Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Sweet Ritz kauli ya Mohamed Said kwamba hakuna mmanyema mkristo ni kweli???? huku tulipo imeleta mjadala mkali and so far we have no answers
Son, hili mbona tulishafunga chapter.
Imedhihirika bila shaka kuwa wapo Wamanyema ambao ni wakristo. Ukatajwa ukoo wa Msulwa(kama sijakosea ) ambao ni Wakristo.

Kama ilivyo Ibadan, Kipumbwi, ufisadi wa nyumba, ujio wa Nyerere n.k. hili nalo Mohamed Said alikiri kuwa halikuwa na ukweli. Tukawa tumekisadia kizazi kijacho.

Kwa ufupi, Wamanyema wapo katika kila sehemu kama jamii zingine.
Kwamba walikuja kuikomboa Tanganyika hilo nalo limehitimishwa si kweli.

Kwamba walishiriki ukombozi kama raia wengine hilo laweza kuwa kweli, kwamba walishirikiana na familia ya Sykes kupaka rangi nyumba ya D.Cameron siku ya jumapili na kuitafisha kuwa yao, sina ujuzi nalo na wala sina source hata yangu mwenyewe
 
Ebana eeh hao walikuwa dini gani?

Ehuuu!!!!!! Loo salaleeeeeee. Unafiki kweli kitu kibaya sana, sasa hii ndiyo nini tena mbona unamvua nguo mwalimu wako hadharani? Naona umeamua kumaliza mjadala sasa. Hiki si ndiyo anachoambiwa Saidi kila siku kwamba shida kwa watanzania ni kwa kwa wote lakini yeye kakazania ni watu wa dini yake tu! Amekwenda Ibadan, Northwestern, Berlin kueleza hayo na ametunga na vitabu na pepa kibao kutetea hiyo "currency" yake halafu kijana unamuumbua mchana kweupeeeeeeeeee!!!!!!! hahahahaha ahahahaha ahahahah ahahahah!

Gimme a break,I thought this is supposed to be a healthy debate/conversation!?

I don't get the premise of your first question,are you suggesting that all Wagogo and Hehes are Non Muslims or are they all Christians!? Why would you brought up this Udini business on my face anyway!?

Well,let me amplify a bit for you,or shall I say hammer into your skull so bloody hard!

There's a clear distinction between stereotypes/prejudices against Wagogo and Hehes in those days,and institutionalized/systematic barriers which are faced by Muslims in Tanganyika/Tanzania todate,as described meticulously in many of Sheikh Mohammed's writings.

I'm afraid you misunderstood my post again!

Why should we have to move on!? Should we know our History too,shouldn't our generations have the right to know our History!?

You and your ignorant remarks,is the main reason we need to know more of our History not forget!

Ahsanta sana.

Cc;Ritz
 
Haha..hata mimi nilicheka sana alipoweka huo mfano ambao haukuwa ukimpeleka popote......

Kuna siku nilikuwa na ustaadhi mmoja akawa anaelezea "..mwenzie mmoja alifariki...",km kawa huwa wanogopa sana kusema hali halisi ya tabia za marehemu ingawa Nyerere hawakomi.....jamaa akaanza msifia sana, kwa mbwembwe akaongezea alifikia mahali akawa kama mtoto mdogo...akaendelea....Alipofika mahali ktk kutaja sifa hizo za kitoto.Nikacheka sana..kwani alikuwa akiweka tabia ambzo ni wazi kuwa yule jama alikuwa hajakuwa kifikra na hivyo kufanya mambo ya kitoto...jamaa nae kwa kutoelewa aliona km ni utakatifu...Sitoshaa humu ndani watu kufany amambo ya kitoto hadi wafuasi wake wakaona kuwa kawa mtakatifu..Pengine kwa kaili yao hiyo explanation ndio plausible zaidi.

ktk huu mjadala nimeshuhudia mengi sana.....

