Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ha ha haa... picha imekukera eehh kuna watu humu jamvini maandishi hawayaelewi,hivi mbuzi akigoma kwenda unambembeleza wimbo wake unaujua ni kiboko tuu:deadhorse: kuna watu huku wanakula viboko vya picha tuu hiyo ndio dawa yao.

hujaelewa hata nilichouliza..ndio maana huwa unasema wengine wajui..mimi najua .Huna akili timamu.Sijui umejazwa majinn mangapi.hadi kukugeuza kuwa monster.SI mara ya kwanza kushuhudia familia zenu zikiwa na watu possesed hadi muyatulize.
 
hujaelewa hata nilichouliza..ndio maana huwa unasema wengine wajui..mimi najua .Huna akili timamu.Sijui umejazwa majinn mangapi.hadi kukugeuza kuwa monster.SI mara ya kwanza kushuhudia familia zenu zikiwa na watu possesed hadi muyatulize.

Huu ndiyo uchochezi wa Mohamed Said, ha haa ha.
 
Nicholas,
Hutokeaa mtu ukasoma kwa haraka na ''gist'' ikakupita.
Haya humtokea kila mtu wala si jambo geni.

Hebu jitulize soma tena kipande hiki:

''Halikadhalika najua itakuwa tabu kwako kuamini kuwa Rashid Ali Meli bila ya
kumshauri yoyote alichukua fedha kwenye safe ya ofisi yake Dar es Salaam
Municipal Council akampelekea Iddi Faizi Mafongo ili atunishe mfuko wa safari
ya kwanza ya Nyerere UNO 1954.''

Sasa km msomi unayejipambanua kwa sifa nyingi haujaweza kuw amwaminifu vya kutosha ni vipi utajitetea ktk huu njadala mabo unahuru upotoshaji na kukosa uaminifu kwako?

Kwanini hujanukuu nilichoandika kwa kukunukuhu moja kwa moja?NIlikuwambia nilipokunukuhu, na ukaamua chukua kile ambacho nilimjibu Ritz(Brainless man himself).Nukuhu yenyewe ni hii..Naomba pia uifanyie kazi,kwani uliipotezea...kwa jinsi ulivyo dhaifu morally.

Mohamed Said unapiga sana tori zilizo nje ya huu mjadala....mengi huyaongeayo hayana mchango kabisa, wewe unadhani yatainua profile yako hapa...

HEMBU CHANGAMKA FAFANUA KTK RED KUNA SIFA GANI KWA HUYU MTU UNAYEMFAGILIA HAPA.
 
Bahatisha nani huyu hapa chini?
slaa.jpg

Mbona Dr. anaonekana kijana kuliko JK?Kweli gubu kumzeesha mtu....
 
Huu ndiyo uchochezi wa Mohamed Said, ha haa ha.

kweli siku babako anakuzaa bora angepata "wet dreamza".NIkiongelea wewe unahaimia kwa mohamed said,nikimwongelea yeye unajiongelea wewe.Always off-track.
 

Naona unajisifu kuwa ulialikwa German...hapa kuna mengi ya kuongea ambayo sijui km utaweza thibitisha.

Tukirudi hapa
“Mfumo Kristo” roughly meaning “Christian dominance” .Nadhani utakuwa umeona ulivyoweka tfsiri wrong..sijui ni kutojua huko au ni kuwa confuse...kutumia ".Christian dominance" Dominance si "..negative aspect...by default ".Tafsiri yake ni kuwa Christian wanashikilia hatamu..na kwa Tanzania Wakristu wameshikilia nyanya nyingi muhimu.Na hakuna ushahidi kuwa walinyang`anya.Wenzetu wanaojua udhaifu wa waislam..wanaweza peleke mawazo ktk namna ya kuwawezesha ila si hayo usemayo kuwa walidhulumiwa.

