Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Ooooho asante sana ndugu yangu!
 
 
Usikasirike mimi siyo kina Nguruvi3, Mag3, Wickam ukimwaga ngano nimeze tu.

Kilisajiliwa wapi hicho chama na ofisi zake zilikuwa wapi hapa Tanganyika Musoma au Tarime?
Ngano za mzee wa hovyo na mpuuzi MS kwakuwa zimejaa udini hizo huwa unazimeza kama uji!
 
Pole kijana!
 
Sheikh Mohamed Said,

Tupe darsa la mkutano wa Pan African Congress wa Rhodesia ya Kaskazini 1953.
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Mohamed Said,

Tupe darsa la mkutano wa Pan African Congress wa Rhodesia ya Kaskazini 1953.
 
Last edited by a moderator:

Amma kweli, mwenye macho haambiwi tazama!

Kwa lipi zaidi? Hukuwa na moja la maana zaidi ya kumpaisha Mohamed Said na historia ya kweli imejulikana na wengi zaidi.

Jee, ukimjuwa Mshume Kiyate kabla ya kumsoma Mohamed Said?
 
Shariff Ritz,
In Sha Allah nitakuwekea.

Hiyo ni movie khasa na siku Ally Sykes aliporejea na Denis
Phombeah Nyerere alikuwapo uwanja wa ndege kuwapokea.
 
Yericko,
Hiyo ndiyo miba iliyowachoma rafiki zako Wamerekani.

Tena wakati nawasilisha wapo na digital tape zao na
camera zina roll...

Sikuchukua duru nikabambwa Uwanja wa Mwalimu
Nyerere natokea Tehran kwenye hawli ya Imam Khomeni.
 
Wanajamvi,
"Asogelei" hivi ndivyo nisemavyo toka nimezaliwa.

"Hasogelei" hii inaweza ikawa sawa kwa Kiswahili
cha bara.

Mimi hujitahidi kusahihisha lakini nadhani hii ni
kutokana na athari ya asili ya mtu.

Kuna mahali nimesoma "kauri" badala ya "kauli."

Wa kuamua kuwa nani Kiswahili chake safi ni nani?
 
Yericko,
Nimekutajia viongozi wa Mau Mau.

Huna lolote la kusema ila hayo yako?
Hebu kisome "Roots of Freedom" cha
Bildad Kaggia.

Acha utoto kuwa makini hii ndiyo nafasi
yako ya kujifunza.

Hao ndiyo watu alojuananao Ally Sykes
na wakajaunganisha nguvu zao dhidi ya
ukoloni wa Waingereza.

Vipi wewe hupendi kuwajua marafiki wa
baba yako alokuwanao bega kwa bega kuunda
TANU?
 
leo ndio nimefungua hii thread!nahisi wachangiaji wanaojibizana hapa siwazima upstairs!ukishajua historia itakupeleka wapi?nahisi wengi wenu mmekuwa watumwa wa wanasiasa bila kujijua!fanyeni mambo yenu ya msingi na maendeleo sio porojo ambazo hazitatufikisha popote!
nawasilisha
c.c zomba Mohamedsaid Ritz Nguruvi3 @yerickonyerere
 
Last edited by a moderator:
Yericko,
Nimekutajia viongozi wa Mau Mau.

Huna lolote la kusema ila hayo yako?
Hebu kisome "Roots of Freedom" cha
Bildad Kaggia.

Acha utoto kuwa makini hii ndiyo nafasi
yako ya kujifunza.

Hao ndiyo watu alojuananao Ally Sykes
na wakajaunganisha nguvu zao dhidi ya
ukoloni wa Waingereza.

Vipi wewe hupendi kuwajua marafiki wa
baba yako alokuwanao bega kwa bega kuunda
TANU?
 
GOAT Mohamed Said,

Rusha mipini ya historia ya Tanganyika watu tupate darsa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…