zenj na maswali akakataa kujibu. I wonder round two ita-achieve nini bila yale majibu.
 
gombesugu,

..basi tukubaliane tu kwamba Znz kulikuwa na "mpasuko."

..vyovyote vile utakavyoamua kuuita "mpasuko" huo kama ni uarabu vs uafrika, au mabwanyenye vs wanyonge, au mabwana vs watwana, etc etc vyote ni sawa tu.

..mimi ninachosisitiza kwamba kulikuwa na tatizo/"mpasuko" ndani ya jamii ya wa-Znz, na hicho ndicho kilichopelekea mapinduzi yale kutokea.

..kwa mtizamo wangu, wa-Znz wengi wako ktk denial. wanajaribu kila njia kuonyesha kwamba kulikuwa hakuna tatizo lolote lile "internal"; kwamba mapinduzi na ukatili ulioyafuatia, umetokana na fitina za watu wa nje.

..ndugu yangu, kuna mambo mengi sana ambayo tunaweza kuyajadili kama wa-Tanzania/wa-Tanganyika ikiwa utapenda. tatizo ni kwamba kuna "vichwa maji" wameiteka jamii yetu na kila jambo wanataka kutumbukiza masuala ya udini.

..umewataja ndugu zetu Wagogo, Wahehe, etc etc. sasa hawa tukitaka kuzungumza nao, au hata kuwapa "ukweli mchungu," basi tuna watani wao wanaweza kutusaidia.

..Kwa kweli wa-Tanzania/wa-Tanganyika tusipokuwa makini tunaweza kuisambaratisha nchi kwa haya masuala ya udini-udini. mimi nadhani tufike mahali kila mtanzania/Mtanganyika ajisaili kama matendo yake, na matamshi yake, haswa linapokuja suala la dini/imani, yanaijenga, kuilinda, na kuihifadhi, jamii yetu.

cc: Nguruvi3, Mag3, Wickama, Ritz, THE BIG SHOW, Yericko Nyerere, Jasusi

JokaKuu,

Natanguliza shukran zangu za dhati kwako ndugu yangu.

Nakubaliana na mengi ulonena na pia nakufahamu uzuri mno. Nafikiri unakumbuka tahadhari nilowahi kutoa mimi binafsi kwa kuonyesha mfano wa Sudan wakti najadiliana na ndugu yangu Nyambala,I think it was only on my second week here/Jamvini!?

Nimecheka kiduchu kwa hilo neno ulotumia "Mpasuko"!ahaha!! Najua unajitahidi usiwakere nduguzo Wazanzibary wakaja kukuvamia hapa jamvini bure bileshi!?ahaha!!

Nafikiri ni neno zuri mno hilo "mpasuko"..."mpasuko wa Zanzibar". Kwa kifupi sisi tulobaki ni wasindikizaji lakini vinara wa kutunyambulia kwa kina ni ma-Historians,ndo maana ni muhimu kumpata Sheikh Mohammed hapa jamvini nasi tukamuuliza maswali ya kina na kiundani katika hali ya uungwana na ustaarabu,ili tujue mbivu na mbichi!?

Kuhusu Wazanzibary wengi kuwa katika denial kama unavyodai;yawezekana ni kweli. Lakini hiyo yawezasababishwa kutokana na mambo mengi mno na hata pia udhaifu/udhalili wa kimwana-Adam yeyote!?

Nafikiri labda hapo Wazanzibary wanachojaribu kuonyesha ni yakuwa hata kama walikua na mpasuko/matatizo ya ndani ya nchi yao, ambayo kutokana na History ya Zanzibar,hayo matatizo/mpasuko illikua ni lazim uwepo yasingeweza kuepukika asilan....lakini sio kwamba hiyo ndio iwe licence ya kuhalalisha mavamizi ya kutoka "nchi ya kigeni" kijeshi au kusaidia waasi kuleta zogo na mauaji!?

Nafikiri valid point nyingine ya Wazanzibary;ni zile grievances walizonazo kutokana na Nyerere alivyoiendesha na kuing'ang'ania nchi yao kwa kipindi kirefu mno,tena huku akiwanyima haki zao nyingi na kurudisha nyuma kwa kiasi kikubwa maendeleo ya WaTanganyika wenzie!?ahaha!!

Takupa mfano kiduchu;embu angalia jinsi Rais Aboud Jumbe Mwinyi maskini jinsi alivyofanziwa na Nyerere na kusambaratishwa kama vile alikua ni Muhaini!?

Wazanzibary
woote hawakuhusishwa kwa chochote wala lolote,mimi nilikuwapo Zanzibar ule mwaka. Nakumbuka jioni inatangazwa kwenye Tv yakuwa Rais Jumbe ati "amejiuzulu" na atarejea Zanzibar akiwa sio Rais tena bali kuja tu kufungasha virago vyake na kwenda kupumzika pale Mjimwema!?ahaha!!

Kisiwa chote kilikua chini ya standby ya Kijeshi,safari zoote za maji na anga zilizoonekana sio muhimu zilisitishwa kwa siku kadhaa. Kwa kifupi ilikua kama vile kumefanzika Mapinduzi baridi.

Seif Shariff,tunajua alifurahika mno...na ndo alifikiri plan na ndoto zake za kuwa Rais wa Zanzibar wakti huo zingetimia. Kumbe alikua kaghafilika kiduchu yakuwa Nyerere alikua ni political mastermind! "Machele punga" maskini Seif mpaka kesho!ahaha!!

Hata hiyo changamoto ya kudai hiyo Tanganyika iliyopo leo na hata wale G55 waliokua wakiongozwa na Philip Marmo nafikiri wakti ule,hizo zoote ni mojawapao ya matunda na fikra za Rais Jumbe.