Ila wewe si msislam wa kwanza kwenda magharibi na version nyingine ya fikra zao, wakipata sifa kidogo basi wakirudi nyumbani ,huja na version ingine ya hizo praise.Hata CUF WENYEWE NI WALIBERALI WAKIWA NJE YA NCHI...WAKIRUDI ZENJI NI WAPINGA ULIBERALI,NI WAZALENDO.WANA VERSION AYO YA KUPELEKA WEST, WANA YA BONGO HADHARANI,WAN AYA BONGO MISIKITINI NA WANA YA KUMPELEKEA SULTANI.

Huu ujinga utawa cost sana....
-Nyerere aligombea chaguzi kadhaa kabla ya uhuru na mkampa kura kibao.kama alikuw ana makosa basi msingempa kura.Mispende tumia tofauti zake na mabepari kupitisha agenda mbaya.Mlifanikiw akutumia "Ubaguzi/apartheid" na sera za Tanzania kuingiza Tanzania ktk "movement za kiislam Africa na mashariki ya kati".

West wanatofatiana na Nyerere ktk ujamaa na ubinafsishaji ambao uliwafaa sana waislam kuliko Wakristu..watu waliokuwa hawajui uwekeza na kufanya bila usimamizi wakapewa vitengo.Ila uaminifu ,misimamo ,kuchukia kwake ubaguzi wa aiana yoyote na uzuri wa kichwa yake.Waingereza na wamarekani walijua anatofautiana nao kiuchumi na sera na hakuwa na woga,ila walijua hata wao watakuwa salama ktk mikono ya Nyerere km wao ndio wanadai haki.


Historia inaonyesha waislam si wazuri sana kuishi ktk uhuru na kuwa huru....hao unaowaita forgotten heroes are forgotten villains.

Quotes zako zimethibitisha hivyo,Nyerere alifanya zaidi ya inavyoelezwa...yeye ndie alijua njia za kupata uhuru, akawapa hao wazee mpango mzima.Wazee wakampa go ahead na kumpatia idadi ya watu kwa kujiunga ili TANU ipate sura ya kitaifa.Na ndio kosa alilofanya hadi leo tuna Junks km nyie,angeunda chama kingine kitaifa na si kuunda TANU ya pwani na kuipeleka mikoani.Huko mikoani kuna watu wengi sana walitoa hela na kuieneza TANU kwa hela na juhudi zao .Wengine waliacha njia za kwao ili kujiunga na TANU.Leo mnahesabu hao wacheza bao, wasaliti kuwa ni mashujaa?Rushwa na ubinafsi na kutumika kwa waislam wa Tanzania,dhidi ya wenzao ilikuwepo tangu enzi ya AA.Mwingereza na mwarabu alitumia sana.Leo mnamwona sykes kuwa alikuwa tajiri.





Ninachokupendea ni pale unapoleta ushahidi unaotosha kumaliza mwenyewe..Historia ya nchi hii imeficha sana majina ya kiislam ktk wanaoitwa mashujaa kwa jambo moja tuu...kuwashika watu wengi kuwa hao jamaa walikuwa waafrica haswa, waliofight kwa uhuru wa mwafrica...mimi kama kawa huwa nikisoma historia kuna vitu huwa vinaniamsha hisia, na hivyo kuchimba zaidi.

Majimaji ilikuwa ni vita ya kiislam na waislam ktk upande wa Watumikishaji(wafanya biashara ya utumwa), biashara ya Wayao ambao walichukua watumwa hadi malawi,kwa ukatili mkubwa kwa vile walikuwa wakristu na wapagani..HADI LEO CHUKI YA WAMALAWI IPO JUU YA WATANGANYIKA,NA HATA MGOGORO WA ZIWA UNASURA HIYO.Wamalawi wanajua kuwa watanganyika ni waislam wauza watumwa.

Na hapa ndipo uliposhindwa tumia kili au kufany makusudi ili umtumie mungu wenu wa utumikishaji na mauaji.Wabenektini walikuwa upande wa wajerumani kwa vile ndio njia pekee ya kuondosha utumwa na kuwa salama ktk "mfumo islam " uliokuwa ukiendeshwa na waarabu kwa ushirika wa makabila ya kishenzi enzi hizo "wayao", "manyema".Historia ya Pugu inaonyesha jinsi walivyopata shida na uislam.Wakakimbilie kule mlimani ili kuwa salama...na baadaye wakaja komboa nchi..kwa kutoa wanafunzi ambao walikuwaja kuwa fahari ya taifa.Waislam hado leo hawajajtambua kuwa wanatumika.


