Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Yericko,
Kupambana kwa hoja hakunitishi napenda majadiliano na ndiyo kisa
sipungui JF.

Katika yote nilobandika kumjibu Nicholas mchango wako ndiyo huo?

Jasusi alipatapo kuniuliza kama kweli Kanisa Katoliki walitakidi Uislam
kama adui na akataka nimpe na kurasa ya kitabu cha Sivalon.

Nilimpatia.
Amebaki kimya sasa yawezekana mwezi wa tatu.

Wewe huna la kusema ila hayo yako?
Hakuna ulichojibu zaidi ya kuweka useless quotes km vile hata hizo quote hujasoma na kuzielewa ndio maana unashindwa locate big picture.

Hao jamaa umewanukuu vibaya..na hiyo ndio tabia ya waislam..Sasa hivyo wanachukua tape za kikristu kuhusu Freemasons ambapo wameweka mifano ya waufsi wao wenye majina ya kimang`aribi ambayo mengi ni maarufu ktk ukristu..halafu wanaingiza cripts, au recordig according to islam..Kwao ni dili kwani watwaambia watoto na waumini wajing kuwa Wakristu ni freemason.
 
Huwa nacheka sana unaporopoka unaposema "GOAT" Mohamed Said, eti atakukikimbia, haa haa ha, siku zote watu wenye matatizo ya ubongo wanapenda kujiliwaza sana.

Wewe ubongo wako wa mbele prefrontal area umekufa kabisa umekufanya kuwa kwenye kina cha ujinga na wehu, takupa mfano mmoja kila soko alikosi wehu hasa msimu wa maembe wauzaji wa soko lazima wamuitaji mwehu kwa ajili ya embe mbovu, sasa wewe ni muhimu sana huwe humu kwenye mnakasha huu ili Mohamed Said, apate pakutupia embe mbovu.

Nakushauri tena jaribu kumuona Dr ili akufanyie upasuaji kwenye biochemically pamoja na energetically wakati wowote unaweza kutembea bila nguo.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna wa kuibadili historia ile ya Kivukoni. Ndio inayofundishwa mashuleni, vyuoni. Unatarajia kitabu cha Mohamed kibadili historia ilioandikwa na wengi?

Wanafunzi wataendelea kufundishwa kuwa Rais na Mwenyekiti pekee wa TANU tangu ilipoanzishwa hadi kifo chake ni Mwalimu. Ni kichaa tu anayeweza kufundisha wanafunzi kuwa TANU ilianzia Burma!

WildCard,

Unajua hii historia ya kivukoni hata Nyerere mwenye baadae aliipinga na baadae mwaka 1976 alisisitiza tena kuandikwa upya kwa historia rasmi ya TANU.
 
hakuna uischocheka..sasa km wewe ni brainless ,kwanini vitu visifanyike kwa reflex tuu.

Embe Mbovu mnawapa wehu kwenu..?Ni kukosa adabu na utu kwa kiasi gani?Unavyotamka bila hata aibu ni wazi ni kitu halali ktk tamaduni zenu..

Hamuwezi kuwa na moral values zozote za kuweza hata wapa credibility ya kubisha na watu hapa.Ndio mnavyo watreat wanyonge hivyo?Ndio maana miaka 50 hakuna waislam waliopo busy vijijini wakifanya tafiti za kusaidia uhai wa binadamu.Wala hiyo fund hakuna..mmeishia kuishia kulia Red Cross ibadilishwe kwani inawakwaza..wakaongeza kamwezi mkatulia.
 
Sijui kama utakubaliana na Mzee Mohamed katika hili. Nashukuru. Mwaka huo nilikuwa bado Primary.
 
Wanamaombi na Kanisa Katoliki ni tofauti sana na BAKWATA na Waislamu wa Tanzania. Labda kama umeanza kufikiri na kuzeeka vibaya. Sidhani kama unawaelewa wanamaombi na Padre Nkwera na mambo yao vinginevyo usingewalinganisha na BAKWATA ambayo imejaa viongozi makini sana wa dini ya Kiislam, wanaoweka utaifa MBELE.