Nafikiri unakumbuka jinsi gani Nyerere alivyotumia ubabe na maguvu mengi mno kupingana na madai ya wale G55 ya kutaka iwepo Serikali Tatu ikiwemo ya Tanganyika!?

Kama WaTanzania kweli tungekua wastaarabu na kukumbuka mema basi ilitakiwa Rais Kikwete au Serikali itoe tamko Rasmi la kumtaka radhi Rais Jumbe kwa jinsi alivyodhalilishwa kipindi choote kile huku akionekana kama Muhaini maskini.

kumbe yale yoote aliokua akishauri au alotaka yafanzike ndo leo yamekua ati yanashikiwa mabango na wazandiki wengine wakiongozwa na yule Mzandiki na fitna mkubwa Seif Shariff Hamad na huko Bara/Tanganyika ati nako kuna "Tume ya Katiba" ikiongozwa na Sinde Warioba!?

Kwa kifupi Seif ni mroho tu wa madaraka,kama si hivyo aachie ile ngazi ampe na pia amsaidie kumtangaza mwenzie Juma Ali Duni kule Pemba tena kwa nguvu zoote sio kinafiki...Msomi mkali kushinda yeye na good orator na pia ni Mwanasiasa Nguli azijuaye na kuzimudu fitna zilizomo kwenye siasa za Kizanzibary!?

Nakumbuka kuna wakti niliweka mjadala mkali mno na ndugu zangu tena wa karibu toka Unguja waliponitembelea;basi katikati ya majadiliano akatokea ndugu yangu mmoja mstaarabu tena msomi mzuri...ati akaniomba tutoke nje ya nyumba kiduchu tukapigane/akanipige!?ahaha!! Ati kisa niliwaambia "ukweli mchungu", nakukopa neno lako hapa kiduchu.

Colonel Seif Bakari a.k.a "Kiwavi"...alisimama kwenye kikao cha CC ya NEC ya CCM na kutaka kumzaba Rais Jumbe kibao mbele ya Nyerere na almost full Cabinet ilikuwapo. Seif Bakar,alimwambia Jumbe yakwamba si tulikuambia na kukukataza yakuwa usivunje ASP na wala usikubali kuunganisha vyama asilan,nawe hukutaka kutusikia!? Leo kiko wapi,sisi tunamjua huyo Nyerere fitna na ghilba zake!?

Kumbuka Seif Bakar,na takriban Members woote wa BMZ walimshauri Rais Jumbe yakuwa asikubali asilan kuvunja hata ule Usalama wa Taifa wa Zanzibar na kuunganishwa uwe jambo la Muungano. Lakini nafikiri baada ya kifo cha Karume,ile confidence ya Rais Jumbe ilkua kiduchu mno,ndipo pale Nyerere alichukua advantage na kuanza kumtisha na kumlazimisha na kumsainisha mikataba na mambo kadhaa kinguvu,bila hata ya kufuata sharia za nchi. Vitu ambavyo Nyerere asingethubutu/hakuthubutu kumfanzia au kumlazimisha yule mbabe Baharia Karume!?

Nafikiri sisi soote tunajua yeyote aliekua akihoji chochote au lolote khasa kuhusu Muungano wakti huo ilikua Nyerere anamtia ndani bila hata ya kwenda Mahakamani au kufuata sharia!?ahaha!!

Nafikri unajua baada ya kile kikao kilichomkuta Seif Bakar!? Ilikua katika utawala wa Rais Mwinyi maskini,ndo alokuja kumtoa kizuizini nduguye na kumpa Mkuu wa Wilaya nafikiri.

Hapo sasa ndo tupo hapa jamvini kusikiza kwa utuvu toka kwa Sheikh Mohammed.

Nafikiri tuyaache kwa hapo,na huo pia ni mtazamo wangu kiduchu tu ndugu yangu. Kama kuna yeyote mwenye kutaka source ya hizo khabar tafadhali anijuze!ahaha!!

Kuhusu hao watu ulowaita "Vichwa Maji wafia udini";ni kweli hao watu ni khatar wanapokuwepo popote pale dunia nzima.

Leo tunaona wale wapumbavu kule Syria wanauana wenyewe kwa wenyewe huku mwa-Amerika na Kibaraka wao Saud Royal Family wakiwapeleka kwa remote control!?ahaha!!

Tunaona leo yule mwanaharamu Joseph Kony unyama wake...anabaka,kuuwa,kuchoma na kutesa viumbe vyoote tuvijuavyo tena ana-justify hayo kwa kutumia dini,khalaf ati anafikiri ndio atakwenda kukutana na Bwana Yesu kesho peponi!?ahaha!! Kuna viumbe wapumbavu saana hapa duniani!

Pana mifano na vichekesho vingi mno kila pembe ya dunia. Lakini tuangalie na hapo kwetu japo kiduchu.

Embu angalia ati nimesikia imefikia mpaka watu kufa/kuuana na kufanziana hasama na farka zisizo mipaka hapo Tanganyika...ati kisa wanagombania kuchinja majogoo na ngo'mbe!?ahaha!!

Yaani wa-Afrika sisi ni watu wa ajabu mno,wenzetu wanataka na kuharakisha kuhamia kwenye sayari nyinginezo,sisi ndo kwanza tunauana ati kwa kugombania kuchinja majogooo!?ahaha!!

Nastaajabu,tena kuna mpaka Viongozi kadhaa wa kidini wenye kuheshimika na wenye influence kubwa hapo nchini,ati nao wameamua kujikita kwenye masuala hayo tena huku wakimtaka/wakimtishia na Rais wa nchi aingilie kati kwa haraka,na huku wakimpa ultimatum!?

