Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
Kuomba radhi ni wajib,maana shuguli ya humu hata Oxford chamtoto
Son of Alaska,
Nimekosea safari ilikuwa 1955.
Niwieni radhi ukumbi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuomba radhi ni wajib,maana shuguli ya humu hata Oxford chamtoto
Son of Alaska,
Nimekosea safari ilikuwa 1955.
Niwieni radhi ukumbi.
RIP...sasas umeamua lilia fikra zako zikubalike tuu...Pole sana.ByeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeNicholas, The choice is entirely yours.....................take it or leave it..............but, thts the truth hidden by reliogists powerful leaders in government of tanganyika thnx
Unataja taja non entities katika huu msafara wa UNO,mbona husemi kwamba bila RUPIA,hii safari isingefanyika na laiti RUPIA angekuwa mmoja wa wazee wako hili jukwaa sijui tungejificha wapi
Ndugu zangu Wanajamvi,
Uongo ukirudiwarudiwa huanza kugeuka kuwa ukweli,
Kusema safari ya UNO ilikuwa 1954 ni UONGO uliopindukia,
Sasa jioneeni, TANU imezaliwa 7/7/1954,
Haya muulizeni Mohamed Said, safari hiyo ya 1954 ya ujumbe wa TANU kwenda UNO ilikuwa tarehe ngapi na mwezi wa ngapi??
Ukweli nikuwa Safari ya Mwalimu Nyerere kwenda UNO ilikuwa ni 05/03/1955. Yaani miezi 8 baada ya kuundwa kwa TANU!
Na safari hii iligharimiwa/ilidhaminiwa na Kanisa Katoliki kupitia shirika lake la Maryknoll Sister la USA, na michango ya baadhi ya wanachama wa TANU akiwemo mzee Paul Rupia na wengineo!
Chama cha TANU kilikuwa hata hakina akaunti ya benki, kwanza kilikuwa kimetoka kwenye vuguvugu la mageuzi kutoka chama cha wacheza bao na mamwinyi (TAA) kwenye
Chama cha siasa za kudai uhuru (TANU)
Sasa ndugu yetu hataki kuweka ukweli na badala yake anapanda hadithi za uongo hapa!
Kitu cha mwisho kutegemea kwangu ni kunitaka nikubembeleze au kudhani utaweza niblackmail kwa lolote.Naomba ujikaze utoe majibu yenye maana.HUwezi danganya taifa na ulimwengu kirahisi rahisi tuu ukadhani itapita kirahisi.... Kwanza maandiko yako kw akiasi fulani yamechangia wakatoliki kufanyiwa vurugu na mauaji.Halfu unataka ubembelezwe?unadhani nani mwingine anfanana na JK hapa?Nicholas, Labda wewe ni mgeni hunifahamu. Napenda majadiliano ya kistaarabu. Nikihisi mtu ana lugha kama hizo zako mie humkwepa. Huu ni mjadala tu hapana haja ya kutukanana na kurushiana maneno ya kifedhuli. Unatoa hoja kistaarabu na mimi nakujibu na mwingine anachangia mjadala unastawi. Tuko hapa sasa tunakwenda mwezi wa sita na watu wengi wananiletea msg kuwa wanaelimka na huu mjadala. Sasa tusiwavunje nguvu.
Mkuu unakwenda fanya yale mambo ya Nguvuvi..unawapatia kitu inauma....nadhani atakauwa hajui Historia ya Ukwritu ktk hii nchi.Its a matter of time tuu watapata aibu hadi wachague vurugu...Kule Zenj makanisa yalinunu ardhi na watu toka kwa waarabu ili wawe huru..Hao ndio wakristu wa Kwanza.Leo wanakufuru kila kitu. Jaama hawajui AA, na TAA zilinuka ufujaji wa hel akidogo walizokuwa wakipata.....anadhani tabia za kuteka misikiti,timu za simba na Yanga ,FAT y akina ndolanga na Rage zimeanza leo?Wazee wa gahawa..wamaechapana fimbo sana kwenye migao. Hao ndio mashujaa wao..kwanini wasifulie.Ndugu zangu Wanajamvi, Uongo ukirudiwarudiwa huanza kugeuka kuwa ukweli, Kusema safari ya UNO ilikuwa 1954 ni UONGO uliopindukia, Sasa jioneeni, TANU imezaliwa 7/7/1954, Haya muulizeni Mohamed Said, safari hiyo ya 1954 ya ujumbe wa TANU kwenda UNO ilikuwa tarehe ngapi na mwezi wa ngapi?? Ukweli nikuwa Safari ya Mwalimu Nyerere kwenda UNO ilikuwa ni 05/03/1955. Yaani miezi 8 baada ya kuundwa kwa TANU! Na safari hii iligharimiwa/ilidhaminiwa na Kanisa Katoliki kupitia shirika lake la Maryknoll Sister la USA, na michango ya baadhi ya wanachama wa TANU akiwemo mzee Paul Rupia na wengineo! Chama cha TANU kilikuwa hata hakina akaunti ya benki, kwanza kilikuwa kimetoka kwenye vuguvugu la mageuzi kutoka chama cha wacheza bao na mamwinyi (TAA) kwenye Chama cha siasa za kudai uhuru (TANU) Sasa ndugu yetu hataki kuweka ukweli na badala yake anapanda hadithi za uongo hapa!