Wildcard,

Kama hutajali tafadhali nakusihi niwekee japo kiduchu khabar au kisa cha hao Wanamaombi na huyo Padre Nkwera.

Hivi ndio kina nani!?...kama labda wana khitilaf yeyote je ni ipi hiyo!?

Ahsanta sana kwa msaada wako.

Cc;Ritz
 
Sijui kama utakubaliana na Mzee Mohamed katika hili. Nashukuru. Mwaka huo nilikuwa bado Primary.

Mwaka 1974 Nyerere aliwatwisha chuo kikuu kivukoni jukumu la kuandika historia ya TANU lakini baadae tena mwaka 1976 alisisitiza tena kuandikwa kwa historia rasmi ya TANU wakubwa zangu kina Jasusi, pamoja na wewe mnaweza kuwa mnakumbuka hii habari mimi niliadithiwa na mzee wangu zamani.
 
Last edited by a moderator:
hakuna uischocheka..sasa km wewe ni brainless ,kwanini vitu visifanyike kwa reflex tuu.

Embe Mbovu mnawapa wehu kwenu..?Ni kukosa adabu na utu kwa kiasi gani?Unavyotamka bila hata aibu ni wazi ni kitu halali ktk tamaduni zenu..

Hamuwezi kuwa na moral values zozote za kuweza hata wapa credibility ya kubisha na watu hapa.Ndio mnavyo watreat wanyonge hivyo?Ndio maana miaka 50 hakuna waislam waliopo busy vijijini wakifanya tafiti za kusaidia uhai wa binadamu.Wala hiyo fund hakuna..mmeishia kuishia kulia Red Cross ibadilishwe kwani inawakwaza..wakaongeza kamwezi mkatulia.

Nakupa ushauri mwengine kuwa pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima, ukifuata ujinga utakuwa rafiki wa wapumbavu.

Huwa nashangaa sana Chadema walikupaje uongozi.
 
"GOAT" Mohamed Said,

Umenikumbusha mbali umemtaja marehemu Sheikh Mohamed Ayoub, zamani nikienda Tanga lazima nipite kumsikiliza, nikitoka hapo nakwenda Kigombe kwa kina mzee Mohamed Kizigo, napita Madaga, kupata muogo wa nazi kwa tasi, pamoja na ndizi malindi, ha haa ha gombesugu, upo Al Habiby.

CC: kahtaan, hargeisa,

Shariff Ritz,

Salaam Al Akhiy.

Ngoja hiyo safari yako ya Kigombe tufuatane pamoja ili tuzidi kumchemfua yule "maluuni wa Rombo",msemaji wa Chadema na Vatican hapa jamvini!ahaha!!

Yeye si tunajua yakuwa ana allergy na Uislamu,Waislamu na watu woote wa Mwambao! Lakini ikifika wakti za chaguzi ati hao Chadema wanataka na kutaraji kura za watu haohao wanaoshinda kutwa kucha kuwakebehi na kuwatukana hapa jamvini!?...pumbavu mkubwa huyo Nicholas...najua lazima atakua ni Mchaga maskini wa roho na maisha!ahaha!!

Nawajua vizuri mno na nimeishi nao kiundani. Kule kwao kaskazini pia wanabaguana mno kwa Class na eneo utokalo...sasa stress zake za maisha anataka kujamalizia hapa jamvini!?ahaha!!

Lakini pia huyo Nicholas anasaidia kwa sisi wengine kuona picha khalis ya hao Chadema!...

Nataraji nikifika hapo mojawapo ya shughuli yangu kubwa ni kuja kumnasihi ndugu yetu Al Khalifa The Big Show ajitoe huko Chadema kwa haraka mno. Najua labda CCM "imewaangusha" kiduchu wana Mtwara nao wamekereka...lakini wakumbuke ubaya wa CCM si wema wa Chadema hata siku moja...."zimwi likujualo halikuli likakwisha"!!