Mkuu,

Salute kwako!
 
The small minded will take our words wrongly & the evil minded will go out of their way to misinterpret them. It happens to revelation too.

bora smalll minded...wewe huna "...mindeset kabisa....".Unaongozwa na simple reflex.Unatumia neurons chache sana ktk spinal cord.,ambazo zimekuwa hard coded with religious views.
 
Sasa km msomi unayejipambanua kwa sifa nyingi haujaweza kuw amwaminifu vya kutosha ni vipi utajitetea ktk huu njadala mabo unahuru upotoshaji na kukosa uaminifu kwako?

Kwanini hujanukuu nilichoandika kwa kukunukuhu moja kwa moja?NIlikuwambia nilipokunukuhu, na ukaamua chukua kile ambacho nilimjibu Ritz(Brainless man himself).Nukuhu yenyewe ni hii..Naomba pia uifanyie kazi,kwani uliipotezea...kwa jinsi ulivyo dhaifu morally.

Nicholas,
Rashid Ali Meli alihudhuria mkutano wa kwanza wa TANU pale Arnatouglo 1954.
 
The Big Show,

Salaam Al Akhiy.

Ndo nachungulia kwa utuvu asubuhi hii ile mipini yenu na bayana zenu adimu na Shariff Ritz, mloziteremsha jana baada ya Salat Al Ishai.

Nimecheka kiduchu ulipomwambia ndugu yetu Maika nafikiri,yakuwa huo ufumbuzi toka kwa Sheikh Mohammed kwani yeye anafanza mradi/utafiti wa Malaria!?ahaha!!

Nakhis ukiangalia kwa utuvu haya majambo,ni kinyume cha matarajio ya wengi mno khasa huyo Yericko&Co. Yaani huu mnakasha/mjadala pia umesaidia mno kuondosha kabisa ile Credibility(kama iliwahi kuwapo) ilokua inapewa ile Historia ya Kivukoni.

Nafikiri kwa Sheikh Mohammed,yeye amepata jukwaa zuri na jingine zaidi la kutambulika nchini na kuzidi kusomesha.

Wanajamvi wengi mno hapa ambao pamoja na kukiri kwao yakuwa hawakubaliani na baadhi ya vitu/maandiko ya Sheikh Mohammed...lakini nafikiri kwa mara ya kwanza wamejikuta wanakumbana na vitu adimu toka kwa Sheikh Mohammed,na wao wenyewe kukiri kwa mapana bila ya kulazimishwa/kuhimizwa na yeyote,yakuwa Historia ya Kivukoni ni utumbo na uozo mtupu...na sio tu yakuwa ina matundu mengi mno, bali ile ina mashimo na mahandaki mengi mno!

Nastaajabu,huyo Yericko hiyo kesi yake ya "Uchochezi,Uhaini na Ugaidi" dhidi ya Sheikh Mohammed alitakiwa ende akawafungulie wale mazumbukuku na Wachochezi wa amani ya nchi waloandika ule utumbo wa Kivukoni!?

Ahsanta.

Cc;Ritz

gombesugu
Waleykhum Salaam al khiy,
Heshima yako sana ndugu,heshima yako sana...
Wallahi nakusoma kwa khushui ya hali ya juu sana,
AHSANTA...!!

ha ha ha...
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3
Lini nawewe utabeba mikoba na kwenda nayo ughaibuni kuhadhiri??
Kwenda kuua hii sumu ya Moh Said iliyodumu takriban mika 15 na ushee kwa sasa??

Lini nawewe utaandika kwa maslahi ya kizazi chako ili kisije kikasoma huu uchochez wa Moh Said??

Nakupa offer ya ticket go & return kwa trip ya kwanza sharti uanzie kwenda kutoa nondo zako IBADAN...!!
 