Takupa mfano kiduchu,wakti nipo mduchu tukikaa pale Mlimani UDSM. Wakti ule takriban majirani zetu woote walikua Wakristo,wenye mapenzi hishma na ustaarabu wa hali ya juu mno.

Rafiki yangu mmojawapo alikua ni Gilbert,mtoto wa Prof. Mbwiliza...Gil alikua kila wakitaka kuchinja kuku anakuja kunitafuta,anakua ametumwa na Mama yao au Baba yao ili nikawachinjie.

Pia walikua wakihakikisha lazim wanikaribishe dinner siku hiyo ili tule na kufurahika pamoja siku hiyo...japo takriban mara zoote nilikua natoa excuse zangu.

Halikadhalika,tulipohama pale pia tulikua na jirani yetu mwingine Mzee mstaarabu mno wa Kihaya,msomi mzuri na Mkristo mtiifu mno akiitwa Mzee Mutakyahwa....nae halikadhalika tuliishi nao vyema na Family zetu zilikua zina mapenzi makubwa mno. Hii khabar ya kuchinja pia niliendelea nayo kwa hawa Mutakyahwa's.

Najua kuna "wasomi wa hali ya juu" hapa jamvini,wanaweza kuona hivi vitu havina maana yeyote na pia waka-over look point fulani. Lakini binafsi naamini yakuwa uhusiano mwema au mbaya siku zoote huanzia baina ya watu au family fulani,majirani au kwenye kijiji/Tarafa kabla yakuwa/haujawa aidha janga au mafao kwaTaifa!

Kwa hiyo binafsi nakhis, kabla ya kulaumiana Ki-Taifa,yatakiwa pia tujikumbushe ule wajibu wetu wa kila siku kwa majirani zetu bila ya kujali viwango vyao vya Ilm,dini zao,matabaka/makabila yao,urangi wao na mengineyo mengi mno.

Niwie radhi kwa nilonena kwenye huo uchechefu wangu,na kama unakhis kuna lolote hukupendezwa nalo tusameheane ndugu yangu.

Ahsanta sana.

Cc;Ritz
 
gombesugu,

..hapana.

..wananchi wa Meru hawakuwa wabinafsi ktk harakati zao za kudai kupokonywa ardhi yao.

..JAPHET KIRILLO, aliyewasilisha madai ya Wameru UN, ni mmoja kati ya waasisi wa chama cha TANU.

..harakati za uhuru wa Tanganyika zilikuwa na "plots" nyingi. Mgogoro wa ardhi wa Meru ni kati ya "plots" hizo zilizowaunganisha wa-Tanganyika kudai uhuru wa nchi yao.

..Japhet Kirilo amepata kunukuliwa akisema hivi: " The eviction woke our people up to the indignity of being ruled by foreigners. Now we nationalists are going to wake up all Tanganyika. "

..habari ya Chief Marealle na UTP ni ndefu kidogo. kuitendea haki kunapaswa kuwe na thread yake maalum.

cc: Nguruvi3, Ritz, Wickama, Yericko Nyerere, Mag3

JokaKuu,

Mimi binafsi taisubiri mno hiyo Thread kama itaanzishwa. Tafadhali naomba sikose kunalika.

Ahsanta sana.
 
Practical step hapo ni kutafuta msaada na kumuua CHUI ili mtego uendelee kuleta kiteweo. Lau kama ana mitego mingine kwenye pori hilohilo basi haigombi kushughulikia hiyo ambayo hajaingia chui. Nukta.

Wickama,
Umeiona adha yake.
 
JokaKuu,

Natanguliza shukran zangu za dhati kwako ndugu yangu.

Nakubaliana na mengi ulonena na pia nakufahamu uzuri mno. Nafikiri unakumbuka tahadhari nilowahi kutoa mimi binafsi kwa kuonyesha mfano wa Sudan wakti najadiliana na ndugu yangu Nyambala,I think it was only on my second week here/Jamvini!?

Nimecheka kiduchu kwa hilo neno ulotumia "Mpasuko"!ahaha!! Najua unajitahidi usiwakere nduguzo Wazanzibary wakaja kukuvamia hapa jamvini bure bileshi!?ahaha!!

Nafikiri ni neno zuri mno hilo "mpasuko"..."mpasuko wa Zanzibar". Kwa kifupi sisi tulobaki ni wasindikizaji lakini vinara wa kutunyambulia kwa kina ni ma-Historians,ndo maana ni muhimu kumpata Sheikh Mohammed hapa jamvini nasi tukamuuliza maswali ya kina na kiundani katika hali ya uungwana na ustaarabu,ili tujue mbivu na mbichi!?

Kuhusu Wazanzibary wengi kuwa katika denial kama unavyodai;yawezekana ni kweli. Lakini hiyo yawezasababishwa kutokana na mambo mengi mno na hata pia udhaifu/udhalili wa kimwana-Adam yeyote!?

Nafikiri labda hapo Wazanzibary wanachojaribu kuonyesha ni yakuwa hata kama walikua na mpasuko/matatizo ya ndani ya nchi yao, ambayo kutokana na History ya Zanzibar,hayo matatizo/mpasuko illikua ni lazim uwepo yasingeweza kuepukika asilan....lakini sio kwamba hiyo ndio iwe licence ya kuhalalisha mavamizi ya kutoka "nchi ya kigeni" kijeshi au kusaidia waasi kuleta zogo na mauaji!?

Nafikiri valid point nyingine ya Wazanzibary;ni zile grievances walizonazo kutokana na Nyerere alivyoiendesha na kuing'ang'ania nchi yao kwa kipindi kirefu mno,tena huku akiwanyima haki zao nyingi na kurudisha nyuma kwa kiasi kikubwa maendeleo ya WaTanganyika wenzie!?ahaha!!