Kwa kifupi moyo wangu wabubujwika na machozi kumuona ndugu yetu Al Sahib The Big Show,katumbukia ndani ya hilo handaki la hao mahasidi na maharamia kina Nicholas na huo upuuzi wao wa udini na ukabila=Chadema!!

Lakini Insha Allah Mola ipo siku tamrejesha nyumbani...CCM

Tuendelee na safari yetu ya Mwambao...wewe Shariff umeamua kuanzia Kigombe,mimi nakusihi turejee nyuma kiduchu Vijiji viwili ili tuanze upya.

Tongoni,Mwarongo,Kirare,Kigombe,Choba,Pangani,Bweni,Kibinda,Mauya,Mwera,Ushongo,Ushongo Mabaoni,Tungamaa,Sakura,Kipumbwi,Kipumbwi Mtoni,Msangazi,Mikocheni,Sange,Makorora,Mkwaja,Saadani,Buyuni,Buyuni Kuu,Bwagamoyo, mwanakalenga,Mwanamakuka,Kitopeni,Zinga,Mbegani,Mlingotini,Kaole,Ununio,Kunduchi,Msasani mpaka tunaishia Kipata kizingitini kwa Sheikh Mohammed na kuendelea na Darsa!

Kwa wale wa Mikoani/Mabara,tafadhalini msichukie mno...siku nyingine kipata fursa tutafanza safari yetu kuanzia Songea mjini mpaka Madaba...na tutasimama pale Peramiho kuamkua kiduchu!

Ahsanta.
 
Al Habiby gombesugu,

Umefunguka watoto wa mujini wanaita umetiririka, ha ha haa, walaaih hizi bayana zako Watanzania wanazisoma kuwa utui.

Huyo jamaa wa Chadema nashangaa sana kazi yake ni kutukana Waislam, kusifia Kanisa na kuwasifia Wachaga, kwa kuthibitisha haya ninayosema taweka kiduchu bayana zake ndugu zetu Waislam wamsome kiongozi wa Chadema ambaye mwaka 2015 watakuja mbele ya Waislam kuwaomba kura, ha haa ha.

Safari yetu ya Tanga laadhi itafana sana, ha haa ha.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza hujajitetea kuwa huna mizaha...na uhuni ktk kujibu hoja za msingi.

Kunipuuza kutaamanish akitu kimoja umekula kona...Pia ujue mimi sipo hapa kuku appease au kuvutika na utetezi wako wa hisia na dhana tuu.

Kwa hiyo naomba ujikaze tuu na kuwa strong...hatutaacha "...any stone unturned....".So km umezoea kupewa "All knowing status..".Now expect something very different.Tumeshaona madhara ya hii mizaha yako.Hooligans wanaanza ongezeka nchini.Wewe ndio kiumbe pekee unayeamini watu ambao hawajawahi jega chohcote ktk maisha yao binafsi wajifiche ktk "uongo wako"..Kanisa katoliki linaweza mfanya masikini mvuvi wa pemba?

Unaanza tena kuogea vitu vingine,wakati umeulizwa kitu kingine..Una divert bila haya aibu tena kiholela tuu.Nikisoma hapa nitawaelewa walichoandika wengine na si wewe.Kwani wewe ndie character ndani ya hivyo vitabu hadi nikuelewe wewe kwa kuvisoma?

Hizi logic zenu sijui mmezipata wapi?

Ni udogo tuu wa fikra zako...ila Uislam ni Adui wa Ukrstu tangu day one,kwa hiyo huwezi potosha watu kuwa umeanza kuwa adui Tanzania.Pamekuwa na vita ya uislam na Ukristu Tangu....Tagu uislam kuiteka Uturuki, syria, lebanon, uislam kuteka na kugeuza spain kuwa taifa la kiislam huku makanisa yakigeuzwa kuwa misikiti, Uturuki kuishambulia ulaya....."Pirates wa Morocco" walikuwa hatari kuliko wasomali na wao walikuwa wakiwauza mateka hadi wa kizungu kuwa watumwa na wanawake kuwekwa ktk madanguro..Islam ni adui wa Wabudha kuanzia burma,thailand na hata china....wahindu tangua walipoingi ana kujenga Taj Mahal hadi leo....Uislam ni Adui wa wayahudi na siku zote wanaangalia kuwaangamiza.