THE BIG SHOW kumbe kelele yako mtwara ni kwa vile huogopi mabomu km unavyoogopa maswali.Sasa unadhania haya yatamchomoa jamaa yako.Kaanza omba kubembelewa anajaribu play tena victim.Mohamed Said., I think huyo mpuuzi Nikolasi asikupotezee muda wako,ni wa kumpuuza kama wapuuzi wengine wasiojielewa
Kitu ya mwisho kutegemea kwangu ni kudhani nitawahi kukubembeleza au kukubali uni blackmail kuwa wewe ni victim ktk huu mjadala.....Hapa uanjibu tuhuma nzito sana..ungejua kitabu chako kime inspire waislam kuwatarget katoliki usingeleta mizaha hapa.Nicholas, Labda wewe ni mgeni hunifahamu. Napenda majadiliano ya kistaarabu. Nikihisi mtu ana lugha kama hizo zako mie humkwepa. Huu ni mjadala tu hapana haja ya kutukanana na kurushiana maneno ya kifedhuli. Unatoa hoja kistaarabu na mimi nakujibu na mwingine anachangia mjadala unastawi. Tuko hapa sasa tunakwenda mwezi wa sita na watu wengi wananiletea msg kuwa wanaelimka na huu mjadala. Sasa tusiwavunje nguvu.
Mkuu unakwenda fanya yale mambo ya Nguvuvi..unawapatia kitu inauma....nadhani atakauwa hajui Historia ya Ukwritu ktk hii nchi.Its a matter of time tuu watapata aibu hadi wachague vurugu...Kule Zenj makanisa yalinunu ardhi na watu toka kwa waarabu ili wawe huru..Hao ndio wakristu wa Kwanza.Leo wanakufuru kila kitu. Jaama hawajui AA, na TAA zilinuka ufujaji wa hel akidogo walizokuwa wakipata.....anadhani tabia za kuteka misikiti,timu za simba na Yanga ,FAT y akina ndolanga na Rage zimeanza leo?Wazee wa gahawa..wamaechapana fimbo sana kwenye migao. Hao ndio mashujaa wao..kwanini wasifulie.
Shariff Kadogoo,
Habari masiku Ahly mbona umeadimika ukumbini kiasi hicho, nimesoma huu mpini wako walaahi nimetosheka.
Kadogoo,
Umeibuka!
Habari za Cairo.
Hivi Cleopatra Hotel Taharir Square bado iko?
Usiku wa manane nachungulia chini Taharir watu
wameweka barza utasema saa saba mchana.
Umeshusha hoja nzito ahsante sana.
nazikumbuka salad za Egypt na hums.
Faidi peke yako.
Mie napiga oda kwa Shariff Ritz kesho mshuko asitusahau na mandi
ya nyama ya mbuzi na juice ya Aza jamvini In Sha Allah.
Tatizo liko kwa Yericko.
Sijui wapi Shariff apige oda ya ugali wa mtama na utumbo wa mbuzi.
Sina hakika kama mdogo wangu Yericko atafurahi sana na mandi.
Mohamed Said unatakiwa uwaambie wana ukumbi kwamba baada ya akina sykes etc etc kuchanga hiyo hela ya kumpeleka Nyerere UNO,hela haikutosha-ikabidi wakuja RUPIA aongezee 33% yes 33% ili safari iwepo- bila Rupia pengine mkondo wa historia ungeelekea vingine
Kitu ya mwisho kutegemea kwangu ni kudhani nitawahi kukubembeleza au kukubali uni blackmail kuwa wewe ni victim ktk huu mjadala.....Hapa uanjibu tuhuma nzito sana..ungejua kitabu chako kime inspire waislam kuwatarget katoliki usingeleta mizaha hapa.
Nicholas,
Nadhani umesoma kuna mtu amenishauri nikupuuze.
Lakini kabla sijafanya hilo nimgependa kwanza usome kipande hiki.
Huenda kikakusaidia kunielewa:
The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam.
Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects.
First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam.
The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa.
The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]
Nicholas,
Who is targeting who?
Na nani afanyae mzaha hapa JF?
Pitia posts zangu.
Hizo zitakufungulia malango wa kupita unijue kama mimi
ni mtu makini ama mtu wa mizaha.
Jiulize kwa nini vyuo vikuu, taasisi za utafiti wananialika?
Wananialika kwa kuwa wanaamini nina ujuzi na elimu ya
kuwaeleza matatizo ambayo wao wameyaona na wanatafuta
kuyajua kwa undani.
[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2]Ibid. p 37.
Ndugu
Habari za sijui kumpuuza au kumuweka mtu kwenye list hilo huliwezi kabisa ndugu yangu!
Wewe vumilia hoja na upambane nazo tu mpaka kieleweke!
Mohamed Said.,
I think huyo mpuuzi Nikolasi asikupotezee muda wako,ni wa kumpuuza kama wapuuzi wengine wasiojielewa