It's sad and perplexing to read the arrogance and exaggeration perpetrated by your silly remarks,using lies and flawed analysises to besmirch an entire Muslim Society.

You have no substantial opinion and your silly remarks always bear no merits.

You are sort of a person who shouldn't be able to say anything about anything.

Same as a person that don't know anything!

Shut the hell up and sit your empty head down!

Your illusionary ghost seeing head has no ground to stand on. People like you are not interested in truth or constructive/civil debate,but being arrogant no matter what...

Nicholas,you are de-humanising our Muslim Brothers and Sisters almost in every single post,and do you really think is funny!? Why don't you piss off to that Jukwaa la Udini/Jf thing!?

What I'm trying to say is until you stop looking to heal the symptom without attacking/getting rid of the cause,you will never heal!

Ahsanta sana.

Cc;Ritz
 
Nasikitika kuona uwezo wa Ritz kifra na kitungamo ni mdogo sana!

Mpaka itia aibu!

Lakini kwakuwa ni binadamu anaepumua basi tujitahidi na twende nae taratibu na tumzoee!

Yericko Nyerere,

Ha haa haa unachezea Colt M16A2mm, 10.5 Fully automatic Machine Gun, unategemea nini.
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma huu mnakasha toka mwanzo hadi sasa,MS ni msimuliaji mzuri,lakini contents na style ya maandishi yake,inaonekana dhahiri ni kutaka kupasha moto tabaka la waumini fulani wa kiislamu,ili wajione ni waliodhulumiwa!! HATOI SOLUTION YOYOTE baada ya kuukoka moto huo, JE ANATAKA KITOKEE NINI? Mwanzoni mwa mnakasha nilikuwa nakubali sana uliyoandika, lakini muda ulivyokwenda zaidi 'historia yako' ilififishwa mno na hoja za baadhi ya wanajamvi na baadaye nikaja nikaisoma rangi yako halisi na madhumuni yako kwa taifa letu.kuwa makini unachokifanya si kizuri.
 
Ha ha ha ha, Nicholas husema tunakwenda kwenye Jugular vein, na hakika jamvi linaona hilo.

Unajua mimi ni public enemy number 1, kwahiyo najua vijana baada ya kushindwa kusimama katika hoja watatafuta eneo wenye utaalam nalo la matusi n.k. Huko sitakwenda kwasababu si kiwango na pia nitapoteza muda wa kumshughulikia mzee.
Mzee anajua kuwa akiweka hoja lazima ajiandae, si unaona anaogopa hata kusema 'maoni yangu'' anaogopa kivuli chake. ha! mnakasha unanyoosha watu!

I'm calm and composed, focus yangu ni kusaidia kizazi kijacho na hakika nafarijika na hilo!

Naona umeamua kujiliwaza na kujifariji umebakia kulialia tu na kujipa majina...ha ha ha.
 
Wickama, hiki ndicho nimekiandika ! inaniwia tabu sana kuona baadhi yetu hawasomi kwa ufahamu bli kutafuta mahali ilimradi tu wamtaje Nguruvi3 'public enemy number 1'. Awaye anaweza kunichukia hilo halina tabu, lakini asichukie hadi hoja zinazopiga katika mtima.

Kuhusu Zanzibar ni wazi kuwa Mohamed na hadithi za Kipumbwi zinaishia hapo hapo baada ya wamakonde kupanda dau usiku wa mbaramwezi. Baada ya hapo logic hazikubali kabisa na kama zinakubali kinachofuata ni matusi kwa wznz.

Sitarajii kama ataweza kusimama mahali penye watu na akili zao akaleta hoja ya Kipumbwi tena!
Maoni yake ambayo ni haki yake sasa ameamua kuyaficha kwa kutumia neno ''source''.

Mtu anaposhindwa kusimama na kusema ''maoni yangu ni....'' ujue kifikra yu dhofli na anahitaji mapunziko.