Takupa mfano kiduchu;embu angalia jinsi Rais Aboud Jumbe Mwinyi maskini jinsi alivyofanziwa na Nyerere na kusambaratishwa kama vile alikua ni Muhaini!?

Wazanzibary
woote hawakuhusishwa kwa chochote wala lolote,mimi nilikuwapo Zanzibar ule mwaka. Nakumbuka jioni inatangazwa yakuwa Rais Jumbe ati amejiuzulu na atarejea Zanzibar akiwa sio Rais tena bali kuja tu kufungasha virago vyake na kwenda kupumzika pale Mjimwema!?ahaha!!

Kisiwa chote kilikua chini ya standby ya Kijeshi,safari zoote za maji na anga zilizoonekana sio muhimu zilisitishwa kwa siku kadhaa. Kwa kifupi ilikua kama vile kumefanzika Mapinduzi baridi.

Seif Shariff,tunajua alifurahika mno...na ndo alifikiri plan na ndoto zake za kuwa Rais wa Zanzibar wakti huo zingetimia. Kumbe alikua kaghafilika kiduchu yakuwa Nyerere alikua ni political mastermind! "Machele punga" maskini Seif mpaka kesho!ahaha!!

Hata hiyo changamoto ya kudai hiyo Tanganyika iliyopo leo na hata wale G55 waliokua wakiongozwa na Philip Marmo nafikiri wakti ule,hizo zoote ni mojawapao ya matunda na fikra za Rais Jumbe.

Nafikiri unakumbuka jinsi gani Nyerere alivyotumia ubabe na maguvu mengi mno kupingana na madai ya wale G55 ya kutaka iwepo Serikali Tatu ikiwemo ya Tanganyika!?

Kama WaTanzania kweli tungekua wastaarabu na kukumbuka mema basi ilitakiwa Rais Kikwete au Serikali itoe tamko Rasmi la kumtaka radhi Rais Jumbe kwa jinsi alivyodhalilishwa kipindi choote kile huku akionekana kama Muhaini maskini.

kumbe yale yoote aliokua akishauri au alotaka yafanzike ndo leo yamekua ati yanashikiwa mabango na wazandiki wengine wakiongozwa na yule Mzandiki na fitna mkubwa Seif Shariff Hamad na huko Bara/Tanganyika ati nako kuna "Tume ya Katiba" ikiongozwa na Sinde Warioba!?

Kwa kifupi Seif ni mroho tu wa madaraka,kama si hivyo aachie ile ngazi ampe na pia amsaidie kumtangaza mwenzie Juma Ali Duni kule Pemba tena kwa nguvu zoote sio kinafiki...Msomi mkali kushinda yeye na good orator na pia ni Mwanasiasa Nguli azijuaye na kuzimudu fitna zilizomo kwenye siasa za Kizanzibary!?

Nakumbuka kuna wakti niliweka mjadala mkali mno na ndugu zangu tena wa karibu toka Unguja waliponitembelea;basi katikati ya majadiliano akatokea ndugu yangu mmoja mstaarabu tena msomi mzuri...ati akaniomba tutoke nje ya nyumba kiduchu tukapigane/akanipige!?ahaha!! Ati kisa niliwaambia "ukweli mchungu", nakukopa neno lako hapa kiduchu.
Colonel Seif Bakari a.k.a "Kiwavi"...alisimama kwenye kikao cha CC ya NEC ya CCM na kutaka kumzaba Rais Jumbe kibao mbele ya Nyerere na almost full Cabinet ilikuwapo. Seif Bakar,alimwambia Jumbe yakwamba si tulikuambia na kukukataza yakuwa usivunje ASP na wala usikubali kuunganisha vyama asilan,nawe hukutaka kutusikia!? Leo kiko wapi,sisi tunamjua huyo Nyerere fitna na ghilba zake!?

Kumbuka Seif Bakar,na takriban Members woote wa BMZ walimshauri Rais Jumbe yakuwa asikubali asilan kuvunja hata ule Usalama wa Taifa wa Zanzibar na kuunganishwa uwe jambo la Muungano. Lakini nafikiri baada ya kifo cha Karume,ile confidence ya Rais Jumbe ilkua kiduchu mno,ndipo pale Nyerere alichukua advantage na kuanza kumtisha na kumlazimisha na kumsainisha mikataba na mambo kadhaa kinguvu,bila hata ya kufuata sharia za nchi. Vitu ambavyo Nyerere asingethubutu/hakuthubutu kumfanzia au kumlazimisha yule mbabe Baharia Karume!?

Nafikiri sisi soote tunajua yeyote aliekua akihoji chochote au lolote khasa kuhusu Muungano wakti huo ilikua Nyerere anamtia ndani bila hata ya kwenda Mahakamani au kufuata sharia!?ahaha!!

Nafikri unajua baada ya kile kikao kilichomkuta Seif Bakar!? Ilikua katika utawala wa Rais Mwinyi maskini,ndo alokuja kumtoa kizuizini nduguye na kumpa Mkuu wa Wilaya nafikiri.

Hapo sasa ndo tupo hapa jamvini kusikiza kwa utuvu toka kwa Sheikh Mohammed.

Nafikiri tuyaache kwa hapo,na huo pia ni mtazamo wangu kiduchu tu ndugu yangu. Kama kuna yeyote mwenye kutaka source ya hizo khabar tafadhali anijuze!ahaha!!

Kuhusu hao watu ulowaita "Vichwa Maji wafia udini";ni kweli hao watu ni khatar wanapokuwepo popote pale dunia nzima.

Leo tunaona wale wapumbavu kule Syria wanauana wenyewe kwa wenyewe huku mwa-Amerika na Kibaraka wao Saud Royal Family wakiwapeleka kwa remote control!?ahaha!!