Last edited by a moderator:
Ritz,

Nakushukuru sana kwa nasaha zako, nikuombalo ni kwamba usiwe na wasi wasi hawa ni size yangu, mimi ni mwana mweleka mzuri sana katika majukwaa ya kutowa hoja
 
Nicholas,
Rashid Ali Meli alihudhuria mkutano wa kwanza wa TANU pale Arnatouglo 1954.

Acha wehu wewe...Usijifany hunielewi?uliandaka hiki
Nicholas,
Hutokeaa mtu ukasoma kwa haraka na ''gist'' ikakupita.
Haya humtokea kila mtu wala si jambo geni.

Hebu jitulize soma tena kipande hiki:

''Halikadhalika najua itakuwa tabu kwako kuamini kuwa Rashid Ali Meli bila ya
kumshauri yoyote alichukua fedha kwenye safe ya ofisi yake Dar es Salaam
Municipal Council akampelekea Iddi Faizi Mafongo ili atunishe mfuko wa safari
ya kwanza ya Nyerere UNO 1954.'
'
Nikakuuliza hiki
Mohamed Said unapiga sana tori zilizo nje ya huu mjadala....mengi huyaongeayo hayana mchango kabisa, wewe unadhani yatainua profile yako hapa...

HEMBU CHANGAMKA FAFANUA KTK RED KUNA SIFA GANI KWA HUYU MTU UNAYEMFAGILIA HAPA.

Sasa unaleta mambo ya kihuni hapa.Acha utoto mzee mzima..sasa unachojibu ni kwamba laihudhuria mkutano?
 
Je kila aliyehudhuria mkutano/mikutano ya TANU ni muhimu awepo kwenye historia ya TANU?

Ndugu yangu hawa jamaa wananifanya nione kuwa kuna " irrationality" ambayo km ugonjwa inaambukiza watu wa kundi moja tuu".

Hwajui hata walinzi walihudhuria mara nyingi sana km si zaidi ya wote..ila hajawawauliza nao km kigezo ni kuhudhuria.Huyu jamaa anafanya mizaha na watu just because anaona wengine wana umri chini yake basi anadhani watakuwa wahuni.
 
hapa katika suala zima la kugombania uhuru wa tanganyika, ukweli umewekwa mbeneni sana.

nadhani hakuna ubaya wowote ikiwa kizazi kipya wataanza kuoneshwa ukweli ulivo

na ukweli ni kwamba

WAKIRISTO WAHAKUPIGANA NA WAGERUMANI WALA HAWAKUDAI UHURU KWA SABABU WALIFUNDISHWA KWAMBA WAJERUMANI NI WAKIRISTO WENZIWAO KWAHIVO HARAMU KUPIGANA NA MKIRTO MWENZAKO IJAPOKUWA ANAKUTAWALA KIMABAVU NA KUFANYA MTUMWA

Na waliodai uhuru kwa muengereza kwa mara ya kwanza walikuwa waislamu, walipofika mbele wakaambiwa nyinyi hatukupenui uhuru kwababu munatupinga. leteni mkiristo hapa ndio mutapata uhuru...wakampachika nyerere na yeye akaingiza wakiristo wacheche.

walipopata uhuru wakageuza kibao, na historia wakaanza kuichezea na kuweka watakavo wao

huo ndio ukweli kama niujuwavo mimi
 
Ninathubutu kusema wazi kuwa kitabu cha TANU cha Kivukoni wewe hujakisoma kabisa!

Laiti ungesoma hata utangulizi tu usingesema hayo!

Nakushauri nenda kakisome kisha njoo tujadiliane!

pamoja na suala uliloulizwa na Ritz,

lakin mimi napenda kukuuliza kuwa JE KITABU CHA HISTORIA YA TZ KINATUMIWA NA UNIVERSITY GANI KAMA REJEA? AU KIMEWAHI KUFANYIWA REVIEW KATIKA UNIVERSITY GANU DUNIYANI?

 
Back
Top Bottom