Kwa Tanzania raia(Watu) walikuwa ktk amani aliyoijenga Nyerere, kumbuka nilikuwambia Nyerere alikuwamwadilifu na mpenda haki hadi waingereza walijiona kuwa salama ktk mikono ya nyerere hata kama walitoautiana sana ktk mitizamo.Kwa hiyo hakuna mahali kanisa lingetangaza kuwa uislam ni adui number moja wakati lipo wazi...Ila watakuwa walitangaza kuwa threat..Na ililkuwa wazi sana ...hata kabla wamissionary hawajaamua kuhamia Pugu ili kuwa salama.

Kwa upande mmoja unataka dhania kuwa waislam nao hawakuwa ktk mikakati..waislam walisumbu asana ktk kupata uhuru. waislam wameapotosha sana Historia ya Ukristu ktk ukombozi na maendeleo ya hii nchi.Wamegeuza taifa letu kuwa la Kuwakilisha uislam na utamaduni wa kiarabu. Sasa hivi vitu vya kiislam, na kiarabu zimegeuzwa na kuitwa za kitanzania na kiafrica.

Maharamia wa kiislam wamegeuzwa kuwa mashujaa wa nchi, serikali muda wote imekuwa ikitumikia misikiti, Bakwata inatumia hela ya serikali, hija imekuwa ikigharamiwa na serikali, vurugu za waislam zimekuwa zikiigharimu sana serikali.Siku hizi dini ya kiislama ndio kipaumbele, ibada zao zimeingizwa ktk maisha ya kawadia ya wasio waislam.Kwanini srikali inatumia nguvu nyingi kuhakikisha waislam wanafanya ibada ya kuchinja,tena kuchinja hata ktk ibada za wengine?

Sasa hivi waislam ndio wapo huru kuchoma makanisa, kuuwa viongozi wa makanisa kirahisi tuu km wanavyokwenda kufanya tambiko.

Nani ni victima hapa?Badala ya ke waislam wamejaribus ana kuplay VICTIMS.

Kanisa lilijua kuwa walihitajia kujipanga na kufanya mambo kwa akili ili isitokee wakajikuta wanafanyia kilichotokea halafu viongozi waaanze chekelea au kuwahukumu wakristu kwa mashitaka y akijinga km kukojolea copy ya quran ambayo kanunua aliyeikojoloea au kuichoma.

Harakati za waislam wa mwazo wala hazikuhitaji kuambiwa kuw azilikuwa na malengo maovu....ndio maana hata wakahamishia makao makuu dar...Kenya walishazimika..hadi leo Agha Khan anafanya juhudi kubwa sana....na kipindi cha JK hawa jamaa wamezidi imarika sana ktk killa Nyanja...mashitaka mengi ya watumishi na taasisi shirika na Agha Khan...huwa JK huaymaliza mwenyewe.

Si ajabu kuona mwislam mwenye hela iliyo idle akifanya mambo ya hatari km kufadhili ugaidi na mengine.Hiyo POLITICAL POWER INAYOSEMWA inakuumbua tuu hapa.Unasema waislam walibaguliwa wakati hapa unanukuu jinsi walivyokuwa na nguvu za kisiasa.

Nashukuru kwa hilo.

Mbona unazidi ongeza mizaha?Naona uanuliza maswali ulitakiw auwe umejibu muda mrefu...sasa maswali km "nani? sijui nini" hayaonyeshi km unatakiwa kubali au kataa na kujinasua ktk nilichokuambia.Nimekuambia "Unaleta Mizaha hapa".ni statement rahisi inayokueleza wewe na unachofanya...sasa kona nyingi za nini?