Tunaona leo yule mwanaharamu Joseph Kony unyama wake...anabaka,kuuwa,kuchoma na kutesa viumbe vyoote tuvijuavyo tena ana-justify hayo kwa kutumia dini,khalaf ati anafikiri ndio atakwenda kukutana na Bwana Yesu kesho peponi!?ahaha!! Kuna viumbe wapumbavu saana hapa duniani!

Pana mifano na vichekesho vingi mno kila pembe ya dunia. Lakini tuangalie na hapo kwetu japo kiduchu.

Embu angalia ati nimesikia imefikia mpaka watu kufa/kuuana na kufanziana hasama na farka zisizo mipaka hapo Tanganyika...ati kisa wanagombania kuchinja majogoo na ngo'mbe!?ahaha!!

Yaani wa-Afrika sisi ni watu wa ajabu mno,wenzetu wanataka na kuharakisha kuhamia kwenye sayari nyinginezo,sisi ndo kwanza tunauana ati kwa kugombania kuchinja majogooo!?ahaha!!

Nastaajabu,tena kuna mpaka Viongozi kadhaa wa kidini wenye kuheshimika na wenye influence kubwa hapo nchini,ati nao wameamua kujikita kwenye masuala hayo tena huku wakimtaka/wakimtishia na Rais wa nchi aingilie kati kwa haraka,na huku wakimpa ultimatum!?

Takupa mfano kiduchu,wakti nipo mduchu tukikaa pale Mlimani UDSM. Wakti ule takriban majirani zetu woote walikua Wakristo,wenye mapenzi hishma na ustaarabu wa hali ya juu mno.

Rafiki yangu mmojawapo alikua ni Gilbert,mtoto wa Prof. Mbwiliza...Gil alikua kila wakitaka kuchinja kuku anakuja kunitafuta,anakua ametumwa na Mama yao au Baba yao ili nikawachinjie.

Pia walikua wakihakikisha lazim wanikaribishe dinner siku hiyo ili tule na kufurahika pamoja siku hiyo...japo takriban mara zoote nilikua natoa excuse zangu.

Halikadhalika,tulipohama pale pia tulikua na jirani yetu mwingine Mzee mstaarabu mno wa Kihaya,msomi mzuri na Mkristo mtiifu mno akiitwa Mzee Mutakyahwa....nae halikadhalika tuliishi nao vyema na Family zetu zilikua zina mapenzi makubwa mno. Hii khabar ya kuchinja pia niliendelea nayo kwa hawa Mutakyahwa's.

Najua kuna "wasomi wa hali ya juu" hapa jamvini,wanaweza kuona hivi vitu havina maana yeyote na pia waka-over look point fulani. Lakini binafsi naamini yakuwa uhusiano mwema au mbaya siku zoote huanzia baina ya watu au family fulani,majirani au kwenye kijiji/Tarafa kabla yakuwa/haujawa aidha janga au mafao kwaTaifa!

Kwa hiyo binafsi nakhis, kabla ya kulaumiana Ki-Taifa,yatakiwa pia tujikumbukushe wajibu wetu wa kila siku kwa majirani zetu bila ya kujali viwango vyao vya Ilm,dini zao,matabaka/makabila yao,urangi wao na mengineyo mengi mno.

Niwie radhi kwa nilonena kwenye huo uchechefu wangu,na kama unakhis kuna lolote hukupendezwa nalo tusameheane ndugu yangu.

Ahsanta sana.

Cc;Ritz

Al Habiby gombesugu,

Nimefurahi sana kukuona walaahi hii bayana yako Allah, atakulipa umeandika mambo mengi sana ya ujenzi nimekusoma kwa ushui ni mpini wa maana sana, basi na mie sikuachi hivi hivi nakuacha na bayana kutoka kwa ndugu yetu wa Chadema Mag3, hatari, ha haa haa.
Kulingana na gazeti la Majira la leo ASKOFU wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka tena na kutangaza mapambano mapya dhidi ya mafisadi huku akidai nchi imeoza na kamwe kanisa halitakaa kimya na kulea hali hiyo.

  • Asema kamwe kanisa halitakubali kunyamaza.
  • Asema watapambana na ufisadi hadi mwisho.
  • Aapa kupambana na yeyote anayetetea uovu.
  • Asema Katoliki haliandai mgombea Urais mwaka 2010.
  • Adai anayeogopa waraka wa Kanisa ni Fisadi.
Kama hii haitoshi basi chukuwa na hii.
Yalisemwa na Chadema mwaka 2010 lakini wakabana, sasa joto la M4C linaanza kuwachoma...taratibu watajivua nguo moja baada ya mwingine. Kama vipofu walidai haiwezekani, M4C imewaondolea wingu lililowaziba macho...
ha haa haaa chukuwa na hii.
Hizi ni salaam kwa magamba popote walipo
Kila aina ya hujuma, wizi na ufisadi muufanyao
Kwa kutumia rushwa, takrima, ulaghai na posho
Kuwapakazia wapigania haki shutuma za uwongo
Lazima mjue kuwa kuna siku mtadaiwa malipo
Hiyo siku yawezekana isiwe mbali bali ni kesho
Hawa wananchi waliojawa hasira na kinyongo
Hawatakuwa na huruma kwa yote myafanyayo
Adhabu itakayowafaa magamba si nyingine bali kifo.

IMG_1702.JPG

Hawa hawa CCM mnawaowatukana mkiwa na njaa mnakwenda kwa makada wa CCM kuomba pesa angalia hapa chini kada wa CCM Sabodo wanawapa hundi, ha haa haaa njaa mbaya sana.
786801167.jpg
 
gombesugu,

..hapana.

..wananchi wa Meru hawakuwa wabinafsi ktk harakati zao za kudai kupokonywa ardhi yao.

