Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Sweet Ritz kauli ya Mohamed Said kwamba hakuna mmanyema mkristo ni kweli???? huku tulipo imeleta mjadala mkali and so far we have no answers
Son, hili mbona tulishafunga chapter.
Imedhihirika bila shaka kuwa wapo Wamanyema ambao ni wakristo. Ukatajwa ukoo wa Msulwa(kama sijakosea ) ambao ni Wakristo.

Kama ilivyo Ibadan, Kipumbwi, ufisadi wa nyumba, ujio wa Nyerere n.k. hili nalo Mohamed Said alikiri kuwa halikuwa na ukweli. Tukawa tumekisadia kizazi kijacho.

Kwa ufupi, Wamanyema wapo katika kila sehemu kama jamii zingine.
Kwamba walikuja kuikomboa Tanganyika hilo nalo limehitimishwa si kweli.

Kwamba walishiriki ukombozi kama raia wengine hilo laweza kuwa kweli, kwamba walishirikiana na familia ya Sykes kupaka rangi nyumba ya D.Cameron siku ya jumapili na kuitafisha kuwa yao, sina ujuzi nalo na wala sina source hata yangu mwenyewe
 


Gimme a break,I thought this is supposed to be a healthy debate/conversation!?

I don't get the premise of your first question,are you suggesting that all Wagogo and Hehes are Non Muslims or are they all Christians!? Why would you brought up this Udini business on my face anyway!?

Well,let me amplify a bit for you,or shall I say hammer into your skull so bloody hard!

There's a clear distinction between stereotypes/prejudices against Wagogo and Hehes in those days,and institutionalized/systematic barriers which are faced by Muslims in Tanganyika/Tanzania todate,as described meticulously in many of Sheikh Mohammed's writings.

I'm afraid you misunderstood my post again!

Why should we have to move on!? Should we know our History too,shouldn't our generations have the right to know our History!?

You and your ignorant remarks,is the main reason we need to know more of our History not forget!

Ahsanta sana.

Cc;Ritz
 



It's sad and perplexing to read the arrogance and exaggeration perpetrated by your silly remarks,using lies and flawed analysises to besmirch an entire Muslim Society.

You have no substantial opinion and your silly remarks always bear no merits.

You are sort of a person who shouldn't be able to say anything about anything.

Same as a person that don't know anything!

Shut the hell up and sit your empty head down!

Your illusionary ghost seeing head has no ground to stand on. People like you are not interested in truth or constructive/civil debate,but being arrogant no matter what...

Nicholas,you are de-humanising our Muslim Brothers and Sisters almost in every single post,and do you really think is funny!? Why don't you piss off to that Jukwaa la Udini/Jf thing!?

What I'm trying to say is until you stop looking to heal the symptom without attacking/getting rid of the cause,you will never heal!

Ahsanta sana.

Cc;Ritz
 
Nasikitika kuona uwezo wa Ritz kifra na kitungamo ni mdogo sana!

Mpaka itia aibu!

Lakini kwakuwa ni binadamu anaepumua basi tujitahidi na twende nae taratibu na tumzoee!

Yericko Nyerere,

Ha haa haa unachezea Colt M16A2mm, 10.5 Fully automatic Machine Gun, unategemea nini.
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma huu mnakasha toka mwanzo hadi sasa,MS ni msimuliaji mzuri,lakini contents na style ya maandishi yake,inaonekana dhahiri ni kutaka kupasha moto tabaka la waumini fulani wa kiislamu,ili wajione ni waliodhulumiwa!! HATOI SOLUTION YOYOTE baada ya kuukoka moto huo, JE ANATAKA KITOKEE NINI? Mwanzoni mwa mnakasha nilikuwa nakubali sana uliyoandika, lakini muda ulivyokwenda zaidi 'historia yako' ilififishwa mno na hoja za baadhi ya wanajamvi na baadaye nikaja nikaisoma rangi yako halisi na madhumuni yako kwa taifa letu.kuwa makini unachokifanya si kizuri.
 

Naona umeamua kujiliwaza na kujifariji umebakia kulialia tu na kujipa majina...ha ha ha.
 


Ha ha ha ha...!!
Hakyamungu Nguruvi3 you have lost your mind comrade...

Sasa unaisaidiaje jamii na kizazi chako kijacho kwa kukesha na kubwabwaja hapa JF bila kuanza kuandika na kuijuza??


Bila kuanza kufanya tafiti na kuziweka kwenye kumbu kumbu za kueleweka na za kufidhika???

Nani atakusoma wewe kwa kukesha hapa JF??


Utadhani kuna la maana analoliongea basi...

Vituko sana hivi....
 
Last edited by a moderator:


Ha ha ha ha...!!
Hakyamungu Nguruvi3 you have lost your mind comrade...

Sasa unaisaidiaje jamii na kizazi chako kijacho kwa kukesha na kubwabwaja hapa JF bila kuanza kuandika na kuijuza??