Yaani unanipa assignment ya kukutoa ktk shutuma dhidi yako?Inawezekana vipi "Mshtakiwa amtake mshtaki akatafute facts za kumtetea mshtakiwa?".Something might be very wrong in you mind.

umeanza porojo za kwenye chai,...Nilishakuambia possibility za watu hata wasio wasomi au wasio wajuzi sana kukaribishwa ktk vyuo vikuu ili kupresent kwa watu vitu fulani.Ila hapa nataka kukuonyesha ujinga ktk hiyo statement yako.

Wapi utapata watu wanaotaka watu wenye ujuzi wa kuyaelezea matatizo yao ambayao wao wameayaona na wanataka kuyajua kwa undani?Watu wanawaiata watu wa KUJA WAPA SOLUTIONS NA SI MABINGWA WA KUELEZEA MATATIZO YAO.Mtu mwenye kansa atakaje wewe umwelezea kwa undaji jinsi anpata maumivu,au mwenye njaa umwelezee kwa uandani kuhusu maumivu ya tumbo badala ya tiba na chakula?

NI WEWE MTU WA KWANZA UANYEDHANI WATU WANAHITAJI WATU WANAOJUA KUELEZEA MATATIZO YAO NA SI MAJIBU YAKE.

Ni aibu sana pamoja kwenda kote huko hujui ulikwenda fanya nini na walikuita kwa sababu gani...?Pole sana ,ndio maana nakuambia unakwenda chafua sana Africa,na fikra zenu za kiislama na kiarabu mkidhani dunia itakaa ikubali kuwa ni za kiafrica.Pengine wanakutafuta ili kuweza break network ya ugaidi na wafadhili wake.Its not a joke,majasusi wa US huweza facilitate,vitu bila criminal kujua....watu vijana wabeba unga au magaidi ambao wakifika ubalozi tuu wanashangaa ,viza yao haisumbui km kwa wale wanaotaka kwenda kihalali, baadaye hawa wabeba unga/magaidi mambo yao huenda vizuri sana lakin baadaye hujasaidia sana kuwakamata wafadhili wao.

Kwa hiyo hata wewe unaweza kuwa ktk List..

Nakubaliana mkuu katika maelezo haya,
 
Nakupa ushauri mwengine kuwa pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima, ukifuata ujinga utakuwa rafiki wa wapumbavu.

Huwa nashangaa sana Chadema walikupaje uongozi.

Nilikuw aanshangaa..kumbe ni walewale ambao kila kitu hukiangalia jicho la hila..kila kitu ni conspiracy.Hamuwezi toka ktk hiyo loop.
 
Shariff Ritz,

Salaam Al Akhiy.

Ngoja hiyo safari yako ya Kigombe tufuatane pamoja ili tuzidi kumchemfua yule "maluuni wa Rombo",msemaji wa Chadema na Vatican hapa jamvini!ahaha!!

Yeye si tunajua yakuwa ana allergy na Uislamu,Waislamu na watu woote wa Mwambao! Lakini ikifika wakti za chaguzi ati hao Chadema wanataka na kutaraji kura za watu haohao wanaoshinda kutwa kucha kuwakebehi na kuwatukana hapa jamvini!?...pumbavu mkubwa huyo Nicholas...najua lazima atakua ni Mchaga maskini wa roho na maisha!ahaha!!

Nawajua vizuri mno na nimeishi nao kiundani. Kule kwao kaskazini pia wanabaguana mno kwa Class na eneo utokalo...sasa stress zake za maisha anataka kujamalizia hapa jamvini!?ahaha!!

Lakini pia huyo Nicholas anasaidia kwa sisi wengine kuona picha khalis ya hao Chadema!...

Nataraji nikifika hapo mojawapo ya shughuli yangu kubwa ni kuja kumnasihi ndugu yetu Al Khalifa The Big Show ajitoe huko Chadema kwa haraka mno. Najua labda CCM "imewaangusha" kiduchu wana Mtwara nao wamekereka...lakini wakumbuke ubaya wa CCM si wema wa Chadema hata siku moja...."zimwi likujualo halikuli likakwisha"!!

Kwa kifupi moyo wangu wabubujwika na machozi kumuona ndugu yetu Al Sahib The Big Show,katumbukia ndani ya hilo handaki la hao mahasidi na maharamia kina Nicholas na huo upuuzi wao wa udini na ukabila=Chadema!!