Baada ya kuonyesha ukweli hapo juu kuhusu article, mbinu zinatumika kubadili mada. Mbinu ya kwanza ni kutupa vipande vya karatasi kwa wiiingi kama unavyoona meru. Mbinu ya pili ni kuweka mipicha miiingi! na mbinu ya tatu ni kuondoa wahusika katika mada kama alivyoonyesha Gombesugu. Ikishindikana basi matusi kwasababu hayahitaji ilim ni kinywa tu

The message ni kuwa Mohamed Said kaongopa kuhusu source na wala hakuwa na sababu za kutumia neno source kwa maoni yake. Hana sababu za kuogopa kivuli chake! Kwanini awe na Ushujaa wa kubeba mkoba hadi Ibadan mebele ya waomi na ushujaa huo upotee hapa Jamvini!!!

Mohamed ametunga hadithi za Kipumbwi na kushindwa kuzitetea.

Tutasimama kuhakikisha kuwa kizazi kijacho hakiingii katika lindi la ufukir wa fikra kama baadhi yetu wanavyojidhihiri.
Hatuwezi kuwasadia hawa waliodumazwa na kuvia, tunatakiwa tuzuie uharibifu zaidi, dalili njema zinaonekana
Miaka 15 ya utunzi kwa jina la historia ni mingi sana kumeza ngano!

Ha ha ha ha...!!
Hakyamungu Nguruvi3 you have lost your mind comrade...

Sasa unaisaidiaje jamii na kizazi chako kijacho kwa kukesha na kubwabwaja hapa JF bila kuanza kuandika na kuijuza??

Bila kuanza kufanya tafiti na kuziweka kwenye kumbu kumbu za kueleweka na za kufidhika???

Nani atakusoma wewe kwa kukesha hapa JF??

Utadhani kuna la maana analoliongea basi...

Vituko sana hivi....
 
Bila kuanza kufanya tafiti na kuziweka kwenye kumbu kumbu za kueleweka na za kuhifadhika???

Nani atakusoma wewe kwa kukesha hapa JF??

Utadhani kuna la maana analoliongea basi...

Vituko sana hivi....
 
Nimesoma huu mnakasha toka mwanzo hadi sasa,MS ni msimuliaji mzuri,lakini contents na style ya maandishi yake,inaonekana dhahiri ni kutaka kupasha moto tabaka la waumini fulani wa kiislamu,ili wajione ni waliodhulumiwa!! HATOI SOLUTION YOYOTE baada ya kuukoka moto huo, JE ANATAKA KITOKEE NINI? Mwanzoni mwa mnakasha nilikuwa nakubali sana uliyoandika, lakini muda ulivyokwenda zaidi 'historia yako' ilififishwa mno na hoja za baadhi ya wanajamvi na baadaye nikaja nikaisoma rangi yako halisi na madhumuni yako kwa taifa letu.kuwa makini unachokifanya si kizuri.

Karibu sana,

Swali moja kwako,

KWANI HISTORIA YA KIVUKONI IMETOA SOLUTION GANI??
HAPA HAKUNA ANAELALAMA,HAPA IMEELEZWA HISTORIA KAMA ILIVYO,WANAOLAMAMA NI HAO WANAOSEMA YA KWAMBA HISTORIA HII NI UCHOCHEZI...

TUPO HAPA WATUAMBIE UCHOCHEZ UKO WAPI...
 
Historia ya kivukoni nimeisoma na kuyaona mapungufu yake,hii ya MS nimeisoma pia,lakini hii imeandikwa pamoja na purpose ya kuonyesha dhuluma,uonewaji na kupuuzwa kwa waislamu,ambako with an independent mind hutoweza kuona unless uwe mtu biased,unapotoa ujumbe kama huu kwa wasomaji unaohamasisha hasira,chuki na visasi,halafu huwaelezi nini kifanyike,unataka hawa watu wafanye nini baada ya kuwapandikiza hivi visirani,hasira na chuki kama tunavyoshuhudia jazba za baadhi humu!
 