..JAPHET KIRILLO, aliyewasilisha madai ya Wameru UN, ni mmoja kati ya waasisi wa chama cha TANU.

..harakati za uhuru wa Tanganyika zilikuwa na "plots" nyingi. Mgogoro wa ardhi wa Meru ni kati ya "plots" hizo zilizowaunganisha wa-Tanganyika kudai uhuru wa nchi yao.

..Japhet Kirilo amepata kunukuliwa akisema hivi: " The eviction woke our people up to the indignity of being ruled by foreigners. Now we nationalists are going to wake up all Tanganyika. "

..habari ya Chief Marealle na UTP ni ndefu kidogo. kuitendea haki kunapaswa kuwe na thread yake maalum.

cc: Nguruvi3, Ritz, Wickama, Yericko Nyerere, Mag3

Joka Kuu,
Nisome hapo chini kiduchu niloandika katika kitabu changu ni kisa kirefu lakini tosheka na hiki
kipande:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] The Meru Land Evictions, 1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] After the departure of Dr Kyaruzi to Nzega, Abdulwahid became TAA secretary and acting president. The Meru land evictions [1] had begun but had not yet become a territorial issue.

When the United Nations sent its second visiting mission to Tanganyika in 1950, the people of Meru duly submitted their petition to it.

Abdulwahid
approached African members of the Legislative Council and asked them to cooperate with TAA in solving some of the problems facing the African community.

Abdulwahid was saddened and disappointed by their failure to oppose the Wilson Report which had recommended mass eviction of the Meru people from their land.

In a letter to the Meru Citizens' Union on behalf of the TAA headquarters, Abdulwahid assured the people of Meru of the support and solidarity from all the people of Tanganyika.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Abdulwahid decided to use the Meru land evictions to unite all Tanganyikans against the colonial government. Its decision to ignore the TAA memorandum to the Constitutional Development Committee was still fresh in his mind, and he realised that the Governor's decision was a calculated move to keep Africans in perpetual bondage.

With ardent zeal Abdulwahid started to work in a way that would mobilize the people of Tanganyika under a popular mass movement. He contacted Earle Seaton in Moshi to seek legal advice on the Meru problem.

Seaton traveled to Dar es Salaam and had a meeting with Abdulwahid and the Association's leadership. It was mutually agreed that the TAA headquarters and the Meru Citizens' Union led by Japhet Kirilo and Seaton should coordinate their activities on the case and send an appeal to the United Nations Trusteeship Council in New York.

The TAA leadership had by now realised that their salvation depended on their ability to control and influence events and decisions in the Legislative Council; and to be able to do so pressure had to be exerted at the Trusteeship Council in New York and not at the Colonial Office in London.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] For a detailed account of the Meru Land Case, see Kirilo Japhet and Earle Seaton,
The Meru Land Case, (Nairobi, 1966).
 
Wickama,
Umeiona adha yake.

Nadhani usiwe too philosophical kwenye hili. Mitego ya porini haina warning marks kuwaonya un-targeted animals out. Ni issue ya chances. Vitani kuna "collateral damage au tena killed by friendly fire". Ndiyo umbile la dunia. Ninayo documentary inayoonyesha Simba akimpa protection mtoto-kichanga wa nyumbu asiliwe na fisi baada ya mama nyumbu kumkimbia simba asimle!!!!
 
Al Habiby gombesugu,

Nimefurahi sana kukuona walaahi hii bayana yako Allah, atakulipa umeandika mambo mengi sana ya ujenzi nimekusoma kwa ushui ni mpini wa maana sana, basi na mie sikuachi hivi hivi nakuacha na bayana kutoka kwa ndugu yetu wa Chadema Mag3, hatari, ha haa haa.

Kama hii haitoshi basi chukuwa na hii.

ha haa haaa chukuwa na hii.

IMG_1702.JPG

Hawa hawa CCM wanaotukana wakuwa na njaa wanakwenda kuomba pesa kwa makada wa CCM angalia hapa chini.
786801167.jpg

Shariff Ritz,

Salaam Al Akhiy.

Wallahi,nimecheka yale maneno na vitisho vya Muheshimiwa Mag3!ahaha!!

Yoote nimeona na pia nakushukuru mno Al Akhiy kwa kunifumbua macho kwa mengi yanipitayo hapo.

Lakini jamaa zako wa Chadema yaelekea hawakupendi pita kiasi,lakini pia wasipokuona huwa hawana raha maskini!?ahaha!!...They can't live without you anymore!ahaha!!
Nilikua nachungulia baadhi ya Threads leo,basi naona Chadema wengine wanakuachia matusi na kashfa...wengine wanasikitika hujajibu posts zao na ati hawajakusikia kitambo!?ahaha!!

Mimi binafsi nataka nifanze online petition ili CCM Taifa/Serikali itambue rasmi mchango wako na kukupatia Medali ya Ushujaa wa Taifa letu tukufu!?ahaha!!...

Nafikiri "Cabinet Members watarajiwa" wa Chadema, Waheshimiwa Mag3 na Nguruvi3 wakisikia umepata medali kwa kupambana na kuwashinda wao humu Jf,najua lazim watajipiga kitanzi tena woote kwa pamoja!?ahaha!!

Ahsanta.
 
Shariff Ritz,

Salaam Al Akhiy.

Wallahi,nimecheka yale maneno na vitisho vy Muheshimiwa Mag3!ahaha!!

Yoote nimeona na pia nakushukuru mno Al Akhiy kwa kunifumbua macho kwa mengi yanipitayo hapo.

Lakini jamaa zako wa Chadema yaelekea hawakupendi pita kiasi,lakini pia wasipokuona huwa hawana raha maskini!?ahaha!!...They can't live without you anymore!ahaha!!
Nilikua nachungulia baadhi ya Threads leo,basi naona Chadema wengine wanakuachia matusi na kashfa...wengine wanasikitika hujajibu posts zao na ati hawajakusikia kitambo!?ahaha!!