Lakini Insha Allah Mola ipo siku tamrejesha nyumbani...CCM

Tuendelee na safari yetu ya Mwambao...wewe Shariff umeamua kuanzia Kigombe,mimi nakusihi turejee nyuma kiduchu Vijiji viwili ili tuanze upya.

Tongoni,Mwarongo,Kirare,Kigombe,Choba,Pangani,Bweni,Kibinda,Mauya,Mwera,Ushongo,Ushongo Mabaoni,Tungamaa,Sakura,Kipumbwi,Kipumbwi Mtoni,Msangazi,Mikocheni,Sange,Makorora,Mkwaja,Saadani,Buyuni,Buyuni Kuu,Bwagamoyo, mwanakalenga,Mwanamakuka,Kitopeni,Zinga,Mbegani,Mlingotini,Kaole,Ununio,Kunduchi,Msasani mpaka tunaishia Kipata kizingitini kwa Sheikh Mohammed na kuendelea na Darsa!

Kwa wale wa Mikoani/Mabara,tafadhalini msichukie mno...siku nyingine kipata fursa tutafanza safari yetu kuanzia Songea mjini mpaka Madaba...na tutasimama pale Peramiho kuamkua kiduchu!

Ahsanta.
Naona umechoka kukaa ktk ngozi ya kondoo....sasa unajiachia full.Nashukuru sipo na wewe ungerusha mabomu au jilipua.
 
Unaamini Sivalon ndie sauti ya Wakristu kama wewe unavyojipa mamlaka ya sauti ya Waislamu nchini?

Nyinyi watu mbona hamna shukran wala uwezo wa kufikiri kitaaluma,khalaf kutwa kucha mnakua ndo mstari wa mbele kujinasibu na usomi na maarifa ya kipumbavu hapa jamvini!?

Mmeletewa vitabu na nukuu kadhaa za Manguli wa Madrassa...lakini hao woote mnadai ni wapuuzi tena hawajui kitu.

Sasa hivi mnaletewa hao "Wavumbuzi" wenu wa kizungu mnaowaabudu na kuwathamini pita kiasi,tena Wakristo/Wakatoliki wenzenu pia hamtaki!?

Jamani tatizo lenu liko wapi nyinyi viumbe!?...Yericko au huyo Sivalon na Bergen hamuwataki, labda nao wamo katika lile kundi la wale majini wa kizungu waliolaaniwa kama ulivyotufahamisha hapa jamvini!?ahaha!!

Cc;Ritz
 
Mwaka 1974 Nyerere aliwatwisha chuo kikuu kivukoni jukumu la kuandika historia ya TANU lakini baadae tena mwaka 1976 alisisitiza tena kuandikwa kwa historia rasmi ya TANU wakubwa zangu kina Jasusi, pamoja na wewe mnaweza kuwa mnakumbuka hii habari mimi niliadithiwa na mzee wangu zamani.

Wazee wa fitna hamkuanza leo....si mkaharibu historia..halafu mkaandika yenu..tena ambayo ni kazi ya ubunifu.Hata element ya kuweka wauza watumwa kuwa mashujaaa...ni hizo fitana na dili.

Kuzimu haiishii hapo ktk kuwatumia.
 
Hakuna wa kuibadili historia ile ya Kivukoni. Ndio inayofundishwa mashuleni, vyuoni. Unatarajia kitabu cha Mohamed kibadili historia ilioandikwa na wengi?

Wanafunzi wataendelea kufundishwa kuwa Rais na Mwenyekiti pekee wa TANU tangu ilipoanzishwa hadi kifo chake ni Mwalimu. Ni kichaa tu anayeweza kufundisha wanafunzi kuwa TANU ilianzia Burma!