It's sad and perplexing to read the arrogance and exaggeration perpetrated by your silly remarks,using lies and flawed analysises to besmirch an entire Muslim Society.

You have no substantial opinion and your silly remarks always bear no merits.

You are sort of a person who shouldn't be able to say anything about anything.

Same as a person that don't know anything!

Shut the hell up and sit your empty head down!

Your illusionary ghost seeing head has no ground to stand on. People like you are not interested in truth or constructive/civil debate,but being arrogant no matter what...

Nicholas,you are de-humanising our Muslim Brothers and Sisters almost in every single post,and do you really think is funny!? Why don't you piss off to that Jukwaa la Udini/Jf thing!?

What I'm trying to say is until you stop looking to heal the symptom without attacking/getting rid of the cause,you will never heal!

Ahsanta sana.

Cc;Ritz

Nilidhani kuna sehemu ungeweka ushahidi na kujietete il aumeishia kuto acuusation bila proof...povu tupo...ungemalizia kiingereza basi nikusikie kwa sauti kubwa...Ahsante sana ya nini?

May be you can help me out here>How can i de-humanize a person/human?
 
Ha ha ha ha, Nicholas husema tunakwenda kwenye Jugular vein, na hakika jamvi linaona hilo.

Unajua mimi ni public enemy number 1, kwahiyo najua vijana baada ya kushindwa kusimama katika hoja watatafuta eneo wenye utaalam nalo la matusi n.k. Huko sitakwenda kwasababu si kiwango na pia nitapoteza muda wa kumshughulikia mzee.
Mzee anajua kuwa akiweka hoja lazima ajiandae, si unaona anaogopa hata kusema 'maoni yangu'' anaogopa kivuli chake. ha! mnakasha unanyoosha watu!

I'm calm and composed, focus yangu ni kusaidia kizazi kijacho na hakika nafarijika na hilo!

Kabisa! kabisa mkuu!
 
Historia ya kivukoni nimeisoma na kuyaona mapungufu yake,hii ya MS nimeisoma pia,lakini hii imeandikwa pamoja na purpose ya kuonyesha dhuluma,uonewaji na kupuuzwa kwa waislamu,ambako with an independent mind hutoweza kuona unless uwe mtu biased,unapotoa ujumbe kama huu kwa wasomaji unaohamasisha hasira,chuki na visasi,halafu huwaelezi nini kifanyike,unataka hawa watu wafanye nini baada ya kuwapandikiza hivi visirani,hasira na chuki kama tunavyoshuhudia jazba za baadhi humu!

Sisi tupo hapa kusoma historia,hakuna chuki,hakuna hasira wala jazba...
Labda wewe hujaelewa mantiq kuu...
 
Exactly!
 
'historia hii ya kwake'(kwa sababu kuna matundu mengi yameonyeshwa huko nyuma),ameieleza akiwa na an objective behind ambayo anataka msimuliwaji aipate(mtu akisoma lazima aathirike nayo,kulingana na yeye MS),hii objective behind ndiyo inayogomba,ndiyo iliyosababisha historia hii ya MS iwe na matundu.ndiyo inayosababisha MS atizamwe kwa tahadhari
 
Nimesoma huu mnakasha toka mwanzo hadi sasa,MS ni msimuliaji mzuri,lakini contents na style ya maandishi yake,inaonekana dhahiri ni kutaka kupasha moto tabaka la waumini fulani wa kiislamu,ili wajione ni waliodhulumiwa!! HATOI SOLUTION YOYOTE baada ya kuukoka moto huo, JE ANATAKA KITOKEE NINI? Mwanzoni mwa mnakasha nilikuwa nakubali sana uliyoandika, lakini muda ulivyokwenda zaidi 'historia yako' ilififishwa mno na hoja za baadhi ya wanajamvi na baadaye nikaja nikaisoma rangi yako halisi na madhumuni yako kwa taifa letu.kuwa makini unachokifanya si kizuri.

Maiki,
Nimesoma fikra zako.