Mimi binafsi nataka nifanze online petition ili CCM Taifa/Serikali itambue rasmi mchango wako na kukupatia Medali ya Ushujaa wa Taifa letu tukufu!?ahaha!!...

Nafikiri "Cabinet Members watarajiwa" wa Chadema, Waheshimiwa Mag3 na Nguruvi3 wakisikia umepata medali kwa kupambana na kuwashinda wao humu Jf,najua lazim watajipiga kitanzi tena woote kwa pamoja!?ahaha!!

Ahsanta.
Al Habiby gombesugu,

Angalia na hii Mwenyekiti wa Chadema kaenda kuuomba pesa kwa wazee wa Madrassa, ha haa haa ha chezea njaa.
SABODO+AKILONGA.JPG
 
Last edited by a moderator:
Hili suala naona limewachoma sana watu.
Kwanza niwape pole kwa maumivu makali bila kuomba msamaha wa hoja yangu. Inasimama kama ilivyo!
Sijisikii ukakasi au hofu ninapokuwa katika Jugular vein! ha ha ha

Narudia tena, hebu jaribuni kuelewa kile anachosema mtu.
Nimeandika huko nyuma kwa dhati kabisa kuwa Sijamuomba Mohamed alete au ataje source, nikasema hata title, paper au kitabu asitaje, ataje muda wa hiyo source tena kwa range(1976-1986 kwa mfano) ili tulinganishe na hoja zangu. Hakufanya hivyo

Nikategua kitendawili kwa kuonyesha kuwa hakukuwa na source na hivyo yeye kusema ''samahani sitataja source'' ni kudanganya jamvi na ilikuwa ni kuonyesha majigambo ya source kitu ambacho si kweli ili kukwepa hoja ya Mapinduzi.

Alichokifanya ni kujibu suala la Mapinduzi kwa maoni yake(kama kila mtu anavyofanya) halafu akadanganya kuwa source ni nyeti sana. Kwanini lakini? Kuna tabu gani kutoa maoni binafsi hadi mtu ajifiche ifche kwa uongo?

Hakuna source, source ni yeye na kuna ubaya gani mtu akisema abcd ni maoni yake pekee.

Sasa badala ya matusi watu wange thibitisha kuwa nilichokisema hapo si kweli.
Tarbiya islam na tarbiya al adab hazimruhusu mtu kurukia matusi na matusi ndiyo silaha ya mwisho ya mnyonge wa hoja.
Kwa waliosoma ilm kama mzee Said wanajua tarbia na adab za mnakasha! Muulizeni kasoma kwa sheikh Haruna!

Kwangu mimi kadri mnavyotukana ndivyo hoja yangu inavyosimama yenyewe na nawashukuru sana kwa msaada huo.

Muheshimiwa Nguruvi3,

Unajua leo ni siku kadhaa unadai kuna "watu fulani"/Wanajamvi wanakutukana,hivi ni wepi hao!?...nime-BOLD hapo juu

Embu tutajie au onyesha hayo matusi yao,nami binafsi takusaidia kuwashtaki kwa hao kina Mods!?

Au unajaribu kutumia tu ghilba za kimjadala ili uzidi kupata sympathy ndugu yangu!? Kama ni hivyo tumekuelewa!ahaha!!

Kuna mtu bingwa wa matusi kama wewe? labda waambie ambao hawakufahamu tatizo ukiwa unatukana Chadema wenzako wanakugomgea LIKE tu ngoja niweke kiduchu matusi yako, najua lazima utalialia kuwa nafanya Spinning kama kawaida yako sababu haujauzoesha ubongo wako kukusolewa, wanaukumbi hapa chini msomeni Nguruvi3, anavyotoa darsa na watu wanafyonza ilm.

Na wewe utuletee hotuba Nyerere aliyosema hamjui Abdul Sykes.
Jokakuu kaweka kipande cha hotuba, tuambie kama ni kweli au si kweli kwanza.
Halafu lete ushahidi wa madai yako. Hatupo hapa kusoma majina ya watu tupo hapa kufanya mnakasha wenye substance siyo uzandiki, uzushi na uongo.

Mnakasha haujafikia mwisho. Kuna maswali yangu ''yasiyo na maana'' hujajibu. Maswali ya Mag3. Mwanakijiji na wengine kwa uchache wa kuwataja.

Unaona nguo zimeshavuliwa sasa unaogopa tissue isijepita katika ya maungo kukusafisha ili usiinajisi jamii zaidi.
Usikimbie maana uongo na uzushi sasa umefikia hatima!

Jibu maswali na hoja hatuhitaji kusikia ngano za Tatu Said, Mwanameka Mohamed n.k.
tetea hoja tena kwa mantiki na akili, acha kukata vipande vya kitabu chako ambacho ni uzushi huku ukitufanya tuamini ni reference. Huwezi kuweka uongo na uzushi halafu ukaufanyia reference!

Tupo hapa hatuondoki ili kuitendea jamii haki.Kuisadia jamii iliyopotoshwa na kudhibiti uzushi.

Mohamed Said Abdallah Salum Muyukwa Mwekapopo Samtungo, jibu hoja na maswali. Tetea hoja zako kwa ushahidi.
ha ha haa haaa, Wanaukumbi hapa chini anajifanya muungwana JF kuna vituko sana.
Kwangu mimi kadri mnavyotukana ndivyo hoja yangu inavyosimama yenyewe na nawashukuru sana kwa msaada huo.
 