Ndio,na ni vizuri tuh ikaendelea kufundishwa hiyo ya kivukoni huko mashulen,kwan nani kapinga kuwa haifundishwi??
Ifundishwe tuh,wewe umesema ya kwamba hii ya Moh Said inawavuruga waislam,nakuuliza waislam wavurugwe kwa kujuzwa ukweli??
Wenye akili zao wataisoma hiyo ya kivukoni kisha wataisoma hii ya Moh Said kisha watachagua wenyewe,ipi ni pumba na ipi ni mchele,wewe usiwachagulie,wala usiwasemee...
 
Naona umechoka kukaa ktk ngozi ya kondoo....sasa unajiachia full.Nashukuru sipo na wewe ungerusha mabomu au jilipua.

Wewe utakua ni wale Wachaga wapiga rangi viatu mchana halafu usiku unageuka jambazi!?ahaha!!

Kiongozi wa Chadema utumbo mtupu...kichwa chako kimejaa chuki,ukabila na udini...pitia posts zako zoote humu Jf halafu uone uozo wako!ahaha!!

Cc;Ritz
 
Nyinyi watu mbona hamna shukran wala uwezo wa kufikiri kitaaluma,khalaf kutwa kucha mnakua ndo mstari wa mbele kujinasibu na usomi na maarifa ya kipumbavu hapa jamvini!?

Mmeletewa vitabu na nukuu kadhaa za Manguli wa Madrassa...lakini hao woote mnadai ni wapuuzi tena hawajui kitu.

Sasa hivi mnaletewa hao "Wavumbuzi" wenu wa kizungu mnaowaabudu na kuwathamini pita kiasi,tena Wakristo/Wakatoliki wenzenu pia hamtaki!?

Jamani tatizo lenu liko wapi nyinyi viumbe!?...Yericko au huyo Sivalon na Bergen hamuwataki, labda nao wamo katika lile kundi la wale majini wa kizungu waliolaaniwa kama ulivyotufahamisha hapa jamvini!?ahaha!!

Cc;Ritz

NI DEDICATED IGNORANCE INAWASUMBUA,
Lait SIVALONI angekuwa anazungumza kwa kuufavor ukristo angempa heko,ila kwa kuwa sivalon mkristo mwenzao kaamua kuzungumza uhalisia,sasa anaamua kumkana,,!

Hatushangai,kama Yericko aliweza kuikana NASABA YAKE na kuikimbilia ya JULIUS KAMBARAGE,itakuwa hii kumkana NGULI HUYU SIVALONI??

HAO NI WATU NA MISSION ZAO,ILA HAPA ZIMEGONGA MWAMBA...
 
Wewe utakua ni wale Wachaga wapiga rangi viatu mchana halafu usiku unageuka jambazi!?ahaha!!

Kiongozi wa Chadema utumbo mtupu...kichwa chako kimejaa chuki,ukabila na udini...pitia posts zako zoote humu Jf halafu uone uozo wako!ahaha!!

Cc;Ritz

Hata mimi sikumtambua vyema huyo kanjanja,mara nilipokuja kumtambua nimeona ni wale wale machakubimbi sampuli ya kina yericko,watu wa kuzuka zuka,vihiyo na wapenda umaarufu wa bure bure....!

Kwetu tunawaita "MBUGILA MBUGILA"
 
Huyo ndie Mwalimu. Kwa nini migogoro ya Africa ndio inayokuzwa tu huku NI wanachinjana. Jibu hilo la Mwalimu linafanana kimaudhui na lile alilotoa kwa yule mwandishi wa Nairobi juu ya utawala wa Mzee Mwinyi na Mwalimu.

Wanamaombi na Kanisa Katoliki ni tofauti sana na BAKWATA na Waislamu wa Tanzania. Labda kama umeanza kufikiri na kuzeeka vibaya. Sidhani kama unawaelewa wanamaombi na Padre Nkwera na mambo yao vinginevyo usingewalinganisha na BAKWATA ambayo imejaa viongozi makini sana wa dini ya Kiislam, wanaoweka utaifa MBELE.

Ni Bakwata hii hii waislam wanayoipiga vita na kuuilaani?Kweli nimeamini shida si taasisi ni mafundisho makuu ya imani.
 
Back
Top Bottom