Napenda kukuhakikishia kuwa kilichonisukuma mimi kuandika kitabu kile
ni uchungu wa kuona kuwa historia ya kweli umefutwa na badala yake
kama baadhi ya wanajamvi wanavyopenda kusema imeandikwa ngano.

Sikuweza kuelewa vipi historia ya uhuru wa Tangayika itaandikwa na
nisisome popote mchango wa Abdu Sykes na wazalendo wengine wengi.

Ikiwa wewe unahisi kuwa nia yangu ilikuwa nyingine hii ni bahati mbaya
kuwa umefikiria hivyo.

Ama hili la kusema sitoi ufumbuzi hapo sijaelewa nitoe ufumbuzi wa nini?
 
'historia hii ya kwake'(kwa sababu kuna matundu mengi yameonyeshwa huko nyuma),ameieleza akiwa na an objective behind ambayo anataka msimuliwaji aipate(mtu akisoma lazima aathirike nayo,kulingana na yeye MS),hii objective behind ndiyo inayogomba,ndiyo iliyosababisha historia hii ya MS iwe na matundu.ndiyo inayosababisha MS atizamwe kwa tahadhari

Sio dhambi,na hulaumiwi kama ukiamua kuiweka katika daraja hilo...

Kila mtu ana upeo na maono yake,sisi tumeiamin na kuithamini...

Hatujaegemea kwa kuwa imeandikwa na muislam au kwa kuwa walioandikwa wengi ni waislam,bali tumeangalia content ya kile kilichoandikwa...

Alamsiki...
 
Unasema historia yangu ina matundu.

Hili linawezekana tena sana kazi yoyote ya mikono ya binadamu haikosi
kasoro.

Bahati mbaya kitabu changu kimepata reviews na wasomi kutoka Marekani,
na Ulaya hapa nyumbani hapakuwa na lolote.

Sijajua sababu yake.

Niko tayari kujifunza kutoka kwako nachokuomba nionyeshe hayo matundu
ili mimi nifaidike na jamvi lipate kusoma pia.

Sote tuko hapa kujifunza.

Hilo la mimi kutizamwa kwa tahadhari sijaelewa khasa umekusudia nini ndugu
yangu.
 
Maiki,
Nimesoma fikra zako.

Napenda kukuhakikishia kuwa kilichonisukuma mimi kuandika kitabu kile
ni uchungu wa kuona kuwa historia ya kweli umefutwa na badala yake
kama baadhi ya wanajamvi wanavyopenda kusema imeandikwa ngano.

Sikuweza kuelewa vipi historia ya uhuru wa Tangayika itaandikwa na
nisisome popote mchango wa Abdu Sykes na wazalendo wengine wengi.

Ikiwa wewe unahisi kuwa nia yangu ilikuwa nyingine hii ni bahati mbaya
kuwa umefikiria hivyo.

Ama hili la kusema sitoi ufumbuzi hapo sijaelewa nitoe ufumbuzi wa nini?

Ajabu kubwa hii,

Moh Said hata sisi tunawashangaa hawa ndugu,wanataka ufumbuzi kwani wewe unafanya research ya malaria ili mwishowe utoe pendekezo la dawa ya kuangamiza ugonjwa huo??

We umeandika historia na kuelezea ya wale waliofichwa na kuachwa katika harakati za kupigania ukombozi wa taifa hili,

Sasa sijui ufumbuzi wanaoutaka wao ni upi sasa...
 
Sio dhambi,na hulaumiwi kama ukiamua kuiweka katika daraja hilo...

Kila mtu ana upeo na maono yake,sisi tumeiamin na kuithamini...

Hatujaegemea kwa kuwa imeandikwa na muislam au kwa kuwa walioandikwa wengi ni waislam,bali tumeangalia content ya kile kilichoandikwa...

Alamsiki...

The Big Show,
Maneno mazima kabisa.

Ahsante sana.
Alamsiki bu Nur.
 
Back
Top Bottom