Last edited by a moderator:
Sweet Ritz kauli ya Mohamed Said kwamba hakuna mmanyema mkristo ni kweli???? huku tulipo imeleta mjadala mkali and so far we have no answers
 
Last edited by a moderator:
[/B]
Muheshimiwa Nguruvi3,

Unajua leo ni siku kadhaa unadai kuna "watu fulani"/Wanajamvi wanakutukana,hivi ni wepi hao!?...nime-BOLD hapo juu

Embu tutajie au onyesha hayo matusi yao,nami binafsi takusaidia kuwashtaki kwa hao kina Mods!?

Au unajaribu kutumia tu ghilba za kimjadala ili uzidi kupata sympathy ndugu yangu!? Kama ni hivyo tumekuelewa!ahaha!!

Ahsanta sana.

Cc;Ritz

Al Habiby gombesugu,
Sijakupata hapa chini unasemaaaa!!!!!
Embu tutajie au onyesha hayo matusi yao,nami binafsi takusaidia kuwashtaki kwa hao kina Mods!?
Haya hapa chini...ha haa haa.
Unaona nguo zimeshavuliwa sasa unaogopa tissue isijepita katika ya maungo kukusafisha ili usiinajisi jamii zaidi.
 
Mkuu Nguruvi3

Kuna kanafasi ambako wenzetu wanahisi wamekapata kakupumulia,

Lakini ukweli nikuwa hawajapa pa kupumulia hata chembe!

Kuwa mvumilivu na mtulivu!
 
Nasikitika kuona uwezo wa Ritz kifra na kitungamo ni mdogo sana!

Mpaka itia aibu!

Lakini kwakuwa ni binadamu anaepumua basi tujitahidi na twende nae taratibu na tumzoee!
 
Nguruvi; Nikuwa mzee Mohammed Said alitaka kujibu yale maswali kijanja bila marejeo. Nilikubaliana naye kuwa KITABU na PAPERS ataonyesha katoa wapi. Hilo hakujali. Mahali pekee nilipomkubalia ilikuwa kama ni maoni yake ASEME ni maoni yake.

In principle kama unahisi umepewa PRIVILEDGED information ambayo pia ni siri kubwa hutakiwi kutoa abstracts zake. Ndio maana bado nasubiri definition yake ya THE LARGER PICTURE. Hii ni statement ya nani.

By the way kwa hiari yake alishaiwacha hiyo mada ya zenj na maswali akakataa kujibu. I wonder round two ita-achieve nini bila yale majibu.
Wickama, hiki ndicho nimekiandika ! inaniwia tabu sana kuona baadhi yetu hawasomi kwa ufahamu bli kutafuta mahali ilimradi tu wamtaje Nguruvi3 'public enemy number 1'. Awaye anaweza kunichukia hilo halina tabu, lakini asichukie hadi hoja zinazopiga katika mtima.

Kuhusu Zanzibar ni wazi kuwa Mohamed na hadithi za Kipumbwi zinaishia hapo hapo baada ya wamakonde kupanda dau usiku wa mbaramwezi. Baada ya hapo logic hazikubali kabisa na kama zinakubali kinachofuata ni matusi kwa wznz.

Sitarajii kama ataweza kusimama mahali penye watu na akili zao akaleta hoja ya Kipumbwi tena!
Maoni yake ambayo ni haki yake sasa ameamua kuyaficha kwa kutumia neno ''source''.

Mtu anaposhindwa kusimama na kusema ''maoni yangu ni....'' ujue kifikra yu dhofli na anahitaji mapunziko.

Baada ya kuonyesha ukweli hapo juu kuhusu article, mbinu zinatumika kubadili mada. Mbinu ya kwanza ni kutupa vipande vya karatasi kwa wiiingi kama unavyoona meru. Mbinu ya pili ni kuweka mipicha miiingi! na mbinu ya tatu ni kuondoa wahusika katika mada kama alivyoonyesha Gombesugu. Ikishindikana basi matusi kwasababu hayahitaji ilim ni kinywa tu

The message ni kuwa Mohamed Said kaongopa kuhusu source na wala hakuwa na sababu za kutumia neno source kwa maoni yake. Hana sababu za kuogopa kivuli chake! Kwanini awe na Ushujaa wa kubeba mkoba hadi Ibadan mebele ya waomi na ushujaa huo upotee hapa Jamvini!!!

Mohamed ametunga hadithi za Kipumbwi na kushindwa kuzitetea.

Tutasimama kuhakikisha kuwa kizazi kijacho hakiingii katika lindi la ufukir wa fikra kama baadhi yetu wanavyojidhihiri.
Hatuwezi kuwasadia hawa waliodumazwa na kuvia, tunatakiwa tuzuie uharibifu zaidi, dalili njema zinaonekana
Miaka 15 ya utunzi kwa jina la historia ni mingi sana kumeza ngano!
 
Mkuu Nguruvi3

Kuna kanafasi ambako wenzetu wanahisi wamekapata kakupumulia,

Lakini ukweli nikuwa hawajapa pa kupumulia hata chembe!

Kuwa mvumilivu na mtulivu!
Ha ha ha ha, Nicholas husema tunakwenda kwenye Jugular vein, na hakika jamvi linaona hilo.

Unajua mimi ni public enemy number 1, kwahiyo najua vijana baada ya kushindwa kusimama katika hoja watatafuta eneo wenye utaalam nalo la matusi n.k. Huko sitakwenda kwasababu si kiwango na pia nitapoteza muda wa kumshughulikia mzee.
Mzee anajua kuwa akiweka hoja lazima ajiandae, si unaona anaogopa hata kusema 'maoni yangu'' anaogopa kivuli chake. ha! mnakasha unanyoosha watu!

I'm calm and composed, focus yangu ni kusaidia kizazi kijacho na hakika nafarijika na hilo!
 
Back
Top Bottom