Bila kuanza kufanya tafiti na kuziweka kwenye kumbu kumbu za kueleweka na za kuhifadhika???

Nani atakusoma wewe kwa kukesha hapa JF??


Utadhani kuna la maana analoliongea basi...

Vituko sana hivi....
 



Karibu sana,

Swali moja kwako,

KWANI HISTORIA YA KIVUKONI IMETOA SOLUTION GANI??
HAPA HAKUNA ANAELALAMA,HAPA IMEELEZWA HISTORIA KAMA ILIVYO,WANAOLAMAMA NI HAO WANAOSEMA YA KWAMBA HISTORIA HII NI UCHOCHEZI...

TUPO HAPA WATUAMBIE UCHOCHEZ UKO WAPI...
 
Historia ya kivukoni nimeisoma na kuyaona mapungufu yake,hii ya MS nimeisoma pia,lakini hii imeandikwa pamoja na purpose ya kuonyesha dhuluma,uonewaji na kupuuzwa kwa waislamu,ambako with an independent mind hutoweza kuona unless uwe mtu biased,unapotoa ujumbe kama huu kwa wasomaji unaohamasisha hasira,chuki na visasi,halafu huwaelezi nini kifanyike,unataka hawa watu wafanye nini baada ya kuwapandikiza hivi visirani,hasira na chuki kama tunavyoshuhudia jazba za baadhi humu!
 

Nilidhani kuna sehemu ungeweka ushahidi na kujietete il aumeishia kuto acuusation bila proof...povu tupo...ungemalizia kiingereza basi nikusikie kwa sauti kubwa...Ahsante sana ya nini?

May be you can help me out here>How can i de-humanize a person/human?
 

Kabisa! kabisa mkuu!
 


Sisi tupo hapa kusoma historia,hakuna chuki,hakuna hasira wala jazba...
Labda wewe hujaelewa mantiq kuu...
 

Exactly!
 
Sisi tupo hapa kusoma historia,hakuna chuki,hakuna hasira wala jazba...
Labda wewe hujaelewa mantiq kuu...

Sisi tupo hapa kusoma historia,hakuna chuki,hakuna hasira wala jazba...
Labda wewe hujaelewa mantiq kuu...

'historia hii ya kwake'(kwa sababu kuna matundu mengi yameonyeshwa huko nyuma),ameieleza akiwa na an objective behind ambayo anataka msimuliwaji aipate(mtu akisoma lazima aathirike nayo,kulingana na yeye MS),hii objective behind ndiyo inayogomba,ndiyo iliyosababisha historia hii ya MS iwe na matundu.ndiyo inayosababisha MS atizamwe kwa tahadhari
 

Maiki,
Nimesoma fikra zako.

Napenda kukuhakikishia kuwa kilichonisukuma mimi kuandika kitabu kile
ni uchungu wa kuona kuwa historia ya kweli umefutwa na badala yake
kama baadhi ya wanajamvi wanavyopenda kusema imeandikwa ngano.

Sikuweza kuelewa vipi historia ya uhuru wa Tangayika itaandikwa na
nisisome popote mchango wa Abdu Sykes na wazalendo wengine wengi.

Ikiwa wewe unahisi kuwa nia yangu ilikuwa nyingine hii ni bahati mbaya
kuwa umefikiria hivyo.

Ama hili la kusema sitoi ufumbuzi hapo sijaelewa nitoe ufumbuzi wa nini?
 



Sio dhambi,na hulaumiwi kama ukiamua kuiweka katika daraja hilo...

Kila mtu ana upeo na maono yake,sisi tumeiamin na kuithamini...

Hatujaegemea kwa kuwa imeandikwa na muislam au kwa kuwa walioandikwa wengi ni waislam,bali tumeangalia content ya kile kilichoandikwa...


Alamsiki...
 

Maiki,

Unasema historia yangu ina matundu.

Hili linawezekana tena sana kazi yoyote ya mikono ya binadamu haikosi
kasoro.

Bahati mbaya kitabu changu kimepata reviews na wasomi kutoka Marekani,
na Ulaya hapa nyumbani hapakuwa na lolote.

Sijajua sababu yake.

Niko tayari kujifunza kutoka kwako nachokuomba nionyeshe hayo matundu
ili mimi nifaidike na jamvi lipate kusoma pia.

Sote tuko hapa kujifunza.

Hilo la mimi kutizamwa kwa tahadhari sijaelewa khasa umekusudia nini ndugu
yangu.
 



Ajabu kubwa hii,

Moh Said hata sisi tunawashangaa hawa ndugu,wanataka ufumbuzi kwani wewe unafanya research ya malaria ili mwishowe utoe pendekezo la dawa ya kuangamiza ugonjwa huo??

We umeandika historia na kuelezea ya wale waliofichwa na kuachwa katika harakati za kupigania ukombozi wa taifa hili,

Sasa sijui ufumbuzi wanaoutaka wao ni upi sasa...
 

The Big Show,
Maneno mazima kabisa.

Ahsante sana.
Alamsiki bu Nur.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…